Zijue Fitina, Dhuluma Na Hatari Za Jini Mahaba/Fanya Haya Kuwatoa Majini Hawa/Sheikh Othman Micheal
Вставка
- Опубліковано 21 тра 2023
- Zijue Fitina, Dhuluma Na Hatari Za Jini Mahaba / Fanya Haya Kuwatoa Majini Hawa / Sheikh Othman Micheal
Mashaa Allah Sheikh Othman Michael akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Zijue Fitina, Dhuluma Na Hatari Za Jini Mahaba / Fanya Haya Kuwatoa Majini Hawa / Sheikh Othman Micheal
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: /
► LIKE DARSA TV on Facebook: /
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
UA-cam @Darsa tv
TikTok @Darsa tv - Розваги
Ma sha Allah Tabarakallah
Ma sha allah mungu akurefushe umuri
MASHAALLAH
Mashaalah sheik alaah akupe Maisha marefu inshaalah sheik osman.
Salaam aleyku, shekhe naomba unisaidie ,hizo Dali Mimi ninazo naombaunisaidie
Hii shida yansumbua sana hadi nakosa raha nitazipataje hizi dawa nko kenya
Sheikh unakuja lini kenya
am a Christian in Kenya but napenda sana kuskiza mashauzi ya Sheikh,how do I ever meet him
plz call him in a contact number on the scrn
Naomba hii adhabu mke wangu asije akaiskia amin amin mana maskio yatakoma 😅
😢😢😢
Nambq ya simu
chukua hizo zilizo andikwa kwa mawasiliano
Mimi nasumbuliwa sina amani kabisa nakosa raha kabisa😢 nitazipataje?
Assalam aleykum ustadh je hzo dawa mtu aliekuwa Kenya anapataje
NAMBA ZAKE ZIPO PIGA
Comment tretes la fileur
Shekhe mm kila nikikaa nahis naingiliwa kimiujiza
Jini mahaba huyo
Kaka,namba,nasumbulia,Sana,alafu,Dina,watoto
namba ziko hapo piga
Napitia yote hayo nifanyie nini
Naomba namba ya simu
zinapita katika screen hapo
Naitaji namba zako shekhe
ziko hapo kwenye screen zinapita
A.Alkm.. twahitaji number ya sheikh.. tafadhalini
@@yusraramtula5445iko Kwenye screen
Nambq ya simu
ziko zinapita kwenye screen