Alafu tulisema JP Bass ni mnyama, and he should not be mixed with us humans, but hamkuskia😂. Just see how he is killing this piece🔥. We are not safe, please. I repeat, JP needs to be protected at all costs.. huyu jamaa hana huruma kabisaa😂. Atatumaliza ki muziki😂. Mniokote chini ya meza
The first Joshua story was the best part of the song for me This is my song of 2025 so far God bless you agape gospel band Nime barikiwa na nyimbo zenu much love from Ug🇺🇬🇺🇬🇺🇬🙏🏿
Putin Putin 🔥🔥🔥🥁 we jamaa unajua mnooo Na nimebarikiwa zaidi safari hii this time Perccusion (Tumba)..zimesikika vizuri sana imeongeza flavour ya hili sebene🔥🔥
Ila nyie watu wa sounds uwiiiiii Mungu awabarikiii yaani mimi kama kawaida nawek kamuitoo kasimu kabisaa,,, Itoshe kusema mimi na nyumba yangu nitamtumikia Mungu.
❤ Agape gospel band,,you bless my soul❤,,mimi na nyumba yangu nitamtumikia Bwana ❤❤
Kama unapenda angape gospel band nipe like 🔥
Shuka Yesu, kisha Simuachi. Yani Yesu alikwisha shuka sasa hatumuachi😂🔥🔥🔥
😂😂😂😂we mzee tunamuacha Yesu alaf iweje 😢🎉🎉🎉simuachi mm
@@Med_Manu😂simuachiii😂🔥
Agape Gospel Band ❤❤
Ukimuacha yesu wewe umepotea. Likolo cheso
Oooooh nimechelewa lakini mimi na nyumba yangu nitamtumikia nimechagua Messiah 2:48 wapi kenyans inhouse 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
The song is lit 🔥,,,God bless you #from 🇰🇪
Hans kwenye drums yuko fireeeeeeeee❤❤❤ 🇰🇪
My favorite team may God increase you ❤️❤️❤️
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 present
NOT ME SMILING TILL THE END,YOU JUYS ARE SUCH A VIBE😍😍😍😍😍
Mungu awabaliki sana hongeleni
Damn this jam with 🎧 weeh 🙌🙌🙌the instrumentalists🎉🎉🎉🎉
God is Working with each one ❤
Drummer wetu twampenda❤❤🎉🎉😂
Bado Kuna nyimbo naingoja itoke🎉🎉😊
Mungu aendelee kutukuzwa ndani yenu Hadi kwa mataifa ya mbali❤
Alafu tulisema JP Bass ni mnyama, and he should not be mixed with us humans, but hamkuskia😂. Just see how he is killing this piece🔥. We are not safe, please. I repeat, JP needs to be protected at all costs.. huyu jamaa hana huruma kabisaa😂. Atatumaliza ki muziki😂. Mniokote chini ya meza
Wonderful 🎉🎉🎉
Simuachi huyu yesu💯
Eldoret;Kenya 🇰🇪 locked in. God bless AGB.🙏❤️
Amen na mungu awabariki sana
Mungu azidi kuwainua wapendwa kwaa viiwaango vya juu zaidi.
KAMA AGAPE GOSPEL BAND🇹🇿🇰🇪 WANAKUBARIKI SANA WAPIII LIKE YAOOO🔥🔥🔥 Yesu ashashuka katika maisha yetu sasa hatumuachi kamwe❤️ 🔥🔥🔥
ninaweka hapa comment ili kila mtu anapo like ninarudi kuskiza hii kazi safi 👏
Hawa watu wetu wanaenda mbali sana tunawapenda kwanza maestro ❤❤🥰🥰🥰💯 percentage
Aiseee Drummer always the doppest....🎉🎉🎉❤
Jua lisimame na mwezi usimame yoooo,tumsifu bwana.Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu zaidi.
Mimi n'a nyumba yangu nitamtumikiya Bwana 🎉❤
❤❤❤❤ much love from kenyaa❤❤❤
Maestroooooo🎉🎉🎉🎉🎉
I ❤Agape gospel from Lubumbashi 🇨🇩
Fanyeni muje Lubumbashi 🇨🇩 please 🤲
tatizo mko na vita huko au wew ukuje huku Tz
Mimi na nyumba yangu pamoja na nchi yangu KENYA. TUTAMTUMIKIA BWANA. Ata Kasongo atulemee ajeee😂😂😂😂 🇰🇪
Mungu atusaidie jamani peke yetu hatuwezi naombeni tuwaombee sana hawa vijana 🙏🇹🇿
Love from Nigerian 🇳🇬 ❤
The first Joshua story was the best part of the song for me
This is my song of 2025 so far
God bless you agape gospel band
Nime barikiwa na nyimbo zenu much love from Ug🇺🇬🇺🇬🇺🇬🙏🏿
Kenyans Lets gather Here please 🎉🎉
Putin Putin 🔥🔥🔥🥁 we jamaa unajua mnooo
Na nimebarikiwa zaidi safari hii this time Perccusion (Tumba)..zimesikika vizuri sana imeongeza flavour ya hili sebene🔥🔥
Amen....utukufu kwa Messiah 🙌🙏
Safi sana Wana Agape God's grace fill you
Wapi likes
Ila nyie watu wa sounds uwiiiiii
Mungu awabarikiii yaani mimi kama kawaida nawek kamuitoo kasimu kabisaa,,,
Itoshe kusema mimi na nyumba yangu nitamtumikia Mungu.
Nitamuacha Yesu niende wapi Mimi??Mimi si kitu bila yeye. What a strong message from God that the peace of the heart is on him.🙏🙏🙏🙏
Aiseeee mbarikiwe sana agape
Wapi vigeregere hallelujah 🙌🙌
Speak of the bassist ....we got the Gee there😊😊🎉
🔥
Mimi na Nyumba yangu nitamtumikia Yesu
Representing 🇿🇲 Zambia in comment section .Kalumbila
This is so awesome and beautiful
Really I choose Jesus, thanks our brother from DrC
God bless this team,I love them❤❤❤
Kwa kweli simuachi Yesu 🥳💃🕺
hii imeweza🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Agape we love you❤❤🔥🔥
Agape my favourite band I love you all,,,this one is fire ❤❤❤❤❤❤❤ 🇰🇪
Agape Kwan mnataka kutuua😮😮
Yaaan🤣🤣 ach tu😂🔥
😂😂😂😂
Wimbo mbona mkali sana mpaka shetani anaogopa😂😂😂😂😂❤
Mimi na nyumba yangu nitamtumikia Bwana,chagua leo ndugu utamtumikia nani... 💃💃💃❤🇰🇪
Pamoja sana agape gospel band mbarikiwe na yesu kristo
Mubarikiwe sana kwa kazi mnayo ifanya ❤❤
From Kenya we love you aki mpange siku mkuje,,wapi vigelegele😂😂
For the far he has brought me, I'll never leave him❤
🔥 🔥 hawa wanataka kutuuwa na mziki😂😂...Jp weeeeee
Simuachi huyu Yesu❤❤❤🎉
Wow the song is amazing and blessing..simuachi huyu yesu 😂😂😂
Indeed I and my household shall serve the Lord🎉🎉
Simuachi huyu yesuuuuuu!.🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥
Yesu alishashuka hatumuachi sasa.
My favorite drummer 😊
Akishuka simuachi ❤❤❤
The short man in the crowd 😂Agape ❤
Ayayayayaya,... nmelia sana😭😭😭
Always on fire😂😂😂😂love you people of God
If you're reading this in 2089 Just know these guys made me come closer to God. Agape all day❤
Jua lisimame na mwezi usimame tumsifu bwana 2025 God first
Kwa Yesu kuna raha jameni🤗🤗
Nani anakubali Hatuwachi Yesu👍👍
#AGB hii ni Baraka tupu 💋💋
#Simuachi✅✅
Tunang'ang'ana na YESU hatumwachiii
Amém🇲🇿 Mozambique msumbiji
Tutaelewana tu huu mwaka 🎉🎉🎉
Iyo transition to kompa ni deadli 😂❤
Wangapi tunabarikiwa,, piga like tukisonga🎉.....shalom
Beautiful medley agape band be bless
😂😂😂mie nikisha sikia filimbi ujue kimeumana💃💃💃🕺
Wapi Vigelegele 🔥🔥. Much love from the 254🇰🇪
'Wapi vigeleleeeee aiiiiiiii'❤
Waooo hakika simuachi ❤❤
Tanesco waje kuzima umeme huku🔥🙌
Yani Mungu iko pamoja nasi❤❤
Aaaaaaai🎉🎉🎉..simuachi Yesu wangu..@agapegospel band..mumeweza
raa yaizi nyimbo sikiliza una safiri peke yako kwenye gari weka sauti hadi mwisho pepo njiani zina kimbia mbali sana njia inakuwa nyeupe
Mmm Mimi pia simwachi Yesu ng'oo
God bless you Agape gospel band
Watu wa instruments 🎉
Here immediately after one hour of release
Baraka tele
Neema watu wa mungu
Jp nawe..unataka kutumaliza😂😂😂🔥
Woooow Amen🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 loves from Kenya
Ben soloo please love my comment❤
Moto kama pasi 💥 💥
My favourite people🎉❤
Simuachiii.....you guys just inspire me...God bless you
Naimba huu wimbi leo leo kanisani 🇺🇸🇺🇸
The best band in East Africa
Very nice Agape ❤
love from CHINA 🔥🔥🔥❤🔥
Soloist na basisit hawa watu ni hazina be blessed all band I love it wonderful song🎉
Agapegospelband wanajua sanaa top gospel east africa to play sebene