Neema Gospel Choir - Daddy Daddy (Live Music Video)
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Wimbo wa Tumaini na Urejesho
Ipo furaha na amani inayorudishwa na Yesu. Kupitia wimbo huu utakufanya uinue moyo wako kwa Mungu kwa sababu ya zile ahadi alizokuahidi.
"Dady Dady" inatukumbusha ukweli wa kudumu na kuongozwa na Bwana hata katikati ya mabonde ya giza, shida na taabu.
"Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya; kwa maana Wewe u pamoja nami; gongo lako na fimbo yako vyanifariji." Zaburi 23.
Composed by: Fredrick Kilago
Leader: Reginald Swai (Biggy Ronnie) & Christopher Masunga
#neemagospelchoir #gospel #daddydaddy
--
VICTORIOUS JOURNEY PRODUCT
held on 01st December 2023 at Uhuru Stadium - Dar es Salaam.
𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧:
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: Amigo Johnson
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: Titus Alfred
𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: Victorious Production
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 & 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞: ABE Professional Sound
𝐒𝐜𝐫𝐞𝐞𝐧: ABE & Ryzen
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Jeddy
𝐌𝐨𝐧𝐢𝐭𝐨𝐫 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Junior Albert (Gaddy)
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Allan Lights
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐢𝐧𝐠 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maxlifah. (Max the Alternative) 🇰🇪
𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Parmena Winfred
𝐏𝐫𝐨𝐝𝐮𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐌𝐚𝐧𝐚𝐠𝐞𝐫: Production Fundamentals Limited
𝐑𝐢𝐠𝐠𝐢𝐧𝐠 𝐚𝐧𝐝 𝐬𝐚𝐟𝐞𝐭𝐲 𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maurice Sikuku 🇰🇪
𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
Instagram: Neema Gospel Choir
Facebook: Neema Gospel Choir
X: Neema Gospel Choir
Threads: Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir
𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬:
Whatsapp: +255 766 777 288
Email: info@neemagospelchoir.org
Website: www.neemagospelchoir.org
©️2024
I have no words,I love your songs they make me live like heaven here on earth.
I have downloaded all yo songs though i know a handful of Swahili.This one is on my daily playlist too.
Love from Uganda 🇺🇬🇺🇬
Nikurejesheeee itabaki kuwa wimbo bora wa mwakaaaa
Kweli 💯
hata uu umetisha
Mh kwangu mimi Wimbo Bora wa mwaka ni chukwu oma
Kwasababu ni wimbo simple hauko na kona kona nyingi ....... pia message yake inagusa kila mtu (ni wimbo wa nyakati zote huzuni na furaha) na hata video yake ilikuwa mixed vizuri sana!
Kwa kweli mimi paka kifo hiyo nyimbo nina ipendaaaa❤
Nice song
My all time
Favorite choir , toka enzi za marehemu S. Kanumba (Mungu amrehemu) Mungu wa mbinguni aendeleee kuwapigani mpaka ukamilifu wa dahari 🙏🏿😍
Daddy unaesoma comment hii mwaka 2025 utaenjoy sana na utarudi KULIKE hapa
25-01-2025
GOD BLESS POWERFULY YOU AND YOUR FAMILY !!!
❤❤❤❤❤❤BRASIL 🥰 😍 🥰 😍 🥰 😍
Sololist no 2 ... Amekuwa sololist wangu wa kiume bora wa mwaka 2024🥰📌
Heavenly ❤
Biggy Ronnie una balaaaaaa
Kama unawakubali Neema gospel gonga like hapo
Wakenya wenzangu let's converge here and dedicate our heart-felt likes to our brothers the Neema Gospel Choir
Tuliobarikiwa na wimbo tujuane jmn
Second soloist you deserve your own song to lead... You did great here... Enthusiasm at its finest...
🔥huyo jamaa mwembamba anajua sana aisee
🔥
nikurejesheee wimbo ulioponya mioyo ya maumivu umejaa faraja ya Roho
Nice outfit always a blessing
🇰🇪🇰🇪Wakenya mpo! Much love🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huu wimbo ulitakiwa kuitwa NIMERUDISHIWA au NIMERUDISHIWA FURAHA badala ya hilo jina la daddy daddy walioupa, lingeendana na ujumbe uliopo ndani yake
Muziki tamu lakini
You’re right
Concentrate na vya maana message wachana
na mengine.
@petersonnyaga9168 ushauri ni muhimu ili wakati mwingine wawe makini kuselect jina la wimbo kulingana na mashairi yalivyokaa. Kupenda kitu sio kutizama na kufurahia tuu bali ni pamoja na ushauri. Wewe kama huwezi kushauri basi tizama tuu furahia wala usihangaike na comments za watu kwenda kwa waandaaji wa ujumbe
@@ericwanyonyi2445 ndio, muziki na ujumbe ni safi kabisa. Ni kaushauri kadogo tuu nimetoa
Eeeeehhh Chriss Is Fireeeeee🔥🔥🔥 Ronny u did the best ✨ all in all tumefungua wimbo na Daddy Daddy 🙌🙌
Mm na neema gospel aiiiii twendelee tu na mwaka huu mrekodi tena tuje
Hakika namaliza mwaka Kwa kusema na kukiri. Neema gospel choir ni Bora Kwa 2024...nawaombea mema Kwa mwaka ujao 2025.mtushibishe tuendelee kulishwa neno kupitia uimbaji wenu..mbarikiwe sanq
Can we talk about Chris and his vocals. OMG🎉 May the lord preserve you bruv
Good one,Tuzindi kubalikiwa.much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
God bless ❤❤ I like it dady
Niko na yesu ni furaha yangu❤❤❤naomben like za kutosha from abroad❤❤😂😂😂😂
As I cross to a new year I believe that God is bringing back the Joy that has been taken by the evil one....
I leave this comment so that whenever anyone likes I'll be coming to be blessed
Amen🙏 Lord I grolify your holy name for keeping me health and defend me in every hard situation and even the worst one🥹🥹 i' m really joyful giving me opportunity to enter 2025 🙏 Glory be to Jesus I lift you higher🙏🙏🥰.
Neema gospel the song is Soo nice, Mungu aendelee kuwainua..
Mtunzi alikamia Sana ndiyo maana ameweka vitu ambavyo kuviimba ni lazima uhakikishe uwe hudaiwi ada na kodi na pia uwe umelipa mahari zote ukweni ukimaliza... Kwa kifupi ngoma ni ya moto ...
Hahaha Hahahaha sure kbs
Good morning 🇺🇸 🇺🇸🇺🇸nawapenda sana Neema Gospel Choir.
Mkono wa bwan
Daddy na Mummy ukiwa na Yesu furaha yako ni toshelevu 🙏🙏🙏🙏
Ronny, Chris and the entire team, this is next level, exceptional vocal and arrangements of music instruments. Mungu azidi kuwainua zaidi
Barikiwa sana Uncle
Neema gospel choir yangu bora kabisa miaka yote,nawapenda sana,Mbarikiwe sana,choir master nakupa maua yako
Kwaya hiii jamaniii imenibariki mwaka 2024 mungu Awabariki sana tena sana,nawapenda sanaaa
Wow wow...kwakweli mimi nabarikiwa sana na hii Kwaya. Ni wazuri ktk: Sauti, Mavazi, Styles, Vyombo, Melody na Harmony of the instruments and voices....!! So so blessing!! Narudia na kurudia kusiliza, nnavyorudia ndo nazidi kufurahishwa na kubarikiwa zaidi...❤❤❤❤❤❤
So great work...!
Stay blessed !!
Chris Mungu amekupa sauti nzuri zidi kumtumikia
Chriiiss🎉🎉 Happy birthday and you did a great job 👏🏽👏🏽👏🏽🔥🔥
Solo wa pili...ni moto...awe anasolo mara nyingi...
Niko na Yesu. Furaha yangu ni toshelevu 🙏
Barikiweni
Chris masunga mdogo wangu 🎉❤🎉
Neema Gospel Choir the favorite Choir 2024
Chriss bro umefanya vizur sana hongera sana
This is the best thing I've watched in 2024🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾moyo wangu unabubujika🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Hallelujah thank you Jesus, the song is beautiful and everyone looked so beautiful be blessed 🙏
Let’s talk about that voice huuuuuu
I'M GRATEFUL I MET NEEMA GOSPEL CHOIR IN 2024, ALL OF THEIR SONGS WERE A BLESSING TO ME.
MORE GRACE NGC FAMILY❤
Criss🔥🔥🔥
Furaha yang n kuona namn mnamwimbia bwana vzur mno🎉
Dogo mwembamba nimemuelewa hongera sana wimbo mmeutendea hakini ni Title yake tu
Tunaomba nyimbo zote awe anaimbisha sololist no2😂😂😂💃💃
😂😂😂😂😂😂
📌
Oooh.
Nabarikiwa sanaaaa.
Kama unabarikiwa pia kama mimi, hebu tumshukuru Mungu kwaajili ya watumishi wa Mungu hawa Neema Gospel Choir!.❤
Woow God bless you gys your work is amazing
*sollw huyu no 2 sijui kwanini hapewi kuimba sana nyimbo huwa ananibariki sana*
Hakika ukiwa na Yesu furaha yako ni toshelevu
Good work from Neema Gospel Choir and Some rare and golden voice from the second soloist...absolutely wonderful from him...Daddy...Mommy🙌🙌🔥🔥
Chris 🔥🔥barikiwa sana.
Asente sana Neema.tunapokea sauti nzuri hapa👍🇰🇪
Chris 🔥
NIMERUDISHIWA NA YESU NA YUKO PAMOJA NAMI,Mungu awatunze watumishi mnanibariki Mnoooo
Dah jamani jamani Tanzania mnajua mpaka mnajua Tena
Chris is such a highlight⭐️💯good job guys
Kipande chake nimekirudia mara nyingi sana 😂😂😂😂
🔥🔥🔥
Waoooh huu ndo nilikuwa nausubr sasa...Bado watu wote tukinyenyekea na kujishusha mbele za mungu mungu ataponya nchi yetu.
.lini huo jmn...
Neema gospel jmn nyimbo zenu zinatubariki …xna
Dakika 4:06 wuueeeeeeeeeh acha tu
Utanirudishia furaha kwenye biashara na kibali
Kudos to the team... this tune is fire..well done
Hallelujah ✍️.
hakika Mungu ni mwema ,,,nimerudishiwa furaha na yesu.
Mungu awabariki watumishi wamungu
Daddy, mommy oh. Mmechomekeza tu. Haina spitual connection.
Sololist number 2 🎉🎉🎉🎉
Nice nice song
Chriss Masunga vocal
🥰🥰🥰Happy New Year in Advance
It's just waooooh waoooh 🙏💖😊
Haya nimerudishiwa furaha na DADY 2025... Happy New year 🎉🎉🎉
Mungu awabariki sana na kuwatumia viwango vingine
Sijachelewa tuko pamoja Sana nawapenda mno
Chris🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kabla ya wimbo Mimi huwa naanza na mziki ulivyopigwa, huuu ni balaaaaa, sana🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏,
Pianist wametulia Sana hawana papara
Kabisaa Freddie kwenye main key, kefa mndeme kwenye Aux na huyo mwingine kwenye Hammond usisahau bassist Simon ngola na lead guitarist Andrew wako tops sana @@simonmahega3085
Ahsante 🙏 🙌 🙏 MUNGU kwa kunirudishia furaha iliyotekwa na shida za dunia,,,Wewe si mtu useme uongo 🙇🙇🙇
Amazing song
Such a timely message indeed.
Kwaya yangu pendwa
Mwisho, mwambie , Cris ninazawadi yake ,anitafute inbox, Alichokifanya🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ubarikiwe sanaaa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
This is a wonderful song with a great message. The voices are amazing❤❤❤.
The best was spared for the last day of the year.
Kweli ni raha yangu ❤
Piano 🎹 wamekaa wakatulia
acheni kumtweza Bonge bonge anaweza sana
Nabarikiwa sana na Nyimbo zenu NGC, Mungu awainue zaidi mwaka 2025, My Fav Gospel Choir ❤✨💫
Jamani jaman, mmepiga parefu sana, mimi ndo wimbi wa Mwaka😂
Haleloooyah! Hakika nyie watu Neema gospel choir mwaka huu mmejua kunibariki hakika.
MUNGU awainue zaidi 2025🎉🎉🎉 Ikawe kwa utukufu zaidi.❤
Second soloist with the riffs and runs, go off MOG! Wow! 👏🏾
He nailed it 🤍
@@Milianemymasterfully!
Mungu awabariki Sana huduma yenu ni njema mno wajoli 🙏🙏..
💃💃💃💃🙏🙏🙏🙏❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Eeeeehhh Chriss Is Fireeeeee🔥🔥🔥 Ronny u did the best ✨ all in all tumefungua wimbo na Daddy Daddy 🙌🙌
Amen 🙏🙏🙏🙏
Alisema ataturejeshea, ndio hii ameturejeshea😅😅
Thank you for making 2024 a blessing♥️♥️♥️Happy New Year 2025, to more great melodies😊
Nyimbooo zenu zinatubariki