Mwinyi Juma amjibu Hamad Masoud asema anawadhalilisha wasomi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лип 2022
  • Baada ya Katibu Mkuu wa CUF Hamad Masoud kusema kuwa kazuiwa kuingia kwenye kaburi la Maalim Seif na pia kusema kuwa kavuna wananchama wengi wa ACT Wazalendo, Mwinyi Juma aibuka na kujibu hoja. Tazama video umsikie.

КОМЕНТАРІ • 23

  • @zaidybakar6865
    @zaidybakar6865 Рік тому

    Mazali Ulafi umewajaa Zanzibar haipatkan ngo

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 Рік тому

    Hata tarehe huijui maskini

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 роки тому +1

    Nyie wote washirikina wana siasa na viongozi wenu hao CCM na ACT CUF nyie wote wezi porojo tu njaa kali

  • @abdulhalim3840
    @abdulhalim3840 2 роки тому +1

    Mwinyi Hana kwere kwa kujirikodi migombani

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣Atafuta ao nyoka na vinyonga 🤣

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 2 роки тому

    Sawaaa tumekuelewa

  • @jumanneuledi1591
    @jumanneuledi1591 2 роки тому

    Aachwe Hamad wetu jman mwanzo mzur cuf lzm irud

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️

  • @noffelsalim830
    @noffelsalim830 2 роки тому

    Hamadi massoud Kesha kabisa.

  • @salimally3714
    @salimally3714 2 роки тому +2

    Huyu hamad masoud hana tofauti na manara

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 2 роки тому

    Sasa ilikuaje ukamsaliti? Kamuombee dua baba yako kwanza. Maalim huna imani nae muongo mkubwa.

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 2 роки тому

    Na nyie hamna kazi? Mnapoteza muda wenu kwa kumjibu mtu anaecheza na kivuli chake?
    Hamadi masudi siasa kaifanya dili ya kupatia kipato. Sio anaelekea kubaya bali tayari keshaelekea tena kaoza.

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 роки тому

    Nyie wote washezi porojo tu na mukipata nafasi ndio yale yale njaa kali Tu na ujanja wa maneno kama kumdoweya mwanamke ukimpata Tu kumvua nguo basi huna haja nae tena ndio kama nyie.

  • @mbarouksalim2792
    @mbarouksalim2792 2 роки тому

    Siku zote nikiona clips zako nilikuwa nakuona wa maana sana kwa hoja zako nzuri pamoja na kuwa tumetofautiana vyama.
    Lakini kwenye hili leo umenishangaza sana.
    Ukizungumzia kitu sema kweli tu usiseme uongo ili kuwafurahisha watu. Na kama hujui uliza kwa wanaojua kwanza utafaidika.
    Kwani kama hujui kuna tatizo gani kukaa kimya kuliko kusema uwongo?
    Kwa kweli leo Mwinyi umenivunja moyo sana na unanifanya sasa niyatilie mashaka uliyoyasema katika clips zako zote zilizopiita

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 2 роки тому

    Usiseme uongo kuzua eti katumwa mchanga wa maalim acheni o

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 2 роки тому

      Mtihani kwa kweli

    • @w4058
      @w4058 2 роки тому +1

      Wewe ulokuwa mkweli toka useme hayo kama alivyotoka yeye na wewe pia acha uwongo

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 2 роки тому +1

      @@w4058 😄 Khatari

    • @fathiyasalim3946
      @fathiyasalim3946 2 роки тому

      Twambie huo ukweli ni upi? Au hamadi ana mapenzi gani na Maalim seif? Ndugu zangu wa cuf msiwe wajinga hamadi masudi anaendeleza yalomshinda Lipumba na keshakula fedha za ccm. Hana jipya hata moja zaidi ya tamas zake binafsi za cheo baaas. Rudini huko act mkaungane na wenzenu mpapatue nchi yenu. Mie nakula bata huku Ulayaa.

    • @fathiyasalim3946
      @fathiyasalim3946 2 роки тому

      Hao walochukua kadi wako wapi?

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 2 роки тому

    Na nyie hamna kazi? Mnapoteza muda wenu kwa kumjibu mtu anaecheza na kivuli chake?
    Hamadi masudi siasa kaifanya dili ya kupatia kipato. Sio anaelekea kubaya bali tayari keshaelekea tena kaoza.