huu wimbo nmeusikiliz zaidi ya mara kumi kwa tuliopigwa chapa ya Wokovu ni wimbo unajenga unaimarish kiroho hata kimwili ohooo Sisi NI Askari WA Mungu yaan Hadi nimeudanlod jaman hongeren Sana wapendwa mtunzi apewe SIFA zake ❤❤❤❤❤
Itoshe kusema hapa tz hii sound ya neema gosple imeinuliwa sana ni sehemu ya sisi kujivunia kama taifa na wengine tujivunze kupitia hapa mziki vile unasound umejaa na arrangment yake sio poa wazee🧠🧠🧠❤❤❤
Well! Well! Well! You guys never disappoints.💪🏾 You've touched my heart once again.👏🏾👏🏾👏🏾 Glory be to our Most High God!🙏🏾 With love from Morogoro, TZ.🇹🇿
Hakika Sisi ni wale tulipakwa mafuta mabichi na kupigwa Chapa za kristo tupo tayari kumhubiri Kristo pasipo kuogopa chochote maana aliye upande wetu ni Mkuu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌
What an exciting song ...the beats, instrumentalists mko chonjo sana ... yes we have the heavenly seal...keep up ministers... I cant stop playing your songs every day...
Wakenya mpo🇰🇪. Weka like kama hii choir huwa inakubariki💯👍
Kama sisi ndo wale turio pakwa mafuta mbn Mimi sipati hata like 😥😥😭🤦🙆🙆
Share tu hii video kwenye magroup hata kumbi kama utozipata hizo like wewe nae sa😅
Kwasababu hatutakiwi kuziomba
Labda wewe hujapakwa mafuta ya likes😂😂😂
Very petty
@@ngatatv1365ijjjhhqqu 0:00
Mungu akubariki wewe unayetazama wimbo huu ,Yesu asikupungukie katika maisha yako ukazione baraka za Mungu siku zote za maisha yako
Amen napokea
Namali pia napokea 👐👏
Hii choir mpka iniue Maana wanavyoimba wananfny nijue tayari nimesepa kwa bab but all in all , am blessed with u.
Wakenya tumefika ....wapi like ya"SISI NI WALE"❤🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🏿🙏🏿
Now we can acknowledge the instrumentalists 🔥🔥🔥
Wakenya 🇰🇪 mpo?. Sisi ni wale such a great song
🇰🇪 Kenyans say 👋 sisi ni wale.
Binafsi namtukuza Mungu sana kwaajili yenu Mungu azidi kuwainua🙌🏽🙌🏽
Neema choir ninyi ni majemedari halisi wa Bwana Yesu. Asante kwa wimbo huu
Nataka like kama umepakwa mafuta jameni❤❤
huu wimbo nmeusikiliz zaidi ya mara kumi kwa tuliopigwa chapa ya Wokovu ni wimbo unajenga unaimarish kiroho hata kimwili ohooo Sisi NI Askari WA Mungu yaan Hadi nimeudanlod jaman hongeren Sana wapendwa mtunzi apewe SIFA zake ❤❤❤❤❤
Alie upande wetu nimkuu sanaaa jamani 😔😔😔😭tusifadhaike kwakweli
Neema gospel mtuuwe tu mpaka tufike mbinguni wote😂😂
Hahaaa
@jacklinecharles6428 Hawa jamaaa wanatupa raha sana jamn
😂
Hit after hit🤩😁
Ameen 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I think choir hii inafanya mazoezi mazito that why wana msifu bwana very very amazing❤ go in levels neema gosple be blesed
Kama umeipenda hii nyimbo weka👍hapa
Nabarikiwa sio kuipenda tuu👐👏
Anaeipigana na cc anapigana na Mungu
Itoshe kusema hapa tz hii sound ya neema gosple imeinuliwa sana ni sehemu ya sisi kujivunia kama taifa na wengine tujivunze kupitia hapa mziki vile unasound umejaa na arrangment yake sio poa wazee🧠🧠🧠❤❤❤
Well! Well! Well! You guys never disappoints.💪🏾 You've touched my heart once again.👏🏾👏🏾👏🏾 Glory be to our Most High God!🙏🏾 With love from Morogoro, TZ.🇹🇿
Teacher wa neema gospel anatunga nyimbo ujumbe ndani yake
Kenyans always in the comment section 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
Kuna ka mkak nilikaon keupe kana dimpoz kakitabasamu na kusalimia kwa Jina la YESu na atakaye pigana na mimi na wew BWANA atapigana nae😊🥰
😅😅😅
Niko hapa🙌
My fellow Kenyans where are we,Yani tuko nyuma
Hata na mm Niko hapa Kati ya families zilizowekwa chapa na mungu
You are such a blessing to us Kenyans,God bless u neema
I am from Malawi and I don't understand your language.. i just read the subtitles. You are one of the Africa's greatest gospel choirs. ❤❤❤
Wow, thank you
❤❤❤
Mbarikiwe sana, sifa na utukufu ni zake MUNGU.
Weweweweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh wooooooow jamni neema gospel mnadevelop sana katik huduma hii mungu awabariki sanaaaaaah
Revival is here with the neema gospel choir..your songs are my startups every morning.
Haleluyaaaa sisi ni wale mbarikiwe sana watumishi wa Mungu mpo juu
Glory to God, what a nice song.
Sisi ndio wale....... ukitaka kujua wale ni kina nani? Sikiliza wimbo huu❤
Hoo,🥹🥹🥹 mmi niliepigwa chapa na mungu pamoja na maagano ki family 🙌🙌🙏🙏🥹🥹 mungu Asante
Love you neema choir MUNGU awainue kiwango kingine kwa ajili ya kazi yake awakumbuke wote awalinde awatie nguvu in Jesus name
Wow ujumbe nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉
A very nice song,Lots of love, blessings 💐🥀🌹
Kabisa inayepigana na sisi anapigana na Mungu.
Nipo hapa! Reh Mungu wangu
No one is talking about the little girls at the front 😍 wanaenda mbali🙏♥️
Amen ,Mungu na hazidi kuwainua..
Hii iwe National Anthem 🔥🔥
Mungu awabariki wana kwaya
amin sisi tumepakwa mafuta
Mpaka watuuue neema hit kwa hit nawapenda sana😊
Congratulations good job🎉🎉🎉🎉
Hakika sisi ni wale wanajeshi tuliotumwa na Mungu.
Mungu wa mbinguni azidi kuwainua na kuwatumia watu wa mungu
Mpiga ngoma yupo level zingine
Kiufupi vyombo vimebamba
Kati ya maelfuMungu kaita jina langu ❤❤❤ Kenyans tupo
Amina
Neema gosple choir
Nawapenda Sana Watumishi wa Mungu
Mwamba wa video Amigo Johnson ni mwamba Sana!
Thank you Lord. You are a God of all days and Seasons🎉🎉
Wale wa Kitale mikonoo juu
Hakika. Mungu ni MWEMA
Nabarikiwa sana na Neema gospel choir ♥️🔥
Wanajeshi walee tuliotumwa na Munguu aaahhh🙌🙌🎉🎉🔥🔥
Hakika Sisi ni wale tulipakwa mafuta mabichi na kupigwa Chapa za kristo tupo tayari kumhubiri Kristo pasipo kuogopa chochote maana aliye upande wetu ni Mkuu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌
DAH AM NOT TANZANIA ILA, HUMU NDANI VINANDA VIMEPIGWA HADI VIMELIA😀
😢kama. Huyo wa Bass guitar kuna kitu kapiga nimerudia mala 20. Aiseee Hatari😂😂😂
🎉🎉🎉🎉
Amina mnazidi kutubariki kwa nyimbo zenu nzuri
Mimi ni yule niliyepakwa mafuta mabichi....mnanibariki sana yaani ni 🔥 🔥 🔥
Aliye upande wetu ni mkuu zaidi ya vyote ❤❤❤🎉
Aah tunawaona joyous wa bongo walioshushwa❤❤❤
Sisi ni wale tuliopakwa mafuta
Na akatuita tukaita December 2023 hiyo siku
Ilikuwa yenye baraka na furahi
6:56 🔥🔥🔥🏃🏃💪💪 Fanyieni merody hii jambo jameni jameni wekeni music hapa 🔥😅😅
Eeh they nailed it men❤
@glory_zeeyah24 Uko wap rafiki ?
neema is such a blessing and i love how its always different people leading not sticking to one person always mbarikiwe love from kenya
Mimi ni yule niliyepigwa chapa na mungu 🙌🙌🙌
NANI MWINGINE KAONA KAMA MIMI: LEADER SURA YAKE NA MACHO NI KAMA RAYVANY WA NEXT-LEVEL KABISAA MWAISAAAAA
Sema huyu ni kibonge Sasa. Ila sauti na sura ni kweli kama vany boy
@samwelcharles4134 yeah mwaisaa kabisa huyu
Kati ya vizazi Mungu kaita jina langu nami nikaitika niko hapa
The Dance!!! My Lord, this is On my Repeat!! And Did ya'll see how he is singing with emotions, and to top it up, I repeat, dance moves!!
Nothing from you guys is off..I mean your music speak to our hearts. Thanks for allowing the Lord to use you.
nashindwa chakusema ila nilicho gundua neema gospel niwatu wa maombi sana inabidi tukubari
Hakika tumepakwa mafuta na munguu🎉
Kazi ni njema sana watumishi...(SISI NI WALE)🔥🔥
Mwalimu wa hiki chupa Barikiwa na Mungu akupake mafuta mabichi upate ufunuo mwingine niko hapa nausubiri
Nice song ❤❤🔥🔥
Ni mwakaa Sasa, nimeisubili hii nyimbo ,, you kill it ma choir 💥💥🔥🔥🙏
I've liked the choir after I've just come across it❤sisi ni wale
Kepha na masanja mnatubariki sana wakenya😂😂😂
NIKO HAAPA🙏🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
This is awesome 🎉🎉Praise be to the lord
hatari sana,nimepata ujumbe,na nimeburudika..wewe kaka kiboko sana haahaha
Kweli Sisi ni wale😂 ama
What a song🎉
Katika familia zotee zipo mamilioni na mabilioni ila Ameita jina langu NIPO HAPA🙏🏽
Sisi ni wale tulio pakwa Mafuta na Mungu 🙌🙌🙌🙌oooh HALLELUJAH
Mungu hawabarik xana neema gospel
Sisi Ni wale tuliopakwa mafuta... Wale tuliopigwa Chapa ya mbinguni...❤
Hii Praise Team ni fire aysee
Wooouuu🔥🔥🔥 OMG am on the fireeeeeee,,,,,giii came-oo.......
This song is on repeat mode… hakika mimi nimpakwa mafuta mabichi tena ninachapa ya Mbinguni.. 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Wow. Hallelujah 🎊🎊🎊🙌🙌🙌🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️. Such a beautiful song✅🔥🔥💯
from 254 ,we love you guys.
Pure talent and devotion
NGC ñ MOG Godwin much blessings 🎉🎉🎉😊
What an exciting song ...the beats, instrumentalists mko chonjo sana ... yes we have the heavenly seal...keep up ministers... I cant stop playing your songs every day...
Toka DRC tunafuata nyimbo za injili na tunafarijiwa.
Am the chosen one of God❤🎉I have really danced🥰👏👏👏🇰🇪
Guys guys…
I am drank with this song..