KWA KISWAHILI HOTUBA YA IBRAHIM TRAORE' MBELE YA RAIS VLADIMIR PUTIN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @bahatisamo5168
    @bahatisamo5168 4 місяці тому +149

    Simba wa Africa Ibrahim Traore, Mungu akulinde 🇹🇿🇹🇿 Tanzania tunakuunga mkono❤❤❤

    • @nuke6081
      @nuke6081 3 місяці тому +7

      Mbona mimi ni mtanzania na sjamuunga mkono. Wewe muunge pekeyako usiniingize na wengine humo.😂

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba 2 місяці тому

      @@nuke6081 Hatukulazimishi kumuunga mkono, pengine hata Magufuli hukuwahi kumuunga mkono, okay tuko kwenye safari ya kuunda Afrika moja, na safari hio imeanzia Burkina Faso

    • @JojoYona
      @JojoYona 2 місяці тому +1

      Hakuna mtu hapooo

    • @SalmaSamweli-v8y
      @SalmaSamweli-v8y 26 днів тому +1

      Kama haumuungi mkono niwewe peyako sisi watanzania tunao wachukia mabeberu wanatupiganisha ili wao wachote Mali zetu kila la kwake Ibrahim na wananchi wake

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba 26 днів тому +3

      @@SalmaSamweli-v8y vijana wengi wa kiafrika ambao tunachukia unyonyaji na dhuluma za mabeberu tunamuunga mkono Ibrahim Traore kwa pamoja na kwa nguvu moja

  • @conradsayi9179
    @conradsayi9179 4 місяці тому +52

    Mungu akulinde na kukutunza Comando, President Ibrahim
    Traole, Tanzania tunakuunga mkono.
    Ahsante sana kwa hot hotuba nzuri.

    • @KibiruWanjiru
      @KibiruWanjiru 20 днів тому

      n vizuli kuadka jina ya MUNGU na jina kubwa please

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 5 місяців тому +47

    SAFI SANA COMMANDO TRAORE HADI HAO viongozi VIBARAKA WA AFRICA WANAONA AIBU

  • @ShaabanIddi-u8v
    @ShaabanIddi-u8v 5 місяців тому +26

    Mwamba anazungumza kwa ujasiri mkubwa salut kwake

  • @rajabmasoud3137
    @rajabmasoud3137 Місяць тому +4

    Sina baya Mr president Ibrahim Traore Mungu aendelee kukulinda hotuba yako iko vizuri mbele ya Rais wa Urusi hukutaka unafki

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 2 місяці тому +4

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @kitoleally
    @kitoleally 4 місяці тому +6

    Hongera sana Jemedar Capt Ibrahim Traore, Allah akuhifadh na akulinde na Kiila Shari

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 4 місяці тому +15

    MashaAllah Mwenyeez Mungu akupe umri mrefu na akulinde na majangili yeyote anae kusudia mabaya kwako Allah amdhalilishe
    InshaAllah utavuka

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 5 місяців тому +44

    Safi sana mtangazaji ..Unanifurahisha sana

  • @monicasengamarwa
    @monicasengamarwa 3 місяці тому +4

    Ibrahim Traore ni King of Africa, simba wa Africa. Mungu akulinde, nakuombea.

  • @abdallahmnamba9828
    @abdallahmnamba9828 Місяць тому +3

    Kweli Africa Bado tupo gizani Hali utajili wote tunao inauma kweli Thomas Sankara aliyapiga vita
    Magufuli alipigania hili
    Ila wapuuzi wapo kwenye nchi zetu viva Tanzania viva🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @EsterPaul-jt5im
    @EsterPaul-jt5im 5 місяців тому +45

    Mimi nikimuona Traore hd kula nasahau mungu ampe maisha marefu.

    • @leonardmhagama5828
      @leonardmhagama5828 4 місяці тому

      Same here baby he got the brain na misimamo kuliko dini

    • @Geoffburet802
      @Geoffburet802 23 дні тому

      Nampenda sana Huyu raisi wetu wa Afrika

  • @OmarSaidy-i1m
    @OmarSaidy-i1m 15 днів тому +4

    Ww ndy kiongoz bora wa africa na viongozi wa zanzbar wajifuze kutoka kwako mm kama mzanzbar kam kuna nafasi ya kuishi huru uko nipo tayar san ❤

  • @AbbasSaid-fp5rg
    @AbbasSaid-fp5rg 5 місяців тому +60

    Dah wangepatikana viongozi kumi kama hawa bas Afrika tungekuwa mbali sana from Zimbabwe

    • @nebatimuyunga6762
      @nebatimuyunga6762 4 місяці тому

      Hawakai sasa sisi wenyewekwa wenyewe hatutakiani mema

    • @ahz6907
      @ahz6907 4 місяці тому

      ​@@nebatimuyunga6762mataifa ya ulaya yanatugombanisha.
      Angalia congo.

    • @denismakweba3870
      @denismakweba3870 4 місяці тому

      Gadaff je?

    • @petrolungwasha4630
      @petrolungwasha4630 3 місяці тому +2

      Usisahau hayati magufulu ndo viongizi

    • @JosephKanyugi
      @JosephKanyugi 3 місяці тому +2

      Wako wengi, lakini hatuwachagui kuwa Marais Tunapenda kuchagua walaghai na wezi wa mali ya umma.

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 4 місяці тому +4

    M mungu akulinde NA mahassidi wa africa

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 5 місяців тому +39

    HAWA NDOMARAISI TUNAOWATAKA 💯

  • @ramosfally2318
    @ramosfally2318 5 місяців тому +32

    mwanangu ajayo jina ni ibrahimo traore akuna kunishauli mtu..viva africa from 🇲🇿 mozambique.tungepata kama 10 africa tungekuwa mbali

    • @KhalidKapala
      @KhalidKapala 3 місяці тому

      kabisa nduguyanguuu

    • @safarimallya4536
      @safarimallya4536 2 місяці тому

      Haha

    • @LydiaIsangi
      @LydiaIsangi Місяць тому +1

      Hongera maana ibra ni mtu na nusu,baada ya kuwa raisi walitaka wampandishe vyeo akakataa,na mshahara analipwa ule ule wa cheo chake

    • @Geoffburet802
      @Geoffburet802 23 дні тому +1

      Hello from tanzania 🇹🇿 viva traole

  • @kassimjuma3039
    @kassimjuma3039 3 місяці тому +20

    Allah mpe ulinzi na maisha marefu Ibrahim traore🙏

  • @EkzaudiSinkonde
    @EkzaudiSinkonde 13 днів тому +3

    Mungu ndiye mchungaji wetu hakika hatutapungukiwa nachochote

  • @JustinMwakalukila
    @JustinMwakalukila 3 місяці тому +13

    From Tanzania,TRAOLE on 🔥 🔥 🔥

  • @WillbardChilizant
    @WillbardChilizant 4 місяці тому +21

    Hakika unahitaji ulinzi wa mungu pekee ❤

  • @chidmp
    @chidmp 4 місяці тому +95

    Kama umependa hii hotuba like apa

  • @ChelseaFans-yn2zh
    @ChelseaFans-yn2zh 3 місяці тому +3

    Big up President Traore i wish all leaders in Africa wangekua kama wewe

  • @YohanaMollel-qt2sf
    @YohanaMollel-qt2sf 4 місяці тому +8

    Traore💪💪💪💪 nakukubalisana upo serious naunachokifanya 💪💪

  • @zuberympulo6564
    @zuberympulo6564 5 місяців тому +28

    Shukran Sana Brother Awadh Rashi ila huyoo mwamba ana Hotuba nyingi Sana

    • @arushaoneradio9093
      @arushaoneradio9093  5 місяців тому +2

      Ndo tumeanza kaka mwenye pupa hadiriki kula tamu

    • @PETROGwitego
      @PETROGwitego 5 місяців тому

      ​@@arushaoneradio9093 Safisaana kazi yenu njema saana Tunawafatilia mnakarimani vizuri saana

    • @PETROGwitego
      @PETROGwitego 5 місяців тому

      Endeleeni Kutuletea na Za hao Muamba, msimsahau na PL Lumumba yule Mwana Sheria wa Kenya Yule ni kichwa hotuba zake Zimejaaaa

  • @MohdJuma-m7w
    @MohdJuma-m7w Місяць тому +4

    Anaekubali kuwa huyu ni mwamba wa Lusaka Simba wa nyika agonge like tujuane wazalendo 👍👍👊

  • @YourMoor-px1rd
    @YourMoor-px1rd 3 місяці тому +3

    BINGWA MWAMBA TRAORE TUOKOE AFRICA KAMA VILE MAGU ALIVYOTAKA KUIKOMBOA TZ NA AFRICA NZIMA MUNGU AKULINDE SANA CAMANDA WETU TRAORE ALUTA CONTINUE

  • @hassanjuamchipua9384
    @hassanjuamchipua9384 5 місяців тому +35

    The leader of Africa viva viva thaure

  • @ErickMacha-sb2ot
    @ErickMacha-sb2ot 6 днів тому +2

    Hongera mwanamapinduzi mwenzangu

  • @SwaleheMosha-d8p
    @SwaleheMosha-d8p 5 місяців тому +17

    Salute kwako ibrahim traore nakukubali sana kaka mkubwa

  • @RisperAnselemi
    @RisperAnselemi Місяць тому +4

    Hakika Ibrahim ni mwafrika mzalendo anaestahili nimekuelewa sana sana

  • @reginajohanes3269
    @reginajohanes3269 Місяць тому +3

    Mungu akupe afya njema

  • @Asajilemwanjala
    @Asajilemwanjala 3 місяці тому +3

    Nampenda Traore kipenzi cha Afrika

  • @jajatz1878
    @jajatz1878 4 місяці тому +3

    TRAOREE MAY ALLAH PROTECT U

  • @DignaMapunda
    @DignaMapunda 18 днів тому +4

    Waachache wa aina yake! Mungu amlinde

  • @ALIHASSAN-dx7ie
    @ALIHASSAN-dx7ie 4 місяці тому +9

    Mashallah 😍 good work president may Allah protect you and add more power on you 🤲

  • @juliussimwinga8435
    @juliussimwinga8435 3 місяці тому +12

    Mungu akuongoze katika yote,Simama bila hofu kutetea waafrika,binafsi ninakuelewa sana Comred IBRAHIMU.

  • @dicksonmwasembe
    @dicksonmwasembe 4 місяці тому +7

    Nguvu za mungu na ulimwengu zikufunike kiongozi wetu boraaa

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 3 місяці тому +3

    Nakukubari sana Comando wa Africa

  • @AbdulBushir
    @AbdulBushir 3 місяці тому +2

    Vizur havidum nampenda sana ibra ila najua tu hatadum huyu kam tulivyokua tunawapenda akina Maguful,, Gadaf,,Samora,,na wengine ,,,eeh allah tubakishie na utuongezee viongoz wazalendo kam haw amin🙏🙏

  • @TechbayElectronicsRepair
    @TechbayElectronicsRepair 12 днів тому +3

    Bukina Faso is so lucky to have a leader that cares about his people.

  • @ShabaniNuru-o1y
    @ShabaniNuru-o1y 5 місяців тому +8

    MUNGU kamwe hawezi kuwaacha watu wake wanyanyaswe hata ikitokea mpigania haki akindoka mungu huwalete wengine,wapi mwalimu Nyerere,mugabe,gadafi,mandera,kastro,sankara...... lakini leo tuna wengine kama hawa Asante Sana MUNGU wetu..... Africans we are rich✊

  • @ZenaShomary
    @ZenaShomary Місяць тому +3

    Huyo mwamba mungu akulinde miaka miaaaaaa

  • @eliasndomba7937
    @eliasndomba7937 5 місяців тому +23

    Mungu ampatie miaka mingi ya kuishi Duniani, yupo mbere ya muda

    • @Awatee
      @Awatee 5 місяців тому

      🤲🤲🤲

    • @Hagai-oh4ti
      @Hagai-oh4ti 5 місяців тому

      Mungu akupe maisha marefu naufanimiwe kwamamboyote Ee Iib to ahi

  • @RamadhaniJafari-h1l
    @RamadhaniJafari-h1l 4 місяці тому +7

    ❤❤❤❤❤❤❤HONGELA SANA IBRAHIM TRAOULE SALUTY KWAKO

  • @EmmyWilson-do3oe
    @EmmyWilson-do3oe 2 місяці тому +3

    Mwamba kama Mwamba miaka buku kwako Traore🎉🎉🎉

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 5 місяців тому +71

    Huyu mwamba hutubayake inanitoa machozi eemungu wetu tazamihili juu yaafrica kwakweli tumechoka kutumikiswa asante Ibrahim ❤😂😂 ❤❤❤❤❤❤😂😂

    • @nebatimuyunga6762
      @nebatimuyunga6762 4 місяці тому

      Maombi yako kama Mungu anaona nasikia basi ajibu ukikaa kufikiria machozi Yata kutoka viongozi wanaopigania nchi zao hawakai eee,, Mungu sikia maombi ya waafrika

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 3 місяці тому

      Hakika mungu tunaomba utusikie mlinde uyu kijana asiwepo atakae kuwa juuyake tunaimani atafanyika mwanga kwa nchi za Africa Mungu tusaidie ❤❤❤🙏🙏

    • @KibiruWanjiru
      @KibiruWanjiru 20 днів тому

      n vizuli kuadka jina ya MUNGU na jina kubwa please

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 5 місяців тому +17

    Big up Traore

  • @raheljonas4107
    @raheljonas4107 3 місяці тому +2

    Nampenda sana huyu baba Mungu ampe maisha marefu.

  • @AtanasioChina
    @AtanasioChina 3 місяці тому +3

    DaaaaR I P magu 😢😢😢 TANZANIA TUPO NA WW❤❤

  • @Nailafussy-kg7qz
    @Nailafussy-kg7qz 4 місяці тому +2

    Nampenda traole jaman, mungu akulinde akukwepeshe na mishale mikali ya maadui jamani natamani ningekuwa raiya wako

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 5 місяців тому +17

    ❤❤❤❤❤ Napenda viongozi kama hawa ❤❤❤❤❤

  • @monicasengamarwa
    @monicasengamarwa 3 місяці тому +2

    Ndio wakuu wa nchi za Africa waache tabia za kibaraka kwa nchi za Ulaya.😢😢.
    Vema yote ulionena ni kweli na kweli tupu. Mungu akubariki mno Rais Captain Ibarahim Traore.. Asante kwa kututetea wafrica.😢😢

  • @hajjisuffiani385
    @hajjisuffiani385 5 місяців тому +3

    Nashukuru sana ndugu awadhi kutatua shidayetu huyu jamaa nilikua naipenda sana hutubayake niieleweyote asante ndugu
    Awadhi Mtoto wa Mzee Rasheeeed🤝

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 3 місяці тому +1

    Nampenda sana uyu mwamba anaongea kwa upole lakini kwakumaanisha Mungu akulinde mwamba ninaimani mungu atakutumia kutuvusha African 🙏

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 5 місяців тому +9

    Allah amlinde kiongozi wetu

  • @Bills-design
    @Bills-design 3 місяці тому +3

    Wewe kama magufuli au Nyerere🇹🇿 wewe kama gadafi wa kule Libya mungu akulinde lion of Africa

  • @IssaomaryAbas
    @IssaomaryAbas 3 місяці тому +2

    Namkubali sana ibrahim Mungu akutunzee jmn

  • @JohnwawaKilongo-sy5vt
    @JohnwawaKilongo-sy5vt 5 місяців тому +6

    Unasoma habari vizur sana ,hongera sana.

  • @StephanoMoses
    @StephanoMoses 5 місяців тому +7

    Mungu mjalie mwamba huyu katika upambanaji wake . Mfunike kwa dam yako takatifu ili marekani na washirika wake wasimuue kwa SUMU ana RISASI

  • @kelvinvitalis2965
    @kelvinvitalis2965 4 місяці тому +2

    Mungu akulinde tuikomboe africa 😢

  • @sayidnureyn
    @sayidnureyn 4 місяці тому +4

    Big time leader for his people salute Allah akuhifadhi

  • @JonasSaid-zc1oi
    @JonasSaid-zc1oi 3 місяці тому +1

    Sauti nzuri ya Malimu Chumvi Ahsante sana Mtangazaji wetu Awadhi

  • @mssellemamin5360
    @mssellemamin5360 5 місяців тому +15

    May ALLAH protect him from the WESTERN and within African evils.

  • @RamadhanGoagoa
    @RamadhanGoagoa 3 місяці тому +1

    ❤mungu wangu yesu amerudi tena pamoja na mfarume suremani kutukomboa ila wasije Tanzania watawauwa

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 5 місяців тому +13

    Kuna mashetani meusi hayasikii chochote 🎉asane some wangu Ibrahim troure

  • @timothykengere2535
    @timothykengere2535 3 місяці тому +2

    Shukrani sana kujikomboa muhimu kwa manufaa yetu, na nilazima watu wenye akili kulifanya ilo jambo ...........

  • @3kingsmusictv873
    @3kingsmusictv873 18 днів тому +2

    Bila kuchoka mzee Mungu akuongoze

  • @mgobanyapazi7738
    @mgobanyapazi7738 4 місяці тому +7

    Huyu rais Traore ni kiongozi mzalendo sana.
    Ni mwafrika halisi

  • @BariisSamatar
    @BariisSamatar 4 місяці тому +4

    MANSHALLAH i our legend hero

  • @shabanimbenu2163
    @shabanimbenu2163 4 місяці тому +6

    GOOD SPEECH MR PRESIDENT & KEEP IT UP.

  • @athumanikadaika5817
    @athumanikadaika5817 5 місяців тому +17

    Raisi wa Africa aliyejitambua.

  • @affaanothmaan6287
    @affaanothmaan6287 4 місяці тому +3

    Allaah amuhifadhi..

  • @FrankoLugendo
    @FrankoLugendo 4 місяці тому +3

    Ibrahim God bless you ♥️♥️♥️♥️

  • @WinifridaJonathan-cq2nw
    @WinifridaJonathan-cq2nw 4 місяці тому +2

    Roho wa Mungu na Mungu wa Makonda watasimama hakuna atakae zuia Muda ukifika

  • @abdulkarimisihaka2145
    @abdulkarimisihaka2145 3 місяці тому +1

    Namuomba mungu akupe nguvu na akupe maisha marefu

  • @mbwanaoch9886
    @mbwanaoch9886 3 місяці тому +2

    May God bless u traore

  • @EgdiusyRespciusy
    @EgdiusyRespciusy 3 місяці тому +4

    Magufuriii🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jonathanmanirakiza6356
    @jonathanmanirakiza6356 3 місяці тому +4

    BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮we are agree with you ❤❤❤❤

  • @hashimmwawato9660
    @hashimmwawato9660 5 місяців тому +5

    Hongera sana na nimatamanio yangu marais wote africa wangelkua kama ww

  • @kaingucharo-q7z
    @kaingucharo-q7z 3 місяці тому +1

    May the Almight God protect you from the enemies of Africa and continue giving you wisdom and courage to fight for our beloved Continet-Africa, mob love from Kenya the country of greed leaders

  • @JumanneMalunkwi
    @JumanneMalunkwi 4 місяці тому +7

    Rais Ibrahim Allah akulinde endelea kutetea nchi yako kama Magufuli alivyo ongoza Tanzania ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @erickrakitic9113
    @erickrakitic9113 5 місяців тому +13

    👍👍👍🙏🙏🙏hatimae umesikia kilio changu

  • @misanasabatho8818
    @misanasabatho8818 4 місяці тому +1

    hongera sana mzalendo ni hotuba nzuri

  • @likonjesuleyman4035
    @likonjesuleyman4035 3 місяці тому +2

    Allah yuwajihuka inshaallah

  • @DoctorBondia
    @DoctorBondia 5 місяців тому +5

    Asante mwamba Ibrahim Traore🎉

  • @HamisiOmmy-e5z
    @HamisiOmmy-e5z 4 місяці тому +5

    😭😭😭😭😭😭😭✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿my AFRICA

  • @sarahshalom97
    @sarahshalom97 15 днів тому +1

    God bless you and give you more wisdom president troure,Africans we're proud of you❤❤

  • @pauluyagirwe6189
    @pauluyagirwe6189 2 місяці тому +1

    Mungu wawa Afrika amlinde daima

  • @PauKija-q5k
    @PauKija-q5k 2 місяці тому +2

    Mwana ume nimwana umetu💥💥

  • @SalomeJackson-c1y
    @SalomeJackson-c1y 5 місяців тому +5

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏Hakika huyu jamaa kweli mwamba

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 3 місяці тому +2

    Watu Kama Hawa ni wachache sna🙏🙏🙏🙏

  • @leopoldwilliam2128
    @leopoldwilliam2128 5 місяців тому +3

    MUNGU akubariki sana kaka kwa habari hii.

  • @ShawejiKondo
    @ShawejiKondo 19 днів тому +2

    The African's leaders must be like Traore know the painful of African trouble and how to eradicate those troubles.

  • @anorldmwombeki
    @anorldmwombeki 5 місяців тому +7

    Waliobakia ni wachache sana lakini vyema sana kaka Ibrahim wewe ni RAISI 👍🙏🙏🙏

  • @AMOURDEDIEURHUGENDABANGA
    @AMOURDEDIEURHUGENDABANGA 3 місяці тому +1

    Kuna uamsho was kweli katika Afrika Leo . Lazma kuelewa kwamba kurudi ya KRISTU imekwisha fanyika kuambatana na maandiko ya manabi : ufunuo 12:5hadi 6; luka17: 20 hadi 25;Isaya 66:7hadi9 ; na maunabi nyingi nyingine za dini nyingi.Ushuda Moja ni kuangusha utawala wa kibeberu Afrika ya Kusini,ya pili kuangusha Kuta wa Berlin, ya tatu kuangusha URSS, ya ine ambayo Bado kamilika ni kuangusha OTAN, mapinduzi za ndani ya Afrika zitakamilika polepole Kwa utaratibu nyingi.Mapinduzi ya kweli haitarudi nyama kamwe. Ahadi za kweli za Mwenyezi Mungu ziko n'a sio mambo ya dini yoyote. Amina

  • @juliusedward7
    @juliusedward7 4 місяці тому +11

    Magufulification of Africa 👏👏👏

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba 2 місяці тому

      Traorelization of Africa

  • @ElizabethBeny
    @ElizabethBeny 3 дні тому

    I love so much ibra keep it up

  • @faustinokitule
    @faustinokitule 10 днів тому +1

    Love much president your Moses in Egypt Africa.Our countries leaders a like Statue setted aside the Road.Thanks.

  • @imanikimisure7141
    @imanikimisure7141 4 місяці тому +4

    Viva Traore,,,,,United States of Africa inataka marais kama hawa 🔥