Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 465

  • @danielimeshack3712
    @danielimeshack3712 Рік тому +66

    Kama umesikia bandari inauzwa na umeangalia hiii video like yako muhimi sana 2023

  • @AbrahmanAdballah-xm1yc
    @AbrahmanAdballah-xm1yc 7 місяців тому +27

    Kama wew ulikuwa umkubali raisi uyu wew ni mmoja wasiyojielewa Km unamkubali magufuli gonga like zote

  • @khalidnassor8820
    @khalidnassor8820 8 років тому +60

    My best president in Tanzania. I proud of you sir mungu akulinde sana. Kura yangu sijakosea kabisa.

  • @kisukikalimkunaji1263
    @kisukikalimkunaji1263 5 років тому +44

    Huyu Mzee tutamkumbuka sana mwanzoni wanasiasa walinifunika funika macho ila sasa nimegundua Huyu Mzee ni Very Smart

    • @freeworld2369
      @freeworld2369 2 роки тому

      Na leo hii amefariki tunamkumbuka sana. Maneno yako yametimia

    • @muddyso1953
      @muddyso1953 2 роки тому

      Bora ww mm ndie ninamuelewa sasa Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumpa mwanga daima

  • @jacksonpeter4155
    @jacksonpeter4155 3 роки тому +77

    Huyu Mzee alikuwa kiboko. Rest in peace Our Daddy.

    • @hassanmasoud8167
      @hassanmasoud8167 3 роки тому +2

      Sisi walala hoi huku mtaani ndo tunajua huyu mzee alikuwa kiboko ..ila Kuna watu hawamuelewi mpaka leo ....RIP mzee

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 2 роки тому

      Kabisa

  • @mentuhotepii2641
    @mentuhotepii2641 5 років тому +42

    This is what we call true leadership! Magufuli loves his fellow citizens!

  • @makanjakamaka5606
    @makanjakamaka5606 5 років тому +42

    I am from DRCongo and I like president Magufuli , a strong African leader.

  • @David-j2k4w
    @David-j2k4w 3 місяці тому +4

    Walio sikia neno anzeni mim nataka nione jinsi zinavyo fanya kazi weka like

    • @atukuzweluhanga7401
      @atukuzweluhanga7401 Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂 majamaa yakawa yanapiga porojo tu, 😂😂😂😂

  • @abangaabanga4677
    @abangaabanga4677 7 років тому +42

    The whole of Africa can do very well with a president like this, respect 🙏🏿

  • @kilimanjaroICE
    @kilimanjaroICE 4 роки тому +20

    5 years later and Magu is still as strong as ever!!! Probably the Best President in Africa by far!! Kweli TZ tumepata the Genius and hope tutamrudisha in October 2020!!

  • @magazimahushi6417
    @magazimahushi6417 3 роки тому +14

    Mwenyezi mungu ampumzishe mahala pema peponi.Amina!??

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 Рік тому +14

    Nakumbuka mbali sana dah😭😭😭😭Allah ailaze roho ya mzee huyu mahali pema peponi insha allah

  • @abangaabanga4677
    @abangaabanga4677 6 років тому +25

    Magufuli bwana sio mchezo, I love this guy, God bless him

  • @julianaswai7846
    @julianaswai7846 2 роки тому +5

    Mungu ailaze Roho yako mahal pem poponi. Naamini kizur hakidumu. Mungu tunakuomb utuletee kiongoz mwingin kam huyu.

  • @Mooge-baban
    @Mooge-baban 6 років тому +16

    Great African leader i wish all African countries had a president like this an honest and transparent leader serving his nation Tanzanians should be proud of having as there president

  • @kriku6876
    @kriku6876 5 років тому +24

    This is a leader not politician.Mr magufuli is real leader.

  • @Focus_Mengi
    @Focus_Mengi 8 років тому +57

    Kwa Magufuli, watanyooka tu! Mungu akulinde sana rais we2

  • @sylviamuhanji9735
    @sylviamuhanji9735 3 роки тому +14

    By infrared refraction....RIP JPM.Respect from 254.💔

  • @joshuandulesi4257
    @joshuandulesi4257 8 років тому +17

    safi sana mh Magufuli, Mungu azidi kukuweka utimize kila ulilokusudia juu ya nchi hii

  • @AbirahIssa
    @AbirahIssa 3 місяці тому +1

    Mmh mhe Rais hayati alikuwa Hatari zaidi kabisa ata nyerere haoni ndani💯🔥👋👋💪

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 24 дні тому +1

    Huyu ndo alikuwa rais wa kweri mchapakazi mungu amupokee vyema

  • @ulongebaba2871
    @ulongebaba2871 3 роки тому +9

    R.I.p. rais wetu magufuri, kweli ilikua hapa kazi tu

  • @noronhacompanylimited5370
    @noronhacompanylimited5370 5 років тому +4

    Naomba Naomba Naomba sana Mheshimiwa Rais Magufuli aongezewe muda angalau miaka 20 katiba yetu sio Msahafu Ibadilishwe!!!!!

  • @evaristmandilindi6147
    @evaristmandilindi6147 7 років тому +7

    yaan kama unaskiaga yalikuaga HAYAWI YAMEKUA. KWA MSUKUMA HUYU MBWEBWE HAZIPO COZ YOU CANT LIE EASY TO THIS MAN IS A MAN OF EXPERIENCE,

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 років тому +13

    So good job President magufuli 🇯🇲😙😙😚😚🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapii

  • @matayolepwaan3251
    @matayolepwaan3251 7 років тому +18

    asee magufuli nakunga Mukono nakupenda sana kwa kazi unayo ifanya Mungu akusaidie utetee wanyonge umenifurahisha sana

  • @shd12m55
    @shd12m55 8 років тому +56

    Asante mungu tunajivunia magufuli wetu

  • @samedarbo3109
    @samedarbo3109 6 років тому +22

    I am calling all African people let us stand with this president, so that Africa can be become a Home🇬🇲👨🏾‍🎓👨🏾‍🎓

  • @abdullahrajabu5801
    @abdullahrajabu5801 5 років тому +4

    Mimi nakupenda mpk nalia

  • @frankjoseph6213
    @frankjoseph6213 6 років тому +5

    Mungu wako aliekueke juu ya nchi hii akubariki na akuzidishe Sana mkuu

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 3 роки тому +15

    African countries we need president like JPM...I love Magufuli rest in peace

  • @youngdady7901
    @youngdady7901 3 роки тому +31

    nani yupo baada ya kifo cha Mh.?

  • @queencharles4823
    @queencharles4823 5 років тому +95

    Kama upo kazini ukamuona JPM gafla, unaweza sahau ata jina lako! Hahahhahahhaha

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao 5 років тому +4

    Watu wanaujasiri gani yaani mbele ya rais unaruhusu tecno kutoa mlio? 2:40

  • @francismillinga4591
    @francismillinga4591 3 роки тому +14

    Keep resting in eternal peace Magufuli

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 8 років тому +3

    Fanya kaz baba 😄😄😄😄👌🏾 watakuelewa 2020 🙏🏾🙏🏾🙏🏾👏🏾 thnkx GOD kwakuleta huyu nyerere mpya anaye taka kukomboa taifa la Tz lakin watz

    • @mammam4701
      @mammam4701 3 роки тому

      😭😭😭Kizur hakidumu

  • @stellawilliam4794
    @stellawilliam4794 3 роки тому +4

    Lala salama Rais wangu Magufuri

  • @josephgittamusisi4226
    @josephgittamusisi4226 2 роки тому +1

    💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿Rest in power president John 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @benardwanyonyi1080
    @benardwanyonyi1080 2 роки тому +7

    Indeed He was a good Leader.R I P Daddy

  • @barakajames6885
    @barakajames6885 3 роки тому +6

    Dah!! Mungu ikiwezekana huyu mtu arudishwe tena kupitia mtu mwingne ili anyooshe tena.

  • @sogoyikissoyi8400
    @sogoyikissoyi8400 6 років тому +4

    You are real a good leader,Please keep it up

  • @musanap
    @musanap 8 років тому +65

    Ndugu zangu watanzania, nataka mtukopeshe JPM, hapa Uganda sikumoja tuu. Majipu chungu mbovu hapa Uganda......

    • @AliM-di8dz
      @AliM-di8dz 7 років тому

      Kazi nje mmezowea nyinyi, hapo matumbo Moto mpaka siluari zinabana kwani hamjui kazi zenu? Mpaka awafanyiea Sipley tu.

    • @mohdkassim7255
      @mohdkassim7255 7 років тому +1

      Moses Nekyon I like my presendent magufuli in ever to give you my friendly

    • @jayjay4313
      @jayjay4313 6 років тому +1

      Kopeni tu, Africa inyooke kidogo.

    • @jumaissa4783
      @jumaissa4783 6 років тому

      Mohd Kassim

    • @mosesolindi8111
      @mosesolindi8111 6 років тому

      T. @@AliM-di8dz v

  • @OFFTRACKTV
    @OFFTRACKTV 3 роки тому +1

    😢😢😢😢😢

  • @FREEMANPAUL
    @FREEMANPAUL 2 роки тому +7

    God, please forgive me, but why did you take this man so early😭😭
    Please return him if possible!

  • @AbuodSeleman
    @AbuodSeleman 4 місяці тому +1

    mzee wa kazi kwa vitendo....tutakukumbuka milele🇹🇿 magufuli

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 3 роки тому +4

    Huyu rahisi walimuuwa Bure masikini

  • @mosesedwardmagembe9657
    @mosesedwardmagembe9657 6 років тому +28

    Hawa ndo huwa wanatufokea fokea hovyo. Sasa anatetemeka mini!!.?

    • @kabaiyukyasnider6797
      @kabaiyukyasnider6797 5 років тому +1

      Yaani wanajifanyaga miungu saizi wanatetemeka maneno hayatoki mdomoni

    • @sanciroandrea8826
      @sanciroandrea8826 2 роки тому

      @@kabaiyukyasnider6797 😃😃😃😂😁😁😬😀

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 3 роки тому +2

    Huyu Raisi Ni Mungu tu ametupa hiyo janja ya sungura itakula kwao

  • @daudimalele7505
    @daudimalele7505 5 років тому +1

    Mungu akubaliki sana raisi wetu mungu akuongoze ktka mipango yako

  • @deusbenedictor1853
    @deusbenedictor1853 Рік тому +2

    Kiukweli hii video nimeirudia mara kumi sasa ni hatari sana RIP our good leader John.

  • @imaninjau9135
    @imaninjau9135 2 роки тому +7

    Rest in peace my hero father

  • @fatumaseif2623
    @fatumaseif2623 5 років тому +3

    Nakupenda mheshimiwa wangu

  • @alexlyimo5225
    @alexlyimo5225 2 роки тому +4

    Ndiyo tunataka raisi kama huyu mtendaji anakwenda kwenye tukio! We still remember you our President!

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj Рік тому +2

    Hapa nachekaga sana,joto liliwapata😅😅..we missing you jpm

  • @patrickmisigo7483
    @patrickmisigo7483 8 років тому +10

    hapo ni kazi tuuuuu rais mchapa kazi....i wish we had such a president in kenya watu wangeamka

  • @mikekibiego5268
    @mikekibiego5268 5 років тому +4

    this is what we need in Africa. hakuna ujinga na kupembeleza washenzi

  • @lilianmwakapala3658
    @lilianmwakapala3658 6 років тому +2

    yaan mzee uko sahiii sana mzee wangu uyo mkuu wao ameshindwa kujieleza mwiz

  • @totosirene6434
    @totosirene6434 6 років тому +6

    Mwenyez mungu azidi kumlinda kiongoz Wetu Rais Maguful

  • @glorybiramata1808
    @glorybiramata1808 6 років тому +1

    kura yangu Mungu akitupa uzima 2020 asbh na mapema nakupa mzee....unatufurahisha sana kwakweli...Mungu aendelee kukulinda

  • @MengiMeng-fd7sq
    @MengiMeng-fd7sq Місяць тому

    Babu kama babu ❤❤❤

  • @ally_star
    @ally_star Місяць тому

    Endelea kulala baba mwili wako tuu ndio haupo ila fikra zako hazita futika mioyon mwetu
    R.I.P Dady 🕊️💔😭😭😭😭😭😭

  • @ananiabaraka4067
    @ananiabaraka4067 3 роки тому +5

    I miss him a lot

  • @rehemakulwa1693
    @rehemakulwa1693 3 роки тому +4

    I miss you daddy 😭😭😭

  • @fettyfay2334
    @fettyfay2334 3 роки тому +3

    Gali hilo liko wapi?hapa ni uzembe mtupu. I miss you daddy. Rest in peac

  • @stevenlyando1801
    @stevenlyando1801 7 років тому +18

    ofisi zimekua chunguuuuu mzee anatetemeka mpaka huruma,,,,sasa hivi mtu akikwambia nafanya kazi bandarini unamuonea hata huruma wallahiiii,,kuvamia na mwenye nchi yake muda wowote ule,,,,,,hatariiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @africafocus-news6302
    @africafocus-news6302 5 років тому +4

    Ndugu zetu watanzania, DRC tunawaomba Raisi Magufuli atusaidiye kuwafunza wakuu wetu kazi kwa saa moja tu pekeyake.

  • @jabarmalid5393
    @jabarmalid5393 2 роки тому +2

    Lugha nyepesi tuu, gari ikipita picha ionekane, leo ndo naiangalia tena hiii dah!!!!

  • @farmvillage1401
    @farmvillage1401 3 роки тому +1

    Mungu akupumzishe mahali pema, Its very hard to believe that your not with us

  • @shukurusaid2159
    @shukurusaid2159 7 років тому +4

    Nakup kura mzeee 2020

  • @motivational_leader
    @motivational_leader Рік тому +2

    Magufuli tunakukumbuka sana 😢

  • @speriussimba6717
    @speriussimba6717 3 роки тому +10

    Rest In Peace magufuli😭

  • @thadeoevod
    @thadeoevod 7 років тому +15

    😂😂😂😂😂 mpaka wana vigugumizi

  • @abrahburaheze8879
    @abrahburaheze8879 5 років тому

    muheshmiwa rais wetu kiboko humpindish kwenye kazi ninakupenda sna rais

  • @michaelking1232
    @michaelking1232 5 років тому +1

    Ongereni sana wa tz

  • @ezekielchengula2228
    @ezekielchengula2228 3 роки тому +2

    Rest In Power Mr. President

  • @johnmoki4341
    @johnmoki4341 7 місяців тому

    The best president in africa

  • @faithhumble3780
    @faithhumble3780 2 роки тому

    Daaah tulipoteza Rais kweli kweli R.I.P JPM

  • @marrysangu7401
    @marrysangu7401 7 років тому +2

    Duu kazi kazi no uzembe.

  • @kassimloav2402
    @kassimloav2402 3 роки тому

    Mmh.mungu kwahivyo tutanguli baba

  • @victorbob5984
    @victorbob5984 2 місяці тому

    Huyu mzee alikuwa sio mtu wa masihara kabisa,Mungu umlaze mahali pema peponi

  • @SamwelNyangala
    @SamwelNyangala 8 років тому +9

    Shidaah

  • @mayusahussain8045
    @mayusahussain8045 5 років тому +5

    Ninani anaanza kuliona hilo gari 😂😂😂😂😂😂

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 5 років тому

    The President is the united state of Tanzania umetisha sanaaa

  • @samtanzania8165
    @samtanzania8165 2 місяці тому

    R.i.P JPM ULIJITOA KWA TAIFA LETU😢😢😢

  • @AdamLameck-x5n
    @AdamLameck-x5n Місяць тому

    Magu alikuwa ni genius

  • @mgangagames
    @mgangagames Рік тому +1

    upo mioyoni mwetu milele daima aswa kwa kipindi ichi tunakukumbuka sana

  • @YusuphOmary-l2l
    @YusuphOmary-l2l 5 місяців тому

    Dah...!!!...kizuri akidumu siku zote.😢😢😢😢

  • @ackleymunguhaendeleekumbar2401
    @ackleymunguhaendeleekumbar2401 5 років тому +1

    Da baba hapo tu ndo unakonifuraisha ww ni mzalendo kweli mungu haendelee kukupa mafunuo

  • @ShaibuMohamed-p4q
    @ShaibuMohamed-p4q 5 місяців тому

    ,br miradi huyu Rais alikuwa Hana utani kbsa jamanh mungu ni mwema

  • @PaulinePaul-v7x
    @PaulinePaul-v7x 2 місяці тому

    Tutakukumbuka daima mwamba IRP😢😢

  • @khalfantambwe3424
    @khalfantambwe3424 7 років тому

    hongera sana mheshimiwa Rais wetu

  • @SisoPotashiumz-c7n
    @SisoPotashiumz-c7n 4 місяці тому +1

    Huyo jamaa wa bandari alibidi anaswe kibao cha nguvu aende chini akiamka akute yupo jela kwa uhujumu uchumi.

  • @amanimwamgiga2209
    @amanimwamgiga2209 6 років тому +3

    Baba ninakukubari sana, maana nilikuwa siamini, MUNGU akupe maisha marefu uendelee kututetea wanyonge.

  • @amirilizo1838
    @amirilizo1838 5 років тому

    Yani noma Raisi wetu mpendwa

  • @charlies_jnr823
    @charlies_jnr823 6 років тому +3

    I wish we had him in Kenya...but soo unfortunate we will never get out of darkness ☻☻☻☻

  • @rosilidakichanilo1410
    @rosilidakichanilo1410 3 роки тому +2

    R I p My lovely president

  • @kilala.k.5786
    @kilala.k.5786 7 років тому +1

    huyu raisi ni noma wapinzani kaeni mkao wa kujifunza kutoa kwa huyu jamaa maana hamuwezi kuwa na ujanja kama wa huyu

  • @Abdikip
    @Abdikip 5 років тому +1

    Kuja Kenya uwe wetu magufuli,,huyu Kenyatta Ni shida

  • @tatusaid1223
    @tatusaid1223 3 роки тому +2

    Haitatokea tena kuwa na rais kama jpm, unajua kuna tabia ya kuzaliwa na tabia ya kuiga, jpm alikuwa na tabia ya kuzaliwa, hauwez kumbadilisha, bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihidimidiwe

  • @HusnaSimbila
    @HusnaSimbila 7 місяців тому

    😢😢😢miss you