BABU WA SHADHULY AMLIPUA MTOTO WA BACHU AMUITA BWEGE WA ELIMU HAWEZI KUTAFSIRI MANENO YA WAKUBWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 94

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 Рік тому +3

    DAH!! MASHEKH WA BAKWATA JIBUNI HOJA ACHENI MATUSI....HAMNA HOJA

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 Рік тому +1

    Mimi nnapata Shaka kwenye kupigwa dufu na wachezaji dufu wamekuwa kama wanamuziki..

  • @hassanabdalla9688
    @hassanabdalla9688 Рік тому

    Mashaallah.kheir hizoooo.

  • @USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY
    @USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY Рік тому

    HUYU NI SHEIKH ABDALLAH SEIFU SHEIKH WA WILAYA YA MUHEZA TANGA
    AMBAE NI MWANAFUNZI WA SHEIKH NURUDIN BIN HUSSEIN SHADHULIY
    ALLAAH AMUHIFADHI NA AMRAHAM

  • @saidali5964
    @saidali5964 Рік тому +1

    Badilikeni njooni mumjibu masuwali hamuna uwezo mabwege muko wengi hapo hatandevu hamuna poleni Allah swaongoze

    • @daudijuma5914
      @daudijuma5914 Рік тому

      wafugeee ndevuuu hao masufiiiii thubutuuuu

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy Рік тому +3

    Jopo lamashekhe wamekaa wanamdiscus Mtoto mdogo wabachu kutoka Mjini Unguja,sijui nani yupo sahihi

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 Рік тому +1

      Muhammad Nassoro Bachu yupo sahihi kwakuwa ametoa maneno yaliyopo kwenye vitabu vyao Sasa wao ilitakiwa kazi ni ndogo tu waseme maneno haya hayasemi hivi yanasema vile lakini kuingiza akili zao ndio eti wanajibu Hoja za Bachu ndio kwanza wanawafumbua macho watu.

    • @kisomekiguwa3706
      @kisomekiguwa3706 Рік тому

      Kwakweli huu ni msiba mkubwa mizee yote hii inashindwa kuelewa wanachotakiwa kujibu ili uma unao wafuata walau upate usingizi kwamaneno ya kijana mdogo bachu, cha kushangaza wameng'ang'ania vilemba utazaniwana majipu kichwani kilemba bila elimu ya ukweli ni mzigo mzito mbele ya Allah.

  • @rajabnyoka-vv5vh
    @rajabnyoka-vv5vh Рік тому +1

    Watu
    Wa maulidi tuxhawazoe zao huwa ni mbwmbe tu nyingi lakini hakuna hoja za mxingi,vyao ni vichejesho tu vingi na kujifakhiri kwingi,tushawazoea hata hawatubabaixhi cc tulikuwa huko,sasa hwazi tuambia mtu kuwa maulidi nisawa tukamuekewa,kabisa kabisa na huu ndo ukweli wa mambo,sema ukweli ijapo kuwa niuchungu,watu wamaulidi hili Jambo washalizoea zanani sana sasa kuliacha basi nitaufiki ya Allah, Allah awajalie waione haki na waikubali haki,hatuendi kufurahixhana tu Bali kila mmoja arasimamixha peke yake mbele ya allah.atakaye okoa anaokoa nafsi yake

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому +1

    Tunaotaka majibu hoja 19 alizotoa sheikh Muhammad bachu.Acheni kujibabaisha

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 Рік тому +1

    Mmrshindwa kihoja wataka kumnyonga pumbavu peupe ..

  • @abdul-rahmanfakijuma1879
    @abdul-rahmanfakijuma1879 Рік тому

    Maa Shaa Allwah

  • @imranbanda3963
    @imranbanda3963 Рік тому

    بمحمد دامت لنا الأفراح وقلوبنا بذكره ترتاح

  • @amuraneibrahim2776
    @amuraneibrahim2776 Рік тому +1

    Hawa kueli ni weslamu kueri?

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Рік тому +1

    Masufi wamechanganyikiwa baada maji kwaingilia kwenye shimo lao, Sheikh M Bachu ku kashifu uwongo na ushirikina ya kitabu wanacho amini kama kitabu chenye tukufu sawa na kurani.
    Badili hao masufi kuzingia na kupima hicho kitabu chenye uwongo na shirikina , badilie wametunga mashairi kumtukana Sh M Bachu, mwenye hana suna ni amrad من شبه بقوم فهو منهم hana ndevu nimfano wamajusi

  • @SalimoIbraimoIbraimo
    @SalimoIbraimoIbraimo Рік тому

    Na awawezi kumjibu kwa sababu wao ni waabudia ma babu

  • @hassanabdalla9688
    @hassanabdalla9688 Рік тому

    Swalluu alaa Muhammad.

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 Рік тому +1

    Mwamwita Mtoto lakini kawatimua mpka sasa mwababaika hamuaminiani jazba zawapanda

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 Рік тому +7

    😂😂😂 Mtoto wa shk Bachu amewanyima usingizi, na bado hamjajibu nukta hata moja.

    • @Mauya23
      @Mauya23 Рік тому +1

      Dawa imeingia barabara kila mahala...neno Bwege kama limesemwa kweli basi wajitafakari kama ni sahihi

    • @aidarusabubakar5776
      @aidarusabubakar5776 Рік тому

      Acha akasome huyo mtoto wenu. Huyo ana Elmu kushinda Al Imam Barzanji??? Imam wa Madinatul Munawara.. 😂 😂 😂 Usingizi mwingi ni Uzembe pia Kaka wacha Maustadh wamnyoreshe

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 Рік тому +1

      Wanajiharishia tu

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 Рік тому

      @@ibnhassan9980 😅😅😅 Masufi yamewafika ya shingo, wanahara na kutoa mapovu tu.

    • @KhamisiOmar-v3h
      @KhamisiOmar-v3h Рік тому

      Ni wapi wewe muhabi umesikia aya za qur ani kutupwa muislamu mwenye imani kamili akalala sasa nafikiri sasa mume wafahamu ni nani wenye qur an.nyie mawahabi endeleeni kulala sbb kutupwa kwa maneno ya qur ani hakuwaumi
      Japo kijana wenu aliomba msamaha lakini hatulali lazima afanywe kuwa fundishio mwingine asije subutu kurudia huo ushenzi.

  • @abuurayhana-zu1ew
    @abuurayhana-zu1ew Рік тому

    Masufi mnatumia lugha zenye ukakassi kuwasemea waislam wenzenu Nany mkijibiwa kwa mfano wa lugha hizo mnadai vijana hawana adabu jiheshimuni muheshimiwe

  • @canoksancomprehensivelearn7182

    Wameishiankutukana tu hawawezi kujibu hoja hata moja ni matusi ndio fani yenu. Kutukana ni rahisi kusoma ndio kazi na hayo ndio majibu ya masufi hawa matusi ndio elimu yao

  • @abdililahahmed3095
    @abdililahahmed3095 Рік тому

    Narudia tena maneno yangu, elimu bora hasa hizi za kihistoria ni ile ya zamani, tatizo sikuhizi vijana wanasoma Nyambari Nyangwine wanajiona magwiji, hawa wazee walisomeshwa na wazee wenye fikra kubwa haswa na umri wao ulikua na baraka, huwezi kuwapata hata kidogo.

  • @abubakarhajjabubakarhajj1252

    Mzee amepoteza mwelekeo hizo ni dhambi unazo zifanya

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому +1

    Hivi vigenge uzushiii maulidi Bado vipo tu.Uislamu tunaupeleka wapi na bidaa hizi

  • @rajabnyoka-vv5vh
    @rajabnyoka-vv5vh Рік тому

    Sheikh twakuhutaji sana hiyo siku ili uje ufunzwe haki mana tunaona maneno ni mengi tu lakini ahluxunnah tupo we hiyo siku pia twakuhitaji sana kama inavyo dai sheikh

    • @khalidilymo2301
      @khalidilymo2301 Рік тому

      Rajab nyie ni mawahabi .masalafi sio ahlu sunnah nyie

  • @ibrahimmsabah440
    @ibrahimmsabah440 10 місяців тому

    Hamna kitu apo,minhaj ya kielimu haipo apo labla kuwasifu walomfunga kilemba.

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du Рік тому

    Uislamu hauna vilemba wala majoho. Ndio maana tupo nyuma. Hatuna dunia wala akhera kwa kukumbatia uzushi.

  • @hassanabdalla9688
    @hassanabdalla9688 Рік тому +2

    Maulidi yatazidi Kuwa MAKUBWA.

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Рік тому

    Nyie hamumuwezi

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 Рік тому

    Chukueni sehemu mtakapo paona sawa ila sehemu za shirki zimo humo

  • @mullestv2680
    @mullestv2680 Рік тому

    Nilichogundua Hawa wenzanke wanamcheka kwa kejeli uskute km hajavta bangi ugoro au tembo hpo

  • @MusaYusuphu-y2l
    @MusaYusuphu-y2l Рік тому +1

    Munacheka nini sasa nyinyi watu bidaa? hakuna hata mwana twarqa mmoja aliejibu hoja zote 19, bali mna bwabwaja tu, hakuna chochote

  • @abubakarmwasumilwe7070
    @abubakarmwasumilwe7070 Рік тому

    Mh😮

  • @mwambamuyango9002
    @mwambamuyango9002 Рік тому +2

    weemzee acha uongo kama unaweza jibu hoja mwazikimbia

    • @jumamajid7557
      @jumamajid7557 Рік тому

      Mzee atajibu hoja Baada ya wewe kua na adabu

    • @kisomekiguwa3706
      @kisomekiguwa3706 Рік тому

      Mzee wako kachangwa na Bachu na akachanganyikiwa kabisaaaaa! 😂😂😂😂😂

  • @masoudabdallah9878
    @masoudabdallah9878 Рік тому

    vilemba vya maruhan??? hii inamaanisha nn??

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 Рік тому

    Huyu mzee n mganga wilaya yake hawamtaki kwasabab Ana tuhuma za ushirikina, nashangaa watu wa Bida'a mnahangaika sana wa kumpa heshima kwenu ni LAZMA awe mganga kama huyu mzee

  • @JamaliMndeme
    @JamaliMndeme Рік тому

    Elimu juu yaelimu mungu tuwekee wazee wetu Hawa

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Рік тому

    Ahal Al Bidaa

  • @Captainome
    @Captainome Рік тому

    Mzee kidevu cheupe kanzu ya kuburuza akiteremsha mkono vidole havionekani jamaa huku ndio kumpenda bwana mtume.kaa chini atafta fea yakurudi kwao mtuzeni akae.uchinzi mwingi tu.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Рік тому +4

    Hakuna Taqwa hapo.
    N kuchekesha na kucheka tu basi hapo hakuna aliyoondoka na mazngatio.
    Msemaji hana TAQW wakitoka hapo ni kufanya UGANGA TU. Basi.
    Hawa, ndio walewale
    " Mama fulani mtoto hyu karogwa twende kupiga LAMRI .
    Hapo , kaimba tu nyimbo zilitungwa na MASHIA
    Haya cio Mawaidha ndugu zangu.
    Hawa ndio walee walioharibu Dini Africa MAShARK
    leo kijana wa kitwarqa anasoma quran lkn Haswali.
    Halaf mambo haya ni Afrika Masharik tu .
    Cjui Mtume SAW atasemaje kwa umma huu.

    • @YunusHamis-wk7kj
      @YunusHamis-wk7kj Рік тому

      Kuwa na akil unachobisha nn kwan!?

    • @KhamisiOmar-v3h
      @KhamisiOmar-v3h Рік тому

      Ok nyie mawahabi wenye kuabudu mingu mitatu mulikuwa ili hali nyie ndie mumutakasika mbona hamuku usambaza uwahabi afrca mashariki.kwanza hio imani ya waganga ni haramu kwa muoslamu yoyote mbona nyie mawaha minaiyakidi hio imani ya kichawi hata kww mawahabi kwa nyie ndio washirikina kuanzia imani hadi vitendo
      Mnaponga daawa ya tabligh.munapinga mihadhara..munapinga swallatul nabii.kisha rububia na uluhia ndio mungu wenu pamoja na mtume wenu muhamed wahabi saswa na makadiani pia wamejitengezea mtume wao ahmed mirzai gulam.katoto kenu kabachu kalikosa adabu kakatupa maneno ya qur an kakaomba msama.hata mtume wenu wahabi hajawahi tupa barzanji na aliikuta sasa anapelekewa moto mnaanza kuona kuwa ni waganga wanamuangamiza ni sawanafir aun alivo ona musa kazidisha miujiza akaanza kumuita musa mchawai
      Hata mtume muhamad wakina abujahal wali muita mchwi na huo ndio unakuwa mwisho wa mawahabi mukishindwa huwa mwaanza kuwatusi maulama kama walivo makafiri wa zama hizo.
      H

    • @alawikihema8676
      @alawikihema8676 Рік тому

      We ni Jahili huna elimu ya dini kasome ndo uanze kupambana na wasomi

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o Рік тому

    Hapo ndipo tunaofeli waislaam wenzetu wanapambania maslahi Yao ya bandali sisi tunagombana kwa sababu ya Maulidi ghtima na kujengea makaburi vitu ambavyo sisi tumevikuta na halazimishwi mtu kufanya wala kutokufanya wewe Kama hutaki acha hulazimishwi waache wanao fanya wafanye bwana

  • @jumamajid7557
    @jumamajid7557 Рік тому

    Wenye kuelewa wameelewa

  • @amritwaha-kp3hu
    @amritwaha-kp3hu Рік тому

    We unaonaje maana isije kuwa ushaa vuta bangi lako huko sasa huwajui

    • @niwezeshe5907
      @niwezeshe5907 Рік тому

      Hivi nyinyi mbona wapuz sana mtusi yaninu Sasa km imekuuma tulia

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du Рік тому +1

    19-0

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du Рік тому +1

    Ahlu bid'aa wanapigania ugali wao

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 Рік тому

      Povu lote hilo wanaona hivi Sasa hawapokei michango mingi ya kufanya Maulidi wanaona vijana wanazinduliwa

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 Рік тому

      Sidhani kama Kuna kijana yupo ktk utafutaji maeneo ya mbali na kwao Kisha akiambiwa atume pesa za mchango wa maulidi na Arobaini au Hitma kama atatuma

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du Рік тому

      @@ibnhassan9980 Hakuna, hata aliye karibu na kwao. Ila yule aliyeghafilika.

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du Рік тому

      @@ibnhassan9980 😀😀

  • @saidali5964
    @saidali5964 Рік тому

    Kweli machizi bado wengi wewe hata ndevu na kanzu zanisfi saki hamujuwi kuwa nisuna nyinyi suna zenu za masharubu

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому

    Upumbavu kama huu Bado mupo tu na uyo mwehu

  • @MusaYusuphu-y2l
    @MusaYusuphu-y2l Рік тому

    Majaahill murakkab, watu wa motoni, hakuna chochote cha kielimu hapo. Upuuzi mtupu,

    • @hajikhamis6544
      @hajikhamis6544 Рік тому +2

      Uko motoni unawapeleka wewe au umeoteshwa kuweni na hikma basi

    • @hatibukazembe4055
      @hatibukazembe4055 Рік тому +2

      Matusi ya nini basi waungwana hawawi hivyo

    • @jamalishoo3802
      @jamalishoo3802 Рік тому

      Huwezi kumuita binadamu kuwa ni mtu wa motoni ikiwa hujui mwisho wake wala wako

    • @nassorothabiti7237
      @nassorothabiti7237 Рік тому

      ushaa anza kugawa moto na ww nikiumbe dhaifu jee ukimkuta peponi na ww uka angukia motoni utasemaj

    • @khalidilymo2301
      @khalidilymo2301 Рік тому

      User xi4 wewe sio kazi yako kumpa mtu moto au pepo.

  • @AbuAmmar2012
    @AbuAmmar2012 Рік тому

    Mjadala Wa Sakina. Kujengea na Kuyavunja Makaburi. Salafi v Sufi
    ua-cam.com/video/seVn6oGRQpo/v-deo.htmlsi=ulI2k3GxEmO6saG-

  • @amuraneibrahim2776
    @amuraneibrahim2776 Рік тому

    Hawa wajinga wa napenda sifa

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 Рік тому

    موتوا بغيظم

  • @amuraneibrahim2776
    @amuraneibrahim2776 Рік тому

    Hawa kueli ni weslamu kueri?