Bado anasafari ndefu, maisha ya binadamu ni safari ndefu sana, unapitia mengi sana, na unajifunza mengi kila siku, hata hatupaswi kumlaumu huyu jamaa. Mwisho wa siku Mungu anamtafuta mwanae, tuendelee kumuombea, ipo siku atabadirika kabisa na kuwa mtu mwingine kabisa. Hata Mtume Paulo slipitia mengi kabla hajamjua yesu.
Nakukubali sana hii story unaipost very updated wala huchelewesh saf sna
Kabisa raha sana hacheleweshi
Emotional 😢
Ili uifrahie dunia ndugu yangu! We ishi kistarabu, Hakikisha unazingatia aheria za nchi uliopo, Pia usimwache yesu!
😢😢
🤣🤣eti wanakubembeleza kama kiongozi sema ulikuwa nunda sanaa.
Ukijifanya mbabe jela unajisumbua tu. Ukitaka kuishi vyema jela kuwa fala utaishi vizuri sana
Hapo kwenye kubembelezwa kama kiongozi mie mbavu sina 😅😅😅😅😅
Hiyo miez sita tu we mzee ni hatari😅😅
Oyoooooooo ✌️ balia namuelewa
Twende kazi
Wewe Ni nunda
Shekhe nn mipete midani minyororo ya nini wakati ww ni maskini tu uza mizigo iyo upate mtaji wa biashara acha ujinga
Ulifa na mateso zaidi ya adhabu ya 7
Una damu za watu
nimekumbuka kamanda ulivo sema mnara
lindela ushawahi kukaa?
Bado anasafari ndefu, maisha ya binadamu ni safari ndefu sana, unapitia mengi sana, na unajifunza mengi kila siku, hata hatupaswi kumlaumu huyu jamaa.
Mwisho wa siku Mungu anamtafuta mwanae, tuendelee kumuombea, ipo siku atabadirika kabisa na kuwa mtu mwingine kabisa.
Hata Mtume Paulo slipitia mengi kabla hajamjua yesu.
Nimemkubali uyu jamaa
Uhalifu haulipi ndio maana yake....
Ukijifanya primitives jela utafanyiwa uprimitives zaid kuliko wewe
Ka Mkubwa umepambana sana dah pole