KAULI YA MWISHO YA HAYATI RAIS MAGUFULI KWENYE DARAJA LILILOPEWA JINA LAKE 'JPM BRIDGE'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 бер 2021
  • Dec 28, 2020 hii ndio ilikuwa siku ya mwisho kwa Hayati Rais Magufuli kupita mkoa wa Mwanza na kukagua Daraja lililopewa jina la JPM linalojengwa kati ya Kigongo - Busisi ambalo litakuwa Daraja refu Afrika Mashariki na Kati lenye kilometa 3.2

КОМЕНТАРІ • 136

  • @philiminimmao9338
    @philiminimmao9338 2 роки тому +1

    I'm speechless when I look at u

  • @LUXWAYNETV
    @LUXWAYNETV 3 роки тому +11

    Daaahh kweli uliandaliwa na Mungu kuja kuokoa watu wa nchi yako...R.I.P rais mpendwa wa nchi yetu Tz

  • @stanleykadu3566
    @stanleykadu3566 3 роки тому +2

    Tutakukumbuka Sana Baba,lala salama,mwendo umeumaliza,pumzika kwa Amani.

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 роки тому +3

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty

  • @ShadrackSamson

    The legend

  • @tatunjenje5365
    @tatunjenje5365 3 роки тому +6

    Innalillah wainna illayh Rajiun.

  • @edwardchacha711
    @edwardchacha711 2 роки тому

    Nitakukumbuka maisha yangu yote hapa duniani mpendwa wngu rafiki yangu kiukweli inauma Sana hatuamini wengi wa mamilioni ya waafrika kuwa haupo tulikuwa tunakuombea Sana ukiwa hai niimani yangu Mungu amekuweka sehem sahihi Amina

  • @starridge3615
    @starridge3615 3 роки тому +14

    Mtanikumbuk kwa Mazuri, tuijenge bridge yake kwa kumbukumbu LA heshima

  • @jamalkhedira2398
    @jamalkhedira2398 3 роки тому +4

    HE WAS EVER SMILING

  • @amepotea
    @amepotea 3 роки тому +5

    Baba wa baraka milele African twakupenda...pumzikwa amani Baba.

  • @etemesiedward1508
    @etemesiedward1508 3 роки тому +2

    Nkuheshimu milele mkombozi wa Tanzania kwetu I love the solace of africa

  • @dainesgebo6178
    @dainesgebo6178 2 роки тому +1

    Huyu mama ni mnafiki sana ila mungu yupo jpm lala salama bb

  • @Yrnmendezz
    @Yrnmendezz 3 роки тому +8

    R.I.P OUR FATHER

  • @genovevagowota4716
    @genovevagowota4716 3 роки тому +5

    Nitamkumbuk shujaa wangu kwa mengi sana,pumzika kwa amani shujaa.

  • @clementinajoseph3660
    @clementinajoseph3660 2 роки тому +1

    Baba tuta kukumbuka daima

  • @samuelokoed3701
    @samuelokoed3701 3 роки тому +1

    Lala salama baba

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 3 роки тому +1

    Kifo chako ni hasara kubwa sana japo kazi ya mungu aina makosa lala salama baba leo hii hata viongozi wa mpira wameanza kufanya yao duu amakweli tutakukumbuka kwa mema sio mabaya

  • @feimohach
    @feimohach 3 роки тому +8

    InshaAllah litakamilika baba, pumzika, Mola ako nasi!

  • @newenock5743
    @newenock5743 3 роки тому +1

    We gonna micc you magufuli hakika naumia sana amka uone pengo ulilo liacha halizibiki nakupenda magufuli

  • @BoniphacejonasJonas-rr4pp

    Dahhh kifo aichagui yn kila mtu anapita nae