MWAMBA HUYU HAPA APIGA GOTI | MREMBO ASHINDWA KUKATAA | MUUZA CD KAONDOKA NA MALI (MR RIGHT S6E02)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @SalmaLaizer
    @SalmaLaizer Місяць тому +12

    Gara b unaakili nyingi sana
    Kwanza unajua unachokifanya shule inasaidia sana❤❤ hongera unajua sana kwenda na,mazingira

  • @BenjaminDida
    @BenjaminDida 13 днів тому +7

    Dr kumbuka unatuua na vicheko huku daaah😂😂😂😂😂

  • @makailabdirahman
    @makailabdirahman Місяць тому +5

    Ok big fan from Somalia love this channel

  • @ZulfatRamadhani
    @ZulfatRamadhani Місяць тому +14

    Hongera kumbuk umeongea neno la maana sana

  • @ahazijoseph7576
    @ahazijoseph7576 Місяць тому +32

    Waendesha kipindi mnazingua sana, mpo kwa ajili ya kukosoa au kufanya watu wapate wenza wao? Jifunzeni kwa mataifa makubwa, hao ni binadamu na wanahisia,, mnazalilisha watu sana. Mnaboa wala sio sifa...

    • @msangiridhiwan1969
      @msangiridhiwan1969 25 днів тому

      @@ahazijoseph7576 Umesema nilichokuwa nakiwaza

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j 13 днів тому

      Mnadhalilisha kwakweli kutongoza ni kutokana na uwezo wamtu hatutongozi hadharani

  • @EmpireMoviesNseries
    @EmpireMoviesNseries Місяць тому +8

    sawa lakin wakaka ni lini tumenza kutembea na mikoba🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AmiryShayo
    @AmiryShayo 22 дні тому +4

    Hila mba apa kafeli chakumshauli yule dada alo muashia taaa anamapenzi ya kweli😢😢😢

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 Місяць тому +26

    Mi Dr. Kumbuka humu ananichekesha tu 😂😂😂😂 comedian hatar 😂

  • @justineangola7704
    @justineangola7704 29 днів тому +3

    Kazi safi from Kenya 😢siku MOJA naomba nije

  • @JeniAlex-e4v
    @JeniAlex-e4v 3 дні тому

    Show nzur sana 👍👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @fatumashehe361
    @fatumashehe361 Місяць тому +10

    Mume wangu nianza nse maishha tulikuwa tuna lala njini mpaka sasa mungu ametubariki

  • @felionderi
    @felionderi Місяць тому +2

    Enjoying frm Nairobi 🇰🇪 luvly show wish to be their

  • @prospermassay4519
    @prospermassay4519 Місяць тому +17

    Huyo mama jack n mkhaaaaaaali knm ❤ ntakuja apo Mr right kwaajili yake

  • @happynesssamwel4249
    @happynesssamwel4249 Місяць тому +54

    Alafu huyu me right ndoyule alipeleka keki ya screen shot kwenye challenge za kiredio😂😂😂😂

  • @godiasjohn2915
    @godiasjohn2915 Місяць тому +5

    kumbuka ana haribu show...ebu apumzike kidogo

  • @GodfreyMwendawila-ff7on
    @GodfreyMwendawila-ff7on 29 днів тому +2

    Ndo utajua nwanaume ni kiumbe bora sana mbele za Mungu angalia hao shetani walivo vaa na wanaume walivo vaa wanamuakilisha Mungu wa kweli

  • @abdyribe3002
    @abdyribe3002 День тому

    Kumbuka unahalbu Sana kipindi ujuaji mwingi na kingne mwenyez mungu amekupa bac ucmzalau anaejitfta na kingne watu wanatamn watto lakn ni majaliwa yake Allah kaka

  • @WhiteWolvesEntertainment
    @WhiteWolvesEntertainment 27 днів тому +4

    Hivyo wanavyokosoa ndo wanafnya kipind kiwe so creativ and entertain,humu ukiach na kufurahia show kuna vingi vya kujifunza,maisha hasa ya waafrika hayaitaji usirias ili kufikish jambo lenye maana lazima utani kam huo uhusike,Dk kumbuka umekiweza kipindi,hii imekaa poa,ukioata bahati ya kuona comment yangu bas nakupa big up familiaa✌️

    • @FayzaSultan
      @FayzaSultan 2 дні тому

      @@WhiteWolvesEntertainment NA mm napenda kweli utani wa Dr.kumbuka analgesia kipindi na anachangamsha

  • @colmanuiso545
    @colmanuiso545 Місяць тому +11

    Badilisheni wahusika wakuu , we need new challenges and revolutionary 🙏. Mfano Gala B na Allya

    • @halidhemed7524
      @halidhemed7524 Місяць тому

      Ushasema wakuu.....

    • @msangiridhiwan1969
      @msangiridhiwan1969 25 днів тому

      Mtu anaeingiza laki kwa wiki huyu anakipato kikubwa sana, wengi wanataka kusikia mtu akisema laki Tano kwa Mwezi bila kujua huyu wa laki kwa wiki anaweza kuongeza zaidi ya hapo.

  • @mbakytv2643
    @mbakytv2643 26 днів тому +2

    Taani wallah mungu awasamehe sana naona mnawekeza pesa nyingi kwenye mambo ya kishenzi kabisa yaani

  • @SheilaIndusa
    @SheilaIndusa Місяць тому +2

    😂😂😂😂😂 nimecheka yangu yote kwenye hii show

  • @ngabirejean5399
    @ngabirejean5399 Місяць тому +5

    Uwe na nyumba magari awuna mtoto
    Ni Bule nikama vile uingiye flimason kutafuta pesa afu wakwambiye utowe family yako jeee izo mali utazikula nawakina nani uyu dada mwenye mtoto usiseme eti nibahati mbaya mbona hukumutowa iyo mimba ukaacha ukaza kwaiyo shukuru Mungu
    Kwa sababu wengi kama wewe awana watoto nawanatamani wakuwe nawo I love u

    • @elvisoscar9912
      @elvisoscar9912 Місяць тому

      Kila mtu anaishi kwa mipango yake mwingine ataki mtoto mapema

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 25 днів тому +3

    Eti ukumbuke kuna cd library😂😂😂

  • @rosefredy5398
    @rosefredy5398 25 днів тому +3

    Wanashushua jamani unawez kukumbia😂😂

  • @EdcaYegon
    @EdcaYegon Місяць тому +12

    Nyie wshenxi xna kma mdada alixaa akiwa na miaka 16 kwni c tyari ni mzazi bby keep on going mch love frm kenya.

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t Місяць тому +2

    Nawapenda madijey ❤wote 🎉

  • @ombenijailos3149
    @ombenijailos3149 29 днів тому +20

    HUU NI MPANGO WA SHETANI ILI WATU WASIMKUMBUKE MUNGU KABISA (YESU ANARUDI JAMANI)geukeni mwaminini YESU

    • @Mzalendo-n8q
      @Mzalendo-n8q 23 дні тому

      So unamaanisha watu wasioe Wala wasiolewe ama n nini mbaya zaidi

    • @ombenijailos3149
      @ombenijailos3149 23 дні тому

      @Mzalendo-n8q fedha..nyumba...gari...mtu hurithi kutoka kwa babaye lkn MKE MWEMA HUTOKA KWA MUNGU

    • @Mzalendo-n8q
      @Mzalendo-n8q 23 дні тому

      @@ombenijailos3149 sawa endelea kukaa usubiri Mungi akuletee mke kwa nyumba akwambie oa huyu

    • @willenmtafungwa1920
      @willenmtafungwa1920 4 дні тому

      Shetani ndo nin!?😅

  • @alphoncelaurent9454
    @alphoncelaurent9454 Місяць тому +24

    Huyu jamaa alifumania na yey akaenda kufumaniwa dah huyo dada kajichanganya kabisha bado anasafali😂😂😂😂

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 Місяць тому

      😂😂😂😂😂

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy Місяць тому +1

      Acha roho mbaya kwaio wew inakuhus nn sas

    • @simonkanuya1488
      @simonkanuya1488 22 дні тому

      @@alphoncelaurent9454 kumbe unamkumbuka, kiredio alituonyesha tabia ya huyu jamaa

    • @DarinaDarina-xp2od
      @DarinaDarina-xp2od 16 днів тому +1

      Duuuuh kiredio utaitwa kwenda kufumania tena mda sio mrefu😅😅😅

  • @DotoFulgence
    @DotoFulgence Місяць тому +1

    Wao kumbe mr right waukae pamoja na kumbuka

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 Місяць тому +2

    Sasa ,aliya na Dr. Kumbuka, have mercy 🥺 on Mr right 🇬🇧

  • @IRENEKOMANYA
    @IRENEKOMANYA Місяць тому +8

    Hlf huyu jamaa aliwah k7fumaniwa na kiredio😅😅😅😅😅😅

    • @allymtunge5530
      @allymtunge5530 Місяць тому

      Kumbe umemjua kama mm tena malambili

    • @dizzboss7526
      @dizzboss7526 Місяць тому

      af kweli nilikuwa najiuliza nilimuona wapi?😂😂😂

    • @neemakomba6481
      @neemakomba6481 Місяць тому

      @@IRENEKOMANYA ndo yeye kabisaaaa 🤣🤣🤣

    • @MauaRamadhani-e3t
      @MauaRamadhani-e3t Місяць тому

      Ndo yey uyo ten uko anaitwa maiko na nywele zak ivy ivy

  • @GgjTfg
    @GgjTfg 5 днів тому +1

    Nilisema sikusema🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ESTHERENDLES-db1zw
    @ESTHERENDLES-db1zw Місяць тому +7

    mr kumbuka unasababisha mr right wakose warembo jmn

  • @rahmaramadhan2846
    @rahmaramadhan2846 Місяць тому +4

    Hahahahah ila kumbukaaaa😂😂

    • @SultaniDitopile
      @SultaniDitopile Місяць тому

      @@rahmaramadhan2846 lkn kweli kumbuka kaja kuchekesha watu tu🤣🤣🤣🤣🤣

  • @48kingfahadem63
    @48kingfahadem63 Місяць тому +1

    Nakubali mwanagu nitakuja kumsalimiya shemeji ❤🎉

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 24 дні тому +1

    Huyo jamaa sijui anaitwa kumbuka hatari 😂😂😂anajua kuchamba

  • @Tashmaorg
    @Tashmaorg Місяць тому +2

    Kibogwa kwetu kabis kulongila chon😂😂😂😂😂 mkude huy nn

  • @Ayshapafyum
    @Ayshapafyum 12 днів тому

    Jaman kumbukaaaa😂😂😂😂❤

  • @mercychepteekilovethismovi912
    @mercychepteekilovethismovi912 Місяць тому +2

    Huyu❤mrembo ako sawa🎉

  • @deboranicoraus4866
    @deboranicoraus4866 Місяць тому +5

    Julian ana kiherehere aibu naon mm😂😂😂

  • @Emanuellupoja44
    @Emanuellupoja44 7 днів тому

    Huyo dada hapo kulia karibu na mlango anakili sana ya kufikili sana atakayempata bilashaka atafanikiwa katika maisha

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 Місяць тому +2

    😂😂😂😂😂😂kumbuka bana

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu Місяць тому +4

    Wanaume wamevaa vizuri sana, wanawake hawajavaa vyema, inamaa wanawake wanatumiwa kibiashara?

  • @GadssonLutaha
    @GadssonLutaha 13 днів тому

    GaraB mstaarabu sana mungu akustawishe zaid

  • @AngelMbaga
    @AngelMbaga 10 днів тому

    Mr. Right hii imejua kunichekesha kweli😂😂
    Dr. Kumbuka😅😅😅😅😅

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 Місяць тому +1

    TRISSY nitakuja kwa ajili yako mama mana nimesikia unalima mpunga uko moro na una million 10 nitajua tuanzie maisha apo tuzae watoto

  • @Brownvoice584
    @Brownvoice584 Місяць тому +3

    Nimependa sana

  • @kanezabella6158
    @kanezabella6158 Місяць тому +3

    😂😂😂😂dr kumbuka na garab nawapenda sana mnachangamsha kipindi 😂😂😂❤

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 21 день тому +1

    Maziwa Yameanguka Hayo Umeyaona..

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s Місяць тому +8

    Lakin garab anaongea smart sana

  • @hermenstarimo1792
    @hermenstarimo1792 Місяць тому +2

    Doctor Kumbuka😂😂😂😂

  • @jacksonkipleting
    @jacksonkipleting 28 днів тому

    Mdogowangu hongela sana mluguru mwenzangu ila hapo kwa mistali babu umeniangusha yani bado sana mzee

  • @elibarikimsaki3927
    @elibarikimsaki3927 Місяць тому +7

    Huyu Zay jmn ni msichana poa sana, muwe mnatoa namba zao pia kwa sisi tuliopo mkoani

  • @SaraMathayo-in3jb
    @SaraMathayo-in3jb Місяць тому +1

    Nimempenda san juliana😅😅😅😂😂😂😂

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada Місяць тому +3

    Eti kipato tatizo huyo tris anaingiza sh, ngapi Kwa siku 😂😂😂 ila madaz mnajishaua xana matumbo yamewajaa gesi kapumulieni kule swain

  • @jissantz
    @jissantz Місяць тому +4

    Dah Juma lokole anazingua analeta ukike

  • @deboranicoraus4866
    @deboranicoraus4866 Місяць тому +8

    Huyu si alimuita kiredio wakafumanie na yy akaend kufumaniwa😂😂😂

  • @FadhilWhite
    @FadhilWhite 18 днів тому

    Ila Mrs right huyu hakuna mwanamke hapa kwakweli 😂😂😂😂😂

  • @AliSumail1-b9v
    @AliSumail1-b9v 14 днів тому

    Mungu tujalie

  • @EsterLipamba
    @EsterLipamba 26 днів тому

    Yaan Doctor kumbuka ananichekesha 😂😂😂😂😂

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 Місяць тому +5

    Hy maiko wakiredio

  • @KhadijaLiJinga
    @KhadijaLiJinga 8 днів тому

    Wadada wenzangu acheni kurahisisha tumieni jitunzeni Allah itawaletea stara

  • @NestoryCharles-l7r
    @NestoryCharles-l7r Місяць тому +1

    Jamn nauliza naangalizia wapi hii show mana yotube haipo naitaj kuwanaangalia fullvideo jamn ukiacha kwenye decoder yao jamn

  • @KostaAgnasi
    @KostaAgnasi Місяць тому

    Umejua kuchagua mruguru mwenzangu👏👏

  • @josephkigembe-ec4pq
    @josephkigembe-ec4pq Місяць тому +2

    Leo ndo nimejua hiki ni kipindi kama vipindi vingine na usikute ma Mr. & Mrs. Right wanakuwa wamepangwa……. Itabidi na mm niende ndo nijue km ni kweli 😂😂😂😂

    • @SelinaChristopher-h7b
      @SelinaChristopher-h7b Місяць тому

      @@josephkigembe-ec4pq Uwahi Uje Utupe Majibu vizuri Kama Ji kweli

    • @FranzyJerry
      @FranzyJerry 29 днів тому

      @@SelinaChristopher-h7b 😁😁😁

  • @florencejames-jo1cz
    @florencejames-jo1cz Місяць тому +8

    Dr Kumbuka msenge anapigo za kishoga shoga kama demu 😂😂😂😂😂

  • @ZaiJohn-s5k
    @ZaiJohn-s5k День тому

    Nimegundua hapo hakuna ndoa ila wanaenda kulizishana katka mapenz 😅😅😅

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 Місяць тому

    Nawapenda wote 😊

  • @agnesngalanda113
    @agnesngalanda113 19 днів тому

    Sema wanaendana

  • @SHUKURUMTAMBALA
    @SHUKURUMTAMBALA 23 дні тому

    That good

  • @Mariam-c6b3o
    @Mariam-c6b3o Місяць тому +2

    Uyo juliana ana mimba uyo

  • @hawababy120
    @hawababy120 29 днів тому +2

    Kumbuka bhana😂😂😂😂

  • @mwatummselem2411
    @mwatummselem2411 Місяць тому +1

    Mungu alete heri amen

  • @shazmashazma-u3l
    @shazmashazma-u3l Місяць тому +1

    😂😂😂😂kumbuka😂😂😂

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 Місяць тому +20

    Ila Kumbuka mm namkubali sio mnafiki amemwambia ukweli huyo jamaa ni bora aangalie maisha zaidi na kazi yake ajijenge zaidi kuliko kwenda kujichoresha hapo

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 Місяць тому +2

      Kumbuka namkubali anasema ukweli mm sipendi mtu ambaye anadanganya

  • @LuciaMsabila
    @LuciaMsabila Місяць тому +1

    😂😂Juliana umenifurahishaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @bensonjonas1437
    @bensonjonas1437 Місяць тому +1

    Demu mapepe balaa😂😂😂😂😂😂

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 23 дні тому

    Kumbuka na Aliya punguzenu kutudharaulia MR RIGHT SIYO VIZURI JAMAN MNAWAKATISHA TAMAA😒😒😒👌

  • @tunuyaomar5017
    @tunuyaomar5017 24 дні тому

    Huyu juliana kweli kiherehere anavyohangaika na hilo penzi lake😂😂😂

  • @SimphoMigo
    @SimphoMigo 20 днів тому

    Sijawahi one mdada mweusi kwenye hii mr right

  • @georgedosela4945
    @georgedosela4945 19 днів тому

    Hv kweli mke anapatikana kwa njia hii🙄🙄🙄

  • @chrisantusnditi8670
    @chrisantusnditi8670 28 днів тому

    Mwanaume kupiga magoti mbele ya mwanamke is the point of no return 😂😂😂

  • @LeukajaMavika
    @LeukajaMavika 6 днів тому

    Uvivu wa kulima to 😂😂😂😂

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 29 днів тому

    Noma

  • @jastinkasaje
    @jastinkasaje Місяць тому

    Uyo doctor kumbuka anazinguwa

  • @alphoncelaurent9454
    @alphoncelaurent9454 Місяць тому +1

    Dah kumbuka baltazar tena😂😂😂

  • @Mjeni-n7r
    @Mjeni-n7r 15 днів тому

    Jaman mnawachamba mpk warembo wanaogopa😂😂eti ana matenge ni wakuna Balthazar 😂

  • @HlaSaw-x4t
    @HlaSaw-x4t Місяць тому +1

    Naitaji nifike mjengoni nafikaje apo😊

  • @Mossimado
    @Mossimado Місяць тому

    Nimempenda Julian 😅😅😅😅😅😅

  • @DorisMollel-i9b
    @DorisMollel-i9b 17 днів тому

    Yaani Masha kama vile mpelelezi vilee angalia yake jamni😂😂😂

  • @KareemkareemKing-u9i
    @KareemkareemKing-u9i Місяць тому +1

    iki kipindi nakipenda sn jmn ❤

  • @BarakKisbo
    @BarakKisbo Місяць тому

    Ninunue TV sa😂😂

  • @elsiekendi1792
    @elsiekendi1792 13 днів тому

    Kumbukaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @AsmaAlly-m9i
    @AsmaAlly-m9i Місяць тому +2

    Aliya umetuwangusha bn umekaa uchi sana

  • @MwajumShaban
    @MwajumShaban Місяць тому +1

    Tuludishieni lulu diva ariya garabii na kuumbuka

  • @aminashemndoa8882
    @aminashemndoa8882 22 дні тому

    Ila baltazal😂😂

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 23 дні тому

    Mama Jack anaongoza moja bila heeeeee!!!!!!

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 21 день тому

    Trsti Umalaya Umemshinda Ndio Akaja Hapo

  • @TchombaMedard
    @TchombaMedard Місяць тому +3

    Mbona munahoji sana kipindi kizuri ila maneno mengi

  • @godfreyromanus2456
    @godfreyromanus2456 Місяць тому

    Huyu dem chenjeo kweli 😂😂