mwaka jana nilikua na mtaji mdogo sana kwenye biashara yangu kama lak5 ivi lakn nilipo anza tabia ya kuandika malenge yang na nikawa na yapitia kila week na kila mwezi nime jikuta nyumba yangu nimeongeza vyumba viwili na hivi sasa mtaji wangu si chini ya million4 nakushukuru sana mwalim umeni motivation sana mungu akubariki sana
Hivi watu Kama Joel nnauka dunia inawachukuliaje .... Kwanza niwapongeze radio mawingu kuandaa huki kipindi. Bravoo kwako Mwalimu wangu Na Mwalimu wa wawatanzania Nakuona unakwenda kuwa Raisi wa Nchi.
Shukrani sana kaka, mwenyezi MUNGU akupe maisha marefu sana, ili tupate hii neema ya kujijua zaidi, wengi tunachelewa kufanikiwa katika maisha yetu kwasababu tumechelewa kujua maarifa hayo
Mungu akuongeze zaidi na zaidi Pastor joel nanauka hakika nabarikiwa sana na mafundisho yako tangu nimeanza kusoma vitabu vya maisha yangu yamebadilika 🙏
sikufahamu kwa kila kitu kaka Nanauka! ila nakukubali sana...kama ingekuwa inawezekana kuku cut and paste basi mi ningekuwa wa kwanza...ila ndo hivo tena kila mmoja kaumbwa kivyake...but you are so blessing to us. nakupenda sana
Leo Sam na James tupatupa wamekutendea haki ni mara chache sana vyombo vikubwa vya habari kukupa nafasi kubwa kiasi hicho hasaa kwenye mambo ya msingi kama hayo. Ni mahojiano bora sana kwangu. Yanayofatia dar24
ansante sana joeli hakika kwangu umekua baraka mnooo mungu namuona kupitia wewe nanajitaidi kuishi mafudisho yako vitabu yvako vyote ninavyo namshikuru mungu kunipa ufahamu wakukuerewa 🙏 joeli enderea kutafta maarifa mengi zaidi maan wengine tunakuangaria wew
Namshukuru Mungu Kwa Makuu anayotutendea,binafsi nimesikiliza sana nyaraka mbalimbali kuhusu fedha lakini Nina changamoto kubwa sana ya kifedha naomba msaada wako nifanye nin?
sam ww ni mtangazaji lakn hujui kuuliza maswali,lakn pia unapoteza muda mwingi kwenye kuuliza maswali...pia acha tabia ya kiswanglish na kingereza hujui....alienifurahisha kati yenu ni joel nanauka..brother joel barikiwa sana brother..
bro ur so minded enoughly kuna vitu kwa akili ya kawaaida huwez elewa mpaka upate akili za ziada ndo utuboe kiukweli unatupa motivation za kutafuta life
#JoelNanauka Wewe Ni Zaidi ya Zaidi,You mean so much in my life..Kuna kipindi nilisikiliza video zako mpaka ideas zako zikawa zinazunguka Kwenye Damu,Na kwa Mara ya Kwanza Nikaanza Kufanya Biashara... #Nguvu ya Malengo iko kwenye tabia.
My brother from another mother video zako huwa zinanisaidia sana yahni nime download video zako zaidi ya mia tatu na sijawahi kukinai kuziangalia kwasababu mawazo ya tofauti tofauti ni sauti ya mungu
Asante Brother Naomba Ile Video ulikuwa unaongerea Refreshing Power na Kadharika nimekosa Title Please nilisikiliza u was Busy But for almost 6months sijayiona tena Asante
Joel nanauka umenibadilisha mno ww ni mwalimu wng najifunza mengi sana nikiwa hapa Oman haipiti cku bila kusikiliza🙏🇹🇿🇴🇲
Ahsante sana Khadija, nashukuru kuendelea kunifuatilia.
hii nimeipenda kuliko "Bahati katika mafanikio ni pale ambapo maandalizi yanakutana na fursa" you are so smart Nanauka.
Mwalimu Joel Nanauka Siwezi kukusahu kwenye maisha yangu
mwaka jana nilikua na mtaji mdogo sana kwenye biashara yangu kama lak5 ivi lakn nilipo anza tabia ya kuandika malenge yang na nikawa na yapitia kila week na kila mwezi nime jikuta nyumba yangu nimeongeza vyumba viwili na hivi sasa mtaji wangu si chini ya million4 nakushukuru sana mwalim umeni motivation sana mungu akubariki sana
Hongera sana
Safi
Umefanya ndoto yangu saizi kila mtu aione the big vision nilianza na kuku 10-50-100 up to 500/600 sasa. Asante sana never disappointed
Hongera sanaaa
Kuku hao ni wa kienyeji au kizungu?tuelimishane ndugu. Mi mwenyewe nipo kwenye straggle ya ufugaji kuku.
Hivi watu Kama Joel nnauka dunia inawachukuliaje ....
Kwanza niwapongeze radio mawingu kuandaa huki kipindi. Bravoo kwako Mwalimu wangu Na Mwalimu wa wawatanzania
Nakuona unakwenda kuwa Raisi wa Nchi.
Nikweli KABISA
Huwa naishi mafundisho yako na yamenibadilisha sana. Blessed Joel
Nafurahi kusikia hivyo Lightness
@@joelnanauka qqq
@@joelnanauka aaa
You are so good brother. Mafundisho yako ni halisi kabisa. Mungu azidi kukuinua.
Ja usipokuwa na marafiki kabisa unaweza kuendelea
Shukrani sana kaka, mwenyezi MUNGU akupe maisha marefu sana, ili tupate hii neema ya kujijua zaidi, wengi tunachelewa kufanikiwa katika maisha yetu kwasababu tumechelewa kujua maarifa hayo
Ahsante Sana Mwalim Joel Arthur Nanauka nayapenda Sana mafundisho yako maana yananisaidia Sana kwa kias kikubwa Mwenyez Mungu azid kukulinda
Nashukuru sana Alex, tuendelee kujifunza
Mungu akuongeze zaidi na zaidi Pastor joel nanauka hakika nabarikiwa sana na mafundisho yako tangu nimeanza kusoma vitabu vya maisha yangu yamebadilika 🙏
Asanteh Sana kaka Joel sifa za malengo nimependa mno
Sijuti kukufahamu kaka
Daima nitaendelea kukufwatilia
yaani wewe umetoa kijijin hd mjini na nimefanikiwa kwa asilimia kubwa sana mungu akulide
Asnte sana Joel kwa ushauli wako huu mungu akujalih afya njema uzidi tufundisha kila siku
sikufahamu kwa kila kitu kaka Nanauka! ila nakukubali sana...kama ingekuwa inawezekana kuku cut and paste basi mi ningekuwa wa kwanza...ila ndo hivo tena kila mmoja kaumbwa kivyake...but you are so blessing to us. nakupenda sana
Leo Sam na James tupatupa wamekutendea haki ni mara chache sana vyombo vikubwa vya habari kukupa nafasi kubwa kiasi hicho hasaa kwenye mambo ya msingi kama hayo. Ni mahojiano bora sana kwangu. Yanayofatia dar24
ansante sana joeli hakika kwangu umekua baraka mnooo mungu namuona kupitia wewe nanajitaidi kuishi mafudisho yako vitabu yvako vyote ninavyo namshikuru mungu kunipa ufahamu wakukuerewa 🙏 joeli enderea kutafta maarifa mengi zaidi maan wengine tunakuangaria wew
Nashukuru sana l
Najifunza vitu vingi xanaa kutoka kwako kaka Joel big up xanaa kwako
Ahsante kaka kwa somo lako hakika nmekuelewa sana shukran sana MUNGU azid kukupa maarifa kwa ajil ya kutupa na uwe na afya njema
Ameen Keneth, nashukuru kusikia hivyo🙏🏼
Namshukuru Mungu Kwa Makuu anayotutendea,binafsi nimesikiliza sana nyaraka mbalimbali kuhusu fedha lakini Nina changamoto kubwa sana ya kifedha naomba msaada wako nifanye nin?
Hongera kwa mada nzuri, nami nakuja na wazo ambalo nimeliwaza kuhusu maendeleo, likae katika maandishi then nishare na watu. Nitakutafuta.
sijawai kukupinga bro be blessed amina
Hivi ndio vipindi vya kusikiliza hingereni sanaaa
sam ww ni mtangazaji lakn hujui kuuliza maswali,lakn pia unapoteza muda mwingi kwenye kuuliza maswali...pia acha tabia ya kiswanglish na kingereza hujui....alienifurahisha kati yenu ni joel nanauka..brother joel barikiwa sana brother..
Unamwonea,anauliza maswali ya kumsaidia mwingine
Elimu unayotupa ni zaidi ya Elimu bure 🙏🙏🇹🇿💪🔥
Life coach.... umekuwa kiongozi wangu... nimekuwa na hekima mpk watu wananishangaa sababu ya mafundsho ako... Mungu akutunze
Nanauka ubarikiwe unaakili sana,licha ya kwamba Mungu anakutumia
bro ur so minded enoughly kuna vitu kwa akili ya kawaaida huwez elewa mpaka upate akili za ziada ndo utuboe kiukweli unatupa motivation za kutafuta life
Shukrani, nimejifunza kuweka malengo machache kulingana na nguvu yangu kifedha,
Ubongo umeumbwa kufanya kiholela
Ahsante sana ndugu jeol Nanauka kwa elimu yako nzuri ushauri wa mwisho umenielimisha sana nitaifanyia kazi kama ulivyo nishauri mungu Akubariki
#JoelNanauka Wewe Ni Zaidi ya Zaidi,You mean so much in my life..Kuna kipindi nilisikiliza video zako mpaka ideas zako zikawa zinazunguka Kwenye Damu,Na kwa Mara ya Kwanza Nikaanza Kufanya Biashara...
#Nguvu ya Malengo iko kwenye tabia.
Kaka Joel uko very smart. I like you, God bless you.
Nashkuru nanauka kwakunipeleka katika ulimwengu mpya
Joely NI WEWE LAFIKI PEKEE NILIKUA NIMESUBILIA KWENYE NDOTO ZANGU .p6&❤️
Allah AKUPE AFYA NJEMA Na umri mrefu wenye mafanikio katika uislaam
Kaka wewe mkali sana.. Nakukubali kwa asilimia 102 naomba tuwasiliane nahitaji msaada wako
Mungu asante kwa kumleta huyu Joel nanauka,kwa wakati.
nakusoma sn kaka. #Mungu akuzidishie elim
Joel ntashukulu sana nime ununuwe vitabu vyako vinanisaidia sana kwakutimiza Marengo yangu
Asante sana.... mungu azidi kukulinda 🙏🙏...br... Joel.
Najuwa utasoma. pls nipo south Africa nakufataka sana
Karibu sana 0756-094875
Kaka yangu mimi hongera sana
Thank you so much mr.
Miaka miwili na nusu ijayo nitakua star mkubwa sana known as "mangi more" and i will thank you again
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sawa brother
Joel nataman kila kauli yako niiweke status, kila neno ni fundisho aisee
Asant san kak umenibadilisha mno kwenye maisha yangu🙏🙏🙏🙏🇸🇦
Ndugu yangu nimejikuta ni kama vile sina marafiki
Isipokua nakua kalibu na wafanya kazi wangu ndo wanaonizunguka
Nimelews vizuri,,ups de wa marafiki, shukrani
God bless you bro
Nakufuatia sana nashukuru Mungu unisaidia Mwenye ezi Mungu akulipe mazuri .
Asnte kaka joel kwa kuzidi kutufungua akili Mungu azidi kukutunza kwa ajili yetu
My role model
Umenijenga sana bro Joel mungu azidi kukutunza na sisi tuzidi kufaidi mafundisho yako.
Mungu akuinue kama Yusuph
Ahsante sana kiongozi nimejifunza nawezaje kupata vitabu mkuu
Vitabu tuwasiliane 0762 31 21 71
huyu jamaa yko vzr sana
God bless you more Bro
Mwenyezi Mungu akuzidishie baraka. Umenijenga sana
Kaka Joel shida yangu kusoma vitabu nimenunua vitabu vyako navipenda sana nimeisha vinunua tatizo kuvisoma.Hii mada imenigusa
Nahisi nimechewa kukufuatilia! Najua tatizo lilikoanzia!
Mungu akubarki kwenye kazi zako Joel nanauka🙏
Nafanikiwa kwa mawazo yako joer mungu akuweke
Aisee!! Huyu mwalimu hatari...
Ni kweli bro Kama ulivyosema penye changamoto ndipo penye fedha!!
Upo sahihi dadangu khadija mm nisipomsikiliza Kwa siku nahisi kama nimepoteza siku yangu
Brother Joel is very smart good bless you
Always i appreciate your work you're more than a teacher to me..... I've done a lot of things because of what I've been learning from you
You're very influential People on the world,, Jah bless you!
Nimebarikiwa sana na mada hii
You are my good role model
Asante sana ndugu Joel najifunza Mambo mengi kwako nikiwa US
Ahsante kwa mrejesho, tuendelee kujifunza.
Barikiwa sana kwa mafundisho ya msingi
Amina barikiwa zaidi kaka
Asante kaka joerl tuko tabora tunakufatiria
Asante sana kaka kupanga malengo
Ujumbe mzuri sana
very good educative and mind opening discussion, pongezi kwenu wote
Shukrani Ken
Uyo nanauka mama ake alifanya wanafuzi 13 kuacha shule,kwaiyo mama ake alaniwe sanaa apa apa duniani
Barikiwa sana sana
My brother from another mother video zako huwa zinanisaidia sana yahni nime download video zako zaidi ya mia tatu na sijawahi kukinai kuziangalia kwasababu mawazo ya tofauti tofauti ni sauti ya mungu
Aisee hongera sana, nafurahia kusikia hivyo
God bless you my brother
Naendelea kupata madini tena na tena.
Kaka mungu akujalie nakuelewa sana
Thanks Joel , tunajifunza vizur sana.
Thanksfull brother 🥰
😮😮❤❤ nice teaching
My Mentor! What i love the most about u is learning & laughing at the same time! I enjoy the teachings!Stay Blessed
Ap
joe kwa sisi ambao tupo zanzibar tutapataje vitabu vyako natumai utanijibu nataka sana vtbu vyako nisome ila nipo visiwani
Ahsate sana kaka najifunz vingi kupitia video zako na zinafanya natimiz malengo yangu 💪🙏
Thanks, bro Joel
Kaka Joel...Mwambie anaekushonea hizo suti anatafutwa/anahitajika sana.!
Points mumgunakuweke sana nataman siku mona nije nishuhudie mafanikio yangu kiukwel najifunza
Asante Brother Naomba Ile Video ulikuwa unaongerea Refreshing Power na Kadharika nimekosa Title Please nilisikiliza u was Busy But for almost 6months sijayiona tena Asante
Naipataje hicho kitabu nakihitaji
It's stupendous motivation stayed blessed and Allah grant your journey of inspired us
Kaka fanyia kazi na reference za kiafrika kama zipo...
God bless you
Asante sana kwa mafunzo
God bless you!