MTOTO ALIYE-TREND KUTAJA MIRADI YA HAYATI MAGUFULI NA MARAIS 50 AONGEA “NIMEUMIA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Mtoto Baraka ambaye ametrend kwa kutaja maRais wa nchi hamsini,miradi aliyoitekeleza hayati Dkt John Magufuli pamoja na baraza la mawaziri wa serikali ya awamu ya tano amezungumzia kifo cha hayati Dkt Magufuli nakusema ameumia sana baada yakupata taarifa ya kifo chake.

КОМЕНТАРІ • 878

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 3 роки тому +35

    Kazi nzuri wazazi Kuna kitu mnakitengeneza na kitawalipa inshallah

  • @leticiamchomvu3623
    @leticiamchomvu3623 3 роки тому +62

    Baraka za Mungu Baba na mwana na Roho Mtakatifu ziwe nawe daima mtoto mzuri uzidi kuwa kichwa na tunda jema katika nchi yetu👏👏👏

  • @lenaosore6710
    @lenaosore6710 3 роки тому +51

    Mimi ata raisi wangu cmjui 🇰🇪 naomba serikali ya tanzania 🇹🇿 wamtunze huyu mtoto hii ni faida kwa tanzania na Africa mzima may God keep you safe and protect from the evil eyes somebody say ameen

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 3 роки тому +34

    Mtoto amenishinda mpaka mim kwahao marais wa nchi za njee mashaalla Allah akupe umri mlefu Rais wa miaka ijayo mungu akutunzee prince

  • @magdalenabenard4208
    @magdalenabenard4208 2 роки тому +8

    Mungu skype maisha marrfu mjukuu wangu akufikishe kwenye ndoto zako mshike sana mungu

  • @ukhutymamuu7470
    @ukhutymamuu7470 3 роки тому +17

    Nimejikuta nalia kwa furaha Allah akukuze vyema mtoto mzuri🙏🥰

  • @otiliahaule5180
    @otiliahaule5180 3 роки тому +5

    Hongera sana mama kwakumzaa huyu mtoto tunatumaini sikumoja atakuwa kiongozi Tunakuombea mtoto wetu baraka Mungu akulinde daima From oman

  • @daviddotto3529
    @daviddotto3529 3 роки тому +129

    Huyu mtoto ni zaidi ya genius ,mfundisheni na kushika dini atasaidia wengi .., nimempenda

    • @thehamsterjourneycooler1792
      @thehamsterjourneycooler1792 3 роки тому +1

      Wow!

    • @user-jk5ir4ke3z
      @user-jk5ir4ke3z 3 роки тому +2

      Mashaalah

    • @user-jk5ir4ke3z
      @user-jk5ir4ke3z 3 роки тому +4

      Mungu amjaalie sana

    • @daviddotto3529
      @daviddotto3529 3 роки тому +4

      @@lampadshigonko3006 umeona nimetaja dini gani hapo uelewa wako ni mdogo?
      Halafu Mimi ni maoni yangu huwezi kuanza kushughulika na mawazo yangu, nawe toa ya kwako na kila mmoja aheshimu mawazo ya mwenzake...naheshimu sana MTU anayemheshimu mwenzake na mawazo yake lakini si kunishambulia tafadhari kaka hunijui sikuji heahima iwepo...

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 3 роки тому +2

      @@daviddotto3529 genius inamuhusu nn ap mbona v2 viwili tofauti usifananishe wa2 ha2fanani

  • @nyabukitundu2929
    @nyabukitundu2929 3 роки тому +25

    Indigo child
    Mzazi yupo busy na mwanawe ktk habari za dunia wengi sisi watz watoto bora asikilize music na kuiba nyimbo za kidunia
    Allah azidi kuwapa maisha marefu wazazi na wafadhiri

  • @oliverben8010
    @oliverben8010 3 роки тому +149

    Wale wenzangu mnaosoma comments , , afu na kati ya hao marais amewataja huyu mtoto hata kumi haufikishi . tujaane jaman

  • @annaemmannuel2101
    @annaemmannuel2101 3 роки тому +6

    Mama nae yuko vizuri, hongera sana mtoto mzuri, Huyu mtoto ni wa pekee sana Mungu amtunze

  • @dr.njipaysophon3209
    @dr.njipaysophon3209 3 роки тому +8

    Tanzania tumejaliwa vipaji sana tatizo tu linakuja kwenye matumizi ya vipaji. Juzi tu tumetoka kumsikia mtoto genius wa hesabu leo hii tena mtoto mwingine genius Mashallah!. Mungu awabariki kwakweli. Ningeomba serikali izidi kuweka mazingira mazuri ya kukuza vipaji hivyo kwa mustakabali wa taifa letu. Pia niwashukuru waandishi wa habari specifically Millard Ayo kwa kuendelea kufichua vipawa hivi adhimu na adimu. God bless Tanzania

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 3 роки тому +10

    Mtangazaji sema mungu bariki. Au sema masha Allah..sio duh

  • @treestem9081
    @treestem9081 3 роки тому +16

    Hongera kwa mtoto huyu mwenye kipaji cha pekee. Ana uweso wa kiliiongoza bara letu. Mola amjaliye yote yaliyo ndotoni mwake.

  • @fatumachagudadui3138
    @fatumachagudadui3138 3 роки тому +127

    Nilichojifunza mama pia yuko samrt anamfundisha Mtoto hakuna Mtoto asokuwa na akili ni ss wazaz tu tunatakiwa kuwawezesha

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 3 роки тому +1

    Hongera sana ayo TV kwa kazi nzuri ya kuvumbua vipaji. Mtoto ana uwezo mkubwa zaidi ya mnavyofikilia.🇹🇿🇸🇪

  • @mitchelljohnson5218
    @mitchelljohnson5218 3 роки тому +12

    Good work congratulation small boy keep it up nimekupenda sana😍

  • @lameckmalima6691
    @lameckmalima6691 3 роки тому +37

    Hakika Tanzania tuna ma genius wengi sana

  • @winifridathomas5081
    @winifridathomas5081 3 роки тому +3

    Kawashida wengi maan mm najuwa malais wangu tu😄😄💝mungu akulinde baraka kutoka kwake km jina lako love you everything day Baraka 🤩🤩🤩👩‍💻

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 3 роки тому +8

    Serikali ina kila sababu za kuwatunza watoto hawa wafikilie tu hilo jambo.
    Mwanangu ubarikiwe sana .
    MUNGU WA MBINGUNI AKULINDE DAIMA.
    AMINA.

  • @rehemambuguni2426
    @rehemambuguni2426 3 роки тому +13

    Huyo mtoto yupo vzr licha ya umakini wa mama yake,mungu amsimamie atimize ndoto zake Amina🇹🇿🙏🙏🙏

  • @godfreyjames8582
    @godfreyjames8582 3 роки тому +39

    Eti mama samia apige moyo konde aisee nakuombea ufanikiwe mwanangu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 3 роки тому +2

      Kweli apige moyo konde

    • @paulomaguhwa8229
      @paulomaguhwa8229 3 роки тому +1

      Mtoto yuko safi sana na mama pia anapambana kuhakikisha mtoto kipaji hakipotei mungu amsaidie sana

    • @tinanyange8000
      @tinanyange8000 3 роки тому +1

      Nimependa kauli yake ni kweli yametokea mama samia apige moyo konde maisha yaendelee watanzania tupo nyuma yake

  • @ruthiekimsy
    @ruthiekimsy 3 роки тому +7

    Jamani mtoto mdogo huyo na kipaji.mungu akuongoze.miaka ijayo utakuwa kiongozi..♥️♥️

  • @omarisarai7699
    @omarisarai7699 3 роки тому +6

    IQ ya huyo mtoto iko juu sana,pamoja na kufundishwa bt kwa umri huo,kukariri vitu kama hivyo my friend inahitaji bongo kubwa,Kijana yupo juu zaidi ya sana,Mungu amlinde na mahasidi na vijicho vya watu

    • @jovinajovin9617
      @jovinajovin9617 3 роки тому +1

      Ya iq yake so ya kawaida watu wanasema eti anafundishwa 😂😂 Ana iq na kipaji bhana

    • @magrethmrangarwe904
      @magrethmrangarwe904 3 роки тому +1

      Pamoja nakufundishwa anakipaji kikubwa mm mwenyewe kwa umri huu siwezi kuyajibu

  • @zou7470
    @zou7470 3 роки тому +18

    Mansh'allah 💕💕mtoto uyu hadi amenitowa macozi ety alitamani akutane na magifuli angoe nae jamani 😭😭😭

    • @cosmassetumbi7693
      @cosmassetumbi7693 3 роки тому +2

      Mimi zee zima hata ukiniuliza rais wa kenya Nani sijui

    • @hildantandu5909
      @hildantandu5909 3 роки тому

      @@cosmassetumbi7693 umeona ee ,Mimi namfahamu wa Kenya,Uganda ,Africa kusini,na Rwanda,wengine watajijua,maswali mengine ndio kabisa.

  • @anahna6788
    @anahna6788 3 роки тому +39

    HUYU NI JPM WETU WA KESHO KUTWA
    MABEBERU WA JIPANGE KWELI KWELI
    NILICHOKIOA KWA HUYU DOGO
    NI KUNASA MANENO YOTE ANAYOFUNDISWA

  • @paulkiokolechipai4228
    @paulkiokolechipai4228 2 роки тому

    Waow nice smrt MUNGU AKUBARIKI SANA MTOTO wetu mungu akusishie NEEMA

  • @bintybaba3486
    @bintybaba3486 3 роки тому +17

    Nimecheka tuu jamani mwanahabari ungepiga tu simu mama akafanya hiyo kazi kkkk

  • @samuelkateo2593
    @samuelkateo2593 2 роки тому +1

    très intelligent cet enfant suis en Rd Congo Kinshasa

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 3 роки тому +1

    😊😊😊
    👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
    Angekuwa Nchi kubwa, angefuatiliwa na kusimamiw kwa karibu kwa sabab ni special kid!

  • @niranikichaka3027
    @niranikichaka3027 3 роки тому +1

    Masha Allah Allah amuongoze ampe elimu yenye manufaa Na ampe afya njema Na umri mrf azingatie heshima

  • @annamwefu8666
    @annamwefu8666 3 роки тому +7

    Woooooow i don't even know all the president around the world in my head but this boy is woooooow 😮

  • @leahparasino9061
    @leahparasino9061 3 роки тому +2

    Mungu wangu sasa kayajuaje jamoon
    Duuh mungu amlinde huyu mtoto ❤❤

  • @roshichocolatee8084
    @roshichocolatee8084 3 роки тому +4

    😭😭😭❤❤mie jmn nahisi kulia kwa furaha tuu mtoto mpaka anatia raha kumskiza😍

  • @feishiks2285
    @feishiks2285 3 роки тому +9

    Awooow good job young boy

  • @nurusaidy7552
    @nurusaidy7552 2 роки тому +1

    Mashallah 🤲🏾 ukasome KAKA mungu akuongoze

  • @shikokings
    @shikokings 3 роки тому +3

    Child Prodigy. should be in high school by now. He will be the next Dr. Magufuri of Tanzania in the next 30years or so to come. His Excellency Hon. Dr. Baraka. I may not be a prophet but In the Mighty name of Jesus, I decree and declare it shall come to pass. Mtoto Baraka, God loves you so much . Nasi hapa Kenya twasema Hongera.

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 3 роки тому +20

    Moyo wa Furahaaa pamoja nami.

  • @samiramahmud406
    @samiramahmud406 3 роки тому +1

    MashaAllah
    Allah Amkuze
    Amjaze Baraka
    Amlinde na Husda za watu
    Allah Amzidishie
    Kipaji chake hadi
    Ukubwani Afanikishe Maleno yake, Amin 🤲❤

  • @gloriajwkamate3854
    @gloriajwkamate3854 2 роки тому

    Thanks to teach children from Tanzania

  • @teresiamwende8606
    @teresiamwende8606 3 роки тому +7

    Yaani huyu mtoto n baraka kama jina lake. Hongera mama na mwanao🙏🙏🙏

  • @alexanderbalars
    @alexanderbalars 3 роки тому +8

    Tanzania has got good talents and brains.waleteni uku Kenya tucheze kama sisi

  • @michiramagadaline1033
    @michiramagadaline1033 3 роки тому +1

    Wow wow amazing baby boy Mungu amupe hiyo kipaji, aendelee hivyo hivyo, na amupe nguvu, mama take care of him be blessed all

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 3 роки тому +3

    Ma sha Allah Allah akurinde na kila shari mtto wang mzr jmn 🤲

  • @dismasichukilizo4433
    @dismasichukilizo4433 3 роки тому +6

    Nimejifunza kwamba Mungu yupo kupitia mtoto huyu
    Mungu amlinde siku moja aje kuwa vile anavyo tamani awe moyoni!

  • @edinesterkijanga6437
    @edinesterkijanga6437 3 роки тому +11

    Aseee mtoto huyu Mungu amlinde Sanaa maana hatari sio kidogo maana anajua mpaka sayari

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 3 роки тому +1

    Majina ya Baraka yana nyota ya kiMagufuli

  • @teresiawachira1034
    @teresiawachira1034 3 роки тому +6

    Wao, God has gifted us differently. This is awesome.

  • @nestor384
    @nestor384 3 роки тому +3

    Wow! Hatare asee🙏🏻 Huyu atakuja kutukomboa wanaume kuwa 'wakalimani'

  • @jlove5238
    @jlove5238 3 роки тому +3

    Mungu wangu 🙌🙌hayo majina ya maraisi wa nchi hizo zote ndio kanishangaza anaakili sana huyu mtoto na itakuwa kalisi kwa mama yake.. ❤

    • @chaulamsemo8778
      @chaulamsemo8778 3 роки тому

      huyu mam yake naye arudi shuleni kwani ni kipaj kilichozikwa!!

  • @fatemaligalawa1918
    @fatemaligalawa1918 3 роки тому +3

    Duuu kwenyeiyo yasayari umenishinda we mwanangu💕💕💕

  • @tumaininestory3063
    @tumaininestory3063 3 роки тому +7

    Sisi weusi tuna akiri sana kuliko wazungu...hii ikiwafikia wazungu watajidharau nakutuheshimu sana.

    • @irakozejclaude7869
      @irakozejclaude7869 3 роки тому

      Hakuna chatukuheshim Wala nini wajinga wakimuona watatupola.na bada utakuja kuskia eti ni mumarekani

    • @shifaaal-baity4503
      @shifaaal-baity4503 3 роки тому

      Hujui kuandika alafu unasema una akiri???????

  • @Sarakassy
    @Sarakassy 3 роки тому +4

    This gives me joy!! Future Africa will be different for sure.

  • @jamesmwinula3005
    @jamesmwinula3005 3 роки тому

    Amina hakaka kjna nmakn xan mungu awenawe akuzdxhie barka zte juu yko

  • @yammyfaith121
    @yammyfaith121 Рік тому

    this boy infact he as challeged me,,congracturations...you are the upcoming king

  • @mahmoudeladen1189
    @mahmoudeladen1189 5 місяців тому

    Mashaallah Mungu akupe umri mrefu wenye kheri na ww ajalie afya kwnye akili yako 😊sor proud ✌🏾

  • @naomifavor2887
    @naomifavor2887 3 роки тому +4

    Glory to God,this child is a great gift

  • @omarisarai7699
    @omarisarai7699 3 роки тому +3

    Mashallah,that boy is great,May God bless him more

  • @neemamassawe4484
    @neemamassawe4484 3 роки тому +4

    Mungu akutunze mtoto nmekupenda bure

  • @ommybrown4833
    @ommybrown4833 3 роки тому +2

    Just epic!👊🇰🇪
    Baraka aka blessings

  • @sainingolemeleny8096
    @sainingolemeleny8096 3 роки тому +2

    Wow that's real talent 😍😍😍

  • @peninamwangi9260
    @peninamwangi9260 3 місяці тому

    That's wonderful , very clever hatari kabisa

  • @cmantz8837
    @cmantz8837 3 роки тому +20

    Niulizeni Mimi hata wakuu wa mikoa mh!! Mtanionea huruma

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 роки тому

    Dah 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️uyu mtt kikichwa sana mashaallah Allah akuongoze vyema👏👏👏

  • @Directorjax55
    @Directorjax55 3 роки тому +1

    Wazaz tuwen bze na watt wetu ili kuwapa saport kuelewa vtu vng Bora mtg akuchukie kwa kuwa na mda kidogo wa kucheza ili apate elim ya nyumban na shulen Amina mtt

  • @abdallamasoud7734
    @abdallamasoud7734 3 роки тому

    Masha Allah Allah akuzidishie kipaji chako mtoto baraka..

  • @zainababdullsadik1247
    @zainababdullsadik1247 3 роки тому +3

    Mashallah allah amlindee

  • @godfreykagoza3534
    @godfreykagoza3534 3 роки тому

    He's very brilliant so wonderful mungu ambariki atimize ndoto zake

  • @carolinkadogojamila7341
    @carolinkadogojamila7341 3 роки тому +4

    Congratulations baby boy

  • @bonekamotella1454
    @bonekamotella1454 Рік тому +1

    May the Almighty bless the Kid

  • @kurayoaikoterrison7754
    @kurayoaikoterrison7754 3 роки тому +1

    Mungu akubariki na akupe maicha marefu umeguza wengi na kuachaa kwa mishangao❣️

  • @halaphaologi8301
    @halaphaologi8301 3 роки тому

    Maashallah Maashallah Allah amjalie siha njema Amina
    Nyota njema

  • @habibamanyanda9868
    @habibamanyanda9868 3 роки тому +8

    Am so proud with this child, may the almighty God protect you. Nothing to say more.

  • @mimitijara4806
    @mimitijara4806 3 роки тому

    Mungu mjalue na amzidishie kipanji chake na urmi na maisha mungu mkubwa haki ange mwambie jpm matatizo ya moyo

  • @nusratbintabdullah5713
    @nusratbintabdullah5713 3 роки тому

    Wow this is soo amazing much love from Uganda greaty boy God bless you more baby boy

  • @geoffreycheruiyot
    @geoffreycheruiyot 2 роки тому

    Wow! What a great man to be?????? God bless you my youngest bro!!!! Wah!!!!!

  • @user-cc4jk1ll5v
    @user-cc4jk1ll5v 6 місяців тому

    Hongera sana babu Mungu aendelee kukutunza hizi nihazinaya taifa

  • @mwanaidimunga9099
    @mwanaidimunga9099 3 роки тому +9

    Ndio marais wa baadae hao Allah ampe afya njema innsha'allah

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 3 роки тому

    Maashaallaah mtoto huyu duuh mungu azidi kukupa maisha marefu

  • @agnesskalinga9915
    @agnesskalinga9915 3 роки тому

    Hongera Sana kwa kweli huyu mtoto ni guinius walah Mungu amjalie maisha marefu, Maghufuli wa baadae Mashaallah. 🤔🤔🤔🤔

  • @nancyndolo4311
    @nancyndolo4311 3 роки тому +2

    Well done👏👏 future leader of tomorrow.

  • @tajimwambole3115
    @tajimwambole3115 3 роки тому +4

    Sio kwa kipaji hichi hadi raha jamani .Mungu mpe mwisho mwema na mafanikio teleeee.duhhh.

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 роки тому

    Mungu ambariki mtoto mzuri mana umeniacha mdomo wazi hongera mzazi Mungu akikuze kipaji chake

  • @hadijamwanana2471
    @hadijamwanana2471 3 роки тому +9

    Nimewapenda wote mama namtoto wote mpo vzr kazi ipo huku nyuma kutwa kuwapost watoto zao wajicheza kisingeli wenyewe wanafurahi nakuona chamaana kwa mtoto hongera dada kwakumnoa mwanao mapema apate kujua vyamuimu

  • @robertstephano9744
    @robertstephano9744 2 роки тому

    Mungu ambariki Yuko vizuri kwakweli

  • @sarajohninsoni2288
    @sarajohninsoni2288 3 роки тому

    Weee mtt duh umenixhinda tbia kaa hongera kwakuzaa genius kaaaah

  • @saudangalleni388
    @saudangalleni388 3 роки тому

    Hongera mama kwa kuzaa genius serikal imuaangalie huyu mtt kipaj kisipotee

  • @magrethkawa4841
    @magrethkawa4841 3 роки тому +1

    Huyu mtoto aina ya Watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili .. yaani Genius kama hayati JPM maana yeye hakuwa na kona kona!!... serikali huyu mtoto ni hazina ya Taifa mlindeni na kumtunza!!!... hongera mama!!!.. hongera na Wazazi wotee mnaolea watoto wenu wotee kwa staili hii na siyo kumpiga mabao na makelele ya matusi...
    Nani kama mama????????💖💖💖💖
    Nakupenda 🇹🇿💖

  • @sharifakitete6140
    @sharifakitete6140 3 роки тому +2

    Hongera mtoto mzuri

  • @aboudal-nabahany5338
    @aboudal-nabahany5338 3 роки тому

    MashaAllah Mungu akuhifadhi na akuzidishie elimu

  • @ebbinetemirundu9429
    @ebbinetemirundu9429 2 роки тому

    May god give yougood life babyboy us you growup

  • @inocentgalinoma9544
    @inocentgalinoma9544 2 роки тому

    Uyu...mtoto...uyuuuuuuu.....❤❤❤❤❤

  • @monicamjera2219
    @monicamjera2219 3 роки тому

    Mashallah...... mungu amfungulie zaidi

  • @karlymathew5500
    @karlymathew5500 2 роки тому

    Nashukuru Mungu Makufuri kaacha watoto watakao jenga taifa na hawa ndio chsguo la Mungu

  • @hillarykimaru4915
    @hillarykimaru4915 3 роки тому

    Thanks mother for teaching your kid . hongera . hapa Kenya watoto ufunzwa na mama zao kupenda baba mkate.Hatari.

  • @carolineajiambo2961
    @carolineajiambo2961 2 роки тому

    wacha mungu aitwe mungu Tazania.walibarikiwa na vipawa

  • @aairahnatalian5241
    @aairahnatalian5241 2 роки тому

    Eeeeeh congratulations baby ...... Shujaaa wa Africa kwelii....you be the president of tz

  • @Ruth.n.o
    @Ruth.n.o 3 роки тому

    Waaaah kweli ako very talented en wise kiongozi wa kesho Majaliwa na hongera mwanangu pia mama hongera kwa kumfunza ila nakuomba mfundishe zaidi kuhusu neno la Mungu ili amjue zaidi jinsi amempa ufahamu upitao akili za wanadamu amuelekeze ktk kila jambo chochea hicho kipaji🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🏻🙏🏻

  • @cizashamavu7964
    @cizashamavu7964 2 роки тому

    felistation mn petit.tres talentueux

  • @samwelhechei8537
    @samwelhechei8537 3 роки тому

    Du!
    Mungu akujalie zaidi