KIJANA MZALENDO ADUAA "JAMANI MAJALIWA HUYU NDIYE YULE WA MAGUFULI AU...!!!?, WAMUIGE Traore"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 589

  • @saleli8993
    @saleli8993 5 місяців тому +37

    Ibrahim Traore Ni Kiongozi Haswa.Point Sanaa Kaka,Ubarikiwe

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 5 місяців тому +22

    Daaaah 😢😢😢 jamani moyo unauma sanaaaa ila sisemi shida nini ila nitongea na mwenyezi mungu kimoyo moyo naamini duwa atasikia na ajibu tu pengine duwaa hizi siombi peke yangu tupo wengi sanaaa ila one day yes 😢😢😢

  • @judicamunisi1548
    @judicamunisi1548 5 місяців тому +18

    Nchi yangu Tanzania, viongozi wanajali maslahi Yao binafsi kuliko maslahi ya Watanzania, Ee Mungu usiwaache salama hao viongozi madikteta, wezi, majambazi, mafisadi,
    In Jesus might name
    Amen

    • @MikidadiMkonyoka
      @MikidadiMkonyoka 11 годин тому

      Upo sahihi kabisa ndugu yangu ndio shida ya nchi hii

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 5 місяців тому +81

    Hawezi muziki wa IBRAHIM TRAORE,hawa wa kwenu ni VIBARAKA FULL VIBARAKA

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 5 місяців тому +12

      Traore hawezi fanana na hao waoga kwanza walipoingia tu madarakani wakenda dhurula ulaya na marekani kwenda kuomba msahamaha na kujikosha

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 5 місяців тому

      @@nakalikyumile3234 Mwimbaji wa mziki Kalikawa. Wimbo kaza moyo ndugu. Aliimba kuwa. Mwl Nyerere, Nelson Mandela, Kwame nkuruma, Peter tosh na Haile Selas Mzimu Wao Ulitokea wapi?. Akiwa na maana kua hawa ni uzao wetu. Wanaweza tu, kama Imbraim. Pindi wakitambua kuwa heshima ya kiongozi sio kapanda gari ya bei gani, ila anawatumikia watu wake kiasi gani. Na Raia tuwaelezea viongozi wetu maisha halisi. Sio nyimbo na sifa za unafiki.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 5 місяців тому

      @@FahadAbubakari Hi sifa ya elimu ya kutuandaa kutumikia mataifa ni mtu aliyepata elimu kutojitambua hasa nini kinamstahili kama yeye. Mfano JPM hakwenda sana nje tukasema hajui Kingereza. Sasa mfuasi wake JPM anakwenda huko kufungua nchi sasa shida tena. Kwa sababu Elimu yetu ni ya kutawaliwa mpaka leo hatujitambui kwamba sisi TUMEJIFUNGA WENYEWE. Viongozi wetu hawa ni zao la kijamii hii yetu. Tusitegemee miujiza. Labda tupate tena viongozi wa kuelekeza na kufundisha kuondoa Tatizo la kufikiri Kinyume nyume. Askofu Bagonza yeye anasema miafaka ila ni ngumu kuwa na mtu anayewaza na kutenda kinyume.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 місяців тому +6

      Hawa ni wezi, wanauza nchi sio vibalaka. WEZI WANAUZA NCHI

    • @HeriDunia-i7m
      @HeriDunia-i7m 5 місяців тому +6

      traole ni kwa najeshi sio kibalaka wa serikali sisi tuna vibalaka live kuanzia jeshi adi viongozi

  • @jamesloshilunye414
    @jamesloshilunye414 5 місяців тому +48

    Inaumiza sana kuona nchi yenye amani viongozi ndio wanao ongoza kuwanyanyasa wanachi,ni aibu kubwa sana

    • @KolamuWabene
      @KolamuWabene 14 днів тому +1

      Huwa sikubali kwamba Tanzania kuna amani,afazali inchi yako hijulikane mna vita lakini raia wao wawe na uhuru wakusema,siyo TZ ukiwa muhongeaji sana unatekwa,amani gani hiyo

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 5 місяців тому +17

    Jamaa amefanana na yule Askofu mwanamapinduzi sura kasoro sauti tu misimamo ile ile👏👏✌️

    • @claudmjama777
      @claudmjama777 5 днів тому +1

      Ni kweli kabisa, au ni mdogo wake?

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 5 днів тому +1

      @claudmjama777 Aaaah hatujui mdau ila watu wawili wawili aisee😂😂😂😂

  • @NjombaNchumali
    @NjombaNchumali 5 місяців тому +14

    Nakukubali sana kaka ALLAH akujaarie maisha malefu

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 5 місяців тому +30

    Kijana Mzalendo,you speak very fair sentiments.Thank you.

    • @SteveFrank-y9f
      @SteveFrank-y9f 25 днів тому

      nimekuelewa mzee umeogea ukweli mtupu nimekuugamkono kwapwenti yakoñzuli safíkabisa mungu akubaliki

  • @johnnjiuka7510
    @johnnjiuka7510 2 дні тому +1

    Uko vzr mhojiwa

  • @FadhiliLigome
    @FadhiliLigome 2 дні тому +1

    Umenyooka mkuu,,ila Kwa hii nch ya Simba na yanga mmh,,hatuwez lolote!!😢😢

  • @isamony58
    @isamony58 5 місяців тому +16

    Nikweli kabisa majaliwa kabadilika sana toka afe magufuli 😢😢😢

    • @isayamsisika6255
      @isayamsisika6255 5 місяців тому +3

      Kuna wenye sauti mbele ya rais majaliwa tutamlaumu bure

    • @SelemaniMeena-oo3os
      @SelemaniMeena-oo3os 4 місяці тому +1

      Majaliwa tusimlaumu maana nye anahofia usalama wake

    • @PendoMarco-x3u
      @PendoMarco-x3u 2 дні тому

      ​@@SelemaniMeena-oo3ossiyo mzalendo wa nchi yake akiogopa

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 5 місяців тому +24

    Kijana mzalendo
    Asante kwa hoja nzuri
    Pia hapo kwenye Ramli chonganishi umesema kweli
    Serikali isimamie hilo swala
    Watu baadhi ambao wanajiita watumishi wanachonganisha jamii kabisa.
    Utasikia I profesai naona umerogwa, Ndungu wa mke au mme wako . waongo wakubwa hakuna chochote ni matapeli tu , mimi ni Mkristo lakini Yesu Kristo mwenyewe hakuna sehem alifanya hayo mambo au manabii na mitume wote
    Watu tusome Biblia takatifu vizuri tuielewe , Neno la Mungu ndiyo uhai wetu

    • @NjombaNchumali
      @NjombaNchumali 5 місяців тому +1

      Kama hauna la kizunguza ni bora ukanyamaza

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 5 місяців тому

      Umevurugwa na Imani yako tafuta ulipojikwaa.

    • @jovinmancomedytz
      @jovinmancomedytz 5 місяців тому

      We kuma nn unajielewa kweli ww msenge

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 5 місяців тому

      @@jovinmancomedytz wewe ni miongoni mwa watu wapumbavu, wapumbavu

    • @PolycapySilayo-g9w
      @PolycapySilayo-g9w 26 днів тому +1

      Baba upo poa ,ili usisahau watekaji MUNGU awe nawe, unasema kweli.

  • @ashirumpanda1691
    @ashirumpanda1691 5 днів тому +1

    Ukweli nikwamba,majaaliwa wa magufuli siyo majaaliwa wa samia,yule wa magufuli alikuwa wa Moto Kama magufuli mwenyewe,yaani ukishika huku kwa Moto ukigusa kule kwa Moto Mara 2,sijui imekuaje

  • @uwezotv
    @uwezotv 2 дні тому +1

    Ayubu kuhusu kodi hakuna nchi duniani inayo izidi marekani kwa kodi kubwa wananchi waishio hapa america wanaelewa ninachosema ukiwa huko nyumbani huwezi kuyaona haya ila tatizo watanzania hasa vijana ueajibikaji ni mdogo sana hasa masaa ya kuwa kazini wengi wanahitaji kupata pesa kwa kubeti ndio wafanikiwe hakuna maisha ya hivyo

    • @lumax_tz
      @lumax_tz 6 годин тому

      Wanalipa Kodi na maendeleo yanafanyika which is good.Hakuna anayekataa kulipa Kodi, lakini unalipa kodi hakuna inachofanya we unaona sawa

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 5 місяців тому +28

    Hii nchi shida ni kwamba wanaingia mikataba ya nchi kama vile wanaingia mikataba ya biashara zao binafsi na wanajali matumbo yao alafu mtu et anapigiwa makofi kaleta maji kama vile katoa hela mfukoni kwake ndugai aliongea ukwel akafukuzwa kama mmachinga kisa kasema kweli

    • @DelithaKanuma
      @DelithaKanuma 4 місяці тому +1

      Hatuna viongozi sis maana wao wanajiangalia wenyew bila kujua watu wa chini wanateseka San tushachoka uongozi wao sisi

    • @migando7950
      @migando7950 9 днів тому

      Kwani ndugai nae c ndio haohao

  • @HansChuma
    @HansChuma 5 місяців тому +15

    Rip Magufuli tanzania hakuna kitu yan 😂😂😂😂kazi tunayo dah!!!

  • @chantalnizigama5012
    @chantalnizigama5012 5 днів тому +1

    Unasema ukweli kabisa. 👍🏿👏🏿👏🏿👏🏿

  • @BravebouBravebou
    @BravebouBravebou 5 місяців тому +6

    Huyu mwanamke hafai kabisa hata kuwa mzazi

  • @AgiripinaNisiphory
    @AgiripinaNisiphory 3 дні тому +1

    Duh inatuumiza na hata tukibahatika kuwakataa viongozi kwenye sanduku la kura haiwezekani tuache tu ila kuna kipindi tutafanikiwa kufanya uchaguzi sisi kama sisi bila kuwekewa viongozi na mabeberu

  • @TimoPaulo-m3n
    @TimoPaulo-m3n 4 дні тому +1

    Naomba nambayako ya sm ninayo yafaraga chonde chonde kwaheshima nauchungu sana samahan hunijui nyie najua utayasemea nchi imejaa wizi pokea maombi yangu ninasili nzito sana

  • @CyprianBoniphace
    @CyprianBoniphace 6 днів тому +1

    Ni wakati wa vijana kuaminiwa kwamba wanaweza kuongoza,Traore mwenye miaka 35 rais,Wasira miaka 86 makamu mwenyekiti wa chama,hiyo ndio bongo.

  • @YonerManang-ie2qm
    @YonerManang-ie2qm 7 днів тому +1

    Una maono kama yangu 🎉🎉ubarikiwe baba, tanzania hatuna kiongoz!

  • @OleSumaay
    @OleSumaay 5 місяців тому +3

    Hongera sana ndugu, inchi yetu imeangamia tafadhali tusimame wote kwa pamoja

  • @MusaJuma-y6s
    @MusaJuma-y6s 24 дні тому +1

    Safi sana huyo ndio rais africa

  • @SerageSaide
    @SerageSaide 6 днів тому +1

    Bom dia 🇲🇿🇲🇿🇲🇿😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @brysonmbise
    @brysonmbise 8 днів тому +3

    Ingefaa treule angewaonyesha namna yakupanga mali atustaili kupewa misahada atakidogo tanzania ndonchi ile mungu aliseama niya asli na maziwa ila atuna usimamizi unaojali watanzania wanyonge wanajilimbikizia mali utazani siku yamwisho wataondoka nazo tujijali wate watanzania niwazalendo kweli kweli

  • @thrivehappy9610
    @thrivehappy9610 6 днів тому +1

    Sizani kama viongozi wengi wa African wana wanazamira njema na raiya wao! Nilichoona Mimi 1 wanaongoza Kwa kuwatii marecani ama warungu!
    2 wanajuwa wazi kuwa wanauwezo wa kufanya mengi yasiyo faa na hakuna wa kuwaazibu wakiwa wanalinda na Hawa jamaa!

  • @RajabuSadi-ij6ou
    @RajabuSadi-ij6ou 6 днів тому +1

    Kaka Serikali ya Tanzania waoga waliobaki Yan Magufuli angekuwepo wa kaungana na Traore Africa Ingekubali Hawa ndio viongozi wenye uchungu na BARA LA AFRICA TRAORE LOVE YOU SO MUCH ❤❤

    • @MwingeReza-c6d
      @MwingeReza-c6d 6 днів тому

      Muoga wewe sio sisi usituambukize woga wako

    • @WilliamWitalya
      @WilliamWitalya 5 днів тому +1

      Traole ww ni mwamba kama magufuri

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 5 днів тому +1

    Majaliwa kwiiiiisha 😮😮😮😮 yupo kama hayupo yanii

  • @Saidesaideinacio
    @Saidesaideinacio 7 днів тому +1

    Shiiiiii watakuteka Hawa hawana huruma😢😢😢😢

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 5 місяців тому +12

    Kwa samia sahauni uyo bibi ni kukiona Tanzania mbaya sana hana hata imani nyie msikilizeni ana kejeli mbaya huyu akiwa raisi 25 inshalah nahama tz nabadilisha uraia naenda Kenya

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 5 місяців тому

      Wewe unakili KUBWA SANA!!!

    • @BoniphasLukas-c3c
      @BoniphasLukas-c3c 5 місяців тому +3

      ​@@FrankMwakatundu-cu6bdupo sahihi kabisa mama hatufai kabisa akalee wajukuu zake nyumban hii nchi inataka kiongoz mwanaume jasil sio m,bibi huyu 25 akipewa tena tumekwisha habar yetu

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 5 місяців тому

      ​@@BoniphasLukas-c3cNa ndiye yeye yeye.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 місяців тому +3

      Mjiandae kuondoka tu maana CCM haijawahi kushinda wao wanalazimisha hata Kwa kuiba 😂

    • @faustinebahenobi3412
      @faustinebahenobi3412 5 місяців тому

      Nishida uyu mama afai kwanza hatukumchagua

  • @hassanmitayo1875
    @hassanmitayo1875 26 днів тому +1

    Lupita siasa huwezi kupata kiongozi bora, utapata watawala, wana siasa mizengwe sana, Traore hakupatikana kupitia kwenye siasa

  • @juliussulana5343
    @juliussulana5343 5 місяців тому +7

    Brother big up waelimishe pia watanzania wajue kua wamasai pia ni watu na wastihili haki kama watanzania wengine

  • @ClemenceVenance
    @ClemenceVenance 5 місяців тому +1

    Viingozi wa nchi zetu za Africa wanapaswa kuiga mfano wa kijana huyu mzalendo wa kweli wa bukinabe 👊 for Ibrahim triore the president of united state of Africa

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 5 місяців тому +6

    Jamaa kichwa sana

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 місяців тому +11

    Usimlaumu sanaaaa Majaliwa siyo yeye humo ndani kuna Makundi 3 Wajumbe ndiyo Ndumila kuwili ambao ndiyo wanafiki na wenye msimamo

  • @SamwelMwageni-z9x
    @SamwelMwageni-z9x 5 днів тому +1

    Mmmhhh hii uzalendoo 😢

  • @AgiripinaNisiphory
    @AgiripinaNisiphory 3 дні тому

    Hamna jinsi wanasiasa huwa wanaendana na upepo ogopa sana misoto tutakayoipitia mpaka kumpaka kiongozi ambaye hatakuwa remote ya wazungu inaumiza sana maisha yetu😢😢😢😢😢😢

  • @michaelngoda5933
    @michaelngoda5933 5 місяців тому +6

    Unaakilikubwa sna mtanzania mwenzangu pazasauti labda wakuu wetu wataelewa

  • @georgedamas7097
    @georgedamas7097 5 місяців тому +5

    Safi sana ngosha...ingawa unakandamija lkn tumekuelewa.

  • @adsoncharles7335
    @adsoncharles7335 Місяць тому +1

    Hadhina ya Tanzania❤❤

  • @RahmaIsambo-t2h
    @RahmaIsambo-t2h 24 дні тому +1

    Aaaah kijana mzalendo na kukubali sanaaah

  • @barakanyanchama4297
    @barakanyanchama4297 4 місяці тому +5

    Wanajali maisha yao wenyewe hao wengine wanakanyagwa kama nyoka wambie ukweli nawenyew siku ipo watakufa

    • @AbdulAbdulrahman-u7n
      @AbdulAbdulrahman-u7n 26 днів тому

      Miziki watched kununua kila mwaka magari tena ya bei kubwa kwa gari la millioni kumi tano hayafai kuendea saiti

  • @HaznaAbdallah
    @HaznaAbdallah 6 днів тому +1

    Tumuombee huyu kijana mungu amlinde zaidi asipatwe na chochote

  • @peterjulius4737
    @peterjulius4737 7 днів тому +2

    Nikiona maendeleo ya traole nalia kweli kweli namkumbuka mkusukuma mwezagu ambaye nchi ya Tanzania saiz tugekuwa mia kwa mia ,toa maoni yako hapa nione tunafanyeje ili tuwe kama nchi ya bukinafo kwa traole

  • @rashidmalilo3657
    @rashidmalilo3657 5 місяців тому +4

    Mwamba uko sawa kabisa viongozi wengi wasariti mwamba alikua magufuli tu

  • @marcomayunga388
    @marcomayunga388 День тому

    Ee MUNGU tunaomba kiogozi kutoka kwako mwenye hekima anayejali masilahi ya watanzania kama ni Hawa hawa wasioelewa na wanyanyasaji watatuangamiza jmn 😢😢😢😢

  • @meekman1805
    @meekman1805 4 місяці тому +2

    Jamaa anastahiki pongezu. Viongozi wenye ufahamu tunaomba waskilize na wafanyie kazi maneno kama hayo.

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 5 місяців тому +1

    Maneno ya kweli kabisa 💯

  • @ayoubomary9336
    @ayoubomary9336 28 днів тому +2

    Bravo viva viva

  • @abdallahkiliaki3744
    @abdallahkiliaki3744 26 днів тому +1

    Sikujui, ndiyo mara ya kwanza nakusikiliza. Nimefurahishwa na msimamo wako. Ni sawa na ule wa Lee Kuan Yew wa Singapore, Mahathir Mohamad wa Malaysia na Park Chung-hee wa Korea Kusini. Hapa nyumbani, ni msimamo wa Mwl Nyerere na Mkemia Magufuli.
    Nakuombea kw Mungu upate uongozi (wa ngazi yoyote) ktk nchi hii ili Tz isonge mbele. Ameen, Ameen!

    • @Joppa555
      @Joppa555 24 дні тому

      Safi,kwa hapa nyumbani umemsahau lissu😂😂😂

  • @DicksonIgnas
    @DicksonIgnas 18 днів тому +3

    Mbaka leo kiongozi anasimama jukwani nasela nitaleta umeme nitaleta mji nitajenga balabala tumechoshwa naizo sela miaka stini bado tunasela hizo hizo 😂😂😂😂😂😂

  • @polokotomwalusamba1132
    @polokotomwalusamba1132 5 місяців тому +1

    Brother namuelewa sana

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 5 місяців тому +2

    Sawa kabisa mzalendo uko vzr sana..kinachoendelea kule ngolo ngolo sio uhungwana kwakwel

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 5 місяців тому +1

    Kuongoza inch ni kaz sana kama upo siliaz sijui kama watu wangefika mda wa kustaafu maana mataifa ya magharib wanatupangia sana Jins ya kuish😭😭😭

  • @SamwelEdward-on7if
    @SamwelEdward-on7if 5 місяців тому +1

    Hongera kijana mzalendo Mungu akutunze

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 місяців тому +20

    Usimlaumu sana MajaliwA yeye na huyo mama wala hawaelewane ni basi tu anaomba musa wake uishe tu hakuna Waziri mzuri kama huyo Majaliwa alistahili awe Rais mama hamna kitu kabisa anarimotiwa

    • @rithaurassa
      @rithaurassa 5 місяців тому +2

      Majaliwa ana hofu kidogo ya Mungu.Ila NYUMA ya pazia Kuna kitu.Kilio cha WENGI ni JIBU tosha. Unaweza .

    • @abdallahkaskas6168
      @abdallahkaskas6168 5 місяців тому +2

      Angejiuzulu tungekubaliana na maneno yako

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 5 місяців тому +5

      u are very smart and intelligent,wanao murimoti samia kwanza ni kikwete mzee mbaya sana na watoto zake wauza unga!

    • @DaudFataki
      @DaudFataki 5 місяців тому

      Huyondo anatuharibia nchi
      Wemuangalie kindan kazikubwa kuwaunga vijana madinyao yakishenz tu kwatamaa zanjaazao ilamungu nikilakitui​@@JeanMuzaliwa-bs6qh

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 місяців тому +1

      ​@@JeanMuzaliwa-bs6qhna yeye kashakuwa muumini, labda alionjeshwa sasa kanogewa, huko Ngorongoro ni yeye na hao waarabu, alianza Kikwete alivyokuja Magufuli akawabasa, sasa mama na Kikwete partners yaliyobakia yanafurahisha 😂😂😂😂😂😅

  • @SiwemaSalum-d6x
    @SiwemaSalum-d6x 22 дні тому +2

    Mabeberu ndo wamemundoa magufuri ili watunyanyase,, na,majariwa wa magufuri sio wa sasa kaingia kwenye mfumo wa watu,, watu wanakufa mahospital hawana dawa huku wachezaji wanapewa pesa za bure ila hii nchi,, hapana aseeh,, yaani aliye nacho ndo anaongezewa,😢😢😢😢

    • @WilliamWitalya
      @WilliamWitalya 5 днів тому

      Aisee vijana hawana ajira pesa zinapigwa na watu wachache hakuna hata ufuatiliaji wananufaika watu wa chache

  • @pascalmbilinyi4240
    @pascalmbilinyi4240 10 днів тому +1

    Akili kubwa sana mwenye akili lazima atambue ila ukiwa zezeta huwezi jua anachomanisha

  • @NehemiaZakeo
    @NehemiaZakeo 2 дні тому

    tatizo ndugu zanguni tamaa ndo inayo wa ponza viongozi sasa tuna fika hadi sasa tuna jitharirisha kwa kitu kidogo moyo wenye upendo na watu na watu hulidhika kwa sababu ya utendaji wake kwa sababu utaya jua maisha ya raia kila kunako kucha na kuwatetea lakini kiongozi asipo kuwa na moyo wake' mnyofu sikuzote atakuwa tu akiangusha nchi kwa kuvuliga mipango ya raia wake

  • @YusuphIddy-h2d
    @YusuphIddy-h2d 16 днів тому +1

    Huwezi kujifanya mzalendo kwenyenchi yawatu waoga we utapambana kwajiliyao ila likikukutawewe wao wapokimya so sioni uzalendo kidole kimoja hakivunji chawa

  • @seifkassim5872
    @seifkassim5872 5 місяців тому +4

    Majaliwa kapoteza sana imani kwa watanzania.ahaminiki tena kwenye uhongozi

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 5 місяців тому

      Karudi kwa Mungu, ametubia dhambi zake, enzi za mwendazake alikua naye mtiifu kwa boss wake juu ya dhambi walizokua wakisaidiana. Huo uchaguzi uliomuweka nafasi hiyo mgombea mwenziwe alipigwa na kuumizwa, kiongozi wa aina gani hiyo kwa Mungu awe mtakatifu.

  • @DanielSamson-z4o
    @DanielSamson-z4o 9 днів тому +2

    Kaka watu wengi ni bendela fata upepo unataka Majariwa awe wa Magufuri kiote nyasi😅

  • @fadhilimoshi5754
    @fadhilimoshi5754 5 місяців тому +3

    Ongea baba huyo ndo mzalendo wa kweli nasi tuombe Mungu tupate kiongozi wa kijeshi awafilisi hawa wahuni tupate maendeleo

  • @mussathomasdossa4687
    @mussathomasdossa4687 9 днів тому

    Uko sahihi sana ira Mimi nashitaki kwa mungu kwa kuonekana watumwa katika nchiyetu mungu atatujibu maombiyetu

  • @PauloLala-h4k
    @PauloLala-h4k 9 днів тому +1

    Yuko vizuri

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa 10 днів тому +1

    Kweli we mzalendo

  • @ShaidaAfati
    @ShaidaAfati 5 місяців тому +1

    Huyo mama anajijali yeye na familia yake njoni mpaone kizimkazi alivyo pajenga ana Kijiji chake kina magorofa tupu Wana nchi tunalia njaaa😢😢😢😢

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 5 місяців тому +7

    KIJANA MZURI WA FIKIRA

  • @JumanneIgonga-f3k
    @JumanneIgonga-f3k 7 днів тому +1

    Upo sawa kaka

  • @VictorNphilip
    @VictorNphilip 27 днів тому +1

    Wakujengee sanamu niwacha wakusema ukweri nchiya Amani reo muurize Masai muurize mkuu wa bandari mungu pekee

  • @FrankMollel-c4m
    @FrankMollel-c4m 4 місяці тому +1

    ❤ my tanzania nnchi iliyobarikiwa na mungu

  • @Jedasaid
    @Jedasaid 6 днів тому

    Mwenyezi munguu ufanye huu umaaaa uwe na amani na utuondoleee wanafiqi africa

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 5 місяців тому +2

    MAPINDUZI YA KIFIKRA. WELL SAID MWANAMAPINDUZI

  • @GraceAbraham-l9h
    @GraceAbraham-l9h 7 днів тому +1

    Kuna tofauti ya siasa na uongozi sifa ya kiongozi kubwa ni uzalendo,haki na upendo na kubwa kuliko yote ni upendo ukiwapenda na unaowaongoza na nchi yako utakuwa mzalendo na utataka haki ndo itawale wasiumizwe waendelee wanaachi na nchi yako lkn siasa mmmmh hata sijui ndo hizi pooli 😂😂😂wanazocheza kutamani ushindi binafsi

  • @YusufuAthumani-q6c
    @YusufuAthumani-q6c 14 днів тому +1

    hii inanishangaza SANA wanapokuja kuomba rizaa ya kiongozi nchi wanakua NA maneno mengi mipango mingi tukiwapa rizaa wanasaau YOTE Yale walioaidi kwetu

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 5 місяців тому +4

    Uko sahihi kweli

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 5 місяців тому +1

    Iko siku Mungu atawanganiza viongozi wote wezi na mafisadi na wale wanaowasujudia watu maana wamelaaniwa

  • @IsayaMapolu-e6b
    @IsayaMapolu-e6b 5 днів тому +1

    Njaa

  • @AwamiIssa-k6e
    @AwamiIssa-k6e 5 місяців тому +2

    Tátizo viongozi wetu wa África wanapenda sana misaada kuliko kufanya kazi

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 5 місяців тому +1

    Kucheza puli....🤣🤣🤣...kaka umeongea...wanatufanya ma ndi ndi ndi ...!

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb 5 місяців тому +1

    Asante sana vijana tunapaswa kuchukua hatua inch etu inachezewa mnoo nahawa wamavi mavi tusimame vijana mana hawana uruma na sisi wavyonge vitengo wanapeana ukoo kwa ukooo jamani tuamke

  • @simonphabiano9050
    @simonphabiano9050 5 місяців тому +1

    Safi sana❤❤❤

  • @JosephatBahakaso-yn9hg
    @JosephatBahakaso-yn9hg 5 місяців тому +1

    Aminaaaaaaa

  • @SwaleheLiyoba
    @SwaleheLiyoba 7 днів тому

    Nakuelewa sana kaka tanzani Bado sana nduguyangu viyongozi wako kwaajili ya family zao tu

  • @NjotaMichael
    @NjotaMichael 2 місяці тому +1

    Safi sana.pamoja

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 5 місяців тому +2

    Daaah uko vzr kaka mkubwa

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 5 місяців тому +4

    Asante mzalendo

  • @Bosswellcarlos
    @Bosswellcarlos 20 днів тому +1

    Brother ubarikiwe unasema ukweli haswaa but iko siku mapinduzi ya ukweli yatafika

  • @SaidZablon
    @SaidZablon 5 місяців тому +1

    Safi kaka😮

  • @dieudonnekayobera933
    @dieudonnekayobera933 5 місяців тому +1

    From BURUNDI: Kama Africa Nzima inadaiwa Hela.nyingi nawa Zungu Ma TRILION....... Wakulipa ni Raia . Kazi ya Siasa niya Wizi na uwongo ila inapana HESHIMA .

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 5 місяців тому +5

    Elimu yetu, imepindwa na walio tutawala. Hivyo tunafikiri kinyume. Viongozi hawaoni kwa sababu elimu yetu inazalisha kizazi kinachofikiria kinyume.

  • @ndaimtambo8845
    @ndaimtambo8845 5 місяців тому +3

    👊🏿👊🏿

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 5 місяців тому +3

    Kijana Mzalendo😂😂😂😂.Anaongea mambo makubwa na mazuri ila ana imani na CCM😂😂😂😂😂😂

  • @samwelshepa8443
    @samwelshepa8443 5 місяців тому +8

    Huyu jamaa amesahau kwamba haturuhusiwi kuwa na maendeleo bali nchi omba omba, misaada na mikopo. Ninachojua ukianzisha harakati za Magufuli kuleta maendeleo utagusa wasioguswa maana wao ndio wenye hii nchi pia utakatazwa kwenda Marekani na utashitakiwa Kwa uvunjifu wa haki za binadamu. kilichopo achana na watanzania maana tayari walishahukumiwa na wakaridhika.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 місяців тому +1

      Na mwisho wakuue kama walivyofanya Kwa Magu

    • @clememallya4257
      @clememallya4257 5 місяців тому +1

      Tusiogpe Tz tutetee nchi yetu ht Magu km amekufa kwa ajili ya nvhi yake, ila damu yake imeamsha Watz wengi wanaopambania haki zao. Mungu ibariki TZ

  • @storytownTv
    @storytownTv 5 місяців тому +13

    Ila hii inch 😢.. content za maana kabx zinapostiwa na midia changa, midia kubwa kama Millard ayo na wasafi kaz yao n kutupostia umbea,skendo na machawa(mwijak na baba levo)

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 місяців тому

      Machawa WA CCM hao na wanaogopa kufungiwa au kupewa figisu

    • @thadeombani7869
      @thadeombani7869 4 місяці тому

      Kweli kabisa

  • @NungulaRais
    @NungulaRais 5 місяців тому +1

    Asante sana kaka

  • @EdisoniEdisonijoseph
    @EdisoniEdisonijoseph 5 місяців тому +1

    Nimekuelewa sana

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 5 місяців тому +1

    Tz MGENI anathamani kuliko mzawa mbona hiyo inajionesha sehemu nyingi 😢😢😢

  • @DaudLucas-qj3mp
    @DaudLucas-qj3mp 5 місяців тому +7

    Majaliwa asilaumiwe majaliwa nimtu nanusu Tena nimtu mwenye akili nyingi saana sisi wenye akili wenzie tumetulia tuliii