Maalim Seif 'aianika' mipango ya Magufuli kwa Z'bar

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2020
  • Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo na mgombea wa urais wa Zanzibar kwa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, leo amechukuwa fomu ya uteuzi kutoka Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), ambapo katika salamu zake kwa wafuasi wake amesema kwamba anafahamu kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais John Magufuli, ana dhamira ya kuendelea kusalia madarakani hata muhula wake kumalizika na pia anataka kufuta muundo wa serikali mbili uliopo sasa na kuanzisha Muungano wa Serikali Moja. Msikilize hapa.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @mukrimismail9142
    @mukrimismail9142 3 роки тому +17

    I support you maalim our favourite leader, I have already sharped my sword for the fight. Thank you

    • @jackhans7708
      @jackhans7708 3 роки тому +1

      Try again like 2000 and we will show u🤫

    • @khajumkhamis7910
      @khajumkhamis7910 3 роки тому +3

      Mnh!Tanzania is peace country, no one can drop the blood

    • @bobg611
      @bobg611 3 роки тому +1

      Ujinga hapo sio Yemen

    • @mbegaluphutsu2126
      @mbegaluphutsu2126 3 роки тому +1

      If you Tanzanians u are ready for the war, we Kenyans we thank God that, our coffins business Wil boom. Hahaha

    • @mbegaluphutsu2126
      @mbegaluphutsu2126 3 роки тому

      @@jackhans7708 we kenyans we hv strong kws. Hakuna mpemba ataingia Kenya kupitia wasini Island. Hii Corona yatutosha

  • @hamadchild8544
    @hamadchild8544 3 роки тому +12

    Mwalimu mm nakukubali sana Mungu akuweke jeshi letu la mtu mmoja

  • @ibrahimdabo7163
    @ibrahimdabo7163 3 роки тому

    Tutakukumbuka malim seif kwa mapenzi katika kuteteya haki ya wazanzibari mungu akulaze mahala pema peponi amin

  • @amanihamidu9213
    @amanihamidu9213 3 роки тому +18

    my president zanzibar 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 3 роки тому

      Iyo ndoto ya mchana ndugu yangu huyu jamaa anawadanganya wazanzibar bure tu kwa faida yake na wabara hana lolote

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 3 роки тому +20

    Inshaallah Allah Ajaalie kheri katika Uchaguzi

  • @salumjonas7636
    @salumjonas7636 3 роки тому +7

    Bwana Wetu Yesu Watu Hawa wanataka Haki, Tunaomba Itendeke ktk Uchaguzi Huu.AMIN

    • @hashimuabdallah4211
      @hashimuabdallah4211 3 роки тому

      Hawa wanazuga tu wanajua fika hatuna katba mpya, hatuna tume huru na haki, ila kwa kuwa siasa ndio maisha Yao wanapiga porojo tu ili vyama vyao vipate ruzuku nyingi maisha yaendelee hakuna Cha kushinda uchaguzi wala nn hapo porojo tu

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 3 роки тому

    I love you President Teacher Seif Shareef Hamad I sapport ACT I come from Denmark

  • @salmaseif1070
    @salmaseif1070 3 роки тому

    Wapenda tunasema ... Hamtutishi ... Hata mkituuwa hamtumaliziii .... Milele hatuwakubali ccm .... Kudadeki zenuuu ..... Washenzi sanaa ,, wafalaa

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 3 роки тому +17

    Asante weyani tv nakufatilieni sana siku hizi mpo vzur zaidi

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 3 роки тому +10

    Mola atujaalie Uchaguzi Tanzania kwa ujumla uwe wa kheri

  • @amenyemwansile631
    @amenyemwansile631 3 роки тому

    Ee mungu wewe Ni mungu was haki saidia wazanzibar wapate haki yao maana wewe Ni mungu wa haki walaan wote wanaowanyang'anya haki yao wakalaaniwe milele Amina

  • @mustafaseif164
    @mustafaseif164 3 роки тому +14

    Asanteee maalim seif

  • @mwinyikherikhalfanmzee6296
    @mwinyikherikhalfanmzee6296 3 роки тому +16

    Go go go maalim seif wewe ndiye mkombozi wetu

    • @kassimmwinyi2138
      @kassimmwinyi2138 3 роки тому

      Amani ni zawadi kubwa kutoka kwa Allah musihadaliwe na wanasiasa idumisheni amani mtaulizwa juu ya neema hii kama kama hamjui thamani ya amani waulizeni waliowahi kushuhudia vita

    • @mwinyikherikhalfanmzee6296
      @mwinyikherikhalfanmzee6296 3 роки тому

      Sawa nimekuelewa lakini mm sikuchochea fujo yeyote ndg yang ktk imani

  • @amanmohd9435
    @amanmohd9435 3 роки тому +7

    Nayaona mapambano yakudai uhuru wa Zanzibar .

  • @leonardlucas9904
    @leonardlucas9904 3 роки тому +1

    Mungu awabariki viongozi wote w upinzani kwa kututakia mema.

  • @mamafaiza2651
    @mamafaiza2651 3 роки тому +32

    Nilikuwa n mshabiki wa ccm lkn kw hali hii inayokwenda nitaongna n nyiny act

  • @salmabutv4507
    @salmabutv4507 3 роки тому +3

    Habar naomba uwe shabiki wangu wa filam za kitanzania gonga hapo ili unisapot utazifurahiya zinamafunzo yakutosha asntee

  • @mohamedjuma5820
    @mohamedjuma5820 3 роки тому +12

    Ahsante maalim

    • @allykhamis5946
      @allykhamis5946 3 роки тому

      Ni yule ni mjuwaye mie hiyo,
      Fundi mshonaji

  • @samirahassan3212
    @samirahassan3212 3 роки тому +1

    Mm si mzanzibari lakini huyujamaa nampenda naninamkubari vibayasana maalim hussen mwinyi hakuwezi wara ccm hawakuwezi wanzanzibar wanakukubari sanaaaa

  • @user-jj9ny9li8o
    @user-jj9ny9li8o 10 місяців тому

    Allah mzidishie kheir

  • @sabatoyusto8842
    @sabatoyusto8842 3 роки тому +4

    Sawa sawa kamanda

  • @nassorshaaban7295
    @nassorshaaban7295 3 роки тому +17

    Ni bora kufa kwa Heshima kuliko kuishi kwa udhariri.!!Safari hii watatuuwa wote

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 3 роки тому +2

      Na wao pia watakufa

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 роки тому +1

      Jamani muwe naakiba yamaneno,haya yanaongelewaga hivihivi,tuko tayari kufa,tuko tayari kulinda sijui nn,kelele zinapigwa kwanguvu zote mwisho wasiku unafika uchaguzi kila mtu kimya nyumbani kwake,km nchi haina watu.ngoja tusubiri

    • @hamzaomar9731
      @hamzaomar9731 3 роки тому

      Ww mgeni wa siasa mm naelewa

    • @ellymzalendo4517
      @ellymzalendo4517 3 роки тому

      Na uwe wa kwanza wewe kufa huyu seif keshachoka hawachie vijana wapige kazi na mwaka huu atashindwa vibaya mno hakuna cha ukombozi ni tamaa ya madaraka inamsumbua

    • @omarhusna1766
      @omarhusna1766 3 роки тому +2

      @@ellymzalendo4517 weee mjinga nini mbona wazee wako wame choka na wanalala kitanda kimoja waambie basi wazee wako wame choka wasilale pamoja

  • @khelefomar4097
    @khelefomar4097 3 роки тому +1

    Mimi ninaishi Dubai lakin mda ulifikia narudi Zanzibar nakuja kusikiliza la mgambo nipate nitoke siogopi

  • @salumsosa2256
    @salumsosa2256 3 роки тому

    Safi sana wew mzee nakukubali ile mbaya

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 3 роки тому +23

    Watu wamechoka kwel dah

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 3 роки тому

      Kwa kipi hata mkutano wa Hussein mwinyi pia watajaa

    • @abuyotmanimgenimgeni578
      @abuyotmanimgenimgeni578 3 роки тому +1

      Tena tumechoka sana zanzibar hatutaki muungano

    • @joelchunga8290
      @joelchunga8290 3 роки тому

      @@abuyotmanimgenimgeni578 du POLENI

    • @newstar6707
      @newstar6707 3 роки тому +1

      hawajachoka watu, wamechoka upinzani hawana sera😂😂😂😂 sera ya uchonganishi hawana sera ya maendeleo😂😂😂 em tuone nani ataandamana

    • @newstar6707
      @newstar6707 3 роки тому +1

      😂😂😂😂 toa uwongooo apaaa

  • @cassyaugust4585
    @cassyaugust4585 3 роки тому +10

    ..ila ukweli usiofichika maalim seif ana nguvu sana Zanzibar hilo linaonekana dhahiri

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g 3 роки тому

    MWAKA HUU YAA RAB-BI LIVUSHE SALAMA TAIFA LETU HILI KWENYE KIPINDI HICHI KIGUMU KWA NJIA SALAMA UITAKAYO WEWE TUSALIMIKE NA MALI ZETU AAMIIN YAA RAB-BAL'AALAMIINA

  • @sitiomaromar2401
    @sitiomaromar2401 3 роки тому +10

    Wanaosema Maalim anamalalamiko hamuwezi ushindani ccm

    • @wizkid2951
      @wizkid2951 3 роки тому

      Ashindeeee subutuuuuuuu

  • @salumyussuf4818
    @salumyussuf4818 3 роки тому +6

    Wanzanzibari tupeni serikali yetu

    • @ndiozetu1712
      @ndiozetu1712 3 роки тому

      Serikali yenu ipi mzee

    • @ibrahimsheha215
      @ibrahimsheha215 3 роки тому

      @@ndiozetu1712 uijuwi au kipofu ii nikivulituu

    • @Jal210
      @Jal210 3 роки тому

      Hamkupata asubuhi mtapata usiku CCM Inachukua mtake msitake

  • @kubumbegu155
    @kubumbegu155 3 роки тому +5

    Pole sana babu sisi yetu macho

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 3 роки тому

    Nimekuelewa mzeewangu seifu Kwa msemowako wakusema kwamba.Amani Haiji bila kutendeka Haki Allah akujaalie kilalakheri mzeewangu

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 роки тому +2

    Yote kula hiyo mmmmmmh wachanipite tusubiri uchaguzi 🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️

  • @allyabdalla4228
    @allyabdalla4228 3 роки тому +10

    Katika historia hakuna kipya,Firauni alipoona anatabiriwa kuondoka alifanya vituko vingi lakini muda ulipofika hakua na kikwazo Mungu alimng'oa.Hata maharage yakiwa jikoni huruka sana lakini moto ukikolea yataiva tu.Mara hii moto umekolea,time will tell gays in shaallah

  • @chiaabdalla2351
    @chiaabdalla2351 3 роки тому +30

    Ndevu simba waambie ukweli mwaka huu sasa basi liwalo na liwe,sunami inakuja!!!!!

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 роки тому

      Sunami utaweza hutokimbia

    • @mbegaluphutsu2126
      @mbegaluphutsu2126 3 роки тому +1

      Anzisheni vita mm mkenya nangoja kuowa bbi wa kiarabu kutoka zanzibar, coz nyote mtafurika kenya

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 роки тому +3

      @@mbegaluphutsu2126 haaaaaa nimecheka.wanafanya mchezo navita.waone wengine wanavyopata shida

    • @mahamoudduchi3318
      @mahamoudduchi3318 3 роки тому +4

      @@mbegaluphutsu2126Acha uboya ww waarab so wapo mombasa kaowe uko

    • @saidabdala4980
      @saidabdala4980 3 роки тому +1

      @@mbegaluphutsu2126
      Tutakuja kenya kweli lakini kwa alshabab. Si ndiye muemuogopa

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 3 роки тому +6

    Sasa basi wa zanzibar nduguzagu together

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 3 роки тому +2

    Mbona watu wako ishirini? Wanazungumzia Amani kwa sababu ya urafiki wenu na mataifa ya magharibi......maneno ya uchochezi!

  • @avitymendezy9891
    @avitymendezy9891 3 роки тому +24

    Umeeongea vzr sana Maalim, Magufuli ni dictetor mkubwa, wazanzbar jitahd sana mtuondoleee kabisa.

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 роки тому

      Akili yako sio nzuri wanzanzibari watamundoa magufuri? Mlizowea wizi jasho litawatoka. Magufuri kafanya nini baya?

    • @avitymendezy9891
      @avitymendezy9891 3 роки тому +2

      @@husseinmkanga7794 ahasante sana ndugu, uenda akili yangu sio nzr kwa mtazamo wako, lkn kama kweli unaipenda nchi yako na unauchungu nayo ww mwenye akili nzr zaid yangu naamini ungekuwa muumini mzr wa haki hapa nchini. Mimi sikatai Magufuri ndio kafanya vzr. Sasa nikuulize swali " Kwa uzr huu alioufanya na ww kama mtanzania au mzanzbar bahat nzr unaakili kama ulivyosema kuliko mie, je unadhani hiki kigugumizi cha kuogopa uchaguzi kinatoka wapi?, je ni kweli wagombea wote 42 kwa takwimu za juzi waliokatwa na tume hawana vigezo vya kugombea, je zanzibar inawatu wangap mpaka mtu anashinda ubunge bila kupingwa? Je ni busara kama kuna makosa mfano yakawepo watu wenye sifa zote za kuongoza wakaenguliwa? Je unajua kazi ya Tume ya uchaguzi ? Je unajua kuwa tume ya uchaguzi ni mama wa vyama vya siasa? Je unajua dhamana iliyobeba tume ya uchaguzi ktk kulinda na kutetea amani nchini?, kwa leo jibu hayo kisomi sio ushabiki. Sisi kwa bahati mbaya mnatuelewa vibaya we have dreams for our Country,we need our country in another step. Come on brother., its ur load

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 роки тому

      @@avitymendezy9891kuhusu wagombea ambao hawakuteuliwa kutakuwa na sababu. Kinachotakiwa unakata rufaa I'll wakwambie ki undani kwa nini hawajakuteua. sheria za uchaguzi zinasema hivyo. Jambo lingine uchaguzi ni gharama vyama vya siasa inabidi viwekeze kwenye uchaguzi. Sio watu wote wanaweza kujaza hizo fomu unahitaji washauri wazuri haswa wanasheria kwahiyo fedha inahitajika. Unapewa fomu na maelekezo unachotakiwa kufanya na usichotakiwa kufanya. Sasa jaza fomu kwa umakini ili uteuliwe. Tume kazi yake ni kutenda haki na kufuata sheria na kanuni za uchaguzi. Sasa ukifanya makosa halafu unataka tume ikupendelee huko nako ni kumnyima mgombea mwingine haki yake. Haki haiwezi kuwa kwa wapinzani pekeyake. Kuhusu JPM kuogopa uchaguzi huo ni upuuzi mnaongea, hana sababu ya kuogopa hakuna mtu wa kumshinda. Kuhusu swala la kutaka nchi yako huo pia ni upuuzi. nzanzibar inatawaliwa na wanzanzibari tangu mapinduzi ya 64. Kusema wanzanzibari ambao CCM sio wanzanzibari huo ni ubaguzi ambao maalim seif anautumia kuwagawa wanzanzibari.

    • @witneskilinda5034
      @witneskilinda5034 3 роки тому

      @@husseinmkanga7794 nyie watu mnaoitetea ccm mnaniboa! vitu vya hovyo vinavyofanywa na ccm viko wazi lkn mnajifanya kuficha! waficheni vipofu lkn watanzania wanaona uonevu wanaofanyiwa! kwanini msituache tuchague viongozi tunao wataka ?

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 роки тому

      @@witneskilinda5034 utaboreka hakuna wa kuishinda CCM kwa sasa halafu mtanzania sio wewe tu .

  • @z.nalnabhani7194
    @z.nalnabhani7194 3 роки тому +8

    Allah ataleta ushindi,kwa zanzibariwe huru

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 3 роки тому +1

    Wazanzibari hata wasipomchagua Magufuli atashinda bila ya kura zao, wao ni wachache sana na Muungano kwanza unai-cost Tanzania bara vibaya sana sasa yeye akianzisha unzazibari tena atajikuta anapoteza sana. Yeye afanye kampeni za kistaarabu na kutoa sera za chama chake.

  • @husseinkhan4889
    @husseinkhan4889 3 роки тому

    Mwenyezi mungu haipe amani nchi nyetu!

  • @Gamba177
    @Gamba177 3 роки тому +3

    Hongera sana Rais Maalim Seif, ccm warudi kwao Dodoma hatutaki mitwana ya kuja kuletewa kutoka Chamwino.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 3 роки тому +7

    People Republic of ZANZIBAR is coming.

  • @margarethorgenes4874
    @margarethorgenes4874 3 роки тому +1

    Wewe Babu mimi siitaki kukusalimia shikamoo. Hapo ulipo Babu kusimama kwenyewe huwezi unainamia mbele kiuno kimeisha choka. Waachie vijana. Liwalo na liwe, Babu huwezi kukimbia hata hatua moja. Umechoka mpaka hata kumbukumbu umeanza kupoteza. KAPUMZIKE BABU.
    I

    • @zubeirjuma1856
      @zubeirjuma1856 3 роки тому

      Zanzibar haikuxu ww watu wamechoka na udictetar

  • @sulezanzibar7505
    @sulezanzibar7505 3 роки тому +2

    From #Russia Moscow
    ulipo Tupo kauli mbiu yetu 🇷🇺🇹🇿huu mwaka lazia watowe tumechoka naoo hawa mabunjuu ccm

    • @wwvpachaubinafsuyodaimondn3479
      @wwvpachaubinafsuyodaimondn3479 3 роки тому

      Na we huyu unaemsikiliza muongo anawadanganya wananch sana hawez kuongoza nch ilo uhakika asijisif kwa wananch.

    • @jumasabour5886
      @jumasabour5886 3 роки тому

      unawezaje kwenda kuhamia nyumba ya mtu. halafu ukajinata akikufurush je?????

  • @mohammedmfamau43
    @mohammedmfamau43 3 роки тому +4

    Aa no mbaguzi hakatai kwao maalim anahitaji znz ilio huru sisi ndio wabaguzi tunamkataa mama tanganyika duh aibu kwetu yaani

  • @hudaasaalim1333
    @hudaasaalim1333 3 роки тому +33

    Wasidhani wakiwauwa hao waliopo pemba ndio washatumaliza wapemba. Nooooo. Sisi tuliopo nje tutakuja kukijaza tena kisiwa cha pemba mara tano ya hao waliopo sasa.

    • @omarhusna1766
      @omarhusna1766 3 роки тому +3

      Yaa nitukusubirini kwa furaha na tabasamu ndugu zetu mlokuwepo nje ya nji endeleeni kutuunga mkono

    • @lkshmykomar5472
      @lkshmykomar5472 3 роки тому +3

      Ishalla Mungu ataaza nawao kwaza pemba yetu kwauwezo wa Allah itabak salama

    • @salummussa8673
      @salummussa8673 3 роки тому +2

      Mnapenda mambo yakufakufa mungu atatunusuru na pemba yetu mambo ya vita hatuyataki kwakila anaye iyombea pemba mabaya mwenyezi mungu amuondowe yeye kwanza

    • @omarhusna1766
      @omarhusna1766 3 роки тому

      @@salummussa8673 hamna kufa kufa tuna taka haki sawa tupate nchi yetu inaonesha salum mussa weye ni haramu ya kipemba sio halisi

    • @nadhifamuombwa2638
      @nadhifamuombwa2638 3 роки тому +1

      Hamtaki muungano ondokeni Tanganyika nendeni kwenu Pemba mbona kwenu mnakukimbia mmejazana bara na unguja hamna Haya nyie imerisheni kwenu kwanza, mmemshinda sheni mbona hamjachukua nchi na bado anaiongoza Hadi sasa

  • @hassansugha5935
    @hassansugha5935 3 роки тому +1

    Ndioo shikamoo maalim

  • @hashimuabdallah4211
    @hashimuabdallah4211 3 роки тому

    Hadi leo Bado tu wapiga porojo, ina lillahi waina ileyhi rajiuun,

  • @erastoshedrack7118
    @erastoshedrack7118 3 роки тому +7

    Daah huyu ndo anapita Bila Kupingwa asee. Maalim 💪

  • @saidhamad7504
    @saidhamad7504 3 роки тому +8

    Im waitng to see the power of inshallah...

  • @jumavuli7390
    @jumavuli7390 3 роки тому

    Mm nipo Tanzania naitwa JUMA baba pambana kwaajili ya uwislamu na imani ya waislam tena mashegh wetu wakawatoe huko magelezani ukweli kamili Aulizwe tundulisu muheshimiwa ndo Alivujisha sili hiyo tulikuwa hatuyajui hayo tumeyajua kwenye sela zenu nyie wana siasa.

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 3 роки тому +6

    Mama zangu mnawatoto wachanga huyo atawakimbia.

    • @salumsalum4819
      @salumsalum4819 3 роки тому

      Hata Mtume (SWA ) kazaliwa na Mama yake hakukaa sana akafariki. So . Hakuna wa milele hapa duniani.

    • @khatibally4880
      @khatibally4880 3 роки тому

      Ww hayakuhusu

    • @amourbrwn2501
      @amourbrwn2501 3 роки тому

      Kafir mkubwa wee

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 3 роки тому +3

    Babu eeeee em acha maneno mingi, just ww twambie tu tarehe ngapi cc tudai haki yetu bas kazi yko ww imeisha htutaki USENGE wao km n kutuuwa we are ready💪

    • @beatricemapunda284
      @beatricemapunda284 3 роки тому +1

      Good acha tuamue moja kufa au kuishi maana hakuna atakayeishi milele

  • @saidvoali6586
    @saidvoali6586 3 роки тому +11

    Nafuatilia Act wazalendo Niko njee

  • @muhamediyaliyy5977
    @muhamediyaliyy5977 3 роки тому +2

    Seif nawe pia dikteta huchoki kugombea miaka yote hiyo kumbuka ulimsaliti jumbe ukajipen dekeza kwa nyerere leo unasema Nini kawadamganye mbumbumbu wenzio

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 3 роки тому

      Toa historia zaidi tujue maana watu wengine hatuwajui vizuri......!

    • @hijjafakky569
      @hijjafakky569 3 роки тому

      Nkwel mjomba??

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому

      Wakati wake kafanya mabaya mengi huyu mzee na ndio mana Allah anamdhalilisha mpaka uzeeni. Maisha yake alikua mchu wa madaraka na kibaraka wa Nyerere alidhani labda atapewa uraisi na pia alikua mbaguzi wa kubagua waunguja na sasa kaishia anadhalilika anajifanya anauchungu na Znz kumbe mnafik mkubwa. Sisi waunguja tunamjua vzr labda adanganye wapemba wenziwe chongo wanaoita kengeza na wale wasiomjua.

  • @bertinkimati2674
    @bertinkimati2674 3 роки тому +1

    Maneno yako kuwa wanatafuta 2/3 yamethibitishwa na Ndugai juzi alipokuwa akifungua kampeni. Sikilizeni clop ya Ndugai ya ufunguzi wa kampeni.

  • @allykhamis5946
    @allykhamis5946 3 роки тому +3

    Tupe raha baba

  • @davidnicholaus5304
    @davidnicholaus5304 3 роки тому +4

    Naona wanzanzibar wakidai haki zao kwa nguvu...

  • @mudimaalim217
    @mudimaalim217 3 роки тому +2

    Tume tunahitaji uchaguzi wa huru na haki, uvunjifu wa aman ukitokea nyinyi ndio mliosababisha

  • @alimakame4207
    @alimakame4207 3 роки тому

    Jamani haya nimaisha ya Dunia tu tuwaachilieni wenye Dunia Dunia yao. Ni bora hivi tunavoishi kuliko kuja kupotea Amani Nchini . Haki yetu tusipoipata hapa tutaipata mbele ya Allah.

  • @suleimanbakar3429
    @suleimanbakar3429 3 роки тому +7

    Hapo sawa kuhanisiwa Ni makafiri na wanafiki basi sasa Bora tufe watakapo Baki watafaidi matunda ya nchi yao

    • @bobg611
      @bobg611 3 роки тому

      Kafiri n wewe tena terrorist

  • @pandungozi1072
    @pandungozi1072 3 роки тому +6

    znz is gone! tumeuza kwa bei ya bule na hailudi tena kwa wazanzibali forever💪😩

    • @jevinjacob5439
      @jevinjacob5439 3 роки тому +1

      Pamaneni wazanzibar... nchi wenu hii na mna haki nayo

  • @omarjumanne6744
    @omarjumanne6744 3 роки тому +1

    Puresha lnapanda inashuka mmmm. Ccm mtamkumbuka Amani karume kuvunja serikali ya mseto amani hakuwa mjinga

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 роки тому

    Hongera hongera hongera imetosha tumechoka na muungano

  • @othmanubguyu1708
    @othmanubguyu1708 3 роки тому +12

    Hao wazanzibar wanauza nchi yao kwa njaa,wanakua wanatawaliwa na watanganyika wao kama watumwa wanatawaliwa na watu wenye njaa kama wao

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 3 роки тому +4

      Umenikubusha moja kati ya Maneno ya Hekima ya Julius Nyerere alivyosema:
      "KUTAWALIWA NI UTUMWA"

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 3 роки тому

      Majonzi

    • @abasamwame6583
      @abasamwame6583 3 роки тому

      Wenye njaa ni watu wakisiwa ndui na kisonge ambao wamekuwa wako tayari kuuza nchi yao kwa mabeberu wa kiafrika kwa maslahi ya matumbo yao

    • @sharifmbarouk2796
      @sharifmbarouk2796 3 роки тому

      @@abasamwame6583 ishauzwa kwa watwana kwisha na wa2 wakiingia barabarani watauliwa km sisimizi hasa makafiri Hawa...

    • @abasamwame6583
      @abasamwame6583 3 роки тому

      @@sharifmbarouk2796
      Hivi hao makuwadi wa Zanzibar wanaishi mbiguni?
      Hivi jecha bado yuko hai???

  • @mohammedmfamau43
    @mohammedmfamau43 3 роки тому +6

    Tunawasumbua wazanzibari lkn pia tunajisumbua na sisi kw maana na vizazi na vizazi shuguli itaendelea hivihivi lkn tungaliwaachia tungalikwishasahau mada hizi zisizokwisha kila uchao.

  • @abubakarfundikira2694
    @abubakarfundikira2694 3 роки тому +1

    muungano ni nguvu na utenganano ni dhaifu sisi ni watanzania. fikra za ubinafsi ni mbaya vizuri kula na wenzako...

  • @goodlucksemba1145
    @goodlucksemba1145 3 роки тому +1

    Maalim seif Sharif yupo sahihi sana, big up Mzee!

  • @allymsuya6655
    @allymsuya6655 3 роки тому +23

    Kama Hitler alivyosema anaogopa mtihani kuliko kitu chochote, ndivyo CCM inavyoopa uchaguzi kuliko kitu kingine chochote

    • @jackhans7708
      @jackhans7708 3 роки тому +1

      Eti muafrica ananukuu maneno ya Hitler, kweli ninyi watu hamjitambui na mnashangaza

    • @witneskilinda5034
      @witneskilinda5034 3 роки тому +1

      @@jackhans7708 acheni kuiba kura

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 3 роки тому

      Jack Hans kwani kuna ubaya gani?

    • @jackhans7708
      @jackhans7708 3 роки тому

      @@aishamuhammad7785 nenda kwenye Google utapata majibu

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 3 роки тому +7

    Hawa ccm hawana seraa wanaogopa uchaguziii

    • @munawarsaid6614
      @munawarsaid6614 3 роки тому +3

      Tunahitaji Zanzibar huru yenye mamlaka kamili

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 3 роки тому +2

    Kwa hyo wanaccm siyo wazanzibar, huyu jamaa ana ubaguz wa wazwaz

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 3 роки тому

      Mshamba

    • @saidmaulid7668
      @saidmaulid7668 3 роки тому

      Wazanzibari wote ni waislamu ukiona mkiristo ujue ni mnara na kafiri kama wewe

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 3 роки тому

      @@saidmaulid7668 we utakuwa mjukuu was sultan, maana roho yako ni ya kishetani kabisa na kwa taarifa yako utake ustake Zanzibar ni ardhi ya Tanzania, hutak rudi kwenu Oman

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 3 роки тому

      @Said Maulid ndugu yangu unafeli sana...nimekaa zanzibar miaka mingi lakn uisilamu uliopo kwa wengi wenu ni wamazoea tu lakin wala hauna uchamungu ndani yake!!! Hakika aliyebora mbele ya Allah ni mwenye taqwa haijalishi uwe umezaliwa kwny uislamu au umesilimu!!! Wangapi ktk watu wema walisimu na wakafanya makubwa ndani ya dini na tutawasifu mpaka yawmul qiyama? Tena usiwe na kibr ktk dini ya Allah kisa tu umezaliwa katka uislamu alafu ukawa mwislam jina...assalaam aleykum

  • @AliAli-pe7sj
    @AliAli-pe7sj 3 роки тому

    MALIM SEIF SHARIF HAMADI HONGERA SANA ALLAH S W AKULINDE AKUIFADHI AKUWEKE TUPO PAMOJA KWA LOLOTE LILE HATA ME KM NIKUNIUWA NIPO TAYARI KUFA KWA AJILI YAKUDAI HAKI YA WAZANZIBAR NAELEWA KUFA KILA MOJA ATAKUFA KWASIKU YAKE KUFIKA C C M HATUWATAKI TENA HATUWAPENDI MUTAKAVYO TAWATAKA

  • @z.nalnabhani7194
    @z.nalnabhani7194 3 роки тому +4

    Ccm pepo hata harufu hawato isikia kwa dhuluma

    • @lkshmykomar5472
      @lkshmykomar5472 3 роки тому +1

      Wallah M/ Mungu atawaangamiza km fryaun atawagharkisha km alvo muharkisha harun najeshi lake Amina

  • @amosmoses7800
    @amosmoses7800 3 роки тому +5

    Kwako Mh.Magufuli
    Mheshimiwa mimi kula yangu utaipata iwapo tu utajibu masuali yangu haya -
    Kwavile wewe ni msema kweli. Na unadai unamuogopa Mungu : ___
    1. Uliahidi milioni 50 kila kijiji. Je! Ututajie kijiji Angalau kiMoja ulizowapelekea.
    2. Utuambie hizo ndege. Ni nani alieizinisha ununuzi? Na zimenunuliwa kwa Kiasi gani. Na hadi muda huu zimeingiza faida Kiasi gani.
    Utuambie sababu za kuzuiliwa ndege zetu mala kwa Mala zikienda nje. Mbona zinaMADENI $ 133 milioni ?
    Utuambie wanaozipanda hizo ndege ni akina nani?
    3. Utuambie Uwanja wa Chato wa kiMataifa ulijengwa kwa Kiasi gani. Nani alieizinisha . Na hela ya ujenzi imetoka wapi? Na kwanini Uwanja huo ujengwa kijijini CHATO ?
    4. Utuambie zile Trilioni 1.5 mfuko wa hazina ya selikali zimepotea wapi? Au zimetumika vipi ?
    Na kwanini Ukamtumbua CAG Mzee Musa Asadi?
    5. Mh.Laisi Utuambie kwanini vyombo vyako vya Dola vimeshindwa kuwatambua Na kuwakamata " KIKUNDI CHA WATU WASIOJULIKANA " .?
    kilichokuwa kinawanyonga Laia zako. Wengine kutekwa. Wengine kupigwa lisasi.
    Kama bado kipo inchini . Unawakikishiaje laia zako usalama wao?
    Ili Mo Dewji aondokwe Na hofu.
    6. Utuambie wale " mafisadi wawili wa ccm " walioekeza nje ya inchi. Uliwachukulia hatua gani? Mbona hatukukuona ukifatilia miHela yao iyo kwenye Account za nje ya inchi?
    7. Mh. Laisi unapoongelea COLONA. Kila kwenye kampeni zako. ivi ni Wapinzani ndio walioileta ? Na Je ! Imeondoka kwa Nguvu za mungu wa Chato au Mungu Mkuu wa mbinguni baada ya maombi yaliofanywa kanisani Na misikitini?
    8.Mh Laisi ulidai uchaguzi huu utakuwa wa haki Na hulu. Mbona tayali tunaona wagombea wengi tu wa ccm Na wale wa upinzani wakienguliwa ?
    9. Mh.Laisi uliahidi Utajenga mashule na MaHospitali hadi wilayani. Ni hospitali ipi iliojengwa hadi muda huu?
    10. Mh.Laisi ulisema inchi yetu ni tajili sana. Mbona laia wako wanaishi maisha duni. Hela haionekani. ?
    Tunaowaona wakifaidika ni vigogo vya ccm / vigogo vya selikali na watu wa usalama taifa. Wanaozi kujenga majumba ya kifahali kila sehemu Bila ya wasiwasi.
    11. Kwanini unawatumia wasanii kwenye kampeni zako zote.?
    Utuambie hiyo mikataba uliofanya na wasanii. .wanalipwa na hela za nani?
    12 Mheshimiwa Laisi. Eti kama tunaitaji kuanzisha Kiwanda Tuanzie na CHELEHANI ngapi ?
    Suali la mwisho Muheshimiwa
    13. Wanasema Ulitembea na shemegi yako. Je ! Ulizaa nae ?
    Au ulikuwa ukipita pita juu juu tu?
    KULA YANGU MHESHIMIWA NI KWAKO. UKINIJIBU VISUALI VYANGU IVO.
    BWANA YESU ASIFIWE !
    CCM OYEEE !!!!

    • @mbarakaiddi8209
      @mbarakaiddi8209 3 роки тому

      Duh bb natamani nami niskie ukijibiwa

    • @hijjafakky569
      @hijjafakky569 3 роки тому

      Amos kura yko haifaidish hta ucpopga good kura yko wka chungun ule na watto wko 😂😂😂😂😁😁😁🤣🤣🤣😎😎😎

  • @husseinkhan4889
    @husseinkhan4889 3 роки тому

    Mkitaka democrasia chama chochote kitakachoshinda kipewe haki yake kusiwepo dhuluma wala kisasi kutakuwa na amani lkn mkileta dhuluma mtaleta machafuko. Kila kitu kina mwanzo na mwisho!

  • @deemarschambou1115
    @deemarschambou1115 3 роки тому +1

    Ewe Mungu tenda haki . Ccm ni tumewachoka wallahi

  • @fatimandete7915
    @fatimandete7915 3 роки тому +3

    unaanzaje kuapia ktk mambo ya kidunia yani porojo zote hizo kisa madaraka tuu mngejua uongozi una dhima kubwa mbele ya Allah hata msingeugombania ila kwa ajili binadam tunapenda maisha ya dunia wala hatufikirii hilo

  • @SalmaSalma-nb2cv
    @SalmaSalma-nb2cv 3 роки тому +4

    Iv hakuna jiongozi mwengine zaid ya uyu kizeee

  • @greysondavid3417
    @greysondavid3417 3 роки тому

    WATANZANIA TUSIWRWAJINGA WAKUSHABIKIA MACHAFUKO. VITA NA MACHAFUKO YATAKAPOTOKEA NINYI AKINA MAMA WATOTO NA WQZEE NDIWO WATAKAO TESEKA. TUWAOGOPE WATU WANAOHUBIRI CHUKI NA KUVUNJA MUUNGANO WETU. TUWEKAKINI SANA NAHUYU SEIFUAALUM HAFAI KUWQ RQIS

  • @meshackanjawe2784
    @meshackanjawe2784 3 роки тому +1

    Tunayoyasikia yanatuacha midomo wazi.Tunajiuliza uchaguzi unaandaliwa kwa hila? Kweli serikali ya kupita Bila kupingwa ni serikali halali! Mbona kelele ni nyingi? Tutafakari ...........

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 роки тому +6

    DODOMA TAYARI MJI MKUU SASA ZANZIBAR KUA MKOA RASMIN MWAKANI MAANA BUNGE NA BARAZA LA WAWAKILISHI LOTE NI CCM.

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 3 роки тому +2

      Kwa uwezo wa mungu haitofikia ivo kabisa

    • @iddykasheshe3913
      @iddykasheshe3913 3 роки тому

      Afu zanziba nch kila ki2 inacho kama nchi so inakuwaje mkowa

    • @hamzaomar9731
      @hamzaomar9731 3 роки тому

      @@iddykasheshe3913 Kuwa uyaone

    • @fugameza6011
      @fugameza6011 3 роки тому +1

      Mtikila alisema hapa wengine tuka nuna wazanzibari bado wana unyani maana haiwezekani wanavyo buruuzwa na jinamizi la muungano na bado hata ukiwaambiya wanakisikiliza na kuitikiya kuwa wamefaham lakini wakifikia porini ( DODOMA) yale yoote wanatupiliya mbalini

    • @yakubusaid8073
      @yakubusaid8073 3 роки тому

      Mkoa ww unawazimu Nn? Kwanza tunaanzaje kua wanamikoa nyamaza Mara moja alafu usiongee pumbaa Ongea point zinazojitosheleza

  • @jinaali4370
    @jinaali4370 3 роки тому +4

    Musimtangulize mungu ktk kumwaga damu pasi na Sheria, Katu musimshihudishe mungu! Wewe si haba ushakula chumvi hata ukifa si hasara, tunavitoto vyetu vichanga! Ya Allah, usiruhusu tena harufu ya damu kunukia ktk visiwa vyetu! Mbona mnataka kuwapa faida watanganyika? Na maadui zetu!

    • @omarmhmammed216
      @omarmhmammed216 3 роки тому

      Haki pia ihubir na waitekeleze hapo wataepuka majanga

    • @farhiyathani4810
      @farhiyathani4810 3 роки тому

      Ccm uyo mjinga tunataka haki itendeke

    • @the_white_43.
      @the_white_43. 3 роки тому

      Uwe unaongelea na haki pia nadhani ndio uzalendo imara ,,

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 3 роки тому

      Kwenda huko wacha ubaradhuli.
      Bila ya haki hakuna amani na vitoto hunavyo peke yako.
      Kufa ni mara moja tu.

    • @el_chilubi7458
      @el_chilubi7458 3 роки тому

      Asitagulizwe Mungu kwenye kupigania nchi yako? Hujui kama hio ni Jihad nayo?

  • @ruwailaomar6501
    @ruwailaomar6501 3 роки тому +1

    Allah ailani miccm

  • @othmansaleh177
    @othmansaleh177 3 роки тому +1

    ZANZIBAR kwanza vyama badae ZANZIBAR sio mkowa wazanzibari tuamke

  • @petertroy2545
    @petertroy2545 3 роки тому +3

    Watanzania wenzangu msidanganywe kuingia barabarani kwa chochote. Vikinuka hawa wachochezi hua wanakimbia. Zanzibar kumbukeni 2001.

  • @henrybaraka5258
    @henrybaraka5258 3 роки тому +3

    Huyu mtu mwenye uchu wa madaraka.....

  • @greysondavid3417
    @greysondavid3417 3 роки тому +1

    UJINGA NIMBAYA SAJA KULIKO SUMU TUSIWE WAJINGA SISI WATANZANIA WANASIASA NIWATU HATARI SANA MFANO WA LIBYA SASA WAKOWAPI AMANI NA RAHA WALIZOKUWANAZO ZIKOWAPI SASA WANATESEKA.HIVYO TUWEMAKINIVSANA NAHUYO JIBARAKA QA KISULTANI

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 3 роки тому

      Kwahiyo tumuachie mwanasiasa mmoja tu Magufuli nchi yetu aiendeshe atakavyo, sisi sote tuwe watumwa wake?

  • @championgm9311
    @championgm9311 3 роки тому +1

    Huyu nae kwa uwongo 😃😃😃😃😃😃anawafanya watu kama mazezeta

  • @pantaleokulaya2112
    @pantaleokulaya2112 3 роки тому +6

    Wadanganye moto ukiwaka wewe unaingia mitini kwanza umeshaazeeka

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 3 роки тому +1

      Nenda zako burundi huko jina lenyewe hata kiswahili huwezi liandika

    • @mahmoudaziz4717
      @mahmoudaziz4717 3 роки тому +2

      Uyu mzee kipenzi Cha watu. Kipenzi Cha wazanzibar 🇹🇿.

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 3 роки тому

      @@mahmoudaziz4717 hakika

    • @haikajohn7580
      @haikajohn7580 3 роки тому

      Kweliiii

    • @shabanikallah1081
      @shabanikallah1081 3 роки тому

      Sasa Moto uwake wa nini mtu akisema ukweli. Kwani tukiamua kuanzia leo Tanganyika ijitegemee na Zanzibar ijitegemee kutakuwa na tatizo gani mimi hata sielewagi

  • @issahamad6859
    @issahamad6859 3 роки тому +8

    WAZANZIBAR MUJUWE SERA YA CCM NI SERIKALI 2 KUELEKEYA SERIKALI MOJA

    • @kaba7911
      @kaba7911 3 роки тому +1

      Ni Sera nzuri tuu

    • @issahamad6859
      @issahamad6859 3 роки тому

      @@kaba7911 kivipi

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 3 роки тому

      @@kaba7911 🤣🤣wambie wambieeeeee kudadeki tena baada ya uchaguzi huu Mwinyi akishaapishwa tuna hasira na wapemba watatia akili safari hii.

    • @mahamoudduchi3318
      @mahamoudduchi3318 3 роки тому

      @@kaba7911 iyo mikowa mlonayo tabu tupuuu mnataka na zanzibar iwe mkoa nenda hukoo

    • @allynassor9127
      @allynassor9127 3 роки тому

      @@teddyoscar6876 huyu cyo tiara ni taahira cyo Zanzibar

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 3 роки тому

    Maalim Seif unanichekesha Sana "eti kavimba kama chura"

  • @mosesedwardmagembe9657
    @mosesedwardmagembe9657 3 роки тому +2

    Ongea tu mzee! Chochea tu mzee safari hii hakuna kesi za uchochezi! Ila utashindwa tu. Na safari hii ukishindwa tu ndo mwisho kugombea. Badala ya kutangaza sera unafanya uchochezi kisha ukishindwa hukubali. Watu wanataka sera hutachaguliwa kwa uchochezi bali kwa sera.

  • @allyabdallah1776
    @allyabdallah1776 3 роки тому +3

    SASA BASIIIIII

  • @ulipoulipotupo7564
    @ulipoulipotupo7564 3 роки тому +8

    2po pamoja bba riwaroho na liwe

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 3 роки тому +1

    Mzee huna jipya tulishakuzowea bana subiri siku ifike tukusahau😁😁😁😁😁😁

  • @musalilama6604
    @musalilama6604 3 роки тому

    Yan wazenji wanataka uhuru ata aelew uhuru up baada ya uhuru nn ktafata uhuru kutoka kwa nan naww mzee mungu akuchukue mapema ucje wakawapganisha watu

    • @Pembaboytz
      @Pembaboytz 3 роки тому

      Atakuchukua ww kwanza , Amin

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 3 роки тому +9

    ZANZIBAR ccm bye bye oktoba 2020.

  • @marwaabdalla9306
    @marwaabdalla9306 3 роки тому +4

    tupo pamoja na ww kwa lolote lile

  • @amanidaudi5688
    @amanidaudi5688 3 роки тому

    Safi kwa historia mkuu Ila hupati ikulu ng'00

  • @ipyanamiller2747
    @ipyanamiller2747 3 роки тому

    Safi seif Mungu yupo