Jinsi ya kuweka malengo na kufanikiwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 502

  • @annagloriaroman30
    @annagloriaroman30 7 місяців тому +6

    Wooow!!.....ukuu wa Mungu ukazidi kukuinua zaid zaid na kunena kupitia jina lako na Mafunzo haya kaka JOEL🙏.....n wiki kadhaa nimeanza kukufuatilia japo nimekusikia mda mrefu ila leo 18/05/2024(Noted here) naamini imekua n mda,tarehe,saa na majira maalumu ya mwanzo wangu mpya📌 wa kuona my WEALTH LIFE UNTIL FOREVER ✍️📌🙏....Nimejifunza na kufunguka kwa Mengi mnooo hadi nimezidi kuona fahari na kheri zote🙏... nakushukuru sanaaa na haya maarifa yakazidi kuwa LEGACY FOR GENERATIONS TO COME🙏🥂👏👏👏👏💯💯💯💯💯💯💯❤️❤️❤️❤️✍️
    Baada ya kuyafanyia kazi haya nitakuja na Utukufu na ushuuda wa ukuu wa Mungu zaid🙏🙏✍️🤝🥂

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 3 роки тому +23

    Jamani wenzangu tunaoangalia hizi video za huyu Joel, nikisema kuwa huyu ni mtu tuliozawadiwa na Mungu, kwakuwa Mungu alivyotuumba alijua udhaifu wetu na ndio katupa huyo ili atuondolee udhaifu tulio nao. Hivyo Tumuombee azidi kutusaidia kwa mafunzo anayotupa.

    • @enjoyenjo8521
      @enjoyenjo8521 4 місяці тому

      Sanaaaa

    • @JuliusMakange
      @JuliusMakange 22 дні тому

      Kabisaaa,,, ni mtu muhimu sana tumuombee azida kutupa vitu vizur

  • @mussamgande2530
    @mussamgande2530 3 роки тому +22

    Na nakuahidi lazima niwe namafanikio kupitia mafunzo yako na ipo siku nitakutafuta ndugu ubarikiwe sana 🙏

  • @kingwilliam1807
    @kingwilliam1807 3 роки тому +52

    Tangu ni kujue kupitia UA-cam siku ikipita bila kukusikiliza siku hio ita kua mbaya kwangu,siko tayari kabisa siku ipite bila kusikiliza mafunzo yako hata 1 hour! Barikiwa sana

  • @twaybachellah914
    @twaybachellah914 4 роки тому +4

    Asante sana kuanzia sasa naanza kuishi katika kanuni ya kitajiri.. Kipato=>Mungu=>asset =>Matumizi.. kwa uwezo wa Mungu naamini nitaweza🙏 maana kweli nilikuwa kwenye maisha ya kupata, kutumia afu kama ikibaki ndo nifanyie malengo na haibaki kamwe🙌 nimefatilia mwanzo mwisho... Saa moja na dk 5

  • @ElvisIrakoze-pj8ym
    @ElvisIrakoze-pj8ym 11 місяців тому +5

    Watching from Burundi napenda sana mafunzo Yako! Mungu akubariki!

  • @zamaradimpogole6239
    @zamaradimpogole6239 Рік тому +7

    Kipato, Mungu,Uwekezaji, Matumizi.......This is so powerful. You've moved me somewhere Joel.

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 3 роки тому +4

    Niliite hili ni darasa la UKOMBOZI KWANGU umenitoa gizani, nimejielewa niko wapi na nifanye nini zaidi umenipa dira how to live better...nipo kwenye utekelezaji sasa ....shukrani sana🙏🔥🔥

  • @mrbaraka4326
    @mrbaraka4326 3 роки тому +8

    God bless you my brother,unazidi kunibadilisha katika maisha Kila ninapokusikiliza.

  • @nickjenericks5414
    @nickjenericks5414 3 роки тому +9

    Joel!mtoto wa mama!!Mungu akubariki kwa huduma yako.

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 роки тому +2

    Asset ni viingizo au vyanzo vya pesa kama gari ya abiria, nyumba ya kukodisha na kadhalika, na liability ni aidha madeni au vitu vinavyotumia pesa kama vile simu ya mkononi kama huitumii kibiashara ni liability, ukiwa na deni ni liability. Asante kwa masomo ni elimu nzuri

  • @cleophacendiege8888
    @cleophacendiege8888 3 роки тому +1

    Ndugu nanauka mimi umenifurahisha Sana kwasababu watanzania 90% Wana matatizo haya, wewe ni dawa ya huakika kwa watanzania kwani wengi tumekwama hapa na migogoro mingi inatokana na hapa kwenye jamii...nafikiri need vizuri masomo haya yaingizwe kwenye mfumo rasmi wa kishule kuanzia darasa la 4 na kuendelea tutakuwa tumesaidia hii nchi, ueleo mdogo ni zaidi ya Corona au hiv ktk nchi hii..mungu akubariki zaidi..Asante sana

  • @officiallycyra6944
    @officiallycyra6944 4 роки тому +3

    Habari kaka sijui unanikumbuka nilikua nakufatilia toka 2018 niiazisha duka langu la chakula ulinielimisha sana na video zako mpaka sasa Alhamdulilah nipo sawa nimekaa roho inanisuta bila kukushukulu nimefanikiwa ka kiasi fulani japo malengo yangu hayajatimia hila kwa nilipo fika namshukulu Mungu nilianza na mtaji wa laki 5 hiyo ilikua na kodi ya duka pia nilipitia kipindi kigumu hila mtaji umekua naweza kulipia bila uwoga 🙏🙏🙏

  • @marymgore6714
    @marymgore6714 4 роки тому +5

    Aisee,Utukufu kwa Mungu juu yeye aliekupa Akili,Hekima,Maarifa na Busara nawe hukuona so kitu kuvikumbatia Ila kuvitoa kwa faida ya wengine

  • @xinyingmiao4996
    @xinyingmiao4996 3 роки тому +4

    asante sana bruh nipo chuo huu ni mwaka wa 3 nasomea international trade and economic but cjawah kufundishwa elimu simple na yenye mwanga wa maisha kama hii

  • @hamisikisinzah8113
    @hamisikisinzah8113 4 роки тому +2

    Nimukukubali ujumbe unafika wazi wazi kwa lugha nyepesi. Safi Sanaaa.

  • @Cutephina
    @Cutephina 9 місяців тому +2

    Asante sana MUNGU AKUBARIKI sana

  • @ElvisIrakoze-pj8ym
    @ElvisIrakoze-pj8ym 11 місяців тому +2

    Watching from Burundi napenda sana mafunzo Yako! Mungu akubariki! 31:12 31:13

    • @joselynenizi9475
      @joselynenizi9475 Місяць тому

      Dukomeze kumukurikirana natwe twiteze imbere ,kuko twese IMANA yaturemanye ubwenge nk,ubwabandi

  • @mcongomakete3064
    @mcongomakete3064 4 роки тому +7

    Joel Nanauka
    Hongera sana nduguyangu.
    Ninapenda sana mafunzo yako. Tukikuelawa lazima tupate mafanikio. Sasa inapo tokea mme yupo vizuri kwenye aseti lakinimke duu matunizi yani. Akiuza elfu 10. Anatumia nakukopa zaidi nakuahidi kua nitalipa lesho akitegemea akiuza siku inayo fuata alipe deni. Natamani mafunzo yangekua yanatolewa mahali peupe kila mmoja asikie akiwepo mwenza. Kila nikimwambia ananita mie mkoloni.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 роки тому +2

      Hongera kwa kujifunza, endelea kumsaidia na yeye ajifunze pia.

  • @hosianamosha389
    @hosianamosha389 2 роки тому +1

    Hizi madini adim sana nizakurudia kusikiliza hadi hizi kanuni nikae kichwani hili ni moja ya somo lililobora sana sana ,be blessed Joel kwa haya maarifa unayotupatia

  • @yuzoujini27
    @yuzoujini27 4 роки тому +2

    Asante j ningeomba mawasiliano yako nikuulize baadhi ya vitu make vipindi vingine vimeishapita hivyo nahitaji muongozo wako

  • @SeciliaAlchard
    @SeciliaAlchard 8 місяців тому

    Ahsante sana ndugu kwa semina nzuri, hakika umebadili mtazamo wangu, Mungu akubariki

  • @patkenAgri
    @patkenAgri 4 роки тому +5

    Kaka joel Ahsante kunipa njia sahihi ya maisha yangu hakika tangu nime anza kuku fatilia hadi sasa nime badili maisha yangu kiasi kikubwa sana Mungu akupe Maalifa zaidi naomba gusa vipengere vyote kaka livyo baki.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 роки тому

      Ameen, nafurahi sana kusikia hivyo

  • @JoramEkaale
    @JoramEkaale 8 місяців тому

    Thanks Bw .Joel nanauka keep moving you're more than Great the sky is your Limit am getting u very well from Turkana... please keep moving...the 🌟 is your Limit.... congratulations you're and exemplary speaker....

  • @fahari1genius902
    @fahari1genius902 4 роки тому +1

    Kaka Joel Mungu akubariki na kukuongeza katika kile unachotufundisha kuna maarifa umeniongezea nilikuwa sina katika kutimiza malengo yangu na tofauti kati ya Rich& wealthy, Mungu akubariki and See you at the Top of Successful….

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 роки тому +1

      Safi sanaaa,tuendelee kujifunza

  • @JoyceTsaxara-y4i
    @JoyceTsaxara-y4i 3 місяці тому

    Yote uliyofundisha ni fact. Barikiwa sn mtumishi wa Mungu.

  • @geraldjoel5727
    @geraldjoel5727 4 роки тому +14

    Brother Joel Asante sana kwa moyo wako huu was kujitolea. Binafsi unanisaidia sana TU, ila nikuombe series ya hizi lecture iendelee

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 роки тому +1

      Sawa, tutajitahidi iendelee

    • @frankgabriely9294
      @frankgabriely9294 4 роки тому

      Kiukweli Joel unatusaidia sana

    • @kpetres2872
      @kpetres2872 4 роки тому

      @@joelnanauka Joel kitabu Cha Timiza malengo nakipataje😥😥.

    • @midundonabitymidundo5019
      @midundonabitymidundo5019 4 роки тому

      Kaka hakika semina zako zinatusaidia sana tunashukuru sana mr joel Kwa elimu yako nzuri sana

  • @jomathmatu5122
    @jomathmatu5122 3 роки тому +1

    Umenisaidia sana .....kuanzia leo 6 sep 2021 nabadilika... baada ya mwaka ninaamin kama niliyoyakusudia yatatimia nitakuwa hatua nzr.

  • @EsitaDombo
    @EsitaDombo 2 місяці тому

    Aminaa mtumishi nitayaishi haya mafunzo yako .miaka mitano mbele sitakuwa hap nilipo now

  • @yusuphkaungo2255
    @yusuphkaungo2255 4 роки тому +16

    Nimekuelewa Sana mwalimu.
    Powerful message 🔥🔥.

  • @mwanaidimsemo6321
    @mwanaidimsemo6321 3 роки тому +2

    Hakika kupitia wewe fikra zangu zimebadilika sana, hata sijutii MB zangu kabisaaaa. Naomba tu kufaham kuhusu semina zako kwa dsm, nahitaji kushiriki moja kwa moja ukumbini🙏 nakuelewa Sana mkuu, nahitaji kujifunza zaid pia

  • @AnnaThom-cj4yt
    @AnnaThom-cj4yt 8 місяців тому

    Asantee sana nanauka Mimi sijawai weza kitu hiki na kinaniumiza sana naitajiii kujifuza zaidi,,

  • @hamissramadhan3484
    @hamissramadhan3484 3 роки тому +2

    dah!! 🤔🤔broo nimekuelewa sana sana asante kwa elim nzuri 🙏🙏

  • @henryjulius1608
    @henryjulius1608 4 роки тому +3

    Kaka Asante sana kwa hili somo natamani liwafikie watu wengi zaidi,Maana ni somo ambalo linagusa maisha ya wengi hasa Vijana,Mungu akubariki sana kaka.

  • @gracesizya8127
    @gracesizya8127 2 роки тому +1

    Ubarikiwe naomba msaada zaidi niko katavi mpanda

  • @TheLuasas
    @TheLuasas 4 роки тому +1

    Nimeguswa sana kabisa!! Nimekupata katika kiwango flani kabisa! Thank you very much!

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 роки тому

      Thanks,karibu Sana Edgar

    • @TheLuasas
      @TheLuasas 4 роки тому

      You’re the kind of man I have been looking for!! You’ve rescued me and my family!! From what I heard and learned, one year from now, I will come to testify!! Thanks my hero!!

    • @juliusjosephy2364
      @juliusjosephy2364 3 роки тому

      Asante sana kk kwa somo lako zuri mungu akubariki

  • @alicekasambala1050
    @alicekasambala1050 3 роки тому +1

    Thanks brother
    Mafundicho mazuri sana
    Nimejifunza kitu apa 🙏

  • @Mosesyona-t9j
    @Mosesyona-t9j Рік тому +1

    Nakuombeaga sana Mungu aendelee kukupa maisha marefu na mazuri maana unafanyika Baraka kwangu na najengeka kil ninapo kusikia mwalim JOEL

  • @shubirarutaihwa4829
    @shubirarutaihwa4829 4 роки тому +1

    Asante kaka nimepata elimu kubwa kwenye mada hii ,nitatumia ili nisonge mbele ,asante

  • @eliasmakeja4827
    @eliasmakeja4827 3 роки тому

    Hahaha!!! tutawapakata vizuri tu masikini mbinguni!!!! ......brother JOEL Mungu akubariki kwa maarifa haya na akuongezee zaidi maarifa zaidi

  • @loycep7785
    @loycep7785 4 роки тому

    Mungu akubariki kwa mafundisho haya ni ya muhimu sana kwetu hasa ktk kizazi chetu Mungu atupe ufahamu na hekima zaidi

  • @ramlamussa9144
    @ramlamussa9144 4 місяці тому

    I wish hizi nondo ningezipata mapema. Ila naamini hakunaga kuchelewa, nitaanzia hapa na nitafika ninakokwenda. Haya tunapata ni zaidi ya madini. Mungu akutunze , akutunze na akutunze tena Noel❤

  • @floraclemence2081
    @floraclemence2081 4 роки тому

    Asante kwa kunifungua akili tena
    Mwaka Jana nilijaribu kufuata kanuni uliyotufundisha ya kutoka kwenye madeni na nimefanikiwa kutoka asante
    Sasa naanza kufanyia kazi somo la leo linanigusa sana.mungu akubariki

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 роки тому

      Wow hongera sana sana Flora. Naomba tuwasiliane zaidi, natamani kusikia zaidi. 0756-094875

  • @ukhtyaminah1183
    @ukhtyaminah1183 2 роки тому +2

    Daaah nina kama 3 days nakufatilia walah ningekufaham mapema wewe na ningekufatilia mapema nahisi ningekuwa mbali ila nafkr wakati sahihi ni sasa wakati wa mafanikio ni sasa asante bro kwa taaluma uliyonayo na unayoitumia kuwapa watu faida mm nilikuwa naomba unielekeze kuhusu matumizi sahihi ya CM maana inanipotezea muda sana

  • @giselamndeme7776
    @giselamndeme7776 Рік тому

    Amen nimebarikiwa SANA kuanzia leo naanza kubadilika

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 3 роки тому

    asanti Joel umenipadishi kiwango kigine kwa mafuzo mazuri na mimi nitayatedeya kazi kuakikisha niweju

  • @PaschalKizale
    @PaschalKizale Рік тому

    Namshukulu rafkiangu saimoni majula kuninionesha kwamba Yuko mwalm mzuri sana wa uchumi ambaye ni joeli nanauka ,nimeanza kuona mabadiliko nilikua siweki akiba Sasa naweka from money formula Mungu akupe afya na uzma tele joeli nafamilia Yako

  • @JemimahChiro
    @JemimahChiro 9 місяців тому +1

    Woooou ni mefunguka macho isee God bless u my brother

  • @nemmymtango3682
    @nemmymtango3682 4 роки тому +1

    Nashukuru sana kwa somo nzuri Mungu azidi kukulinda uendelee na jukumu hili....

  • @SophiaMalley-kw7pi
    @SophiaMalley-kw7pi Рік тому

    Ww ni mwalimu mzuri sana umenifundisha mambo makubwa ktk maisha yangu

  • @stamiliomari4085
    @stamiliomari4085 4 роки тому +1

    Ndugu nanauka mungu akuweke umenibadirisha Sana kwa elimu zako Asante Sana Tena Sana

  • @daniellepari4525
    @daniellepari4525 2 роки тому

    Ahsante sana ndugu joel Nanauka kwa elimu nzuri mungu akubariki

  • @frankmangera9599
    @frankmangera9599 2 роки тому

    Nothing to say more than Be Blessed Brother Nanauka.
    It's true I was on my way to resign job coz of not having vision and Debt in Some Microfinance business

  • @WANDWI-fn3uq
    @WANDWI-fn3uq 7 місяців тому +2

    habari mimi ni Julius Wandwi, namiliki duka la matumizi madogomadogo ya nyumbani, najitahidi kukufuatilia kaka hizi kanunu nataman kuzifuata, nashindwa sehem moja tu kujua kwa siku naingiza shingap kamafaida out of capital ili niweze kuzifuata kanuni hizi kwa uzuri maana pia inanishinda kupanga budget

  • @Haleem_07
    @Haleem_07 4 роки тому +4

    Yaan Mr. Joel nanauka apewe uongoz sehemu yoyote ile bas lazima uoene mabadiliko... 🔥 🔥 🤝🏻 🤝🏻🤝🏻🤝🏻 from zanzibar... Karibu NGULIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.... 🤝🏻 🤝🏻🤝🏻🤝🏻

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 роки тому

      Nashukuru sana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 naamini nitakuja Zanzibar na tutaonana.

    • @ramadhanrashidali7056
      @ramadhanrashidali7056 4 роки тому

      @@joelnanauka inshaallah tunakusubir ..God bless you

    • @nrwawanndeny7394
      @nrwawanndeny7394 4 роки тому

      Hapana jamani bwana huyu asifungwe na chochote ili aweze kuwahudumia watu wote bila mipaka.Kaka Mungu akubariki,asiuache mguu wako usogezwe yeye akulindaye.

  • @shukurobson1201
    @shukurobson1201 3 роки тому +1

    Daaaah bro congralation for ur education maan nimejivunza ving xn kwa somo hili kiukwel kbx, mungu akujalie kwa kila jambo me naitwa Shukuru Robson Philip

  • @yunusmbaroukmbarouk5150
    @yunusmbaroukmbarouk5150 2 роки тому +2

    Jambo la kushkuru ni kwmba nimeyasoma haya kwenye vitabu vingi vya Mwalimu wa Fedha, Mr Robert Thero KIYOSAKI bado nipo na miaka 21 tu sasa iv na kuyaelewa mengi, pia kwenye Video hii nimejikumbusha yale nilioyasoma kwenye vitabu vyake💯I hope one day kwa uwezo wa Mungu tutafanikiwa🤲🏻Ushauri wangu usione uvivu kusoma kitabu. Noa ubongo wako kwa kuupa madini mengi kutokana na vipaombele vyako

  • @mussadionizi9418
    @mussadionizi9418 3 роки тому +3

    Ahsante sana kaka Nanauka nimefanya jambo kupitia kazi zako siku moja nitakuambia.Ushuhuda huu wa mafanikio

  • @lujjibondo3182
    @lujjibondo3182 4 роки тому +2

    Nakupenda sana ankoo...kwsabab unatu inspire na kufany vtu flan ambavyo vinafaid km business....am apresiate u🙌

  • @RamadhanMtaki-sw1gx
    @RamadhanMtaki-sw1gx Рік тому +1

    💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯 asante Sana mkubwa Kwa somo lako na mungu hakutie nguvu huzidi kutufundisha

  • @happymbogo1885
    @happymbogo1885 4 роки тому +4

    Mungu akubalik,i kaka Joel kwa elimu kubwa saana uliyotupatia.

  • @mercyhenry1054
    @mercyhenry1054 3 роки тому

    Asante kwa mafundisho yako ,,,mungu akubariki

  • @zizuhmanizo2570
    @zizuhmanizo2570 4 роки тому +1

    Mungu akulipe kheri sikupata kujifunza vitu vakimsingi kamahivi tangia nimeanza kujifunza mungu akupe umrimrefu uzidi kutufunza

  • @haseanatnsanya2079
    @haseanatnsanya2079 3 роки тому

    Asante sana mungu awazidishie kher nyingi na baraka nyngi ktk kaz zako

  • @mohamedkudura8114
    @mohamedkudura8114 2 роки тому

    Allah akulipe kheri,nafurahia elimu yako na umeamsha ndoto zangu nyingi

  • @salehemhedu4578
    @salehemhedu4578 4 роки тому

    Ahsante sana mwl nimeipata sna naitaji kujifunza zaidi kutoka kwako ahsante

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 3 роки тому

    Joel nakupenda sana, namshukuru Mungu kwa kukuleta duniani na hata ukawa na kipaji ulicho nacho, mazungumzo yako ni mafunzo na faraja kwa kila anaekusikiliza. Ubarikiwe sana.

  • @chieffofofoodinternational4102

    thank you nimejifunza kitu kwako mungu akubariki

  • @HassanAhmadi-p6l
    @HassanAhmadi-p6l 4 місяці тому

    Ahsante mwalimu kwa elimu mzuri hata kama nilikua kundi no 1 sasa nitabalika ingawa sikua mbalisana nakundi no 3

  • @mariamwikedzi1638
    @mariamwikedzi1638 10 місяців тому

    Asante sana kwa elimu nzuri ya fedha.

  • @yuscopambakali610
    @yuscopambakali610 2 роки тому +5

    Your course is so mavelous bro God blessing you

  • @yudandugulile4684
    @yudandugulile4684 3 роки тому

    Ubarikiwe sana kwa mafundisho mazuri,maana ninakuelewa vizuri.

  • @patrickadmila9667
    @patrickadmila9667 4 роки тому +3

    Asante sana kaka Joel. Umenifungua akili. Mungu akubariki

  • @michaelgodrich9752
    @michaelgodrich9752 2 місяці тому

    Im a wealth man ⏳, ur always my life coach and mentor (2024)

  • @rehemadavid2680
    @rehemadavid2680 2 роки тому

    Asante sana kaka yangu mm ni mwanafunzi ninashukuru kwa somo lako nilikuwa sina nodamu ya fedha ila kupitia somo lako umenifundisha kitu kikubwa sana nashukuru

  • @aminaibrahim3656
    @aminaibrahim3656 3 роки тому +7

    Nikiwa Niko down nikikusikiliza najiona tajiri maneno yako Ni dhahabu kwangu may Lord bless you always and your family

  • @reineskomugisha8653
    @reineskomugisha8653 2 роки тому +1

    asante sana kwa mafundisho yako mazuri

  • @saidmalifedha4140
    @saidmalifedha4140 4 роки тому

    Andante Sana kaka J. Nanauka Kwan somo La jinsi ya kuweka malengo Natakas kitabu cha Somo hilo

  • @olivermfinanga1268
    @olivermfinanga1268 3 роки тому

    Ishi maisha marefu Mungu ajitwalie utukufu kupitia hay mafunzo maisha ya wengi yatabadilika🙏🙏

  • @AbediKalunda-nf9vc
    @AbediKalunda-nf9vc 2 місяці тому

    Mpendwa Joel.Mungu akubariki .

  • @SalmaSalma-sd5we
    @SalmaSalma-sd5we 4 роки тому

    Shukran sana nakufuatilia sana nami nitakuletea matokeo yangu

  • @mariamhinda6710
    @mariamhinda6710 4 роки тому +1

    Asante kwa somo zur naahid kufanyia kazi na nitatoa ushuhuda

    • @mwanaidimsemo6321
      @mwanaidimsemo6321 3 роки тому

      Mie ninao ushuhuda mwingi tu kupitia yeye, mungu ambarik sana kiongoz huyu jamani🙏

  • @mteuleteuamt5831
    @mteuleteuamt5831 2 роки тому

    Aisee Mungu akutunza unatuvusha wengi kwa Elimu hii.

  • @hdjirungakashililika7538
    @hdjirungakashililika7538 4 роки тому +2

    Sina zawadi kubwa ya kukupa, Ila mungu azidi kukupa nguvu, weredi na maisha malefu.mana Umekuwa msaada mkubwa kwa vijana, mabinti, baba zetu na mama zetu kwenye mfumo mzima wa maisha yetu .mungu akuupe maisha malefu

  • @FatumaLichali-pv2uz
    @FatumaLichali-pv2uz Рік тому

    Du ubalikiwe kaka naamini hata ukiwa na kiasi kidogo chapesa unaweza kujenga .kitu kikubwa ni kujua malengo yako nn ,na mm kuanzia leo nafuatilia mafunzo yako naamini nitayafikia malengo yangu ya huu mwaka.asante

  • @mussamgande2530
    @mussamgande2530 3 роки тому

    Nashukuru Sana umenifunza mengi ndugu nitabadilika kuanzia leo hii

  • @charlesoputi7101
    @charlesoputi7101 Рік тому +2

    Watching for 3rd time and still learning @kenya

  • @vumiliajulias6625
    @vumiliajulias6625 Рік тому

    Nakushukuru kwaushauri.ambaonimekuwa.naupata kwako.ubarikiwe
    ..

  • @abrahammeatui3897
    @abrahammeatui3897 4 роки тому +2

    Mungu akubariki bwana Joel akupe maisha marefu ili ubakie kutufundishe

  • @kambaamina5256
    @kambaamina5256 2 роки тому

    Natamani kukusikiliza mda wote .barikiwa sana

  • @richardkamaumungwe9633
    @richardkamaumungwe9633 4 роки тому +4

    Thanks alot sir Joel..this is a wonderfully moment ihv bn experience today.great teaching sir..be bblesd alot sir Joel for ua teaching..

  • @omarmohamednur645
    @omarmohamednur645 2 роки тому

    Shukran ndugu mungu akuongezee killa laa kheeri🙏

  • @allysuleiman6022
    @allysuleiman6022 4 роки тому +2

    Dar? Kaka asante sana nimekufahamu hata nammi nimuathirika na ninajis nilishapoteza mda but mada yko imenipa nguvu

  • @martinmollel1423
    @martinmollel1423 2 роки тому

    God bless you, nimepata darasa kubwa sana

  • @petermsangi2701
    @petermsangi2701 Рік тому +1

    Be blessed for what your doing ..

  • @forrochars3660
    @forrochars3660 4 роки тому +2

    kk joel nimekuelewa sana nashukuru kwa somo zuri

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 роки тому

      Ahsante Sana tuendelee kujifunza

  • @FatumaThobias
    @FatumaThobias Рік тому

    Ubarikiwe , kiukwel umenitoa gizani,

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 2 роки тому

    Ubarikiwe sana sana kwa mafundisho mazuri

  • @FarajChijendi-ig8zc
    @FarajChijendi-ig8zc 7 місяців тому

    Unakitu Cha kipekee Kaka your blessing

  • @saumuyahaya8959
    @saumuyahaya8959 Рік тому

    Kaka mungu akupe umri mrefu uweze kutuelimisha zaidi mm nilikuwa kundi la watu wa kwaza kabisa umasikini ulikuwa unaninyatia japo napata pesa Sasa tangia nikusikilize navuka hapo nakundi la pili navuka naend kundi la Tatu nizalisheeèee Asante sana kaka shukran kwa Allah