Hongereni sana viongozi mliofanikisha hili,kuna kitu cha kujifunza kwamba kila kitu tukiamua kinawezekana viongozi wangu tuipende nchi yetu tuweke sheria kali za kutokomeza rushwa na wizi wa pesa za umma wananchi wakiona haya hakuna mtu atalalamika kulipa kodi.
@@hemedrashid2921 wewe unavyo tizama kuna kiongozi wa sasa mwene maono makubwa kama hayo ,maana ramani yote JPM kaondoka nayo..ajira ni pamoja na kuweka mazingira wezeshi kwa watu wachini unaumeme mwingi kwanini usigeuze ajira kwa kupunguza gharama za unit iliumeme huo tutumie mashambani na kwene viwanda vidogo vya mikono majumbani ,lakini umeme unagoma kushusha unaimiza matumizi ya gas majumbani na unaimiza utunzaji wa mazingira,sera ya umeme vijijini inakua na tija ndogo .
JPM "Mtanikumbuka, si kwa mabaya, bali kwa Mazuri." Never forget you our Regend. Hongera Mama Samia Suluhu Hassani Ubarikiwe sana kwa kukimbiza kijiti ulichoachiwa pia. 🎉🎉🎉
@@marwawilliam3648kwani hayo mabasi hayatumii spea? watanzania sijui tunashida gani kwenye ufkiriaji wa mambo. Inshort ni kwamba tumeokoa fedha nyingi sana za kigeni na mafuta ndio huwa yanakula pesa nyingi sana
Hongera sana Magufuli. Kama HUDUMA hii itadumishwa, maono ya Magufuli ni kuwa: 1) TRC watawapa PESA Tanesco (PESA itabaki nchini). 2) Kama nchi tutapunguza uhitaji wa PESA za kigeni (MADOLARI YA MAREKANI) kununua mafuta huko nje na kuyaleta TZ. 3) Nauli hazitaponda hovyo hovyo, kwani treni hizi hazitegemei mi-mifuta
@@hemedrashid2921akili huna ndomana upo hapo ulipo. hao wengine waliasisi tu na wala sio kuanzisha ujenzi. tumia akili af kamskilize kikwete anavyosema afu ukakojoe ulale
Unapanda train unakamzigo kadogo lakini ukikaguliwa mzigo unabaki, hivi sukari kilo 3 na mchele kilo 3 nikiviweka kwenye mkoba wangu huwa vinasumbua kwenye train? Mwanangu nilimpatia hivyo vitu train ya kwenda dar na mtoto ni mwana chuo IFM hapo dar na mnajua watoto wanaokaa kwenye nyumba za kupanga inabidi tuwape hata vitu vya kwenda kuanzia, ukiangalia maisha yalivyo. Halafu unapigiwa simu kuna kamzigo kako hapa Getini uje kuchukua mtoto amekaguliwa amekutwa na hivi vitu na kwenye train ni marufuku kuingia na vitu hivyo. Inaumiza sana ni kheri upande basi kuliko hiyo train inayokataa hata kamzigo kadogo tena kamefichwa kwenye mkoba wa kushika
Yani magufuli angekuwepo naamini treni hii ingefika mkoa wa katavi kupitia dodoma tabora mpanda naamini jembe angeweza yanibasitu magufuli hukouliko mungu akulehem ubalikiwe mwamba wa tanganyika
Jamani dodoma sasa kuna zile ngazi za kujizungusha!!!!!!?😂😂😂😂😂😂😂😂😂mimi nitakwenda stesheni ili nikapande hizo ngazi tu!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Hongereni watanzania
Hakuna mwanaume kama magifuli daraja la jpm bwawa la mw nyerere frai over ukuta wa merelani kuhamishia selekali dodoma yan mbaka nishindwa kuongea nitamkumbuka jpm mbaka dunia iyakuja kufika mwisho mm jayros ndwaza kutoka chigandu dodoma 😂
Wewe umekuwa Muungwana kwa kusema ukweli wengi wao humtaja Magu tu .Wakati Magu kafa kauwacha mradi huu ukiwa na asilimia 25 tu 75 kamalizia mama lakini wala hapongezwi
Wekeni ratiba ya kutoka dodoma kaenda dr sàa kumi na moja sàsa mnaaza safar kutoka dodoma sàa tano soup hiyo inatakiwa tufike dar asbh tufanye mambo yetu jion turud
Wekeni behewa moja au mawili kwa ajili ya mizigo, mtu aweze kusafiri na mizigo yake.... Mizigo itengwe kulingana na inaposhukia ili iwe rahisi kuishusha bila kupoteza muda Kama inawezekana kwenye ndege kwenye train haiwezi kushindikana
@@JaziraMustafa-g9pmustafa unakamdudu kabaya ka chuki wewe uliwaza ndege tungenunua km mtu anunuavyo Ist...Bwawa la umeme lilikuwa ono la Nyerere si wamepita marais wangapi hawakufanya Acha bana ugaidi mpe mauwa mwenda zake na mama yetu Samia😅
Hongera Mhe Rais kwkukamlish ujenz kwnz zinatunz mazingra kwkuepuka matumiz makubwa ya mafuta nguvu ielekezwe bwawa la kuzalisha umeme Nchi inaenda kubadilika kbs.
kikubwa hao wote sio wenye mali hii ya tren hii nimali yetu ss watazaniaaa na ndio utakaoulipa mkopoo huoo acha mawazo ya ubaguziii au wewe mkimbiziiiiii😂😂😂😂
Kuna kaudini kananyemelea nchi yetu kwa hakika Abinger anzisha mwenda zake tungekuwa na story yote kwa yote tunamshukuru mama kwa kuendeleza maono ya ccm😅
sema mfumo wa kukatia tiketi bado wa kiboya kila ukienda unakuta mtandao una sumbua adi unakosa tikeki unagaili unabadilisha mda wa kusafili kama leo morogoro nimepata tabu kino kutoka saa 8 nimeuja kusafili saa 1 usiku
Congratulation TRC for accomplishing such an audacious feat thought as an impossible task! Only gripe with that station is the surroundings, we need to see greenery on either side of the train track, trees 🌳 grass and shrubbery so the place looks welcoming & easy on the eye, that is all but congratulation once again!
Pia tungeomba mboreshe mtandao wa kukatia ticket. kwa sababu mtu anaweza kufika stesheni na kufeli kukata ticket kwa sababu ya mtandao. hivyo mara nyingi sana treni inaondoka kabla ya kujaa ilhali abiria wako wamebaki wengi sana.
Juzi nimeenda kukata tiketi kwenda Moro nikaambiwa Treni imejaa nikakuuliza Treni inajaa kweli au watu wakiwa wengi unaongeza mabehewa mengine maana huwezi huo upo duuuuu biashara zinawashinda,angaliaa idadi ya watu ongeza behewa nyingine SIo Tren imejaa SIo kweliiiiii
Jamani watanzania wenzangu tutunze rasilimali zetu.Mabehewa,reli zetu ziwe katika hali nzuri na usalama.tusiaribu miundo mbinu.hatu ufadhiri wa mzungu ni kodi zetu zinahusika.
Tuwe waangalifu hata Kenya SGR Train ilipo anza watu walipanda sana kupiga picha ili na wao waonekana wanapanda treni baada ya miaka 2 imebaki ikibeba watu wachache sana..
Kulinda ndo kitu juzi ilibidi train isimame kulikuwa na mwingiliano na kifaa cha matengenezo sijui km kulikuwa na mawasiliano kwa sababu ngozi zetu nyeusi..kuwe na mfumo wa kuangalia njia ya SGR tusipofanya hivyo sitaki kumalizia kwa sababu ya uafrica tulionao umakini wa hali ya juu unatakiwa ufnyike mapema
Kuna watu walisema hayo mabehewa plus vichwa ni mabovu yaani sio mazuri wakati yanashushwa bandarini sasa sijui ilikuwa ni sababu ya ushamba au chuki binafsi
Toeni punguzo la kukata ticket online ili kupunguza foleni ya kukata ticket madirishani. Pia wekeni ongezeko la nauli pale ticket inakatwa karibia na muda wa kusafiri ili kupunguza foleni za kukata tiketi kwenye train station
Hongereni sana viongozi mliofanikisha hili,kuna kitu cha kujifunza kwamba kila kitu tukiamua kinawezekana viongozi wangu tuipende nchi yetu tuweke sheria kali za kutokomeza rushwa na wizi wa pesa za umma wananchi wakiona haya hakuna mtu atalalamika kulipa kodi.
Umeongea kwa hisia sana
safiii sanaa ukweli serikali iongezeee watendaji bora na ktk ajiraa zigawanywe kwa haki sikuhizi hakuna mbumbu tena
@@hemedrashid2921 wewe unavyo tizama kuna kiongozi wa sasa mwene maono makubwa kama hayo ,maana ramani yote JPM kaondoka nayo..ajira ni pamoja na kuweka mazingira wezeshi kwa watu wachini unaumeme mwingi kwanini usigeuze ajira kwa kupunguza gharama za unit iliumeme huo tutumie mashambani na kwene viwanda vidogo vya mikono majumbani ,lakini umeme unagoma kushusha unaimiza matumizi ya gas majumbani na unaimiza utunzaji wa mazingira,sera ya umeme vijijini inakua na tija ndogo .
Kabisa Mkuu, umeongea ukweli mtupu
Big up Madam president❤ samahani lkn mbona kama Iko juu sana wanapandaje watu wenye umri mkubwa
JPM "Mtanikumbuka, si kwa mabaya, bali kwa Mazuri." Never forget you our Regend. Hongera Mama Samia Suluhu Hassani Ubarikiwe sana kwa kukimbiza kijiti ulichoachiwa pia. 🎉🎉🎉
Baba weeee legend and sio Regend ( unabadilisha maana )
Hongera sana jpm kazi yako tunaiona ngawa umetangulia mbele za haki
Najivunia kuwa Mtanzania🙌🏾🇹🇿
Jpm 🔥 pumzika salama baba mam amekazia ulipoishia
RIP Baba yetu JPM leo tunafurahia kazi uliyoianzisha
Amina
Asante sana MUNGU MWENYEZI kwa zawadi kuu ya KING JPM 🙏🏿🤝🏿✊🏿✊🏿
Nampongeza sana Rais Samia kwa kuitimiza ndoto na malengo ya Legend Magufuli. ❤
Hongereni sana viongozi wetu mkiongozwa na rais wetu Mama Samia Hassan Suluhu kwa kazi hii nzuri.Kazi iendelee
Hongera sana JPM ndoto yako imetimia baba Endelea kupunzika kwa amani
Hakuna kupumzika huko
@@h.alshidhani8971kenge wa chooni lala huko
Kazi nzuri Sana,ongereni, pia msiweke foleni katka ukataji wa timeti.
Hayo ni mabasi mengi sana ambayo ingebidi tutumie diesel toka nje, pesa za nyingi za kigeni tumeokoa
Akili kubwa ya Magufuli hiyo
Na spea
@@marwawilliam3648kwani hayo mabasi hayatumii spea? watanzania sijui tunashida gani kwenye ufkiriaji wa mambo. Inshort ni kwamba tumeokoa fedha nyingi sana za kigeni na mafuta ndio huwa yanakula pesa nyingi sana
@@vintagemusicgroup9236 leoo ndioo umejuaaa hasara ya diesel kinyongaa mkubwa wakati mnabezaa na kusema haiwezekani leo mmekubali nguchiluuuu mkubwaa
Kabisa,good point👍👍
Hapa niseme viva CCM viva John Pombe Magufuli viva Rais Samia Suruhu Hassan viva Tanzania . Viva TRC viva Masanja viva prof Makame.
Hongera sana Magufuli.
Kama HUDUMA hii itadumishwa, maono ya Magufuli ni kuwa:
1) TRC watawapa PESA Tanesco (PESA itabaki nchini).
2) Kama nchi tutapunguza uhitaji wa PESA za kigeni (MADOLARI YA MAREKANI) kununua mafuta huko nje na kuyaleta TZ.
3) Nauli hazitaponda hovyo hovyo, kwani treni hizi hazitegemei mi-mifuta
hongeraaa mama samia magufuli sio alieazisha mpago huoo uliratibiwaa mda mrefu sana
@@hemedrashid2921akili huna ndomana upo hapo ulipo. hao wengine waliasisi tu na wala sio kuanzisha ujenzi. tumia akili af kamskilize kikwete anavyosema afu ukakojoe ulale
@@hemedrashid2921😂😂😂
@@hemedrashid2921😂😂😂
Sawa,lakini Magufuli ndiye aliyelazimisha hanse kutekelezwa,wengine ilikuwa ni maneno tu bila vitendo
Unapanda train unakamzigo kadogo lakini ukikaguliwa mzigo unabaki, hivi sukari kilo 3 na mchele kilo 3 nikiviweka kwenye mkoba wangu huwa vinasumbua kwenye train? Mwanangu nilimpatia hivyo vitu train ya kwenda dar na mtoto ni mwana chuo IFM hapo dar na mnajua watoto wanaokaa kwenye nyumba za kupanga inabidi tuwape hata vitu vya kwenda kuanzia, ukiangalia maisha yalivyo. Halafu unapigiwa simu kuna kamzigo kako hapa Getini uje kuchukua mtoto amekaguliwa amekutwa na hivi vitu na kwenye train ni marufuku kuingia na vitu hivyo. Inaumiza sana ni kheri upande basi kuliko hiyo train inayokataa hata kamzigo kadogo tena kamefichwa kwenye mkoba wa kushika
Yani magufuli angekuwepo naamini treni hii ingefika mkoa wa katavi kupitia dodoma tabora mpanda naamini jembe angeweza yanibasitu magufuli hukouliko mungu akulehem ubalikiwe mwamba wa tanganyika
Mwenyezi Mungu awape hekima viongozi wetu ili wawe na nia thabiti ya kutoa huduma bora kwa watanzania
Tunategemea usafirishaji wa mizigo kwa SGR uanze ili kupunguza msongamano wa malori unaopelekea kuwepo kwa ajali nyingi barabarani
Mazingira ya nje maiyasahau mwagilieni maji majani na mpande miti mazingira yapendeze
Hongera serikali kwa miundo mbinu na mradi mkkubwa dunia nzima inaona kazi nzuri wamenuna haswa😂😂😂
Barabara yenyewe kutoka Dodoma Hadi Iringa Mbovu
Sipandi tena mabasi wakati upo usafiri wenye usalama wote kuliko hayo mabasi yanayoendeshwa na vichaa..hongera mama yetu
It's was just a Dream,, God bless tz God bless Africa,Rip magu,
Dom to dar nauli ni kiasi gani cha fedha
Jamani dodoma sasa kuna zile ngazi za kujizungusha!!!!!!?😂😂😂😂😂😂😂😂😂mimi nitakwenda stesheni ili nikapande hizo ngazi tu!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Hongereni watanzania
Hakuna mwanaume kama magifuli daraja la jpm bwawa la mw nyerere frai over ukuta wa merelani kuhamishia selekali dodoma yan mbaka nishindwa kuongea nitamkumbuka jpm mbaka dunia iyakuja kufika mwisho mm jayros ndwaza kutoka chigandu dodoma 😂
Watanzania wengi wanafiki Sana,Sasa washuudue Mama anachofanya Mambo mazuri.Bravo Raisi wetu.
Kazi iendelee mama. Tumkumbuke pia jembe la taifa JPM kwa uthubutu wake kuanzisha mradi huu ambao ulikuwa on the drawing board for so long.
Wewe umekuwa Muungwana kwa kusema ukweli wengi wao humtaja Magu tu .Wakati Magu kafa kauwacha mradi huu ukiwa na asilimia 25 tu 75 kamalizia mama lakini wala hapongezwi
@@JaziraMustafa-g9psio kwel moro dar kaacha karibu 75%
Apongezwe nn bajet ilishawekwa na serikali ya magufuri kama anaweza anzishe wakwake tumsifie @@JaziraMustafa-g9p
Sema nn keep bongobongo pongezi kwenu
Wekeni ratiba ya kutoka dodoma kaenda dr sàa kumi na moja sàsa mnaaza safar kutoka dodoma sàa tano soup hiyo inatakiwa tufike dar asbh tufanye mambo yetu jion turud
Wekeni behewa moja au mawili kwa ajili ya mizigo, mtu aweze kusafiri na mizigo yake....
Mizigo itengwe kulingana na inaposhukia ili iwe rahisi kuishusha bila kupoteza muda
Kama inawezekana kwenye ndege kwenye train haiwezi kushindikana
Haha iyo ngumu
Ngumu sana kaka, watadelay sana hasa kwenye ile ya kusimama kila kituo... Hakuna conductor... nadhani wameona itakuwa usumbufu sana
Za mizigo tupu zinakuja.
JPM
Haya hayakuwa maoni ya Jpm bali yalikuwa maono ya Mkapa na Kagame wa Rwanda.Ok?
@@JaziraMustafa-g9phata mbuzi ana mipango
Maoni Yao ilikuwa ni ya diesel sio ya umeme
@@JaziraMustafa-g9pndoto bila vitendo ,it's a complete waste of time
@@JaziraMustafa-g9pmustafa unakamdudu kabaya ka chuki wewe uliwaza ndege tungenunua km mtu anunuavyo Ist...Bwawa la umeme lilikuwa ono la Nyerere si wamepita marais wangapi hawakufanya Acha bana ugaidi mpe mauwa mwenda zake na mama yetu Samia😅
Acheni kutumia mabox kubebea vinywaji ndani ya train.wahudumu tumieni tray za kisasa kubebea vinywaji
Wanao sema Tanzania haijaendelea warudi 1980 wajasema bado na watasema sana Aluta kunuwa MAMA
Treni iwekewe ulinzi wakutosha isije ikahujumiwa. Wabaya wapo.
Congratulations TRC.🎉
Mungu ibariki SGR yetu. Hatuna haja kuiuzia wageni ila tahadhari tuitunze kama ndege. Kamera za kutosha zifungwe.
Hongera Mhe Rais kwkukamlish ujenz kwnz zinatunz mazingra kwkuepuka matumiz makubwa ya mafuta nguvu ielekezwe bwawa la kuzalisha umeme Nchi inaenda kubadilika kbs.
😍😍😍
TRC tumieni drones kama wenzuni wa Zimbabwe kulinda reli
Awesome point 👏, natamani viongozi wa TRC wasome hii na watekeleze mara moja.
Fafanua zaidi hii pointi
Ulale kwaaman mbeba maono wetu Jonh Pombe Magufuli
HAYO HAYAKUWA MAONI YA MAKUFULI BALI YALIKUWA MAONI YA MKAPA NA KAGAME WA RWANDA.
Amiina
@@JaziraMustafa-g9p Acha husda na wivu huu mradi maua anapewa Magufuli kama mkapa alikuwa na maono basi angeujenga huu mradi acha wivu mzee
kikubwa hao wote sio wenye mali hii ya tren hii nimali yetu ss watazaniaaa na ndio utakaoulipa mkopoo huoo acha mawazo ya ubaguziii au wewe mkimbiziiiiii😂😂😂😂
Kuna kaudini kananyemelea nchi yetu kwa hakika Abinger anzisha mwenda zake tungekuwa na story yote kwa yote tunamshukuru mama kwa kuendeleza maono ya ccm😅
Hongera JPM Hpngera SSH Hongera Watanzania
Waiting rooms zote bado sio za kutosha
Ikifika kigoma mwanza na Rukwa uchumi wa nchi na wananchi wake utaongezeka
Kwa hili MUNGU awe nanyi
sema mfumo wa kukatia tiketi bado wa kiboya kila ukienda unakuta mtandao una sumbua adi unakosa tikeki unagaili unabadilisha mda wa kusafili kama leo morogoro nimepata tabu kino kutoka saa 8 nimeuja kusafili saa 1 usiku
Wanashauri kukata online. Mimi kwa Moro-Dar huwa ninakata leo ninasafiri kesho. Kadiri ukikata mapema ndiyo unajihakikishia safari.
@@abdulkarimshabanmhandeni847ne unakataje maana wanataka kumbukumbu namba
@@abdulkarimshabanmhandeni847gud
Pongezi kwa serikali na viongozi
Wekeni ndo za kisasa za uchafu kwenye train
Sasa nchi yetu Tanzania inang'aa sana
Congratulation TRC for accomplishing such an audacious feat thought as an impossible task! Only gripe with that station is the surroundings, we need to see greenery on either side of the train track, trees 🌳 grass and shrubbery so the place looks welcoming & easy on the eye, that is all but congratulation once again!
Dodoma is semi arid, you can't dictate nature
@@mcback4384 lol it’s 2024 dummy! They are greening Saudi Arabia, go figure!
@@mcback4384 I said, Green up the place! It’s semi arid not arid, use sprinklers it’s not rocket science!!
Hongera mama Samia hongera TRC
Tutunze sas miondo mbinu......uzalendo uwepo
tuwekeeni mfo ukikata tiketi mala moja siku zengine unakua unalipia tu au mbadilishe mfumo mana ni usumbufu mbaka kelo
Pia tungeomba mboreshe mtandao wa kukatia ticket. kwa sababu mtu anaweza kufika stesheni na kufeli kukata ticket kwa sababu ya mtandao. hivyo mara nyingi sana treni inaondoka kabla ya kujaa ilhali abiria wako wamebaki wengi sana.
Juzi nimeenda kukata tiketi kwenda Moro nikaambiwa Treni imejaa nikakuuliza Treni inajaa kweli au watu wakiwa wengi unaongeza mabehewa mengine maana huwezi huo upo duuuuu biashara zinawashinda,angaliaa idadi ya watu ongeza behewa nyingine SIo Tren imejaa SIo kweliiiiii
Jamani watanzania wenzangu tutunze rasilimali zetu.Mabehewa,reli zetu ziwe katika hali nzuri na usalama.tusiaribu miundo mbinu.hatu ufadhiri wa mzungu ni kodi zetu zinahusika.
SWALI KUBWA JE, MABASI YANAENDELEA DAR - DOM????
Shabiby sasa wamekosa wateja
Keshatuvuna sana WaTZ, mpaka kajenga ghorofa kubwa sana pale Morogoro
@@mimiraia2531 yani,acha tuifadishe na serikali sasa
@@mimiraia2531hawez kukosa watu ni wengi Tanzania
Dodoma stesheni yake ipo maeneo gani?
Na ikiwezekana litandazwe nchi nzima
ALAFU CAG AJE ATUAMBIE TUNAENDESHA MRADI KWA HASARA SAFARI HII TUTAMUACHISHA KAZI
Kampuni za mabasi ni bai bai
Huduma nzuri sana
Bila kiongozi kariba ya Magufuli hii nchi tutabaki kuwa nyuma sana
Safi sana.
🇹🇿 tunajivunia na maendeleo Tanzania
Ansbert Ngurumo upoooo ? Haya nayo ni mafanikio pia katika nchi yetu. Usiwe na mitazamo hasi pekee hata haya nayo uyaseme na kuwapongeza watanzania.
Nauli bei gani
Nataman iringa pia mpaka mbeya iwepo reli ya Sgr
Mirimaa mingii..pandeni mchape..ngaselee na Nani kaonaa😂😂😂😂
@@charlesmwambinga4355 iliyopo ni sgr ila si treni ya umeme ...sgr ni standard ya njia ya treni yani reli
Safi hongereni sana
Mama Samia hoyeeeeeeee
❤️❤️🇹🇿🇹🇿💪💪
Ongezeni behewa acheni maneno
Hongera sana wahusika, sasa na nje ya jengo mngeweka mazingira ya kuvutia kwa miti na mauwa bila hivyo jengo litaharibika na vumbi
Yeah watengeneze garden nzuri hapo ili mazingira yaendane na jengo.
Hii ndo faida ya mikopo sasa
Nauli mpaka Dodoma sh ngap
Bei gani Dodoma tu dar
ABOOD ATAFUTE RUTI SASA
Tuwe waangalifu hata Kenya SGR Train ilipo anza watu walipanda sana kupiga picha ili na wao waonekana wanapanda treni baada ya miaka 2 imebaki ikibeba watu wachache sana..
Utunzaji ni muhimu sana
JPM daima nawe
Kwanini mlikwama Morogoro saa zima?
Naipenda nchi yangu Tanzania 🇹🇿 ushauri tutunze Mali zetu pia Natuleni ya mizigo iletwe
Watu wa mabasi tunawaombeni please msije mkahujumu treni hii, mambo yalishabadilika, tufikirie namna ya kwenda na wakati,
Kulinda ndo kitu juzi ilibidi train isimame kulikuwa na mwingiliano na kifaa cha matengenezo sijui km kulikuwa na mawasiliano kwa sababu ngozi zetu nyeusi..kuwe na mfumo wa kuangalia njia ya SGR tusipofanya hivyo sitaki kumalizia kwa sababu ya uafrica tulionao umakini wa hali ya juu unatakiwa ufnyike mapema
Stesheni nzuri sana❤🎉😂❤🎉🎉🎉🎉
mbona ukitaka kununua tiket online inadai kumbukumbu namba msaada please
Rip dady jpm
Mimi naulizia yale mabehewa ya doble decker mbona hayaanzi kazi au kuna tatizo?
Mbona Kuna mwanamke amebeba begi (Shangazi kaja,,,) 😢
Online system ipo down au imerudi... tangu kuzinduliwa safari ya Dom to Dsm
Biashara ya mabus inaenda kupungua
nauli ni sh ngap dom to dar?
Kuna watu walisema hayo mabehewa plus vichwa ni mabovu yaani sio mazuri wakati yanashushwa bandarini sasa sijui ilikuwa ni sababu ya ushamba au chuki binafsi
Kazi nzuri sana. Ila Wekeni ofisi za kutosha kukata
Mfumo.wa online unasumbua
Tunakosa nafasu
Magufuli hoyeee !!
ONGERA MAMA SAMIA KAZI NZURI UMEWEKA HISTORIA
Kaweka historia mbeba maono Magufuli,
#TRCRELITV kutoka dodoma mpka dar ni mwendo wa masaa mangapi kwa treni yetu mpya ili tujue
Masaa 3 na nusu
Tunajivunia
Sasa begi Zina scanning ili iweje na hizi ni safari za ndani?
Scanning ni sababu za kiusalama
Toeni punguzo la kukata ticket online ili kupunguza foleni ya kukata ticket madirishani. Pia wekeni ongezeko la nauli pale ticket inakatwa karibia na muda wa kusafiri ili kupunguza foleni za kukata tiketi kwenye train station
Wapuuzi wakubwa wekeni treni za kutosha acheni ushamba ,wekeni machine za ticket ,wekeni mawakala huko mitaani...
Mpuuzi wewe na Domo lako baya ka kibakuli cha wahazabe
Mbona hasira
Natamani kusafiri