PART 4 MISUKOSUKO: " POLISI WALIKATAA KUWA SISI SI WA SOMALI, ALILIA KAMA MTOTO"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 171

  • @holidaytripstanzania
    @holidaytripstanzania 6 років тому +16

    Aisee story inasisimua kwakweli, from Dsm to Turkey, Greece to Marcedonia, Serbia to Romania. Kwa miguu. Pole sana brother maishs ni mapambano aisee

  • @GoodPeopleOfBiafra
    @GoodPeopleOfBiafra 6 років тому +7

    Khasante sana kwa mwendelezo huu pia hongera sana kwa kazi nzuri. BOFYA KAPICHA KUSHOTO

  • @barakatv4030
    @barakatv4030 6 років тому +3

    Huyu mwamba kahaso sana anatakiwa apewe big up

  • @abduljuma7734
    @abduljuma7734 6 років тому +7

    Daaaaah Millard Ayo unatunyima uhondo bhnaaa fanya uweke nyengine mwanangu

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 2 роки тому

    Brother hiyi story yako nimeiyelewa umehaso sana ila ndio maisha maisha yakuhaso ukiyaweza wewe nimwanume wakweli allah bless this brother na ssi pia tunaoenukia

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 6 років тому +1

    Nimemaliza season zote za uyu jamaa duh kuzamia kaz sana mala ugilik mala lomania mala serbier mala angay duh. tisha xana mzee kama umejifunza gonga like tujuane

  • @rashidyrashidy3923
    @rashidyrashidy3923 6 років тому +1

    Daaah watu wanapitia Mengi alafu chek jama alivyokuwa kauzi anakwambia "CKU MOJA NITAENDA KUWATEMBELEA ILE FAMILIA" 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👋👋👋👋👋👋👋

  • @salmoomorefeelingproductio1744
    @salmoomorefeelingproductio1744 6 років тому +1

    simulizi nzur,Ila mnamchosha kushikilia kinasa sauti muda wote,hongera millad

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 3 роки тому +1

    God bless this Family iliyo wasaidia...🙏🙏

  • @ntibanahum8113
    @ntibanahum8113 6 років тому +10

    Anacho ongea huyu bingwa ni kweli kabisa na Hiyo safari aliyo pita nakuhakikishiena kuwa huyu jamaa Ana bonge la bahati maana zaidi ya asilimia 70 walio pita Hiyo njia wamefia njiani na wengine wamefanyiwa mambo ya ajabu mno. Ni hii story huyu jamaa anaitoa Bure but ni story yenye gharama ambayo huwezi kuipa bei. Bro nipo Europe but najua unacho Sema na Millard akitaka a nitafute nimpe part 2 ya namna ya kuishi Europe mpaka upate karatasi. Big up brother

    • @mursalismail975
      @mursalismail975 6 років тому

      Hi mambo vp braza ncheki WhatsApp +255 716173271

    • @hamisjingu90
      @hamisjingu90 6 років тому

      Nice bro....naomba whatasp yako ....0766685437

    • @ntibanahum8113
      @ntibanahum8113 6 років тому

      @@mursalismail975 my whassap ni 00352691886325

    • @ntibanahum8113
      @ntibanahum8113 6 років тому

      @@hamisjingu90 my whassap ni 00352691886325

    • @ntibanahum8113
      @ntibanahum8113 6 років тому

      @Maindo David my whassap ni 00352691886325

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 6 років тому +6

    Millard msichelewe sana kuweka hii story..

  • @steevclassicvevo5000
    @steevclassicvevo5000 6 років тому +31

    Team Millard Ayo Wote Gonga Like Twende Sawa.

  • @leechuntv4346
    @leechuntv4346 6 років тому +62

    Aiseee nimeifatilia story ya huyu mwamba mpaka najihisi kama nipo Romania na tupo wote yani ugiriki Serbia kote nishatoboa kama na wewe unajihisi kama ushafka ulaya weka dole gumba hapa

  • @selemandenja2951
    @selemandenja2951 6 років тому +1

    Nchi zetu za africa mungu azibariki vijana tupate good life ndani ya nchi me mwenyewe nishajalibu maisha yale ni kama jehanamu

  • @abrahamdismas1580
    @abrahamdismas1580 6 років тому +2

    This is fantastic and interested story dah! mim mpk sas niko mozambique bado

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 5 років тому

    Najua salzurg kidogo sasa nipo taiwan wafrika nikikutananao moyo wangu unafurahi sn , sehemu ukiwa mtu mweusi pekee yako dah inataka ukauzu sn. Yote ni kutafuta but Mungu yupo .. Safi ndugu yangu ndio maisha yetu hayo.

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 6 років тому +1

    Duh! Bro wewe ni surviver. Mola akutimizie lengo lako 👍🏽

  • @Blackie_blackie9327
    @Blackie_blackie9327 6 років тому +5

    Nimejifunza!nasubiri sehem ya 5

  • @thadeusmathiews2564
    @thadeusmathiews2564 4 роки тому +2

    So Sad NIME pata Somo KUWA MSAMARIA MWEMA KWA MTU USIYE MJUA

  • @salmadalaquimane5303
    @salmadalaquimane5303 6 років тому +2

    Thanks Millard

  • @TKip-gq2hg
    @TKip-gq2hg 6 років тому +1

    Aisee nimeisubiria hii story sana
    Kenya

  • @steevclassicvevo5000
    @steevclassicvevo5000 6 років тому +14

    Nlikuwa Nasubiri Kwa Hamu Kubwa Iyoo Story..

  • @umojamedia4167
    @umojamedia4167 6 років тому +4

    Kama Millard amekuudhi sana kwakupost moja2 af kafupii gonga like twende sawa

  • @sylviaernest7422
    @sylviaernest7422 6 років тому +7

    Wa kwanza kucomment👏👏

    • @msemakweli9626
      @msemakweli9626 6 років тому +2

      Sylvia Ernest na mm ni wa kwanza kukulike wewe na komenti yako

    • @sylviaernest7422
      @sylviaernest7422 6 років тому +1

      Msema Kweli hahaha kweli

  • @OkOk-dq4gk
    @OkOk-dq4gk 6 років тому +1

    Part 5 please

  • @nasserkhoduri4087
    @nasserkhoduri4087 3 роки тому +1

    Halafu kuna mijanaume imekaaa tu hali ngumuu pambanaa proud jasili

  • @saidbanga
    @saidbanga 6 років тому +8

    Kitu nimejifunza hapa ni kwamba msaidie mtu hata kama haumjui...!!

  • @faridahhamza8704
    @faridahhamza8704 6 років тому +1

    Bori kawa mtoto mzuri lungha halisi ya kiswahili

  • @mohachibu0017
    @mohachibu0017 6 років тому +20

    Mwanaume usikate tamaa kwenye mafanikio ata miaka 99 kama mungu kapanga utakuwa tu konki

  • @samuelj.luhungaiii.7585
    @samuelj.luhungaiii.7585 6 років тому +8

    Mwana inabidi aandike kitabu tu... story moja kila mtu atataka kuisoma...definetely in the near future people will make a movie out of it..

    • @jeviounipers
      @jeviounipers 6 років тому

      yeah, it worths a movie on mini documentary

    • @luqman9939
      @luqman9939 6 років тому

      absolutely yani hii story anaitoa bure lakini ni gharama ilibidi atoe itabu documentary tuilipie yani inasisimua hamasisha sikitisha in short ni bonge la story

  • @geofreybarama4000
    @geofreybarama4000 6 років тому +3

    Nimependa sana story na lugha anayo tumia ASA mameno machache ya English

  • @pauloptatmosha8115
    @pauloptatmosha8115 Рік тому

    Aise! Watu wanajua kupambana bwana!😮

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 3 роки тому +1

    Wa zanzibar bhanaaa😂😂😂😂😂😂😅

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 6 років тому +3

    Millard Ayo msaidieni kazi ya mwana habari huyo kijana anafaa kwanza elimu anayo pili kingeleza anajua na zaidi vile vile ametembea inchi nyingi mpaka Ujerumani kama anavyoeleza. Muajili kazi usimuache

  • @Hamiduz
    @Hamiduz 6 років тому +1

    Ayo tv u know wat u are doing ....am in love with the truck in the background
    Much love from Uganda

  • @Fransis_john
    @Fransis_john 6 років тому +1

    Daaah Ni shida Sana lakini pia inafurahisha 5

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 6 років тому

    mnazingua! mnachelewesha sana hii storry

  • @edwinfweni
    @edwinfweni 6 років тому +1

    Sehem ya tano iwahiii😋😋😋

  • @nickolascmniko4366
    @nickolascmniko4366 6 років тому +7

    Millard weka angalau 3 leo

  • @salimdoctor691
    @salimdoctor691 6 років тому +1

    Safari inaendelea yakutafuta unafuu na kukubali jembe ubishi unaendelea kinonanoma (good life without fearless )

  • @selemanisalumabdu6625
    @selemanisalumabdu6625 6 років тому +2

    Hayo maisha si yakuwadisia km ulikuwa unataka kuwiga ndio unakutana na mambo hyoo usiadisie siri ya jandoni wote tumepita mitaa hiyo na tupo Europe na tunamaisha fresh tu

  • @GodopeTZA
    @GodopeTZA 6 років тому

    Tafuta muandika script This is A Big MOVIE MZEE SIO KITABU TU Ni Movie ya Kucheza CINEMA ZOTE DUNIANI

  • @edwinfweni
    @edwinfweni 6 років тому +5

    Mpaka sasa nimekua mwenyeji, kesho mikate na maji naanza vuka ma boda

  • @ipyanamsomba8026
    @ipyanamsomba8026 6 років тому +4

    Kama unashushia story ya baharia na ganja pembeni, fumua like twende sawa.

  • @liquiditypro1837
    @liquiditypro1837 6 років тому

    Weka nyingine mzee baba millard

  • @Clementsimbila
    @Clementsimbila 6 років тому

    oyaaa postin basiii part yA5 Daaah.. .mnafelii kinaziiiii

  • @adammveyange9638
    @adammveyange9638 6 років тому

    Millard unazingua story ipo nusunusu sana

  • @chibudangote5446
    @chibudangote5446 6 років тому +1

    Plz maliza storyyyyyyyy

  • @lilreyz381
    @lilreyz381 6 років тому +1

    Uyu jamaa muongo Sanaa anachanganya informations Yani unaelezea tofauti na map

    • @rashidmirambo4332
      @rashidmirambo4332 5 років тому

      Three time nimeomba visa balozi ya ITALY,SWISS AND FRANCE nimefail am not give up napambana after three year nitaendelea tena mipango ya safari binadamu hautakiwi kukata tamaa

  • @benedictndomba1027
    @benedictndomba1027 6 років тому

    Kali

  • @tahrinkessy7119
    @tahrinkessy7119 6 років тому

    Doh pole kaka muendelezo plz

  • @starboychyner3458
    @starboychyner3458 6 років тому +5

    MIMI MPK SASA NAJIHISI NAVUKA BODA NAIONA UJERMAN ILEEEEE.... GONGA LIKE KM TUPO PAMOJA HAPA BODA

  • @saadatyking1160
    @saadatyking1160 6 років тому +1

    ukweli mnazingua @millard munachelewesha mpk hamu inapoteaaa

  • @mwambarockmwambarock739
    @mwambarockmwambarock739 6 років тому +1

    daaa jera sema jera za ulaya pw sana so kama za bongo

  • @msemakweli9626
    @msemakweli9626 6 років тому +4

    nilikua nasubiria huu uzi...watisa kukomenti hapa

  • @cleverboy3812
    @cleverboy3812 6 років тому

    Millard ayo uwe unatuambia bwana muendelezo unatoka lini?? Nataka part 5 millard!! Plz

  • @lilianangala5589
    @lilianangala5589 6 років тому +1

    Nagoja party 5 pia

  • @salmadalaquimane5303
    @salmadalaquimane5303 6 років тому +1

    Ingine jaman

  • @maulidasaa9407
    @maulidasaa9407 3 роки тому

    Saut jamn

  • @adamkatet274
    @adamkatet274 6 років тому +1

    Welcome to Germany Bro

  • @superjankpack809
    @superjankpack809 3 роки тому

    Mimi pia nipo Croatia

  • @Ibramoref
    @Ibramoref 6 років тому

    Nahisi kama namie nimetiwa pingu😢😢

  • @alexmassimba9803
    @alexmassimba9803 6 років тому +1

    mirad part 5 inaendelea lin???

  • @rajabusalumu7789
    @rajabusalumu7789 6 років тому

    Lin mwendelezo

  • @wemakalam3233
    @wemakalam3233 6 років тому

    Duuh funny story 😃😃😃😃

  • @ahmedyebrahim5100
    @ahmedyebrahim5100 6 років тому +1

    Hard life yaani inasikitisha

  • @mohachibu0017
    @mohachibu0017 6 років тому +4

    Konki konki konki master jamaaa wwe mjeshi

  • @nasmafarmsltd9146
    @nasmafarmsltd9146 5 років тому

    ila umekua msaadaa wà safar

  • @stellagurhan2952
    @stellagurhan2952 3 роки тому

    Acha uwongo

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 років тому

    Mmmmmm KWELI MAISHA NI SAFARI

  • @inaugaasKh
    @inaugaasKh 6 років тому

    Background music is too loud

  • @ibrahimayoubdhahabu984
    @ibrahimayoubdhahabu984 6 років тому +2

    Kama kawaida tunaendelea na story..

  • @alexmaliaki3625
    @alexmaliaki3625 6 років тому +1

    Tangagizani dah kama niko ujerumani hapa

  • @Ibramoref
    @Ibramoref 6 років тому

    Sema nahisi namie nipo Romania😂😂😂😂😂

  • @rajabusalumu7789
    @rajabusalumu7789 6 років тому

    Tena

  • @navidnabil2653
    @navidnabil2653 6 років тому

    Mbona part 5 sii yoni NAOMBA Link niweze kuimaliza story

  • @joanwilliam7271
    @joanwilliam7271 6 років тому

    Aise mnatukatisha utamu itaendelea lini

  • @mohamedmohamed614
    @mohamedmohamed614 6 років тому +1

    Wazanzibari na wa bara wakiendaga nchi za ulaya wanajifanyaga wao ni wasomali sijui kwanini? Hata wapemba wengi wameingia uk wametoka somalia au kwasababu nchi ile ina vurugu

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 5 років тому +1

      Somalia ni nchi inayojulikana ni ya vita, civil war, kwa hiyo wasomali wengi wapo ulaya kama wakimbizi wangaaa vita kutoka kwenye nchi yao wamekimbilia ulaya

    • @vamitv873
      @vamitv873 3 роки тому

      Usha pata jibu au nikujibu

  • @hakunamatata8065
    @hakunamatata8065 6 років тому +1

    Mtangazaji Elimu ndogo sana eti msitu unasimba unachui😂😂😂😂 ndio maana mnaambiwa tembea tembea mungu akuone ukitembea dunia unapata nafasi ya kufunza na kuelimika na hata kama huna uwezo wa kusafiri basi soma vitabu au ingia kwenye computer soma pumbavu wewe kakwambia nani ulaya kuna misitu yenye simba na chui😂😂😂😂🤣 Msamba mkubwa wee mtangazaji.Mirlad ayo peleka shule watangazaji wako

    • @marctzmatty5547
      @marctzmatty5547 6 років тому

      Hahahaahha

    • @userAysha
      @userAysha 5 років тому

      😂😂😂🤣😂😂kwanza baridi iliyopo ulaya hao nyoka wanatoka wapi jamani hahaha

  • @likimaro6
    @likimaro6 6 років тому +1

    That was VERY ASHAME? Kukaa Ulaya sio kujua English aseee...kuanzia leo sina hofu tena ya kwenda MBELE

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 5 років тому

      Sio nchi zote za ulaya zinaongea kingereza, ni uk, tu ( winngereza) ndio wanaongea kingereza, mataifa mengi ya ulaya wana Lugha zao

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 6 років тому

    Hamna part 5?😉

  • @Clementsimbila
    @Clementsimbila 6 років тому

    post inayoendelea wapiii..millard aaaah😒😒

  • @kaayakennedy7949
    @kaayakennedy7949 6 років тому

    Bac mkitoa i story fanyeni ata kila baada ya cku mtoe nyingine coz mnatumia mda saana ad smtime tunasau tuliishia wap

  • @mariamkaaya8639
    @mariamkaaya8639 6 років тому

    Story nxurie

  • @slayingtee6044
    @slayingtee6044 6 років тому

    Wekeni video moja,,,,,tuna kosa mwendelezo wa video iliyopita

  • @yarodirodriguez4924
    @yarodirodriguez4924 6 років тому

    baba umenikazia kabisa apo nawafutilia miyamiya

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 3 роки тому +1

    Hizo pesa zoote mlizopoteza mngefanya biashara kubwa bongo

    • @vamitv873
      @vamitv873 3 роки тому

      Sasa hizo pesa zoote angezipatia wapi huku bongo?

  • @yarodirodriguez4924
    @yarodirodriguez4924 6 років тому

    kama umemuelewa gonga lik

  • @MrSijuiboy
    @MrSijuiboy 6 років тому

    Naangalia toka USA , duh.. lakini katika stori nipo nae Romania 😂

  • @shuminagodfrey6716
    @shuminagodfrey6716 6 років тому +4

    Nyie Millard ago ni wasenge siku NNE mnaweka dakika kumi na sita mpaka watu wanachoka wanaachana na story mnaringa kutupa story nzima wakat jamaa hamjamlipa ila nyie mnapiga hela na bado mnakatakata story kibwege

    • @wagagagigikokohumulutililu8974
      @wagagagigikokohumulutililu8974 6 років тому

      Kwani wa umelipa?

    • @shuminagodfrey6716
      @shuminagodfrey6716 6 років тому

      @@wagagagigikokohumulutililu8974 sasa ww matako nn kwan hapa naangalia natumia matako yako au mb?? Au haujui wao wanqtegemea views zetu kupata ela?? Usiongee umatako kama hujui

    • @wagagagigikokohumulutililu8974
      @wagagagigikokohumulutililu8974 6 років тому

      @@shuminagodfrey6716 MARINDA HUNA, WEWE. USHOGA USHOGAA KULALAMIKIA STORY TU! HIZO NI TABIA ZA UMAMA, WANAWAKE WANAPENDA KUANGALIA AU KUSIKILIZA TAMTHILIA. HIZO TABIA ZAKO ZA KUOMBA AYO TV WAWEKE STORY YOTE NDIO UMAMA WRNYEWE. FUATILIA STORY , WACHA KUTUPIGIA KELELE. KAJAMBE HUKO. MARINDA WAMESHAYATOA.

  • @lillianlucas5337
    @lillianlucas5337 6 років тому

    Mnakera si mtuwekee yote tuangalie

  • @goodluckdennis2728
    @goodluckdennis2728 6 років тому

    Post nyingine

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 6 років тому +1

    MM INCHI AMBAYO NINAISHI HAKUNA WAFRICA KABISA HUSHANGAA NA MM WATU WAZIMQ HADI WATOTO

  • @vamo2082
    @vamo2082 6 років тому +1

    Natafta mtu wa kusepa nae ulaya kinyemela

  • @danfordaugustino3461
    @danfordaugustino3461 6 років тому

    Sasa kusafiri na kuzamia umefanikiwa na kitu gani

    • @punchlinetz
      @punchlinetz 3 роки тому

      Wewe mafanikio unayaelewa vp!!? Kuna ambae akipata mtoto kwake hayo ndo mafanikio, wewe umekaririshwa mafanikio ni nn 😁

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 6 років тому

    Utam Unakuja Utam unakataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa @millardayo

    • @salminsebiga7017
      @salminsebiga7017 6 років тому

      Dah ' huyu jamaa nimemuelewa sana " huyu ndo travellah

  • @jhommiemusic5287
    @jhommiemusic5287 6 років тому +1

    Mtuwekee Chapu inayofuata sio mpk tusahau tuliishia wp

  • @mohamedally342
    @mohamedally342 6 років тому

    ITAENDELEA

  • @leechuntv4346
    @leechuntv4346 6 років тому +33

    Aiseee nimeifatilia story ya huyu mwamba mpaka najihisi kama nipo Romania na tupo wote yani ugiriki Serbia kote nishatoboa kama na wewe unajihisi kama ushafka ulaya weka dole gumba hapa

  • @rajabusalumu7789
    @rajabusalumu7789 6 років тому

    Tena