Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MABEYO AFUNGAKA MIAKA MITATU KIFO CHA MAGUFULI 'KULIKUWA NA MAWAZO TOFAUTI, WATU WALISAHAU KATIBA'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 бер 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

КОМЕНТАРІ • 66

  • @dr.solomonolelogilunore9391
    @dr.solomonolelogilunore9391 7 днів тому +1

    Mheshimiwa Mabeyo ni mtulivu sana, nakupenda sana kwa uongozi wako Mungu akubariki sana akupatie afya njema!!

  • @AliAdam-ve4ms
    @AliAdam-ve4ms 3 місяці тому +8

    Da inasikitisha sanaaa mungu ailaze rooh yake mahali pema peponi

  • @elishaworkout6116
    @elishaworkout6116 Місяць тому +2

    Ila kaka unaongea kwa huzuni sana ad inanchoma, me toka magufuli afariki sinaga muda na siasa kabsa na spendi maana saiv imekuwa tofaut sana

  • @ConradMbokosi
    @ConradMbokosi 4 місяці тому

    Asante

  • @YusuphPaul-g2h
    @YusuphPaul-g2h 23 дні тому

    Uhakika anafaa sana Rais we2

  • @user-qc2qf7fe5o
    @user-qc2qf7fe5o 10 днів тому

    Mungu mrehemu mpendwa wetu

  • @MaikoMamboleo-qt9df
    @MaikoMamboleo-qt9df 4 місяці тому +2

    Safi sana

  • @IssaMwaluko
    @IssaMwaluko 4 місяці тому +2

    mungu aisaidie famlly yake amina

  • @philipo6318
    @philipo6318 4 місяці тому +1

    Demokrasia nzuri sana iliyotumika katika kipindi hicho kigumu cha Maombolezo ya Hayati JPM. Mabeo Kongore sana. Ulisimama Imara Sana.

  • @user-nw6nh7yb4q
    @user-nw6nh7yb4q 4 місяці тому +8

    Bas kama VP tumpe nch mabeho

  • @MuhammedSoud-n9u
    @MuhammedSoud-n9u 12 днів тому

    Huyu jamaa anakili sana

  • @user-ex4hi7fj5c
    @user-ex4hi7fj5c 4 місяці тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Sintokaaaa nimsahau Magufuli... Uchungu huwa haushi kwa mtu alyeyafanya mambo tuyaonayo hadi leo😭😭😭😭😭😭

  • @EzekielIongwa
    @EzekielIongwa 19 днів тому

    Baba pole sana hulipoteza mtuwamahana sana Rais wenu najuwa hulistafu kufatana nayeye kuhanga Dunia

  • @EmmanuelJohn-eg9rg
    @EmmanuelJohn-eg9rg 4 місяці тому

    Nilimpenda sana sana rais magufuli yaani kama angekua ni tim ya mpira nathani kwake ningekua shabiki wake ambaye ni wa damu!! Ila mungu kampenda zaidi😢😢😢

  • @lwanjiedna5233
    @lwanjiedna5233 4 місяці тому +3

    Kwa nini mke wake hakuletwa amuuguze labda angepata nafuu jamani🥲

  • @KevinSasati
    @KevinSasati 4 дні тому

    Ni kiongozi wa pili afrika

  • @user-ct2nx1pb8f
    @user-ct2nx1pb8f 21 день тому

    Samia yeye hakuwa❤

  • @temiluyangi6343
    @temiluyangi6343 8 днів тому

    Tumekumis magufuli tunakuombea mungu akupokee

  • @user-pw8xm8gm2u
    @user-pw8xm8gm2u 4 місяці тому +3

    huo usemi unatufundisha nini?sauti ya raisi ni sheria alisema nirudisheni nyumbani mkakataa hamjui kuwa mlimpa stress? Na hao wote umesema walikuwa wametawanyika,nani aliwapa majukumu?

    • @bensonwissa5777
      @bensonwissa5777 4 місяці тому

      Alikua sahihi alitakiwa kufia hapohapo mkuu wa nchi hawezi kufa kienyeji ivo

  • @PendoMwitewe-on3hj
    @PendoMwitewe-on3hj 4 місяці тому

    Nilimwamini Sana . Nanilimuelewa . Amefanyamakubwa kwa macho tunayaona. Mungu amlinde

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 4 місяці тому

    Haya mambo tuyayachokoza hayawezi tusadia watanzania sababu maisha ya makufuli yashapita kinachofuata ni kimuweka mabeyo ktk maswali mengi ambayo mabeyo hawezi kuyajibu kwa nn haya ni mambo ndani ya team ya ccm ktk utawala wao makufuli akiwa mwenyekiti wa ccm mabeyo ni mkuu wa majeshi sio team ya ccm km mwenyekiti wa ccm leadership tumuache tusitafute kumuweke ktk wakati mgumu badala yake mabeyo anaweza kujikuta tayari yuko ndani ya pressure ktk maneno yake kutoa maelezo juu ya makufuli kifo Chake

  • @DaniKadaga
    @DaniKadaga 3 місяці тому

    Goody xong

  • @mwabimulungamulungamwabi7201
    @mwabimulungamulungamwabi7201 3 місяці тому +2

    nashanga sana kwanini alipumunzikisha tu baada ya mangufuli kufa? hapo kuna swali

    • @mymuhnabdallahshaban7763
      @mymuhnabdallahshaban7763 20 днів тому

      Ndio sababu rais mpya anateuwa wasimamizi wake wapya ana hiari kubaki na wal3 au kutueuwa wengn Kwan wwe tangu afe magufuli umewah kumuona yule alokuwa akikaa nyuma ya magufuli yule mlinzi wake si mama Samia kateuwa wake yy anayemhitaj

  • @temiluyangi6343
    @temiluyangi6343 8 днів тому

    Pumzika kwa aman magufuli

  • @ObediKinkusha-gq8fw
    @ObediKinkusha-gq8fw 4 місяці тому +1

    Hao walioisahau katiba walikuwa akina nani na nini yalikuwa maoni yao?

  • @user-pw8xm8gm2u
    @user-pw8xm8gm2u 4 місяці тому

    Tunaumia sana

  • @OmaryHamisi-fz7hq
    @OmaryHamisi-fz7hq 2 місяці тому

    😢😢😢

  • @KitoTitus
    @KitoTitus 3 дні тому

    Unacheka mazuri

  • @user-yg9fh9sj1w
    @user-yg9fh9sj1w 2 місяці тому

    Nimependa Jins anavojua kuelezea mambo

  • @SiriOmari
    @SiriOmari 4 місяці тому

    😭😭😭

  • @user-ne7cl4cx9o
    @user-ne7cl4cx9o 4 місяці тому

    Makamu wa Rais yupo Tanga, Waziri Mku Dodoma ama somewhere else na Katibu Mkuu Kiongozi Dodoma......yaani wote hawana shughuli kutwa nzima Rais alipokua anaugua? CDF Mabeyo yanaumiza hayo kwani Kuna hisia za jama fiche hapo. Hata mke wake aliyefaa kua karibu zaidi hayupo.
    Yanaumiza haya, tulipenda Rais Magufuli Sana.

  • @EzekielIongwa
    @EzekielIongwa 19 днів тому

    Hawa wakina kikwete joo waliyo muhuwa Makufuli pamoja na mchezi wa chadema uyo wenu Tundu Lissu.

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 4 місяці тому +1

    Baba wewe ni mwamba, mwenyezi MUNGU awe pamoja nawe. Akupe miaka mingi na heri duniani.

  • @elishaworkout6116
    @elishaworkout6116 Місяць тому

    Kwa sasa nchi imekuwa na miladi mingi isioisha wapigaji tu

  • @shadymsigwa
    @shadymsigwa 4 місяці тому +2

    Duuuuh mungu saidia taifa rangu

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 4 місяці тому +1

    mabeyo wewe ni jembe hukuyumbishwa hukuteteleka mpaka sasa simamia kikamilifu kwa ktengo ulicho nacho mungu akulinde

  • @ErnestMeshack
    @ErnestMeshack 2 місяці тому

    .
    . No❤

  • @HussenMashaka-os9ok
    @HussenMashaka-os9ok 4 місяці тому

    Nikweli Tanzania inashirikiana.

  • @mamahustru
    @mamahustru 12 днів тому +1

    Huyu baba ndo alihakikisha Samia akawa RAISI. Sasa ilikuwaje Samia akamtoa, sijaelewa kwanini mpaka leo.

    • @MustymediaTv
      @MustymediaTv 11 днів тому +1

      Aliomba yeye mwenyewe kustaafu sababu mda wake uliisha wa utumishi wa jeshi

    • @mamahustru
      @mamahustru 10 днів тому

      @@MustymediaTv Asante.
      Maana nilishangaaga sana sababu najua huyu baba, ndo alikomaa katiba ifuatwe na Samia aapishwe. Wengi ndani ya chama walipinga sana ila alikomaa.

  • @fanueledmund6408
    @fanueledmund6408 4 місяці тому +1

    Kwanini hamkumrudisha nyumbani? Kuna siku kilicho pandwa kitaota

  • @omuze1290
    @omuze1290 4 місяці тому +1

    Mnatukumbusha maumivu tuliyokwisha kupoa!

  • @EzekielIongwa
    @EzekielIongwa 19 днів тому

    Kweli milipoteza kambisa jembe kweli kweli

  • @livematchcentre21
    @livematchcentre21 4 місяці тому

    Moyo wa kizarendo

  • @OmaryHamisi-fz7hq
    @OmaryHamisi-fz7hq 2 місяці тому

    Hakika duniya ime jaa wa nafika kuda deki machoni kama watu

  • @esterlogose
    @esterlogose 2 місяці тому

    Hana lolote ni msakiti

  • @user-hd7zx9ns7q
    @user-hd7zx9ns7q 2 місяці тому

    Ukitaka kujiunga unafanyaje

  • @user-po5mm5vk6d
    @user-po5mm5vk6d 4 місяці тому

    Hakika mchango wake hauto saulika ntawasimulia wajukuu zangu juu ya mama ya hyu aliye chaguliwa na mungu rest in peace magufuri

  • @abeidsanga7361
    @abeidsanga7361 Місяць тому

    Apewe

  • @sandalakabalo5442
    @sandalakabalo5442 4 місяці тому +6

    Mkisema miaka mi3 ya kifo cha maguful kwangu mm naona kama jana2 kwan cwez sahau

  • @edmundphilemon3054
    @edmundphilemon3054 4 місяці тому +1

    Mzee jpm alikufa akililia taifa hili 😢😢

  • @mapesaevarist9094
    @mapesaevarist9094 4 місяці тому +3

    Huyu mwamba alinyoosha 😂

  • @StanMakambi
    @StanMakambi 23 дні тому

    Uyu mwamba kanyooka

  • @isalamKhasan
    @isalamKhasan Місяць тому

    😂tuna kukunbuka sana

  • @user-pw8xm8gm2u
    @user-pw8xm8gm2u 4 місяці тому +1

    lakini vyombo vya ulinzi mmchunguze mzee wa misoga

  • @user-pw8xm8gm2u
    @user-pw8xm8gm2u 4 місяці тому

    Bado tuna majonzi kuhusu kulala kwa J P M

  • @JosephKowelo
    @JosephKowelo 4 місяці тому

    Natak kuchat na pendo

  • @muhidinishauri3514
    @muhidinishauri3514 7 днів тому

    Hicho kicheko tu !!

  • @AnnaKipetha
    @AnnaKipetha 3 місяці тому

    Hakika watanzania tulishampoteza, jembe,mungu mtangulie huko alipo.