Lyrics📌 Nani kaona yale mambo Mungu Baba kanitendea Kanifanya niimbe Mbele ya adui nivimbe Niko sure na huyu mzee Kanitendea Amesema yuko nami wala siogopi Maana he is on my side Baraka zake ni kwa wingi ninamuamini Ni mtetezi wangu Permanent Baba kasema nisihofu yuko nami tena nisifadhaike Mkataba wa baraka Ni Permanent Tumefunga naye mkataba Baraka sisi Mungu anatupaga Ulinzi wake tu unatoshaga Haki zetu anapiganiaga Oooh hatutanyang'anywa tena Nimeshikika kwake Sitachomoka kwake Nipo Permanent Baba kasema nisihofu yuko nami tena nisifadhaike Mkataba wa baraka Ni Permanent
Alirejesha yale tulioibiwa, tukatabili na tukabariki,, sas yote yaliyolejeshwa na kutabiliwa na kubalikiwa leo yamekuwa PERMANENT 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 watu wa maana kabisa hawa kutoka kwa Mungu aliye juu.......❤❤❤
Wale wa gitaa la solo safari hii hawaja leta mambo yao sana, this time naona ilikuwa kwa pianist na bassist, na drumers . Wimbo mzuri edit nzuri, light engineer yuko vzr, stage sound yuko vzr pia.
Shetani na watu wake kimya, Mungu aendelee kuwaweka permanent, Kila kitu kipo sawa kizazi muhimu Sana Cha AICT KWAYA, Kuliko vipindi vyote nimevisikiliza, muwekwe kwenye kumbukumbu ya kanisa mmekuwa mfano wa kwaya zote za AIC Hilo halina kupingwa, Hakika mnaweka jiwe la ushuhuda kila mmoja anaona na kusikiliza, Mtu akiona Ni rahisi ajaribu kufanya. Hakika nimeamini Uwezo na bidii vinaanza ndio pesa inafata.🙌🙌
The calming sound of this song forces you to paying attention by default. and listen to the great words with no interruption. Edit: Well done Neema Gospel Choir for blessing us. Praised to the most high God.
Nyimbo zakuumiza vichwa kutunga ndo zinatakiwa saivi biashara yakua navinyimbo mserereko haitakiwi... wana wa Mungu tunatakiwa tuliteke soko lahuko mitandaon,sio kitu rahisi lakini kwakaz kama hizi naamini inawezekana....
You're of next generation , kubwa na la msingi kazi isiwe bure mbele za Mungu maana ndo lengo kubwa watu wafurahi na nyinyi muuone ufalme wa Mungu , kama yupo mmoja wa wanakwaya nina soda ya wapiga mziki kuipata tuwasiliane siku moja mkiwa mazoezini amin
Lyrics📌
Nani kaona yale mambo Mungu Baba kanitendea
Kanifanya niimbe Mbele ya adui nivimbe
Niko sure na huyu mzee Kanitendea
Amesema yuko nami wala siogopi Maana he is on my side
Baraka zake ni kwa wingi ninamuamini Ni mtetezi wangu Permanent
Baba kasema nisihofu
yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka Ni Permanent
Tumefunga naye mkataba Baraka sisi Mungu anatupaga
Ulinzi wake tu unatoshaga Haki zetu anapiganiaga
Oooh hatutanyang'anywa tena
Nimeshikika kwake Sitachomoka kwake Nipo Permanent
Baba kasema nisihofu
yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka Ni Permanent
Mm balikiwe saba
Alirejesha yale tulioibiwa, tukatabili na tukabariki,, sas yote yaliyolejeshwa na kutabiliwa na kubalikiwa leo yamekuwa PERMANENT 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 watu wa maana kabisa hawa kutoka kwa Mungu aliye juu.......❤❤❤
Amen
Ameen Sana 🙏
Amen
Amen
Umesomeka
Tuliobarikiwa , sasa baraka zetu zinaenda kuwa PERMANENT.Gonga 👍 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼
Hakika mungu katutendea mambo permanent hakuna waku tunyang'anya💥💥baraka ni permanent
Number 1 from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tanzania me your like now please 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 soon My song it's enjoy your day for song neema gospel choir come like
Greetings from Germany 🇩🇪 Siku moja mtakuja kwetu❤
Hakika utukufu kwa Mungu
Wale wa gitaa la solo safari hii hawaja leta mambo yao sana, this time naona ilikuwa kwa pianist na bassist, na drumers . Wimbo mzuri edit nzuri, light engineer yuko vzr, stage sound yuko vzr pia.
Amen utukufu kwa Mungu
Mwanangu kwa amapiano kama hii solo inabidi wasikilizie kidogo.
Goooooood song 🎵 ♥️ ❤️ 💕 👌 😍
Ilikuwa Temporary and now is PERMANENT. MWAMBA NI Yule yule i really like this creativity. God bless You
Freddy Kuna namna ameumbiwa kuwa fundi wa muziki aisee, mwanamasanja ulemhola saana bhabha 🎹🎧🎸🎸
Nakeshaa nasikiliza nyimbo zenu kila siku....zinanibarikii sanaa MUNGU AWATUNZE🙏🙏
Utukufu kwa Mungu
Bwana asifiwe neema gosple Mungu awabariki sana❤
Aseee hamjawahi kukosea hata siku moja nyie watu,,,,NEEMA GOSPEL CHOIR 🥰🥰🎉
Utukufu kwa Mungu 🙌
Wimbo Mzurii Sana, Mungu Azidi Kuwabariki Kwa Jumbe Zenu Nzurii Kila Kukichaa🙏🙏👏👏
Mnanibari sana sasa hii nyimbo everything is good jamani mbarikiwe sana sana
Amen utukufu kwa Mungu
Shetani na watu wake kimya,
Mungu aendelee kuwaweka permanent,
Kila kitu kipo sawa kizazi muhimu Sana Cha AICT KWAYA, Kuliko vipindi vyote nimevisikiliza, muwekwe kwenye kumbukumbu ya kanisa mmekuwa mfano wa kwaya zote za AIC Hilo halina kupingwa,
Hakika mnaweka jiwe la ushuhuda kila mmoja anaona na kusikiliza,
Mtu akiona Ni rahisi ajaribu kufanya.
Hakika nimeamini Uwezo na bidii vinaanza ndio pesa inafata.🙌🙌
Eiiiiiiish those tunes🔥🔥
Powerful praise song 🔥 🎵
Mnajua kuufurahisha moyo wangu kila nikisikiliza nyimbo zenu huwa nafurahi tu
Amen
Mungu azidi kuwainua kwa utumishi kwa ajili ya kumtumikia yeye
Amen 🙏 🙏
❤ you Neema gospel choir,you are my favorite
Nyimbo inanibaliki Sana nikisikiliza mbalikiwe Sana mlioitengeneza
The calming sound of this song forces you to paying attention by default. and listen to the great words with no interruption.
Edit: Well done Neema Gospel Choir for blessing us. Praised to the most high God.
Nlikua naisubir san kwa mara kwanz ilkua pale kijitonyama lutheran🎉🎉🎉🎉🎉 musicians Mungu awabariki🎉🎉🎉🎉
Amen
Love from burundi🇧🇮🇧🇮Ampiano is good vibe
Nimesikiliza zaidi ya mara Tano na nasikiliza na haiishi utam haya Asante I mko vizuri nawapenda sana
Hii kali sana.... Gen Zees well represented.... look at those dance moves wueeeeeh💃👯💃👯💃👯
Hakika nimefunga mkataba na huyu mzeee kwa kweli
Huu Wimbo Ni Wa Kimataifa Ikiwezekana Uwekwe Kumbukumbu Ya Kizazi Kijacho ❤
😃 😀 😄 😁
Mbarikiwe sanaaaaaa.ila.angalien nhuo zinabanana.sanaaa.ma.nyinyi ni.barua...
Ellice Ume fanya vizuri sana from Leandra
Mkataba wa baraka ni permanent
Mungu awabariki sana kweli tunabarikiwa sana nyimbo zenu
Amen
Aisee nyie wapigaji Mungu awabariki.
🙏🙏🙏🙏 mnajua kuubariki moyo wangu kwakweli
❤️ 😍
Woyooooo suuusuuuu kama ronaldo hii😉
Powerful 🙏🙏 MUNGU AZIDI KUTUKUZWA KWA MAMBO MAKUU ANAYOTUTENDEA
Getting blessed from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Ila Neeema,,,Ila Grace Hapana mnaimba nyie watu
God is always greatful💥💯
Tuliyorejesha saiv ni permanent BABA Kasema🔥🔥🔥🔥
Hii ni Kubwa na Nusu,nina mwanangu hapa alikuwa anaipenda Temprary,ila kwa huu wimbo,namuona kauelewa zaidi,tumeurudia kuusikiliza zaidi ya mara Nne
Ilikuwa TEMPORARY ila sasa ni PERMANENT
May God greatly bless his servants and bless the works of your hands NEEMA GOSPEL CHOIR 🙏
Waaaw,You are a blessing to this generation. Everything on point, likes from KENYA
🙏 Amen
This child minister Israel is anointed for greatness in God's service! You remind me of little David on the harp😅
May God bless you richly son❤
Amen
Nyimbo zakuumiza vichwa kutunga ndo zinatakiwa saivi biashara yakua navinyimbo mserereko haitakiwi... wana wa Mungu tunatakiwa tuliteke soko lahuko mitandaon,sio kitu rahisi lakini kwakaz kama hizi naamini inawezekana....
God is Great to us . Napenda sana this Choir 🙏🇹🇿🇹🇷🇸🇸🇱🇾
You're of next generation , kubwa na la msingi kazi isiwe bure mbele za Mungu maana ndo lengo kubwa watu wafurahi na nyinyi muuone ufalme wa Mungu , kama yupo mmoja wa wanakwaya nina soda ya wapiga mziki kuipata tuwasiliane siku moja mkiwa mazoezini amin
Wapiga Vyombo hata haturuki ruki vinaruka Vyenyewe vyombo🙌
Utukufu kwa Mungu
Afu ctep safar hi ndo kama za chino duh 😮😮😮😮 jitahd kubadilsha kdogo lakn yote Kwa yote MUNGU AWABARIKI SANA Kaz yenu n njema sanaaa❤❤❤❤🎉🎉
Mkataba WA Baraka Ni Permanent 😘
❤❤❤❤ nawapenda saana
Kwangoma hii daaaah .... yaaan alivyovinyang'anya shetan lazima virudi kwawana wa Mungu ngoma hiz zinatakiwa zilie saaaan
What a hit song. Nyie watu wa Mungu mmebarikiwa. Tumerejeshewa baada kutabiri, na tukabarikiwa. Sasa zile baraka zimekuwa ni za permanent 😊
Nashukuru leo nimepata zawadi nzuri sana ya brithday yangu.....Naimba wimbo huu tu leo
Amen
Always nyie ni baraka kwangu
Mungu tazama wanao❤
kuna mahali ninawaona zidi ya hapa mlipo
mtafika kwa neema ya Mungu.
HAMNA BAYA
Waooohhhhh hiii nyimbo kaliiii balaa hongereni sana Mungu awabarikin sanaa🔥🔥🔥
Ooh Glory to God🙌🙌🙌🙌🙌
🇷🇼 🇷🇼 🇷🇼 absolutely holy spirit is on me ❤❤❤
Amen
🎉utamu went wa vocal hauishi. Mbarikiwe
Mungu kanitendea❤❤❤neema gospel perma nent
Amina hakika baraka za Mungu wetu ni za kudumu mbarikiwe sana ❤
Great Job,
Amina
Mbarikiwe Sana
Hakika Mmekuwa Safi Sana
Du mwimbo nimeuelew xan leten mwengin broo ❤😢😢
Nawapenda saana your my best choir
Si mchezo Neema Gospel
Wimbo mzuri
I'm really blessed.... 🙏🙏🙏 Kuanzia kwa intro, sijui kama Kuna mwengine amehisi vile nimehisi.... These guys are heavenly singers, salute... 👏👏👏
Amen
God is Great to us . Napenda sana this Choir 🙏🇹🇿
Eiiyy jameni mbarikiwe kwa nyimbo huu🎉❤
Mkataba wangu na BABQ wa Mbinguni n PERMENENT ❤❤❤❤aiiiih❤❤
Hakika 🔥 🔥 🔥
Baraka ni permanent❤
This song is top notch...Mungu azidi kuwaenemesha na kuzidi kuwafikisha mbali.
❤❤❤ mna sehemu yenu mbinguni
Thanks for creating quality gospel
Vous êtes ma chorale préférée . Que Dieu vous bénisse. Je vous à partir de Beni en république démocratique du Congo. Soyez bénît
i was excited to see female leads FINALLYYY, but it was a let down. just be a CHOIR. TUJIRUDI. with Love💌
Amen
Nawapenda bure nyimbo zenu huwa zinanibariki mubarikiwe
Drummer umeua vaibu kama lote👍👍👍👍
🔥
Mzidi kubarikiwa sana nyie watu nawapenda, Yesu awatunze na kuwazidishia😘😘😘😘🙏
Amen
Blessings permanent 😊 from glory to glory
Thank you
💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽😍😍😍😍 kwa Yesu kuna raha
Mungu Yehova yu nami kwa Kila kitu permanent. Amen
Mkataba wa baraka ni PERMANENT!
Kenyans, where art thou?🇰🇪
Amazing and beautifully done. Great lyrics and what a testimony
Such a wonderful song, bless up guys 🙏
Uuuuuuweh amapiano WOW powerful
Oooh yes nimefunga naye mkataba sitangangana tena Amen Amen
Waooooo jaman mungu awabariki Kazi nzur sana❤❤❤❤❤
Hii Ngoma ni kaleeee
🔥
What a song!! My prosperity is permanent
Beats iko sawa kabisa. Inakaa amapiano❤❤❤
Family your amazing 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙌🏽🔥🔥🔥
Hii ni Kali ya MWAKA
Permanent ni firee,hao kastyle km kawimbo wa big God mmekawezea❤
Mungu awatie nguvu muendelee kusonga mbele❤❤❤❤❤❤❤
Amen 🙏 🙏 🙏 ❤️
Waaw congratulations 🎉🎉🎉 Neema Gospel choir.