PART 5 MISUKOSUKO: "NILIKATA TAMAA, NILIPOTEZA MAWASILIANO NA WAZAZI WANGU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 188

  • @rainthatsgood8869
    @rainthatsgood8869 6 років тому +21

    Safi sana ,ila mnafupisha mno story asee why,Jamaa nikweli anachosema na evidence zipo so kama inamkubali huyu Jamaa gonga like

  • @anawa4326
    @anawa4326 6 років тому +12

    Big up Uko na subra baba you deserve it and all the best 👊🏼

  • @peterm9404
    @peterm9404 6 років тому +6

    Ma hustle wote tujuane hapa

  • @mangumbulikikwembe4471
    @mangumbulikikwembe4471 6 років тому +1

    Big lesson, unahitaji connections ili ufanikiwe! ishi vizuri na watu then usiwe mvivu ku'link up na watu!

  • @ethanuk9437
    @ethanuk9437 6 років тому +4

    True story ....watu wengi wamepitiaa hayoooo..

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 2 роки тому

    Hizi story zinagusa sana vijana maana wapo wenye mindset ya kwenda ughaibuni wakidhani maisha huko ni rahisi

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 6 років тому +5

    yeah nmemuona kwenye video ya FLY BOY FT MISHA .....JOLIE wow story yako so touchn bro

    • @emmypaul7455
      @emmypaul7455 6 років тому

      Nimemuona namimi😁😁😁😁

  • @fatinaabdul2392
    @fatinaabdul2392 6 років тому +28

    Aisee story ya huyu kk imenifanya hata hp nilipo huku kwa waarabu nizid kukaza kbs maana unakuta kuna watu wanapitia mambo magumu sn naona mm nilipo angarau kdg ndomaana nazid kukaza huku nilipo cjakata tamaa. Asante sn napenda sn kufatilia storry yako

  • @mahadhikisesa8712
    @mahadhikisesa8712 6 років тому +3

    Malizia story boss, tunapata somo zuri sana hapa. @Millard Ayo
    #Millard Ayo

  • @zahraramadhani6098
    @zahraramadhani6098 6 років тому +2

    Mashallah nimejifunza kitu wallah

  • @khimfarawaytz6910
    @khimfarawaytz6910 4 роки тому +1

    Hongeraa kwa Uvumilivu

  • @mrttitus6781
    @mrttitus6781 6 років тому +1

    Hongera sana kwa uvumilivu

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 6 років тому +1

    Andika Kitabu Sasa...ili iwe Kumbukumbu....Very Interesting

    • @kinglance6365
      @kinglance6365 5 років тому

      VICTORIA DAVID CHANNEL sister uko wapi SAA hii channel IPO kimya ila pole na matatizo yaliyokupata sister

    • @kinglance6365
      @kinglance6365 5 років тому

      I hope uko fine SAA hii

  • @ibraton4071
    @ibraton4071 6 років тому +4

    maisha kila mtu na ndoto zake.......jamaa upstairs yupo vzuri sanaa afu anajua kuongea kwa vituo kwa kifupi yupo vzuri sanaa.

  • @ebinssports5377
    @ebinssports5377 6 років тому +4

    Yani imebidi niitafute hiyo nyimbo, brother nimeona mzee umetisha sn... your story is a movie bro.

  • @Crownvalz
    @Crownvalz 6 років тому +7

    Dada wa millard Ayo ana kisauti flani iviii 😘

  • @sudyreacts5889
    @sudyreacts5889 6 років тому +5

    Nyimbo alizo tokea jamaa ni hizi DJ Undoo ft Kent Archie- shining (kavaa sweater jeupe na kofia nyeusi) na nyimbo ya Fly project ft Misha - jolie kavaa kofia nyeusi na sweater jeusi, karibuni.

  • @MKobe_254
    @MKobe_254 2 роки тому

    All the best man

  • @alidyaya4512
    @alidyaya4512 6 років тому +2

    Mzanzibar kauaa😂😂

  • @esabelfadhili8432
    @esabelfadhili8432 6 років тому +1

    Nasisimkwa kusikiliza!Umeachive ndoto yako...Natapa moyoo sanaaa kwa kufuatilia ushuhuda wako

  • @barnabasmalima4823
    @barnabasmalima4823 6 років тому

    nice story braza mzee Wa amplifier tupe tupe muendelezo

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 6 років тому +4

    Mzanzibar noma..!!!

  • @godsonhumphrey2087
    @godsonhumphrey2087 6 років тому +2

    nawakubali wazanzibari

  • @Ibramoref
    @Ibramoref 6 років тому +1

    Uko kwenye matangazo na rafiki muigizaji mkubwa unatudanganya bwana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 6 років тому +1

    Alichoongea ni Kweli kabisaaa,mimi niko germany,na watu wengi wamefika Hapa Kwa njia hizohizo,kuna watz wengine wapo Hapa lkn wanajulikana km warwanda,maisha ni ujanja na kujaribu bila woga

  • @mwambarockmwambarock739
    @mwambarockmwambarock739 6 років тому +1

    😂😂😂😂daa unapiga kaz mwez mzima hafu anakuzingua

  • @steevclassicvevo5000
    @steevclassicvevo5000 6 років тому +9

    Ayaa Wale Wote Team Millard Ayo Wote Gonga Like Twende Sawa 👍

  • @pidpower9920
    @pidpower9920 6 років тому

    Daaah mzuri sanaa hii stori weka

  • @sirlymmabersy8581
    @sirlymmabersy8581 6 років тому +4

    Millard ana bore sometimes unawekaje episode 1 ya dakika 13 after two days then ina addons kibao kuwa fare bro usitafute hela mpaka ukawa unakera mashabiki wako jirekebishe

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 3 роки тому

    Angalao part 5 kiswahili kimerudi😅😅😅

  • @eliudijustini9878
    @eliudijustini9878 4 роки тому

    Story nzuri ila sauti inakuwa chini sana

  • @ramadhanimasiku5702
    @ramadhanimasiku5702 6 років тому +1

    Unajua sehemu za watu masikini kunakuwa na utapeli Sana ujanja ujanja mwingi

    • @utaani1
      @utaani1 6 років тому

      Waromania hatuwataki England. Watu kutoka east Europe wote tunawaita cheap labour . Wezi ombamba, malaya wanauza mpaka dada zao na mama zao Kwa ajili ya pesa. Matapeli

  • @mwambarockmwambarock739
    @mwambarockmwambarock739 6 років тому

    daaa hapo ulisota Pole brother

  • @SoftwareClasses
    @SoftwareClasses 6 років тому +3

    Mwalimu akawauliza wanafunzi hadithi...... yake inatufundisha nini? Mwanafunzi mmoja akanyoosha mkono akajibu inatufundisha Bori kagongana na wazungu kibao Ulaya...

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 роки тому

    Tunaomba no mtusaidie tunahitaji Kaz huko

  • @halidhakim883
    @halidhakim883 3 роки тому

    Wacheni ushamba uwooo wa zanzibari sio wa ongaaa kama mnavo fikiria

  • @alexmaliaki3625
    @alexmaliaki3625 6 років тому

    Jina la move tuite ITAENDELA..

  • @chibudangote5446
    @chibudangote5446 6 років тому +2

    Dah jamaa amepitia mzee

  • @greenlifeznz8490
    @greenlifeznz8490 6 років тому +1

    mvumilivu kweli hula mbivu

  • @mresir741
    @mresir741 6 років тому +4

    naomben like zenu first comment

  • @frankchamba8894
    @frankchamba8894 3 роки тому +1

    Fatilii hii story tena ilihishia wapi

  • @martinmwabulanga3089
    @martinmwabulanga3089 6 років тому

    Next episode inakuja lin? @ayo

  • @allylimo3058
    @allylimo3058 6 років тому

    no.6 plz

  • @fatumarashid4507
    @fatumarashid4507 6 років тому +1

    Mnazingua upload part 6 basi yani mnachelewaaa

  • @annievibes8794
    @annievibes8794 6 років тому

    wasomali wanoko sana

  • @feisalabdallah8632
    @feisalabdallah8632 6 років тому

    MZanzibar kunguru

  • @sanjeysalim9285
    @sanjeysalim9285 6 років тому

    part 6 plz bro

  • @leehabari9834
    @leehabari9834 6 років тому

    Hustle zotee hzo usiniambie ndo umerudi mazima..natarajia kusikia umekuja bongo kusalimia then usepe

    • @Fadhira7897
      @Fadhira7897 6 років тому +2

      Usidhani ulaya watu wna chum pesa kama kwnye mti wa muembe maisha magumu bora hata kwenu uwe mkulima tatizo vijana wngin wavivu lakini mtu unaweza ukafanikiwa hapo bongo nje ya nchi kuna mambo mengi sna ya ajabu bora ata kwenu

  • @hamisjingu90
    @hamisjingu90 6 років тому +4

    Noumaa sana bro...salute

  • @mohadymaguno9523
    @mohadymaguno9523 6 років тому

    Oya Millard unazingua mbona huweki muendelezo au tuambie kuwa utakuwa unaweka siku gani tuwetunajua hivi sio poa

  • @davidpius4764
    @davidpius4764 6 років тому

    Brother vipi mwendelezo wa hii story ya uyoo mwana ni story yenye mafundisho makubwa sana hasa kwa sisi vijana

  • @davidatanathio4225
    @davidatanathio4225 6 років тому

    Millad tuma sehem inayofata tumechoka kusubili

  • @saidbanga
    @saidbanga 6 років тому

    Duh....

  • @saidsongoro9097
    @saidsongoro9097 6 років тому

    Michezo ya miaka mingi unafanya juzi. Ungetufatu ungefika ulaya bila ya matatizo hayo.

  • @starboychyner3458
    @starboychyner3458 6 років тому

    Hivi part 6 bado jaman

  • @saidbanga
    @saidbanga 6 років тому +7

    Ayo ungeweza kupata vipande vya hizo move na nyimbo ukaweza tukaona au wewe unaonaje

    • @ethanuk9437
      @ethanuk9437 6 років тому

      Ha ha watanzania bhanaa kila kitu kukosowaaa

    • @hamisisuche4167
      @hamisisuche4167 6 років тому

      Nyimbo utamuona vizuri huyu mkuu-Dj Undoo ft Kent Archie -Shinning

    • @nassirmsauzi6818
      @nassirmsauzi6818 6 років тому +1

      Yuko kweli natoka kuangalia Sasa ivi tafuta dragon heart full movie utamuona

  • @ebinssports5377
    @ebinssports5377 6 років тому

    Brother story mbona unaipotezea watu tunasubir parts zingne

  • @lucaskimaro2964
    @lucaskimaro2964 6 років тому +1

    Jamaa ww ni shujaaa kwakwel

  • @msemakweli9626
    @msemakweli9626 6 років тому +1

    kama nimeotea niliingia youtube kucheki kama mzigo unaendelea..woow huu hapa

  • @mohamedally342
    @mohamedally342 6 років тому +1

    ITAENDELEA

  • @rajabusalumu7789
    @rajabusalumu7789 6 років тому

    Ok

  • @omarinhomoudy
    @omarinhomoudy 6 років тому

    PNC DAH ILIAMBIA TU Romania NDO UMEPTIA SIKUJUA KAMA UMEPITIA VIKWAZO VYOTE HIVI MWANA; ANYWAY POLE SAANA NDUGU YANGU; SO UKIRUDI UJERUMANI NITAFUTE MKUU; NAMBA ILE ILE SIJABADILI NIMEKUTEXT NAONA TEXT HAIJAFIKA; So Ich wünsche dir alles Gute und mach so wenn u wieder da bitte sag mir bescheid, super und schönen Tag noch Brüder

  • @familylove5417
    @familylove5417 6 років тому +3

    Yani hivo anavo hadisia utazani 1995 kumbe 2013 tuache kidogo nasie tumepitia bwana

    • @Teksani
      @Teksani 6 років тому

      Mwanamke Usafi umeona eh! Hata mimi nilikuwa najiuliza the same thing

    • @hejmabohejhej9
      @hejmabohejhej9 6 років тому

      Du boriiiii

  • @eglesiaselombe694
    @eglesiaselombe694 6 років тому

    Hii story imeni kumbusha mbalisana asiejuwa safari ya kwenda ulaya kwanjia yakikimbizi hii nikweli wala haja. Kosea kabisa

  • @jumaothman2092
    @jumaothman2092 6 років тому

    Lini inaendelea

  • @damasmunishi2418
    @damasmunishi2418 6 років тому +1

    Milladi hizi story zitakupa views wengi ukiwa unatuwekea mara kwa mara

  • @utaani1
    @utaani1 6 років тому

    Sasa mulikosa nchi ya kwenda hata muende nchi za masikini eastern Europe?

  • @shadybadojulius2634
    @shadybadojulius2634 6 років тому

    4

    • @ciaambrose7019
      @ciaambrose7019 6 років тому

      Yani uvumilivu hula mbivu tnaomba sehemu ya 6 hadi mwisho.

  • @dionsangoa1428
    @dionsangoa1428 4 роки тому

    mbona jamaa anaongea kama mteja sauti yenywe kama unatongoza

  • @adamkatet274
    @adamkatet274 6 років тому

    Mwana upo mji gani mtu wangu mimi Nipo Mannheim

  • @khamisfakihkhamis6423
    @khamisfakihkhamis6423 6 років тому

    Bado tunasubir muendelezo mbona kimya sasa

  • @asnathimazoea880
    @asnathimazoea880 6 років тому

    Sie wengine bado tuko ulaya tu napambana na wazungu

  • @godfreyorago7501
    @godfreyorago7501 6 років тому

    Niko nyuma na mbele yenu sawa

  • @belikefredy573
    @belikefredy573 6 років тому +8

    Jamaa anachongea ni ukwel kabsa mpaka nmeitafuta iyo nyimbo aliyekua video king na nmeipata,anayetaka kuthibitisha video hii hapa ua-cam.com/video/R9lUdBb58Ag/v-deo.html

    • @japhettweve3986
      @japhettweve3986 6 років тому

      Mbona jamaa cjamwona kwenye hiyo video

    • @belikefredy573
      @belikefredy573 6 років тому

      Japhet Tweve Angalia video mpaka mwisho utamuona jamaa mweusi kavaa vipuli sikioni

  • @ridhiwanially8529
    @ridhiwanially8529 6 років тому +1

    tuwekeeni na ushahidi wa picha na video za huko alipopitia kama vipo

    • @ntopangonyani6964
      @ntopangonyani6964 6 років тому

      Kwenye hizo video alizotaja kweli yupo lakini kuna moja amecheza role kubwa sana. Nahofia kukutajia kwasababu nitakupeleka kuangalia uasi ila nimeiona ili kujiridhisha na anacho kisema hata hiyo dragonheart yupo ila role yake ni ndogo yaani kama muhusika kivuli.

    • @Rolemodel_wa_taifa
      @Rolemodel_wa_taifa 6 років тому

      Kwani umeambiwa alikuwa anacheza movie hadi upate video

  • @ismailismail1248
    @ismailismail1248 6 років тому +3

    Bori nita post video zako ulivyo kua Ugiriki acha kuweka chumvi mzanzibar yupo Germany wewe ulikupo fika Romania. Uliolewa na bibi wa kiromania na picha zake ninazo.

    • @flackomasterbaddest4155
      @flackomasterbaddest4155 6 років тому +12

      hajamwongelea vibaya kama na ww unaona wivu nenda kasimulie story yako .....hajataja jina la mtu so kama una shida zako deal nazo mwenyewe usitafute telezo au publicity za kijing ...kaolewa kaoa haituhusu cc tumefurah kuskia stori itayofundisha wengi ww na mashida na vinyongo vyako kasage chupa unywe hatutaki kuskia story yako ....fuckn

    • @fatinaabdul2392
      @fatinaabdul2392 6 років тому

      Duh watu hamkosagi maneno kwann naww uctupe story yako. Namm nikitoa story yangu bas najua watu km nyie hamtakosa

    • @AbdulRazzaq-uf7zo
      @AbdulRazzaq-uf7zo 6 років тому

      sinich fala ww

    • @SLTN4503
      @SLTN4503 6 років тому

      Wew bro kuma la mama ako..kwahiyo ukitowa video zake ndo iweje sasa? Fala wewe hujielewi

    • @Rolemodel_wa_taifa
      @Rolemodel_wa_taifa 6 років тому

      Ulitaka uolewe wewe ama? Acha umaku

  • @graysonjohn1080
    @graysonjohn1080 6 років тому

    hatari sana

  • @joeljohn5527
    @joeljohn5527 6 років тому

    ase ime bidi niitafute nyimbo na mm nishuhudie kweli ipo na bro yupo kwawale watakao penda kuona nyimb ya uo misha link hii
    ua-cam.com/video/R9lUdBb58Ag/v-deo.html
    dakika ya 3:1-3:6 utamuona brother kwel katish

    • @raymondgwambaye1821
      @raymondgwambaye1821 6 років тому

      Tunaomba sehemu ya tano mwisho aiplyay na ya sita pia mtupe

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 6 років тому

    Sasa wewe na mzanzibari nani muoga?

  • @leehabari9834
    @leehabari9834 6 років тому

    Mbona pozi nyingi kuweka kipande kingine

    • @aminaibrahim4148
      @aminaibrahim4148 3 роки тому

      Kuta futa kugumu Pole sana ww kweli mpamba naji na wenzio na mnzenji msitupane

  • @rajabusalumu7789
    @rajabusalumu7789 6 років тому

    Bado tena

  • @graysonjohn1080
    @graysonjohn1080 6 років тому

    hicho kipande tuma basi

  • @pidpower9920
    @pidpower9920 6 років тому

    🇳‌🇮‌🇲‌🇪‌🇵‌🇪‌🇳‌🇩‌🇦‌ 🇸‌🇦‌🇳‌🇦‌ 🇸‌🇹‌🇴‌🇷‌🇾‌ 🇾‌🇦‌🇰‌🇪‌ 🇷‌🇪‌🇦‌🇱‌

  • @sidewyne4827
    @sidewyne4827 6 років тому +1

    Hahaha watu wanambinu za kuwateka kifikra..huyo si muba wa Tabata...hahaha

  • @abdulfatahzii1335
    @abdulfatahzii1335 6 років тому +3

    Huyu jamaa ni muongo sana😂😂

    • @abrahamjoseph2589
      @abrahamjoseph2589 6 років тому

      Kwa nn

    • @familylove5417
      @familylove5417 6 років тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣acha tu mskilizee

    • @ethanuk9437
      @ethanuk9437 6 років тому +2

      Hakuna cha uongooo ...Romanian serbian na other Eu countries na wenyewe wanakimbiaa nchi zaooo

    • @umojamedia4167
      @umojamedia4167 6 років тому

      Umewai enda

    • @ethanuk9437
      @ethanuk9437 6 років тому

      @@umojamedia4167 yeaaah tumepita njia hizo hizo na watu tuko mbeleeee mbelee

  • @Jukwaa-7
    @Jukwaa-7 6 років тому +1

    Kuamini jamaa anayoyazungumzia:ingia kwenye chaneli hii ya sporti10 TV ujionee

    • @mosamossile9113
      @mosamossile9113 5 років тому

      sporti10 Tv Tunaangalia kwa milard Ayo wew nani bhana Angalia mwenyewe kwenye channel yako

  • @glorytechnicalsolutions9591
    @glorytechnicalsolutions9591 6 років тому +1

    MI PIA WAPILI LEO

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 6 років тому

    Huyo ni mwanajeshi muoga na hajui uongo na awaongopea ninyi msiojuwa uwongo na wale wanaofikilia ulaya ni peponi nina maana akifika ulaya basi huko ulaya kuna miti ya pesa. Yaani atingishe na kurudi nyumbani amuai mpenzi wake, kumbe kaona tofauti kwanza wazungu wana akili sana maana ukiwaongopea kama anavyo waongopea ninyi 100% utafeli kama alivyofeli kwani hao wazungu inatakiwa uongope kama sinema uongo ufanane na ukeli hapo utawaweza na uwasi tahamili kwa kuto waogopa. Ni hivyo tu.

  • @jeromesudi5258
    @jeromesudi5258 6 років тому +1

    Gonga like kama unakubali jamaa ni muongo😏😏

  • @eliudijustini9878
    @eliudijustini9878 4 роки тому

    Story nzuri ila sauti inakuwa chini sana

  • @zarizariboss4529
    @zarizariboss4529 2 роки тому

    Ok