SET YOUR SELF A PART - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 76

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio 2 місяці тому +19

    kitabu cha Yeremia 1:5 "Kabla sijakuumba ndani ya tumbo la mama yako, nalikujua; kabla hujazaliwa, nalikutakasa, nalikutenga uwe nabii kwa mataifa." Kwa kiingereza inasema "Before I formed you in the womb I knew you, before you were born, I set you apart; I appointed you as a prophet to the nations."
    Barikiwa brother

  • @edwardpeter8401
    @edwardpeter8401 Місяць тому +6

    Hongera kaka Joel Kwa kufanya ulichoumbiwa na Mwenyezi Mungu.Keep going...

  • @gracesimon9801
    @gracesimon9801 2 місяці тому +5

    Hili somo ni la kurudia kulisikiliza mpaka liflow kwenye damu. Madini yanatolewa in a very calm voice and organised manner sio kufokewa😂 Thanks my Mentor@Joel Nanauka

  • @mpambanaji-mahiri
    @mpambanaji-mahiri 2 місяці тому +4

    Mr Joel Ukiwa raisi wa nchi, nchi yako itakuwa ya kupigiwa mfano sana.

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 2 місяці тому +7

    Hongera sana kaka Joel uko Sahihi barikiwa 🙏🙏

  • @mwakalukwafredy1990
    @mwakalukwafredy1990 2 місяці тому +3

    Mungu akubariki sana
    Kaka joel nanauka Nimekuwa mwanafunzi wako muda wa miaka sita sasa hakika matunda ya elimu yako nimeyaona na sitoacha kujifunza kila siku

  • @ManswetKimario
    @ManswetKimario Місяць тому +1

    "Set your self apart" Ni zaidi ya shule, asante kaka, Bwana Yesu akulinde sana, ww ni tunu kwa vijana wa Taifa hili.Asante sana.

  • @annamallya8756
    @annamallya8756 2 місяці тому +3

    Ahsante sana.Mungu azidi kukutunza kaka kwa elimu unayotupatia

  • @cyriluskaijage4227
    @cyriluskaijage4227 2 місяці тому +5

    This is more than powerful 🔥
    Thank you @Joel Nanauka

  • @FaricevitusiNkane
    @FaricevitusiNkane Місяць тому +2

    kk mungu aendelee kkbak uendelee kutusaidia kwel umekuwa msaada sana kwang

  • @__huduma
    @__huduma 2 місяці тому +18

    Namba Moja hapa 💪

  • @DottoAmon-bs2cr
    @DottoAmon-bs2cr 2 місяці тому +2

    Asante sana umenifundisha nisioyajua madin mazuri

  • @kelvinDaud-c5m
    @kelvinDaud-c5m 2 місяці тому +3

    Kuna wa2 Mungu amewaumba wawe daraja kuwavusha wengne🤔,,God bless ue Bro

  • @derrickwasike6676
    @derrickwasike6676 2 місяці тому +4

    This is Powerful.
    Getting it all the way from Nairobi Kenya

  • @LukaSimon-wz9vs
    @LukaSimon-wz9vs 2 місяці тому +4

    Pamoja sana

  • @Haleem_07
    @Haleem_07 2 місяці тому +9

    Someone somewhere atakuja kuangalia hii 2050 akiwa analia machozi ya damu.

  • @habonimanachristophe3538
    @habonimanachristophe3538 2 місяці тому +3

    asanteni sana ....joel ..

  • @JilahJoseph
    @JilahJoseph Місяць тому +1

    Nimebarikiwa...

  • @RehemaPetro-u3b
    @RehemaPetro-u3b 2 місяці тому +1

    Kaka nakufatilia sanaa jmn pia nbarikiwa sanaa na masomo yako unayotoa ubarikiwe sanaa

  • @msafiripeterluundo5925
    @msafiripeterluundo5925 Місяць тому

    Mwenyezi Mungu azidi kukuongezea maharifa na elimu kubwa Bro 👌🙏

  • @paulinmachlory9362
    @paulinmachlory9362 2 місяці тому +1

    Ubarikiwe Sana,aidha nakufuatilia Sana,siyo hivo tu elimu yako imenibadilisha Sana.

  • @upendoyohana4713
    @upendoyohana4713 2 місяці тому +1

    Yaani ubarikiwe sana tuu, Mtumishi wa Mungu

  • @nikezstrong4467
    @nikezstrong4467 2 дні тому

    kazi safi sana apa.....God bless you sir

  • @nurkintv5815
    @nurkintv5815 2 місяці тому +3

    thnks bro u r so perfct

  • @sambalamkuu3360
    @sambalamkuu3360 5 днів тому

    ongera kwa ujumbe mzuri

  • @CatherineJacob-yt5sy
    @CatherineJacob-yt5sy 2 місяці тому +1

    Nilimis sana motivation zako nimeludi Tena nafurah kukusikilizaa barikiwaa,🙏

  • @cupcandymushi9126
    @cupcandymushi9126 Місяць тому

    Ahsante sana kaka Joel nmejifunza Sana mengi ubarikiwe Sana 🙌🙌🙌🙌

  • @charlesakomba5949
    @charlesakomba5949 2 місяці тому +1

    Shukrana sana Mentor... Mungu akutangulie

  • @mwamvitakilima4104
    @mwamvitakilima4104 2 місяці тому +1

    Ahsante kwa darasa zuri kaka
    barikiwa sana

  • @Irene-rt4bf
    @Irene-rt4bf 2 місяці тому +1

    Thnx mr joel

  • @furahasweya7433
    @furahasweya7433 Місяць тому

    Asantesana kwa mafundisho mazuri hakikaungu hakukosea kukuleta dunia nawe ukajua nini cha kufanya ubarikiwe . Ninajifunza mengi san kila iitwapo leo kupitia youtube
    Sijabahatika kuhudhuria mikutano yako ya mafunzo live ila naamini wakati sahihi waungu ukifika nitashiriki.

  • @RopianNguyai-zc2ov
    @RopianNguyai-zc2ov 2 місяці тому +2

    Pamoja kaka joel

  • @mpeliakhim3770
    @mpeliakhim3770 Місяць тому +1

    Tuko pamoja

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 2 місяці тому

    Kiukweli nakosa chakusema ila barikiwa zaidi kaka umenisaidia sana

  • @dennisghati-c3k
    @dennisghati-c3k 12 днів тому

    Hallow my friend vary nice ideas

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 2 місяці тому

    Kaka Joel ubarikiwe mnoo.

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 2 місяці тому

    Mmmh!umeongea kaka ❤

  • @Saranabwire
    @Saranabwire 2 місяці тому

    Nakupata vizuri kaka Nanauka

  • @Zaytun-v2x
    @Zaytun-v2x 2 місяці тому

    See you At The Top 🎉

  • @christinen8291
    @christinen8291 2 місяці тому +4

    Machozi ananitoka kabisa😢 ningesikia haya mafundisho mapema,nisingezeheka kwa umasikini 😢

    • @shukranjulius9526
      @shukranjulius9526 2 місяці тому

      Hujachelewa mpendwa nyanyuka jifute chukua hatua

    • @Asiamohammed1317
      @Asiamohammed1317 17 днів тому +1

      Majira na muda ulikuwa haujatimia ni wakati wako sasa

  • @estherkeba24
    @estherkeba24 2 місяці тому +1

    Namskia joshua selman kwako

  • @FelicianJacob
    @FelicianJacob 2 місяці тому

    Barikiwa mtumishi

  • @gracesimon9801
    @gracesimon9801 2 місяці тому

    Powerful

  • @KudraMohammed-d3p
    @KudraMohammed-d3p Місяць тому

    Jamani napataje kitabu

  • @EliasGwaya
    @EliasGwaya 26 днів тому

    It's true

  • @Saidmarez
    @Saidmarez 2 місяці тому

    Ahsante sana

  • @NguruKamoka
    @NguruKamoka 2 місяці тому

    Ubarikiwe Sana

  • @MartinNelson-g7r
    @MartinNelson-g7r 2 місяці тому

    Haha kaka Joel MUNGU akubariki unakipawa kikubwa san

  • @estherkeba24
    @estherkeba24 2 місяці тому

    Aseeee🙏

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 2 місяці тому

    Asante

  • @ZephaniahSekwa-fl2go
    @ZephaniahSekwa-fl2go 2 місяці тому +2

    50:08 to 50:36

  • @JilahJoseph
    @JilahJoseph Місяць тому

    .mmekosea kwenye cover, badara ya kuandika JITOFAUTISHE MMEANDIKA JITOSHAUTISHE

  • @georgejindwa5440
    @georgejindwa5440 2 місяці тому

    Ukosahihi bro,

  • @HaniyaKisingo
    @HaniyaKisingo 2 місяці тому +1

    Madini matupu mungu azidi kukuimarisha kwa ajili yetu unatutia moyo sana❤❤❤

  • @SAMISAI.
    @SAMISAI. 2 місяці тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @TeresiaIlomo
    @TeresiaIlomo Місяць тому

    Hoja kuntu za mafanikio

  • @florahjackisn5632
    @florahjackisn5632 2 місяці тому

    🙏

  • @hassanihassani7154
    @hassanihassani7154 Місяць тому

    Ukishakuwa na watu nirshc sana kupata taarifa zinazo connect mfumomza wa maishayko

  • @pauljosephtarimo2279
    @pauljosephtarimo2279 Місяць тому

    Who im i
    Hii imenigusa sana

  • @hassanihassani7154
    @hassanihassani7154 Місяць тому

    Je nifanyenn dunia inijue?

  • @SharfaMtambo
    @SharfaMtambo Місяць тому

    Samahani naomba bei ya hiyo vitabu tafadhal

  • @Saranabwire
    @Saranabwire 2 місяці тому +1

    😅😅😅kujiamini umasiki ukuogope

  • @kevinpeter2941
    @kevinpeter2941 2 місяці тому

    SAUTI ILIYOKO NYUMA INAKELA MASIKIO

  • @EmmanuelHhawu
    @EmmanuelHhawu 2 місяці тому

    Samahani kaka nina shid na hicho kitabu cha nidhamu ya fedha kwa uku manyara inapatikana wapi?

  • @AbuuSalha
    @AbuuSalha 2 місяці тому

    Nini maama ya bypass????

  • @ObaChristopher
    @ObaChristopher 2 місяці тому

    Sf

  • @mwakalukwafredy1990
    @mwakalukwafredy1990 2 місяці тому

    Mungu akubariki sana
    Kaka joel nanauka Nimekuwa mwanafunzi wako muda wa miaka sita sasa hakika matunda ya elimu yako nimeyaona na sitoacha kujifunza kila siku

  • @NtayandiLeonard
    @NtayandiLeonard 2 місяці тому

    🙏

  • @estherkeba24
    @estherkeba24 2 місяці тому

    Namskia joshua selman kwako