KISOMO KIZITO CHA KUONDOSHA UCHAWI, MASHEITWANI, MAJINI WALIOSHINDIKANA MWILINI. SH. OTHMAN MICHAEL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 сер 2020

КОМЕНТАРІ • 533

  • @AsiaNassoroMpili
    @AsiaNassoroMpili 9 місяців тому +5

    Yarabi kupitia duwa hii iwe mwanzo na mwisho WA matatizo marazi yote mwanzo WA utosi adi unyayo amiiiiiin 🙏🙏

  • @user-tf5sh8wm7m
    @user-tf5sh8wm7m 10 місяців тому +3

    Yah rabi nakuomba kwa dua hii nifungulie njia ya maisha yang mi na familia yang ameen

  • @azizamisembe-zy9bn
    @azizamisembe-zy9bn Рік тому +4

    We mungu kupitia kisomo hiki naomba watoto wangu wapatwe kufunguliwa nyumba ndoa kazi ya me wangu na ofsi yangu ifunguliwe na malazi yote yaonndoke katika nyumba yangu amen

  • @aliidrisahmad5797
    @aliidrisahmad5797 3 роки тому +5

    mashallah mashaallah Shekh Othman Micha kisomokizito watu wengi timepona Masha Allah

  • @naimajuma3577
    @naimajuma3577 4 місяці тому +2

    Ya Allah kupitia kisomo hiki naomba uniepushie nuksi za kuto olewa na uniepushie zinaa unijaalie Barakah katika maisha yangu na furaha uniepushie udwahifu wa mwili wangu

  • @AzizaMuhiddin
    @AzizaMuhiddin 12 годин тому

    Ya Allah kupitia kisomo hiki niondoshee maradhi na sihli mwilini mwangu, uniondosheshe nuksi na mikosi, unijalie nuru pia mwanangu umuondoshee kila aina ya maradhi na umpe ufaham ktk masomo yake inshallah 🙏

  • @jacobponga1540
    @jacobponga1540 2 роки тому +6

    Masha Allah, Hongera sana Ustadh wetu umenitia utulivu ktk nafsii yangu kipitia usomaji wako wa Qur'an, Smart unaweza Jazakallahu kheri

  • @ashurafundi2873
    @ashurafundi2873 2 роки тому +7

    Mashaallah baada ya kusikiliza kisomo hiki mwili wangu mwepesi sana mungu akusimamie wewe na familly yako

  • @AshaAsha-ng1ug
    @AshaAsha-ng1ug 2 роки тому +1

    Mashaalah shehe,,,niliposikoliza dalili zilikuja kifua kuvimba,macho yakanitoka,mihemo,nikapoga ukelele mara l Kisha nikajikaza,nashukuru sana shekhe kwa darsa lako tunapata kufaidika baada yakujifunza meng ktk yotibe zako mbalmbl ,alah akujaalie mwisho mwema ktk Dunia hii

  • @salmazaidalabrawi3723
    @salmazaidalabrawi3723 3 роки тому +6

    Shukran sana shekh nimefanya kama ulivo kuwa ukisema alhamdulillah nimejihisi ila ulipokuwa ukisoma nilijiwa na usingizi mzito sana nilijikaza tuu nikamilishe kisomo baada ya kumaluza kisomo kwenye miguu nasikia vichomi vinachomachoma
    Jazaakallahu elf kheir 🙌

  • @mename6020
    @mename6020 3 роки тому +10

    MashaAllah shehe Hana hiyana baadhi ya masheh wanasoma nusunusu... Allah akujaalie umri mrefu...

    • @ashminaog1068
      @ashminaog1068 3 роки тому

      Amin

    • @fatumasabiti5612
      @fatumasabiti5612 3 роки тому

      Aamiin 🤲🤲🙏

    • @nelsonboniphas4152
      @nelsonboniphas4152 3 роки тому

      Shekh wangu Allah akupe nuru dunia na akher nimefaidika sana na dua zako nimepona mkono ulio kuwa ukinisumbua kupitia dua zako Allah akuzidishie imani

    • @mename6020
      @mename6020 3 роки тому

      @@nelsonboniphas4152 Ameen Allahuma Ameen

    • @HakizimanaRiziki-cj3dr
      @HakizimanaRiziki-cj3dr 5 місяців тому

      Namii yarbii nijaliye nipone mm nawananguu

  • @user-hz6hm7vn3x
    @user-hz6hm7vn3x Рік тому +3

    Mungu akujalie pepo ya firdausi kwasiku Ya leo nimeona majabu sn sikutegemea km nawez kutapika😭Ahmdulillah ya Allah🙏

    • @ladyr.r9964
      @ladyr.r9964 8 місяців тому

      Pia mimi nimetapika nakusikia kisunzi nini maana yake nijuze mwezako

  • @user-xp9iu9hz1s
    @user-xp9iu9hz1s 5 місяців тому +1

    Ya rabbi kupitia kisomo iki ya allah tujalie shifaa katika familia yetu aamin🙏🙏

  • @bazilassey1227
    @bazilassey1227 4 роки тому +10

    Alhamdulillah baada ya kusikiliza hicho kisoma asubuhi. Nilikuwa naumwa masikio koo kama linakatwa na nyembe kifua yaani vurugu halikuwa lakawida nasema tena alhamdulillah naendelea vizuri na ninetuma kwa watu kadri allah alivyoniwezesha na wanashukuru.Yaa allah mhifadhi shehe wetu na shari za mashetwani wa kijini na kibinadam

  • @nadhifaernest-jv8xy
    @nadhifaernest-jv8xy 5 місяців тому

    yarabil nijaarie afiya yangu irudi kama zama nawatoto wangu na mama yangu mdogo wangu nafamiria yangu yote kwaujumra tuna sumburiwa namarazi yasiyo jurikana tunakuomba kwauwoze wako Allah utuondoshee iimitihani yamaradhi Aamiin yarabil aramin lnshaallah 🙏

  • @fatemaale7066
    @fatemaale7066 3 роки тому +2

    Shekhe naomba unisaidie kwa visomo mana niko nje ya nchi niko saudia natoka kenya nimeskia mlipuko wa moto hapo mgongon ambapo uwa naskia uzito naamin hii dua na ln shaa Allah mungu amekubalia ubarikiwe shekhe othman popote ulipo

    • @najmagoa4727
      @najmagoa4727 3 роки тому +1

      Mm pia niko saudia nasumbuliwa na mgongo na kifua ninaimani ikikisomo in shaaAllah nitaisi vzur

  • @bibitititv9333
    @bibitititv9333 5 місяців тому

    Ewe Mwenyezi Mungu, nakuomba Kwa unyenyekevu mkubwa mbele yako kupitia Dua hii au kisomo hiki naomba niondoshee majini wabaya wote kbsa hasa jini " MAHABA " ambalo limenisumbua Kwa muda mrefu sn sn na amenitesa sana, ridhiki zangu zote zifunguke na niweze kupata hitaji la Moyo wangu, amina

  • @madunguonlinetv
    @madunguonlinetv 7 місяців тому

    Mashallah Ewe Mwenyezimungu naomba uniondolee matatizo yote kwenye mwili wangu kupitia kisomo Hilo na yapotee kabisa inshallah

  • @mwanaidibushuti9929
    @mwanaidibushuti9929 2 роки тому +1

    Mashall mashall jazaka yako iko kwa Allah shekhe wangu naimani huu ndio mwanzo wangu mwema

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 роки тому +21

    Masha Allah, Alhamdulillah nashukuru kwa Allah na kisomo kizuri , insha Allah Allah akulinde sheikh wetu na kila shari wewe na familia yako.

    • @zaitunibakari6724
      @zaitunibakari6724 3 роки тому

      Me

    • @rehemaswaleh147
      @rehemaswaleh147 3 роки тому +1

      @@zaitunibakari6724 mashallah kisomo dawa

    • @shabanihakorinoti1920
      @shabanihakorinoti1920 2 роки тому

      Cheikh mungu akup kher hap duniani n'a akhera tena akuepush n'a kila shar yeyote kwa watu wako .tena neno lamwisho lako iwe shahadatu inshaallah

  • @sumayyahally3199
    @sumayyahally3199 8 місяців тому

    Alhamdulinllah alhamdulinllah namshukulu Sana Allah nimesikiliza kisomo hiki naamin kwa uwezo wa Allah nimepona maana nimeteseka ss ivi naona Kuna nguvu furan imerudi shukuran yaraabi and shukuran shehe wetu jazzakhanllah

  • @user-js4ye3sb3b
    @user-js4ye3sb3b 5 місяців тому +1

    Ya rabbi kupitia kisomo iki mungu nifungue kila changamoto niliokuwa nayo

  • @omarsultan7195
    @omarsultan7195 4 роки тому +10

    Kuna baadhi ya mashekh wanfichaficha elmu lkn ww shekh mashallah watu wananufaika Mungu akujaliye mwisho mwema inshallh

  • @user-zn4jj6lp6t
    @user-zn4jj6lp6t 6 місяців тому +1

    Yarrab kupita dua hii iwe mwanzo n mwisho wa maradhi,machawi yote katika mwili mwangu n iwe dawa n yasinirudie tena inshallah

  • @munaabdullahi6796
    @munaabdullahi6796 3 роки тому +5

    mash allah shukran mungu akuingishe janatul firdows

  • @alishee6571
    @alishee6571 2 роки тому +1

    mashallah mashallah mungu akulinde kwa kila jambo lako sheķ Athuman

  • @MwanjabuHassanHaji
    @MwanjabuHassanHaji Місяць тому

    Yarabi nakuomba kupitia duwa hii uniondoshee husda za watu na majini na unifunguwe kwa yote nilofungwa ameen

  • @swaumupaji3623
    @swaumupaji3623 4 роки тому +3

    Maa shaa Allaah TabakaAllaah Shukraan jaziilah Sheikh wetu binafsi nimenufaika na hichi kisomo

  • @user-wo8go6wc3d
    @user-wo8go6wc3d 3 роки тому +4

    Hauna hiyana jaman nikirud tanzania lazma nikitafute angalau nikupe shukran zako

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 роки тому +6

    Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah tabaraka Allah .

  • @loozyshtarte5501
    @loozyshtarte5501 20 днів тому

    Mungu anijalie wepesi majini yatoke mwili

  • @ghuuihgggu2968
    @ghuuihgggu2968 3 роки тому +2

    Shuqran Sana Allah akujaalie kher katika maisha yako na akujaalie Afya njema inshaallah dua imenisaidia na mpaka hapa mgongo mbavu zaniuma najickia pia mwili mwepesi Ila nataman kuongea nawe japo wasap kwasababu nipo Oman na vocha ya kupiga kawaida inakuwa nigarama nami garama hiyo cna kutokana na hali yangu Ila inshaallah Allah anisaidie kwa hili inshaallah Naitwa Faudhia hamidu

  • @mwanaidsaid7512
    @mwanaidsaid7512 2 роки тому +37

    Yarabi kwa kisomo iki kiwe mwisho wa matatizo yangu. Na mwanangu inshallah 😭😭😭

    • @asiaiddi2539
      @asiaiddi2539 2 роки тому +4

      Amiiin amiiin

    • @yusrajuma6714
      @yusrajuma6714 Рік тому +2

      Amiin

    • @ashatsheh6614
      @ashatsheh6614 Рік тому +2

      Yaarabi kwa kisomo hiki naomba unitolee matatizo Mimi na kizazi changu yaliyo miilini mwetu na utukinge na hasad za binadamu wenye husda choyo vijicho tukinge na majini eee molla wangu

    • @UmmuMaryam-ym1um
      @UmmuMaryam-ym1um Рік тому +2

      Inshallah Amin

    • @muanassarachide1842
      @muanassarachide1842 Рік тому +1

      Chehe nataca cuonguela na simo tafadal

  • @zafafuswalehe2974
    @zafafuswalehe2974 3 роки тому +2

    Mashallah shukran Allah akulipe inshallah

  • @ashanibigira5898
    @ashanibigira5898 2 роки тому

    Mashaal Allah akulipe kila laheri APA duniyani n'a kesho ahera akuo gezeye elimu update kumi imilisha Uma

  • @user-zo9lb1id9v
    @user-zo9lb1id9v 3 місяці тому

    Allah naomba kisomo hiki kiwe chakuniondolea maradhi niliyo nayo kichwa Hadi mwili wangu ameen

  • @user-jh5px2xl8u
    @user-jh5px2xl8u 2 місяці тому +1

    Akiamungu nilicho kiona reo kwenye hii dua mungu nfo anajuà nimejikuta nàjisaga sàga na kuria na kujipiga mahasili ya mtu alopàndsha shetani,, na alafu niko peke yangu na nimejisomea mwenyew na maji nimejitemea mwenyew shehee sina mtu

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 Рік тому

    Shukran sana jazaka Allahu kheri
    Nimeumwanaziwa namguu ghafla

  • @bakariwere300
    @bakariwere300 2 роки тому +1

    Jazzaka llahu khairan Yaa Sheikh

  • @patriciarudolph9089
    @patriciarudolph9089 10 місяців тому

    Ewe mwenyezi Mungu kupitia somo hii niondole yote mabaya amboyo muovi ametuma kwa na wanganu! Niepushe na waouvu wote wa duniani Ameen!

  • @sinadeRobinso
    @sinadeRobinso 3 місяці тому

    Allah ni linde Mimi na watoto wangu na make wangu Kwa dua ino insha'Allah itowe uchawi na majini yote ya liyo nyumbani kwangu na uchawi insha'Allah ameni

  • @user-xg6tc6nx6e
    @user-xg6tc6nx6e 6 днів тому

    Amini nakuomba mwenye zimungu unija lie uniondole wale wabaya wote inshallah

  • @fauziamteti7389
    @fauziamteti7389 2 роки тому

    Inshallah kisomo iki kiwe ufunguo wangu na kuepukana namashetani mungu hakuzidishie Dua za heri

  • @UstadOmar-rl3ze
    @UstadOmar-rl3ze Рік тому +1

    Sheikh wangu mung akubariki inshaallah

  • @maisaalawy4512
    @maisaalawy4512 3 роки тому +1

    Allahuma Ameen jazzakhalahu kher mashaallah.

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 3 роки тому

    Shukran jazaka ALLAH khery Mola akulipe mema dunian na akhera na pepo ya fridous iwe makaazi yako

  • @alimdahouma6226
    @alimdahouma6226 2 роки тому +1

    Mashallah barakallah alhamdullahi jazakallah

  • @ZuuhRaniya
    @ZuuhRaniya 6 місяців тому

    Yah rabby kisomo iki kiwe mwisho wa matatizo yangu yote yanao usumbua mwili wangu eeh mungu nakuomba nijaalie mja wako

  • @user-cw5sk7wd6g
    @user-cw5sk7wd6g 2 місяці тому

    Yarab jalia kisomo hiki kiwe mwisho wa matatizo yangu Na family Inshallah amin

  • @user-jo5rf4wp7g
    @user-jo5rf4wp7g 6 місяців тому +1

    Allah nifanyie wepesi kupitia dua hii nateseka mm

  • @NaimaKaka-yo4hb
    @NaimaKaka-yo4hb 4 місяці тому +2

    Amin

  • @nooornoor120
    @nooornoor120 4 місяці тому

    Ee yarabby kupitia dua hii nikafunguliwe afya ukanitimizie malengo yangu ya allah baba yetu mlezi mahali nilipo fungwa leo naamin kupitia kisomo hiki nimefunguka amiin ya rabby

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 роки тому +6

    Shukran jazakallahu kheir sheikh Allah akupe unayoyataka yenye kheri nawewe
    Hatuna cha kukulipa Allah atakulipa

  • @OmAn-cz8kt
    @OmAn-cz8kt Місяць тому

    Allah akupe umri mrefu na wenye mafanikio hehe wetu inshallah

  • @bazilassey1227
    @bazilassey1227 4 роки тому +7

    Mashaa allah mashaa allah hakika hiki kisomo kinanifaa mashaka hayaishi

  • @user-rt5vq5vc3k
    @user-rt5vq5vc3k 5 місяців тому

    Ya rabby kupitia kisomo hichi iwe mwisho wa matatizo yangu na mtoto wangu inshallah

  • @aishatarimo6780
    @aishatarimo6780 3 роки тому +2

    Jaman nilikuwa naumwa na tumbo nimesikiliza hii dua tumbo limeacha haliniumi...Allah akujaalie kila lenye kher shekh

  • @user-ne9uw9pp7i
    @user-ne9uw9pp7i 5 місяців тому

    Yarabi mola wangu kijaalie kisoma iki iwetiba yamaradhi aya niliyonayo🤲

  • @handhalhandhal4608
    @handhalhandhal4608 3 роки тому +3

    JazzaqallAh bil khair Sheikh Othman.

  • @ummilkheirmohammed
    @ummilkheirmohammed 4 роки тому +4

    Mungu akulinde na macho ya uhasidi shekhe wetu hakika nawaidhika kupitia wewe alhamdulillah.naomba InshaAllah hii mada ya باب في كراهة النعمة usitukoseshe

  • @HaroubSaid-sf3qw
    @HaroubSaid-sf3qw 2 місяці тому

    Mashaallah shukran Allah akulipe insha Allah

  • @fadhilaswaleh2363
    @fadhilaswaleh2363 3 роки тому +3

    Mashaa Allah Allah akulipe her nyingi kwakujitolea kwa ajil umma wake

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 2 роки тому +1

    Alhamdulilah mungu akuhifadhi shekh Athuman

  • @hassanishekidele6725
    @hassanishekidele6725 Рік тому

    Yaarabi naomba kisomo hiki kikaingie ndani ya tumbo langu na moyo wangu kikatoe uchawi wote uliopo ktk mwili wangu inshaallah

  • @khadijamanjenje5065
    @khadijamanjenje5065 3 роки тому +6

    Allah azidi kukujalieni maisha marefu yenye kheri Inshaalah.

  • @mariamselemani1366
    @mariamselemani1366 11 місяців тому

    N shukran sheh wetu Allâh akulipe Kila laher

  • @aishaburundi7058
    @aishaburundi7058 3 роки тому +3

    Masha Allah tabarakaallah 😍

  • @ameeranassor1619
    @ameeranassor1619 2 роки тому +4

    Hii video siku zote nilikuwa naikwepa sitaki kuitizama,Leo nimepata ujasiri wa kuitizama SubhanahLLAH nimekohoa na kutapika pale aliposema usitapike Mimi nilianza kutapika, nashkuru sana Kwa dua hii nzito

  • @user-gy9cf2le8t
    @user-gy9cf2le8t 10 місяців тому

    Sheikh othman michael allah namuomba akupe umuli mulefu wenye afiya njema na akupe moyo wakuvumilia mambo ya dunia tiba yako imenisaidia sana kwa idhini ya allah na dalasa lako limeniogezea imani dawa unazo tengeneza dawa ya mafuta ile yakupaka nidawa tosha sitaki kusemangi allah ndomujuzi

  • @aminahmusa3723
    @aminahmusa3723 2 роки тому +1

    Shukrani Mungu akupe maisha marefu inshallah

    • @Mpendayesu70
      @Mpendayesu70 8 місяців тому

      Naomba nitafute kwa email zangu

  • @fatmahabbas7152
    @fatmahabbas7152 2 роки тому

    Mmmmmm bismillah mashallaah yalonikuta siyakusema zaid ya Alhamdulillah 🤲

  • @azizasalum2408
    @azizasalum2408 2 роки тому

    Asalamu alaykum warahmatullah wabarakatu.. mashallah mashallah..shukran sana ..Allah akujalie kher na barka na akupe afya na Siha Amin Amin yaraby.

  • @haseanatnsanya2079
    @haseanatnsanya2079 3 роки тому +1

    Maashaallaah mungu akulinde nashali zote Ameen

  • @zuuali4203
    @zuuali4203 2 роки тому

    Mashaallah sheikh Allah akujaze kheir,mm nasumbika nashkuru Leo kwa kisomo

  • @yusufseifu4967
    @yusufseifu4967 2 роки тому

    Masha-ALLAAH shukran jazla sheikh

  • @fatemaale7066
    @fatemaale7066 3 роки тому

    Mashaallah Jazakaallah kheir ln shaa Allah shekhe nasumbuka nikila naskia chakula chatembea hakiend nanjia iliyoyasawa had mgongon hapo mgongon pazito kama nimebeba kitu ln shaa Allah dua hii itaniponyesha Ameen yarab

  • @user-si5pw9fe4h
    @user-si5pw9fe4h Місяць тому

    Kupitia kisomo hiki mwenyezi mungu nifungulie riziki zangu

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 роки тому +1

    شكرا يا شيخ جزاك الله خيرا

  • @mariamramadhan4296
    @mariamramadhan4296 2 роки тому

    shukran sana allah akuzidishie taufiq

  • @faridaiddi104
    @faridaiddi104 3 роки тому +3

    Mashaallah Jazakarakher hufiiq 🤲

  • @zainabshomary782
    @zainabshomary782 2 роки тому

    Aminaa inshaall mwenyezi mungu akuzidishie imani

  • @patriciaomarigezza6414
    @patriciaomarigezza6414 3 роки тому +2

    Manshaallah mmungu akulipe🤲

  • @ashayummy2299
    @ashayummy2299 Рік тому +7

    I have watched this over 1000 times

    • @suraiyahassan7550
      @suraiyahassan7550 Рік тому +1

      Andika kiswahili mi sijui kizungu

    • @Mpendayesu70
      @Mpendayesu70 8 місяців тому

      @@suraiyahassan7550 asema ameiskiza hii zaidi ya Mara 1000

  • @user-bi2xp7wf1h
    @user-bi2xp7wf1h 11 місяців тому

    Ya Allah nakuomba kwa kisomo hiki unifungue vifungo vyote mm n familia yangu uniondoshee jini,mashetwan n kila ubaya kwa uwezo wako

  • @user-ij9yi7bm8m
    @user-ij9yi7bm8m 9 місяців тому

    wallah Allah atuondolee haya majini ktk mwili wangu

  • @mohamedathman2619
    @mohamedathman2619 3 роки тому +1

    Allah atakojaalia men's in Shaa Allah

  • @user-js4ye3sb3b
    @user-js4ye3sb3b 5 місяців тому

    Katika dua ili namuomba mungu ili jini mahaba litoke kwenye mwiri wangu in shallwa

  • @rahmaAbdallah-nw2vt
    @rahmaAbdallah-nw2vt Місяць тому

    Yarabb kwa kupitia kusoma hiki iwe ndio sababu ya mwisho wa maradhi yangu na mitihani yangu na wanangu biizinillah

  • @ZuuhRaniya
    @ZuuhRaniya 6 місяців тому

    Amin inshallah Allah atatufanyiawepesi wote tunao muomba

  • @Hajra-ty5io
    @Hajra-ty5io 3 місяці тому

    Ya allah kupitia hii dua naomba kuondoka kwa kila matatizo yaliyopo mwilin mwangu

  • @bossmatuta1492
    @bossmatuta1492 2 роки тому +8

    MaashaaAllah ... Nipo 🇰🇪 kenya na Baada ya kusikiliza kisomo hiki mimi ,ndugu yangu na mamangu na Alhamdulillah sihr ikadhihirika. Jazaakallahu kheyr Sheikh Othman and your team for initiating this ruqya and supplication and also taking your time to guide us through WhatsApp on how we will get the the medicinal oil🙏🏿

  • @laylahasshim827
    @laylahasshim827 3 роки тому +7

    Shekhe Allah akujalie kheri hapa na dunian na kesho nilikuwa nasumbuliwa na tumbo mwaka nikienda hospitali naambiwa gesii hiyoo lkn safari hii Naamini hii dua itaniponeshaaa.

  • @ashura.burundixhxhx70
    @ashura.burundixhxhx70 3 роки тому

    Walaykum salam Warahmatullh Wabarakatuh shukran sana sheikh

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 4 роки тому +8

    Masha Allah Sheikh great lecture BarakAllah feek

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 роки тому +1

    Shukuran M /Mungu akubarki kwawema wako shehe wetu akulipe frdaus Amina

  • @laylahasshim827
    @laylahasshim827 3 роки тому +3

    Alhmdullih MashaAllah hii dunia ni kiboko ya yote wallah nilisikiliza saa 9 usiku nilivomaliza nikalala nikaanza kuota nakimbizwaa na kisuu n wanawake wawil moja mkubwaa mwingine mdogo huyo mdogo nilimpigaaa sana yule mkubwaa akaksirikaaa akaanza kunikimbiza yeye nilikimbia mwisho nikachokaa tukashikanaaa lkn hakuwa na nguvu tena ya kunipiga nikachukua ile kisu nikaondokanacho nikaamka nimetia udhu nimeswali alhmdullih

  • @user-ug6cj3zq7r
    @user-ug6cj3zq7r 9 місяців тому

    Yarrab naomba nisaidie niweze kupona matatizo yangu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼amiin🙏🏼 thumaa amiin

  • @user-du2jy2ff4p
    @user-du2jy2ff4p 4 місяці тому

    Mashallaa.....

  • @ZuuhRaniya
    @ZuuhRaniya 6 місяців тому

    Ewe mwenyezi mungu kupitia duwa hii nifunguliwe Kila kilicho fungwa katika mwili wangu nakama Kuna kibaya chochote katika mwili wangu basi kitoke kiludi kilipo toka uchawi uliopo katika mwili wangu utoke kwauwezo wako mungu wangu

    • @SaidFupi
      @SaidFupi Місяць тому

      Amin Allah afanye wepes

  • @hadijajuma3773
    @hadijajuma3773 3 роки тому +1

    Allah akupe umri mrefu na akupe moyo wa kusaidia zaidi.