MNATAKA KUJUA NILIKUWA WAPI? KAULI YA KWANZA YA RC MAKONDA BAADA YAKUREJEA ARUSHA MNA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • MNATAKA KUJUA NILIKUWA WAPI? KAULI YA KWANZA YA RC MAKONDA BAADA YAKUREJEA ARUSHA MNA..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #rcmakondaleo #rcmakondaarejeaarusha #rcmakondaarejeaofisini
    #ARUSHAYASIMAMA #MKASAWAKUSIKITISHA #RCMAKONDA #rcmakondamonduli #rcmakondamonduli #MAKONDALIVE #makonda #makondaleo #makondakaratu #karatu

КОМЕНТАРІ • 120

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 26 днів тому +15

    Allhamdulillah. Yarabi kwakutuletea makondawetu. Akiwa hai❤❤❤ makonda

  • @leylaruhabaye9017
    @leylaruhabaye9017 25 днів тому +5

    Kwanza sifa.zke muumba kumpa uhai na ss pia kumuona makonda wetu mungu azidi kukulinda makonda wetu
    Bora uko hai tumefurahi mnoo

  • @TumainiThomas-sg3rd
    @TumainiThomas-sg3rd 25 днів тому +6

    Sifa ,heshima , utukufu na shukran ni zako BABA WA MBINGUNI NA DUNIANI kwa ajili ya mtumishi wako PAUL

  • @JacklineMakyao-tc6ie
    @JacklineMakyao-tc6ie 24 дні тому +2

    Mwenyezi Mungu nakushukuru kwa kumruhusu tena MTUMISHI kaka PAULI MAKONDA kzn iliendelee kutumika kwa taiga na wananch kwa ubora wake Mungu akuongoze vema kaka .Jeshi LA malaika was mbinguni wakulinde kila upande. AMINA.

  • @HappyPaul-nj9ri
    @HappyPaul-nj9ri 25 днів тому +6

    Mtumishi wa Mungu kaa katika maomby maana wewe ndani yako kuna jambo la kimungu

  • @JemaMbwilo
    @JemaMbwilo 26 днів тому +17

    Mbona kama hana furaha leo kiongozi wetu ila watanzania tulikukumbuka sana tuliwaza sana tulipokuwa hatukuoni ❤

    • @NeemaIssah
      @NeemaIssah 25 днів тому +2

      Umeona ee halafu kapungua kidogo mmmmh mhu yetumacho

    • @Naw89
      @Naw89 25 днів тому +1

      Yani mie pia nawaza kapatwa na nini sio kawaida
      Ila naamini ipo siku ataeleza yaliomkuta

    • @user-qh2bx5em6j
      @user-qh2bx5em6j 24 дні тому +1

      @@NeemaIssahKumbe umeona nikajua mm mwenyewe amepungua

    • @Allyhujjat
      @Allyhujjat 24 дні тому

      Acha shobo wewe ujui kitu kama wewe ungekuwa umepotelewa na ndugu yako usingekuwa na shobo ya style hizi

  • @user-gx4gt2pe4w
    @user-gx4gt2pe4w 25 днів тому +5

    Kweli mwamba wetu tunataka kujua ulikuwa wapi kwani tumeumia sana na maneno mengi kwenye mtandao tumelia sana Mh Makonda si unajua WANYONGE tunakupenda sana kama wewe mwenyewe unavyotupenda lakini pia kulijali TAIFA lako jembe letu karibu tena piga kazi wewe si wa Arusha tu hata sisi huku Dar

  • @MlenziBazilio
    @MlenziBazilio 24 дні тому +1

    Tunamshukuru mungu mpendwa wetu tumekuona ukiwa Hai mungu akupe maisha marefu ili uje utusaidie mungu akuepushe na malaya ameni

  • @BertaAtanasio
    @BertaAtanasio 19 днів тому

    Yaan mm nifurahi Sana mungu akulinde baba makonda

  • @eliaorgenes676
    @eliaorgenes676 26 днів тому +6

    kazi iendeleee .mapumziko kwisha sasa ni kuwajibika kama kawa.ila anajua kuuchuna

  • @MariaJtvine
    @MariaJtvine 26 днів тому +8

    Ana huzuni sana kwa sura na sauti.

    • @user-bh7ye4tp3z
      @user-bh7ye4tp3z 25 днів тому +1

      Mbona Kama Hana Raha haja changamka Kama kawaida yake lakini kikubwa Yuko mzima

  • @samwel9102
    @samwel9102 25 днів тому +5

    Mbona huna Rahaaa mwamba MUNGU BABA akupe Amani jembe letu

  • @OmarIbrahim-c9i
    @OmarIbrahim-c9i 24 дні тому +1

    Ok kazi yenu ni nzuri

  • @user-zb5kc4rv7w
    @user-zb5kc4rv7w 25 днів тому +1

    dah Ahsante MUNGU nimefulahi Sana kumuona mheshimiwa makonda akiwa hai. Jina la bwanà lihimidiwe

  • @gichongeevaline1230
    @gichongeevaline1230 24 дні тому +1

    Mungu azidi kukumbatia daima asikuache peke yako one love bro

  • @tabiafataki6896
    @tabiafataki6896 24 дні тому +1

    Amekua mpole xna
    Mungu mjaalie awe kama mwanzo

  • @idrisalubwaza3028
    @idrisalubwaza3028 24 дні тому +1

    CHAPAKA WANJOOSHE WAZEMBE NA WARARUSHWA IRA USIJISAHAU MCHAKAZI AFRIKA HATAKIWI

  • @songeza
    @songeza 24 дні тому +1

    Makonda kuwa making mkuu tunaelewa what is going on tunakupenda mno zaidi ya kukupenda be care full for every thing you do.

  • @user-bh7ye4tp3z
    @user-bh7ye4tp3z 25 днів тому +1

    Cjui lakini Mungu amlinde na mabazazi

  • @cassianhaule3681
    @cassianhaule3681 25 днів тому +2

    Makonda enipa mawazo sana nilishindwahata kufanya maombi niliduwaaa😂😂😂😂

  • @user-dx1hz3ow7k
    @user-dx1hz3ow7k 25 днів тому +1

    Mungu azidi kuiupigania kwa uwezo wake mana yeye ndo kira kitu katika maisha yetu

  • @FrolaMkolo
    @FrolaMkolo 25 днів тому +1

    Yaani siamini bado hivi ndo yeye😢😢 Asante Mungu mlinde sana huyu kaka etu!!

  • @chawallamathew505
    @chawallamathew505 24 дні тому

    Nakufananisha na sterring wa picha huwa hafi, Mungu akupe maisha marefu Makonda Binafsi nimekuelewa miaka Mingi sana kwanza una hofu ya MUNGU na unapenda kumtanguliza Mungu, Pili uko very creative yaani mbunifu na Ni muadilifu, muaminifu.

  • @deniselemani7275
    @deniselemani7275 26 днів тому +5

    Mbona mueshimiwa kama amekonda hayupo vzr kabisa

    • @JofreyMsigwa
      @JofreyMsigwa 25 днів тому +1

      Nikweli kakonda kama jina lake makonda pia Hana raha ya kazi du TZ yetu bana

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 25 днів тому

      ​@@JofreyMsigwa😂😂😂

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 26 днів тому +4

    Huyu mheshimiwa alikua mgonjwa sasa ndio anarecover taratibu

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 26 днів тому +5

    Wambeya wote wameumbuka, Makonda on the stage endeleeni kubwabwaja.

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 26 днів тому +4

    Ila hajachangamka kama zamani kuna kitu nyuma ya pazia

  • @user-kp6lz7zs1w
    @user-kp6lz7zs1w 26 днів тому +2

    Nimefulai cn kukuona makonda 😂😂😂😂😂❤

  • @ConsolathaGilli
    @ConsolathaGilli 25 днів тому +3

    Ni kweli jamani ni Rc Makonda??? Au ni ndoto? Mungu we! Ni mkuu na mweza sana! Hata kama mkuu wetu hana furaha na amani, cha maana ni MZIMA TUMEMWONA KWELI NI YEYE! MUNGU UHIMIDIWE DAIMA, UENDELEE KUMTUZA NA KUMPA KILA ULINZI MKALI ZAIDI NA ZAIDI. POLE KWA YALIYOKUPATA BABA!

  • @frankphiri9132
    @frankphiri9132 25 днів тому +1

    .waTz tunasahai haraka sana. na Huwa hatuna utafiti kabisaaaa

  • @KibwanaSimba
    @KibwanaSimba 26 днів тому +2

    Yani ukweli muishmiwa makonda watu wana kupenda wanao kuchukia hawakosekani ila mungu atakuhifadhi na shari zao

  • @LucySaguti
    @LucySaguti 26 днів тому +1

    Baba Paulo Mungu akulinde na akusimamie katika shughuli zako.Kuwa makini sana watu wanakuonea wivu mbaya.Na hata wanataka kukuua.lakini watashindwa kwa jina la yesu.Damu ya Yesu ikufunike siku zote za maisha yako.

    • @NeemaIssah
      @NeemaIssah 25 днів тому

      Yaani mpaka najiuluza nampe ndwa wetujpm angepotea nsyeye siku nyingi watanzania tungesimama nakumuombea rais wetu lakini ilipokujakujulikana tujpm hayupo watz tulipoanza tukulalamika yukowapi heeeeee ikajanataarifa yakutisha masikini jpm wetu ungekuwa unaona anayoyafa kijanawako ungefurahi

  • @lucianakweyunga8187
    @lucianakweyunga8187 26 днів тому +2

    maombi yalikuwa mengi , ...mungu amesikia

  • @catherinedonatus9472
    @catherinedonatus9472 25 днів тому +3

    Ila sio mwisho WA maombi juu yake na familia yake.

  • @TimothGasper
    @TimothGasper 26 днів тому +2

    Mkuu wa wakuu wote wamkio. Huna furaha kama nilivokuzoea kweli kulikua na jambo. Ila Mungu Mwenyezi umerudi salama

  • @user-pw9ir4fg7x
    @user-pw9ir4fg7x 23 дні тому

    Jamaniiii kw mkuu wetu huyu alivo inatoxha kutambua kua hakua sehem salama ila tumwmbie mungu ashugulike namaadui awapige kurujuani

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 26 днів тому +3

    Alikuwa anaumwa mwangalirni vizuri usoni amepungua alafu hana raha

    • @user-bh7ye4tp3z
      @user-bh7ye4tp3z 25 днів тому +1

      Sana cyo kawaida yake lakini mungu Yuko pamoja nae

  • @user-dj8ot7tz4o
    @user-dj8ot7tz4o 26 днів тому +3

    Kama kakonda na hana furaha na makeke kama tulivyomzoea!

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 26 днів тому +4

    Duh? Kapona? Pengine alikuwa anatest mitambo, sasa Ana uhakika anapendwa? Lakini huo si uhakika, Ana MAADUI WENGI KULIKO ANAVYODHANI!!

  • @ramakira7895
    @ramakira7895 25 днів тому +1

    Jaman mbona afya yake imezolota sana hata kuongea kwake nishidaaa😂😂😂🤣🤣🙏📢🇺🇸

  • @consolatablasi6212
    @consolatablasi6212 24 дні тому

    God is good...

  • @cassianhaule3681
    @cassianhaule3681 25 днів тому +1

    Jibu basi ULIKUWA wapi yaani

  • @aloycesilwela3485
    @aloycesilwela3485 25 днів тому +1

    Jamani kwa kweli najisikia raha sana

  • @BarikiLukumay-w3x
    @BarikiLukumay-w3x 26 днів тому +5

    Warumi.13./13.mungu ndiyo alikushaguwa s MTU na yeye atakulinda

    • @PiusKimaro
      @PiusKimaro 26 днів тому

      Ujielew.mungu hawez kumchagua chawa

  • @MosesKaswahili
    @MosesKaswahili 26 днів тому +2

    Makonda alipanda ndege juzi alfajili mwanza arpot mawakasalimiana na amosi elikana na akamubebea nabegi lake alikuwa kwabbi yetu anakula michembe na maliboto pamoja na mboga inayoitwa ntuju kwahyo yupo makini zaidi nashukuru watanzania mmemuombea

    • @user-kt9qg1mo6l
      @user-kt9qg1mo6l 26 днів тому

      😂😂😂😂😂 sawa mkuu

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 26 днів тому

      Sawa baba kwa Tarifa ya uhakika ntakutafuta unipe maelezo zaidi lakini cha muhimu amerudi salama

  • @elinurukitomali6008
    @elinurukitomali6008 24 дні тому

    Makonda oyeee!! Sasa watu matumbo jotoo😂😂😂

  • @SamwelMakala-ls4qo
    @SamwelMakala-ls4qo 26 днів тому +2

    Mwamba nimefurahi kukuons

  • @user-uh6of4dk6h
    @user-uh6of4dk6h 26 днів тому +1

    Yoote kwa yote tunashkulu tu hatujui ulikuwa wapy sisi shauku yetu kukuona ukifanya kaz tu.mungu akutunze.

  • @LukaSingeen-l8h
    @LukaSingeen-l8h 25 днів тому +1

    Ama kweli mliofurahi sasa leini chumba cha pus mungu kamrudisha😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @OmarIbrahim-c9i
    @OmarIbrahim-c9i 24 дні тому

    Hanifa Oman nakuunga mkono

  • @user-kr8uw1co7v
    @user-kr8uw1co7v 26 днів тому +2

    Makonda wewe nikiongozi mzuri sana...viongozi wengine waige kwako

    • @PiusKimaro
      @PiusKimaro 26 днів тому

      Kiongoz mzuri chawa wa ccm,sio waserikali yenye usawa.

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 26 днів тому +2

    Mteule wetu makonda utatuua, uliuchuna hadi tulikata tamaa

  • @user-oc3wu7js5k
    @user-oc3wu7js5k 25 днів тому

    Nafurahi kukuona

  • @EmmyIbrahim-bv9id
    @EmmyIbrahim-bv9id 26 днів тому +1

    Hakika Mungu nimwema

  • @HeryLamba
    @HeryLamba 25 днів тому

    😊 0:25

  • @MatundaModesta
    @MatundaModesta 25 днів тому

    Mbona hii clip niya mwezi wa saba..mhh.mwamba tunamshukuru Allah

  • @drnow1528
    @drnow1528 26 днів тому +3

    wachungaji walianza kutoa utabiri. Ndugu zangu kuweni makini

  • @songeza
    @songeza 24 дні тому

    Makonda ulipgwa spanner ongea amani huna Mungu mradi kakuponya wabaya ni wale wale ila inatis uchungu sana sana

  • @GodLover-e9e
    @GodLover-e9e 26 днів тому

    🎉

  • @InnocentMmbando
    @InnocentMmbando 21 день тому

    Mwambaa

  • @user-fb8nb5rd2r
    @user-fb8nb5rd2r 25 днів тому

    Raisi mtarajiwa

  • @OmarIbrahim-c9i
    @OmarIbrahim-c9i 24 дні тому

    Huo ni uchovu tu wa safari ndefu,siyo kwamba hana rahaa jamani !!!!!

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 25 днів тому

    HAPA NAFSI YANGU IMEFUNGUKA BAADA YA KUMUONA KAKA YANGU MAKONDA, I'M CERTIFIED CHAPA KAZI SISI TUPO NYUMA YAKO,

  • @vincentlawrence6382
    @vincentlawrence6382 25 днів тому

    Mkuu piga kazi

  • @JeremiaLiganga-eu9kc
    @JeremiaLiganga-eu9kc 26 днів тому +1

    Mungu ni mwema sana mwamba huyu apa

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 25 днів тому

    Mbona hatusikii hii sentesi mliyoandika wenyewe akitamka mwenyewe kuwa mnataka kujua nilikokuwa

  • @user-eg5nc4po2n
    @user-eg5nc4po2n 23 дні тому

    Watakula vitu vya kufisha havitawadhuru

  • @user-km6bg1jw2d
    @user-km6bg1jw2d 25 днів тому

    kaka hyooo àsnte kwa kuoneka jmn

  • @varesrobatsaimon
    @varesrobatsaimon 25 днів тому

    Gaid kalud

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 25 днів тому

    Hii y cku zilzopita

  • @MohadiTv
    @MohadiTv 26 днів тому +1

    Msije mkatuundia robort kutudangnya😂

  • @MariaJtvine
    @MariaJtvine 26 днів тому

    Kusahau tena jamani

  • @hamidjailos8171
    @hamidjailos8171 25 днів тому

    Po

  • @user-fm5xh1vq2z
    @user-fm5xh1vq2z 26 днів тому

    MUNGU n mwe kwel

  • @AlphonceMasende
    @AlphonceMasende 25 днів тому

    Katika wakati huu wa dunia ilipofikia jiamini mwenyewe usimwami mtu

  • @Allyhujjat
    @Allyhujjat 24 дні тому

    Toa mikono mfukuni ata magufuli alikuwa hana kiburi kama wewe bwamdogo yani akuna pahala umeenda ukaacha kukosoa lool unaweza kuwa na miguu miwili lkn uwezi kupanda miti miwili kwa wakati mmoja

  • @user-jv1mk6nn2g
    @user-jv1mk6nn2g 26 днів тому

    Mbona anatembe anachechemea alipingwa makoda miguuni

  • @themessengertz1237
    @themessengertz1237 25 днів тому

    Nasikia Rais wa Rwanda alishakufaga aliyepo ni Fake, Vatican mna Dhambi kubwa sana siku ya kiama itaanika mambo wazi Kuna watu ni fake HALISI wameshauawa

  • @joyceKingu
    @joyceKingu 25 днів тому

    Sio mawe ni madini

  • @twahambega-oi3xx
    @twahambega-oi3xx 26 днів тому

    Duh' ndugu zangu mbona mmezidi unafki kumzushia mtu mabaya makibwa huyu ni nani ona sasa mmeumbuka ,punguzeni ng'ebe watanzania tuwe na nidhamu;

  • @silasmarandu1485
    @silasmarandu1485 26 днів тому

    Tiki TV mbona ivyo?
    Mh. Amerudi nyie mnatukwamisha!

  • @nadyerpazi8430
    @nadyerpazi8430 25 днів тому

    habari mh,naomba kuonana na wewe,mm nipo daar

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 26 днів тому

    Leo arusha ni nikweli sio porojo tena

    • @emmanuelmcharo9978
      @emmanuelmcharo9978 26 днів тому

      Wewe upo arusha? Tunaomba uthibitishe isijekuwa video ya kitambo

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 25 днів тому

      @@emmanuelmcharo9978 niko arusha nikweli nimwmwona kwa macho

  • @PiusKimaro
    @PiusKimaro 26 днів тому

    Sisi tunajua ulikuwa kwenye mpango wakuongeza kiki.ila hatujakuelewa

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 26 днів тому

    Ya lini hii?

    • @MosesKaswahili
      @MosesKaswahili 26 днів тому

      @@rasnchimbimakonda alikuwa mzima lakini kimila kisukuma mpaka afike kunako Siri yetu nizawachache hizi Kama wlitarajia makonda atakufa bado mungu hajasema namuombea huyu dogo langu bashite nimyama sana mnaomtazama hapo niyye Wala cyo kopy nakwambia juzi asubuh alipanda ndege saa kumi namoja nimemuona beria ya airport mwanza

    • @tikitvog
      @tikitvog  26 днів тому

      Ni leo asubuhi katika uwanja wa ndege wa Kisongo
      @rasnchimbi

  • @PiusKimaro
    @PiusKimaro 26 днів тому

    We unafkir makonda uliuliziwa kwa upendo au tamaa zawasitaka kukuskia kama cc tulitaman usirudi

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 24 дні тому

    𝐈𝐥𝐚 𝐭𝐮 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐬𝐡𝐮𝐤𝐮𝐫 𝐤𝐮𝐤𝐮𝐨𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐧 𝐦𝐰𝐞𝐦𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐣𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐯𝐲𝐨𝐤𝐮𝐳𝐨𝐞𝐚 𝐤𝐮𝐤𝐮𝐨𝐧𝐚 🤲🙏