Part 2 Mambo ya kwenye Movie yapo kweli South Africa,Natoka Tu Dukani nawekewa BUNDUKI kifuani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @clarasimon7830
    @clarasimon7830 9 місяців тому +2

    Nipeni like zangu

  • @AzizhamudiAzizi
    @AzizhamudiAzizi 3 місяці тому

    Pamoja sana mkuu

  • @khamisbubah9992
    @khamisbubah9992 9 місяців тому

    Kipindi changu bora siku zote 💯🔥

  • @zainabubakari319
    @zainabubakari319 9 місяців тому

    Kazi Nzuri kaka 👍

  • @geraldmnyema
    @geraldmnyema 3 місяці тому

    Achakudanganywa watu SA ni hatari sana!Watu kibao wa tanzania wanakufa na wanarudishwa maiti

  • @ezekielgeorge7389
    @ezekielgeorge7389 9 місяців тому +2

    Sasa hivi bandika bandua

    • @mosesisra
      @mosesisra 9 місяців тому +1

      Ndio poa hakuna cha kupoteza mamae 😂🔨🔨🔨

  • @user-ks3vx5xj9m
    @user-ks3vx5xj9m 8 місяців тому +1

    Ubanguni na Malawi sio Zambia to Botswana au Zimbabwe nimepita kitanbo pako poa sema askari wa Zambia pia huwa wanatamaa lkn ukikomaa wanakuachia upite maana kuna check point njiani unawakuta polisi

  • @jumahamza6608
    @jumahamza6608 8 місяців тому +2

    Baharia muongo utafikaje maputo alafu uende zimbabwe wakati inatakiwa kuelekea katembe

  • @jumahamza6608
    @jumahamza6608 8 місяців тому

    Kanikumbusha mbali sana

  • @AmbweneMwakisulu-vv1yl
    @AmbweneMwakisulu-vv1yl 9 місяців тому

    Pamoja MUNGU MWEMA

  • @mosesisra
    @mosesisra 9 місяців тому +2

    Mozambique zimbabwe tena 😂😂😂 miziki machizi hizi lugha mnazitoaga wapi wabongo 😂😂😂😂

  • @user-cheedycheedy
    @user-cheedycheedy 7 місяців тому

    Nimerudi Tena wanangu pande za buguruni