SASA JINI MAHABA MKOMESHE ASIKUSUMUE TENA KWANJIAHII NZITO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 312

  • @hadijazahoromwamkalmwamkal7561
    @hadijazahoromwamkalmwamkal7561 11 місяців тому +8

    Yaarabi tusaidie kwa pamoja ishaallah shekh othmani mwenyez mungu akujaze kher na baraka nauzidikutusomea majini machafu yaondoke 🤲🤲

  • @HabasiMaganda-jx2zi
    @HabasiMaganda-jx2zi 10 місяців тому +6

    Ya Allah kupitia Dua hii naomba nifanikiwe ktk maisha yangu lnshaallah 🙏

  • @sabahabdallah5791
    @sabahabdallah5791 2 роки тому +6

    Salam Aleykum… MashaAllah, shukran y’a sheikh.. nimetoka jacho… mwili inacheza.. n’a anaôgeya aseme walimtuma… yeye ni kini kaafir na ivi ka toa ashadu… na ka enda… mwili inaniuma kweli, Alhamdulillah sheikh Othman mickael Allah akulipe

  • @GloryEmanuel-gf2vm
    @GloryEmanuel-gf2vm 7 місяців тому +1

    ALLAHU AkBAR ALLAH akuzidishie kheri apa duniani na Akhera INSHAA ALLAH Allahuma Ameen

  • @massawetours
    @massawetours 6 місяців тому +4

    Sina cha kukulipa Sheikh Othman kwa kunisaidia kwa dual hii nzito mwenyezi mungu Akupe afya njema. Naomba nitoe ushuhuda kupitia mimi 😭😭😭🙏

    • @SwedyKatuga
      @SwedyKatuga 6 місяців тому +1

      Umepatanini nduguyangu

    • @AzizaMuhiddin
      @AzizaMuhiddin 2 місяці тому

      Naomba unisaidia mwenza wangu anasumbuliw na jini mahabaa 😢

  • @najuf8021
    @najuf8021 2 роки тому +22

    Mm nikisoma qur'an napona wasiwasi unaniisha Aman ya moyo inapatkana alhamdulilah

  • @nurumutiojameskhankhanjame7337
    @nurumutiojameskhankhanjame7337 2 роки тому +10

    Wallah nimetoka kamasi na kidola cha Kati mkono WA shoto cha pasua je limetoka ama Asante mungu akupe humri inshallah

  • @abdallahaswillah5225
    @abdallahaswillah5225 2 роки тому +4

    Ma shaa Allah jazakallahu kheyran you.. sheikh. Othman Michael

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 2 роки тому +7

    JazzakaAllahu Khayra sheikh Othman Michael

  • @jacobponga1540
    @jacobponga1540 2 роки тому +4

    UKITAKA UTULIVU WA NAFSII KUWA KARIBU NA ALLAH KILA WAKATI, Masha Allah Shk M Othiman tunakupenda sana sana kwa ajili ya Allah na uzidi kutuligania In Sha Allah

  • @aminaseiftoromen8929
    @aminaseiftoromen8929 2 роки тому +9

    Maashaallah mwiliwote umelegea Allah nijaallie jini mahaba atoke kwa kupitia duah hii

  • @fatumaal4988
    @fatumaal4988 2 роки тому +6

    Asalam Aleikum Sheikh mola akujaze killa kheir in shaa Allah akupe Umri tuwiil uzidi kutulingania na kututibu kwa Qur'an tukufu, Wabillahi Taufiq🙏

  • @Maryamjuma-s8w
    @Maryamjuma-s8w Рік тому +2

    Mashallah jazakah Allah, sheikh nimeskiza iki kisoma aky nimeona machozi yatiririka mwili kutetemeka kwani nijini mbaya ama nimzuri nimeona majab

  • @brightwellbrittney4016
    @brightwellbrittney4016 2 роки тому +23

    Ewe Mwenyeeezi Mungu nakuomba kupitia dua hii nipone inshallah

    • @HamisiOmmy-e5z
      @HamisiOmmy-e5z Місяць тому

      Unaposoma DUA NENO IN SHAA ALLAH hutakiwi kulitumia

  • @MA-kh2lr
    @MA-kh2lr 2 роки тому +2

    Aslm alkm.. Mashallah Mashallah Mashallah... Kisomo hiki kimenipa matokeo mazuri yani hata siamini.. mm nimeshuhudia mwenyewe subhanallah. Sheikh Allah akuekee akupe umri mrefu wenye uzima na afya yaarab uzidi kutufaidisha.. Nakushkuru Sanaaaa....Kisomo shifaa hiki.. mm mwenyewe nimebadilika hata siamini.

  • @kasandradaudi7045
    @kasandradaudi7045 2 роки тому +9

    Salamwalekmyu othitazi Allah akuzidishe nashuruku allhamdulillah🙏🏼🙏🏼

  • @SaidSwai
    @SaidSwai 9 місяців тому +1

    allah atujalie ponyo sote allah akuzidie sheye peponi duniani amina ya Rahiman

  • @yussufdawe2125
    @yussufdawe2125 4 місяці тому

    Masha Allah Sheikh tunafaidika kutokanana Mafunzo mengi Allaha akuongoze na akuhifadi popote endelea na kazi hii

  • @paulcassidy7400
    @paulcassidy7400 2 роки тому +18

    Salaam aleikum warahmatullahi wabarakatuh. Shukran Sheikh Mwenyezi Mungu akuzidishie baraka. 🤲🏿

  • @abdillahmbarak7418
    @abdillahmbarak7418 2 роки тому +8

    Walaykum Salam waramatullahi wabarakatuhu inshaallah mungu akulipe pepo sheikh wetu

  • @costaricopunysro
    @costaricopunysro 5 місяців тому

    Alhamdulilah mimi kichwa kimenipasuka kwa mbele na mwili mzima umesismka Allah akupe umri mrefu sheikh

  • @KhadijaKombo-u5c
    @KhadijaKombo-u5c 2 місяці тому

    Nianze Kwa kusema alhamdulilah 🤲🥺 wallah mm nimiongon meawanaosumbuliwa na maradh Ayo kulingana na Dali tofaut wallah baada ya dua hii nimepata na Choo vimetoka v2 vyeupe na mapovu wallah na Kwa hakika Allah kateremsha Qur'an Kwa pinto nakawumen nyinyi mje mtupe shifaa 🤲 Allah akuhifadh na atuhifadhi Kwa sote insha'Allah 🤲😔

  • @Jdshhd-rr3zy
    @Jdshhd-rr3zy 8 днів тому

    Ya Allah kwa kisomo hiki niondolee sihri kichwa chamaajabu mikosi mwili moto mara baridi ya Allah niondolee yarabi yarabi yarabi kilannalo Fanya sifanikiwi ya Allah nifungue Kila palipo fungwa ya Allah Amiiiin thuma amina 🤲🤲🤲🤲 shifaa ya Allah😭😭😭😭

  • @cydohGen
    @cydohGen Рік тому +3

    Ee mwenyezi mungu kwa nguvu ya dual hii majini waondoke kwa mwili wangu

  • @DulaYanga
    @DulaYanga 4 місяці тому

    Nmeskiza hichi kisomo nmepasukwa na kichwa nkahisi kisunzi mwili ulikuwa umeishiwa na nguvu kabisa ila nna imani kma kuna kitu kibaya kimetoka ndani yangu Allah azidi kukulinda sheikh 🤲🤲 shukran🙏🙏

  • @zainababdallah4565
    @zainababdallah4565 6 місяців тому

    A.aleykim shukran sanaa sheikh,, mi nayataka hayo mafuta nipo zanzibar..Wallahi nakufatilia sanaaa, mana maisha yangu yamekua na mazongee mno , lkn Namin Allah atanipa wepesi..

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 2 роки тому +8

    Shukuran jazakka Allah tunashukuru Sana shekh wetu Allah akupe mri mrefu nijihisi tumbo lazunga na kucheza kichwa kupasua nitabeuwa Sana na huhisi kutapika Lakin matapish ayatoki mdomo umejaa matetu

  • @MualiHassan
    @MualiHassan 5 місяців тому

    Jazakallah kheri mungu akuzidishie kheri zaid na barakah insha'Allah,

  • @TatuKhamis-m4k
    @TatuKhamis-m4k 2 місяці тому +1

    Ya Allah kwa duwa hii naomba uniondoshee majini mahaba na sihir ilio tawala kwenye mwili wangu matatizo yangu yote yakomee hapa

  • @MMo-iy7ye
    @MMo-iy7ye 4 місяці тому

    Alhamdullha asatee sheikh Allah akujalie kheri inshallah akulipee ujiraa wakoo asatee

  • @afric01
    @afric01 2 роки тому +3

    Aslm alkm ww.... Shukran sana Sheikh wetu kipenzi. Jazakallah kheir 🙏

  • @FatumaMoha-gf8zr
    @FatumaMoha-gf8zr 10 днів тому

    Munigu nakuomba katka kisomo iki unipoyeshi unipe usalama Amin thumam Amin

  • @salmaabdallah5881
    @salmaabdallah5881 8 місяців тому +1

    Allah anifanyie wepesi kila kitu kibaya kito kwenye mwili wangu nibaki msafi majini uchawi vyote vitoke kupitia dua hii

  • @hawaciza1510
    @hawaciza1510 2 місяці тому +1

    Ya Allah naomba jin mahaba iwondoke kwangu yarabb usiku nakua natarizo Allahuma Amiin

  • @RahmaKassim-r8w
    @RahmaKassim-r8w Рік тому

    Shukran sheikh dua yenu imenifaa nimetapika hadi naona kwenye matapishi vitu viekundu kama dam Allah akulipe pepo ya firdauus

  • @honsaidibinsharifsharifsai8027
    @honsaidibinsharifsharifsai8027 2 роки тому +4

    Shukran jazilaaa al habibi Salamu kutoka Kampala UGANDA

  • @annesyombua658
    @annesyombua658 Рік тому +14

    Ewe mwenyezi mungu nitimizie mahitaji yangu kupitia dua hili Amen 🙏

  • @KhalifaMaganza
    @KhalifaMaganza Місяць тому +1

    Allah akulipe inshaallah

  • @nahimanamayassa8305
    @nahimanamayassa8305 2 роки тому +9

    Shukran xna mwalim wetu,ila baada yakumaliza duan kiuna kinaniuma sna na kichwa kinagonga

    • @drug_less_head3733
      @drug_less_head3733 2 роки тому

      Assalam aleikum sheikh...nifikishie salamu zangu kwa yusuf stephen..mwambie ni tolo mnyama..shukran

  • @joanantteriana7305
    @joanantteriana7305 2 роки тому +27

    Ya Allah nakuomba kupitiya dua iyi iniponeshe unipe usalama katika maisha yangu YARABI 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @Gamil-r9o
    @Gamil-r9o 2 місяці тому

    Asant shee kupia duwa hii nimepata kuona miujiza wakati unaanza kusoma duwa nikaweka poni masikioni baada yamda nikaanza kuyumba mala najikuta nikabinua midomo alafu afula tu nikajikuta nimesonya baada yaapo domo likaanza kucheza kwasana nikawa nanyata meno nakuachia basinikaendelea ivo alafu ndomo likajiachia lenyewe nikaisi limepanuka sana mpaka nasikia maumivu kila nikitaka kuliludisha nashidwa basi likawa limelegea mandenda yanatoka mpaka nikajikuta naema kwanguvu sana kama mbwa yani ile hahahahahahaha kwaalaka sana mpaka hunamalizia kusoma duwa ndio naona mdomo unaludi talatibu mpaka nikaufumba kwakweli shee nakushukulu sana asante mungu akumbaliki walai nitakapoludi tanzania nitakutafuta shee mungu akupe afia njema

  • @hawaismail9951
    @hawaismail9951 6 місяців тому +2

    Ya Allah nijalie kupitia duha hii unifungulie maisha yangu na uniepushe na majini wabaya Amin🤲

  • @rahmaahmadi877
    @rahmaahmadi877 Рік тому

    Assalam alykum ,shekhe Allah akulipe kw dua hi Allah akunyenyue daraj ,a kujalie Pepo ,limepend nakusem yote mateso lilonipatia ,nimeachik ndoa 3 ,nahat nikipat mchumb namtukan mpak ananiach kunioa mkali mud wote ,na limekil kiukwel lilikua ni lenyew kw yot hayo ,na halitarud ten Wal kizaz Chang kukisumbua ,Yan Allah akulipe yaliyomema ,hap tumb linaum saan bad yakujitambua ,namin nmetoka ktk kifungo kikubwa , alhamdulilah,

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 роки тому +2

    Mashaallah shukran sana jadhaakallahu kheri

  • @mwanavitaMbiti
    @mwanavitaMbiti 5 місяців тому

    allah akufanyie wepes namshukur allah kwa dua hii kwa uwezo wa allah hawez kurud tena

  • @daatiasule3815
    @daatiasule3815 2 роки тому +6

    Allahu Akbar mwalm nimejishuhudia asnt kwa kisomo mwalm🙏 Molah anijalie awe ametoka Yarrb🤲

    • @idinado4524
      @idinado4524 2 роки тому

      Inamanisha alikusaidia uyu uyu shee ?🙏🙏🙏

  • @SalmaSaid-c4e
    @SalmaSaid-c4e 9 місяців тому

    Mashaallah Allah akuzidishie kila la kheri ishaallah

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 Рік тому +2

    NAKUOMBA YA ALLAH KWA DUA HII NAOMBA NIONDOSHEE MASHETWANI MAHABA NIJALIE NIPONE MARADHI YOTE YA MWILI PIA MPONESHE MKE WANGU APONE PRESHA NA MNYANYUE AWEZE KUTEMBEA TENA KAMA ZAMANI MREJESHEE NGUVU ZA MIGUU ATEMBEE TENA.

  • @aminakigada5250
    @aminakigada5250 2 роки тому +6

    Shukrani sana mungu akulipe kheri kwa sadaka yako yaduaa

  • @RehemaShomari-b2z
    @RehemaShomari-b2z Рік тому

    Kwa jina la mwenyez mungu naomba unitolee mabalaaa m familia yangu kupitia dua hii amina

  • @aminhakhamisi5320
    @aminhakhamisi5320 2 роки тому +4

    Shukran jazakhallah heri Allah akupe umri mrefu

  • @mardhiahamisi4332
    @mardhiahamisi4332 2 роки тому +2

    Wa alaikumsalam warahmatullah wabarakatu, shukran jazakallah gheiri inshallah Mungu azidi kutuongoza na njia za kheri

  • @tybatyba6552
    @tybatyba6552 2 роки тому +11

    Mashaallah! Shukraani saana mungu akuzidishie kutenda kheri na akupe uhai mrefu ishaallah

  • @Zainabu-z1e
    @Zainabu-z1e Місяць тому

    Allha akupe umri mrefu uzidi kutufahamisha Yale ambayo kuwa hatuyajuwi

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 2 роки тому +4

    Asalama alykum shekhe shukran kwa duwa nzuri allah akubarik amina

  • @NamulemeHadijjah
    @NamulemeHadijjah 2 місяці тому

    Ya Allah nakuomba kupitiya dua hii, nepushe na Bala zaa dunia Allahuma Amiin yarabb 🤲😭🙏☝️

  • @husseinkadawa2846
    @husseinkadawa2846 9 місяців тому

    Wallah nakupenda kwa ajil ya allah na najifunza mengi sana pia huna uchoyo na elim yako allah akulipe zaid na zaid japo nataman kuongea na ww kwenye sim

  • @DivanaJulius
    @DivanaJulius 14 днів тому

    mwenyez mungu fungua maish yangu majini yote yatowek

  • @qhatramohamed7006
    @qhatramohamed7006 2 роки тому +6

    BaraqaAllahfiq sheikh othman michael kwa clip hii iwe sadaka yako ya raby

  • @rifatimustafa3171
    @rifatimustafa3171 26 днів тому

    Ya labi nakuomba huyu jini mahaba atoke katk maisha yangu ihshallah

    • @hamisajumanne
      @hamisajumanne 23 дні тому

      Ya rabii yarabii kumbe tuna teseka wengiii 😭😭ya Allah nakuomba utuondolea jini huuu Wa mahaba hakika ananitesa mie😭😭😭😭😭

  • @MwanashaAmin-u6u
    @MwanashaAmin-u6u Рік тому

    Asalam aleikum, namuomba Allah kupia kisomo hiki aniondoshee matatizo yote nilonayo Insha Allah. Na ww ustadh Allah akupe umri mrefu akuhifadhi

  • @Zainabu-z1e
    @Zainabu-z1e Місяць тому

    Yaa allh tuponyeshe marahd cici sote kwa ujumla amn

  • @rifatimustafa3171
    @rifatimustafa3171 26 днів тому

    Allah nakuomba uniondolee matatizo maladhi kwa kupitia dua hii yalabi naomba nipone na hili jini libay litoke ihshallah

  • @waziriyusuf4446
    @waziriyusuf4446 2 роки тому +2

    Aaww salama shk. ALLAHSWT akuzidishie ilmu afya na maisha marwfu uzidi kuwapa watu elmu za ndani wengine wamefanya biashar nakutana watu Cha pili shk. Mtu Kama amedhulumiwa kwa kunyang'anywa ardhi yake mtu Hana pesa za kwenda kotini mnyonge je utamsaidia vipi kupata Hali yake ya msingi shukran

  • @aishajuma1739
    @aishajuma1739 4 місяці тому

    Alhamdhulilah
    Alhamdhulilah
    Alhamdhulilah Yaa RABB 🤲🏾

  • @SaleheMikidadi
    @SaleheMikidadi Місяць тому

    Ee mwenyezimungu naomba uniponye kupitia dua hii Inshaallah

  • @OmanAsd-j5n
    @OmanAsd-j5n 10 місяців тому +2

    Yarabii tunakuomba utuondolee matatizo yetu kupitia dua hiii🤲🤲🤲🤲🙏

  • @Fatmabakari-x7e
    @Fatmabakari-x7e 3 місяці тому +1

    Allah naoba uniondolee maradhi kwamwili ameen

  • @LeilaWilfred-zc7gn
    @LeilaWilfred-zc7gn 7 місяців тому

    Nimepokea Amiiin' ya abibi'ya Muhamad'ya Allah'hakika Najuvunia Uislam..

  • @MimahYaseen
    @MimahYaseen 3 місяці тому

    Aminii yarabiii ata me nimeona dalili inshallah allah anifanyie wepec nna imani niko sawa sas vitu vimetoka inshallah

  • @juniorjaffar8460
    @juniorjaffar8460 2 роки тому

    As alkm. JazzakAllahkheir cheikh. Nimefatilia vidéo hiyi alhamdllah kumeza kuhisi kicefoucefou baadae nikatoa mbwew sana na Imani bi idhiniLLAh nimefanikia na InshaAllah ntazidisha ibada Allah anime wepessi.Amina. choukran

  • @saliieking7279
    @saliieking7279 Рік тому

    Allah akulipe kila la kheri sheikh Othman michael

  • @HabasiMaganda-jx2zi
    @HabasiMaganda-jx2zi 10 місяців тому

    Eee mwenyezii Mungu ninakuomba kwa lmani kupitia Dua hii nipone, lnshaallah 🙏

  • @RachidiMasculino
    @RachidiMasculino 5 місяців тому

    Yaaarabi muwenhezi mungo nijaliye dua hii iniponhe hishahlaa amina❤

  • @FatmaKaloo
    @FatmaKaloo Місяць тому

    Ya allah nakuomba uniodolee mradhi yote mwilini kwangu kupitia dua hii

  • @BilashoNancy
    @BilashoNancy Місяць тому

    Amin Ewe mwenyezi Mungu nisaidie🙏

  • @EmmyJenny-c3k
    @EmmyJenny-c3k Рік тому

    Hee mwenyezi mungu ni jaalie kupitia dua hii niweze kupona

  • @wiliamoCarlindoRachide
    @wiliamoCarlindoRachide 5 місяців тому

    ya allah 😢nakuomba kupitia dua hii, uweze kunitatulia shida zamu zinazo nisumbua kwa kila siku!! insha allah

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 2 роки тому +6

    Asalam Aleyikum ,ustdhi nimetapika Sana leo kwa kisomo hiki , inshaAllah m/mungu akujaliee kheri na kesho Akhera uipate Pepe ya fidaus inshaAllah

  • @PekoseOmar-xh5xt
    @PekoseOmar-xh5xt Рік тому

    Shukran sheikh nilisikiya mwili ume tikisika

  • @KautharIdriss
    @KautharIdriss 10 днів тому

    Ya rabb Nijalie watoto ktk ndoa yangu kupitia dua hii

  • @jackysijenje565
    @jackysijenje565 2 роки тому +3

    Aah Mwenyezi Mungu nashukuru kwa dua hii.

  • @AminaMpeleuchila
    @AminaMpeleuchila 7 місяців тому

    Mashallah allah ukizidishie kher katk hii dunia na hakhera

  • @husseinnuru7544
    @husseinnuru7544 11 місяців тому

    Eemola wangu niondoxhee malanzi katika mwiliwangu eemola niamxhe kitandan nikutumikie milele mola wangu

  • @AminahajiNk
    @AminahajiNk 11 місяців тому

    Ya Allah utujaliye shufa sote kila ambaye anamaradhi ajini mahaba Mimi ananitesa sana kila siku mngojwa Allah atuapushiye amin

  • @iptisammohamed9178
    @iptisammohamed9178 2 роки тому +5

    Mashaallah subnallah barakallahu fiikum😭😭😭

  • @rahmaAbdallah-nw2vt
    @rahmaAbdallah-nw2vt 4 місяці тому

    Salaam alaikum warahmatullahi wabarakatuh, sheikh Allah akuhifadhi na akulipe kwa Dua na maudha yako mazuri, Niko Kenya bungoma na ni mwathiriwa napataje dawa hizi na huduma zaidi ?

  • @HaithamYahya-e7n
    @HaithamYahya-e7n Рік тому

    Allah akulipe heir shekhe tunakupenda kwa ajili ya ALLAH.

  • @jannetramadhan-uz1xu
    @jannetramadhan-uz1xu 5 місяців тому

    Ee mwenyezi mungu naomba kupitia dua hii niepukane najini mahaba

  • @ZainabuNassor-j8s
    @ZainabuNassor-j8s 5 місяців тому

    Eewe mwenyezi Mungu kupitia dua hii naomba matatizo yote yaende mbali na maisha yangu

  • @zawadiomari7648
    @zawadiomari7648 2 роки тому +2

    Alhamdulilah hakika Quran ni dawa ya kila maradh kupitia clip hii nimeona action Allah akuweke ndugu yangu

  • @FatmaNafoo-vc9yl
    @FatmaNafoo-vc9yl 5 місяців тому

    Allah tufanyie wepesi inshallah kila zto aligeuze kuwa jepesi ammin

  • @Bahati-b1
    @Bahati-b1 9 місяців тому +1

    Amen thuma

  • @soroiatarmomade2294
    @soroiatarmomade2294 2 роки тому

    Assalam aleikum warahmatullah wabarakatu shem nakuombea kila lá kheri mungu akuzidishie mimi naumwa muda mrefu si chini ya miyaka 30 au tu niseme toka udogo wangu nateseka mpaka umri niliofikia bado naendeleya kuteseka nauwezo wa kuja uko sina nipo mozambique nikishwali fajiri na zuhuri basi siwezi kusali tena chochote naomba mnisaidie nateseka

  • @AbdallahKibwana-zv7mr
    @AbdallahKibwana-zv7mr 5 місяців тому

    Ya allah nakuomba upitia dua hii uniponye she kuptia dua hii amin

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 11 місяців тому

    Yaarab naomba unijalie kuondosha maradhi ya kijini katika mwili wangu eehe allah nakuomba nisadie mja wako nami niwe vizuli kama wezangu inshaallah😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

    • @PilyAly-ll8fz
      @PilyAly-ll8fz 10 місяців тому

      Amiina pole ila tupo wengi usilie

  • @joycelucas405
    @joycelucas405 8 місяців тому

    Asante sana Nimefunguliwa

  • @AbdallahKibwana-zv7mr
    @AbdallahKibwana-zv7mr 5 місяців тому

    Ewe mwinyezi mungu nitimziemahitaji yangu kupia dua hii amin

  • @DeborahLeonard-b2y
    @DeborahLeonard-b2y Рік тому +1

    Eeh Mwenyenzi MUNGU kupitia dua hii naomba matatizo yangu yote yaishe

  • @mariamfungo7258
    @mariamfungo7258 2 місяці тому

    M WENYEZI,MUNGU, KWA KUPITIA DUA HII NAOMBA NDOTO ZA MAJINI MAHABA NISIZIOTE TENA ,NA ZINITOKE KABUSA,AMEEN