Huwa natamani sana kusikia maswali ya mama kwa mkuu wa majeshi aonapo movie hizi kaliii live 😂😂😂 Hongera kwa wanajeshi wetu,hongera kwa mama nchi imetulia chini ya uongozi wake... Afya njema na maisha marefu kwako Rais wetu ameeeen
Heeeeee ngonjera ipo sk tutajamba. 😂😂😂😂 EXTRACTION. Hyo sk tutaweza kudifine vzr. Serikali iweke kipaumbele na kuimalisha vyombo vya dollar sio sanaa hivi tu. Jeshi la chini lieleweke na jeshi la anga lieleweke maendeleo yake, chuma zinaunguruma utatoka kwa EXTRACTION kwl❤ TZ
Sherehe zimefana ila kubwa kuliko yote ni uhodari wa jeshi letu limetuonyesha ufanisi wa kazi wa hali juu sanaa, naomba mungu aendelee kuwapa nguvu, maarifa na afya ili tuendelee kuwa juu zaidi na zaidi(NIMEFURAHI SANA)
Hapa jwtz wanacherehesha tu ili maazimisho yapendeze mwingine akiona hiyo helicopter moyo wake unafurahi ingekuwa vita hapo uwanjani wote wangekimbia na wengi wangezimia watanzania tulipende jeshi letu kwani ndiyo letu wewe unaebeza SI upime kina cha maji harafu utajuwa kama Mzee Nyerere alikosea au hakukosea kuunda hili jeshi .
Mapenzi mabaya kweli hivi hamars wana mateka na urusi pamoja kuws na jeshi bora duniani jumlisha washirika wake wameshindwa haya ni mazingaombwe kuiwalisia haipo ongera mapinduzi
Nirahisi sana vitu wanavyo vifanya japo sisi hatujui ila nirahisi mmno huwezi kumuokoa mtu kirahis vile et mateka jashikiriwa analindwa na mtu mmoja wee uliskiia waapi broo inatakiwa mtuoneshe mifano hai mpaka rahis mwenyew akubaari
Mungu ni mwanzo na mwisho🙏🙏🔥
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 ♥️
MUNGU ni mwema hongera Sana kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana
Huwa natamani sana kusikia maswali ya mama kwa mkuu wa majeshi aonapo movie hizi kaliii live 😂😂😂
Hongera kwa wanajeshi wetu,hongera kwa mama nchi imetulia chini ya uongozi wake...
Afya njema na maisha marefu kwako Rais wetu ameeeen
Nice pitch here...
Kazi njema,Mungu azidi kuwatunza daima
Wamejitahidi sana na hongeren majeshi yetu kwa kazi nzuri mmejitoa vilivyo
Hatari sana jeshi letu mungu azidi kuwalinde
Naipenda nchi yangu Tanzania 🇹🇿 ❤
Kwa Izo Comedy zao😂😂😂
@@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Fanya na ww hyo comedy
Acha dharau
Nyie ndo ambao mkiskia sauti ya risasi tu mnaanza kuhaha
Muongo huipendi nchi yako no TANGANYIKA znz haikuusu
Hizi n comedy naona😂
Heeeeee ngonjera ipo sk tutajamba. 😂😂😂😂 EXTRACTION. Hyo sk tutaweza kudifine vzr. Serikali iweke kipaumbele na kuimalisha vyombo vya dollar sio sanaa hivi tu. Jeshi la chini lieleweke na jeshi la anga lieleweke maendeleo yake, chuma zinaunguruma utatoka kwa EXTRACTION kwl❤ TZ
Sherehe zimefana ila kubwa kuliko yote ni uhodari wa jeshi letu limetuonyesha ufanisi wa kazi wa hali juu sanaa, naomba mungu aendelee kuwapa nguvu, maarifa na afya ili tuendelee kuwa juu zaidi na zaidi(NIMEFURAHI SANA)
Interesting. Love from Kenya
nataman kuwa mwanajeshi one day
Natamani kujua KIGEZO Cha muda, umakini na Kasi katika jukumu la uwokozi ukitizama hii demo naona hivi VIGEZO vinapungua naomba kuelimishwa
Hapa jwtz wanacherehesha tu ili maazimisho yapendeze mwingine akiona hiyo helicopter moyo wake unafurahi ingekuwa vita hapo uwanjani wote wangekimbia na wengi wangezimia watanzania tulipende jeshi letu kwani ndiyo letu wewe unaebeza SI upime kina cha maji harafu utajuwa kama Mzee Nyerere alikosea au hakukosea kuunda hili jeshi .
very nice
Nawapenda Sana
Naomba Mungu tu anipe mume mjeshi mimi❤
Unataka tutangaze mbinu za siri ya nchi yetu ili ituumize iyo ni furaya yetu sisi tu wananchi ila sio kwasbb ya vita
Walansi za siri, ni very common
Hapo sawa nakubaari wapo sahihi kabisa
Yaan adui awaangalie bila kufyatua risasi😂😂😂
😂😂😂😂😂
❤ vipi
Mimi ni mburundi ila naipenda Tanzania sn
M nlipenda wanajeshi ndo muigize muv za kivita tanzania ningezipenda sana
Njoeni Mozambique mule chuma😂😂
Hongereni Wana jeshi letu la tz kwa kituonyesha uhodari wenu nawaponeza sana tu.
Kwa mwendo wa izo NDEGE si ingekuwa zimesha dunguliwa
Tanzania salama iko fulu kiulinzi
Vizuri sana makomando
Bado tuko nyuma ela mnapeleka wapi maneno ming ma viffaaa ya kizaman
Natamani waje na Idia nyingine mahana hii tumeizoea toka Enzi jk nyerere
😂😂😂😂😂hii movie ya dj afro hapa kenya
Nendeni Gaza mkafanyie practical😂
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣you pple you gonna kill me ooohh
Wapo congo sudan na kwengneko.
Ni hatari na nusu
Je kungekuwapo na bomu la ardhini wangefanyaje kwa sababu hakuna ishara yeyote waliyoonyesha hususani upekuzi wa mabomu
😂😂😂 DRCongo 🇨🇩
Iyi onyesho iliwashinda jm
Tanzania mnakuanga na vituko sana, hiyo nn mnafanya kusema kweli?
Wafany nn hawa sasa hivyo hericopt mpk ifik kutuw si ishatunguliw zaman akkaaaa hawa hasa wachekeshaa
Ila wabongo hawajawah kuwa seriously
Mko na mchezo nyinyi, polepole namna hiyo
Sawa kabisa
Matumizi mabaya ya fedha
Ee mungu saidia inchi yetu
😂😂😂😂😂wahuni 2 hawa😂😂😂
Kwa izi mbinu zetu waafrika na technology ya sasa tunaweza kuwa tunapigika kila siku maana toka kwa nyerere ni ivi ivi tuu😅😅
Ahahahaha
Nunueni Black Hawk helicopter za Marekani zisizo na sauti,mwulizeni Osama kilichomkuta.
@@pennymahombo9528😂😂😂😂kwn marehemu huwa wanaongea nowadays
Kwenye mbinu za uokoaji type mbinu mpya tofuati na hizo za ndege au gari ? Au kuna nchi wanatumia roboti punguza ujuaji😂
Awee watakufa saana tusiombee
Certified well improve d
Yaaaan hapo badooooooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nchi bwana tucheke tuongeze siku za kuishi
Mpk kufungua na kufunga hayo makamba si washapigwa shaba woot hao
Mimi najiuliza izi herikopita mbona sikuziona kipindi ndege imezama bukoba ? Yaan Mungu atusaidie sana😢
Hamna kitu humu
Mungu ibariki nchi yangu Tanzania
😆😆😆😆kama hivi ndivyo tunavyoweza kuokolewa kutoka mikononi mwa adui,
Basi tutaokolewa sote tukiwa maiti.
Ila Bongo kuna vituko
Ukiwa hujui kitu usicoment
Mapenzi mabaya kweli hivi hamars wana mateka na urusi pamoja kuws na jeshi bora duniani jumlisha washirika wake wameshindwa haya ni mazingaombwe kuiwalisia haipo ongera mapinduzi
Nipe mbinu nyingine tofauti na hiyo inayotumika kuokoa watu ? Hawa kuna nchi umeona wanapeleka maroboti ? Punguza ujuaji😂
😂😂😂😂,,hizi ni vituko gani jameni
@@AbdulatifSaidykuna mbinu nyingi sana, hii ni common mno among sf community huko dunian si kitu kipya
Kama Osama alovyokamatwa... hao askari waende Israel kutafuta mwili wa Joshua
Wazee wa gaza wasinge waacha mnimginie hivyo
Jeshi hatari Africa
Hao watekaji Watakywa wapi HADI muingie kilaini hivyo
Kumbe walioteka waarabu koko😅😅😅😅😅😅😅 ila naipenda nchi yangu. Mapunduzi daima
Nilikua sipo sikia bodoo BADOOOOO BADOOOOO BADOOOOO BADOOOOO sanaaa😆😆😆😆 Yani BADOOOOO
Sasa mbn hawagawi wastan kwa idadi
Mhh lkn hiyo faili ya makomando inaenda wote wameangalia mbele, hakuna anaeangalia nyuma
🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡❤️🤝🤝🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿naipenda sana taifa langu😊
Wenzetu walishatoka uku ni aibu kuonyesha COMEDY kama hz nenden mkasome mje mlinde taifa kwa ustad co vituko vyenu hv
Harmonize ye alitua na makalio😢😢😢
"Daima naimpenda nchi yangu 🇹🇿♥️
Nakubari wajeda
Impressive, kazi nzuri
Tanzania chi yetu tunaipenda lakini sio kwa ujinga huu
Hongera sana JW
Mbona wanaangalia mbele tu??! Adui akitokea NYUMA si kwisha habari yao😂
Tuombe mechi ya kirafiki ya kivita na congo
One day yes
Kazi zuri kweri
Eti matek Matumizi mabaya ya rasilimali na kodi za wananchi
Waliokaa juu ya helkopta wamekaa Kama wanakunywa supu
hii nchi bhana watu wanaonesha claha wao wanashuka na helcpter sas hyo c michezo kam michez mengne
Op entebee ,comoro walifanya hv hv,ongerenii
Mungu ibariki tanzania
Duh😂 hapa mm nitakunya kuhara kutapika mwisho nitazirai nawaeshimu tena sana shikamoon wanajeshi
Kama movie za kituruki😂
My country 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
hiyo filam inatoka lin
Safi sana Tanzania
Mhh naogopa jinsi halikopta jinsi inavuzunguka
Tuonyeshe pia, angekuwa ameshikiliwa na Hamas mngemwokoaje
TZ you have a long way to go, come and train in kenya
Ngoja waione parestina waje kutu test
Kwahyo hapo wapo kwenye anga ya kwako au anga ya adui??😂
Movie za kihindi, uharibifu wa muda wa watu na pesa za walipa kodi, ovyo kabisa
Milele festival since #coming coming
Kwa hii style ndege zitakuwa zishalipuliwa
Umeona wanazingua izo show za kuwaonyesha watoto
😂😂😂😂
Nenda katufute mbinu ya tofauti izo au kuokolewa kupitia gari ulete hapa punguza ujuaji tu😂
Huo ndio ukweli , sai technology ziko very advanced, nani atangojea mfanye hizi vitu wanafanya ama wanadhani ni movie
Wakikutana NA RPG za hamas hawa wamekwisha 😂😂😂😂 hizo style za kwenye movies 😂😂😂
Mbinu izi msije kufanya tutawalilieni 😢😢😢
kweeli broo ni it's very easy
Nirahisi sana vitu wanavyo vifanya japo sisi hatujui ila nirahisi mmno huwezi kumuokoa mtu kirahis vile et mateka jashikiriwa analindwa na mtu mmoja wee uliskiia waapi broo inatakiwa mtuoneshe mifano hai mpaka rahis mwenyew akubaari
Korea kasikazin washatoka huku tubadilike jmn
Acheni kuigiza bro 😅😅 nendeni Congo muone vita vyakweli 😂 iyi niuongo 😂 kufuraishana tu.
Hatar juu yahatar
Nimefikiria Ni mchezo wa watoto
Wafanye mechi ya kirafiki😢na kenya 😂😂
Paulosiria
Naipenda nchi yangu
Sasa hapo si adui anakumaliza
Safi sanaaa..namm ningekuwa ivo.
Mbona wakati wa majanga hawaonekan na herikopta hazionekan