Maalim Seif amlaani Haji Omar kuteswa watu Pemba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 вер 2020
  • Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amemtaja Waziri wa Vikosi vya SMZ, Haji Omar Kheri, kuwa muhusika mkuu wa utesaji watu kisiwani Pemba.

КОМЕНТАРІ • 334

  • @abdulihafidhali5379
    @abdulihafidhali5379 3 роки тому +6

    Maalim seif ww ni mzalendo wa wazanzibar sisi tuko pamoja na ww, Allah awajalie kauthabit hao waliotangulia na hao majeruhi awaponeshe na wagonjwa wapoe insha Allah.tupoleni sana wanzanzibar.

  • @yussufhussein1954
    @yussufhussein1954 3 роки тому +13

    Mshenz haji omar kher tena hana imani yy mbele masilahi tu

    • @ramilialiy3725
      @ramilialiy3725 3 роки тому +2

      Ndo watanganyika wakaaz wakija zanzibar kufanya hayo 2

    • @rayasaid4099
      @rayasaid4099 3 роки тому

      Laantullah in shaa Allah M. Mungu amjaalie siku yake ya kufa ale Mavi yake huku roho inatokaaa. AAAAAMIN YaaaRabiyyy 🤲🏻

    • @RioIpo
      @RioIpo 3 роки тому +2

      @@rayasaid4099 Allah atupe Khatma njema

    • @hashimuabdallah4211
      @hashimuabdallah4211 3 роки тому

      Ila anaehubiri kuapishwa Hadi uchaguzi mwingine unafika huyo hatesi watu? Watu wanatoka bara barani, yy yupo uingereza huyo hates watu? Watu hawazikani, hawasalimiani, n.k.kwa ajili ya siasa mwisho wa cku akawa mmoja wao katka serekali ya umoja wa kitaifa na wale wale wanaoambiwa wanatesa watu, wanaua watu, je huyo hates watu?

    • @rayasaid4099
      @rayasaid4099 3 роки тому

      @@hashimuabdallah4211 utakufa nalo hilo jiti la roho! Kasumba zako za kijinga unataka kufananisha na ukatili wa dhuluma wa Zahir umechelewa babaaa! Kama tulikua tumelala sasa tumeamka na kama unakerwa na seif pole usishindane na nyota eeee!? ⭐

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 3 роки тому +10

    Allah atawalipa mmoja mmoja kila anaefanya maovu kwa wenzao dah .

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 3 роки тому +1

    Kwa hili la kupigana Mimi siwezi sapoti si kwa wafuasi wa ccm au wale wa act, mapigano so mazuri, Shari ni mbaya naomba Imani itawale tusigombanishwe na watawala, au wanatafutia utawala, sawa jamaniii!

  • @suleimansuleiman2436
    @suleimansuleiman2436 3 роки тому +5

    HAJI OMAR SHARI

    • @ashajuma438
      @ashajuma438 3 роки тому

      Hajj Omar khery Allah akuhifadhi na midomo ya watu isikudhuru.

  • @sniper93999
    @sniper93999 3 роки тому +1

    Kiukwel mm naongea ivi Dr shein yupo vizur na anafany kaz ila viongoz wake wa chini ndio wanamuharibia 👌👌👌👌atakay pishaaa aje na police

  • @mimiapa8436
    @mimiapa8436 3 роки тому +9

    Ya Allah tunakuomba uwahukumu hapa hapa duniani hawa watu usiwasubirie aghera

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 3 роки тому +2

    Sera sera sera babu, mbona waongea personalities badala ya Kamwaga sera?

    • @hudhaimasaleh5756
      @hudhaimasaleh5756 3 роки тому

      Ww vp mwalim ndo kiogoziii anayeee faaa hapa zanzibar

  • @mudhainaomar2734
    @mudhainaomar2734 3 роки тому

    Kweli

  • @smileboy6199
    @smileboy6199 2 роки тому

    Mnao mlaani mh haji na nyie hivohivo washenzi pia mungu awalaani nyoote

  • @khamiskhamis6286
    @khamiskhamis6286 3 роки тому +1

    Nimeangalia hadi machozi yananitoka kumkumbuka maalim alikuwa hapendi dhulma na ubaguzi na uonevu kwa watu allah amrehemu

  • @aliarkam9548
    @aliarkam9548 3 роки тому +1

    Subhannallah mwenyez Mungu awajalie kaul thabit amsamehe makosa yao , wagonywa asatie nguvu kupona Kwa majaruh Inshaa allah

  • @saadasm6756
    @saadasm6756 3 роки тому

    Poleni watu wa Kangagani Allah yupo pamoja na wenye kusubir. Allah atawalipia kwa hilo alilowafanyia haji o. Kher

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 3 роки тому +5

    Mijitu mingine bado wana.mizimu ya NYERERE. Maiblis wanaoitiya ufukara ZANZIBAR.

    • @simonmagaigwa6634
      @simonmagaigwa6634 3 роки тому

      Acha chuki kauli hizi si za kiungwana. Fanya kazi kwa bidii utaushinda umaskini.

    • @issaibrahim7325
      @issaibrahim7325 3 роки тому +1

      @@simonmagaigwa6634 tatizo sio kuushinda umaskin bali ni maendeleo ya nchi

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 роки тому

      @@issaibrahim7325 Fanya kazi

    • @ramilialiy3725
      @ramilialiy3725 3 роки тому

      Bado wamamiss mama yao wataifa nyerere alowauwa wazanzibar na baba eti karume

    • @issaibrahim7325
      @issaibrahim7325 3 роки тому +1

      @@jumakapilima5674 me maendeleo yangu nashkuru Allah ila vipi maendeleo ya Zanzibar

  • @abuuhashr8351
    @abuuhashr8351 3 роки тому +1

    Allah awazalilishe madhalim na abatilishe vtendo vyao aamiyn

  • @charlesmwilima5548
    @charlesmwilima5548 3 роки тому +1

    Toa Sera kila kukicha ni kuonewa tu

    • @ghadnehamed9138
      @ghadnehamed9138 3 роки тому +1

      Sera zitakuja Lazima paanze na matukio ww Vp au Jamaa yako Haji Omar hutaki alaaniwe

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 роки тому

    Mtihani mhhhh

  • @sniper93999
    @sniper93999 3 роки тому +3

    Halaf maalim ww ndio umesema wenye mapanga, weny majembe , wenye mawe, wenye visu mara hii kieleweke ss why ni sera ya ccm wakati umewaamrisha ww

  • @nassorhamad1700
    @nassorhamad1700 3 роки тому

    Dah

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 3 роки тому +1

    Allah amlaani yeyote asoitakia mema nchi yangu ZANZIBAR

  • @aliarkam9548
    @aliarkam9548 3 роки тому

    Mwenyez Mungu atamuonesha hapa dunia

  • @mariamfaki1166
    @mariamfaki1166 3 роки тому +1

    Mshenzi sana tena sana mungu atamuonesha kwani kwa mungu sio mbali asijidanganye Allah tulipie maovu haya

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 3 роки тому +6

    Allah tunakuomba huyu Haji Omar Heri mpe mwisho mbaya na wa mateso

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 роки тому +2

      Hivi vyama visitutowe kwenye Uislam, kwa matendo yetu, hii sio dua ya Kiislam

    • @hajiha6507
      @hajiha6507 3 роки тому

      Mohamed Turan Kumamako. Amekufanya nn Haji omar. Kafirwe na Sefu huko

    • @issahassan8361
      @issahassan8361 3 роки тому

      لا إله إلا الله

    • @issaibrahim7325
      @issaibrahim7325 3 роки тому +3

      @@hajiha6507 acha ukuma wewe kwahiyo wewe unafirwa na hao ccm wenzio fala wewe

    • @ramilialiy3725
      @ramilialiy3725 3 роки тому

      @@hajiha6507 kachangie kwenu tanganyika uko unawashwa

  • @mtumwamohd2571
    @mtumwamohd2571 3 роки тому

    Allah amlaaaaniiiiii mara elfuuuu amuadhibuu katk motoo

  • @ramsonramadhan4156
    @ramsonramadhan4156 3 роки тому +3

    wa pili..

  • @aliissahongerababanazenjit6824
    @aliissahongerababanazenjit6824 3 роки тому

    Mmm

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 роки тому

    Hongera maalim

  • @hatimmohamed4299
    @hatimmohamed4299 3 роки тому

    Kweli mtupu maalim seif

  • @ruwailaomar6501
    @ruwailaomar6501 3 роки тому +3

    Haji omar shari akipikwa supu namla

  • @amanmohd9435
    @amanmohd9435 3 роки тому +2

    Mwanakharam Hutu Hajj Omar Kheir

    • @abdallafeda8836
      @abdallafeda8836 3 роки тому +1

      Ww unajijua km ya halali?

    • @fatmahamad9314
      @fatmahamad9314 3 роки тому

      @@abdallafeda8836.Elewa kwamba haramu sio ile isio kuwa na baba haramu ni vitendo sasa Hajji Omar Kheri ni mwanaharamu popote tutasema km na ww ni mmoja wapo utupishe

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 3 роки тому

      ​@@abdallafeda8836 Anaetetea dhulma ni part ya dhulma. Wewe Abdalah Feda ni part ya dhulma, na inaonesha dhahir na wewe umekuja duniani kwa dhulma.

    • @musajems1294
      @musajems1294 3 роки тому

      @@mohamedturanardan8871 ivi nyinyi mnadhulumiwa Nini hasa nijuwe

    • @ruwaidakheir7044
      @ruwaidakheir7044 3 роки тому

      mwana haramu mwenyewe

  • @tweety9362
    @tweety9362 3 роки тому

    Ombi langu 🙏🏽 wekeni mkutano wote kamili😁

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 3 роки тому

    Kweli kabisa malim seif

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 3 роки тому +1

    Allah amlaani

  • @zubeirali6323
    @zubeirali6323 3 роки тому +2

    Ww ndo ulosem mwenyw mapnga,nondo,mundi waingie njian na video zip saiv unasem sera ya ccm madev mbn unaboronga baba.

    • @mahmoudaziz4717
      @mahmoudaziz4717 3 роки тому +1

      😄😄😄😄

    • @ally1702
      @ally1702 3 роки тому

      Alisema wakiwadhukumu kwenye kura je kura tayari kwani

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 4 місяці тому

    Kila anaye Dhulumu Allah unaijua Bakora Yako ya kumpiga munaonea Watu munawadhalilisha na kuwauwa ikisha usema Allah akuache Kila anayefanya anayeshiriki Kwa Lolote Allah mpe Mateso hapa Duniani mpaka kesho akhera Madhalimu Wakubwa Hawa

  • @fatmamansour2369
    @fatmamansour2369 3 роки тому

    Iko siku itafika nae mungu atamuhukumu kwa anayoyatenda mshenzi kweli lkn kila mmoja atakuja kulipwa kwa anayoyatenda kwa watu

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 3 роки тому

    Toa sera wee babu

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 3 роки тому +3

    Huyu SHIKAMOO atastaafu lini awaachie vijana?

  • @suleimanbakar3429
    @suleimanbakar3429 3 роки тому

    Allah amlaani mbwa huyu haji Omar heri

  • @bablee4484
    @bablee4484 3 роки тому

    Vipi

  • @RashidAli-vb3zi
    @RashidAli-vb3zi 3 роки тому

    Woga ni adui wa haki, km watu wanaingia majumban mwa watu kwnn wackamatwe na wao ili wakajulikana

  • @simaimarijanmarjan3097
    @simaimarijanmarjan3097 3 роки тому

    Kuna moto tu uko msiwe mnatusiana na sio kama yameisha bado kwa mungu

  • @talhaabuy1035
    @talhaabuy1035 3 роки тому +2

    Lanatu Allah mola atawahukumu ccm apa apa dunian

  • @zubeirsalum128
    @zubeirsalum128 3 роки тому

    Hawa CCM wanaifanya pemba ndio kichakaa chakujifundishia kupiga watu mikwaju na risasi kwasababu ya unyonge wao lakini Allah yupo anayashuhudia haya

  • @mulhatyyakub7144
    @mulhatyyakub7144 3 роки тому +1

    Tatinzo tumewalea Sana mpka wakatuzowea Sana kwnn tusiseme Sasa bac

    • @RashidAli-vb3zi
      @RashidAli-vb3zi 3 роки тому

      Ata mm nahc hilo ndio jambo la kufnya kwa hapa tulipofka, vikoc pmba wamepelekwa weng sn

  • @jumamwadhini6263
    @jumamwadhini6263 3 роки тому

    Hahahaaaa mzee wwe kiboko eti nimshezii hahahaaaa yaanii hta ukimuona maalimu anatoka cheche ujuetu Kuna mtu ka haharibu hali ya hewa znz kwaza chapa kazi mzee

  • @nassoursaleh3144
    @nassoursaleh3144 3 роки тому

    tena ishallah Mungu awatie adabu kabla y huu uchaguz naskia eti siro kaenda pemba hebu wazee wetu mfukizieni huyu mtu apate adabu jpo mwaka tu kitandani

  • @h.alshidhani8971
    @h.alshidhani8971 3 роки тому

    Tarehe 29 lipa kisasi

  • @sideseif8577
    @sideseif8577 3 роки тому

    Huo sio ungwana na sio wanachama wa ACT musifanye uwovu kila cku mkitaka kufunzwa adabu mukasema munaonewa kitendo cha unyama huyo mzee ameishiwa kila xku nyiyi tutu kwa matokeo ya kinyama

  • @selwanmohmmed8792
    @selwanmohmmed8792 3 роки тому

    Njia ni moja tu tutafka sote watajibu viongoz na mamlaka yao dunia isiwahadae

  • @TheOthmoney
    @TheOthmoney 3 роки тому +2

    LIMETOKA KWA MJAMBAJI LIMEENDA KWA MTEMA MATE

  • @mussaelisha5535
    @mussaelisha5535 3 роки тому

    Mungu hatamtoa kama Goliath

  • @zahorrashid5459
    @zahorrashid5459 3 роки тому

    Hapo uliposema mtu mmoja kafanya kosa wanateshwa.wengi. hl nitatizo kubwaa.

  • @bichichiahmda1153
    @bichichiahmda1153 3 роки тому

    Ovyoooo katubu kwanza we babu acheni kupumbaza watu mkisha pata kura mnajaza mtumbo yenu wananchi wateseka simsapoti at a mmoja sowewe wala mwinyi

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 3 роки тому

    Zanzibar uazishwe utawala was ufalme ili chuki na mapogano yapunguke

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 3 роки тому

    Iko siku watu watachoshwa na woga

  • @ramadhanineneza7317
    @ramadhanineneza7317 3 роки тому

    Ww mzee kweli ni mshezi tu huna maneno mazuri kama mgombea wa urais unatoa lugha ya matusi

    • @fathilaothman7870
      @fathilaothman7870 3 роки тому

      Allah atamlipa hapahapa duniani katimea huyo.namabosi wake.

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 3 роки тому

      Ramadhan; huyo si mapenzi,washenzi wanajulikana kwa vitendo hayo,viwe vya siri siri au dhahiri.
      Madhalimu wanaodhulumu haki za watu ndio washenzi number one

    • @zuwenasalum1563
      @zuwenasalum1563 3 роки тому

      @@ahmedalbalooshi8518 Mshez ni wewe na familia yako yote njau wewe

  • @azizabdallah585
    @azizabdallah585 3 роки тому +1

    Oooh Mama Zanzibar....Oooh Mama Tanzania.

    • @ramilialiy3725
      @ramilialiy3725 3 роки тому

      Ohh mama tanganyika hakuna Tanzania uko tanganyika .zanzibar kwanza

  • @othmanal-nabhany9243
    @othmanal-nabhany9243 3 роки тому

    Serikali ya ccm inanunua magari ya washawasha ,mabomu na bunduki kwa ajili ya wazanzibar hasa wenye asili ya Pemba, mafunzo ya majeshi yao majaribio kwa wazanzibar hasa wapemba kila mwaka wa kampeni na uchaguzi ,jeshi la polisi wamepelekwa wengi sana na vikosi vyengine tunashangaa munauwa watu munatarajia kuwaongoza nani halaf mnajifanya munaimani na wananchi, unafik mtupu huo

  • @faridaali6850
    @faridaali6850 3 роки тому +2

    Iko cku yake na yy atateseka acringie puunzi ALLAH ndie hakim

  • @silimahaji7220
    @silimahaji7220 3 роки тому +1

    Wew maalim achatabia ya kusengeny watu nad sera, ewe mola wetu making mh haji omar kher zid ya maadui wot

  • @suleimankhamis1564
    @suleimankhamis1564 3 роки тому +1

    Acha usenge huo kuiponda CCM

  • @mnyamismwakilambe2533
    @mnyamismwakilambe2533 3 роки тому

    Uyooo haj Ana roh mby xn xn to muach aend

  • @adiladil345
    @adiladil345 3 роки тому

    Hakuna tofauti bali mtoto wa nyoka ni nyoka tu

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 3 роки тому

    Mshenz mkubwa uyo

  • @saidmungulu7053
    @saidmungulu7053 3 роки тому +3

    Ww miaka yote ni RAIS zanzibar . Sema wanatuibiaga tu hao chama tawala
    KULA YANGU KWAKO MAALIMU SEIF

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 роки тому

    Na yeye avamiwe apigwe kama anavyo wapiga

  • @mgeniiddi5308
    @mgeniiddi5308 3 роки тому

    Aaaaa huna lolote waachie vijana babu ushagonga huachii tuu

    • @estamwenda9706
      @estamwenda9706 3 роки тому

      Njooo umchukulie mdogo wako fomu aje agombeee

  • @abuubakarjuma3230
    @abuubakarjuma3230 3 роки тому

    Wanatutesa kweli hao hatuna amani kweli wapemba du! tumekosa nn kwa mungu ss

    • @musajems1294
      @musajems1294 3 роки тому +1

      Hamjakosa kitu mungu anamjuwa Nani mtenda kosa na Nani mtendewa kosa

  • @abuunuswaibahahmadi8288
    @abuunuswaibahahmadi8288 3 роки тому

    Haji omar heri hana Imani dini

  • @yussufhaji6705
    @yussufhaji6705 3 роки тому

    Babu huna sera kalee wajukuu

  • @ummuzainab2332
    @ummuzainab2332 3 роки тому

    Ulpo tupo maalm

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 3 роки тому

    Huyu nadhani baba yake alikosea huyu ni haji omar shari mshenzi tu mshenzi tu

  • @hamidomar7474
    @hamidomar7474 3 роки тому

    Msengemmoja kumamamake ndiyoana akawa mwanaharam

  • @ramlajaffar3169
    @ramlajaffar3169 3 роки тому

    Huna sera tulia babu ww Huwezi ww tangu 1995 mpk leo huna lako jambo harangwe😂😂😂

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 роки тому

    Sasa Huyu ataenda kukaa wapi Kesha akhera Huyu Omari ameshazoea kuwapiga watu vibaya wala hachukuliwi Hatua kwa sababu ni ccm daah iko siku Yako

  • @nassoursaleh3144
    @nassoursaleh3144 3 роки тому +2

    hawa siro na huyu haji Wazee wetu hebu wafungieni kaz wakae kla mwaka tu kitandani

  • @omarmussa9000
    @omarmussa9000 3 роки тому

    Maalim kuwa mkweli unajuwa kila kitu hata ww Mungu anakuona ss tupo kangagani unawashawishi ww wakifanya unadanganya watu wallah Mungu atakuonesha

    • @zubeirsalum128
      @zubeirsalum128 3 роки тому

      Anawashawishi vipi

    • @omarmussa9000
      @omarmussa9000 3 роки тому

      @@zubeirsalum128 njoo kangagani utajuwa tumechoka

    • @zubeirsalum128
      @zubeirsalum128 3 роки тому

      @@omarmussa9000 ww SEMA tu ujumbe utafika na tunauona

  • @salimmohamedalr-iamy7162
    @salimmohamedalr-iamy7162 3 роки тому

    Kama hawajampa mwalimu seif mwaka huu basi juweni wananchi hatujapewa haki zetu na tumedhulumiwa

  • @nasrynnassor1492
    @nasrynnassor1492 3 роки тому

    Utamuona Babu Kama in mjua

  • @mgeniiddi5308
    @mgeniiddi5308 3 роки тому

    Mm sijaisikia sera yako uyo mwinyi na haji omar kheri ndo watakao kaa madarakani hatuwaabgusi kamwe na utakaa pembeni ww

  • @azizaabubakar5595
    @azizaabubakar5595 3 роки тому +1

    Wazanzibar mnadanganywa sana huyo mzee kwanza anakaa nyumba ya serikali anapewa mahitaji yakila siku nyie anwadanganya tu alafu huyo mzee seif. Hicho chama nichabara na sio cha wazanzibar alafu mnaambiwa eti hamuataki wabara wakati chama cha ACT ni cha bara tena kigoma wapinawapi nawazanzibari pia muwenamacho namasikio mnafanywa wajinga na seif na zitto tena Hata rangi ya bendera ni ya zambarau au paple hiyo rangi ni ya msiba maana msiba ukitokea hasa sisi wakristo tunatunia kuwapambia marehem wetu sasa nanyinyi mnafanywa waaafuu tena watarajiwa na hao seif na zitto wakati ninyi niwazima mbaandaliwa maandalizi mabaya hao watu sio wazuri kwenu wazanzibar mjitafakari sana ndugu zangu mbapunbazwa kweli2 alafu mnavalishwa hiyo rangi inatisha ebu mkiogipe ACT Tanzania hoyeeeeee Amani oyeeeee

  • @saidb20ty52
    @saidb20ty52 3 роки тому

    mbona sion sera anaongelea watu tuu

  • @asiakhamisi469
    @asiakhamisi469 3 роки тому

    Pigeni halbadiri jamani

  • @abasamwame6583
    @abasamwame6583 3 роки тому

    Mimi sijui ni sheria IPI inayotumika kuwaadhibu watu wengi kwa kosa LA MTU mmoja?
    Sijui ni kigezo kipi kilichotumika kuweza kujua ghafla kwamba Huyo aliemshambulia mwenzake ni act wazalendo mpaka wakasombwa watu wengi kwa wakati mmoja?
    Je hakuna utaratibu wa kumfuatilia muhalifu mpaka ukamjua na kumchukulia hata kuliko kuwabebacwatu ambao hawana hatia?
    Hili jambo lilihitaji uweledi
    Limebebwa kisiasa na linetatuliwa kisiasa .ndugu zangu wenye dhamana mjue kwamba cheo ni dhamana alokupeni mungu tendeni haki na kuweni waadilifu msifanye kazi kwa misukumo ya kisiasa unapomuhukumu MTU kwa kosa asilohusika nalo hiyo ni dhulma na ogopeni dhulma kwani haidumu na ikidumu itaangamiza .dhamana uliyopewa kuna siku mungu atakuuliza uliitumiaje ? Watamikieni wana siasa ila machozi ya watu wasio na hatia mtayalipia hapa hapa duniani kwani malipo ni duniani ahera ni hesabu tu
    Viongozi wangapi waliokuwa majabari hapa dunia mwisho walidhalikika isikuhadae cheo na bunduki ulioshika kila kitu ni muda tu muda ukifika na wewe yatakukuta kwa naomba ile ile uliyimtendea mwenzako

  • @nawwafomar4518
    @nawwafomar4518 3 роки тому

    huyu mvuvi kutoka tumbatu laana ya mungu imshukie yeye na ukoo wake

  • @samo5315
    @samo5315 3 роки тому

    Malipo yake atayapata duniani na akheira adhabu kali inamngoja.

  • @sideseif8577
    @sideseif8577 3 роки тому +1

    Seif sharifu acha umama kama huna kazi jiunge na club ya simba wapo wazee wenzako kama unyango na kagere

    • @NaseebLugusha
      @NaseebLugusha 3 роки тому

      Side Seif kweli akili yako ndo imeishia hapo? au kwenu hamna wakubwa? au ndo ulivyolelewa hivyo?

  • @mwinyimjaka4782
    @mwinyimjaka4782 3 роки тому +1

    MUNGU atawalani wote ambawo hawaitakii mema Pemba jeshi ambalo limepelekwa Pemba litakufa huko huko halirudi tutalipika supu mungu akipenda

  • @sudaissoud3670
    @sudaissoud3670 3 роки тому

    Haji Omar kua makini maana ujue unafamilia yako huku pemba..unawajua wapemba vzr au unawasikia tuu?

  • @hajiha6507
    @hajiha6507 3 роки тому +2

    Hiyo ndio dawa yenu. Mukimpiga mtu Panga tunakutieni bakora mtaa mzima. Endeleeni tena, kama mumezoea kuachiwa sio utawala huu

    • @binsultan6981
      @binsultan6981 3 роки тому

      Abdallah bin ubaida

    • @zubeirjuma1856
      @zubeirjuma1856 3 роки тому

      Utawala wa ALLAH tuu acha akili za kikafir shehe kw itikadi za kifal ingekuwa baba ako jee au mam ako

  • @khamisissa452
    @khamisissa452 3 роки тому

    Babu Ali shoga maalim achana nae

    • @ramilialiy3725
      @ramilialiy3725 3 роки тому

      Popote ulipo kula chips naja lipa😂😂

  • @hamidomar7474
    @hamidomar7474 3 роки тому

    Haji Omar kheri mwanaharam na kashalaaniwa na mu

    • @almasabdala7806
      @almasabdala7806 3 роки тому

      Hata maalimu seif keshalaaniwa kwani nadiya anayekutie vidole via masikio na nyinyi mnamfuata

    • @sniper93999
      @sniper93999 3 роки тому

      Hata ww hamid omar mungu pia ameshakulaani na ww na ibilis ni m2 na mdogo wake

  • @abdilfertterhhealer5329
    @abdilfertterhhealer5329 3 роки тому

    Mwalim tulia huna siasa ww ume kaa kma Islamic state

  • @mudy4604
    @mudy4604 3 роки тому +2

    Wakwaza

  • @hamzaomar9731
    @hamzaomar9731 3 роки тому +1

    Seif km unasema mwaka huu itapatikana nchi kivyovyote vile , onyesha sasa kukerwa na hilo. Maana ukishindwa hli tafsiri yake hata ukishinda uchaguzi , utatulia tu TUMEKUZOEA TAYAR

  • @nassoursaleh3144
    @nassoursaleh3144 3 роки тому

    Mungu awalani nynyi

  • @khajumkhamis7910
    @khajumkhamis7910 3 роки тому

    Sisi hatukuhitaji ww na bora chama chenu kifutwe kabla ya uchaguzi mwezi wa kumi

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 3 роки тому

    Mzee acha kundanganya watu inamana watu.wa CCM wanapiga wezao wa CCM mapanga tena msikitini?

  • @hajimasondo8881
    @hajimasondo8881 3 роки тому +2

    Yy mnaaza vurugu kwenye nchi hii yaamani kisha mnajitia wanasiasa wazur ww sefu kuwa na akili lakn uzeee unakusumbua kalee wajukuu zako kwaza mh haj yupo sawa