Rehema za Mungu hakika ni kubwa mno kwetu. Nimebahatika kumwona mtunzi wa nyimbo hii akipiga kinanda Parokia ya Mt. Mathias Mulumba-Sahare Jimbo Katoliki la Tanga, Jamani Mungu wetu niwamaajabu sana. Mungu ambariki na siku Moja Ee Mungu Mwenyezi, fungua macho yake aone kazi yake hii nzuri Amina.
Haaya basi. walo na macho wanaona, wanao masikio wanasikia na wenye akili nzuri wakaelewa. Ushuhuda ndio huo. Iwe je wengine wetu hamwiimbii mungu. Jameni tumshukuru mungu kwa neema anazotupa kila siku. Mwenyezi mungu amneemeshe mtunzi na ampe maisha marefu.
Mungu akubarikiii mtumishiii wa mungu najivunia kuwa mlomaniii
Mungu awabariki na awanyeshee kwa mvua ya baraka
Mwanadamu bila Mungu hatuwezi bali ni kuendelea kumtukuza Mungu kwa sifa na utukufu wake kwa nyimbo na shukurani
Bwana azidi kuwa uvuli wangu kwenye jua kali
praise the Lord for every thing mungu n farajaaa ya kwel haijaishi m mapito mangapi tuliyonayo.....❤️❤️❤️❤️❤️❤️💞💞💞💞
Wimbo huu una hisia mzito zaidi❤🎉
Wimbo huu umenigusa. Barikiwe Mike na Ufunguo👍
Mungu akupe itaji la moyo wako wimbo ni baraka tosho
Waooh ,,,wimbo mnzuri hakika mungu ni faraja hongereni wanakwaya
Rehema za Mungu hakika ni kubwa mno kwetu.
Nimebahatika kumwona mtunzi wa nyimbo hii akipiga kinanda Parokia ya Mt. Mathias Mulumba-Sahare Jimbo Katoliki la Tanga, Jamani Mungu wetu niwamaajabu sana.
Mungu ambariki na siku Moja Ee Mungu Mwenyezi, fungua macho yake aone kazi yake hii nzuri Amina.
Nafarijika kupitia huu wimbo asante sana wanakwaya mungu awabariki ciku zote za maisha yenu, Amina
Kaka kazi nzur sana
Haaya basi. walo na macho wanaona, wanao masikio wanasikia na wenye akili nzuri wakaelewa. Ushuhuda ndio huo. Iwe je wengine wetu hamwiimbii mungu. Jameni tumshukuru mungu kwa neema anazotupa kila siku. Mwenyezi mungu amneemeshe mtunzi na ampe maisha marefu.
The message, the message. Mungu aendelee kukuongoza nakukufundisha
i am proud to be a Catholic God bless you all
Amen.Amen.Amen Bwana Yesu apewe sifa milele na milele.
Hongereni sana kwa uinjilishaji uliotukuka
Wow congratulations
Ubarikiwe mtunzi kwa utunzi mzr
Amina mtumishi wa mungu barikiwa mnoo kwa Wimbo
So interesting and lovely song
beautiful song
nabarikiwa 2022
Herini kwa sikukuu yenu kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu Udsm
NYIMBO NZURI SANA
Ongera sana
Hakika Mungu ni mkuu!!!! Hongereni Sana!
Who is with me watching me may 2020 may God bless u all,😃😃😃🔥🔥🔥🔥🔥👍
Nimenenepa kupitia wimbo huu🙏🙏
Mwanikosha
Blessing all
Smart song
Wimbo wamatumaini. Abarikiwe sanaaa
Safi sana. Endeleeni kuinjilisha bila kurudi nyuma.
Mtunzi hongera sana na wanakwaya kwa jumla tena mbarikiwa sana mno,kutoka Kenya lakini kwa Sasa Niko Doha Qatar
wimbo umenoga kweli
Nipo hapa na mwandani wangu twaskiza neno la bwana😂😂
I really enjoying listening this music
Wimbo mzuri sanaaa mungu akubariki Mwalimu
Tusipomsifu Mungu, mawe yatainuka yamsifu. Wimbo mzuri sana sana sana, kila atayeusikiliza naamini utambariki.
Bwana ww ni uvuli wangu kwenye jua kali 😢😢😢😢😢 asante Mungu wangu kwa kuninyeshea Mvua ya Baraka!💫💫💫💫 mmenitoa choz huu wimbo asanteni Waimbaji!
.ubarikiwe mtunzi na kwaya pia
UKWELI ......
Aminaa
Haleluyaaa Bwana wewe ni mwanga kwangu jizani usiku Amina Mungu awabariki sana
Hongera sana PAUL MIKE MSOKA.Asanteni sanawaimbaji wote wa kwaya hii.Mungu awabariki sana
Nikweli Mungu ni mwema
Hongerani maclass mate 2012-2015
Mpo vzr Sanaa,Ansanten kwa Uinjilishaji
Hongereni sana. Mwenyezi Mungu aendelee kuwaongoza katika utume wa kuimba. Bado tupo pamoja kiroho, Big up my choirmates,,
Nimebarikiwa na wimbo!
Hongera sana mtunzi, hongera mno waimbaji!!!!
Kazi nzuri ii
sifa na utukufu ni kwako eeh mungu wetu ulinde na unenemeshe watunzi wetu na nyimbo tamu upenya mipaka yote
Yote ni kwa uwezo wa Mungu
Hongera sana mwalimu Paul Mike Msoka kwa utunzi wa wimbo mzuri.
Pia hongera sana wanakwaya kwa kuimba vizuri.
Hakika Mungu, wewe pekee ndiwe chemchemi ya faraja. Hongera Rajo kwa kazi nzuri
Msoka Paul
@@elizaromanus3952 yes Eliza
Barikiw San kazi nzuli San
Anayeimba anasali Mara MBILI
MUNGU ni muweza hakika haikua rahisi Lakini kazi hii tumeitimiza kwa mapenzi yake AMINA
Moyo wa yesu ufalme wako uwafikie hawa watumishi wako
Congrats mr.mushobozi
Phewww, aki nimetafuta hii nyimbo
Nafalijika sana
Hongera mwl Msoka kwa wimbo wenye kubeba yaliyoujaza moyo wako. Mungu aendelee kuwa wako kiongozi na faraja ya kweli kwako!
Amina
Good song
Na Mola aibariki kazi yenu nzuri . Watching from Doha QATAR
Fidolin B nakukumbuka sana natamani tuwasiliaene
amazing voices
I really enjoyed the song and admired the sings mostly man with their dancing stile
Rajo hamjawahi kuniangusha, mnafanya kazi njema. Dumuni hivyo kwa sifa na utukufu wa Yesu
Very nice all of you...i like you're all vidios....god bless everyone...
the best song ever
Wow Hongereni sana wapendwa kwa wimbo mzr pia mtunzi Mungu akubariki sana asante kwa wimbo mzr
Amina sana na Mungu akubariki sana...
wimbo mzuri
Uzidi kupokea na kukaa kwenye chemchemi ya faraja. Amina.
Consolata Zachalia Awabariki Mungu wa Yakokobo
Sifa na utukufu ni vyake Mungu wetu aliye mkuu. Ubarikiwe mwalimu Msoka
Mpaka natamani nijiungenanyi
Mmependeza na ujumbe mzito mmeutoa
Mungu awabariki sana , asanteni kwa kumsifu Mungu.
Kazi nzuri sana
God bless you brothers and sisters for wonderful performance you are helping us worship our God well
kazi nzuri saana .,,.pongezi kwa cool nzima ya RAJO pro
Roho mtakatifu azidi kukaa ndani ya moyo wako...
Amina
nimeipenda sanaaaaaaa
hongereni sana kwa wimbo ulio beba dhima na ujumbe juu ya mapito yetu hapa duniani mbarikiwe sana na mungu
Hongera kwa wimbo mzuri
Amen
Praise the lord all the time
Mabodada
M
3/12/2020 still napata baraka za huu wimbo
Mungu Ni mwema Kazi nzuri Sana'a
Kazi nzuri mbarikiwe
Nyimba nnizuli ubalikiwe sana
A blessing .Beautifully done.
Asanteni sana kwa Uinjilishaji huu. Mungu aendelee kuwatumia kutupatia ujumbe na burudani.
Nawakubali sana
Your shine
What a song wonderful 🔥🔥
This is awesome. Proud to be a Catholic
À sante sana.
Ni nani zaidi ya Mungu aliye juuu hongeren ujumbe mzr sna
Hi where can I get ur songs plz am in Nairobi
A lovely composition
Wonderful servants of the Lord, be blessed as you bless others too, Kennedy Ogembo also a gospel artist on UA-cam.(powerful message)
Mungu ni mwema
Mungu wa mbingun awabariki sana
Mungu mwema chemchem ya faraja
Vizuri sana
Nyimbo tam sana
Very well arranged and delivered with high level of quality
😘😘😘😘😘