SISI NI WAZALENDO
SISI NI WAZALENDO
  • 354
  • 528 552

Відео

TRENI YA MCHONGOKO YAPIGA SAFARI YA KWANZA DAR-DOM,HISTORIA YAANDIKWA TANZANIA
Переглядів 1,7 тис.2 місяці тому
TRENI YA MCHONGOKO YAPIGA SAFARI YA KWANZA DAR-DOM,HISTORIA YAANDIKWA TANZANIA
NI RAHISI SANA KUTAMBUA NAMBA YA TAPELI,KAMPENI YA TCRA YAWAFUMBUA MACHO WANANCHI,HAKUNA KUTAPELIWA
Переглядів 1092 місяці тому
NI RAHISI SANA KUTAMBUA NAMBA YA TAPELI,KAMPENI YA TCRA YAWAFUMBUA MACHO WANANCHI,HAKUNA KUTAPELIWA
GOOD NEWS-UCHUMI WA TANZANIA KUPAA KUTOKA 5% ZA SASA HADI 6% IFIKAPO MWAKA 2025 ,AHSANTE DKT.SAMIA
Переглядів 2662 місяці тому
GOOD NEWS-UCHUMI WA TANZANIA KUPAA KUTOKA 5% ZA SASA HADI 6% IFIKAPO MWAKA 2025 ,AHSANTE DKT.SAMIA
DODOMA-UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA,DODOMA WAJA NA DARASA TEMBEZI KUTOA ELIMU,ACHAAA NOMA SANA
Переглядів 1322 місяці тому
DODOMA-UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA,DODOMA WAJA NA DARASA TEMBEZI KUTOA ELIMU,ACHAAA NOMA SANA
CCTTFA-YAFADHILI MRADI WA UTAFITI,KUIWEZESHA TRC KUFANIKISHA UPATIKANAJI MIZIGO KATIKA RELI YA KATI
Переглядів 1783 місяці тому
CCTTFA-YAFADHILI MRADI WA UTAFITI,KUIWEZESHA TRC KUFANIKISHA UPATIKANAJI MIZIGO KATIKA RELI YA KATI
MNARA WA KUONGOZEA NDEGE AIR TRAFIC CONTROL TOWER, UWANJA WA NDEGE MSALATO NI 71%
Переглядів 6604 місяці тому
Video from RAIS WANGU,NCHI YANGU TZ
GOOD NEWZ-UWANJA WA NDEGE WA MSALATO UJENZI NI ZAIDI YA 71%,KAZI INAENDELEA
Переглядів 3,4 тис.5 місяців тому
Video from RAIS WANGU,NCHI YANGU TZ
TRENI YA SGR KUZINDULIWA AGOST 1,DKT SAMIA KUPANDA TRENI DAR HADI DODOMA,KUTUMIA KILOMITA 444
Переглядів 1125 місяців тому
Video from RAIS WANGU,NCHI YANGU TZ
TRENI YA SGR ILIVYOPIGA HONI YA KWANZA IKIINGIA STESHENI YA DODOMA,AISEE NI HISTORIA IMEANDIKWA.
Переглядів 3,8 тис.5 місяців тому
Video from RAIS WANGU,NCHI YANGU TZ
KUFUNGWA MAONESHO 77 NA DKT MWINYI,TCRA YAJIVUNIA KUPOKEA MAMIA YA WANANCHI KUPATA ELIMU YA MITANDAO
Переглядів 455 місяців тому
KUFUNGWA MAONESHO 77 NA DKT MWINYI,TCRA YAJIVUNIA KUPOKEA MAMIA YA WANANCHI KUPATA ELIMU YA MITANDAO
TCRA ILIVYOSHIRIKI UFUNGUZI MAONESHO YA SABASABA ,KAMPENI YA MTANDAO NI FURSA YAGUSA WENGI,WAELIMIKA
Переглядів 555 місяців тому
TCRA ILIVYOSHIRIKI UFUNGUZI MAONESHO YA SABASABA ,KAMPENI YA MTANDAO NI FURSA YAGUSA WENGI,WAELIMIKA
GOOD NEWZ-BURUNDI ILIVYOPEWA ENEO LA UJENZI BANDARI YA KWALA,SASA MIZIGO KUSHUSHWA NA KUPAKIWA HAPO
Переглядів 6 тис.5 місяців тому
GOOD NEWZ-BURUNDI ILIVYOPEWA ENEO LA UJENZI BANDARI YA KWALA,SASA MIZIGO KUSHUSHWA NA KUPAKIWA HAPO
RAIS WA MSUMBIJI MH.NYUSI ALIVYOFUNGUA MAONESHO YA SABASABA,TCRA YAWA KIVUTIO,BANDA LAZUNGUKWA
Переглядів 1495 місяців тому
Document from RAIS WANGU,NCHI YANGU TZ
MKUTANO WA 13 WA NCHI SABA ZA CENTRAL CORRIDOR, WAFANYIKA LUBUMBASHI,ZAMBIA NA MALAWI ZAPEWA BARAKA
Переглядів 1,4 тис.6 місяців тому
MKUTANO WA 13 WA NCHI SABA ZA CENTRAL CORRIDOR, WAFANYIKA LUBUMBASHI,ZAMBIA NA MALAWI ZAPEWA BARAKA
WAZALISHAJI NA WAUZAJI WA MAUA,WAFUNGUKA NAMNA MITANDAO INAVYO WASAIDIA KATIKA BIDHAA ZAO
Переглядів 1056 місяців тому
WAZALISHAJI NA WAUZAJI WA MAUA,WAFUNGUKA NAMNA MITANDAO INAVYO WASAIDIA KATIKA BIDHAA ZAO
AHMED ALLY WA MCHONGO ACHOMOZA NDANI YA BAMBO LA MTAA,USIKOSE WIKI HII NI MOTO SANA
Переглядів 767 місяців тому
AHMED ALLY WA MCHONGO ACHOMOZA NDANI YA BAMBO LA MTAA,USIKOSE WIKI HII NI MOTO SANA
WAMILIKI WA MALORI ,NA MADEREVA WAIPONGEZA CCTTFA KUWEZESHA UBORESHAJI MIUNDOMBINU USHOROBA WA KATI
Переглядів 2357 місяців тому
WAMILIKI WA MALORI ,NA MADEREVA WAIPONGEZA CCTTFA KUWEZESHA UBORESHAJI MIUNDOMBINU USHOROBA WA KATI
WAKUU WA MASHIRIKA YA RELI AFRIKA,MABENKI NA WADAU WA CCTTFA,WATUA TANZANIA KUJIONEA MIUNDOMBINU
Переглядів 3,9 тис.7 місяців тому
WAKUU WA MASHIRIKA YA RELI AFRIKA,MABENKI NA WADAU WA CCTTFA,WATUA TANZANIA KUJIONEA MIUNDOMBINU
MELI YA MV UMOJA ,RELI YA SGR MWANZA VYAWAGUSA WADAU WA MAENDELEO WA UJERUMANI GIZ,USHOROBA NI IMARA
Переглядів 6 тис.7 місяців тому
MELI YA MV UMOJA ,RELI YA SGR MWANZA VYAWAGUSA WADAU WA MAENDELEO WA UJERUMANI GIZ,USHOROBA NI IMARA
UKIPIGIWA SIMU NA NAMBA YA KAWAIDA AKASEMA NI MTOA HUDUMA MPOTEZEE,HAKIKISHA NI 100 TUU,BAKI SALAMA
Переглядів 437 місяців тому
UKIPIGIWA SIMU NA NAMBA YA KAWAIDA AKASEMA NI MTOA HUDUMA MPOTEZEE,HAKIKISHA NI 100 TUU,BAKI SALAMA
WADAU WA NCHI 7 CENTRAL CORRIDOR WAPANDA TRENI YA SGR,BAADA YA MKUTANO WA STACON ,WATOKA DAR-MORO
Переглядів 6 тис.8 місяців тому
WADAU WA NCHI 7 CENTRAL CORRIDOR WAPANDA TRENI YA SGR,BAADA YA MKUTANO WA STACON ,WATOKA DAR-MORO
MTANDAO NI FURSA BAKI SALAMA-BAMBO LA MTAA LAWAKUMBUSHA WANANCHI,FULL KIPINDI NA BEN MWANANTALA
Переглядів 1108 місяців тому
MTANDAO NI FURSA BAKI SALAMA-BAMBO LA MTAA LAWAKUMBUSHA WANANCHI,FULL KIPINDI NA BEN MWANANTALA
ZIARA YA KUKAGUA USHOROBA KWENDA NCHI ZA MALAWI NA ZAMBIA,KUANZIA BANDARI YA DAR,
Переглядів 2,6 тис.9 місяців тому
ZIARA YA KUKAGUA USHOROBA KWENDA NCHI ZA MALAWI NA ZAMBIA,KUANZIA BANDARI YA DAR,
TANDALE YA SASA SIO YA ZAMANI,TAZAMA SOKO JIPYA LA KISASA,BILIONI 12 ZIMETUMIKA,KAZI INAENDELEA
Переглядів 7459 місяців тому
TANDALE YA SASA SIO YA ZAMANI,TAZAMA SOKO JIPYA LA KISASA,BILIONI 12 ZIMETUMIKA,KAZI INAENDELEA
DKT.SAMIA AMEIPAISHA TANZANIA KIDIJITALI,TAZAMA MIAKA 3 YA UONOZI WAKE,BAMBO LA MTAA
Переглядів 1739 місяців тому
DKT.SAMIA AMEIPAISHA TANZANIA KIDIJITALI,TAZAMA MIAKA 3 YA UONOZI WAKE,BAMBO LA MTAA
BAMBO LA MTAA WIKI HII,MITANDAO NI FURSA BAKI SALAMA
Переглядів 179 місяців тому
BAMBO LA MTAA WIKI HII,MITANDAO NI FURSA BAKI SALAMA
TRENI YA SGR YAFANYA TENA JARIBIO LA KIHISTORIA,HIZI NI DALILI NJEMA KWA NCHI ZA CENTRAL CORRIDOR.
Переглядів 17 тис.9 місяців тому
TRENI YA SGR YAFANYA TENA JARIBIO LA KIHISTORIA,HIZI NI DALILI NJEMA KWA NCHI ZA CENTRAL CORRIDOR.
BAMBO LA MTAA,USIKOSE,MAADHIMISHO SIKU YA REDIO DUNIANI,USIKSOE
Переглядів 2910 місяців тому
BAMBO LA MTAA,USIKOSE,MAADHIMISHO SIKU YA REDIO DUNIANI,USIKSOE

КОМЕНТАРІ

  • @hemedrashid2921
    @hemedrashid2921 Місяць тому

    chawaa yuko kwenye chupii yako pimbii mmojaa wewe😂😂😂

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin Місяць тому

    Magu alisema. Tukianza watakuja so ndo hao. Ujerumani china marekani urusi uingeleza

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 2 місяці тому

    Tunateleza

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 2 місяці тому

    Kipya kinyemi, basi tuitunze miundo mbinu yetu hii na hizi treni zetu!

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 2 місяці тому

    Bora umerudi

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 2 місяці тому

    Uchawa

  • @yudaeliud7964
    @yudaeliud7964 2 місяці тому

    R.I.P JPM

  • @gilbertmwakalebela2862
    @gilbertmwakalebela2862 2 місяці тому

    Nafurahi sana nikisikia sauti yako kaka BEN MWANANTALA hii Reli kwa kweli umeipambania tangu siku ya kwanza sasa imekua kweli vitu vinaonekana mimi binafsi natambua sana mchango wako kaka kweli ww ni mzalendo wa kweli Mungu akuzidishie zaidi na zaidi

  • @AminaMasud-w3s
    @AminaMasud-w3s 2 місяці тому

    Ben ulifiti sana TRC kwenye hiki kipindi

  • @reubenalfred9707
    @reubenalfred9707 2 місяці тому

    Ben mwanantala.! Nimefurahi kukuona tena kaka. Nakumbuka route za Arusha

  • @ruhindacostantine2092
    @ruhindacostantine2092 2 місяці тому

    Ben Ben Ben ulipotelea wap hiki kipindi ulikitendea haki sana.naomba TRC Mendelee kutoka vipindi vya miradi mingine inayoendela kama mlivokuwa mmeshatuzoesha kwa dar Dom makutopola nlikuwa mnatoa monthly updates

  • @ebenezerlawuo6667
    @ebenezerlawuo6667 2 місяці тому

    A maiden trip , ilitakiwa kuwa na offer

  • @ibrahimcongeram.806
    @ibrahimcongeram.806 3 місяці тому

    Afrika tunamengi ya kuuza huko maghari na Asian

  • @AmisoMuyohira
    @AmisoMuyohira 3 місяці тому

    Safi sanaa nduguzetu waburundii ongera sanaa 🇹🇿🇧🇮🇧🇮

  • @luqmaniddy742
    @luqmaniddy742 3 місяці тому

    Toeni nyimbo izo mnazingua

  • @Tanzaniakwanza-u4s
    @Tanzaniakwanza-u4s 5 місяців тому

    Excellent work ❤🎉 Samia mitano tena 🎉🎉🎉

  • @SonofNyanda
    @SonofNyanda 5 місяців тому

    Quality ya video mbaya sana

    • @sisiniwazalendo6558
      @sisiniwazalendo6558 5 місяців тому

      Ahsante sana kaka,tumepokea ushauri na tutafanyia kazi marekebisho

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 5 місяців тому

    Ila uchawa ni shida😂😂😂😂😂

  • @JosephMasanja-wy7ud
    @JosephMasanja-wy7ud 5 місяців тому

    Jicho la mama nini kwani yeye ndie alieanzisha huo mradi acheni zenu bora ata mgesema bidii za mama

  • @gosbertbuberwa6198
    @gosbertbuberwa6198 5 місяців тому

    Beni Beni Beni! Nakuita Mara Tatu! TRC Reli TV Ulifanya Niifatilie Bro! Unajua Sanaaaaaaa!

  • @nzigeprofilelives6259
    @nzigeprofilelives6259 5 місяців тому

    We braza unajua Sana ila sijui kwann uliuza Ile Chanel yako uliyoianzisha .

  • @leonnyntandu4324
    @leonnyntandu4324 5 місяців тому

    Kaka yangu Ben nilikumis sana sana ulinifanya nijiskie fahari sana kufatilia kwa pamoja kuanzia mwanzo na hatimae sasa imetimia sauti yako ushawishi na shauku ya kuona haya mchango wako ni mkubwa sana pokea maua yako💐💐💐💐💐💐🥂🥂🥂🥂🤝🤝🤝🤝🤝

  • @salehsimba5306
    @salehsimba5306 5 місяців тому

    Ben, ulianza toka kwa Magufuli, Mpaka Leo kwa Mama. Hongera sana bro kwa Kazi nzuri!!!!

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 5 місяців тому

    RUDI HUKU MWAMBA NDO SEHEMU YAKO HASWAAA. TULIKUMISS BEN

  • @Worldunite
    @Worldunite 5 місяців тому

    Katika jambo hilo tuwape maua yao marais wetu wote, hususan hayati JPM

  • @TuntufyeBrayson
    @TuntufyeBrayson 5 місяців тому

    Baba wa tarifa na JPM ni wazalendo wasio na mfano waheshimiwe sana nae JPM napendekeza ajengewe sanamu Dodoma station Tena nakumbuka na Ile sare yake ya jeshi mungu amlaze mahari pema peponi

  • @kidsontemba1641
    @kidsontemba1641 5 місяців тому

    Daah BEN MWANANTALA sagi safi kijana good job

  • @batromeombogo297
    @batromeombogo297 5 місяців тому

    kaka unajua kusimulia aisee daqah

  • @Rivaldo1606
    @Rivaldo1606 5 місяців тому

    Mama anatekeleza🔥🔥

    • @sisiniwazalendo6558
      @sisiniwazalendo6558 5 місяців тому

      @@Rivaldo1606 hakika

    • @Worldunite
      @Worldunite 5 місяців тому

      Naam, lkn si peke yake, JPM alianzisha lkn sio peke yao, marais wote wametuwezesha kuanzia mwl nyerere hadi rais Samia

    • @Worldunite
      @Worldunite 5 місяців тому

      Tuwape maua yao maraisi wetu wote,bila kumsahau mzee wa HAPA KAZI TUUUU hayati JPM aliyeanza utekelezaji rasmi wa jambo hili

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 5 місяців тому

    Ben Mwanantala the founder of TRC RELI TV

  • @gilbertmwakalebela2862
    @gilbertmwakalebela2862 5 місяців тому

    Benny Mwanantala nakupongeza sana kwakua na ww ni mmoja ya watu wenye mchango wao tangu SGR inaanza nilikua nakufatili ukiripot kupitia Reli Tv maendeleo ya mladi kila hatua na hatimae leo mambo yametimia hongra sana kaka.

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 5 місяців тому

    Bila vipande kuvikuta so asingeanza cndio😢😢😢😢😢

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 5 місяців тому

    HIZI BANDARI KAVU ZOTE HIZI MCHAWI WAKE MI SGR TU AKIKAMILIKA

  • @George-King-o4q
    @George-King-o4q 5 місяців тому

    Burundi msiwe wajinga kumbukeni kuna mipaka mliyo ibiwa kuanzia tabora kigoma mwaka 1900 -1950 tabora na kigoma Ilikua ndani ya Burundi yenu hivyo sidhani kama Tanzania kuwapa bandari ya kavu ndo kuonesha upendo uberigiji na German wanafahamu vizuri mipaka hiyo kabla uhuru haujapatina so vizuri mkawa makini sana tena saana. Hata hivyo kuna mfalme wa zamani wa burundi alizikwa kigoma kwa ilikua ni nchi yake. Someni history vizuri itawaonyesha kama tabora na kigoma ni mikoa ya burundi.

    • @HavanansiData
      @HavanansiData 18 днів тому

      Waambie Burundi waanzishe vita😂😂😂

  • @AmisoMuyohira
    @AmisoMuyohira 5 місяців тому

    Haabarii nzurii kabisaa kwa nduguu zetuu waburundiii 🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 viva burundii tanzaniaa

  • @toyi7605
    @toyi7605 5 місяців тому

    Mungu mbele sisi nyuma burundi Tanzania na Congo ❤❤❤❤❤❤

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 5 місяців тому

    SAF. sana❤❤❤

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 5 місяців тому

    Kazi nzuri serikali ya Tanzania.Tatizo liko national housing majengo mengi kwenye miji yetu ni ya kizamani na machafu katikati ya miji yavunjwe yajengwe mapya sehemu kama lumumba mnazi mmoja kariakoo mengi wanakaa wahindi huchafua mwonekano wa miji yetu.pia arusha ,mbeya morogoro yote yavunjwe kwa awamu zijengwe gorofa nzuri tz ya Nyerere ipendeze.

  • @willynkurunziza7815
    @willynkurunziza7815 5 місяців тому

    ASANTE SANAA KWA TANZANIA TUNAFURAHI SANAA KWA IYO🇧🇮🇧🇮❣️🇹🇿🇹🇿Mungu abaliki inchi zetu kwa uhusiano muzili 🙏🇧🇮🇹🇿

  • @willynkurunziza7815
    @willynkurunziza7815 5 місяців тому

    ASANTE SANAA KWA TANZANIA TUNAFURAHI SANAA KWA IYO🇧🇮🇧🇮❣️🇹🇿🇹🇿

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 5 місяців тому

    Hivi Tanzania tunajua biashara kweli? Hii ilikuwa ni nafasi ya watanzania wazawa kutengeneza pesa, clearing and forwarding service for Burundi goods.. Sijui ni wivu! Sielewi kabisa. Ajira ngapi tungetengeneza? Tunajali sana maendeleo ya nchi zingine. Ni kama towers zinazojengwa Kenya kupendezesha mji wa Nairobi. Hakuna uhakika majango hayo yakiisha patakuwa na wapangaji; wakati tunawacheleweshea wastaafu mafao yao!

    • @ibrahimdolick7755
      @ibrahimdolick7755 5 місяців тому

      Si wanalipa kodi , na hii ni maandalizi mazuri ya kuwa giant of east africa kwamba kila nchi iwe inaitegemea tz kiuchumi

    • @ShekhMufyd-mn9zn
      @ShekhMufyd-mn9zn 5 місяців тому

      Babu achana nao we chat msingi na secondary unakula unashiba 😀😀😀

    • @ELOGERUHIMBASA
      @ELOGERUHIMBASA 5 місяців тому

      Hivi hujui sisi warudi tuliwapa kigoma Bure ok sawa mtupe kigoma yetu tuwape hekta kumi yenu we fala kweli 😂😂

    • @NM-yl2uw
      @NM-yl2uw 5 місяців тому

      @@ELOGERUHIMBASA actualy Burundi na Rwanda zilikuwa ni part of Tanganyika germany ilivyopoteza vita ndo zikapewa ubelgij so we want our burundi back

    • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
      @RubenMtuwaMungu-bz8ee 5 місяців тому

      Burundi na Rwanda ni mikoa ya Tanganyika kabla ya vita ya kwanza ya Dunia so kusema Kigoma ni sehemu ya Burundi ni kichekesho ​@@ELOGERUHIMBASA

  • @worldtechlab
    @worldtechlab 5 місяців тому

    She can’t speak English nor Swahili ? 🤣🤣🤣 Burundi isn’t serious 😂

    • @zachmaselle6635
      @zachmaselle6635 5 місяців тому

      She is proud of her culture and language is part of it! Russians speak Russian and the French speak French. I am sure she knows French and Swahili but she chose to be proud.

    • @worldtechlab
      @worldtechlab 5 місяців тому

      @@zachmaselle6635 yet your using English to respond to me 🤣🤣🤣 this says something about your head

    • @beaugosseadam6831
      @beaugosseadam6831 5 місяців тому

      English or French ni lugha za kitumwa. She's proud to speak the matherland lunguage!

    • @worldtechlab
      @worldtechlab 5 місяців тому

      @@beaugosseadam6831🤣🤣🤣🤣 mnanichekesha

    • @Ndayaki
      @Ndayaki 5 місяців тому

      @@zachmaselle6635 Your are so brainwashed, have ever seen a Minister from Europe or America having interviews in other languages which are not theirs? Mind you, Burundians speak Good English than Tanzanians but We are proud of our Language. Btw we also speak French. Can you speak French??

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 5 місяців тому

    JPM 😢😢

  • @EliudLikakali
    @EliudLikakali 5 місяців тому

    Mladi huo wa ushoroba wa kati utakuwa mkombozi mkubwa kwa maisha kwa Wananchi wa nchi hizo kwani gharama ya bidhaa zitapungua kwa kiasi kikubwa Mungu ibariki nchi zote tatu kwa kutekereza mradi huo

  • @ShabanSama
    @ShabanSama 6 місяців тому

    Fujo za ubungo leo

  • @meshackmwaluko844
    @meshackmwaluko844 6 місяців тому

    Safi sana

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 6 місяців тому

    HUYU BEN MWANANTALA NDIE ALIKUWA PERFECT KWENYE KIPINDI CHA RELI NA MATUKIO. RUDI MKUU

  • @RonnieBertin-f7f
    @RonnieBertin-f7f 6 місяців тому

    baa inayotembea restaurant inayotembea pab inayotembea

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 7 місяців тому

    Beni Mwanantala tumekimisi sana rtl

  • @didamanyanya595
    @didamanyanya595 7 місяців тому

    Safi sana