Wakenya, Watanzania, Waganda, Waburundi, Wanyarwanda. Nyanyukeni tumchezee Bwana Mungu kwa matendo yake makuu. Ametuepusha pa moto na pa baridi tumepashika. Tutaogopaje wakati Bwana Mungu Yuu upande wetu. Kenya 🇰🇪, Nairobi, Embakasi.
Yesu wangu Mungu mwenye mpenzi kwetu, tafadhali nirudishie vitu vyoye nilivyo poteza . Ni vingi. Nipe nami ushuhuda hivi karibuni. Sifa na utukufu ni kwako siku zote milele na milele. Amina.
Kweli anayelisha yatima ni yesu,mimi ni yatima kwa zaidi ya miaka 20+,my parents died when I was in class 5 na kweli Mungu alitulisha kama ndege wa angani sijawahi kosa kitu yeyote,huyu Mungu apewe sifa siku zote 🙏🙏🇰🇪
I was travelling yesterday, and the spirit of God led me to listen to this song, and I sang along loudly. As we got to the chorus after stanza II, our vehicle was involved in an accident. I shouted the name of Jesus and declared that we will not die. Although the guys from the tanker, and laandcruiser were hurt, everything from our car escaped unhurt. Anayetutunza anashughulika ni Yesu. This can only be God. Hit from the point I sat yet cz nguvu zetu zisadamu na mwili, no one had life threatening injuries. Ni Yesu.
Furaha tunaimba siku ya Leo, Tumepewa ushindi Nguvu zetu si za damu wala nyama Tumepewa na roho Kweli Bwana ni upande wetu Hatuna haja ya kuogopa kitu chote Hata shida ziinuke Tele Hatuna haja ya kuogopa kitu chote Tuna Yule aliyeshinda Giza Na uwezo wake Kwa upande wetu Tuna nguvu juu ya mambo yote
I PASS LAWSCHOOL AFTER ALOT OF DELAY AND LIMITATION hatuna haja ya kuogopa kitu chochote MUNGU MUNGU nina wewe ulieshinda giza na uweza wako u pande wangu ninanguvu I GLORIFY YOUR NAME
Once I heard the song, I cried because I was in depression, I was going to give up my life but the song has made me realize that Jesus still loves me and he will love me forever . Be blessed so much Minister of Lord Jesus Christ 🙏
How many were like me?? You saw the title Ni yesu you saw Paul kubuya and you expected to hear a sensational touching worship song only to be suprised to realize that its a sebene praise song...✋🤣🤣
Naturally and natural dancers, it's like the spirit of dancing was deposited in Congo. They are not struggling..what a praise and worship team. God bless you
Wakati tu nilisikia huu wimbo kila siku narudia mara tatu kwa siku coz the song its very blessing to me,,,,,,,,,, he has restored many thing to me that no man can restore for me
Voilà le gens qu'il faut dans cette nation, Toka Nzambe a tombola yo una simamisha bendera ya Yesu Congo mpaka Kenya , be blessed🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hello Patrick ...Napenda sikiliza wimbo wako wa sikia maombi yangu..Kwa kweli Mungu akubariki daima Mim ni mfuatiliaji mzurii wa nyimbo zako namwona Mungu akisikia maombi yangu
Kweli Bwana ni upande wetu, hatuna haja yakuogopa kitu chote. Hata shida ziinuke tele, hatuna haja yakuogopa kitu chote..... Tunaye Yule aliye shinda Giza na uwezo wake kwa Pande yetu tuna nguvu juu ya mambo yote❤️❤️🤗🤗from Kenya May, 2022
You know we love you here in Tanzania, actually many of my friends thinks you're a Tanzanian, .. God bless your ministry Kaka kubuya, you're exceptionally talented 👏🔥🔥🔥🙌
@@mteulemaxie8432 I love live music, I love God, I love the people who are ready to be used by God.. So yeah, you will keep seeing my comments brother. Bless up
Yesu oyeeeee yote ime isha musalabani ndio kwamana niko huru ! Natangaza ukuuu wa yesu ame ni ponyaaaaaa ndio Mungu uko upande wangu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
This is such a masterpiece! The kind of song that makes you want to dance and shout for the Lord but at the same time, you wanna lift your hands in worship because you know that if it wasn't for Lord, the floods would have swallowed us! Indeed He is God and He is always on our side 🙏.
Wakenya mpo? 💃💃💃💃
Tupoo
💃💃💃💃💃🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tupoooo
Tupoo ngangari
😃😃😃
Wakenya, Watanzania, Waganda, Waburundi, Wanyarwanda.
Nyanyukeni tumchezee Bwana Mungu kwa matendo yake makuu. Ametuepusha pa moto na pa baridi tumepashika.
Tutaogopaje wakati Bwana Mungu Yuu upande wetu.
Kenya 🇰🇪, Nairobi, Embakasi.
Hallelujah 🙌🙌🎉🎊🎉
Na Wacongo Sasa pia 🙌
Amina! Kiswahili ni kitamu jameni
Amen
Nachezaka kilasiku nawatoto wangu napenda sana awa wandugu ❤
Huyu Yesu alinirudishia mtoto niliyempoteza...that is my Testimony..Anarudisha! He Restores...Rainbow Baby Mama! 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ❤
Yesu wangu Mungu mwenye mpenzi kwetu, tafadhali nirudishie vitu vyoye nilivyo poteza . Ni vingi. Nipe nami ushuhuda hivi karibuni. Sifa na utukufu ni kwako siku zote milele na milele. Amina.
Oo ooh like me
Haleluuuyaaaa
He surely restore.......
Amen and Amen 🙌
Wah wah ..... hallelujah 🙌🙌🙌.Ahsante ndugu Kubuya👏👏👏baraka tele from KENYA 🇰🇪
hakika
Much love from Kenya
Hii
More love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kenya
@@Sashellray 5t4
Kweli anayelisha yatima ni yesu,mimi ni yatima kwa zaidi ya miaka 20+,my parents died when I was in class 5 na kweli Mungu alitulisha kama ndege wa angani sijawahi kosa kitu yeyote,huyu Mungu apewe sifa siku zote 🙏🙏🇰🇪
MUNGU azidi kukutunza
Congolese don't know how much we Kenyans love them. 🇰🇪❤❤❤
We knows that ❤we love you too God bless you guys from Kenya ❤
@@jimmyrutikanga7985😊
We love you too❤❤
I was travelling yesterday, and the spirit of God led me to listen to this song, and I sang along loudly. As we got to the chorus after stanza II, our vehicle was involved in an accident. I shouted the name of Jesus and declared that we will not die. Although the guys from the tanker, and laandcruiser were hurt, everything from our car escaped unhurt. Anayetutunza anashughulika ni Yesu. This can only be God. Hit from the point I sat yet cz nguvu zetu zisadamu na mwili, no one had life threatening injuries. Ni Yesu.
Amen Glory be unto God in Jesus Name we pray Amen
Amen ....nothing is.possible with God
This is a life testimony my sister and I were from home just singing tenzi 117 God rescued us from a fatal accident
Hallelujah Glory to God
Amen
Yesu alinisaidia kumaliza form four despite of many challenges
Furaha tunaimba siku ya Leo,
Tumepewa ushindi
Nguvu zetu si za damu wala nyama
Tumepewa na roho
Kweli Bwana ni upande wetu
Hatuna haja ya kuogopa kitu chote
Hata shida ziinuke Tele
Hatuna haja ya kuogopa kitu chote
Tuna Yule aliyeshinda Giza
Na uwezo wake Kwa upande wetu
Tuna nguvu juu ya mambo yote
I PASS LAWSCHOOL AFTER ALOT OF DELAY AND LIMITATION hatuna haja ya kuogopa kitu chochote MUNGU MUNGU nina wewe ulieshinda giza na uweza wako u pande wangu ninanguvu I GLORIFY YOUR NAME
Once I heard the song, I cried because I was in depression, I was going to give up my life but the song has made me realize that Jesus still loves me and he will love me forever . Be blessed so much Minister of Lord Jesus Christ 🙏
Music breathed from heaven heals. good to know you are doing fine
may you overcome depression in jesus name
There is power in worshiping and praising this God in Heaven.
The test of that feeling is uncomparable
Estou no Brasil, só entendo o "Aleluia" mas é incrivel como vai na alma da gente
Huggss❤
Brother Una Talent Kubwa.. Yesu Akutunzeee
How many were like me?? You saw the title Ni yesu you saw Paul kubuya and you expected to hear a sensational touching worship song only to be suprised to realize that its a sebene praise song...✋🤣🤣
This one is good too
L
Me
@@nandwarobai7149 👌
Eliza Tanzania hii nyimbo naipenda Sana hongera Patrick kweli bwana yuu upande wetu kabisa hanawachosha Sana adui zetu
Bwana YESU Ni mfalme wa milele nyimbo zako Ni nzuri mtumishi wa Mungu Ni Peter Niko Kenya Mombasa
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah ni Yesu ❤️
Muziki wa upako, muziki ulio komaa, muziki uliopangwa ukapangika!! 💃💃💃💃. Glorious!!🙌 🙌 🙌 Baraka tele. Much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Naturally and natural dancers, it's like the spirit of dancing was deposited in Congo. They are not struggling..what a praise and worship team. God bless you
Amen Amen vita vyetu SI vya damu na nyama Bali vya roho na tunashinda kila kuchao Kwa damu ya Yesu Christo Kweli NI YESU!
Nimebarikiwa san
My guy my buddy my brother Patrick...streaming from State of Qatar 🇶🇦 God is taking you another level brother. Barikiwa sana
Huyu Mungu alini pea bibi na mtoto wangu kabisa Amina kabisa Mungu ni mwema na Ani ongezee.
Background vocals, wapiga vyombo na lead singer mmeutendea haki sana wimbo huu.Glory to JESUS.
Huyu YESU ndiye atakenirudishia ndoa zangu nilizopoteza Kwa kunipatia Mume mwema na anayemjuwa MUNGU
This is how we are supposed to Praise our GOD 🙌... Beautiful song.Ubarikiwe sana Mtumishi.utukufu na sifa kwa Yesu🇰🇪
I wish understand this language 😕
Svp expliquez moi la chanson (les paroles) en français.
Whooooaaaaaaa🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 I would give anything to be there.. Seben ooyee!! Ni yesu kweli
The congo are naturally good dancers..see the way they are not struggling to dance..glory to God
you are a real priest chosen from far above to transform generations present and one's to come .... congratulations Mr kubuya I salute you from KENYA
Patrick kubuya, wewe ni chombo Mungu mwenyewe acha azidi kukutumia apendavyo🇹🇿🇹🇿❤️
Hakika ni yesu
Kenya tunawapenda Sana
Furaha tunaimba siku ya leo, tumepewa ushindi....kwel Bwana n msaada wetu hatuna haja ya kuogopa 🙏🙏🙏
"Tuna yule aliye shinda giza na uwezo wake..." very powerful song
Wakati tu nilisikia huu wimbo kila siku narudia mara tatu kwa siku coz the song its very blessing to me,,,,,,,,,, he has restored many thing to me that no man can restore for me
Voilà le gens qu'il faut dans cette nation, Toka Nzambe a tombola yo una simamisha bendera ya Yesu Congo mpaka Kenya , be blessed🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Amazing song 🎵 I keep on repeating like 5 times a day..powerful
Powerful amazing song
Ukiachana na sauti nzur nnayo iskia vipi kuhusu wapigaji wa vyombo hivi music unao uskia 🎼🎸🎹🥁🎚️
Hallelujah!! Cheza!! Asante Baba… you have made me glad !
Hello Patrick ...Napenda sikiliza wimbo wako wa sikia maombi yangu..Kwa kweli Mungu akubariki daima Mim ni mfuatiliaji mzurii wa nyimbo zako namwona Mungu akisikia maombi yangu
Ni yesu kila kitu na kila saa,beautiful song 🎵 much love from Kenya 🇰🇪
Kweli Bwana ni upande wetu, hatuna haja yakuogopa kitu chote. Hata shida ziinuke tele, hatuna haja yakuogopa kitu chote..... Tunaye Yule aliye shinda Giza na uwezo wake kwa Pande yetu tuna nguvu juu ya mambo yote❤️❤️🤗🤗from Kenya May, 2022
Sweet melodies voice baraka tele Kenyans love🇰🇪
This is the kind of music heaven love 😊
Ni yesu wimbo huu hunipa nguvu kila wakati ninapochoka na kila kitu tangu n usikie...God bless you for us...
I wish to meet you😭,the song is awesome honestly 😍😍😍
There is something about Congolese music❤❤❤❤
You know we love you here in Tanzania, actually many of my friends thinks you're a Tanzanian, ..
God bless your ministry Kaka kubuya, you're exceptionally talented 👏🔥🔥🔥🙌
Very true!
Am seeing your comments everywhere in all ministrations
@@mteulemaxie8432 I love live music, I love God, I love the people who are ready to be used by God.. So yeah, you will keep seeing my comments brother. Bless up
Ooh Yes!!! That's so positive from you. And all for the Glory of Yahweh.
kwani ni wataifa gani??
Be blessed my brother from my country 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 I feel the sound of home
A year ago, I Walked down the isle on my wedding day with this song.. powerful words it has, words of victory!
Baraka tele kutoka 🇰🇪 kenya
Yesu oyeeeee yote ime isha musalabani ndio kwamana niko huru ! Natangaza ukuuu wa yesu ame ni ponyaaaaaa ndio Mungu uko upande wangu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jina la Yesu lizidi kutukuzwa milele, my husband to be loved this song sana🙌🙌🙌🙌
Congolese.....you guys are incredible, we love you from Tanzania
This is such a masterpiece! The kind of song that makes you want to dance and shout for the Lord but at the same time, you wanna lift your hands in worship because you know that if it wasn't for Lord, the floods would have swallowed us! Indeed He is God and He is always on our side 🙏.
O8oolo
Absolutely
Ahsante Yeeesu Wangu. Aah , kitu Shwari, kitu safi ,kitu tamu... Nmependa.. kweli alishinda vita vyangu mie .
Tell truth u return to see this than twice😄😄 woooow wooow praise to Yes😘😘
Nyimbo nzuri saanaa inazingua roho yangu amennn from Bongo
Huu wimbo umebeba neema zaidi,Brother Patrick may God continue Blessing you more for me.
nice song though i dont know the language
Ni yesu ni yesu ils faut danse pour jésus 💥💥💥💥💥💥
Amen east Africa to the world❤️❤️❤️
Ni Yesu ...🙌🙌🙌love from Kigali😍
Tanzania unatubariki sana bro Patrick 🙌🙌🙌🇹🇿
Ubarikiwe sana mtumwa wa YESU Mr. Kubuya kwa huduma njema I'm from Tanzania
I'm humbling before u God🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞 if God be for me Sina haja ya kuogopa kitu chochote
Lovely song blessed me.Can I please get the lyrics
The Lord is on my side there fore their is nothing to fear about
I'm really touched by your songs
From Kenya
Wow, this is amazing. Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Dancing the song on a wedding day and on church is such a vibe indeed ni yesu anayetulisha its all about Jesus
Nguvu zetu sio za damu na nyama mbali tumepewa na Roho Mtakatifu Hallelujah
From Tanzania DRC WATER SUPPLY ...God bless you my brother kubuya
Nime furai kuwa ona apa Nairobi TOT nime barikiwa sana kuwa ona live
For sure nyinyi ni vyenye sina pesa ningewaita haki...
Barikiwa sana papa Patrick tuna kufwata des puis Kigali Siku Gani utakuya uku Kigali
Mimi ni nani ni sifu jina la yesu...napata raha kuwa na yesu wangu🥰🙏
Amen amen nimebarikiwa paka sielew Yani aminaah,🇹🇿🇹🇿
This beyond comprehension...Kenya is happy for you Mr Kubuya💥💯
Love From Tanzania 🇹🇿 Mungu ni wetu sote let praise our Lord angali tuna nguvu
nani Kama YESU namtukuza MUNGU wa madhabahu yako kaka kubuya
So wonderful, hakika sio kwa nguvu za mwanadamu ila ni mwenyezi Mungu 😇😇
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉🎉🎊🎉🎊🎉🎊🎉
Powerful praise there. God bless you brother Kubuya.
This song blesses my heart. Mbarikiwe watumishi wa Mungu.
Expliquez moi la chanson en français SVP.
Mungu awabaliki sana watumishi wa bwana 🙏🙏💞💞💞💞👍👋🌹💕👏
Mungu azidi kukujaza nguvu na kumutumikia Milele unakuwaga unanibariki Sana
Belle mélodie, mais je voudrais que quelqu'un m'explique les paroles en français.
I derive my strength from Jesus Christ son of the living God 🙏
Nothing surpases singing,worshipping n praising yr Creator
NI YESU
#Tumchezee💪🏾💪🏾💪🏾
Such an engaging song.
Baraka tele Paul & Team!!
When it comes to music .....this band got me. Praise God the African way
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tuko imara huku
Woooow ni Yesu All the way 🙏🙏
Nice song Patrick kubuya and your team God bless you,,am PAUL SILA T From Kenya
anaye changanya madui NI YESUU😍😭😭😭😭
Wonderfully, this encourage me a lot.
Glorify our Almighty God.
Much love🇹🇿🇹🇿
Kwani ni wa country gani
@@Saruketroop Congo
Bass player ni mnoma nampenda
Leo nakwambia umenibariki kiasi gani, yesu anajua asante ndugu🇰🇪🇰🇪🙌🙌🙌
Wow this song is so 👏 and blessings to the team
You look wow 👌
Aki huu wimbo ni 🔥🔥🔥🔥 kwanza mkiumalizia mlituacha hanging mbaya this song I can't get tired of it
Looking forward to day Ile u will be performing uku Kenya live I will be there mapema freshi barida 😊
Kaka Patrick Kibuya Mungu akulinde napenda huduma yako
💃💃💃❤️Who can’t stop dancing like me🙋♀️??
Mungu azidi kuwatumia na kuwainua. Wimbo mzuri sana
Glory 🙌🔥🔥.
Sir you are blessing to me.Was glad to have you minister at TOT. 🔥🔥🔥
Oh I love this song! Victory, Power, Authority! Oh what Jesus did for
us!Love Jesus! He has Annointed our Brother Patrick! Love from Kenya.