Mzize Fanya haya Salisanaaa Usikose kuwasalimia wazazi Iringa na jamaa wote Msikilize mwalimu wako na wewe jiongeze kwa mafunzo ya mwalimu wako kuwa mbunifu zaidi tunakuombea utafika mbali mungu akutangulie.
Ndio @@faridaomary9099anayo max nayeye ila tuna imani sana nasemaji letu hakika ata mfikia kwa wakati wake inshallah yeye afanye vizuri tu wakati akiwafumuwa wa rabu
Mzize ushauri wangu waandishi wasikujaze endelea kupambana tusijisahau tukaona kama tushatimiza lengo la timu tufikirie zaidi mbele kuliko kulizungumzia zaidi lile goli❤❤❤
Mungu akimua kufanya jambo kwenye maisha yako anafanya kwa ukubwa na kwa muda ambao hukutarajia,, ongera nyingi Mzize usisaau kutoa fungu kwa wasiojiweza.
Hongera mzizi,hongera wananchiii 💚💚💚💚 wenzngu,😂😂ally kamwe semaji letu naona sasa hivi miwani inakaa sasa make toka tuanze kufungwa miwani ilikua imegoma kukaa kabisa kwenye macho😂😂😂
Alhamdulillahi,shkrn mno WANANCHI kwa MALEZI MEMA/USHAURI kwa vjn wetu,HAKIKA KUISHI YANGA NI "FAMILIA",nawe mjku wng JILINDE/TUNZA HESHIMA/NIDHAMU YK,ishi maisha uliyoleleka na WAZAZI WK,upo mikono salama (YANGA),hakika M'Mungu hana chongo/hana hiyana,HUMPA AMTAKAE,salama inshaAllah ktk maisha yk ya bde,Aamin !.
Nawapenda Buree Wanaichiiiii Wa Yangaaa Wallah ningekuwa Tz Ningekuwa Nishafika Dukani Kitamboooooo Ongereni Sana Kwa Upendo Wenu Mnaouonesha Akika Na Vijana Wengine Watakuwa Na Nguvu Ya Kupambana Insha Allah
Hongera Ally Kamwe kwa ubunifu uliofanya wa kumsaidia Mchezaji MZIZE kutangaza Biashara yake. Jambo la Muhimu kwa MZIZE Kazana kujituma Mazoezini na kwenye Mechi.Wasikilize Makocha wako na Wachezaji Wakongwe. Utafika mbali, KILA LA KHERI.
Tulikuzodoa game ya yanga na mamelodi South Africa lakin jana wote tumesahau kama tumekuzodoa tunakusifia tu. Sisi ndo binaadam kaka Kila la kheri clementinyoooo💚💚💛💛
Clement Mzize ni hazina kwa Yanga Sc tunajivunia kuwa naye, thamani ile wanayopewa wachezaji wa kigeni wapewe pia wachezaji wazawa wenye ubora na uwezo mkubwa kama Clement Mzize. Ni wakati sahihi na uamuzi mzuri kumpa mkataba wa muda mrefu wenye maslahi mazuri sana, kila jema likawe upande wake.
Mzize umeonyesha matumaini mapya ndani ya yanga, nakuomba uongeze jitihada ufanye Zaid ya hapo, wananchi Yuko nyuma Yako , na hata uongoz pia unaneno júu Yako hivyo pambana timu yetu itafuzu , kwa jitihada zako , ndipo mema yatakapo kuijia
Mzize
Fanya haya
Salisanaaa
Usikose kuwasalimia wazazi Iringa na jamaa wote
Msikilize mwalimu wako na wewe jiongeze kwa mafunzo ya mwalimu wako kuwa mbunifu zaidi tunakuombea utafika mbali mungu akutangulie.
@@grationkato7658 huyo sio wa Iringa huyo ni Tanga boy
Wewe unamaono kama yangu
Ni wa tanga si iringa
🎉🎉🎉🎉 mzizee😊
Alikamwe amezuia haraka sana code isitoke 😂😂😂😂😂 safi sanaa
Umeonae😄😄😄😄
Clement mzinze una magoli mengi mazuri umefunga. Nimerecodi magoli yote uliyoyafunga vizuri. Nakukubali sana 💚💚💛💛🌻🌻🌻💐💐
Hongera sana Ally Kamwe kwa ubunifu huu wa kumsuport kijana wetu MZIZE MUNGU aendelee kukuza biashara yako🙏
Shukrani kwa viongozi wote wa yanga
ameni ameni ameni
MwananchiTusisahau pia kumuunga mkono na Max Nzengeli🔰🔰🔰🔰🔰
Kwani max anaduka
@faridaomary9099 Ndio nae anaduka
Ndio @@faridaomary9099anayo max nayeye ila tuna imani sana nasemaji letu hakika ata mfikia kwa wakati wake inshallah yeye afanye vizuri tu wakati akiwafumuwa wa rabu
@@paulmasunga1754wapi hatujui
Tunaanza hapa kwanza then tutaenda kwa max
safi san nimeipenda iiih mungu awape nguvu zaid yaaichi mnachokifanya asanten san 🎉🎉💛💚💛💚💛
Mungu akubariki sana mzizeee usisahau ibada kila iitwapo leo
Umeonae kijana alitaka kwenda mbali xan😄😄😄
ameni ameni ameni
Mungu nakuomba umlinde mzize, muepushe na mabaya💛💚
Mzize ushauri wangu waandishi wasikujaze endelea kupambana tusijisahau tukaona kama tushatimiza lengo la timu tufikirie zaidi mbele kuliko kulizungumzia zaidi lile goli❤❤❤
Mwenyeezi Mungu akutangulie kila hatua Warid Mzize nimeipenda kwa sababu unamuamini Sana Mungu
Mungu akimua kufanya jambo kwenye maisha yako anafanya kwa ukubwa na kwa muda ambao hukutarajia,, ongera nyingi Mzize usisaau kutoa fungu kwa wasiojiweza.
Yanga inaweza kukupa maisha ndani ya dakika zero tuu😂😂😂😂
Uhakikaa asaaa
😂😂😂😂😂 kabisaaa
Hakikaaaa 🎉🎉❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
Waap acha kuwadanganya utopolo wenzako
Kudanganya wap huo ndo ukweli huoni fumau mshairi alivo toboa kupitia yanga sas hamepata umaarufu kupitia yanga@@Tarent-o8f
Hongera mzizi,hongera wananchiii 💚💚💚💚 wenzngu,😂😂ally kamwe semaji letu naona sasa hivi miwani inakaa sasa make toka tuanze kufungwa miwani ilikua imegoma kukaa kabisa kwenye macho😂😂😂
MUNGU ni mwema hongera Sana Mzize kila la kheri kwenu nyote kazi njema nyote barikiwa Sana Yanga
Kuna mtu mmoja sijawahi kuacha kumuona ktk jambo lolote la yanga hongera kwake God YANGA
jana alisema wanaenda kununua nguo
Kabixa
Kweli kabisa jamaa kila jambo yupo jamaa achukue tu maua yake💐💐🥀🥀🌹🌹🌹💐🌹🌷🌺
Mshkaji ni .shabiki Kwel kwel yan 🙌
Amen🎉🎉🎉❤❤❤❤
All is Amen kwa Mzize na wachezaji wote wa YANGA
Asante MUNGU kwa wachezaji wetu Big up keep it up🎉🎉❤❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤❤
Amen 🎉❤🎉❤🎉😂
Hongera waridi wetu Mzinze Mungu akuzidishie update duka kubwa zaidi Amina💛💛💚💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
Tunamtambulisha kwenu clement azizi😂😂😂 alisikika mzungu akitamka😂😂
Mwarabu bhn
Kamwe hongera kwa kuzuiya code🎉🎉🎉
Mm zamn mzize sikuwa namkubal kbs ila saiv babaa uishi milele wew ni mwamba 💪 nakkbal kaka unaweza🔥
Wew hujui mpira ivi ushawah cheza ata chandimu😂😂😂
Hongera saana mzize mungu akujalie afraid njema na sali kila iitwapo leo na baraka zake utazivuna mno katika jina la yesu amen
Alhamdulillahi,shkrn mno WANANCHI kwa MALEZI MEMA/USHAURI kwa vjn wetu,HAKIKA KUISHI YANGA NI "FAMILIA",nawe mjku wng JILINDE/TUNZA HESHIMA/NIDHAMU YK,ishi maisha uliyoleleka na WAZAZI WK,upo mikono salama (YANGA),hakika M'Mungu hana chongo/hana hiyana,HUMPA AMTAKAE,salama inshaAllah ktk maisha yk ya bde,Aamin !.
Hongera Ally Kamwe kwa Hekima Yako pia kwa kutoficha kuwa anasupotiwa na mashabiki wengne 🎉
Hongereni vijana wetu wachezaji wa yanga, mmepambana Mungu awalinde
Hongera mzizeeeeeeeeeeeee uongezee bidii ufike mbali🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu akupe neema na rehema zake tunakuomba ufanye ufanyavyo muwafunge All ahal tunawamba jaman chonde chonde
Hongera kijana wetu
😂😂😂 alikamwe, umestukia mchongo, mzize kidogo atoe code😅😅😅😅
Hongera sana mungu akulinda na kukupa afya njema uzidi kusonga mbele
Nawapenda Buree Wanaichiiiii Wa Yangaaa Wallah ningekuwa Tz Ningekuwa Nishafika Dukani Kitamboooooo Ongereni Sana Kwa Upendo Wenu Mnaouonesha Akika Na Vijana Wengine Watakuwa Na Nguvu Ya Kupambana Insha Allah
Na hata sisi tuliopo loliondo tunakupa big up kinana
Yanga nguvu Moja Nia Moja upendo wa Wana yanga na mshikamano uzidi daima,Tuna wapenda 🙏💚💚💚
Mungu akulinde Sana kilementi mzize uko vsr Sana wanachiiiii tunakuombea Sana
Mungu nimwema azidi kutupambania daima mbele nyuma mwiko
Hongera Ally Kamwe kwa ubunifu uliofanya wa kumsaidia Mchezaji MZIZE kutangaza Biashara yake. Jambo la Muhimu kwa MZIZE Kazana kujituma Mazoezini na kwenye Mechi.Wasikilize Makocha wako na Wachezaji Wakongwe. Utafika mbali, KILA LA KHERI.
Mashaallah kijana wetu Allah akupe wepesi
Warid umebarikiwa baba mungu azidi kukuinua viwango vya juu zaidi huu mwaka kwako uwe wa neema❤
Mzize usisahau maombi mungu kwanza
Mungu amulngezee aisee Alipo pungumiwa kijana wetu
Safi sana kamwe kwaubunifu mzize muzize nakupenda pambana sana
Keep it up bro!
Kijana aongezewe mshahara haraka sana hata kama hakuna hela sisi mashabiki tupo tayari kuchangia
Wewe ndio mshabiki
Atalipwa mshahara uliopo kwenye mkataba wake Cha muhimu anatakiwa aongezewe posho
Lipen maden sana
@@MatiasBroo-z7bhakuna ambaye hadaiwi inadaiwa serikali sembuse wewe
@@AmbiBoy-tzndio lkn lzm viongozi waangalie thamani yake
Tulikuzodoa game ya yanga na mamelodi South Africa lakin jana wote tumesahau kama tumekuzodoa tunakusifia tu.
Sisi ndo binaadam kaka
Kila la kheri clementinyoooo💚💚💛💛
Ali kanwe upo makini kulinda siri za kambi 😂😂
Mungu awaajalie Afya njem na awatunzeee
Yanga ndio timu Bora Tanzania kwa kila kitu 🙌💚💛
Na ubinifu pia ,Gusa achia twende kwao
Mzize ww n bist sana na utafka kjana wetu
Kamwee kofta hiyoo tunaitakaa mkuu 😂😂😂😂 umekuwa mvetenam 😂😂😂😂
Tunakupenda mzinze💛💛💛
.,m,m,m,
Mungu azidi kukutunza,na usiache kumuomba mungu yeyey ndio kila kitu,mzize oyeee
Mungu azidi kumuongoza MZIZE🙏🙏😍
Hii ndo yanga ❤❤❤❤
Mzize mauwa yk ayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Izi sifa ndio zaenda alibu mpira mngemuacha kwanza 😢
Mungu ni mwema kijana Yuko vizuri endelea kupambana kwenye uwanja wa mazoezi.
Hongera sana mzize Mungu akulinde
Na wakati asipofanya vizuri muendelee kumfariji na kumuunga mkono hivyo hivyo, msije mkachoma duka lake au kulirembea mawe.
Kama tulimpenda kabla hajasimama tushindwe leo
God yanga big up bro 🎉🎉🎉🎉 na fanc wa Yanga wote gusa achia twende kwao
Mungu ni mwema sana💛💛💚💚
Ali Kamwe Mungu akubariki.
Mungu akusimamie mdogo wangu endelea kupambana🎉
Hongera mzize mungu akutangulie
Allah ashukuriwe
Congrats kijana goli kali sana
YANGA ni kubwa
Mzize asante kwa kuibeba timu yetu tunakuombea mtoto wetu
Mzize daaah bonge Moja la mchezaji
Kaza kaka...una vitu
Mzize Naitwa Jackson Masumbuko Wambura Duka lako liko Sinza maeneo gan
Sinza Makaburini
Sinza makaburini
Unataka ukamkope ama
@@MatiasBroo-z7b😂😂😂😂
@@MatiasBroo-z7b😂😂😂😂😂
Mungu akuweke
Mtu sana ,Bado wanaYanga tunamwitaji sanaaaaaaaaa
Ila ally kamwe ety usitoe code 😂
hahahahaha mungu awape afya njema wachezaji wetu mana mmejua kutuhexhimixha
Ishi sana mwanangu maestro clement mzize🎉🎉🎉
Nakukubali sana dogo na mungu akubariki
Nataman kulia kwa furaha niliyonayo,aisee wananchi mnaupendo mkubwa sana like za💚💛💚🔰🔰💛hapa
Hongera wananchi
Hongera Mzize MUNGU akutunze ili ufikie malengo yako
Mungu msaidie mzize
Amazing Mzize
Dua kwako Mungu azid kukupa mbinu zaid yanga na mashabik tupo nyuma yako
I say Safi sana Watani ongereni mliupiga mwingi nilivoona golilao mo1. Nlijua tiara mtani anatia aibu taifa.
Eleweni maana ya maneno ya Aly kamwe kuwa Hilo eneo liitwe mzize mall. Hii tunzeni lazima litatokea INSHAALAH
yanga ina dunia yake🔥💚
Hahhaaaaaaaa😅😅😅😅😅
Nimetoa machozi kwenye maneno yamwisho ya ali kamwe kumbe viongozi wote safi Sana hiii
Pongezi sana Nzize na wachezaji wote wa Yanga
Hongera🎉🎉
Mzize kila akifunga bao lazima tumuungishe dukan kwake
Ali mbona kama kajifunika na bakuli nan kampa hiyo kofia😅😅😅
Kamwe bhna twende kwenye duka hahahahahaha
Safi mzize we pambana tu na utafanikiwa
Lile goli la mzize Leo nimelilipia chakula hotelin nilivyowaonyesha tu wakaniachia nikasepa nilikua nimekula elfu 17000😂😂😂 I love yanga
😂😂😂😂umenishinda tabia
Hi ndio yangaaa 💥💥💥💥
Aisee Ally kamwe nakupongeza sana kwenye hili
Clement Mzize ni hazina kwa Yanga Sc tunajivunia kuwa naye, thamani ile wanayopewa wachezaji wa kigeni wapewe pia wachezaji wazawa wenye ubora na uwezo mkubwa kama Clement Mzize. Ni wakati sahihi na uamuzi mzuri kumpa mkataba wa muda mrefu wenye maslahi mazuri sana, kila jema likawe upande wake.
Hongera sana mzize
Mzize Lewandoski utafika mbali mno
Mzize umetuheshimisha sana
Haaaaaah crement uje ufungue na duka jingine Iringa
Mzize umeonyesha matumaini mapya ndani ya yanga, nakuomba uongeze jitihada ufanye Zaid ya hapo, wananchi Yuko nyuma Yako , na hata uongoz pia unaneno júu Yako hivyo pambana timu yetu itafuzu , kwa jitihada zako , ndipo mema yatakapo kuijia
Jezi za simba ndani ya duka la mzize