HECHE AFUNGUKA MBOWE TUNAKUPENDA ILA MUDA WA KUACHIA NGAZI UMEFIKA, NDIO MAANA ULITUJENGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 104

  • @ezekielmwasenga4640
    @ezekielmwasenga4640 День тому +44

    Mimi ni CCM,,lakini chadema mnaviongozi wenye maono Nampa maua yake John Heche❤

    • @saidimpako5186
      @saidimpako5186 День тому +6

      wewe sio ccm hakuna ccm mwenye akili ya kujua wenye maono

    • @MoEd-k8w
      @MoEd-k8w День тому

      ​@@saidimpako5186😂😂😂😂😂

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 8 годин тому

      Mbowe akiondoka msingwa tunamshukua wenyewe na watu wetu wote tunarejesha chadema kutoka ccm uko tulia 😂

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 7 хвилин тому

      Acha kucheza na akili za watu wewe eti CCM 😂😂😂
      CCM unaijuwa wewe?
      Sema kipindi hichi mmeyatimba maana Lissu akiondoka na chama kinakufa kabisa 😂😂😂
      Mbowe anamtegemeya Ngurumo kumtafutiya huruma

  • @stevenmabungi3245
    @stevenmabungi3245 День тому +22

    Nimefurahishwa sana na hotuba yako ndugu yangu heche kwamba Mbowe katujenga ili tufanye nini????😂😂

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila День тому +11

    Heche ni mwamba siku zote......ulikuwa ukisimama bungeni wanajua mwamba ksimama......speech zako Huwa na mvuto sana

  • @jamesnyamila2165
    @jamesnyamila2165 22 години тому +10

    Mnaomkubali Heche gonga like ❤❤❤💪💪

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior День тому +6

    SAFI MH JOHN HECHE.TUNA IMANI NA WEWE,LISU NA LEMA.

  • @abellutonja4589
    @abellutonja4589 День тому +9

    havui chama chetu nguo ,anawavua wala rushwa nguo na tutawasema😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf День тому +7

    Safi kabisa mm pia napenda asepe kwa sababu pia simwamini

  • @RwechungulaBegumisa
    @RwechungulaBegumisa День тому +2

    Ila John Heche mungu akubaliki tunapenda wasema kweli sio kujjificha nyuma ya kinachoitwa busara! Nakushukuru Milad ayo Kwa kuhalili vizuri mazungumzo ya Heche.

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 День тому +8

    Mungu awabariki sana Lissu Lema na Heche na wote

  • @JustinJoseph-k2t
    @JustinJoseph-k2t День тому +8

    Ni kweli nchi hii kuna watu wanajiona wao ndio wamiliki

  • @barryrioba3934
    @barryrioba3934 День тому +27

    LISSU HECHE LEMA
    1. LISSU M/kt Taifa
    2. HECHE Makamu M/kt Taifa
    3. LEMA Katibu Mkuu Taifa
    Eh Mwenyezi Mungu Tunaomba Iwe Hivyo CHADEMA Tusonge Mbele Tufike Malengo Makuu Ya Chama.🙏🙏

    • @SuleimaniabdelehmaniChitanda
      @SuleimaniabdelehmaniChitanda День тому

      Kweli mbowe apumzike saiv cio mzalendo wa chama kama tundu lisu tumpe lisu anaetembea na lisasi mwilini

    • @simonsadala2386
      @simonsadala2386 День тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂kuna watu wanajitekenya na kucheka wao wenyewe MBOWE ni jabari la siasa za upinzani hamuwezi kumtoa

    • @ga2revocatus91
      @ga2revocatus91 День тому

      Nimefurahi huyumwambaaa kusikia maombi yetu ❤❤❤❤Tuko pamojaaa sanaaa mungu awawekeee wepesi::::!!!!

    • @PlickaChacha
      @PlickaChacha 14 годин тому

      Naona kutakua na chama kingine hapa chedema B

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 8 годин тому

      Moto wa mbali , huku simba lissu na wenziwe , lazima cccm mafua yawatoke kidogo 😂

  • @STEVENKAJUMBA
    @STEVENKAJUMBA День тому +8

    Mbowe kazi anayo .

  • @hectorgold147
    @hectorgold147 День тому +3

    heche Mimi nakaa Nakonde Zambia nakuamini sana Wewe lisu mungu akubaliki

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 День тому +5

    Very positive speech

  • @kokusimabayona4179
    @kokusimabayona4179 День тому +4

    Heche ❤❤❤

  • @benimlisa6056
    @benimlisa6056 День тому +4

    Heche yuko vizuri

  • @hassanihamidu8546
    @hassanihamidu8546 День тому +5

    Ila heche unajua mpaka unakera!!! Naamini wapambe wa mbowe hamta lala. Mmesikia hizo nondo? Mtatobolea wapi mbele ya heche na TUNDULISU? Mmejichanganya 😂😂😂😂

  • @yusuphmkenza3019
    @yusuphmkenza3019 4 години тому +1

    Moja kati ya viongozi imara na smart kuwahi iutokea Tanzania ni huyu jamaa

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 День тому +6

    sipati picha mwenyekiti lisu makamo heche duuh nchi itachangamka sana

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 День тому +4

    Mwisho eche kapiga 💥 kumbe watu mmemchoka

  • @arianjrstanslaus4991
    @arianjrstanslaus4991 День тому +3

    Mmmhhh...jaa amepungua bana

  • @MosesNdabilla
    @MosesNdabilla День тому +1

    From lusaka viva lisu,zambia

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 2 години тому

    Ndiyoo echeeeee Run this time lazima kutokee mabadiliko..tunaitaji mwenyekiti mpya

  • @amosandrea
    @amosandrea День тому +2

    Hapo ndipo tnaiona democracy ikitenda kazi. Chama kimekomaa.

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j 4 години тому

    Chadema has now been completely tuned on the sprit channel, ccm hoyeeeee kudadeki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 18 годин тому +1

    Naunga mkono hoja ya kujenga ofisi nchi nzima hilo swala ni la muhimu sana siyo kuwa mmapangisha ofisi

  • @BashiruMteka
    @BashiruMteka День тому +1

    Huyo jamaa noma sana❤

  • @bernardhonde674
    @bernardhonde674 День тому

    John Heche simply the best 😊

  • @josephmatiko4805
    @josephmatiko4805 18 годин тому

    Safiii kamanda mimi kiukweli kwa Tundu Lisu moyowangu mweupeeeee, sema kamanda nakulinganiaha na, Malema

  • @IreneRama-jp6pm
    @IreneRama-jp6pm 5 годин тому

    Jamani na mim ni mwanachama ccm lakini lisu ni babalao 🎉🎉🎉😅

  • @hectorgold147
    @hectorgold147 День тому +1

    asante mungu akulinde

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 День тому +1

    Mmmmmmmmm kazi kwelikweli

  • @asiakhamisi469
    @asiakhamisi469 День тому +4

    ❤❤❤

  • @joyceMwaikusa
    @joyceMwaikusa 11 годин тому

    Chadema for life ❤

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 День тому +2

    Naona kambi Lisu mmeanza kuchanganyikiwa

  • @EmanuelJohnIbrahim
    @EmanuelJohnIbrahim День тому

    Asante sana heche tumekuelewa

  • @thadeipeter2592
    @thadeipeter2592 День тому +5

    Hotuba ya kufungulia mwaka very powerful

  • @hemedshalua2002
    @hemedshalua2002 День тому +4

    Kumbe kuna Brains hapa nchini

  • @awazmudricbatamwak119
    @awazmudricbatamwak119 День тому +3

    Heche Awe raisi wa nchi hii

  • @Piscesblair
    @Piscesblair 17 годин тому

    It's good to define rushwa hiyo ilikuwa ni kwa ajili gani?. Chadema haina pesa ya kutosha kujiendesha, inachangiwa na kila mtu bila kujali ana itikadi gani. Kushinda chaguzi kuna hitaji fedha nyingi. Misimamo ya kisiasa pekee katika majukwaa haitoshi Mheshimiwa Heche.

  • @majidimussa8678
    @majidimussa8678 День тому +1

    Haswah Nisunami🙏🙏🙏🙏

  • @MoEd-k8w
    @MoEd-k8w День тому +2

    Hii combination ya Lisu na Heche naitaman ndiyo ishinde. Wote wazee wa misimamo

  • @Alphonce223
    @Alphonce223 10 годин тому

    Aisee hawa watu wapewe chama ccm mapema sana wanakimbia.

  • @SamweliMshana
    @SamweliMshana День тому +2

    TALHECHE Mpango mzima

  • @AugustinoJames-y2l
    @AugustinoJames-y2l 10 годин тому

    Mbowe mi5 ten,awa watu wengn bendera fauat upepo wao wanaenda tu,lisu kapewa lift anataka kupga na on..

  • @FredChaki-jb8zj
    @FredChaki-jb8zj День тому +1

    huyu jamaa is realy politician

  • @SaidAkida92
    @SaidAkida92 7 годин тому

    Tulia ww kalime

  • @PembaOnline
    @PembaOnline День тому +6

    Naombeni support yenu🎉

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 День тому +2

    Maghana ghasaliki mbaniiiiii

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv День тому +2

    Kwani si kuna kura na Uchaguzi.... sasa zogo la nini ..... SANDUKU LITAONGEA......

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes День тому +3

    Mbona SUGU aongei jamani, Ila SUGU ni mtu pekee anaweza kusimama chadema na kuiondoa madarakani CCM lakini lissu bado atoshi kabisa na sijaona mwengine ambae atawashawishi wa tanzania kumpa kula, sababu ili ushinde sio kwa kula za chadema tu Bari kula za kila mtanzania.

    • @UrassaPaschal
      @UrassaPaschal 23 години тому

      Sugu Bado ukilinganisha na hao wengine ila ni mwamba

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 18 годин тому

      Hakuna mpinzani wa kupambana na CCM na kuitoa madarakani CCM Ina Watu wazuri Mfano Mh Majaliwa na Makonda hao wakipewa nafasi kugombea urais watashinda haraka sana

  • @amosgeorge4012
    @amosgeorge4012 20 годин тому

    Mara hazaliwi fala😂😂

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 День тому

    Mboye anashinda 😂 Heche kotimoto na Lissu😅

  • @WatsonMwaigaga-uy5jk
    @WatsonMwaigaga-uy5jk День тому +2

    💯💯👏👏💪

  • @AlexPetro-z1e
    @AlexPetro-z1e 19 годин тому

    Movement for change

  • @James-sz4ec
    @James-sz4ec День тому

    Lisu juu juu juuu mbowe kua msitaarabu tunaipenda chadema

  • @amosandrea
    @amosandrea День тому +1

    Mzee umetupoteza hapo. Wewe ni mtu wa DIALOGUE au DEBATE?😂

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 День тому

    Kwa hiyo ccm wote wala rushwa lkn chadema sio wala rushwa kama Lissu alivyosema 😂?

  • @MathayoSaid-d4t
    @MathayoSaid-d4t Годину тому

    Ndiyo maana nilikumisi sana nimesikia sauti yako nimefurahi sana.

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 День тому +3

    Tunawapenda lkn muwe wabunge tu uraisi hapana ccm wataendelea kuishi maisha bigup

  • @MOREDI2024
    @MOREDI2024 День тому +4

    Kwamba alikuwa anawajenga ili iweje 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @salumnassor3857
    @salumnassor3857 День тому

    Yes lisu on fire

  • @ayubunato-lg7yy
    @ayubunato-lg7yy День тому +1

    M4c🎉🎉

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow День тому +1

    Watu wa mara tumenyooka hatuna uongo uongo tunakwambia ukweli

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 18 годин тому

      Kweli mwetu, kweli mura, kweli mwanawasu, Obirogoi

  • @bmdele5816
    @bmdele5816 20 годин тому

    Hecheeeeeeee!....

  • @Keyjop
    @Keyjop День тому

    Mbowe ni kweli asing'ang'anie madaraka kama chama Cha CCM anatipa wasi wasi tunashindwa tuichahie chadema au ibaki ,CCM ,

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu День тому

    Huyu mwamba yupo vinzuri anamisimamo ya kiume

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 День тому +1

    Ila ccm inampenda sn

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd День тому +4

    heche akili mingi

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 День тому

    Nothing lasts forever

  • @daudpius130
    @daudpius130 День тому +6

    John Heche wewe ni mutu

  • @peterpetropetro-h7n
    @peterpetropetro-h7n День тому +4

    murra ugombere buuya...

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 14 годин тому

    Ccm mwaka huu kazi yaenu ni nyepesi ni kama kumsukuma mlevi.Lkn ccm mtakaa madaraka di mpaka.mchoke.Hadi chadema mmewapata.Kuwa Lisu awé mwenyekiti wa chama?Mtu ambaye mpaka leo hajui aliye mpiga risasi ndiyo anapewa jukumu la kuongoza nchi .Chadema mmelogwa.

  • @iddysonyo1356
    @iddysonyo1356 19 годин тому

    huu ndio muda wakumtafuta aliewaua kina kibao na uchunguzi ukifanyika kwakina watajulikana

  • @DamasObeid
    @DamasObeid День тому

    Tunaondoka na lisu

  • @ZuhuraMsangi-g9z
    @ZuhuraMsangi-g9z 16 годин тому

    tunahitaji kama wewe heche

  • @MichaelMatiku-v7o
    @MichaelMatiku-v7o 15 годин тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba День тому +1

    Mbowe,,maneno walio yaongea vijana wako huwezi ukaaminika tena ndani ya chama,,waachie vijana

    • @mkadammkadam
      @mkadammkadam День тому

      Huku ndiko kuchafuka kwa hali ya hewa ya kisiasa ndani ya CHADEMA.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 День тому +1

    Njaa tu.Wote sawa.sawa.Nothing important a t all.😢😢
    Mo change Siasa ni kazi ya hatari.Useme uongo wajinga.ndio waliwao.
    In short sioni viongozi hapo zaidi ya wasaliti

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 День тому +1

    Mnajivua nguo nyie wenyewe lkn mwisho wa yote Mbowe ndye mwenyekiti wenu

  • @GeraldSwai-ty1hr
    @GeraldSwai-ty1hr День тому +1

    Hawa ni waasi wa chama.

    • @deniseliuter3002
      @deniseliuter3002 День тому +2

      Uasi wao ni upi kugombea nafasi ya mbowe ama..??

    • @kelvincharles7263
      @kelvincharles7263 День тому +2

      Chama kinahitaji Mwenyekiti mpya

    • @maribaisack2097
      @maribaisack2097 День тому

      Geraldswai Akili huna unaleta ukabila hapa kisa mbowe ni mchaga..wewe ni useless

    • @akaumbo9433
      @akaumbo9433 День тому

      Mbowe ni Mrongo

  • @EmanuelJohnIbrahim
    @EmanuelJohnIbrahim День тому +1

    Asante sana heche tumekuelewa

  • @MOREDI2024
    @MOREDI2024 День тому +2

    Kwamba alikuwa anawajenga ili iweje 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂