TRENI YA SGR ILIVYOPIGA HONI YA KWANZA IKIINGIA STESHENI YA DODOMA,AISEE NI HISTORIA IMEANDIKWA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 30

  • @TuntufyeBrayson
    @TuntufyeBrayson 5 місяців тому +5

    Baba wa tarifa na JPM ni wazalendo wasio na mfano waheshimiwe sana nae JPM napendekeza ajengewe sanamu Dodoma station Tena nakumbuka na Ile sare yake ya jeshi mungu amlaze mahari pema peponi

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 5 місяців тому +1

    Ila uchawa ni shida😂😂😂😂😂

  • @gosbertbuberwa6198
    @gosbertbuberwa6198 5 місяців тому

    Beni Beni Beni! Nakuita Mara Tatu! TRC Reli TV Ulifanya Niifatilie Bro! Unajua Sanaaaaaaa!

  • @salehsimba5306
    @salehsimba5306 5 місяців тому

    Ben, ulianza toka kwa Magufuli, Mpaka Leo kwa Mama. Hongera sana bro kwa Kazi nzuri!!!!

  • @leonnyntandu4324
    @leonnyntandu4324 5 місяців тому

    Kaka yangu Ben nilikumis sana sana ulinifanya nijiskie fahari sana kufatilia kwa pamoja kuanzia mwanzo na hatimae sasa imetimia sauti yako ushawishi na shauku ya kuona haya mchango wako ni mkubwa sana pokea maua yako💐💐💐💐💐💐🥂🥂🥂🥂🤝🤝🤝🤝🤝

  • @Rivaldo1606
    @Rivaldo1606 5 місяців тому +1

    Mama anatekeleza🔥🔥

    • @sisiniwazalendo6558
      @sisiniwazalendo6558  5 місяців тому +1

      @@Rivaldo1606 hakika

    • @Worldunite
      @Worldunite 5 місяців тому

      Naam, lkn si peke yake, JPM alianzisha lkn sio peke yao, marais wote wametuwezesha kuanzia mwl nyerere hadi rais Samia

    • @Worldunite
      @Worldunite 5 місяців тому

      Tuwape maua yao maraisi wetu wote,bila kumsahau mzee wa HAPA KAZI TUUUU hayati JPM aliyeanza utekelezaji rasmi wa jambo hili

  • @SonofNyanda
    @SonofNyanda 5 місяців тому

    Quality ya video mbaya sana

    • @sisiniwazalendo6558
      @sisiniwazalendo6558  5 місяців тому

      Ahsante sana kaka,tumepokea ushauri na tutafanyia kazi marekebisho

  • @kidsontemba1641
    @kidsontemba1641 5 місяців тому

    Daah BEN MWANANTALA sagi safi kijana good job

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 5 місяців тому

    Bila vipande kuvikuta so asingeanza cndio😢😢😢😢😢

  • @gilbertmwakalebela2862
    @gilbertmwakalebela2862 5 місяців тому +1

    Benny Mwanantala nakupongeza sana kwakua na ww ni mmoja ya watu wenye mchango wao tangu SGR inaanza nilikua nakufatili ukiripot kupitia Reli Tv maendeleo ya mladi kila hatua na hatimae leo mambo yametimia hongra sana kaka.

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 5 місяців тому

    Ben Mwanantala the founder of TRC RELI TV

  • @JosephMasanja-wy7ud
    @JosephMasanja-wy7ud 5 місяців тому

    Jicho la mama nini kwani yeye ndie alieanzisha huo mradi acheni zenu bora ata mgesema bidii za mama

  • @batromeombogo297
    @batromeombogo297 5 місяців тому

    kaka unajua kusimulia aisee daqah

  • @nzigeprofilelives6259
    @nzigeprofilelives6259 5 місяців тому

    We braza unajua Sana ila sijui kwann uliuza Ile Chanel yako uliyoianzisha .

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 5 місяців тому

    RUDI HUKU MWAMBA NDO SEHEMU YAKO HASWAAA. TULIKUMISS BEN

  • @Worldunite
    @Worldunite 5 місяців тому

    Katika jambo hilo tuwape maua yao marais wetu wote, hususan hayati JPM