NINAYO KILA SABABU YA KUMSHUKURU MUNGU MTUNZI: ALOYCE KIPANGULA WAIMBAJI:CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • Karibu Tena Mpenzi Wa Nyimbo Za Kikatoliki. (Catholic songs) Karibu Tuendelee kuinjilika na kuinjilisha kupitia Nyimbo za Roman Catholic nilizotunga hivi Karibuni. Huu ni muendelezo tu wa tafakari ambazo nimekuwa nikiziandaa kwa Kadiri ya karama aliyonipa Mwenyezi Mwenyezi Mungu kupitia Roho Mtakatifu. Jina la Albamu hii ni
    NINAYO KILA SABABU YA KUMSHUKURU MUNGU.
    Nyimbo zilizomo kwenye Albamu hii ni
    1- Ninayo kila sababu ya Kumshukuru Mungu
    2- Asante Yesu
    3- Baba Pokea sifa na Shukrani
    4- Bwana Atakufundisha
    5- Upendo wa Milele
    6- Wito mlioitiwa
    7- Apandaye haba Atavuna haba
    8- Leteni Zaka kamili Ghalani
    9- Nitasikia toka Mbinguni
    10-Tumebatizwa na kutumwa
    Albamu hii ni Toleo jipya la mwaka 2023 Pia tunajiandaa kutengeneza Video yake kwa Kadiri tutakavyokuwa tumepata Fedha za kugharamia Huduma hiyo, tunategemea tutakuwa tunarekodi wimbo Mmojammoja na kuuweka UA-cam hadi tutakavyomaliza Albamu hii nzima.
    Pia Tuna nyimbo nyingine nyingi tu ambazo tumezirekodi Audio Pekee Nazo tunatamani kuzikamilisha video Mungu akitupatia kibali na Baraka zake
    Injili ni lazima isonge Mbele Ili Kristo aeleweke Kati ya watu na Kazi za Roho Mtakatifu zikadhihirike kupitia karama anazotujalia.
    KUMBUKA. Albamu yangu ya kwanza ya Nyimbo nilizotunga Inaitwa- NIMEKOSA NIHURUMIE
    Yenye nyimbo kama:
    Lakini Hata sasa Asema Bwana
    Nimekosa nihurumie
    Nimeambwa kwa ajili yako
    Afichaye dhambi zake
    Ee Mungu wa haki yangu
    Ee Bwana unifadhili
    ALBAMU YA PILI Inaitwa- MSIAPE KABISA
    Msipe kabisa
    Safina ya Mbinguni
    Basi nyenyekeeni
    Wapitaji na wasafiri
    Karama za Mungu
    Ukamjengee Nyumba
    Yesu tumekuja kukuabudu.
    Waimbaji wa Nyimbo hizo zote ni Wanakwaya wakatoliki Kutoka Parokia ya Chang'ombe
    ( Chang'ombe Catholic Singers)
    Jimbo Kuu la Dar es salaam
    Albamu Zetu nyingine ni Pamoja na
    MEMA UMETUJALIA-
    EE MAMA YETU MARIA
    BWANA YESU WANIITA.
    ATUKUZWE MUNGU MILELE AWEZAYE KUFANYA MAMBO YA AJABU MNO KULIKO YOTE TUOMBAYO NA TUYAWAZAYO
    Aloyce Goden Kipangula Mtunzi wa Nyimbo na Mratibu Chang'ombe Catholic Singers#catholicmusic #romancatholic #gospelmusic #music #

КОМЕНТАРІ • 138

  • @user-cz5qh2um4k
    @user-cz5qh2um4k 9 днів тому

    Nyimbo hii imenibariki sana ni kweli ninakilasababu ya kumwambia MUNGU ASANTE.KWA YOTE ALIYONITENDEA

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  9 днів тому

      Asante Veneranda Endelea Kutuombea Ili utume wetu huu endendelee kwa sifa na utukufu wa Mungu

  • @user-sn7rv6ym1m
    @user-sn7rv6ym1m 9 днів тому

    Kwa kweli hii nyimbo ni nzuri,ndio mara ya kwanza asubuhi hii naskiliza,kweli kazi ya mungu inapendeza,mungu tunakushukuru,hongera sanaa❤

  • @user-ym6jf8zo7j
    @user-ym6jf8zo7j 5 днів тому

    Karibu Kenya utubambishe,whaaa nyimbo zako zarudisha furaha ya moyo wangu .More blessed 🙌 ❤❤

  • @user-qi6ql1lp9k
    @user-qi6ql1lp9k 21 день тому

    Ubalikiwe sana mtumishi wa mwenyezi Mungu

  • @gilliansimon8517
    @gilliansimon8517 7 днів тому

    Bwana atakufundisha...nice song

  • @michaelmuriithi5131
    @michaelmuriithi5131 Рік тому +3

    Nyimbo nzuri sana.Hongera kwa uinjilashaji wenu kupitia mziki

  • @ChristianChesco
    @ChristianChesco 19 днів тому

    Ubalikiwe sana

  • @JoachimJoachimmwambali
    @JoachimJoachimmwambali 5 місяців тому +3

    Baba baraka za mungu mtakatifu wa Israëli ziku shukiye kwa uwingi kwa huduma hii ya nyimbo

  • @mickone3181
    @mickone3181 Рік тому +2

    Ninayo kila sababu ya kumshukuru Mungu nice song

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  Рік тому

      Asante Sana kaka Mickone kwa kuwa mfuatiliaji Mara kwa Mara katika utume huu. Mungu Akubariki sana🙏

  • @Jimmsuva-be5dc
    @Jimmsuva-be5dc 10 місяців тому +2

    Mwalimu hii album ni nzuri sana nikasikia toka mbinguni, asante yesu, ninayo sababu na apandaye haba zimenivutia sana pia sauti zimeboreka sana pia mpiga kinanda ngoma za safari hii ni nzuri kwani zina uasili sio kama za msiape ngoma hazikua za kutulia kama hizi, hizi za kikatoliki zenyewe

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  10 місяців тому

      Asante Sana jimmsuva Mungu atubariki Sote. Na ushauri wako unatusaidia kujipanga vizuri zaidi

  • @valentineluvara9732
    @valentineluvara9732 10 місяців тому +2

    Nitasikia toka mbinguni! Wimbo huu unatakasa. Atukuzwe Mungu

  • @veronicamgimba5964
    @veronicamgimba5964 Рік тому +2

    Nimefurahia sana hongera kwa kuinjilisha

  • @lydiekalende7210
    @lydiekalende7210 10 місяців тому +1

    Nahizi nyumbo mutu kayasahau tabu zote kweli 🙏

  • @valentineajepkoech5879
    @valentineajepkoech5879 7 місяців тому +2

    Neema na Baraka zake zimetufikisha hapa. So blessed by this line. God bless you mtunzi

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  7 місяців тому

      Amen Asante Sana kwa Matashi mema. Endelea kuniombea Ili nitunge nyimbo nyingine zaidi kwa sifa na utukufu wa Mungu

  • @angelmwamlima3276
    @angelmwamlima3276 9 місяців тому +2

    Ubarikiwe Sana Kaka Kipangula Roho Mt akuongoze zaidi katika utunzi wa nyimbo za uinjilishaji🙏🙏🙏nabarikiwa napata amani Sana ninaposkiliza nyimbo hizi

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  9 місяців тому

      Atukuzwe Mungu Milele. Asante Sana AngelmwamlimA

  • @ilungakafutshijulienne4449
    @ilungakafutshijulienne4449 11 місяців тому +1

    Upendo wa Milele wimbo nzuri Sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 kweli tume pendwa sana na Mungu wetu

  • @user-kq1yr9pn1r
    @user-kq1yr9pn1r Рік тому +2

    Hongera sana mwalimu, nyimbo nzuri

  • @NicodemusMasanju
    @NicodemusMasanju 9 місяців тому +2

    Kazi nzuri mwalimu, Mungu akubariki

  • @cathywalwit5437
    @cathywalwit5437 Рік тому +1

    Tumsifu Yesu kristu Ubarikiwe kwa nyimbo nzuri zenye utulivu na ujumbe unaofundisha endeleeni kumtukuza Mungu aliyekujalia kipaji hiki

  • @sekelagatusekelege9325
    @sekelagatusekelege9325 2 місяці тому

    Kipangula tunaweza mpaka basi.Utunzi wako una upako wa ajabu

  • @LiviniMangosi-jn3eo
    @LiviniMangosi-jn3eo 10 місяців тому +1

    Good song mungu awe nanyi waimbaji wote

  • @consiliawanyama1086
    @consiliawanyama1086 Рік тому +2

    Ninayo kila sababu kweli,Ni wedding anniversary yangu 5yrs.
    Mungu akubariki mtunzi Na waimbaji

  • @ilungakafutshijulienne4449
    @ilungakafutshijulienne4449 11 місяців тому +1

    Naabudu Mungu kupitiya nyimbo zako hapa Congo Kinshasa, Mungu aku bariki tena👍👍👍👍

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  11 місяців тому

      Asante Sana Ndugu Ilunga basi washirikishe na wengine nyimbo hizi Ili Kwa Pamoja tumtukuze Muumba wetu

    • @FlorenceKathina
      @FlorenceKathina 3 місяці тому

      Amen

  • @AdautMgembe
    @AdautMgembe Рік тому +2

    Hongera! sana mwl wangu kwa nyimbo nzuri zenye ujumbe mzuri. Hazichoshi muda wote unapenda kuzisikiliza. Stay blessed. 🎉🎉🎉

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  Рік тому

      Asante Sana kaka Yangu Adaut Mgembe Mungu atubariki Sote

  • @ireneirene9834
    @ireneirene9834 Рік тому +2

    I think aloyce is underated...these is pure inspiration..asante sana mwalimu..

  • @tafrozashiraku8523
    @tafrozashiraku8523 4 місяці тому

    Kweli ninayo sababu ya kunshukuru mungu

  • @gidionmibaluro7085
    @gidionmibaluro7085 11 місяців тому +1

    ubarikiwe sana Mwalimu ......nyimbo nzuri sana

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  11 місяців тому

      Asante Sana Ndugu GIDION

    • @gidionmibaluro7085
      @gidionmibaluro7085 11 місяців тому

      ndio mwalimu nafrahi sana ....nabarikiwa sana nkiimba nyimbo aswaa
      @@AloyceKipangula

  • @lydiekalende7210
    @lydiekalende7210 10 місяців тому +1

    Mungu Akulinde na anguongezee siku za maisha kwa utukufu wa jina lake. Mimi nime barikiwa sana na nyimbo hizo zote. Zimenisongeza sana mbele ya Mungu. Ubarikiwe sana. Nakufuta tokea Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
    Merci beaucoup. Izi nyimbo zimenitoa mbali kiroho. Zimenifariji, kunionya, kunivutiya kiroho, … zime nihubiri 🙏

  • @roseayuma2513
    @roseayuma2513 6 місяців тому +1

    Oh my God we give Him all the glory, and may He uplift you as you proclaim through singing, be blessed.

  • @atienomary2605
    @atienomary2605 6 місяців тому +1

    Wow wow wow wow May the almighty God bless the work of your hands

  • @sabinakinunda3127
    @sabinakinunda3127 Рік тому +1

    Nyimbo NZURI sana .ubarikiwe mwl.

  • @aidanlifestyle
    @aidanlifestyle 3 місяці тому

    MTUNZI BORA WA MUDA WOTE. UTUNZI ULIO NA TAFAKARI YA KIMUNGU. MUNGU AZIDI KUKUBARIKI.

  • @angelomfilinge8662
    @angelomfilinge8662 4 місяці тому

    congratulations, good work. May God bless You all

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  4 місяці тому

      Asante Sana Ndugu Mfilinge.Endelea kuniombea Ili Kristo azidi kueleweka kwa watu wote kupitia karama aliyonijalia

  • @heavenlymusicproduction4360
    @heavenlymusicproduction4360 Рік тому +1

    Kazi nzuri sana

  • @petronilamassae7257
    @petronilamassae7257 Місяць тому

    Asante Yesu kwa wema wako..kweli ninayo kila sababu ya kumshukuru Mungu. Mungu awabariki kwa tungo nzuri zenye faraja.

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  Місяць тому

      Asante Sana Petronila Masae kwa Matashi Mema.

  • @linetlinet2804
    @linetlinet2804 3 місяці тому

    Nyimbo tamu nimekupenda upendo wamilele

  • @annancy9917
    @annancy9917 3 місяці тому

    Aloyce, utungaji wako ni wa kipekee. Nyimbo zako Zina uguzo wa Roho Mtakatifu.
    Mwenyezi Mungu akubariki sana pamoja na familia yako.

  • @dottomnenwa4394
    @dottomnenwa4394 Рік тому +1

    Hongera sana Mwalimu

  • @user-rb2tw3ht3x
    @user-rb2tw3ht3x 11 місяців тому

    Hongera kwa uinjilishaji nyimbo nzuri

  • @EmmanuelNaftali
    @EmmanuelNaftali 3 місяці тому

    Nyimbo nzuri sana.NAKUPONGEZA KWA UTUNZI WENYE UTUME.HAKIKA NYIMBO HIZI ZIMENIBARIKI.

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  3 місяці тому

      Asante Sana Emanuel Naftali Tuendelee kuinjilika na Kuinjilisha Pamoja

  • @JuliusMalunde
    @JuliusMalunde Місяць тому

    Barikiwa sana ndugu nyimbo nzuri na zinatutafakarisha vyema

  • @hamisikihupa265
    @hamisikihupa265 3 місяці тому

    Kweli ninayo Kila sababu yakumshukuru MUNGU. AMEN...

  • @ansilaAbioud
    @ansilaAbioud 5 місяців тому

    🙏🙏

  • @VictoriaRweyemamu
    @VictoriaRweyemamu 3 місяці тому

    Hongera sana kwa nyimbo nzuri zenye tafakari yenye utulivu wa ki-Mungu ubarikiwe sana

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  3 місяці тому +1

      Asante Sana Victoria. Endelea kuniombea Ili nitunge nyimbo zaidi kwa sifa na utukufu wa Mungu

    • @FlorenceKathina
      @FlorenceKathina 3 місяці тому

      Thanks

  • @linetlinet2804
    @linetlinet2804 3 місяці тому

    Ninayo sababu ya kumshukuru mungu uahi na ulinzi wake

  • @mathayosylivester7121
    @mathayosylivester7121 9 місяців тому

    Kazi nzuri Sana hakika MUNGU ni mwema kila nyimbo zipo pw Sana

  • @TheresiaPaschal
    @TheresiaPaschal 3 місяці тому

    Asante Mungu kwa kunifikisha hapa siku ya leo

  • @user-nb4fw4yq8o
    @user-nb4fw4yq8o 8 місяців тому

    My heart is really happy when am listening thisCatholic songs am like am in the church😊😊.

  • @kenethlwaho1395
    @kenethlwaho1395 9 місяців тому

    Ubarikiwe mwalimu kwa utunzi wa nyimbo,Samahani nina shida Mwalimu

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  9 місяців тому

      Karibu Kenethlwaho tuwasiliane kwa Simu namba 0754459766. Aloyce Kipangula Mtunzi wa Nyimbo hizo aloyceemma333@gmail.com

  • @ellykogo5038
    @ellykogo5038 2 місяці тому

    Mungu akubariki kwa wimbo mzuri sana, nimebarikiwa teletele

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  2 місяці тому

      Tumshukuru Mungu anayetujalia Haya yote. Asante Sana Elly

  • @user-ym6jf8zo7j
    @user-ym6jf8zo7j 8 місяців тому

    Mungu akuzidishie kipaji

  • @martinmutuku8102
    @martinmutuku8102 2 місяці тому

    Good songs may God bless you as you continue to evangelize to the whole world

  • @calvinkisanga1668
    @calvinkisanga1668 6 місяців тому

    Mwl mmbarikiwe nyimbo nzur sana hzi audio zake tunazpataje

  • @SailosMaligite
    @SailosMaligite 4 місяці тому

    naomba nota za huo wa ASANTE YESU ,au tuingizie kweny swahilimusic

  • @SailosMaligite
    @SailosMaligite 4 місяці тому

    it's fact "Ninayo kila sababu ya kumwambia Mungu asante🙏" mwalimu unajua kugusa mioyo ya watu 👏👏👏 .......Mungu akubariki, tuna tarajia mazuri zaid kutoka kwako mwalimu ✍👍👍

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  4 місяці тому

      😃😃 Endelea kuniombea Ndugu Sailos Ili Roho Mtakatifu aweze kuendeleza Kazi yake ndani mwangu na Kristo aeleweke kwa watu wote

  • @silvesterkomba
    @silvesterkomba 7 місяців тому

    Asante kwa mémo la mungu

  • @cesiliamaneno9566
    @cesiliamaneno9566 8 місяців тому

    Ubarikiwe sana mtumishi kwa utume wako mungu Akutunze❤,

  • @Amatha_K
    @Amatha_K 8 місяців тому +7

    Ninayo kila sababu ya kumshukuru Mungu nimeguswa nao vilivyo🙏🙏

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  7 місяців тому +2

      Amina🙏

    • @atienomary2605
      @atienomary2605 6 місяців тому +1

      It made shade tears knowing who my God is

    • @MbuyaRose
      @MbuyaRose 2 місяці тому

      😊​@@AloyceKipangula

    • @priscadavid5917
      @priscadavid5917 2 місяці тому

      Neema na Baraka zake zimenifikisha hapa...Asante Mungu

  • @user-rj4gr3om9h
    @user-rj4gr3om9h 11 місяців тому +1

    Congrulation for a sweet song

  • @benedictojanuary4930
    @benedictojanuary4930 11 місяців тому +1

    Mwalimu Goden tunaomba nota za hizo nyimbo uziupload kwenye Swahili music notes. Tuzitumie kwenye ibada. Mungu akubariki kwaa uzuri wa nyimbo hizi🙏

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  11 місяців тому

      Nitafanya hivyo Ndugu Benedict January. Kuanzia wiki lijalo Unaweza kuzipata Swahili music

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  10 місяців тому

      Nota za Nyimbo hizi Tayari nimeziweka Swahilmusic. Karibu kwa uinjilishaji

  • @atienomary2605
    @atienomary2605 2 місяці тому

    What agift

  • @emmanuelchome7298
    @emmanuelchome7298 Місяць тому

    nataka huo wimbo wa kwanza pekee audio