PART 2: MISUKOSUKO MTANZANIA ALIEZAMIA UJERUMANI "TULIAMBIWA TUWE WASOMALI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 172

  • @abdulrahmanhassan3825
    @abdulrahmanhassan3825 6 років тому +9

    Hili ni somo zuri sanaa mwenye akili atajiongeze kabla mtu ajataja nchi alio tokea Lazima ajifunze vitu vichache juu ya nchii hiyo

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 років тому +6

    Hii inaitwa usikate tamaa, nice story, hata mimi ipo cku nitaenda ulayani kutafuta., inshallah.

  • @storowaysimkway4693
    @storowaysimkway4693 6 років тому +48

    Kama umem elewa huyu jamaa kama mm gonga like tuwe pamoja..

    • @chanidunga9101
      @chanidunga9101 5 років тому +1

      Muongo huyu kuma tu mm nanjuwa huyu aliunguwa na gas kuna kipindi flani

    • @ibnuidrisa3996
      @ibnuidrisa3996 Рік тому

      ​@@chanidunga9101😂😂😂😂😂

  • @soleimaniabdul8898
    @soleimaniabdul8898 3 роки тому +2

    namimi pia ni mtanzania hambae nipo marekani salamu sana kwa wa Tanzania wote

  • @habibhamed1587
    @habibhamed1587 9 місяців тому

    Msenge maziwa usiombe tena kuingia katika maisha usiyoyaweza watu kaanyumbani uwe fundi cherahani pust malaka

  • @tonyelshabbaz
    @tonyelshabbaz 6 років тому +7

    Aliyeona kuna jamaa kakatiza na camera wakati mahojiano yanaendelea agonge like hapa

  • @Chekibob
    @Chekibob 6 років тому +6

    Nakubali ayo tv ila huyo jamaa aliyepita mbele ya kamera, mwambie asipite tena

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 3 роки тому +2

    Vizuri kueleza ukweli about nje@italy hapa

  • @habibhamed1587
    @habibhamed1587 9 місяців тому

    Mshamba mmoja Huyu kavamia maisha beach wakati hayawezi ukiwa msafiri au beach boys huwezi kutowa habari za jandoni

  • @barakatv4030
    @barakatv4030 6 років тому +1

    Aise hii story tamu sana.

  • @salimdoctor691
    @salimdoctor691 6 років тому +2

    Babukubwa bro life popote

  • @stanleysamwel5449
    @stanleysamwel5449 6 років тому +2

    nice story

  • @toptictoc1884
    @toptictoc1884 6 років тому +19

    Imagine Ingekua Polisi wa kibongo? Lol mngekula kipigo mpk mngejamba hahahaha

  • @mohamedmweche9195
    @mohamedmweche9195 5 років тому +1

    Jamaa we noma

  • @eddy4998
    @eddy4998 3 роки тому +5

    Maisha yangu nimejitolea kama nitampata mwenzanguu basi nipo tayari kupita hiyo au njiaa yeyote ilimradi niingie German

    • @vamitv873
      @vamitv873 3 роки тому

      Twende zetu mkuu

    • @bakarifatherb4180
      @bakarifatherb4180 3 роки тому

      Tunaanzia wapi Kaka, hata mimi ninahamu kinoma

    • @wakuitwangosha
      @wakuitwangosha Рік тому

      Mm marekani maana ujeruman lugha lazima uisome ila marekani kiingereza tu

  • @nasmafarmsltd9146
    @nasmafarmsltd9146 5 років тому +8

    siku ukish nje ýà nch ñďò utajua lugha ya nch husika inavyo Baďìĺśha lugha ýaķò

  • @judithtibandebage3227
    @judithtibandebage3227 6 років тому +8

    Watanzania waishio Greece wanaroho mbaya mwanzo mwisho japo sio wote lakini 98%wakuda

    • @mwandumazaoidrossa1702
      @mwandumazaoidrossa1702 6 років тому +2

      siyo greece tu wabongo nje wengi wakuda

    • @benten2369
      @benten2369 6 років тому +2

      Maisha magumu alaf mbali na home, survival tu.siku za Kwanza mambo magumu lakini ukikomaa unatoboa

    • @annievibes8794
      @annievibes8794 6 років тому

      @@mwandumazaoidrossa1702 swadakta ndiyo maana mimi siingiliani nao huku nilipo kwanza nawatikia nn na nimewaacha bongo

    • @mwandumazaoidrossa1702
      @mwandumazaoidrossa1702 6 років тому

      m

    • @omarmatuta7709
      @omarmatuta7709 4 роки тому

      Sio Greece tu nchi kibao ndo zao kn na roho mbaya hasa hawa mabaharia wa zamani ndo mana mie ujamaa nao sitak nikienda nchi yyte lzm nitakapokaa sehemu hio niulze kn wabongo mana km wapo sikai kbs.

  • @calvinmorgan66
    @calvinmorgan66 6 років тому +1

    Ungeongea kiswahil ndio ungetisha sana kuliko mashauzi

  • @Didah-hf4pw
    @Didah-hf4pw 5 років тому +2

    No kukata tamaa maisha popote

  • @habibhamed1587
    @habibhamed1587 9 місяців тому

    His Malaka Huyu jamaa

  • @emmanuelgastine9826
    @emmanuelgastine9826 3 роки тому +2

    Ndo uone watanzania walivo na roho mbaya ,hawakutaka kuwasaidia jamaa huko ugenini ,haya tukiwa hapa inakuwaje

  • @likimaro6
    @likimaro6 6 років тому +10

    Ukizamia Ulaya ndo unasahau hadi Kiswahili vizuri?

    • @soleimaniabdul8898
      @soleimaniabdul8898 3 роки тому

      hapana mimi kama mimi siwezi kusahau luga yangu ya kiswahili mimi ni mtanzania hambae niko marekani

    • @emmanuelgastine9826
      @emmanuelgastine9826 3 роки тому +1

      Acha hizo ,wewe unadhani bila kujua ngeli utapata msaada ukiwa nje ya TZ ? Acha kudanganywa ndo maana watoto wanapelekwa nursery school hata wa kwako anasoma huko

    • @ruuh5149
      @ruuh5149 3 роки тому

      @@soleimaniabdul8898 mambo sele naitaji kuongea na ww unawez kunipa namba yk tukawasilian kwa whatsapp

  • @mudyazizi4771
    @mudyazizi4771 6 років тому

    Kazi moja tu yan

  • @judithtibandebage3227
    @judithtibandebage3227 6 років тому +4

    Mwenyewe nilipofika Greece kwamala yakwanza niliga kelele nikasema hii sio ulaya ni ilala hapo umeongea ukweli mkuu namie pia nilifikaga wakati wa winter time duh umenikumbusha mbali it was not easy 2010 hiyo

  • @hamismalimungu9959
    @hamismalimungu9959 6 років тому +18

    Tamtafuta huyu Jamaa niondoke zangu ulaya tu

  • @tahrinkessy7119
    @tahrinkessy7119 6 років тому +1

    Wekeni yote jmn 😭😭

  • @jeremiahmsemwa8323
    @jeremiahmsemwa8323 6 років тому +2

    Dah...hatari!!

  • @abdielyusuf71
    @abdielyusuf71 3 роки тому +1

    Kichwa cha habari Greece mimi nipo Germany nilizunguka mitaani nikashikwa nikapewa sehem na now naish vizur

  • @fadhilially7357
    @fadhilially7357 2 місяці тому

    SHEMEJI YANGU😂

  • @theophilyyona9940
    @theophilyyona9940 6 років тому +6

    duuuuu hata kama!! bora hivo kuliko kukaa kwa uncle hapa

  • @azukurmusa2085
    @azukurmusa2085 6 років тому +3

    Wazigua ndio wanaishi kismayo🤣

  • @beatricechristian9257
    @beatricechristian9257 6 років тому +1

    Naona kma Kiswahili kinakusumbua sana🤣🤣🤣

  • @ashahkishai2002
    @ashahkishai2002 6 років тому +1

    Mi enyewe natamani kwenda Ulaya

    • @jazzbanza6804
      @jazzbanza6804 6 років тому

      namimi nitumie nambayako tuasiliane

    • @pendojackison8822
      @pendojackison8822 4 роки тому

      Unataka kwenda ulaya sawa Ila Nina rafiki yangu MTU wa Burundi anakwambia yeye Africa haijamshinda eti wanaoshindwa maisha ndo wanakimbilia tofauti na Africa yao hivi ni kwelii duh navojua maisha popote

  • @taitusbangu8909
    @taitusbangu8909 4 роки тому

    Kiswahili cha minato kinomaaa

  • @sportsbiotz
    @sportsbiotz 2 роки тому

    Angalia baharia wazawa wakiokoa watu baada ya meli ya kigeni kuzama
    Gusa link hii apa chini kuangalia.
    👇🏾. 👇🏾. 👇🏾.
    ua-cam.com/video/m8X5qFrmA9g/v-deo.html

  • @devotajoel3730
    @devotajoel3730 Рік тому

    Ugeongea ki Swahili sitor ingefundisha wengi

  • @oyay2821
    @oyay2821 6 років тому +2

    Alafu mwasema Magufuli anapeleka nchi vizuri. Kama ni kweli watanzania wange kimbia nchi yao

  • @rainthatsgood8869
    @rainthatsgood8869 6 років тому +4

    Namba NNE WAP jamani mwenye nayo naomba

    • @annievibes8794
      @annievibes8794 6 років тому

      search misukosuko utapata zote mpaka 5

  • @rockyvlogs2214
    @rockyvlogs2214 6 років тому +1

    Huyu jamaa nimemuelewa

  • @lucyanyango8710
    @lucyanyango8710 3 роки тому

    Mambo simbaya

  • @wemakalam3233
    @wemakalam3233 6 років тому +1

    Huu chezo ni hatari

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 6 років тому +1

    Weka mic vizuri basi hatukusikii vizuri.

  • @rogersmassawe8323
    @rogersmassawe8323 6 років тому +2

    Jamaa namjua

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 6 років тому +1

    Story nzuri

  • @starboychyner3458
    @starboychyner3458 6 років тому +1

    JAMAN PART 3 IPO ?... MBONA KWANGU MWISHO PART 2 TU..

  • @mkuurditv4227
    @mkuurditv4227 6 років тому +3

    dahhh!

  • @arthurfesto9026
    @arthurfesto9026 6 років тому +1

    Sio rahis kiivo bro mahojiano ya kujua utaifa hayapo rahisi ivo mzee tumekua sikuizi sio watanzania wa kuamini hadith za zamani

    • @basitbasit2281
      @basitbasit2281 6 років тому

      Huyu jamaa anawapanga kiaina,sababu hizo experience wengine tumezipitia

  • @slayingtee6044
    @slayingtee6044 6 років тому +11

    Ukiongea kiswahili hauta kufa

    • @jamalissa3285
      @jamalissa3285 6 років тому

      anatia asila

    • @subiramussa1428
      @subiramussa1428 6 років тому

      Ha hahaha

    • @arsenalic23
      @arsenalic23 6 років тому +2

      Kama huelewi ni vizuri kujifunza. Hizi comments za kulalamikia watu kuongea lugha za kigeni sio poa. Tatua tatizo kwa kuuliza pale ambapo huelewi ama jifunze tu hiyo lugha husika

    • @mahamedabdi1881
      @mahamedabdi1881 6 років тому

      Umeona ee anabana pua jm

    • @colmanlesulie250
      @colmanlesulie250 6 років тому

      Go back to school

  • @annievibes8794
    @annievibes8794 6 років тому

    jamani hamjajaribu hivi vitu msiseme kaka wa watu tuulizeni tuliopitia misukosuko ya kuingia ulaya

    • @annievibes8794
      @annievibes8794 6 років тому

      @@utaani1 kuhusu nini km kuhusu ulaya bora usipoteze muda wako maana maisha ya huku siyo km ya miaka 20 nyuma

    • @annievibes8794
      @annievibes8794 6 років тому

      @@utaani1 Norway

    • @annievibes8794
      @annievibes8794 6 років тому

      @@utaani1 na kwa nini unichague mimi kuja kutembea Norway si uje km tourists wengine..mie siingiliani kabisa na wabongo utani sorry

    • @utaani1
      @utaani1 6 років тому

      @@annievibes8794 Mimi pia sina rafiki wa kibongo tangu nilipoondoka africa 2000. Mimi rafiki yangu kazi nikimaliza kazi narudi nyumbani kulala nikiamka narudi tena kazini

    • @fahadjinni5845
      @fahadjinni5845 5 років тому

      Hello power eomen

  • @wilboradahamary939
    @wilboradahamary939 3 роки тому +1

    P

  • @vfacilitator8398
    @vfacilitator8398 3 роки тому +1

    Huyu ni Mkenya, Mjaluo.

  • @familylove5417
    @familylove5417 6 років тому

    Kaka ulikuwa na Visa card hiyo Visa card ya uturuki au umetuambia umekamatwa na police so hawajajuwa tu mlipo toka nasie tumepitia usitudanganye bwana

    • @rogersaloyce2843
      @rogersaloyce2843 6 років тому

      Umesikiliza vzurii?

    • @utaani1
      @utaani1 6 років тому

      Naomba kuchat na wewe tafadhali kama itawezekana

    • @userAysha
      @userAysha 5 років тому

      Huyu jamaa muongo sana sijapata kuona maisha ya ulaya yamemshinda kaona aje kujifanya yeye baharia anawakandia wazanzibar wakati hao ndo watu waliomsaidia sana sana lakini hana shukran mshenzi mkubwa

    • @robertlinuma6051
      @robertlinuma6051 Рік тому

      Visa iliishia uturuki .yy Yuko ugirik sasa.na document ziliishia uturuki ..hata kama angekuwa na document za uturuki zisingesaidia maana alishavuka border tyr

  • @duckygameing3900
    @duckygameing3900 6 років тому +1

    How do I contact you my nigga

  • @ibrahimibraa4948
    @ibrahimibraa4948 6 років тому +6

    WW muongo ulikuwa omba omba tu huna ishu

    • @winslowzirops3598
      @winslowzirops3598 6 років тому +1

      Wew Umejuaje kama nimuongo Wabongo bhana

    • @ayshasaloom965
      @ayshasaloom965 6 років тому +2

      aijalish awe omba omba au kichaa kikubwa alichokitak kimefanikiw ndio mna unamuangalia na kuskiliz anasemaj nyokoli we

    • @ibrahimibraa4948
      @ibrahimibraa4948 6 років тому +1

      Huyo alikuwa omba omba anatudanganya tu

    • @nurdinimndeme2912
      @nurdinimndeme2912 6 років тому +1

      bado ujui Maisha hata leo 'kweli unashangaza bro

    • @ibrahimibraa4948
      @ibrahimibraa4948 6 років тому

      @@nurdinimndeme2912 unashangaza ww kumsikiliza huyo muongo

  • @damianimerou2752
    @damianimerou2752 3 роки тому +1

    Hawaii wasenge wengine wanakuja fanya nini huku ulaya HIVi ni vita so you don't say siri ya vitani pussy ya

  • @abuubakarimtange4601
    @abuubakarimtange4601 2 роки тому

    Chako tu wewe

  • @congoswahilitv6465
    @congoswahilitv6465 6 років тому +2

    mna tafuta views kulilini mweke yote

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 6 років тому +5

    Wanigeria wapo kila kona aisee halafu wana hawana roho mbaya kiivyo.

    • @saidibambo4339
      @saidibambo4339 6 років тому +6

      we unayesema hvyo huko wap umeshawai kuish na wanigeria ww ss hao cc tunawaita wapopo ni watu wakorofi na wana roho mbay kitu kidgo tu anakifanya kuwa kikubwa asilimia kubwa wana roho mbay ni wachache san wakarimu #bambojr from india

    • @Aidenkuye
      @Aidenkuye 6 років тому

      Duh huwajui wapopo ndugu, hao jamaa sio!

    • @25bacteria
      @25bacteria 6 років тому +3

      Kweli wanijeria hawana ROHO MBAYA HUWA KWELI WANSAIDIA NA WANAULLE UAFRICA KIUKWELIU NIMeishi nao CANADA na SOUTH AFRICA, ILA TU ila tatizo lao madawa, wnaweza kukubambikia madawa, wanatabia kama za wabongo kiaina, hustling mentality, kwa wanawake usijaribu wanaigeria wanawake wengi south africa na na Canada wameishia jela kifungo cha maisha kwasababu ya wanaigeria, wanawafungashia madawa bila kujua kisha wanakatwa wanaisha, kwanza wanajaribu juwapa au kujifanya wanaupendo nao kisha wale wanawake wakisha waamini wanaweza kumwambia nipelekee begi langu mji huu, au jamaa yangu akija mpe mzigo huu, au demu wake anasafini demu bila hata kujua , anapandikiza MADAWA KATIKA BEG LA DEMU KISHA AKISHAFIKA HUko anamwambia , fungua beg lko mpe jamaa hiki na kile, WANAWAKE WAKALIENI MBALI WANAIGERIA, Msije mkasema wamjaambiwa.... you can never trust them , i once nilikwa naishi na mzee =wa miaka hamsini na tano mtu mzima, tulipanga wote nyumba, alikuwa ananishauri kama baba, kuja kugundua siku askari wamekuja wanasema kuna madawa yanauzwa pale , ilikuwa mshike mshike ila kwasababu kipindi hicho nilikuwa mwanafunzi na naweza sana kujieleza na nahati nzuri walivyo ingia hao askari wakizungu walinikutwa nasoma saanane ya usiku....wamemkamata jamaa nje anauza madawa.. nihatari

    • @rainthatsgood8869
      @rainthatsgood8869 6 років тому +1

      @@25bacteria duh pole sana

    • @Fadhira7897
      @Fadhira7897 6 років тому +2

      @@saidibambo4339 wanaigeria hawana hawana roho mbaya hata kidogo pia wanapenda kusadia isipokuwa wanapenda ugomvi wna makundi ya group Jamani nimeishi now India huu mwaka wa 5 tangu 2014 mpka leo pia kuna makabila tofauti kama aslimia wengi ya wanao penda kupigana ni wa benin, na wa Agbo pia kuna wa igbo hawa wanapenda biashra ya madawa pia wengi wao wanapesa na hupendi kusadia watu japo kuwa watu wenye roho mbaya kila sehemu wapo hata tz pia kwao wapo arafu wanaenda watu wa inchi ya watu wengine kuliko hata wenyewe miaka ya nyuma nilivyokuja huku asee wanigeria unaweza ukaenda kwa mpopo ukala ukashiba hawana roho mbaya Jamani ukweli usimwe isipokuwa wanenda kupigana wenyewe kwa wenyewe tena sio wa watu wa ichi nyingine no wenyewe kwa wenyewe kwasababu wana magroup aslimia nyingi wa Tanzania walikuwa india waschana wapopo wamewasadia kimaisha wengine wamejenga na why tunawaita wapopo kwasababu hawalali usiku ila kwa kweli roho mbaya hawana na wapo kote duniani kwasababu wanapenda kusafir

  • @millitarybattalion7515
    @millitarybattalion7515 6 років тому

    Nyingine mnaweka SAA ngapi?

  • @babalois7240
    @babalois7240 6 років тому

    Duu

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 6 років тому +2

    Huyu jamaa mshamba sijapata kuona lol

  • @kenny5672
    @kenny5672 3 роки тому

    Acha usenge wa kunata kichoko

  • @bluebeamkennel9266
    @bluebeamkennel9266 3 роки тому

    Very poor strategy

  • @hamoudmohamed4916
    @hamoudmohamed4916 6 років тому

    Huyu sio mtanzania hakuna MTU WA kitz anaeongea hivi

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 6 років тому +3

    Baaaada ya kuzamia sasa kipi umechuma cha maendeleo au ndio story tu hapa kwamba nawe baharia mchanga, hamcgelewagi kurudi na mbwa kutoka ulaya halafu mliowaacha Africa washawapita mbali

  • @walterp.makundi5640
    @walterp.makundi5640 6 років тому +4

    Video poorly produced i can hardly hear what the guy is talking!

    • @walterp.makundi5640
      @walterp.makundi5640 6 років тому

      @Julius Baha it's not my profession but I don't lay eggs but I know a rotten egg 🥚

  • @mussamussamussa8444
    @mussamussamussa8444 6 років тому

    Huyu mshenzi tu naona muhaya huyu ss ongea kiswahili mshamba we ulaya hawajagi wasenge km ww