Whenever i watch anything about tanzania i cry because it is a country i loved to spend my whole life but unfourtinately am ugandan and it is near impissible cse am 60yrs now
Hongera mama yetu rais nasi tumepokea hongera yako, kazi iiendelee tuna Imani utatenda mazuri zaidi ya hayo, mungu ibariki Tanzania,mungu ibariki rais wetu.❤
Nataman Mh Rais ukatuwakilishe kwenye kiti cha Urais hata miaka 100 maana mimi nikikuona tu nafarijika maana miradi mingi umeikamilisha na bado kuna mimpya umeifanya. Mh Rais Mungu akupe maisha Marefu hapo IKULU.
kwa ukweli Tanzania watumia fedha zao kwa hali nzuri na kupata huduma ya reli ya kisasa na pia ya umeme ,isitoshe mabehewa ya kisasa na natumai wamefanikisha hili kwa kutumia fedha wastani na mapato yatapatikana bila Shaka So Kenya tujifunze kufanya mambo kwa njia bora kwa manufaa ya Taifa
Nampenda mama mnyenyekevu san jmn mungu amtunze I wish siku niongee nae 😂😂mbwa mimi sijui nitaweza kusem ukute nitaishia kulia tu love mom unatuwakilisha vyema❤❤❤❤
Msitudanganye mmemchagulia watu wakukutana nae na nihaohao wakwenye system sio wananch wakawaida kama alivyokuwa anafanya J.p.m kukutana mpaka nawafungwa na iyo miradi niyamwendazake anataka kupatia point kaona uchaguzi wakaribia aende tyu ulaya safari za nje wazungu watampa kura
Huyu msanii kama wengne ameondoka magufuli na yy akiwa makamo wa rais maisha vyakula vilikuwa chipu kaja yy kapandisha kila kitu mnafiki tu tena huyu hanaga ht mpnz na watanzania maisha yengeli kuwa yale yale engenishawish
Mimi sipendi ccm ni chadema damu ila nimegundua kitu uyu mama samia jinsi anavosalimiana na watu anaonekana ni mama mwenye upendo sana nafikili akitumbua wale watu ambao anakuwa amewateua uende wanakuwa wamezungua sana ndio maana anatumbua mungu akulinde mh rais
Nataman Mh Rais ukatuwakilishe kwenye kiti cha Urais hata miaka 100 maana mimi nikikuona tu nafarijika maana miradi mingi umeikamilisha na bado kuna mimpya umeifanya. Mh Rais Mungu akupe maisha Marefu hapo IKULU
RAISI WETU BWANAAAAAA.Kidogo kidogo mwishowe yulleeeeeee.Mijidume inazidi kupagawa tu.Mungu akulinde sana RAISI WETU.
Whenever i watch anything about tanzania i cry because it is a country i loved to spend my whole life but unfourtinately am ugandan and it is near impissible cse am 60yrs now
You can visit
Your warmly welcome, you can always visit😊
Karibu sana
Sisi ni ndugu karibu kwenu🤝🇹🇿
Nampenda saana mama Samia unaupendo Mnyenyekevu . Nakuombea Mama
Mama ana Upendo Sana. Mungu akutunze
Hongera mama yetu rais nasi tumepokea hongera yako, kazi iiendelee tuna Imani utatenda mazuri zaidi ya hayo, mungu ibariki Tanzania,mungu ibariki rais wetu.❤
Nimegundua Mama Samia anampenda huyu Jesca🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Sana sana tu
Angempenda wangemwacha baba yake amalize muda wa utawala wake! Unafiki mtupu!
Upendo upi..maana😅
@@usembiphonedar5632👍🤝🏽😭
Binti wa Kipenzi cha Watanzania...
Mzazi akipanda Mema mtavuna tu..
Utukufu kwa MUNGU 👏✔️💯
Jesca amacheka lkn moyo wake unamambo mengi
Point yako sijaelewa , Anamlaumu Mungu au
Kwa kweli Tanzania ni raha tupu! Asante sana Mama SSH!
Nakupenda mama Samia, Rais wangu mwenyezi mungu akupatie maisha marefu.
Kazi iendelee muheshimiwa raisi wetu
Mtoto wama gufuli❤❤
Nzuri saana Mama Raïsi, na Hongera pia,lakini Kwa Heshima Kubwa, wachilia kuwapeleka peleka mpalange Wapinzani Wako Mama yangu !!!
Mqma Samia mungu akubariki sana na akulinde
Love the President of Tanzania Mama Samia. This Lady is a very humble person. l wish other African Presidents would learn from her.
Mungu ibarik Tanzania, Mwenyezi Mungu mbarik Rais wetu SSH
Amen 😢😢
Mm ni CHADEMA Ila kwa mambo ya maendeleo napongeza. Safi sana.🎉🎉🎉
Maendeleo gan anafanya uyu
Hongera sana Rais Samia. You have made it.
KAZI IENDELEE 👍
Aaante sana magufuli miladi yote uliyo acha imetendewa kazi
Shangazi yetu wa Afrika ya mashariki..twakupenda
Hakika Mungu wetu Ibariki sana TANZANIA.
Tena nilikuwa nae karibu sema tu hakuniona😅😅😅
Wkt wa kurudi nitajitahidi anione .❤❤❤ You Mama.
Jesca Ana bahati sana ya kukutana na mama samia
Allah akupe Kila la kheri Rais wetu mpendwa!
Jescka uko vizuri sana
To be honestly! Nimeshindwa kuelezea upendo wako kwa wananchi. Tukuombee Mungu akulinde ili utuongoze vyema, hongera mama. Tunakupenda watanzania
Hongera mama wetu ❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂uwiiiiiiu
Hongera mama piga kazi Tanzania ipendeze❤
Nilikuchulia...pw...Samia...hongera...m.samia
Hapo mefurahi sana kuona ukiwa na Mmoja wa uanzirishi wa sgr Binti yake jpm
Shikamoo mama Samia❤🙏
Best president of AFRICA
Best kwa familia yako sio kwa africa
Huyo mama pemben inaonekana kafurah sana kukaa na Rais safar yote ya Treni🤗👏
Wa mchongo uyo uwezi kukaa na rais kizembe mzee
Nataman Mh Rais ukatuwakilishe kwenye kiti cha Urais hata miaka 100 maana mimi nikikuona tu nafarijika maana miradi mingi umeikamilisha na bado kuna mimpya umeifanya. Mh Rais Mungu akupe maisha Marefu hapo IKULU.
Ila utambue wmemsaliti babaako
kwa ukweli Tanzania watumia fedha zao kwa hali nzuri na kupata huduma ya reli ya kisasa na pia ya umeme ,isitoshe mabehewa ya kisasa na natumai wamefanikisha hili kwa kutumia fedha wastani na mapato yatapatikana bila Shaka So Kenya tujifunze kufanya mambo kwa njia bora kwa manufaa ya Taifa
Nampenda mama mnyenyekevu san jmn mungu amtunze I wish siku niongee nae 😂😂mbwa mimi sijui nitaweza kusem ukute nitaishia kulia tu love mom unatuwakilisha vyema❤❤❤❤
Mama hongera sana sana kwa hatua hii love sana my mum
❤❤❤
Well done💯
Mama uko vizuri sana , wewe ni mkweli sio wa kujifagilia , kura yangu mi kwako tukijariwa 25
Hivi hao wanawake wana uwezo wa kubaliana na adui
Mtoto wetu jesca tumefurah
Kakuingiza nani ?
Kakuingiza nani huyu ?
Kizazi cha magu
Kesho atateulowa kuwa Waziri maana ccm nchi wameifanya kuwa ni mali ya ccm.
Kweli Rais watu Mama Samia ana upendo sana ningetamani siku Moja nikutane nae
Yaaani SAMIA ULIPO NIPO NIPOOOOOOOO .... Pokea 🎉🎉🎉🎉🎉yako
Checheyii, Checheyii
Mmeisikiya Salamu hiyo Ya KZNZ
basi sawa
Simple Mama
Good mama
Mboniii porisiii awapigiii sarutiii sheriaaa ganiii imetumikaaa apoo
Mlikuwa mmepanga bwanaaa
Sbinadamu wakawaida tu kwanini asiwe na upendo?
Ruto does not have time to do this small act of kindness to people that voted for him
Ruto ndio raisi bora wa east africa wachana na huyu aliyetenga familia ya magufuli mpaka ywauliza nani alimuingiza kumaanish hakutaka awe hapo.
@@Dadu-i6v TZ jOKES NI MAISHA YETU
Unafaa mheshimiwa
Litazimaaaaaa
Msitudanganye mmemchagulia watu wakukutana nae na nihaohao wakwenye system sio wananch wakawaida kama alivyokuwa anafanya J.p.m kukutana mpaka nawafungwa na iyo miradi niyamwendazake anataka kupatia point kaona uchaguzi wakaribia aende tyu ulaya safari za nje wazungu watampa kura
Huyu msanii kama wengne ameondoka magufuli na yy akiwa makamo wa rais maisha vyakula vilikuwa chipu kaja yy kapandisha kila kitu mnafiki tu tena huyu hanaga ht mpnz na watanzania maisha yengeli kuwa yale yale engenishawish
Acha nogwa na chuki wewe
Mimi sipendi ccm ni chadema damu ila nimegundua kitu uyu mama samia jinsi anavosalimiana na watu anaonekana ni mama mwenye upendo sana nafikili akitumbua wale watu ambao anakuwa amewateua uende wanakuwa wamezungua sana ndio maana anatumbua mungu akulinde mh rais
Mimi samia simpend ameruhus ushoga nchi yetu
Ww mshmba xx mali anazoiba atakuwa na kibur bc hana akili lzma ataect
Jessica kafanana na baba yake
Hastaili
Mi chadema lakini nasema nani kama mama
Ww sio chadema ila ni chawa wa ccm
Nime ckia tumemteka
×

😂dah