Vijana wa Micheweni waipa ACT zawadi maalum

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 175

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 5 років тому +20

    Kwakweli Maalim anakubalika saana,na mpenda Amani saana,angekua sio mpenda Amani zanzibari kungekua na machafuko tangia 2005,lakini kila likitaka kuanza vuguvugu la uvunjifu wa Amani huko visiwani,Maalim anawatuliza vijana wake
    Tumpe pongezi maalim
    👇🏽kwa kugonga LIKE

    • @mwanaidiramadhan3919
      @mwanaidiramadhan3919 5 років тому

      👍👍👍

    • @salummussa3094
      @salummussa3094 5 років тому +1

      Anakubalika kwa sera zipi ? Ubaguzi hauwezi kukufungulia njia ya kuwa mtawala ...

    • @khalidballeth5957
      @khalidballeth5957 5 років тому +2

      Salum Mussa pole yako,kama unazijua sera wewe,ungeshikamana na Hayati Moringe kwa kutetea Ujamaa Na Kujitegemea🚶🏻‍♂️

  • @salumshkelly9672
    @salumshkelly9672 5 років тому +4

    eweeee mwenyezii munguu mpeee afiaaa njemaaa maalim seif

  • @simonfundisha6817
    @simonfundisha6817 5 років тому +7

    Daaah!!!! Mpaka raha jamani. Viva Maalim Seif Viva brother Zitto,Viva ACT.

  • @ima_tamymy3972
    @ima_tamymy3972 3 роки тому +1

    Umetutoka kipenzi chetu😭😭Daima tutakumbuka💜💜

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 5 років тому +7

    I am happy for them. Wameonyesha ukomavu wa hali ya juu. Bara tungekuwa kama wao nchi ingekuwa thabiti.

  • @farhatfatma12
    @farhatfatma12 5 років тому +9

    Hawa wazanzibari ni watu wa aina yake. Wana umoja , na ndio nguvu zao. Na huyu Seif wanamuamini sana. Nadhani kwasababu ana maisha ya kawaida, hana utajiri juu ya kua alikua serikani nafasi nyingi kubwa za kuweza kumtajirisha kama engeamua kuiba kama wengine.

    • @aboubakarmassooud6908
      @aboubakarmassooud6908 5 років тому +2

      Cali Mahad
      Huyu ndiye mzalendo angechukuw pesa akajaza Tumbo lake kizanzibar chenyew kimepokonywa kila kitu ety 7bu muungano ungezan tungefikia wapi Maalim ndiy mkomboz wetu hili tunaliamin na ndio maan tunamuunga mkono

    • @jonsonmungure6552
      @jonsonmungure6552 5 років тому

      😎

    • @khayraatkheir9599
      @khayraatkheir9599 3 роки тому

      Nimeirudia hii na kusoma comment ila maneno yako yamenigusa na kunitowa machozi hakika tumeondokewa na maalim wetu mpenda amani na utulivu allah amughufirie na amrahamu

  • @MrJediahmed
    @MrJediahmed 5 років тому +3

    Haq siku zote haikai pamoja na batili .nawapongeza wafuasi halali wa CUf kuhamia ACT . Na waliosalia Cuf ,mungu atawapa miono nao wamwachie lipumba chama cha cuf

  • @almostgoro564
    @almostgoro564 5 років тому +11

    HILI Bongeee la Gomaa Maalim Seif Oyeee Oyee ulipo tupooooo

  • @firdausmohammad393
    @firdausmohammad393 5 років тому +3

    Asanteeeeeee maalim, tuko pamoja....

  • @nuranzubail1240
    @nuranzubail1240 5 років тому +2

    Nusra inakaribia Zanzibar. Allah hawezi kuwapa mtihani msiouweza pigana mpaka nusra iwafikie

  • @MrJediahmed
    @MrJediahmed 5 років тому +5

    زقل جاء لحق وزحقالباطل.ان الباطل كان زحوق hakika kuondoka kwa maalim seif Cuf ni jambo kubwa .ni jema sana.

  • @kelvinmichae728
    @kelvinmichae728 5 років тому +5

    zito kwa heshima uliyopewa itabidi ufie ACT Hata waje na mabilion Usijaribu Migogoro jifungieni chumbani mmalizane msituletee migogoro kwenye midia Cuf imekufa kwasababu ya migogoro.

  • @abdalomari5912
    @abdalomari5912 5 років тому +10

    mungu awasaidiye vijana wa maalim

  • @seakodammam2285
    @seakodammam2285 3 роки тому +1

    Gonga like kama hili goma halikwishi hamu kulisikiliza jamaa anatisha huyu

  • @ahmadjuma6083
    @ahmadjuma6083 5 років тому +5

    Machozi yananitoka kwa furaha jamani ulipo tupo haturudi nyuma

  • @khadijahumud6028
    @khadijahumud6028 5 років тому +6

    allah akulinde maalimu seif haasad na mabaya yote amn

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 роки тому

      Amiin YAARABIY

    • @abassmchonjo6635
      @abassmchonjo6635 3 роки тому

      Tukopamoja.samahani.kamaitawezekana.nituminambayako.naitaj.nizungumze.naww

  • @jinajuma6685
    @jinajuma6685 5 років тому +1

    Hadi raha km ndio akashatangazwa vile yaani maalim nazito mungu awazidishe upendo yarabi walinde viongozi wetu

  • @sgfdhaikuhusu6086
    @sgfdhaikuhusu6086 3 роки тому

    Yaan mwili unanisisimka Kwa furaha in Shaa allah munguuuu yupo pamoja nasi kila kitu ni mipango ya allah

  • @kelvinmichae728
    @kelvinmichae728 5 років тому +14

    RIP CUF ILA MIMI NI CHADEMA

  • @dadiikhamisi2297
    @dadiikhamisi2297 5 років тому +3

    Dah hadi raha mpk mwili unaccmka love all

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 5 років тому +3

    HAYA MAPUMBA NA WALIYO KUTUMA KU UWA CUF,SALAAM NDO HIZO,KAMA WATU WALIDANGANYWA KUWA CUF NIYA MAPUMBA,SASA WAMEJOONEA WENYEWE UKWELI ULIVYO KWAMBA CUF ILIKUWA YA WANA ZANZIBAR NA MAALIM SEIF.MAPUMBA NA WALIYO KUTUMA FANYA HIMA KUA NDAA JENEZA LA CUF HARAKA IWEZEKANAVYOO!!!

  • @sahimalbatawy3372
    @sahimalbatawy3372 5 років тому +5

    yani dah machoz yafuraha yananitok Kwa furaha Ilove Zanzibar very much hatunaga shida

  • @m-barukhamad2734
    @m-barukhamad2734 5 років тому +3

    Pamoja cn wa zalendo wenzangu

  • @allymasenti7974
    @allymasenti7974 5 років тому +7

    Niko tarime kata ya sirali swali langu wafuas wa lipumba wanaoonaje hiooooo

    • @yussufhaji3335
      @yussufhaji3335 3 роки тому

      safiiii sana good question. watoe jibu sasa

  • @albahryonlinetv9319
    @albahryonlinetv9319 5 років тому +3

    Mtume saw anasema Allah akishampenda mtu huwambia malaika wake na nyny mpendeni kisha huwambia wanadamu wote mpendeni na kweli wote wamempenda ama kwel Allah amejazia mahaba ya wazanzbar kwa maalim seif, sasa salamu kwa ww mjnga lipumba uliochukuwa heruf cuf tunakwambia chama cio jna bali ni wananxh sasa keshokutwa huna tena wabunge jee ruzuku utapata wap imekula kwako ss tuko na maalim wetu rais wa Zanzibar na kipenz xhetu pumbavu wa chezea seif ww, lipumba nakwambia ktu ukishndana na maalim seif utaumia kama huwamin muulizen baba wetu Nyerere

    • @masoudyrashidy9041
      @masoudyrashidy9041 4 роки тому

      Ahmed unaniliza ndg yko sana nikiisoma hii mesej yako ni ukweli mtupu na in sha Allah atakaetupa mamlaka yetu wa zanzibar ni Allah na sio ccm madhaalim makaafir wakubwa

  • @hamedmaskari518
    @hamedmaskari518 5 років тому +18

    Zito usije ukapewa mamilioni ukaja ukawasaliti wa zanzibari weka heshima yako

    • @abdullahsaid5434
      @abdullahsaid5434 5 років тому +5

      Hakuna dalili ya kuwa Zitto aweza kuhongwa.Ni mtu mwema na ana Ikhlas kubwa,Uso wake una nawiri.Allah amempa hini massive support ya Maalim na walikuwa cuf kama Nusra na Zawadi kutoka kwa Maulana Mwenye Enzi Mngu.. Sema wasikae kimya tena kwa maonevu ya Ccm kama hapo miaka ya awali. Wajitetee.Wala wasende kwa wazungu ambao waangalia maslaha yao tuu. Watahadhari na Cuf ya Lipumba kupewa serikali kiharamu baada ya election.

    • @ahmedrashid6629
      @ahmedrashid6629 5 років тому +1

      Uliporudi tupo ila sisiemu sipoo

    • @akidasalim9798
      @akidasalim9798 5 років тому

      Kabisa

    • @hamedmaskari518
      @hamedmaskari518 5 років тому

      @@ahmedrashid6629 umeiyona hio uko vizuri

    • @stevensteve7519
      @stevensteve7519 5 років тому +2

      Kwakweli akijafanya hivyo hatutamsamehe milele

  • @khamisjuma4691
    @khamisjuma4691 5 років тому +3

    Beautiful nduguzagu wa Zanzibar. Popote.together. wa.Zanzibar. tupendane

  • @paull8659
    @paull8659 5 років тому +1

    Mimi sina chama lakini ACT naikubali mara elfu ulela ulela kuliko chama katili CCM. Tz inalia😭😭😭😭

  • @louisnyoni4139
    @louisnyoni4139 5 років тому +2

    Msajili akisikia wimbo huu si utamtia hasira zaidi na anaweza kuifutilia mbali A.....

  • @famionlineapdates9371
    @famionlineapdates9371 5 років тому +4

    Zanzibar dah Machozi yananitoka nikiona inavyodidimizwa

  • @josephwillson668
    @josephwillson668 5 років тому +1

    Wanaume zanzibar siwaoni nahuku bara wana wake htuwaoni ktk mapinduzi zenji mkojuu

  • @shrafurt1486
    @shrafurt1486 4 роки тому

    Maalim seif baba allah akueke ukae uwe dawa utufae amin

  • @josephwillson668
    @josephwillson668 5 років тому +1

    Ningejua ningelioa zbr

  • @nelsonngemera9832
    @nelsonngemera9832 5 років тому +5

    Duhhh kwel Act wameokota dodo chini ya mnazi

  • @lameckmtaka2659
    @lameckmtaka2659 5 років тому +1

    Lipumba ukowapi sikiliza hilo taarabu maalimmaalim waooooo

  • @talhaabuy1035
    @talhaabuy1035 3 роки тому

    Mola amlinde kiongoz wetu na kumpa anachostahiki ammin

  • @faridaali6850
    @faridaali6850 5 років тому +3

    Raha ilioje popote pale ulipo nasisi tupooooo ACT oyeeeeeee

    • @abassmchonjo6635
      @abassmchonjo6635 3 роки тому

      Oyeeeee.samahan.dadayangu.kamaitawezekana.naitajinambayako.naitaj.nizungumze.naww

  • @fatmakhamis1018
    @fatmakhamis1018 5 років тому

    mimi si mana siasi ila hapa nimepitia hiii kweli nyumbani hadi nimelia kwa kwa furaha hingereni sana wadogo zangu.muko vizurii

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 4 роки тому

    Dah yani Hadi raha maalim tuna kupenda sanaaa WA Zanzibar

  • @babueddy1023
    @babueddy1023 5 років тому

    Baba dìmani nakubali sana nakumbuka sana kwa ali mpemba pamoja sana

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 4 роки тому

    Allah atatupa furaha daima na Maalim wetu pamoja na Zito

  • @musamkali5954
    @musamkali5954 5 років тому +21

    JAMANI JAMANI JAMANI DAH YAANI MACHOZI YA FURAHA YANA BUBUJIKA QKWELI UYU MAALIM SEIF AME KUBALIKA DAH

    • @khamisjuma4691
      @khamisjuma4691 5 років тому

      Umenikubusha.balisana.bubujiko.nduguzagu good water only freedom Tanzania Zanzibar people beautiful salam dhagu. Tupendaneni.wa.ugunja.nawa.pemba

    • @AP-uk3mq
      @AP-uk3mq 5 років тому

      Yani ni kweli

    • @hassanibakari9667
      @hassanibakari9667 3 роки тому

      Hila za kumuangusha sefu hazitafanikiwa katika siasa

  • @abdalomari5912
    @abdalomari5912 5 років тому +3

    Awajamaa noma lipumba ww nenda mahakanani utapewa kama ulivyopewa wenyekiti ila mungu atakuona ujiuzulu mwenyewe kisha unaludi kibabe utataka tena wenyekini namini mungu atakulani umeiuwa CUF

    • @fatmasalim7279
      @fatmasalim7279 5 років тому +1

      Amiin Mwenyezi MUNGU AKUHUKUMU HAPA HAPA DUNIANI AKHERA IYENDE HISABU KM ULIVYO SEMA MWENYEWE ATAKAE WASALITI WAZANZIBAR LAANA TULLAH ALEY NDO HIYO LAANA TULLAH

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 3 роки тому

    ACT ulipo na sisi TUPO 👍👍👍💜

  • @aishaabubakar6759
    @aishaabubakar6759 5 років тому +2

    Mm mwenzenu nafs inaniuuma kma Maalim Seifu tuna mpenda natunamfuata analotuambia kwann asiachane naujinga watu wazima kucheza magoma wakat wazee wetu mashekhe wetu wazanzibar wenzetu wateseka jela tusiwakumbuke hata kwadua jmani wazanzibar tukowap au tunaenda wapi naumia nahudhunika mpaka machoz yananitoka dah mtihani yaan siasa siasa tuu dini ya Allah imetupwa

    • @fatmahamed3285
      @fatmahamed3285 5 років тому

      Tatiz haito ruhusiw

    • @hamadrashid5140
      @hamadrashid5140 4 роки тому

      Ni kwel dada angu lkn kwa serikali hii ili masheikh wetu waachiwe wanahitaji mtu shupavu kama maalim seif akiingia madarakan

  • @hamedmaskari518
    @hamedmaskari518 5 років тому +3

    Halafu kumbe huwa unacheka na kucheza? Hongera

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 4 роки тому

    Duh muko poa sanaaa mzur sana Iyi kaswida

  • @mwanaidiramadhan3919
    @mwanaidiramadhan3919 5 років тому +1

    Jamani naomba mnifahamishe mana mie niko nje ya Tanzania eti ni kweli maalim seif kahamia Chama cha act wazalendo au vipi

  • @lameckmtaka2659
    @lameckmtaka2659 5 років тому +1

    Nimeipenda hatari

  • @stevensteve7519
    @stevensteve7519 5 років тому +2

    Mashalaah

  • @mrishojuma1080
    @mrishojuma1080 5 років тому +3

    Ubalikiwe tutafika tuuu

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 роки тому +1

    Mziki moto!!!

  • @oyay2821
    @oyay2821 5 років тому +3

    ACT hoyeee

  • @fatimakhalifa144
    @fatimakhalifa144 5 років тому +4

    Zanzibar ILov tena mulipo tupo

  • @denismiliyo9904
    @denismiliyo9904 5 років тому +3

    Hiv nyimbo za namna hii zinaitwaje napenda kuziskiliza sana

    • @solomonadams6337
      @solomonadams6337 5 років тому +1

      Wewe mfuate Zitto Kabwe tuu utazifua hizo nyimbo zinaitwaje sawa?hizi ni tradtion za visiwani sawa?

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 5 років тому +2

    Kumbe Zito anachekaga makubwa madogo yanawenyewe

    • @abassmchonjo6635
      @abassmchonjo6635 3 роки тому

      Ndy.anachekaga.samahan.dadasharifa.naitajnambayako.ninamazungumzonaww

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 5 років тому +1

    Hapa bunduki yangu moja nimeiona Bonifasia Mapunda lakini kuna ile rocket ron yangu sijaiona inaitwa Kulthum Mchuchuli iko wapi ile?hawa wawili nilikuwa napenda nionane nao inshaallwah katika maisha yangu niwape mikono ni waamkie lakini tatizo ni ulimwengu wa kwanza tena kwa muda mrefu,mimi politics it's ma food okay?all the best makamanda wangu hakuna kurudi nyuma sawa?

    • @omarabubakar1734
      @omarabubakar1734 5 років тому

      hio ndio tabia ya wazanzibar hawapendi dhulma

  • @akidasalim9798
    @akidasalim9798 5 років тому +1

    Masha Allah

  • @mhe643
    @mhe643 5 років тому +1

    Hongera sanaaa

  • @KisimaTv99
    @KisimaTv99 5 років тому +1

    Ahsante sana

  • @rufijichannel9820
    @rufijichannel9820 4 роки тому

    Wimbo huu ni hatari.
    Zichanganywe nyimbo zote CCM zilizoimbiwa na Wanamuziki wote zikipigiwa kura zitaachwa mbali kama mbingu na Ardhi ......msiwafungie kwa sababu tumeupenda wimbo wao....ni wimbo tu.

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 5 років тому +2

    ❤❤❤✌🏾

  • @hamedmaskari518
    @hamedmaskari518 5 років тому +3

    Zito umeokata mndu pandani

  • @stevenmsuya9583
    @stevenmsuya9583 5 років тому +1

    act kumenoga ukawa wa mwakahuu hatareeee

  • @jumamohamed1556
    @jumamohamed1556 5 років тому

    Wangewaita ACT wawachoree ndege zenu hahahh

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 5 років тому +1

    Mimi niko pamoja na nyinyi lakini Zitto Kabwe baba jiandae vizuri ushawatia hasira hao sawa?sisi tusha ya zoea sawa?

  • @sahimalbatawy3372
    @sahimalbatawy3372 5 років тому +1

    ivi mansour hayupo au

  • @lukagulagekidehele4937
    @lukagulagekidehele4937 5 років тому +1

    Hii ya VIJANA wa Micheweni kuipa zawadi ACT nimeipenda mno kwakuwa wametuma ujumbe mahususi kwa maadui wa ACT na mzee Maalim Seif kwamba anakubalika zaidi ya mahasim wake

  • @wasafilassbby7659
    @wasafilassbby7659 4 роки тому

    hahahaha munanifurahisha nyinyi

  • @jokhanassor3507
    @jokhanassor3507 5 років тому +1

    Maalim ulipo tupo

  • @salumshkelly9672
    @salumshkelly9672 5 років тому

    kilaa lenyeee mwanzoo halikoc kuwaaa naaa mwixhoo naaamini hivyooo mm

  • @tumamapishi2184
    @tumamapishi2184 4 роки тому

    Huwezi kutafta nchi kwa njia ya kidemokrasia angalieni dini yasemaje

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 роки тому

    Mwaka huu tunamstaafisha siasa maalim!!

  • @wasafilassbby7659
    @wasafilassbby7659 4 роки тому

    hamuna jipya naona mumegeuka samaki munakulana wenyew kwa wenyew

  • @fatmahamed3285
    @fatmahamed3285 5 років тому +2

    Rah rah

  • @ramadhanmahongore7277
    @ramadhanmahongore7277 5 років тому

    Hemed Maskar "wewe umedanganywa na musiba sio"

  • @chocolatepudding3545
    @chocolatepudding3545 5 років тому

    Wamicheweni si mliahidiwa kiwanda cha samaki na boti za uvuvi za kileo nyiee muulizeni sheni pengine kasahau msije mkamlaumu kapitikiwa labada mjukumu ya kaza

  • @bintalmazrui9543
    @bintalmazrui9543 4 роки тому

    Nice

  • @iddikhamis3309
    @iddikhamis3309 5 років тому +2

    Ndio Kwanzaa Leo nione post iliokuwa na all positeve comment kama hii Asante sana wazanzibari kwa ushirikiano wenu

  • @yusufukazamba2391
    @yusufukazamba2391 5 років тому +3

    Cuf Zanzibar imezimika km kibatari

  • @thabitmohamed8744
    @thabitmohamed8744 5 років тому

    Eti wazanzibari,,,,,,,,,,,,,,,,, napita tuu apa

  • @shrafurt1486
    @shrafurt1486 4 роки тому

    Ulipo tupo mwaaaaaaaa

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 5 років тому

    WACHENI KUPANDISHIYA MAHIJABU YANAKUWA NI YA KIMALAYA SHIRKI MUNAPENDEZA KISHETANI INAVUTA 🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿🇹🇿🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹👹🇮🇱👹

    • @mamymamy7938
      @mamymamy7938 3 роки тому

      Hijabu ndio madili ya uwislamu wetu sio vimodo venu mjinga ww

  • @AliMohammed-qu8fg
    @AliMohammed-qu8fg 4 роки тому

    Mutaishia kuimba na kucheza ccm ni mwiba haitiliki mguu

  • @hassansingano1150
    @hassansingano1150 5 років тому

    Zito kidole icho na jicho

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 роки тому

    Atausikia urais redioni!!!

  • @mwajumamkacha9494
    @mwajumamkacha9494 5 років тому +1

    Mashallah naomba nitumien 0655253725

  • @mussachuo250
    @mussachuo250 5 років тому +1

    Song zur sana

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 років тому

    Nendeni naye popote lkn hapati uraisi ng'oooo!!!?

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 5 років тому +2

      Juma Kapilima Atapata mamaako mbwa we..

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 5 років тому

      Abdul Mohd msenge wee kuma la maako!! Nendeni nae kokote lkn uraisi hapati mpaka kufa kwake!!?

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 5 років тому

      Juma Kapilima kwani tumekataaa cc? c nd nkakwambia atapata mamaako au na mamaako pia humpi? mana mtu hamtombi mamaake bdo akabakia kuwa mtu we ktk watu asa humo tna..

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 5 років тому

      Abdul Mohd kuma wewe!!!! Huyo msenge wenu hapati mpaka kufa na muende nae popote!

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 5 років тому

      Juma Kapilima kafirane na wazazi wako uko mm cbishani na wasenge, mwakani raisi atakuwa mamaako na makamo utakuwa ww unaemfira..

  • @hafidhnassor444
    @hafidhnassor444 5 років тому

    Akiingia ubaniani mtamfuata

  • @salummussa3094
    @salummussa3094 5 років тому

    Kwa mziki wa zanzibar tafuteni kazi mfanye nchi mtaisikia kama ondinga

  • @chocolatepudding3545
    @chocolatepudding3545 5 років тому

    Nah nyie wa micheweni mbona hamja dai ahadi zenu kwa rais wenu au mme sahau alipokuja kuwaambiya msiwe na wasi wasi mambo mazuri yanakuja na ahadi ya kujenewa kiwanda cha kusindika samaki na boti za kileo na muda unamkimbiya yaani ana mwaka unusu sasa shuweni

    • @rizikiabdallah7377
      @rizikiabdallah7377 5 років тому

      Hongereri wanafunzi muko sawa

    • @allymahmoud9951
      @allymahmoud9951 5 років тому

      Nyinyi wapemba muulizeni sefu Ile ahadi ya uraisi imeishia wapi?

    • @chocolatepudding3545
      @chocolatepudding3545 5 років тому

      @@allymahmoud9951 powa bora uwakumbushe maana wana tabia ya kusahau waliahidiwa kiwanda cha kusindika samaki na boti zauvuvi wa kileo kule micheweni mpaka sasa shuwain mda una mkimbiya bado jii wewe washituwe ukoo

    • @salehkhamis343
      @salehkhamis343 5 років тому

      @@allymahmoud9951 unawashwa sehem ya haja kubwa wew

    • @allymahmoud9951
      @allymahmoud9951 5 років тому

      @@salehkhamis343 hiyo tabiya ya kuwasha umezoeya WW asilimia kubwa nyny ndio wenye tabia hiyo ya kisenge

  • @saidsuleiman
    @saidsuleiman 5 років тому

    Hma llt meeishiwa at bado

    • @tifumunguatamlipaaliendewa4927
      @tifumunguatamlipaaliendewa4927 4 роки тому

      Hongera sana Zanzibar very nice ewe allah tujalie kheri tufungulie nuru wazanzibari Zanzibar kwanza hongera malim seif kwa kwa msimamo mzuri hongera zito karibu sana Makunduchi

  • @dossantoschannel1808
    @dossantoschannel1808 5 років тому

    tatizo ukiwa na elimu hata kama n PhD na ukawa unaamin ktk seif automatically unakuwa ni zero brain

  • @casparymapunda1651
    @casparymapunda1651 5 років тому +5

    Hata mbuyu ulianza Kama mchicha.
    Kwa Mara ya Kwanza kuiona Act wazelendo ilikuwa Ni songea kwenye uzinduz wa chama hicho. Hakika hata mim mwana ccm mlinikonga moyo kwa Sera za chama.
    Hongera leo Zanzibar mmepata ukomboz na mtashika dola.
    Mapinduz ya kweli naamini ni kwa Act Zanzibar sasa.

  • @sahimalbatawy3372
    @sahimalbatawy3372 5 років тому +2

    yani dah machoz yafuraha yananitok Kwa furaha Ilove Zanzibar very much hatunaga shida

  • @famionlineapdates9371
    @famionlineapdates9371 5 років тому +2

    Zanzibar kwanza naipenda NCHI yangu naipenda daima

  • @salmaalkyumi2270
    @salmaalkyumi2270 5 років тому +5

    Maalim Seif tunakupenda❤❤❤

  • @suleimansuleiman5498
    @suleimansuleiman5498 5 років тому

    ANAKUBALIKA KWA MAJUHA TUU. TAFUTENI HISTORIA YAKE MNAFIKI MKUBWA UYO BALAHAU. KAMA ALIVYOMFANYIA MZEE JUMBE NAE ANAFANYIWA SAIVI HA HA HA

    • @annaenglibert1763
      @annaenglibert1763 5 років тому

      Na ww pia una majuha wako unao wakubali. Km unaona wanaomkubali ni majuha waache na ujua wao na ww ukawakubali majuha wenzio.

    • @suleimansuleiman5498
      @suleimansuleiman5498 5 років тому

      @@annaenglibert1763 😃😃😃😃😃 Balahau kunkwisha ha ha ha WABURUZE KIZEE WABURUZE MAJUHA 😆😆😆😆

    • @fatmahamad2156
      @fatmahamad2156 5 років тому

      @@suleimansuleiman5498 tushaipata hiyo story yake uongo mtupu,jumbe jumbe maalim hakumfanya chochote,mtu akitaka ileta haki juu anazushiwa majanga haya na haya,walianza Mitume,na tunajua historian zao,haki wkiileta juu basi anazushiwa kila aina ya balaa,kwa

    • @suleimansuleiman5498
      @suleimansuleiman5498 5 років тому

      @@fatmahamad2156 😃😃😃😃 kweli ukipenda kipofu utasema chongo. BALAHAU ENDELEA KUWABURUZA.

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 5 років тому

      @@suleimansuleiman5498 sasa cha ajabu unaumia nini maana imekuchoma km pasi hukuweza kujizuia kada..