Viongozi wa kidini wamfuata Maalim Seif

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 жов 2020
  • Viongozi wa Kamati ya Amani inayowajumuisha viongozi mbalimbali wa kidini visiwani Zanzibar wamekutana leo na mgombea urais wa Zanzibar kwa chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, kwa mazungumzo zikiwa zimebakia wiki mbili kabla ya uchaguzi mkuu.

КОМЕНТАРІ • 652

  • @hafidhhilal7318
    @hafidhhilal7318 3 роки тому +258

    Wanaompenda malii like kwa wingi

  • @mohamedfaris3000
    @mohamedfaris3000 3 роки тому +41

    Ukikaa na kumskiliza Maalim moyo wako unapata utulivu kwa hekma alizonazo
    Mashaallah Allah akupe afya njema Rais wetu, sisi tunaamini ilo kwa7bu upo moyoni mwetu
    Allahumma Aamin
    Km unampenda maalim like kuonesha upendo kwake

    • @sadaoman1667
      @sadaoman1667 3 роки тому +1

      Mashehe wote ccm hakuna mawazo kama mawazo wende kwamangufli ndie anatukandamiza

    • @barakakihaga6481
      @barakakihaga6481 3 роки тому

      Wallah inshallah ikulu ushaingia na Allah atakupa nguvu na umri mrefu ukatuongoze wazanzibari.....

    • @francisrichard5308
      @francisrichard5308 3 роки тому

      Tatizo kubwa tulilonalo sis wanzanibar ni ubinafsi na Allah hawi upande wa wabinafsi ata mtume Muhammad aliwakaribish wasio waupand wake. Haki haitafut kwa fuja

  • @salmuhamad7080
    @salmuhamad7080 3 роки тому +7

    Asante rais wetu mtarajiwa Allah akupe afya njema na uzima

  • @abdulihafidhali5379
    @abdulihafidhali5379 3 роки тому +36

    Bila ya haki hakuna amani kwanza itendeke haki ndipo ije amani, maalim seif tupo pamoja wewe sisi wazanzibar km watu wapi pamoja na maalim seif kipenzi cha wazanzibar like hapa chini km mm👇

    • @francisrichard5308
      @francisrichard5308 3 роки тому

      Si wote aman kwanz akili ilitumik kuingiz ukoloni, na kwa baadhi yamataif waliamin kuwa haki hutafutwa kwa nguvu pasip akil wameishia kweny machafuko adi leo

  • @omaryhassan9607
    @omaryhassan9607 3 роки тому +57

    Kidume kimeongea neno la msingi huyu ndio Maalim wa 2020

  • @yahyasaid9353
    @yahyasaid9353 3 роки тому +11

    Asnt maalim umeongea ukweli maana wao hilo neno haki naona hawalijui kulitamka

  • @othmanal-nabhany1019
    @othmanal-nabhany1019 3 роки тому +25

    Mashehe na wachungaji wamgufuli na simon sirro hao wote ccm wametumwa hamna mchamungu hapo ndio maana hakuna alietamka haki hapo ila maalim pekeake

  • @omannal1281
    @omannal1281 3 роки тому +60

    BILA HAKI HAKUNA AMANI KWANI AMANI NI TUNDA LA HAKI TUSIDANGANYANE KAMATI KWANZA MUZUNGUZIE HAKI NDIO IPATIKANE AMANI.

    • @talhaabuy1035
      @talhaabuy1035 3 роки тому +2

      Nakuunga mkono maneno yako

    • @ziongate5464
      @ziongate5464 3 роки тому +6

      BILA AMANI HAKI NA MENGINEYO HAKUNA KWANI AMANI NI TUNDA LA HAKI TUSIDANGANYANE KAMATI KWANZA MUZUNGUZIE AMANI NDIO IPATIKANE HAKI NA MENGINEYO

    • @gwanman1858
      @gwanman1858 3 роки тому +3

      @@ziongate5464 haki kwanza, uwezi pata amani bila haki, tumepewa 500 unanipa 250 iyo ni haki na italeta amani, ukinipa 150 sio haki hakutakuwepo amani nakupiga vichwa unipe 100 yangu iliyobaki

    • @lkshmykomar5472
      @lkshmykomar5472 3 роки тому +2

      Niukweli usyo pmgika

    • @witneskilinda5034
      @witneskilinda5034 3 роки тому

      Exactly

  • @fauzafauza1873
    @fauzafauza1873 3 роки тому

    Alhamdulilah allah akuzidishieni imani allah akusimamieni inshaallah, hakuna lenye na mwanzo likakosa kuwa na mwisho wake , amiin amiin yaraby kwa sote

  • @khalidkhamis9195
    @khalidkhamis9195 3 роки тому +47

    Tulipenda tuone majadiliano hayo live. Na sio ufupisho namna hyo

    • @hassanburhan9796
      @hassanburhan9796 3 роки тому

      sahihi, nini maongezi yao? jahara kupokewa na siri yaliyoongelewa

    • @abbasisaidiy3832
      @abbasisaidiy3832 3 роки тому +1

      Hao viongozi wametumwa na ccm hawana lolote njaatu.inawasumbua

    • @aliabeid9515
      @aliabeid9515 3 роки тому

      Malim hao weshakuja kukulakhai ulegeze msimamo ccm wayachukue tena madaraka

    • @yotehery4368
      @yotehery4368 3 роки тому

      Hakuja jipya hapo nyinyi mashehe ubwabwa wekeni kongamano la haki pia mana anaepewa haki yake kisheria hawez kutowesha aman

    • @yotehery4368
      @yotehery4368 3 роки тому

      Munguu anawaona

  • @patrickkansonso4506
    @patrickkansonso4506 3 роки тому

    Namshauri mzee apumzike na mambo ya siasa. Maana umri ndo hivyo tena!!!

  • @aishanassor8130
    @aishanassor8130 3 роки тому +14

    Sku zote rais wetu unaongea point Allah akupe umri mrefu na ukabidhiwe ushindi wako marq hii

    • @nasrynnassor1492
      @nasrynnassor1492 3 роки тому +1

      Aaaaamin mara hii niwake tu dalili ya mvua nimawingu

  • @starito7787
    @starito7787 3 роки тому +9

    Kamati mtafanya jambo la busara sana mukienda kuongea na maafisa wa TUME YA UCHAGUZI ZEC maana wao ndo watakao ondosha amani ya nchi hii

  • @fantsonmipango5805
    @fantsonmipango5805 3 роки тому +27

    Mungu anisamehe, Ila viongozi wa dini walio wengi ni wanafiki sana, sikusikia kiongozi wa dini akitoa pole hata kwa kutaja tu jina la Tundu Lisu aliposhambuliwa kwa risasi nyingi

    • @justinmkumbwa2330
      @justinmkumbwa2330 3 роки тому +1

      Kwelikabisa haujakosea hatakidogo

    • @danysikira4302
      @danysikira4302 3 роки тому +2

      Upo right hawa ni wajasiriamali wa dini na wasakatonge na Mungu amesema ole wao viongozi wa dini wanafiki wasioweza kukemea uovu

    • @mulikatvonleni5339
      @mulikatvonleni5339 3 роки тому +1

      Umeongea bonge la point ndugu yangu hawa viongoz wa din kwa tz ni viongoz wamoton wanafik sanaa

    • @jumaally8387
      @jumaally8387 3 роки тому +5

      Sheikh ponda alikwenda Nairobi kumuona na kumpa pole lissu,aliporudi daresalaam aliitisha mkutano na waandishi wa habari ili aongelee aliongea na lissu na hali aliomkuta nayo lissu kwa ujimla, lakini mkutano huo ilivamiwa na jeshi la polisi,ndio kiongozi wa dini pekee aliefanya hivyo.

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 3 роки тому +1

      Swala la pole ni hiari ya mtu huwezi kulazimisha kutoa au kupewa pole

  • @abdulfirst_pilot
    @abdulfirst_pilot 3 роки тому +1

    Kwa machafuko yoyote yatakayo tokea zanzibar hili neno lako tuta likumbuka maisha bila ya haki hakuna amani munguu akuweke maalim kwani wewe ume dhulumiwa mara kibao na hme stahimili na uvumilivu una mwisho na uvumilivu njia moja wapo ya kukuza democrassia
    Hii zanzibar siku moja itaona umuhimu wako hata baada ya kifo chako pale mungu atakapo kuchukuwa mzeee

  • @hamadsobo304
    @hamadsobo304 3 роки тому +14

    Maalimu bila haki amani hakuna tumechoka kunyanyaswa kila siku tuachieni nchi yetu

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 3 роки тому

      Kai chukua Nani mbona mnaikimbia wenyewe halafu mnajidai nchi yenu nendeni mkakae muone MTAKAVYO kufa njaa kule mtakuwa mnapiga umundi tu maana ndio ngoma ya nchi yenu mnatishia kujamba wakati. Mnaharisha

    • @hamadsobo304
      @hamadsobo304 3 роки тому

      @@godisgreat1845 kk mbona mwatuganda sisi hatutaki muungano tuacheni

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 3 роки тому

      @@hamadsobo304 muungano wa Zanzibar na tanganyika nyie wa Pemba unawahusu nini

    • @hamadsobo304
      @hamadsobo304 3 роки тому

      @@godisgreat1845 wewe kweli hujielewi zanzibar ni unguja na pemba chizi wewe was tanganyika tuachieni zanzibar yetu

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 3 роки тому

      @@hamadsobo304 Nani kakwambia hivyo basi kama mnadhani kuwa tutaendelea kuwadanganya watu kuwa zanzibar ni unguja na Pemba basi kwanza tufuate ranani na pili wewe na Hao wa Pemba wenzio mnalazimisha neno Hilo Sasa mlikuwa mnaomba mnataka nchi yenu Sasa mumechoka na sisi Sasa tutaanza kuwapa wazanzibar ukweli KUHUSU zanzibar na. Pemba na halafu muungano huo za I nguja na Pemba ambao unadai ndio zanzibar ilifanywa lini hadi kuwe na Jina la kuwakilisha visiwa viwili wa Pemba Hana shulrani bora Sasa rudini kwenu mtuachie na sisi kisiwa chetu mmekimbia kisiwa chenu mnakimbilia mini I kwa watu halafu mnalazimisha mnayo taka nyie kwenu kuna nini kwani watu hatupumui jamaa zako si walikwenda umoja wa mataifa kudai Pemba yenu Tena harakati zimeishia wapi kazi. Kuba a mijini mwa watu tu hivi Nani aliwalaani nyie Sasa nakwambia huyo alokurogeni akurogoweni

  • @ruwailaomar6501
    @ruwailaomar6501 3 роки тому +2

    Maalem wasikwambie chochote hayo ni maccm kama maccm mengine waache watuue ila watakaobaki wapate maisha mazuri

  • @umakramzahor4836
    @umakramzahor4836 3 роки тому +14

    RAIS WETU UYOOOO

  • @fatmaali2050
    @fatmaali2050 3 роки тому +4

    Mashekhe musijetumiliwa mukaja tumiliwa ccm ni wahuni ni washenzi hawana heshma na mtu ni wizi lkn mara hii musipokubali kushindwa kumamazenu ccm mutaondoka kwa nguvu mbwa nyinyi

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 3 роки тому +10

    Kazungumzeni na Seif Ali Idd na Magufuli na Mwinyi. kuleta Amani wao ndo wenye jeshi

    • @mwacityshabany1967
      @mwacityshabany1967 3 роки тому

      Hivi ccm waowaposawa wanaopigamabomu mbonahamuwaambii wasipige mabomo acheni unafiki

  • @mussaseifabdullwahid341
    @mussaseifabdullwahid341 3 роки тому +22

    Sfr hii maalimu seif kaa pembeni hatutaki suluhu washenzi

    • @sirajimakame1972
      @sirajimakame1972 3 роки тому

      Huna lolote

    • @barakakihaga6481
      @barakakihaga6481 3 роки тому

      Nyie viongozi wa dini simamieni haki bila ya haki nchii amani haitokuja

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 3 роки тому

      Mtafanya nini viroboto mkiwa mnaweza basi safari hii mtajua kama zanzibar ni ichi inayoepudhwa na Shari ya Seif sharif ila Shari hiyo it arudi kwenu na nyie hamuwezi kufanya chochote jaribuni muone mnasikiliza kelele za huyo seif wakati ukifika atatafuta la Kuwambia na bila ya Amani haki pia hakuna uchaguzi uliopitia alikwemnda kuombewa na Gwajima ka isani kwake safari hii atakwenda kwa mzee wa upako

    • @mussaseifabdullwahid341
      @mussaseifabdullwahid341 3 роки тому +1

      @@godisgreat1845 kiroboto Mkeo mshenzi wèe

    • @salhanassor5508
      @salhanassor5508 3 роки тому +3

      @@mussaseifabdullwahid341 achana nae huyo kibaraka..sis wala hatuna maneno mengi tunasubir siku ifike tufanye vitendo

  • @ishqmeinmarjawan1048
    @ishqmeinmarjawan1048 3 роки тому +5

    Maalim kaongea point bila haki aman haiwez kuwepo na ikiwa ww ni sheikh umesoma basi hilo mnalijua ila ulafi wa madaraka ndio umewafanya mulisahau ilo.
    Maalim mwaka huu ww pumzika nyumban2 insha Allah. Uone kitakacho endelea itakua show show2

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 3 роки тому +2

    😂😭😂😭😂 viongozi wa dini na masai yumo safi sana

  • @nassoursaleh3144
    @nassoursaleh3144 3 роки тому +11

    Maalim tunataka usitoke kwenye mstari swa tutakuanza wewe

  • @abdulmalik1700
    @abdulmalik1700 3 роки тому +35

    Bila ya haki basi hakuna amani

  • @abdallahal-khaify
    @abdallahal-khaify 3 роки тому +1

    Unapaswa kuhubiri haki na uadilifu zaidi kwani amani ni zao la viwili hivyo(haki na uadilifu).

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 3 роки тому

    Halafu kumbe maalimu sef ananyumba nzuri tu hanaga maisha mazuri

  • @mmadiausiy9810
    @mmadiausiy9810 3 роки тому

    Kweli bila ya haki amani ni ngumu Maalim! Tujitahidini kutendeeana haki amani itawale ALLAh subhana wataala amesisitiza na kutuusia kutendeana haki

  • @isimbulacompanylimited4300
    @isimbulacompanylimited4300 3 роки тому +1

    Tunahitaji kamati ya Haki na Amani na siyo hii kamati inayohimiza Amani bila kutambua basipokuwa na Haki hapana Amani

  • @maryamkhamis5215
    @maryamkhamis5215 3 роки тому +3

    Maalim Sef Shkamoo🤝tunaka Haki Kwanza 💜💜

  • @nawwafomar4518
    @nawwafomar4518 3 роки тому +2

    hakuna kiongozi wa dini hapa hawa wanatumiwa na ccm kupunguza joto ili waibe kura vizuri

  • @masoudsalum9514
    @masoudsalum9514 3 роки тому +2

    Kamati ya amani tu
    Kwann isiwe kamati ya haki na amani

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 3 роки тому +3

    Wakati awajamufungia mbona hamkuja kwasasa umeona mjee sasa acheni unafiki masheikh mmetumwa na CCM tulishajua namwalim seif akikubali mwaka huu itakuandii mwishowake wasiasa hawezikutwambia chochote tena

  • @binammwanafa2033
    @binammwanafa2033 3 роки тому +9

    AMANI HULETWA NA HAKI NA HAKUNA CHENGINE.

  • @saleheramadhani1334
    @saleheramadhani1334 3 роки тому +4

    Kwanza wawatoe mashekh walio magerezani kisha ndio mazungumzo yaendelee

  • @khamisngwali6303
    @khamisngwali6303 3 роки тому +3

    Mashaallah!

  • @alialibablly7010
    @alialibablly7010 3 роки тому +3

    Kwa wengine mtaona majigambo yao kuwadanganya kwa makulati na malaji kupata kuwahadaaa lakini ujumbe umefika bila ya haki hamna Amani

  • @konceptualagency4837
    @konceptualagency4837 3 роки тому

    Maalim nimkarimu sana sana sijui kwani hawa ma CCM wanamdhulumu huyu mzee bila huruma wala utu

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 3 роки тому +17

    Allah awaondoshe watwala madhaalim mwaka huu in sha Allah iwe ndio mwisho wao

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 3 роки тому +13

    Mwanaume hapo umeongea ukweli amani bila haki c lolote c chochote

    • @kulthoumsuleiman6540
      @kulthoumsuleiman6540 3 роки тому

      Haki itendekee co kufanya mnavyopelekeshwa,ss wananchi wake tunatenda haki ila nyiye ccm ndohamna Amani mnafanya mnavyotaka nyinyi mnazani ndohaki itakuwepo hapo

    • @sirajimakame1972
      @sirajimakame1972 3 роки тому

      @@kulthoumsuleiman6540 kanye uko

    • @yussufhussein1954
      @yussufhussein1954 3 роки тому

      @@sirajimakame1972 siraji acha ubwege babu zima unamwambia kanye uko ww hunyi

  • @elibarikimollel9629
    @elibarikimollel9629 3 роки тому +19

    Shetani asimamapo kuipotosha haki, Mungu aliye juu yetu sote, ndiye kimbilio la wanaoitafuta hiyo haki...

  • @abdulhamidhaji5056
    @abdulhamidhaji5056 3 роки тому

    Fact maalim, bila haki no. Peace

  • @salahkassim9729
    @salahkassim9729 3 роки тому +1

    Ebanawee musizingue hatuelewi kumfata nyumbani babu sio kigezo cha kuregeza msimamo musizingue haki kwanza tushachoka kukaa njaa kwa mlo mmoja kwa siku wakati uwezekano wa kuishi kwa furaha upo... hatuelewi

  • @mohdhaji2382
    @mohdhaji2382 3 роки тому +1

    Kikubwa ataeshida kura za urais atangazwe huyo huyo tu bc pasiwe na janja janja

  • @sumeyyaothman7608
    @sumeyyaothman7608 3 роки тому +29

    Maalim kua na msimamo huo huo

  • @suleimanomar4693
    @suleimanomar4693 3 роки тому +4

    2naomba kikao chengine cha amani wadau ( Kmt ya aman, Mwnykt wa zec, Siro, Maalm sifu, Mwny na Amn Krme ).

  • @ulipoulipotupo7564
    @ulipoulipotupo7564 3 роки тому

    Bora kufa kwa kusimama kuriko kubaki kuishi kwa kupiga magoti zanzibar yetu mara iyi mungu akipenda razima tuipate kama waona utani wacha waone bora amani ipotee kuliko kukubali kuishi kizembe

  • @rayarawdha3753
    @rayarawdha3753 3 роки тому +3

    Wewe Jembeeeee Letu 👍

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 3 роки тому

    Seif Baba yangu Nakushauri Wachana na Siasa ya Kidunia Bora upigane na Allah upate ya kesho Akhera,Kwanzaa Umri Umekwenda Hukupata Urais hapa Duniani, basi pigania Akhera yako, Umri Baba Yangu Umekutupa Mono , Nenda Kahijj ndo jambo bora hii Duniani haishi mpk siku yamwisho

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 3 роки тому +1

    Tunawatakia AMANI in sha Allah

  • @chicagousa2695
    @chicagousa2695 3 роки тому +47

    Lazima wamfatee Babu....Hahahaha...Babu yangu Usiambilike Maana Nina Deni LA milioni 5 Hapa za watu mkopo wa Chuo...sasa Nataka nikupiganie upate Urais mkopo ufutweeeeeeee

  • @suleysaid7783
    @suleysaid7783 3 роки тому +2

    Ndio mumetuonyesha nini hapo,kwani haya majadiliano yalikuwa hayaonekani.Acheni kufumba ukweli.

  • @suleimanalisaid3178
    @suleimanalisaid3178 3 роки тому +6

    Msimamo ndio huo wametumwa ila bora waende na tume wakakae kama vivyo

  • @ismailmkubwa4607
    @ismailmkubwa4607 3 роки тому +2

    Hhhhhhhh haya mavaz na majina yasikushuhuloshen Allah anaangalia kwenye nyoyo

  • @salekhsuleiman7689
    @salekhsuleiman7689 3 роки тому +3

    Maalim huo ndio ufalme wako 2020 👑hadi unafuatwa na viongozi wa Dini zote tz ila haki ndio Jambo muhimu .

    • @tatukhamiskhatibu8736
      @tatukhamiskhatibu8736 3 роки тому

      Iyo. Kiki. Ndio. Anayitafuta. Mwanaharamu. Hana. Heri. Hata. Ukimtia. Chupani. Hutoa. Kidole. Chake

  • @amosgerald7763
    @amosgerald7763 3 роки тому

    Asanteni sana viongozi Mungu awabariki sana

  • @khamissalim3166
    @khamissalim3166 3 роки тому +7

    Waislam tusidanganyike nadunia nijambo lakupita

  • @seakodammam2285
    @seakodammam2285 3 роки тому +2

    Wameshatumwa Hao mchezo umeanza

  • @hajishaibu8295
    @hajishaibu8295 3 роки тому +1

    Wambieni hao akina jecha watende haki kinyume chake mtakua wanafiq tu

  • @marwaabdalla9306
    @marwaabdalla9306 3 роки тому +4

    Hawa vibaraka vya ccm usinge wakatibisha sie haturudi nyuma bila haki nchi hii itakuwa sio pahali pa amani iyo ahadi

  • @abedymbelwa8666
    @abedymbelwa8666 3 роки тому +2

    Mkaongee na tume ya uchaguzi pia waweze kumtangaza kiongozi atakae shinda kihalali

  • @nak3477
    @nak3477 3 роки тому +18

    Musilete ukhanith nyny manafiki ya ccm shenz zenu...maalim ukituzinguwa tunaanza na wewe

  • @ismailmkubwa4607
    @ismailmkubwa4607 3 роки тому

    A.alykm tusijisahau na dunia kama tunaigombania dunia itatuacha na tutaiyacha jiulize

  • @reginas1832
    @reginas1832 3 роки тому

    Bila haki hakuna Amani. Shikamoo Maalim Seif

  • @semedimuslih5254
    @semedimuslih5254 3 роки тому +1

    Mm nawamby mashekh wazungze haki kwaz nd wazungz amni

  • @1carbon676
    @1carbon676 3 роки тому +1

    Heko Maalim haki kwazo halafu Amani👍🏼

  • @rashidmbagata3011
    @rashidmbagata3011 3 роки тому

    Mungu akupe haki na kwa uwezo wake utaipata tu

  • @mwalimumbukuzi7273
    @mwalimumbukuzi7273 3 роки тому

    Kavaa kama muislamu!! Lakini roho ya kishetani. Anahamasisha watu wakauwawe. kisha apate cheo kupitia muafaka.

  • @yussufsalim7306
    @yussufsalim7306 3 роки тому +1

    Viongoz wa dini wapo magerezan wengine makaburin ao ni washenz2

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 роки тому +3

    ustadh miwani unarudia rudia maneno .Zugumza machache wape na wenzio wa imani tofauti tusikie maoni yao

  • @barakakihaga6481
    @barakakihaga6481 3 роки тому +34

    Nani asomfaham maalim kama ni muungwana mara hii hatutaki kusikia tena amani tunataka kusikia haki isimame bila ya haki sahauni amani wapendwaa

    • @mussabulugu6319
      @mussabulugu6319 3 роки тому

      Wew kibaraka kweli kama hutak aman ingia barabaran uone .

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 3 роки тому

      @@mussabulugu6319 km kuna amani wavuvi walipotea vipi? Ok tunaomba amani

    • @noelilyatuu8129
      @noelilyatuu8129 3 роки тому +1

      Kwa nini nyie tu ? Hata tukiangalia mataifa yalioendelea hawana mambo ya kung'ang'ania madaraka kwa nini usikubali kushindwa ?

    • @omarhusna1766
      @omarhusna1766 3 роки тому

      @@mussabulugu6319 we vipi wacha ujinga haki kwanza mpuuzi

    • @mussabulugu6319
      @mussabulugu6319 3 роки тому

      @@omarhusna1766 hapo ulipo huna haki au unajishaua .naona unataka uwe shoga

  • @mtumwamohd2571
    @mtumwamohd2571 3 роки тому +1

    Tunataka mashehe wetu waliogerezaniii awooo siooooooo makofia tuuuu njaaaaa tupuu

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 3 роки тому +1

    Wameona mambo yameshawafika rohoni. Kama kweli wanataka Amani ktk nchi yetu mbona wamekaa kimya miaka yote hayo ndugu zetu wako jela na mateso na wamekaa kimya. Mungu awaongoze ktk kutenda haki

  • @ausonjustinian5494
    @ausonjustinian5494 3 роки тому

    Amani na Upendo. Tunu ya TZ. Asalam halehkum

  • @ikotilissu5380
    @ikotilissu5380 3 роки тому +2

    Mkaambie wenye mamlak watende haki amani itakuja automatically

  • @rashidmakame3374
    @rashidmakame3374 3 роки тому +2

    Wakati wa kutafuta haki haki halafu amani itakuja baadae ishaalla

  • @mathiaalima5743
    @mathiaalima5743 3 роки тому

    Mambo ya ajabiu haya Kweri viongozi wadini hawakweri mbona polis wanatesa watu zanzibar hawaongei wanafiki mungu wachome moto haraka sana

  • @mbaroukrashid5796
    @mbaroukrashid5796 3 роки тому +2

    Someni kitabu vizuri musiwe wanafiki

  • @mussasaid4955
    @mussasaid4955 3 роки тому

    Mimi hapa nimefaham kwamba usijesema sijaonywa hao ni viongozi wa dini zote na ni mashahidi juu ya amani yetu

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 3 роки тому +2

    Hhhhhhhhhh
    Sisi tuna msikiliza maalim tuu
    Hatumsikiliz yoyot

    • @znz9083
      @znz9083 3 роки тому

      Maalim kashasema tukinukishe tunasubiri 29 tu

  • @khamismtambwe8316
    @khamismtambwe8316 3 роки тому +1

    Hapo hawajajua tu kuwa rais ni nan kwa nn waakamfuata kwake yeye ndio rais hao mashehe wanafik tu

  • @suleymanialawi2208
    @suleymanialawi2208 3 роки тому +3

    HAKKI HUINUA TAIFA

  • @abdullasalim279
    @abdullasalim279 3 роки тому

    Viongozi wa kidini wao ndio chanzo cha machafuko sbb wao huwa wakimya wanapoona kiongozi alie madarakani anawadhulumu watu kwa kulinda maslahi yao lkn hua wepesi kusema pale wanapo ona amejitokeza mtu anadai haki kwa ajili ya wale wanao dhulumiwa ili kulinda maslahi ya kiongozi alie madarakani...

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 3 роки тому

    Kweli ZANZIBAR wanataka NCHI Yao Wajitawale kwa Uhuru wao kwa sasa

  • @salumjonas7636
    @salumjonas7636 3 роки тому

    Ningependa kamati ingeingilia kukutana na NEC warejeshe majina ya wagombea waliokatwa katika ngazi zote, dhuluma iondoke

  • @taffgong7751
    @taffgong7751 3 роки тому +4

    Jee!!! Sheni, Seif Iddi na mtoto wa Mwinyi mumeshawaendea kuwaelezea neno haki? Au Maalim tu alegeze misimamo ya ukweli?

  • @SaidSalum-hf1vo
    @SaidSalum-hf1vo 3 роки тому +1

    Mapema cna maalimu kura yangu unayo

  • @khaylatrue9479
    @khaylatrue9479 3 роки тому

    Kweli haki ni muhimu sana kinachofanya ao ma ccm kuitawala zanzibar na ikawa haiendeleyi ni kwa sababu kumekosekana na kitu kimoja kinachofanya isiendeleee ambayo ni haki .

  • @zanzibarspice8686
    @zanzibarspice8686 3 роки тому +17

    Kamati ilipaswa kuifata Tume ihakikishe ina simamia misingi ya haki ili Amani ipatikane Tume ndo chumvi ya mchuzi huu.......
    Ktk Uislam hakuna kamati mseto wa dini ktk kutunza Amani hakuna hata 1 anae mpenda mwenzie kwa kukinzana Dini....... Pia walikuwa hii kamat ya dini ikae na Kamati ya ulinzi na usalama Taifa

    • @barakakihaga6481
      @barakakihaga6481 3 роки тому

      Nawashangaa wallah

    • @naifatkhamis6315
      @naifatkhamis6315 3 роки тому

      Bila ya haki hakuna amani musitudanganye

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 3 роки тому

      Hatujaona hilo kamati iidate ZEC NA NEC kama wanataka amani pawe na haki haki ndio mzingi wa kila kitu.

  • @fatmahamad9314
    @fatmahamad9314 3 роки тому +9

    Rais wetu mtarajiwa alhamis insha allah tunakupeleka ikulu

  • @remmymsakusy1875
    @remmymsakusy1875 3 роки тому

    Huo ndiyo UHAI wa kamati na mawazo kupokelewa na mhusika no ukomavu wa KISIASA ZA8DI. Hongera Sana kamati

  • @zeyanaharmisuleiman696
    @zeyanaharmisuleiman696 3 роки тому

    Hii ni kupotezeana muda tuu, viongozi wana yao waliyoyapanga na hayo Ndio watakayoyafuata, hii ni sio hoja au sababu ya wezi wakura kutoiba kura au kuihujumu freedom ya mpiga kura

  • @mohammedhamad9392
    @mohammedhamad9392 3 роки тому +2

    Allahuma ameen

  • @issakassim8291
    @issakassim8291 3 роки тому +2

    dalili zaonyesha seif amekwisha shinda hongereni wazanzibar kwa kujitambua tena

  • @timbulosaid63
    @timbulosaid63 3 роки тому +1

    Mbona hamkucmama kuikemea tume ilipo wakata wagombea wa upinzan?

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 3 роки тому

    Kila ukipita unaporwa, unaporwa, unaporwa sasa baasii. Mzee mwungwana sana wewe, sasa baaasiii. Wamekuonea saaana, sasa baaasiii. Asiyejipenda ajaribu aone!!!

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 3 роки тому +1

    Huyo masai nae shekhe Au mlinzi😂😂

  • @shwalehally4400
    @shwalehally4400 3 роки тому +16

    Nyie mashekhe mu ccm, muombeeni dua tupate zanzibar yetu dini irudi

    • @abdulbogoyo1243
      @abdulbogoyo1243 3 роки тому

      Jiongeze kidogo unapocoment nini unapwenti kutokana na situation kuh siasa

  • @emilyibraimo5032
    @emilyibraimo5032 3 роки тому +20

    We shekhe gani waingia na gari kwa pesa za ccm mashehe wapo wapo jela nanda ukawaombe watoke utafanya la mana ccm Zanzibar hatuitaki

    • @barakakihaga6481
      @barakakihaga6481 3 роки тому

      Mara hii hakuna tena amani tunataka haki

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 3 роки тому +1

      Huyo seif amepewa Gari na CCM analishwa anatibiwa analindwa kama hujui na Hana shida ikulu anaingia kwa wakati anaota ka nyie washabiki mnavimba kugombea a yeye a nakula Bata mkiachiwa wenyewe huyo bila. Mkono wa serekali hata kumtibu hamuwezi mtamuacha afe tu ila yeye anajua kucheza na akili zenu hakuna siku sefu atakuwa Rais wa Zanzibar labda Miujiza ya Mungu zaidi ya hapo hakuna jengine

    • @mohammedsaid9129
      @mohammedsaid9129 3 роки тому

      Mimi nimefurahi sana kuona hio kamati, lakini kwa maoni yangu hii kamati ifike tume ya uchaguzi ZEC iitake ifanye haki na uadilifu kwani tume isipo faya haki amani haipatikani. Mfano kwanini Zanibar yenye wapiga kura 400000 tupige kura siku mbili na Tanganyika yenye wapiga kura zaidi ya milioni nne 4000000 wapige siku moja huo ni uvunjifu wa amani ulio wazi ,kwa hiyo hiyo kamati ya amani iyende kwa tumeya ZEC.

    • @ashajj6534
      @ashajj6534 3 роки тому

      @@godisgreat1845 katafte kazi ufanye

    • @abubakarzamir6276
      @abubakarzamir6276 3 роки тому

      @@godisgreat1845 wewe ata usemeje mara hii hatukubali

  • @abdallahhamad6102
    @abdallahhamad6102 3 роки тому

    Haki ni niamani upendo naumoja bila haki hata katika ndoa ya ukewenza hamna amani