SHEIKH:MARDHIYYAH AKUMBANA NA MAKUBWA GININGI PEMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 228

  • @aishaissa2691
    @aishaissa2691 3 роки тому +9

    😭😭😭😭E Allah wahifadhi masheikh wet hawa kwakaz ngumu hiyi wanaifanya na uwalip pepo ya firdaus nusra🤲🤲🤲nami Allah nakuomba uangamiz wachawi wanaoniroga mimi na familia yangu na Wa islamu wote dunia uwaking n'a wachawi, kisomo hiki kiwe cheny kutuponya amiin

  • @samirsuleimansaid4384
    @samirsuleimansaid4384 13 днів тому

    Sheikh mardhiyah , Allah akulinde Allah akuzidishie umri ya sheikh uwaanfamize wote kw uwzo wake Allah,

  • @fatumaal4988
    @fatumaal4988 3 роки тому +3

    Allahumma Ameen Thumma Ameen yaa Rabb awape Ujasiri mzidi kupambana na Wanga majini na wachawi 🤲🤲🤲🤲

  • @abdallahjuma8168
    @abdallahjuma8168 3 роки тому +10

    Sheikh Salim Maridhia fanya mambo wachawi wajute kukufaham. Mwenyez Mungu azd kukucmamia 🤲🤲🤲

  • @mename6020
    @mename6020 3 роки тому +11

    Ameen ya Allah waangamize wachawi woote dunian na wanaonifanyia uchawi mimi na familia yangu huko walipo... kwa baraka za kisomo hiki Allah huma Ameen...

  • @ruthnimi2165
    @ruthnimi2165 3 роки тому +1

    Asante Sheikh Salum na Sheikh Watamamun Kwa vide hii Wanga na Wachawi wapate hukumu la muoovu Yao kutoka kwake Maulana Kwa kufa🙏🙏🙏🙌🙌😭😭😭

  • @aishatwizerimana2505
    @aishatwizerimana2505 3 роки тому +7

    Tumuogop Allah pekeyak binaadam,, mueshim akijieshimush, iyo nikweli washekh, zang💖🙏🤲watu wasio, taka, khr, kwawenzao, awa angamiz Kam, anaon, hawataongok,

  • @rayanasor7855
    @rayanasor7855 3 роки тому +6

    Subhannallah m.mungu awangamize wote wanga na wachawi m.mungu amhifadhi shekh Salim amzididishie kila la kheri Kwa elimu yake anayotoa shukran jazakalkheri

    • @rahmaferuz2776
      @rahmaferuz2776 3 роки тому

      Sasa hapo mbona makazi ya watu hiyo giningi iko wapi? Tunaona uwanda na miti tu. Hao wachawi wako wapi?

  • @ruthnimi2165
    @ruthnimi2165 3 роки тому +12

    Mungu awahadhibu Wanga na Wachawi hawa Kwa Kufa kama ghadhabu kutoka kwake Mungu awaangamize wenye Uzda kutoka Kwa uchawi wao wanauharibifu na na uuwaji Kwa binadamu asiyehatia washindwe na hata Mungu awatumie Moto wachawi na Wanga kuwachoma na moto kabisa🙌🙌🙏🙏😇😇😇

  • @SHOLLAH804
    @SHOLLAH804 3 роки тому +12

    May Allah protect us Allah through that ruqiya aamin

  • @mohamedindwata5286
    @mohamedindwata5286 3 роки тому +14

    Allah awahifadhi mashekh, Allah awaangamize wachawi wote.

  • @arurihussein8854
    @arurihussein8854 3 роки тому +2

    Amiin thumma amiin ..Allah awaangamize wachawi wa kwetu kupitia kisomo hiki InshaAllah...

  • @mename6020
    @mename6020 3 роки тому +7

    Allah akuhifadhi kipenz cha Allah shehe wetu Maridhiya...

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 роки тому +2

    Subhanallah innalillahi wainna ilayhi rajiuna binaadam sjui wanataka nini kwa allah allah katujaalia neema za nguvu na neema za macho na akili ili tufanye yanomridhia allah lakini nini kinachotudanganya kudhuriana subhanallah yaarabbi dua uzikibli yarabbi kwaasie tubia na atakae taka kuongoka yaara mjaalie atubie toba ya kweli amiin yaarsbbi shukran sana ya sheykh kwa juhudi zako
    Amiin amiin amiina tawabbalallwahu hadhadha duai yaallah ya aziyz yajabbar

  • @fauziakarama8581
    @fauziakarama8581 3 роки тому +10

    Allah atawalinda na ubaya wa mashetani ,majini na wachawi yarab hasadi mbaya Allah awalaani wote hao amiin Amiin Amiin.

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 Рік тому

    Allah aawalaani na kuwaangamiza kabisaa. Sheikh wangu Mungu akupe nguvu uzidi kukuhifadhi innshaAllah .Wewe na jamii yako na watamamani.

  • @adislahlovo7409
    @adislahlovo7409 3 роки тому +2

    Allah awalipe kheri masheikh ktka kazi hii kwani ni jambo zuri ktka kazi hii na muomba allah akulinde ww na ss sote na uchawi na mabalaa duniani na kesho akhera.

  • @ashaomar7109
    @ashaomar7109 2 роки тому

    m.mungu atakabalie kisomo hichi atuhifadhi sote umat Muhammad S.A.W

  • @khadijaamrani6282
    @khadijaamrani6282 Рік тому

    Naomba sheikh salim uniombeee nifanikiwe na maisha, niko na tabu sana nimemliza visomo vya quran

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim 6 місяців тому

      Fanya istighfari kwa wingi usiku wa manane

  • @criticalthinker1179
    @criticalthinker1179 3 роки тому +9

    Allahuma Ameen. Allah Awateketeze wabaya wote na wachawi wote.

  • @mohammedsalum4418
    @mohammedsalum4418 3 роки тому +9

    Asalaam alaykm sheikh mardhiyah na jopo lako lote inshaallah mimi nawatakia afya njema kwani vita ulonayo nikubwa sana ndio maana nawatakia afya njema

  • @aishatwizerimana2505
    @aishatwizerimana2505 3 роки тому +4

    Mtu, akiumia kwa ukweli nikhr kwako💖fanyen, kazi, ya, Allah babazet

  • @mohammedsalum4418
    @mohammedsalum4418 3 роки тому +5

    Kiukweli vita unayopigana ningumu sana Allah awape afya njema inshaallah from South Africa

    • @zulfahaji4666
      @zulfahaji4666 3 роки тому

      M mungu walinde Hawa walimu wetu uwape umri mrefu waangamize wachawi wote

  • @kingelkindy2920
    @kingelkindy2920 3 роки тому +10

    اللهم تـقبل دعـــآء 🌹

  • @mrok284
    @mrok284 3 роки тому +15

    Mungu awape afya njema.

  • @zawadi9998
    @zawadi9998 3 роки тому +1

    Allah awape mwishomwema namimi nikiwemo allah akuongeze umri wauhai

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 3 роки тому +4

    Sheikh Salim Mashallah Allah akuzidishie kipaji chako huko hawafiki watu wa kawaida lkn wewe umefika😭😭😭💔a Allah akukinge nakila balaa ama kwel wewe umepewa kipaji na makarama nakukubali sana sheikh Salim Allah awaongoze wachawi wote pamoja na sisi Allah asitujaalie tukainhoa katika amali hio jaman🤲

  • @mohammedkimanga8960
    @mohammedkimanga8960 3 роки тому +2

    Allah akufnyie wepesi sheikh tuko pamja kutoka Kenya 🇰🇪

  • @khamismohd6270
    @khamismohd6270 3 роки тому +3

    Allah akulinde shekh salum kutokana na kazi unazozifanya

  • @Awatee
    @Awatee 3 роки тому +7

    ALLAH awalinde na shari za shaitwan na za wanaadam kwa Rehma zake amiin

  • @haseanatnsanya2079
    @haseanatnsanya2079 3 роки тому +7

    Allhamdullaah mungu nimkubwa awasimamie mashekhe wetu nakupendeeya hapo tu huwogop unaeleza ukweli shukran sana kwauwaz wako

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 3 роки тому +15

    Masha Allah Sheikh bold & brave👍🙏BarakAllah feek Sheikh Watamamann, crews members & viewers

    • @mwajumathomas1594
      @mwajumathomas1594 3 роки тому

      Uweziami.duwahiimenifanyaniponekichwa

    • @maridhiasozi3361
      @maridhiasozi3361 2 роки тому

      @@mwajumathomas1594 sisisissjsiiisiwiwj⁰ is +sjis~"@~kak j3jejsi

  • @4242R-i9i
    @4242R-i9i 3 роки тому +6

    Amiin ya Raaby Allah awazidishia daima amiin 🤲🤲

  • @MariamHumud
    @MariamHumud Рік тому

    Subhanallah ALLAH atuhifadhi n shari z binaadamu n majini waliotuandama

  • @othmanalnabhany3208
    @othmanalnabhany3208 3 роки тому +4

    Allah awadhalilishe wale woote mahadid na wabaya wote wa Zanzibar nzima na mola aangamize Yale maeneo yao yoote wanayo fanyia hasadi na kila aina ya uchawi na mabaya yao... Kwakweli hapo ni ginningi ya ya ukutini ikulu yao hiyo ila Mola awaondoe woote hapo majinni na binadam wabaya wa Pemba nzima

  • @muhammadfadhil9835
    @muhammadfadhil9835 3 роки тому +2

    Sheikh Allah akujaalie umahiri na akupe hifadhi kubwa

  • @issahrashid6319
    @issahrashid6319 3 роки тому +3

    Allahumma. Aaamin Allah awabariq nyie na Pemba yetu Inshaa Allah

  • @mename6020
    @mename6020 3 роки тому +5

    Ameen Mungu awalani wachawi woote

  • @MwanajumaMussa
    @MwanajumaMussa 8 місяців тому

    Allah awalipe kila la kheri mashekhe wetu.

  • @fatmazena8886
    @fatmazena8886 3 роки тому +2

    Amin.
    Yaarab awalinde mashekh wetu

  • @dimpoadim2980
    @dimpoadim2980 2 роки тому

    DAH ALLAH AKUEKE NA AKUZIDISHIE KHER

  • @kineromakame7295
    @kineromakame7295 Рік тому

    Allah Atakulinda in shaa Allah sheikh

  • @geerleebmuhamed8301
    @geerleebmuhamed8301 3 роки тому

    Subhana llah mungu awangamize kila alie kuwa mbaya yarab

  • @swamad_7591
    @swamad_7591 3 роки тому +6

    Mashallah yani sheh mardhiya wallha nakukubali sana ht km wanakupiga vt lakn your the best allh amimine bark ktk maisha yako na group lkn zima

  • @zuhurakhamiss5412
    @zuhurakhamiss5412 3 роки тому +1

    Aamiin Awalani zaidi Apa mpaka kiama

  • @AssumaniJohnson
    @AssumaniJohnson 10 місяців тому

    Najivunia kuwa mwislamu wislam nidini ya Allah njomani wachawi lazima wakimbiye penye nuru ya Allah inafika

  • @chapuchaputv8742
    @chapuchaputv8742 3 роки тому +1

    Mashallah mungu akuzidishie

  • @khatijakhatija9518
    @khatijakhatija9518 3 роки тому +1

    Subhana Allah Allah atulinde nao Allahu akbar kabira

  • @saidnassor5675
    @saidnassor5675 3 роки тому

    Na watafute kazi wafanye hiyo siyo kazi jaman Allah Atuongoze inshallah

  • @furahamossi3199
    @furahamossi3199 3 роки тому +5

    Ausubillah nimashetwa rajiim,subuhanallah, iyo mijitu Allah awakinge kweli kazi ipo kwakweli dunia inamengi

  • @abdulmbaruku9177
    @abdulmbaruku9177 2 роки тому

    Shekh ile alama ya mchaw nimeiona live kabisa mamae zao wachaw mbwa hao kenge hao nimemnasa mmoja huku babek zake mungu amchome Moto lofa sana

  • @mwajumahabibu9992
    @mwajumahabibu9992 Рік тому

    Naomba no yko shekhe nikutafute shekhe wachawi wananitesa sana

  • @RahemaOman
    @RahemaOman 10 місяців тому

    asalam aleykum nakuomba shekhe uniombeedu wa ninaitwa shamlati kilaninacho kifanya sifanikiwi unisaidie Allah atakulipa zaidi. inshaallah

  • @saidnassor5675
    @saidnassor5675 3 роки тому

    Ameen ya Allah waangamize wachiwa wote inshallah

  • @mename6020
    @mename6020 3 роки тому +3

    YaAllahhh YaAllahhhh YaAllah hh takabali duaa... Ameen Allahuma Ameen Ameen yarabilalameen...

    • @minahadi2190
      @minahadi2190 3 роки тому +1

      Allahumma Ameen 🤲🤲🤲🤲

  • @priska4310
    @priska4310 2 роки тому +1

    Ilo pete jeusi la Nini km sio shirik km ni kinga kwaiyo hamuamini m.mungu ndie mlizi wetu sote

  • @minahadi2190
    @minahadi2190 3 роки тому +3

    Lahaula wala Quwwata illa billah Allah atunusuru YARABB

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 3 роки тому +6

    Allah awaangamize wanga wote

  • @guhgghhg8592
    @guhgghhg8592 3 роки тому +3

    Allah awalipe kheri kwakwel

  • @zubedatatu7852
    @zubedatatu7852 3 роки тому

    Subhanallah, Allah bless you more Insha Allah Shukran

    • @opopioio3850
      @opopioio3850 3 роки тому

      hata mchana zamani palikuwa hapapitiki

  • @popoali6641
    @popoali6641 3 роки тому +2

    Allah akuhifadhi sheikh wetu

  • @aminasora5194
    @aminasora5194 9 місяців тому

    Wame angamia takbir Allahuakbar

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 3 роки тому +7

    Amin yarab

  • @maryammjaka305
    @maryammjaka305 3 роки тому +1

    Allah akulindeni na akupeni nguvu zaid

  • @ismailsaidi691
    @ismailsaidi691 9 місяців тому

    Ahsante sana

  • @ismailkushinda8830
    @ismailkushinda8830 3 роки тому +3

    MashaaAllah sheikh

  • @naimahkheir6192
    @naimahkheir6192 3 роки тому +15

    Allah is sufficient for us may Allah protect and grant sh mardhiya long life.

  • @salimkarama9354
    @salimkarama9354 2 роки тому

    Mashallah Allah MAAK inshallah good job 👍

  • @salimmohd4999
    @salimmohd4999 Рік тому

    Allah awalaani wanga wote

  • @aishatwizerimana2505
    @aishatwizerimana2505 3 роки тому +2

    Ameen yarabi

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 2 роки тому

    Shekhe evaa Pete hapo tuambie za Nini hizo na kwa lengo gani au ni pambo tu shehe tupefaida shekh juu ya hilo na wengi ambao wanaombea huwa Wana vaa Pete zinazo fanana na hizo zako plz shekh tuambie na kwa nn ziwe zinafanana..nakpnda kwa ajili ya Allah.

  • @barikaali1861
    @barikaali1861 3 роки тому +1

    Weh pemba wanabalaa yaani majin yte yakohuko watu husafir kwendannua wajetesa wenzao Allah awashinde

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 3 роки тому +1

    All the best sheikh mardhiya

  • @abduraheemabdullah5223
    @abduraheemabdullah5223 3 роки тому +2

    Hasbiya Allahu waniimal wakiil

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +3

    Mashaa Allah tabarakallah nawapenda kwa ajili ya ALLAH

  • @rajabubakari2012
    @rajabubakari2012 3 роки тому +1

    Aaameeen

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 3 місяці тому

    Mashallh sheikh

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 3 роки тому +3

    Ammin yarab🤲🤲

  • @maryamhamad5158
    @maryamhamad5158 3 роки тому

    Allahu akbar Allah protects us

  • @Awatee
    @Awatee 3 роки тому +4

    Subhana ALLAH Laila haila ALLAH muhammad Rasulu Allah

  • @halimaabshiro1496
    @halimaabshiro1496 3 роки тому +1

    Wallaah is crazy subhanallah ya Allah may Allah protect us Ameen sheikh please make dua for me and my children my children not easy to listen please dua for me and my family and I am Searching for house to rant but not easy to find Please dua sheikh may Allah bless you and your family Ameen

  • @MuhammedBalkiss
    @MuhammedBalkiss Рік тому

    Amiin thummah amin

  • @alfatahenani7829
    @alfatahenani7829 3 роки тому +1

    Mm ningependa kua mwanafunzi wako sheikh

  • @farhiyaally8412
    @farhiyaally8412 3 роки тому +5

    Masha Allah

  • @zulaikha6007
    @zulaikha6007 3 роки тому +3

    Hassbiallh wanimall lwakil Hassbiallh wanimall lwakil Hassbiallh wanimall lwakil 🤲🤲🤲🤲🤲🤲Amiiin amiiin thumma amiiin thumma amin

  • @HafsaniaKepten-vh5zq
    @HafsaniaKepten-vh5zq Рік тому

    Asssalamu aleykum, yaaan tunakuomba uje uku dar es saalam kunasehemu watu awalali na wengi wametiwa uchizi vichaaa na tena wachaw wanajitamba Ata akija shekhe mwenye madevu Hadi miguun kutoka pemba awamuugopi na wanamfaata

  • @abdullahihussein6836
    @abdullahihussein6836 3 роки тому

    Haya mambo ni ya karne 10 nyuma. Waafrka Na waarabu ndiyo tukawa nyuma ya wazungu. Na tukiendeleza huu ujinga tutakuwa watumwa wa wazungu maisha

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 3 роки тому +1

    Subiani mbaya

  • @mussahaji905
    @mussahaji905 3 роки тому +4

    Hawa vijana Wana ujasiri mkubwa..wamevamia sehemu mbaya..Giningi nyengine Iko Bungi Miembe mingi Unguja..Bubwini pia iko

  • @ramadhanbaraka6474
    @ramadhanbaraka6474 3 роки тому +3

    Allahummah Ameen.

  • @yusufmohamed9843
    @yusufmohamed9843 3 роки тому +4

    ALLAH YA BARIK SHEIKH SALIM AMEEN.

  • @bibielroybibielroy8710
    @bibielroybibielroy8710 9 місяців тому

    Mtangazaji aliyevaa kanzu brown kapata khofu

  • @benjaminkangolo2017
    @benjaminkangolo2017 3 роки тому +1

    Allah Akbar Allah aku lipe

  • @hassanaboud8442
    @hassanaboud8442 4 місяці тому

    Subhana wallah

  • @mwajumahabibu9992
    @mwajumahabibu9992 Рік тому

    Shekhe Mimi na familia yangu Kila siku wananiumiza na wamenivurugia ndoa yangu.

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 3 роки тому +6

    Wachawi woote laana tullahi.

  • @mename6020
    @mename6020 3 роки тому +3

    Ameen Ameen Ameen yarabilalameen...

  • @abdulazizal-mazroui3363
    @abdulazizal-mazroui3363 3 роки тому +1

    Subhanallah mimi nimeupenda hii a hii nasheed pia

  • @tinkamdim71
    @tinkamdim71 3 роки тому +2

    Allah awaangamize wachawi wote dunia nzima ameena

  • @ShazeenBaby
    @ShazeenBaby 3 роки тому +1

    Ameeen yarabb