MAJIBU KWA MPUUZI HAJI UPEPO KUHUSU SHEIKH FAUZAN KUTUKANA MASWAHABA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 77

  • @esheseif2203
    @esheseif2203 Місяць тому +1

    Kaya taka ukijiona unajua wapo walokuzidi.tuache kibri n kujiona unajua sanaa

  • @user-ik5hl2be5g
    @user-ik5hl2be5g 12 днів тому

    Mashekh achenikulumbana tangazenidini nyote hamujuwi hataww unayemkosoa mwenzako pia hujuiii

  • @HalfanAlly-pr4xt
    @HalfanAlly-pr4xt Місяць тому +1

    Huyo upapa mwambien akasome bado nimtt mdogo mm namtoa kasoro Sana anaelimu gani ya kumshinda msalam bin ally na mashekh wengine huyu nikama Muhammad bachuuu wanataka kubwa wakkat wao niwadogo

    • @IbraFareed
      @IbraFareed Місяць тому

      Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unamuita muumini mwenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa.
      ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون
      Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH
      ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ
      ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
      HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM
      Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى ametuambia
      ‎إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَى وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ
      Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha.
      hajo maneno uloyacommemt utakuja kuulizwa ndugu yangu

  • @ibrahimsaid5538
    @ibrahimsaid5538 7 місяців тому

    Jazaaka llah khayra hakun kuwaacha watu wa baatwil na baatwil zao

  • @abubakarshamuhuni3894
    @abubakarshamuhuni3894 2 місяці тому +1

    Bac ungeweka sauti yako vzr mbona kijana hafichi kitu na yuko vzr

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 3 місяці тому

    HUYO JAMAA ANAYEONGEA KAMA KAKABWA KOROMEO NDIO ANAYETUKANA ,
    SIO SHEIKH HAJI UPEPO. BALI KIMBUNGA CHAKE NDIO KIMEMKUMBA HUYO MUHABI HADI ANALIA HIVYO SASA.

  • @rushu1232
    @rushu1232 7 місяців тому +1

    Mimi sioni kama yuatukana naona yuwatoa hoja nadalili suoni matusi.

  • @user-cc3lb3bz6n
    @user-cc3lb3bz6n 7 місяців тому

    akh eka sawa sauti iyo

  • @hafidhsalim9237
    @hafidhsalim9237 5 місяців тому +1

    Shekh haji anawatetea masahaba kwa ushahidi wa waziwazi na huyo mwahabi anamtetea Shekh wake kwa nguvu ya matusi na kulazimisha mambo. Mimi sishangai sana kwa kua tunawajua ha jamaa.

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      Kusoma kweye ajui huyo upapa kiarabu anachosoma kina makosa kibao ilmu huna unataka watukana wanazuoni wakubwa masufi bwana juzuu mbili kihwani unatoka kutukana wanazuoni

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Місяць тому

      Nilipoona ayo maandishi tu nilijua huyu ni muhuni sawa tu na wavuta bangi wa maskani au yye anaweza kuwazidi

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e Місяць тому

      @@HemedSerious ww jahli wa kisuffi usojuwa hakki na batwil khurafi ww, Toka lini suffi akawa mzima kichwani masufi wapumbavu sana, mashekhe zenu wanawadanganya wanamuona mtume live ,mtume ashindwe kumtolea Omar wakati kafariki aje amtokee jitu lipo zanzibar. Elimikeni kuna moja nae katika suufi Ni shekh wa kutegemewa anasema alienda makka kaonana na mtume kafufuka kwenye kaburi lake akatowa mkono akamsalimu Kisha akarudi tena ndani ya kaburi lake hizo ndo itikadi mbovu za kisufi. Jitu linaongea urongo wa wazi na wafuasi mnaamini duuuh.

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 3 дні тому

      Tuambie Mawahabi ni Nani?

  • @mohdkhamis257
    @mohdkhamis257 7 місяців тому

    قال ابن عساكر في تبيين كذب المتري لحوم العلماء مسمومة

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 7 місяців тому

    Yeyote asie heshimu wazazi ana kosoro fulani

  • @AbuuDardai-l6v
    @AbuuDardai-l6v 8 годин тому

    😂😂😂

  • @mrsweet.9321
    @mrsweet.9321 Місяць тому

    Ndugu zangu hiyo ss co dini muifanyayo, mwazan mwafanya haya kwa kuona mwapata ujira mkubwa sana kumbe laa, Muna elimu ila hazikunufaishen elimu zenu. MATUSI YAMEKUWA KAMA NI MANENO YA KAWAIDA. Kuweni wastaarabu, kutaneni mukae mukosoane kielimu co kurushiana matuc mitandaoni hao makafir watushangaa cc ni waislamu gani. Hivi ndo alivyokuwa mtume afanya au maswahaba au maimamu na wanazuoni waliotangulia. Tuna muongozo ila cha kuckitisha kuwa tunapote. Kwanini iwe hivi!!?

  • @user-od1et5ii1k
    @user-od1et5ii1k 7 місяців тому

    Mawahabi naona sasa mumechanganyikiwa hamna jipya tabda kujikweza tu bwana mdogo huyo anawatowa jasho hamumuwezi haji upepo yupo sahihi kabisa

    • @jordan.3109
      @jordan.3109 7 місяців тому

      Km mlivo changanyikiwa nyinyi mashia.

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 8 місяців тому

    MKIMALIZA MTATWAMBIA

  • @allymuhammad8956
    @allymuhammad8956 Місяць тому

    Haji upapa hili jina kalipata wapi upapaaa hahahaha kapapapuliwa naona hahahhaha

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Місяць тому

      Ujinga nao unasumbua

    • @IbraFareed
      @IbraFareed Місяць тому

      Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unamuita muumini mwenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa.
      ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون
      Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH
      ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ
      ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
      HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM
      Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى ametuambia
      ‎إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَى وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ
      Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha.
      hajo maneno uloyacommemt utakuja kuulizwa ndugu yangu

  • @luqmansudi
    @luqmansudi 3 місяці тому

    Nguruwe wa kiwahabi.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 3 місяці тому

    Aombewe Dua ALLAH SUBHANAHU WATAALA Amsamehe huenda kapatikana na jambo Zito mpaka anashindwa kutanabahi kwamba anachokifanya ni nini?Uislamu unakataza hata kuwatusi waabudia masanamu. Hata kama humkubali Shaykh lakini ndo umtusi?! Na wewe unayewaita mashekhe nguruwe, ALLAH A'ZZA WAJALLA Akulipe Ajuavyo YEYE uzito wa hayo matamshi yako.

  • @AhmadRibaat
    @AhmadRibaat 2 місяці тому

    Hawa mawahabi ni ndugu ya makafiri ndugu ya shetani huenda ni nawao ni makafiri wakubwa

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 8 місяців тому

    Huyu ngevu haji upapa hawezi kuleta majibu upande wako nahilo sio lengo lake, lengo lake ni kutukana Mashaayikh wa kiwahabi na kuwatweza tu, na kujilazimisha kujibu kumbe sio majibu bali ni utovu wa adabu aliofunzwa na mashekhe zake washenzi wenziwe, wahuni wenziwe, wavuta bangi na watu wa tigo Allaah atunusuru na watu wachafu kama hawa

    • @IbraFareed
      @IbraFareed Місяць тому

      Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unamuita muumini mwenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa.
      ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون
      Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH
      ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ
      ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
      HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM
      Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى ametuambia
      ‎إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَى وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ
      Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha.
      hajo maneno uloyacommemt utakuja kuulizwa ndugu yangu

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 2 місяці тому

    Huyu ana laana anawatukana wanawachuoni hajui kuwa anakosa baraka ya elimu

  • @SmilingBocce-gj9jx
    @SmilingBocce-gj9jx 2 місяці тому +1

    ETI HAJI UPAPA NYIE MASALAFI WOTE MNAFIRWA NYINYI 🖕

    • @IbraFareed
      @IbraFareed Місяць тому

      Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unamuita muumini mwenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa.
      ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون
      Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH
      ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ
      ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
      HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM
      Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى ametuambia
      ‎إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَى وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ
      Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha.
      hajo maneno uloyacommemt utakuja kuulizwa ndugu yangu

  • @user-hh6bq9sz4d
    @user-hh6bq9sz4d 8 місяців тому

    Kisa nabii suleiman mwenye elmu alieleta kiti cha malkia barkis kwa wepesi wa kupepesa jicho hata dunia tulionayo wapo kama uwezi wewe ustadh humeid kwasababu unajua mpaka umepitiza

  • @swalehabdulrahman4118
    @swalehabdulrahman4118 8 місяців тому

    SASA MBONA HUJAJIBU CHOCHOTE UMERUDIA TU YALE ALIYOYASEMA SHEKH HAJI,ALAFU KINGINE JIAMINI

  • @muhala410
    @muhala410 6 місяців тому

    Yaani na wewe nikama yeye kabsa yaani sunna ya mtume ni matusi muweni na kauli nzuli tafuteni maendeleo ya dini acheni malumbano mitandaoni ogopeni Mungu

  • @Ibunmaulanashirazy-sn5ui
    @Ibunmaulanashirazy-sn5ui Місяць тому

    Mawahabi NITAWI LAWA KATOLIK

  • @user-hh6bq9sz4d
    @user-hh6bq9sz4d 8 місяців тому

    Haji yupo sahii ndio maana anapoeleza anatoa na ushahidi ila kwasababu nyinyi amutaki haki mko kishabiki tuu sheik fauzan binadam kama ww anakisea mtume saw ndio aongei kwa matamanio yake isipokuwa wahayi kutoka kwa allah mtukufu

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 8 місяців тому

    Ahsanta akhy

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 7 місяців тому

      Hivi huyu kalewa mie sijaelewa huyu mlevi mumemtoa huyo Ibni taimiyyah yahuudiyyah na mwanafunzi wake Abdulwahaab mara Allaah anamikono miwili 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😮

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 7 місяців тому

      Makafiri kweli maana hata lugha inayotumika nikihuni ukafiri naulevi

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541 7 місяців тому

    MPUUZI BABA AKO

  • @mohdkhamis257
    @mohdkhamis257 7 місяців тому

    Ni kweli huyo jamaa atapata mimba kabla ya harusi maana huyo haji upapa ana nyege za muasha

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 6 місяців тому

    Ni mpuuz sana huyo upapa

  • @nasoros.mgungo5502
    @nasoros.mgungo5502 7 місяців тому

    😂😂😂😂 Mawahabi mnasema Haji upepo anatukana Masheikh na nyie papo hapo mnamuita Haji ''upapa'' 😂😂😂😂😂 ''upapa'' mnamaana?

  • @nasrarichadi2278
    @nasrarichadi2278 Місяць тому

    Sasa mbona unaongea kama kenge ndani ya pango?

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 7 місяців тому

    Huu ni Sh Alfawzan usikilize majibu ku husu maswaha na ulumaa

  • @RAMZANJumma-hr3ff
    @RAMZANJumma-hr3ff 12 днів тому

    Hahaha sasa mbona upepo anaongea kwa kwa utulivu lakini wahabi kaongea kama kabakwa vile

  • @MshihirDguyya
    @MshihirDguyya 3 місяці тому

    Km muandishi kakosea yy ninani asikosee lete hoja

  • @user-jz1zl3zg8e
    @user-jz1zl3zg8e 7 місяців тому

    Abu fauzan ni mmoja kati ya wanawachuoni wamaka ambao wa mehoisha sunna za mtume hivi mwana wa chuoni mkubwa ambae amekubalika maka ndio asiijue dini aje aijue mpumbavu kutoka bongo

    • @omarathman180
      @omarathman180 7 місяців тому

      Lakini mtume alwabashiri Hawa Wana wachuoni wanajdi akasema ndiyo wataleta fitna hujui hilo?

    • @AbuabdillahUthmaan
      @AbuabdillahUthmaan 3 місяці тому

      Enyi wazushi. Hamujui hizi hadithi za najdi. Hebu someni mababuuu masufi najdi. Ni ya Iraq sio hijaz

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl 7 місяців тому

    😂😂😂 kujadiliana na mawahabii ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa tu😂😂maana hawaelewi vichwa vyao vimejaaa ujinga na ubishi mwingi na kujioneshaa tu kwa watu waonekane wanaelimu ili tu wapate kusifiwaaa😂😂😂 ndio maaana hujitahidi kuwachafuaa waislamu na hujitukuza wao 😂😂 acheni riyaaa izooo mambwaa ya kiyahudi nyieeee😂😂

  • @husseinsaid8021
    @husseinsaid8021 7 місяців тому

    Mtoto wa bachu ndo umeishiwa Namna hii?

  • @twahaally7251
    @twahaally7251 2 місяці тому

    Kwan maswahaba walikingwa na makosa ?.. na ikitokea watu wamefanya kosa maka hilo ukasema watu fulan n wajinga kwa kosa hilo ndio umesema kuwa swahaba n mjinga?

  • @mohdkhamis257
    @mohdkhamis257 7 місяців тому

    Ni mjinga huyo haji upepo atafuta bwanaa huyoo lakini wapo wahuni watamfuatilia

  • @mohdkhamis257
    @mohdkhamis257 7 місяців тому

    Huyo haji upepo hana adabu hata wazee wake hawaheshimu

  • @SamMus-qn1pu
    @SamMus-qn1pu 6 місяців тому

    MBON VOIS KIDOG HATUISIKII VIZUR KWA ILIVYO IDITIWA

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

    Masufi wamepotea sana allh wangoze ahlu bidaah waache bidah

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Місяць тому

      Halafu wewe mwehu ata muda wa kuandika vizr JINA la Allah huna? Eti neno refu '' wamepotea '' kaliandika Kwa ukamilifu lkn neno tukufu na fupi kwenye uandishi "Allah '' kalifupisha jaahil

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Місяць тому

      Eti bidaa ata maana tu ya ilo neno hujui kazi yako kufata mkumbo

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e Місяць тому

      @@HemedSerious ww ndo hujui ungejuwa usinge kuwa msufi mpiga maulidi upo huko Kama katuni,huelewi uzushi Ni Nini inaonekana jahli ww jifunze dinni utaelewa maana ya bid'ah so unaenda Kama gari Moshi lilipotea njia, ww sufii, bado upo utumwani hujui hakki ipi batwili ipi mpk leo mnaabudia makaburi,uganga uganga,mambo ya nyota na shirki za kuamini majini na mapete ndo sifa za mashk wenu wa kisufi mitandaoni leo watu wanatetea mapete ya ushirikina umewahi ona shekh wa ahlsunna akasimama kutangaza uchawi hadharani hiyo yote misufi mmeharibu Sana dini hii ya uislamu na kufanya watu wajue uislamu unakubali mambo ya ovyo ovyo kumbe kikundi cha watu wachache suffiya.

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e Місяць тому

      @@HemedSerious jahli ww unae danganganywa katika njia za usufi itikadi batwil na potofu.

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 8 місяців тому

    Na mara hii kaumbuka kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mohdkhamis257
    @mohdkhamis257 7 місяців тому

    Huyo upepo muacheni ataka umaarufu huyo hana elimu

  • @AhmadGag-zi3nc
    @AhmadGag-zi3nc 7 місяців тому

    Wewe unayeongea chizi au maana ueleweki sasa hiyo sauti gani unayoitumia?nyinyi mayahudi wa kiwahabi hamna akili

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 8 місяців тому

    Hapa hakna kufanya uchepe wako haji upapa mnafiqi mkubwa wewe.
    Hapa unajengewa hoja na inafungwa kwenye misingi maalumu maswali yake na nukta zake, unaweza lete majibu ngevu wewe

  • @swalehabdulrahman4118
    @swalehabdulrahman4118 8 місяців тому

    Sasa hapo sindio umethibitisha kuwa fauzani amedharau alichokifanya swahaba ,ukisema kuwa kitendo Hilo wanafanya watu wajinga,sasa yule swahaba nae kafanya unamweka fungu gani?

  • @khamismussa1599
    @khamismussa1599 8 місяців тому

    Naona ww huna jambo babuu.

  • @user-pe9nq3wu4p
    @user-pe9nq3wu4p 7 місяців тому

    Mipuzi wewe

    • @esheseif2203
      @esheseif2203 Місяць тому

      Kapatikana kipapa

    • @esheseif2203
      @esheseif2203 Місяць тому

      Kijana kaingia kw pupa nae kipapa wacha kupopoa wenzio kuna watovu w adabu kuliko unavojiona wewe kipapa

    • @esheseif2203
      @esheseif2203 Місяць тому

      Kipapa kwni lazima upapatue wenzio? umeona sasa kipapa,unapapatuliwa wewe sasa 😂😂😂😂😂😂😂😂kipapa haji, 😂😂haji kipapa