MAISHA YA MAMA ANAYELALA CHINI YA MTI NA WATOTO SITA NDANI YA RAMADHANIÅ

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 232

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 6 місяців тому +30

    Samia afutarisha wasanii kina mondi nawashezi wengine ety ndio kuupiga mwingi huko

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 6 місяців тому +2

      Hela azitoa ktk mipira ili mradi atengeneze legacy Kwa wananchi apate kura 2025

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 6 місяців тому +1

      ​@@princesaha3262kura yangu ataisikilizia chooni😢😢😢😢😢

    • @KhadijaAbdala-vy8tw
      @KhadijaAbdala-vy8tw 5 місяців тому

      Mtihan wallh😢😢

    • @samwa9496
      @samwa9496 5 місяців тому +1

      Hata serikali ya kujiji ndio ya kwanza kupata taarifa hiyo huyo Samia atafika mpaka vijijini. Kijiji kilishindwa tatua basi kuna kata kata wilaya, wilaya mkoa ndio itafika kwa serikali kuu acheni lawama kwa Samia

    • @allahmamana
      @allahmamana 5 місяців тому

      Mm na ww tusichoke kumuombea madua ishaallah mola awapewepes aamiin

  • @thuraiyathuraiya401
    @thuraiyathuraiya401 6 місяців тому +8

    Mama yangu usikate tamaa mungu mbele yako dada yangu huyu mama angepatiwa nyumba mungu atawajalia

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma 6 місяців тому +17

    Mama Samia saidia mama huyu Achana naa hao wasanii hela yako inaenda kukuza haram. Allah ataskia kilio chako mamaangu

  • @hilmialiomar1983
    @hilmialiomar1983 6 місяців тому +2

    Pole mama,Allah (SWT) atakujaalia kila la kheir vuta subra mama.Inasikitisha kuna baba baba halafu kuna baba bora huyo wao baba baba

  • @AhmadRashid-x1i
    @AhmadRashid-x1i 6 місяців тому +1

    SubhanaALLAH Allah atakuhifadhi inshallah mama kwa kweli nmetokwa na machozi hku watu wanakimbilia kujza mafriji na matumbo yao

  • @MuhineBakari
    @MuhineBakari 5 місяців тому

    Subhana allah Allah awape subra na awaondolee mtihani huu

  • @HussainAbdallaAli
    @HussainAbdallaAli 6 місяців тому +1

    Ikisha anatokea mpumbavu 1 anasema hiyi kazi kubwa munayoifanga ni riya waulizeni wanajuwa nn maana ya riya wache ujinga shekhe wangu kama tunavoambia anaemstiri mwezake Allah na yy atamstiri jiulize umeshawastiri wangapi unakasiri yako peponi inshallah

  • @thuraiyathuraiya401
    @thuraiyathuraiya401 6 місяців тому +2

    Mungu atujalie jirani mwema

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 6 місяців тому +2

    Subhannallah subhannallah

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 5 місяців тому

    SubhanAllah kuna baadhi ya wanaume wana roho mbaya hawana roho ya utu hivi hawa watoto wadogo wamekukosea ni baba kama hilo watoto wakiwa na kazi zao ndio wanajishauwa mwanangu hanisaidii anamsaidia mama yake yaan acheni tu omba lisikukute

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 6 місяців тому +3

    Yapo Zanzibar sehemu gani huyo mama

  • @rehemamohamedy4007
    @rehemamohamedy4007 6 місяців тому

    Subhana Allah

  • @MariyamusefukhamissiMariyamuse
    @MariyamusefukhamissiMariyamuse 6 місяців тому

    Subhannal-llah 😭😭😭😭😭😭😭ya Rabby ww ndo twakutengemeya

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 6 місяців тому

    INNA LILAAHI WA INNA ILAYHI RAJIUNA

  • @fathiyasuleiman8451
    @fathiyasuleiman8451 6 місяців тому

    Subhanallah

  • @ZainabuMsengec
    @ZainabuMsengec 5 місяців тому

    Me nauliza wanakiwanja tumsaidie kujenga ata vyumba viwil ama hakuna kiwanja...ili tujue tunamsaidia vip..

  • @thuraiyathuraiya401
    @thuraiyathuraiya401 6 місяців тому +3

    Mama samia tu naomba msaidie huyu mama naamini mama yangu unamoyo wakujali wenzio ❤

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 6 місяців тому +1

      Moyo wa kufuturisha matajiri na kununua magoli ya Simba yanga na taifa star 😢😢😢😢😢😢😢

  • @bkkomesho9272
    @bkkomesho9272 6 місяців тому

    Allah atafanya kitu kwa ajili yako, naamini

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 6 місяців тому

    Mama SAMIA TUNAOMBA MSAADA WAKO KWA HUYU MAMA NA WATOTO WAKE

  • @Dachboy-f3v
    @Dachboy-f3v 6 місяців тому +1

    Goli moja1milioni moja

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 6 місяців тому +1

      Halafu kesho wakuja kuomba kura , watakuwa wamwagiwe kinyesi Cha nguruwe 😢😢😢😢

  • @SheikhaAmeir
    @SheikhaAmeir 5 місяців тому

    Anaishi pemba sehem gani nahitaji kujua

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 6 місяців тому

    😢😢😢

  • @ايتيتووينويو
    @ايتيتووينويو 6 місяців тому +1

    Na akitokea mfadhili kukupatia hifadhi huyo baba fanya kama humjui hakika ubinaadamu hanaa huyo hata kama kusamehe ni vizur samehe ila usimkunali kuwakaribu yakoo abadan

  • @abdallahkhamis417
    @abdallahkhamis417 6 місяців тому

    A Alykum, tunaomba contact za wahusika, au mtuelekeze kijiji gan tunaweza kuwafikia, licha ya kuchangia kwa namba hizo tungependa kuenda kuwaona na kuwafarji uso kwa uso

    • @CalmGlassRose-oy3qv
      @CalmGlassRose-oy3qv 6 місяців тому

      Buyu nguzo tatu mashamba ya njugu kwa bi riziki au bi rii

  • @soamShs-cp4dl
    @soamShs-cp4dl 6 місяців тому +1

    Mama samia yupo busy kufutarisha wasanii

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 6 місяців тому +1

      Ni umbwa mwengine hana lolote na magoli ya Simba yanga na taifa star 😢😢😢😢

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 6 місяців тому +3

    Lakini hii falimia aliwahi kuhojiwa na midia moja

    • @khalidhaji-ls2or
      @khalidhaji-ls2or 6 місяців тому

      Ikawaje?

    • @HusnaLll-l2n
      @HusnaLll-l2n 6 місяців тому +1

      Kuhojiwa si shida shida tuwasaidie wapate stara

    • @mariyamgharib940
      @mariyamgharib940 6 місяців тому

      Uyu alihojiwa na millard ayo kumbe bado hajasaidiwa, duh ilikuwa last month ile i think, zenji mtihan wallah but inshaa allah al fatah allah ataleta wepesi itamsaidiya

    • @oparetionmaalum9030
      @oparetionmaalum9030 6 місяців тому

      @@khalidhaji-ls2or kwakweli sijajua Kilicho endelea

  • @hebamuhammad7278
    @hebamuhammad7278 6 місяців тому

    😢raisi mama samiya acana awo wasani tafuta ahera yako awo wakina modi hawatakuteteya iyo siku ya siku

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 6 місяців тому

    Mola awajalie na awajalie kheri katika mambo yenu

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 6 місяців тому

    MAMA SAMIA ALIPOFELI NIPALE KUWAPA FUTARI WATU WENYE UWEZO WAO ILI WAMUIMBE SANA APATE KURA AENDLEE KUONGOZA JAMANI UISLAMU WETU NI UPI JAMANI

  • @OmarMohamed-zf8dp
    @OmarMohamed-zf8dp 6 місяців тому

    Wap hii

  • @jeremiahkavakule8354
    @jeremiahkavakule8354 6 місяців тому

    Siyo saidia sheria zipo huyo Baba akamatwe awekwo selo wiki moja halafu kesi ianze kusikilizwa

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 6 місяців тому

    Kaka mweshimiwa RAIS Hussein ALLY HASSAN mwinyi Uko wapi kaka chukua hatua wewe ni mwema

  • @MakameMufadhil-n8d
    @MakameMufadhil-n8d 6 місяців тому

    Musiwazingue tupigeni mchango wajengewe

  • @hamadyussuf5307
    @hamadyussuf5307 6 місяців тому +14

    Wenye uwezo yaani kazi yao kusaidia mpira na wasanii tu, ujinga mtupu. 😢

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma 6 місяців тому +19

    Mama ulomsaidia Allah akulipe pepo na ukusamehe makosa yako

  • @mariyamgharib940
    @mariyamgharib940 6 місяців тому +9

    Uyu bibi alihojiwa last month na millard ayo, kumbe bado hajasaidika huu mtihan bas zenji izi media nyengine. Inshaa allah al fatah itamsaidiya kwa uwezo wake maana ni media yenye kuaminika

    • @zainab8251
      @zainab8251 6 місяців тому +1

      Yaani ciku zimepita nyingi jamani

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 6 місяців тому +1

      Hizo media nyengine ni contact tu wanataka awana msaada wwte

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 6 місяців тому +2

      Hasa iyo Millard cjasikia imesaidia mahali imeshindwa hata na max tv ya Zahir

  • @abdullatwifmuhammed7412
    @abdullatwifmuhammed7412 6 місяців тому +3

    Allah awape subra, na makaazi mema hapa dunian na akhera. Kiukwel inauma sana, kwa wale ambao Allah amewapa uwezo wa kumiliki chakula chao cha siku au zaid ya hapo tusiwasahau ndugu zetu kama hawa kwani wapo wengi sana wanaohitaji. 😢😢😢

    • @feisaljuma3169
      @feisaljuma3169 6 місяців тому

      Yaan inauma mpaka bas najiuliza huyo baba aliowabomolea hilo banda ana roho gan

  • @salimkhalfan5805
    @salimkhalfan5805 6 місяців тому +5

    Allah atufanyie wepesi inshaallah hatuijui kesho yetu tusaidiane jaman

  • @HashimHaji-p4l
    @HashimHaji-p4l 6 місяців тому +4

    Huo ndio utukufu wa Allah! Kupanga riski na hali vile anavokadiria, na tukio hili ni ibada kwa wale wenye uwezo jee watafanyaje, wale wanaolala ktk magorofa, ma Acee nk, hakika dunia ni mchezo Akhera ndio makaazi ya Milele, Sura za watoto zinaonesha kahisa Utukufu wa Allah. Yaarab msaidie yeye na wengine wenye dhiki zaidi yangu. Ammin Yaarab

  • @muhsinkimaro4283
    @muhsinkimaro4283 6 місяців тому +3

    Mama tunakuomba tuondolee haya majonzi, kila anayetazama anatokwa na machozi, kuna watu wanateseka mama katika jamii, pesa za kuwapa wasanii, mara goli la mama ungeliangalia vzr, wapo wanaokusifia lkn ukifikiria maisha yetu tunashindwa kukufikishia ujumbe

  • @mwanahawamohammed8540
    @mwanahawamohammed8540 6 місяців тому +21

    Jamani serikali ipo wapi au imekwenda likizo? Viongozi wabunge wawakilishi na wanawake na watoto wapo wapie? Au serikali inaona sifa kwa haya mambo kutangazwa kila siku? Viongozi na taasisi mna kazi gani?

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 6 місяців тому +1

      Angekuwa na watto Wa kupiga kura wabunge na mwakilishi wangefika lkn wanawe wadogo waa hawatomjali

    • @hamicpina1151
      @hamicpina1151 6 місяців тому +2

      Eee Pana serekali apo kwa akili zako apo wapo wapiga hela tuu kuanzia raix mpaka sheha pumbavu zao

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 6 місяців тому +2

      Kabla ya serikali jaman hyu hna ndugu hna familia pia mm nnavyojua kma familia hawakos jpo chumba kuwastiri lkn ss waswahili mtu amuona damu yke inahangaika yy hna hata huruma. Allah ampe uzima na afya amfanyie wepes inshallah inaumiza wallah.

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 6 місяців тому +2

      Mnapenda kulaumu
      Sasa serekali ni watu na watu wenyewe ndio sisi tuungane tumsaidie sio tungoje viongozi .ww kma binaadam mwenye huruma msadie kw kidog chako atakuja n mwengine ataweka kidogo tutafikia lengo

    • @mwanahawamohammed8540
      @mwanahawamohammed8540 6 місяців тому +2

      Msaada atapewa mara ngapi na mpaka lini? Huyu anahitaji solution ya kudumu na sio ya muda mfupi. Kukaa kwa jirani si suluhisho la kudumu. Huyu ana haki zake amedhulumuwa, haki za msingi na huduma kutoka kwa mume wake au baba wa watoto wake kama ameachika. Mambo mengine hata ndugu wawepo wanaweza kushindwa. Panahitajika kupatanisha pia kifamilia, narudia tena viongozi wapo wapi na jamii ipo wapi au ndio tushuhudie kulia kilio tu. Basi kama napenda kulaumu ni juu yako kwa muono wako na kila mtu ana wake,😜

  • @Naw89
    @Naw89 6 місяців тому +4

    Huyu ni baba wa aina gani jamani
    Kweli hata adhabu za Allah haziogopi kesho na kesho kutwa Allah kawagungulia maisha baba aanza kutoa laana watoto hawamtizami hii laana inaweza kuwashika kweli?

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 6 місяців тому +1

      Mtihani wanaume wengi .hawanahuruma. mm watoto wangu hata wanamtaka babayao ilahuyo baba hataki hatakuwaona anakuwasalimiatu.hataki ajuiwanakaa wapi walamia hatoi. Ajuiwanahishi vipi huyo mdogo miaka 10. Sasa hamjui baba yake anatamani nayupo Dar.salam nawatoto wapo. Daresalam. I lakini ajali walaastuki kamaanawatoto. Ila mm nashukuru nipo Oman napambania wanangu. Kwani niliteseka sana

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 6 місяців тому +2

    😢😢😢 subhanallah heee viongozi mkowappi jamani masikini huyu mama pole Sana mama Millie mungu atakulipa na mama ulomsaidia mungu atakulipa heri inshaallah

  • @MaryamAbass-z1x
    @MaryamAbass-z1x 6 місяців тому +2

    Pole sn dd 😭😭kwakuwa alfata Imetumwa na Allah ikufikie basi naamini utapata msada kwa uwezo wa Allah mm nilijua ayo TV ulipata msaada lakini kwakuwa tumbo la kheri huzaliwa ndani ya tumbo la Shari Basi naamini utafika mbali na siku ukipata msaada Hilo janaume katili lisije likakurubuni aliki tena

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 6 місяців тому +2

    Kuna kitu ambacho kimejengeka ktk jamaan na sio kizuri cos kinakua kama sumu ktk maisha ya jamii . Kitu wenyewe ni kila serekali iko wapi. Allah ametujali nema watu wengi sana kuliko hiyo serekani muhimu ni tumeni na imani sote na kutatu majanga haya kwa pammoja sio kuhukumu serekali . Jamaaani ni muhimu kusaidiana Jamaaani tunahitajiana .tusiendekeze mamba ya serekali. Walah hili jamnagar ni la Jamaaani sote

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 6 місяців тому +2

    Tatizo serikali, wanajenga majumba Mia mia wanasahau hawa watoto ndo taifa la kesho

  • @HashimHaji-p4l
    @HashimHaji-p4l 6 місяців тому +2

    Wapo Unguja maeneo gani hawa, halafu tunaomba namba ya mawasiliano yao na Namba ya Mchango pia.

  • @Salhiya96
    @Salhiya96 6 місяців тому +1

    Alf baba anakusubir umekuwa unakipat chako kdg anakuja kujion yy ndo mzazi najua hay maumiv ya baba kukataa mtt anakusubir unajiwez ss yy zk zimeisha Allah awafanyie wepes mama zet kw wanayoyapitia 😢😢😢😢😢

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 6 місяців тому +1

      Weeeee na mtoa nduki😢😢😢😢😢😢

  • @MuhdHasan-zq2bv
    @MuhdHasan-zq2bv 3 місяці тому

    Allah atakufanyia wepes inshaallah katika kipindi hicho kigimu na mama samia mungu akufanyie wepes uwasaidie hawa

  • @mitundafmoni7699
    @mitundafmoni7699 6 місяців тому +1

    tatizo serekali ipo kivuli tu mbunge muwakilishi halaf wajaomba kura hao

  • @aishaabdalla4254
    @aishaabdalla4254 6 місяців тому

    Asalam aleikum. Kama hajapata mahali Mimi Niko tayari kumlipie nyumba aketi kujiskiza

  • @jeremiahkavakule8354
    @jeremiahkavakule8354 6 місяців тому

    Kwanini huyo Baba hadi leo hajakamatwa nchi yetu inafata utawala sheria kulikoni

  • @MwanaishaAme-r2h
    @MwanaishaAme-r2h 6 місяців тому +1

    Pole sana kioenzi Allah atakufanyia heri inshaAllah mbona hamjatuambia anaishi wapi?

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 6 місяців тому +2

    Subhanallah Allah atustiri waja wake

  • @FelisterMunissy
    @FelisterMunissy 6 місяців тому

    Huyo awara auwawe anaukimwi yeye n huyo mwanaume mbwa nguruwe ww mwanaume

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 6 місяців тому

    Kweli waislamu tunashindwa kumsaidia huyu mwenzetu kweli?

  • @khamisali9907
    @khamisali9907 6 місяців тому +4

    Subhanallah

  • @salimkhalfan5805
    @salimkhalfan5805 6 місяців тому +2

    Location tukamtembelee

    • @CalmGlassRose-oy3qv
      @CalmGlassRose-oy3qv 6 місяців тому

      Buyu nguzo tatu ukishuka waambie boda wakupoleke banda la maturubai mashamba ya njugu ila kwa sasa ulizia kwa bi riziki ni mbele kidogo na alipokua anaishi

  • @zainab8251
    @zainab8251 6 місяців тому +1

    Jamani viongozi wote wa zanzibar uwa mnafanya kazi ngin? Uyo mama anateseka na watoto nje kweli jamani serikari mpo kimya kuna haki za binandam mpo wapi? Inamaana ajui wajibu wakazi zanu wazembe sana kama vile selikari ampo

    • @AliJussa
      @AliJussa 6 місяців тому

      Serikali Bila kuona kama tulivyooona hawatajua shida hizi

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 6 місяців тому

      ​@@AliJussauongozi wa masheha tunafanya Nini , dubhannallah

  • @awaynaaaa3490
    @awaynaaaa3490 6 місяців тому +1

    Yaan huyu baba hapa amesha jenga bonge ya chuki hawa watot wata mxhukiy mpk mwish wa maish yake

  • @FaudhanMuhamad
    @FaudhanMuhamad 6 місяців тому

    Tupen namba zao japo Harambe tuende mbele tutumie nmba

  • @FettyMungenje-yg6xq
    @FettyMungenje-yg6xq 5 місяців тому

    Mungu mkubwa Mama Angu kipenzi Yupo pamoja Nawe

  • @aminapili2978
    @aminapili2978 6 місяців тому

    Jaman mwanaume huyo nshetan wallah hataiman yawanawe hana

  • @KhadijaHassan-q4e
    @KhadijaHassan-q4e 5 місяців тому

    Jaman Kwan serikal ya mam samea ni aher ya bab maguful

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 6 місяців тому

    Jamani kwanini bado hajasaidiwa? Daah bas tumchangieni

  • @ZalhathamohdSaid-qn4jj
    @ZalhathamohdSaid-qn4jj 6 місяців тому +1

    mbna namb za kutuma hamjaandik jina linakuja nani

  • @khadejarajab844
    @khadejarajab844 5 місяців тому

    Pole sana ndugu yangu ktk imani allah atakustiri

  • @OmarMohamed-zf8dp
    @OmarMohamed-zf8dp 6 місяців тому

    Skilizeni unaajengaje nyumba ambayo sioya kwako pole sana ila iwendo funzo kwa wanawake wote wana ume hawana zamana sehemu yoyote na ndomana UK wanasaminiwa wanawake na mbwa na ikesha ndo wanaume kwakuwa ukimkuta mwenye imani sawa aliekuwa hanaimani utakoma sawasawa na nyie wanawake

  • @RayaAbdalla-h2c
    @RayaAbdalla-h2c 6 місяців тому +1

    Hasbiyallah huyu mwanaume alieyafanya haya Allah yupo

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 6 місяців тому +2

    M mungu ataleta kheri ishallah😭😭😭😭

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 5 місяців тому

    Yaa Allah have mercy on this family...😢

  • @SheikhaAmeir
    @SheikhaAmeir 5 місяців тому

    Anaishi pemba sehem gani nahitaji kujua

  • @SheikhaAmeir
    @SheikhaAmeir 5 місяців тому

    Anaishi pemba sehem gani nahitaji kujua

  • @SheikhaAmeir
    @SheikhaAmeir 5 місяців тому

    Anaishi pemba sehem gani nahitaji kujua

  • @mwanaherimatata8571
    @mwanaherimatata8571 6 місяців тому

    Sio kama tunawadiscuss wenye Uwezo wenu Ila mkiona mnaweza kuwapa pesa na kuwalisha kwa mualiko wenye fahari ,
    BASI TUNAWAOMBA MUWE MNAFUATILIA KAYA MASKINI MUZISAIDIE

  • @YusufDaudi-v5f
    @YusufDaudi-v5f 6 місяців тому

    😭😭😭Allahu Akbar

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 6 місяців тому +1

    Zanzibar mko wap jaman hamuon mama anateseka na watoto hamna hata huruma

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 6 місяців тому

    Hayo sio maswali kwa watu unaowaona ktk macho yako..maumivu makali hayoo.wasaidieni vijana wakubwa wapate vibarua..japo Shule waende lkn wanasoma..Dini iwe kushirikiana na watoto wote kumuelekea Mungu..waelekee ktk DINI PIA

  • @abdulaisha4145
    @abdulaisha4145 6 місяців тому +1

    Msiba mkubwa Sana

  • @aminamzee-vv2bm
    @aminamzee-vv2bm 6 місяців тому

    haya raisi mwinyi ndio huoni au uko bize na mabati tu ata husikii na hao wapambe wako kina hemedi au ndio muambiwe wazanzibar hatusaidaiani aje mama Samia je utajisika vizuri akisaidia mama utaonekena huwajali watu wako mpaka leo mtu huyu analala chini kuwa makini kama saidina Ali yeye ndio alila kwenye miti kusikiliza shida za wanachi wake.

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 6 місяців тому +1

    Sem huy jamaa nae mshenzi kw kweli

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 6 місяців тому

    Huku mama samia anafiturisha matajiri kumbe wenye shida wapo ila viongozi hawaoni hila wakina mo dewji kazi kupeleka hela kwenye mipira hata kusAidia maskini hawawezi viongozi matajiri wanajifuturisha wenyewe kwa wenyewe wenye hela wakati maskini wapo mungu anawaona hawa wenye fedha

  • @SaidNassor-wz9ki
    @SaidNassor-wz9ki 6 місяців тому

    Huyo baba anastahiki kufuatiliwa na kupewa muongozo wa kidini jinsi ya kuwatunza watoto na malezi ya mke na watoto pia serikali iwachukuwe hao watoto na mama yao waekwe nyumba za kuwalea watoto na mama yao awatunze na huyo baba serikali imchukulie hatua za kisheria

  • @DosianaLulakuze-bv7fg
    @DosianaLulakuze-bv7fg 6 місяців тому

    😭😭😭😭😭😭 huyu baba

  • @khadijahhussan182
    @khadijahhussan182 6 місяців тому

    Serikali iingilie Kati uyo baba aekwe gerezan Hana tofauti na muuaji sheitwan uyo ili iwe fundisho na kwa wenzie wenye tabia kama zake

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 6 місяців тому

    Kila lifanywalo na mja litalipwa na mwenyezi hata kama ni kwa uzani mdogo mnoo. Na huo ndio mtihani

  • @MwanaishaAme-r2h
    @MwanaishaAme-r2h 6 місяців тому

    Hivi hapo anapoishi hapana balozi, sheha hao ndio wasemaji wakuu wa shehia na kulipeleka jambo hili mbele mama samia kama hajaambiwa hajui na ndio maaana akaweka wasaidizi kila pahali

  • @SheikhaAmeir
    @SheikhaAmeir 5 місяців тому

    Allah amfanyie wepesi mama huyu na akupe subra kwa uwezo wake na atakulipa ujira wako yaani nimeumia sana ni mtihani mzito 😭😭😭 niulize anaishi pemba sehem gani

  • @ahmedsaidy4486
    @ahmedsaidy4486 6 місяців тому

    Rais husein ukwa raisi wetu kwa nini huyu mwanaume asichukuliwe hatuwa na ukamsaidia huyu mama wewe kama raiya wako huyaoni haya raisi wetu msikivu saidia hii familia

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 6 місяців тому

    Wallah wanaume nyie mungu hatawaacha kwa machozi tunayo lia watuy wazanziba mnajifanya watuy wa din kwan hamjamuon huyu mam duuh pole san

  • @salassalas-eo6vo
    @salassalas-eo6vo 6 місяців тому

    Hee jamani serekali haipo ikamuangalia huyu mama alau akakodiwa japo nyumba ya kawaida Alfatah mwambieni bopar amsaidie huyu mama atapata fungu lake kwa Allah

  • @AlShabh-u8i
    @AlShabh-u8i 5 місяців тому

    Masha Allaah sii haba mitihn yte huyu mama bdo ana am in muungu ndio kila kutu daa hii klip inaniliza snaa nabk nalia tu

  • @Nassor2377
    @Nassor2377 6 місяців тому +2

    Inauma sana ...

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm 6 місяців тому

    Hiyo serikali kama ni magendo zamani wameshakatwa lkn tabu kama hizi huwaoni kabisa na pia wangekuwa ni watu wenye vitu vyao ndio ungewaona

  • @hajijabir8677
    @hajijabir8677 6 місяців тому

    Viongozi mnajukumu kubwa mbele ya Allah mnakula vizur waku wananchi wenu wanateseka

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 6 місяців тому

    Haya maisha hata mim nilipitia ila mie nilikuw na mtt mmoja tuy nililia machoz yote lakin mungu nae hakuniacha sai nipo oman dar nimejenga nyumban nimejenga alhamdullillah mam mlilie mungu tuy hawez kukuacha hata siku moja

  • @Suleiman-h8i
    @Suleiman-h8i 6 місяців тому

    Dunia gunia

  • @AdmiringCorgi-rg5tj
    @AdmiringCorgi-rg5tj 6 місяців тому +1

    Hizo Mahakama za Kadhi zipowapi

  • @AbubakarMohammed-y3o
    @AbubakarMohammed-y3o 6 місяців тому

    😭😭😭😭 Kakweli Allah ndie hakimu wa yote haya..
    Namuomba Allah ampe subrah mama huyu na amlipe kwa subrah yake.

  • @HassanFaki-ko9wk
    @HassanFaki-ko9wk 5 місяців тому

    Allah akufanyie wepesi na subira inshallah kusema kweli inasikitisha sana