Masanja Kadogosa ni kiwango kingine kabisa! Chapa kazi msukuma, kazi yako tunaiona. watanzania wote tungekuwa na moyo wa kizalendo kama wa kwako, nchi hii siyo masikini
Twende kazi jamani, tuko nyuma kwa miaka mingi sana. Bado mikoa ya kusini inatudai, Dar-Lindi-Mtwara-Ruvuma reli iguse mbamba bay iambae kuelekea mpaka wa Tz na Malawi iende mpaka mbeya-Rukwa ikaungie Tbr. Inawezekana kabisa tukiweka vipaumbele vyetu vizuri.
Fanyeni KAZI Sisi tunatambia ya uvivu . wakoloni waliweza Kwa nguvu ya Wananchi kuchimba milima Kwa nguvu za watu Leo tuna technology kubwa lakini bado mnalalamika lazima muende na muda sio blabla.
Hela mradi mnazipiga mnamzingua Rais wetu!
Masanja Kadogosa ni kiwango kingine kabisa!
Chapa kazi msukuma, kazi yako tunaiona. watanzania wote tungekuwa na moyo wa kizalendo kama wa kwako, nchi hii siyo masikini
Twende kazi jamani, tuko nyuma kwa miaka mingi sana. Bado mikoa ya kusini inatudai, Dar-Lindi-Mtwara-Ruvuma reli iguse mbamba bay iambae kuelekea mpaka wa Tz na Malawi iende mpaka mbeya-Rukwa ikaungie Tbr. Inawezekana kabisa tukiweka vipaumbele vyetu vizuri.
Serikali haiongozwi kwa imani
Sis tunataka kuona reli inakamilika Imani ya wananchi ndo itakuja
Wazembe nyingi, mvua na mitambo kizuizi kinatoka wap!?. Watanzania huaga hatuhoji nyie kuleni Kodi zetu tu. Wengine wanajenga kwenye maji, Mbona hawalalamiki!?
Hamuna kila kitu
Huyu cjui anaongea nini😅😅😅😅
Train ya sgr hata mzigo wamesema hairuhusiw .... yeye anasifia tu bila break . Au pombe nini ....
Fanyeni KAZI Sisi tunatambia ya uvivu . wakoloni waliweza Kwa nguvu ya Wananchi kuchimba milima Kwa nguvu za watu Leo tuna technology kubwa lakini bado mnalalamika lazima muende na muda sio blabla.
JPM❤
Wachina watamaliza ila waturuki watakuwa wanasuasa
Huyu anaongea nn?😂😂😂
Sasa si Ndio kazi ya serikali kujenga miundo mbinu na huduma za kijamii au serikali ulitaka ifanye Nini ?
Kila siku blah blah huyu afyekwe