Too inspiring, costless education, eyes talk,ukimtazama jamaa usoni na kusikiliza maneno yake unaona jinsi jamaa ana upendo kwa nchi yake na Bara la Afrika pia,umenipa mengi sana ya kujifunza na kujitafakari binafsi.Mungu azidi kukutunza sana Benjamin. Bravo bravo bravo!
Naishi Uingereza nilikuwa natumia World Remit wanakata, baada ya kuona hii interview nimejaribu kutuma no hidden fees nimepata exchange nzur Sana, kaka nadhani ujikite kwenye marketing watu hawajui
I saw him when he was 5 or 6 yrs old ATN church, his Father&mother are Pastors personal they teached me alot about Jesus- God has bless him im sure for the good work the parents do for the body of christ, i hope to meet you someday, Big up and congratulations Benjamin, for this step and all the best !👏🙏
Mimi nipo chuo cha Dodoma, college ya Informatics and Virtual Education, nkiwa nachukua course ya Computer Science. Katika swala la kuita maprofessional kuja kufundisha chuoni hyo inasaidia sana! kwa7bu tunavyosoma kuna mda vinakua vigumu mpaka unakata tamaa, hila unapo muona mtu ambaye kafanikiwa kupitia field hii, hata kidogo inatia moyo! Pia kuna watu wanasoma but hawajui hata wancho kisoma wataenda kuki apply wapi! Watu kama hawa ndio ambao wanaweza kufanya majibu ya maswali mengi kujibiwa!!! Aiseeee afanye hata siku moja kuja kufanya seminer hapa, naona kama Harvard wanawaita wakina Mark zuckerberg, kwanin sisi tusiwatumie watu hawa!
Wanachuo huwa wanayo dharau sana ukija kuwashauri watakuambia mbona wewe hujafanikiwa,nikiwa chuo alikuja Joel nanauka lakini watu walikuwa kazi ni kubeza tuu....kama anafundisha hvi mbona hatajiriki
MASHA ALLAH, hongera sana kaka, Tanzania kuna dharau ambazo zinaturudisha nyuma. Mfano huyo profesa aliekuuliza una phd gani... Tanzania mnaangalia vyeti sana zaidi ya output
Haya mambo viongozi wetu wamwkuwa ni wahuni kila mahara ni migando kupita kiasi mtanzania anaamua kujitoa na kuwekeza kwenye sekta ya ya teknlojia lakini ubabaishaji unakuwa mwingi tunahitaji kujichunguz sana kunaanzia kwenye elimu madarasani ukweli mfumo huu ni mkubwa sana viongozi wetu wamekuwa wakihusika kuchelewesha maendeleo ya vijana kwa mazoea yao et vijana hawaaminiki ukweli uhuni ni mwingi sana.. tanzania jamani tuamke kwa kutafakari mda wote.
Ni kweli watanzania tunatakiwa kum-support Mtanzania mwenzetu kwa kutumia App yake kufanya transaction(s) kutuma pesa nyumbani. Huyu kijana ana maono, itapendeza tukimnyanyua. Kweli wakenya wanatuzidi kutumia huduma hii ambaye founder wake ni Mtanzania. Good job, Ben
Wow!! Kazi nzuri sana Benjamin. Juhudi zako zinatia moyo kwa sisi vijana ambao tunapambana!! I can't wait to use your app here in US to send money to my sweet home TZ, count me as one of users to #NALA!! Big up sana Mtanzania mwenzangu and be blessed!! Ushauri kwa Mr. #MillardAyo inabidi mfungue online session about tech na bwana Benj hapo bila shaka watanzania na wengine wangependa kujifunza masuala hayo!!
kiukweli TZ kuna mapungufu makubwa sana kwenye sheria zetu, watunga sera wetu hawajui/kutambua mambo mengi sana, kuna hitajika sana kufanya mabadiriko kwenye sheria hizi kandamizi zinatukwamisha sana vijana especially kwenye ulimwengu wa technologia. Big-up benjamin
Hongera sana benjamin nimepata kitu kwako hongera pia milard ayo kwamaana hassle ring zako pia tunazijua vjana ni lazima tuchangamkie fursa ni lazima tuendane na speed ya dunia ilivo kwa sasa bila kisahau kumuweka mungu mbele na kumuabudu....🤝
mm kama kijana nimefurahi nimekuwa inspired kutimiza ndoto na kuijenga nchu yangu nimegundua kuwa sio lazma kuhamia nchi nyingine ili kutimiza ndoto God bless you benj na kaka Ayo
Ningekuwa na nafasi ya kumshauri Rais Samia, ningemshauri amteue Kuwa waziri wa wiźara flani hivi, Great Brain. Jameni watunzeni vijana vizuri wana potential ya kuinua uchumi wetu.
This is an amazing story. There is no reason for Tanzanians to hate on Kenyans. We are all brothers. Matusi kwa social media tuache. Wakenya na Watanzania ni mandugu.
ONE DAY YES. NALA inanisaidia sana kutuma pesa from UK. Story yake ya kufeli shule ilinigusa since i once went through such an experience na kufungua NALA after 10 years. Is so inspiring. Naamini after 10 years, I will be here to testify how God has been good to us. GOD IS GOOD.
Miaka kadhaa huko nyuma rafiki yangu mmoja alinieleza jinsi Tanzania tulivyokosa fursa ya kupatia vijana wetu ajira baada ya mwekezaji mmoja mzungu kuvunjwa moyo na kuhamishia uwekezaji wake nchini Uganda. Mwekezaji huyo alitaka kufungua kampuni ya ufugaji mbuni, lakini alipigwa danadana kwenye ofisi moja baada ya nyingine. Baada ya kuona miezi inapita na hapati ufumbuzi alienda Uganda na ndani ya wiki 2 (wakati huo) akafungua kampuni. Nashangaa hadi leo ukiritimba bado upo!!
Hongera sana Benjamin..... Keep going you are growing. Tanzania tunahitaji kuchukua hatua za vitendo zaidi kuliko maneno tu. Hongera pia Ayo unafanya kazi kubwa sana
Kwa kweli ukimsikiliza mr Benjamin, unajifunza mengi sana. Natamani sana vijana tujifunze sana kupitia huyu jamaa. Mungu ambariki, naamini atafanikiwa sana kwa mawazo aliyonayo.
Sijui wenye mamlaka wanajisikiaje wanaposikia maneno kama haya kucheleweshwa! kucheleweshwa! Inasikitisha sana kuona kila mwekezaji analalamika ucheleweshwaji wa mambo ndani ya Tanzania.
Mungu Ni mwema Sana na wa kushukuriwa , kijana anajambo kubwa la kujifunza mola amsaidie Sana, sio kwa vijana sio kwa serekali , ametupa funzo kubwa . Ni juu yetu kumpa support ya japo kupakua app yke
Hongera Benjamin kwa jitihada zako Allah akuzidishie ujuzi. Hongera pia Milad kwa masuali mazuri kwa kijana wetu nadhani Serikali itayafanyia kazi kwa haraka.
Now Pesa ipo kwenye Technology, hivyo ni wajibu wa kizazi chetu hiki kuanza kufundishwa Programming language, networking, graphics na pia kongole kwa serikali yetu kujenga Chuo kikubwa East Africa nzima Cha Technology kipo Udom COLLEGE OF INFORMATICS AND VIRTUAL EDUCATION. Hivyo haya masomo yafundishwe kuanzia grass root hata kuanzia Primary level Education.
Too inspiring, costless education, eyes talk,ukimtazama jamaa usoni na kusikiliza maneno yake unaona jinsi jamaa ana upendo kwa nchi yake na Bara la Afrika pia,umenipa mengi sana ya kujifunza na kujitafakari binafsi.Mungu azidi kukutunza sana Benjamin.
Bravo bravo bravo!
Naishi Uingereza nilikuwa natumia World Remit wanakata, baada ya kuona hii interview nimejaribu kutuma no hidden fees nimepata exchange nzur Sana, kaka nadhani ujikite kwenye marketing watu hawajui
Kweli jaman
Nipatiye namie nitumiye kutuma pesa
How about security
How about security
@@SlaxerManthey have bank grade security
I saw him when he was 5 or 6 yrs old ATN church, his Father&mother are Pastors personal they teached me alot about Jesus- God has bless him im sure for the good work the parents do for the body of christ, i hope to meet you someday, Big up and congratulations Benjamin, for this step and all the best !👏🙏
Haswaaaa
Qq
Q
Q
Q
Benja, Kiukweli Leo Nimepata Muamko Mkubwa Sanaaaa 🔥🔥
Mungu Akubariki... Nakukubali since day one Mpaka Leo ...
Jamaa anajua jamani,, mi binafsi naisi muhemuko mkubwa sana ukiskiliza vizuri hii interview you get alot of life summary 🧡
Safi sana, waziri wa Teknolojia uwe mbunifu na kusapoti vijana kwenye teknolojia
Well done Kenya for supporting your brother
Maneno kama haya wanaongeaga ma genius Thank you so much
Mimi nipo chuo cha Dodoma, college ya Informatics and Virtual Education, nkiwa nachukua course ya Computer Science. Katika swala la kuita maprofessional kuja kufundisha chuoni hyo inasaidia sana! kwa7bu tunavyosoma kuna mda vinakua vigumu mpaka unakata tamaa, hila unapo muona mtu ambaye kafanikiwa kupitia field hii, hata kidogo inatia moyo! Pia kuna watu wanasoma but hawajui hata wancho kisoma wataenda kuki apply wapi! Watu kama hawa ndio ambao wanaweza kufanya majibu ya maswali mengi kujibiwa!!! Aiseeee afanye hata siku moja kuja kufanya seminer hapa, naona kama Harvard wanawaita wakina Mark zuckerberg, kwanin sisi tusiwatumie watu hawa!
Wanachuo huwa wanayo dharau sana ukija kuwashauri watakuambia mbona wewe hujafanikiwa,nikiwa chuo alikuja Joel nanauka lakini watu walikuwa kazi ni kubeza tuu....kama anafundisha hvi mbona hatajiriki
@@highzacknnko9685 ukweli😅😅😅😅 lakini siyo wote😅😅😅 na kuna ambao watanufaika😅😅😅
MASHA ALLAH, hongera sana kaka, Tanzania kuna dharau ambazo zinaturudisha nyuma. Mfano huyo profesa aliekuuliza una phd gani...
Tanzania mnaangalia vyeti sana zaidi ya output
Ndio maana uteuzi unazingatia Doctorate but output is poor!!!
Ma profesa mafala sana hamna kitu zaidi ya makaratasi yao
@@noorbazaar9063 tuna taka out put sio upuuzi wa makaratasi
@@noorbazaar9063 Phd zime kuwa kama title zaidi meaningless in the grand scheme of things kama una jua una jua
Aisee hzi elimu sizielewi hata ,hawana invetion wala hawaangaiki kutatua matatizo zaidi ni kukosoa watu wanaoumiza vichwa ,honestly wanafanya vibaya
Usipojituma utatumikishwa ! Naishi nayo hii Brother. Mungu akufanyie wepes ufikie ndoto
Mashallah milad ayo mwambie Benjamin aje Oman afungue pia app ya NALA tupo watanazania wengi sana huku
Kwer. Kabisa
I am going to try Benjamin, you are from my home town Tanga, I know your dad, Rev. Vernon Fernández, I am definitely going to upload the app.
Inasikitisha sana.Uganda, kenya Tanzania ya mwisho kumpa ushirikiano.Duh!
Haya mambo viongozi wetu wamwkuwa ni wahuni kila mahara ni migando kupita kiasi mtanzania anaamua kujitoa na kuwekeza kwenye sekta ya ya teknlojia lakini ubabaishaji unakuwa mwingi tunahitaji kujichunguz sana kunaanzia kwenye elimu madarasani ukweli mfumo huu ni mkubwa sana viongozi wetu wamekuwa wakihusika kuchelewesha maendeleo ya vijana kwa mazoea yao et vijana hawaaminiki ukweli uhuni ni mwingi sana.. tanzania jamani tuamke kwa kutafakari mda wote.
Ni kweli watanzania tunatakiwa kum-support Mtanzania mwenzetu kwa kutumia App yake kufanya transaction(s) kutuma pesa nyumbani. Huyu kijana ana maono, itapendeza tukimnyanyua. Kweli wakenya wanatuzidi kutumia huduma hii ambaye founder wake ni Mtanzania. Good job, Ben
Wow!! Kazi nzuri sana Benjamin. Juhudi zako zinatia moyo kwa sisi vijana ambao tunapambana!! I can't wait to use your app here in US to send money to my sweet home TZ, count me as one of users to #NALA!! Big up sana Mtanzania mwenzangu and be blessed!! Ushauri kwa Mr. #MillardAyo inabidi mfungue online session about tech na bwana Benj hapo bila shaka watanzania na wengine wangependa kujifunza masuala hayo!!
I hv learned alot from this interview welldone ..Mungu akusimamie Inshaallah
Ben,funguwa chuo chako hapo nyumbani usaidie vijana wenzio
Utafanikiwa pls.🙏🏾🙏🏾❤
Two inspiring youths in one video💪🏽 May God Bless You two for us🙏🏽
🔥🔥🔥
Kabisa. Ni Vijana wawili wenye weledi katika video moja
kiukweli TZ kuna mapungufu makubwa sana kwenye sheria zetu, watunga sera wetu hawajui/kutambua mambo mengi sana, kuna hitajika sana kufanya mabadiriko kwenye sheria hizi kandamizi zinatukwamisha sana vijana especially kwenye ulimwengu wa technologia. Big-up benjamin
So inspired by him. Big up Benjamin. Kila la heri.
Benjamin, you are doing great, may God bless you!
This man deserves award from Tanzania government
Sure he need a recognition to encourage more Tanzanins to become the best for the country
kabisaa,ila sio bongo yetu hii..kwanza ukiwa ivo wanakuona threat kuliko kukuona kama asset..soo sad
Nimewaza Mambo mengi Sana kuhusu kipaji Cha huyu jamaa abarikiwe
yaah you are the best one mr Benjamin
Great. Mungu ambariki Benjamin na ndoto yake na upendo wake kwa nchi yake Tanzania.
Benjamin you are really a Tanzanian with Tanzania at your conscious. Keep it up. I am really touched with your commitment.
MashaaAllah. Wishing You The Best Brother Benja. Big Up Br. Millard💪
Hongera sana benjamin nimepata kitu kwako hongera pia milard ayo kwamaana hassle ring zako pia tunazijua vjana ni lazima tuchangamkie fursa ni lazima tuendane na speed ya dunia ilivo kwa sasa bila kisahau kumuweka mungu mbele na kumuabudu....🤝
NALA listed in NASDAQ agreat dream Benji keep up the good work man.
Nala haipo nasdaq ila soon in 2 years it enda public refer kwenye time line 9:19
God towerds efforts for all big up brother
Nala soon.wiil toproud inshallah
Patriotic Interview
Mr Benjamin umenifurahisha pale uliposema "namjua Kila niliyemtumia maombi ya kuwekeza kwenye Nala akanikatalia😄 ninao kwenye Compyuta"
😂🤝
mm kama kijana nimefurahi nimekuwa inspired kutimiza ndoto na kuijenga nchu yangu nimegundua kuwa sio lazma kuhamia nchi nyingine ili kutimiza ndoto God bless you benj na kaka Ayo
Thanks a lot Millard Ayo and Benjamin Fernandes I am learning a lot from you
Hii ni akili kubwa sana na yenye uzalendo mwingi sana.....Serikali ni muhimu sana kufinance watu kama hawa kwa manufaa ya Taifa.
I am impressed. Congratulations Benj
Ningekuwa na nafasi ya kumshauri Rais Samia, ningemshauri amteue Kuwa waziri wa wiźara flani hivi, Great Brain. Jameni watunzeni vijana vizuri wana potential ya kuinua uchumi wetu.
Sio Lazima uwaziri awe mshsuri wa Rais inatosha
Kakataa kuajiriwa Marekani hapa bongo ndo atataka
Amekataa mshahara wa million 400 kwa mwaka kampuni ya Google awe wazir mshahara million 5 sijui 6
Allah barik mr #Benjamin
This is an amazing story. There is no reason for Tanzanians to hate on Kenyans. We are all brothers. Matusi kwa social media tuache. Wakenya na Watanzania ni mandugu.
Yes that point...karibu TANZANIA
@@jenipherjames5475 Asante. Pia wewe Karibu jiji kuu la Nairobi.
Lkn utani upo mfano sio mandugu ni ndugu
Technology tukiishiks, itaajili vijana wengi sana. Tatizo letu ni uelewa wa viongozi wetu.
Yes Benja, I appreciate your achievements, God lead you to achieve the desire of your heart. NALA hoyeee.
Tanzania government and leaders, please wake up.
Investing in Tanzania its really hard especially when it comes to technology things.
ONE DAY YES.
NALA inanisaidia sana kutuma pesa from UK.
Story yake ya kufeli shule ilinigusa since i once went through such an experience na kufungua NALA after 10 years. Is so inspiring. Naamini after 10 years, I will be here to testify how God has been good to us. GOD IS GOOD.
Miaka kadhaa huko nyuma rafiki yangu mmoja alinieleza jinsi Tanzania tulivyokosa fursa ya kupatia vijana wetu ajira baada ya mwekezaji mmoja mzungu kuvunjwa moyo na kuhamishia uwekezaji wake nchini Uganda. Mwekezaji huyo alitaka kufungua kampuni ya ufugaji mbuni, lakini alipigwa danadana kwenye ofisi moja baada ya nyingine. Baada ya kuona miezi inapita na hapati ufumbuzi alienda Uganda na ndani ya wiki 2 (wakati huo) akafungua kampuni. Nashangaa hadi leo ukiritimba bado upo!!
upo mnooo .. yani kwanza ata system ya makodi is soo unreasonable...wangeangalia i say...makampuni mengi yanafanya kona kona kisa tu ivo
All the best benj TANZANIA we proud of you
Hakika huyu benja ni mzalendo wa kweli kabisaa lazima watanzania tumsaport kwa nguvu zote
Hongera sana Benjamin..... Keep going you are growing. Tanzania tunahitaji kuchukua hatua za vitendo zaidi kuliko maneno tu. Hongera pia Ayo unafanya kazi kubwa sana
Brother Benjamin big up sana,,, wewe n mtanzania halisi vijana inabidi tukuunge mkono na kujifunza sana kwako
Man ur the real patriot, more bless, more hard work, bless to our government Tanzania
Mungu akusaidie ufike mbali zaidi na ubarikiwe kwaupendo wako kwa nchi yangu
Great work. Keep up the good work Mr Benj 💪
Hongera Sana, Bwana Yesu akutangulie.
Big up wewe ni kidume wa nguvu sana hakika mungu atakucmamia na utatimiza ndoto yako ya kweli 💪👏
Atimize ndoto gn wakat tayar ana 23bilion
Mungu / MUNGU sio mungu hii inamaanisha mungu wa Dunia hii yaan shetani
Allah akuongezee unafanya kaz kubwa sana brother
My brother Millard ayo, nakushukuru kwa hii interview imenihamasisha sana Mimi kama software developer🙏
Congratulations 👏 Benjamin. Hakika uko vizuri..
God with you brother
Kwa kweli ukimsikiliza mr Benjamin, unajifunza mengi sana. Natamani sana vijana tujifunze sana kupitia huyu jamaa. Mungu ambariki, naamini atafanikiwa sana kwa mawazo aliyonayo.
Big up Benjamin May God full fill your purpose
Yani kila interview ya benjamini nakuwa napata mambo mazuri.
Millard hizi ndo habari zinafaa kushinda kwenye maskio ya vijana na tupunguze udaku🙌
You are so so right, sio kutuletea WCB lol!
Mimi huw nikimuona mwenyewe mwenye Milado Ayo huwa najua anakuja nakitu kitamu,ufunguo wa akili,afya ya kujielewa.
@hangatvonline Tz p1t
Big up sana Benjamin,,, Very inspiring.... Government Kuna vitu vya kuchukua hapo lazima kubadilika tuende na kasi ya Dunia
Sijui wenye mamlaka wanajisikiaje wanaposikia maneno kama haya kucheleweshwa! kucheleweshwa! Inasikitisha sana kuona kila mwekezaji analalamika ucheleweshwaji wa mambo ndani ya Tanzania.
Big up sana kwake..jamaa yupo very smart
Very inspiring 🙏🏿
God bless People like Benjamin🙏🙏
This is great conversations, inspireful
Mashaallah. Ubarikiwe inshaallah.
Mungu Ni mwema Sana na wa kushukuriwa , kijana anajambo kubwa la kujifunza mola amsaidie Sana, sio kwa vijana sio kwa serekali , ametupa funzo kubwa . Ni juu yetu kumpa support ya japo kupakua app yke
Ni app Nzuri Sana na Mungu akubariki Sana #Benjamin utafika mbali sana
#Great_thinker
Great interview with full of inspiration to us youths of Tanzania
Big up sana Benjamin. And Millard keep the pot boiling. Very good job you are doing.
Ben, There is a big market here in US . Work with us( Burundians, Congolese and …)
Nimependa sana hii interview.Imenipa hamasa sana ya kupambana
Mashallah, hongera sana Benjamin
Mungu akuongezee kipaji na uwezo
Congrats Benjamin,,kiukwel upewe pangez sana na siwez kusita kusupport hili.bravo bravo
Bro this man his on another level
Our system is way too back... The government should accept changes to cope with the world.. or else will never be in the list of tech companies
God bless you
Hongera sana kijana. The Children of the righteous shall do exploits
Hongera Sanaa Benjamin una malengo makubwa . Umewaonyesha njia vijanaa
Hongera sana Benjamin,Mwenyezi Mungu akuongoze kubadilisha mitizamo ya vijana wa kitanzania.
❤❤❤
Benjamin is a great person! He has a great vision!
Hongera Benjamin kwa jitihada zako Allah akuzidishie ujuzi. Hongera pia Milad kwa masuali mazuri kwa kijana wetu nadhani Serikali itayafanyia kazi kwa haraka.
I love him apart from all this he is also so Funny 😂😂
I salute benji, I may not be like him but I'm jelous, I'm his admirer!!
Umeelewa pigo nn 😂
ngege hizo sasa
@@bebiwayda2447 to try u by yy g
We proud of you brother 🙏
Now Pesa ipo kwenye Technology, hivyo ni wajibu wa kizazi chetu hiki kuanza kufundishwa Programming language, networking, graphics na pia kongole kwa serikali yetu kujenga Chuo kikubwa East Africa nzima Cha Technology kipo Udom
COLLEGE OF INFORMATICS AND VIRTUAL EDUCATION.
Hivyo haya masomo yafundishwe kuanzia grass root hata kuanzia Primary level Education.
Big up brother its a great thing
Keep it up
Very inspiring!!!! Congratulations brw
Big up Home boy keep it up na Millard plz utupe updates kila anapotea bidhaa
My school will grant you an Award, you set your technology knowledge from primary school level...
Mashallah. Mungu akuzidishie
Tanzania needs to automate their government services..... things will change big time.
💪 be blessed brother
Serikali ikubali Uraia pacha kusaidia watu kama Hawa kina Benjamin 🔥🔥
huyu ni Mtanzania 100% , japo wazazi wake ni Makaburu waliotokea South Afrika ,ila Mshkaji kakulia Tanga
@@nguyekorajabu1592 nafahamu ni mtanzania ...Ila aruhusiwe kupata Uraia wa Uingereza au Marekani kurahisisha mambo yake
Umenena vyema sana ndugu yangu, Patrick Nyiti.
{Nafikiri ni muda muafaka sana, kwa sasa kwa nchi yetu, Tanzania kuruhusu suala la uraia pacha}.
Nipo kwenye industry hii ya Tech.... Lakini ukweli Broter Fernandez anafanya wonders na kutuwakilisha vema +255... Big Up bro
@hangatvonline Tz Hapana chuo binafsi sina unless agreed as private
Hongera 🙏🙏🙏
Wow 🔥
I always keep watching this interview
Brother Benji congratulations 🎊