TUNDU LISSU ALIPUKA, KUGOMBEA URAIS, MIGOGORO NDANI YA CHADEMA, KUHUSU MICHANGO YA GARI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 274

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 25 днів тому +224

    Kama unaunga mkono lisu agombee urais like

    • @HassanIdrisa-uo6qc
      @HassanIdrisa-uo6qc 25 днів тому +6

      Mm napenda audi tena bungeni

    • @user-et9vf2ro2k
      @user-et9vf2ro2k 25 днів тому +3

      Lissu ni kiboko yaoo

    • @user-et9vf2ro2k
      @user-et9vf2ro2k 25 днів тому +4

      ​@@HassanIdrisa-uo6qcakafanye nini labdaa sisi tunataka awe Rais wetu

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 25 днів тому

      LISU ANATAKIWA KUMTUMIKIA MUNGU AU YESU KWA MWONGOZO WA ROHO MTAKATIFU.

    • @swedywamba5535
      @swedywamba5535 25 днів тому +4

      Hana sifa ya kuwa rais

  • @EliasJohn-lc8nu
    @EliasJohn-lc8nu 25 днів тому +73

    Hiiii ni zawad tundu tunakupenda sanaaaa

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 25 днів тому +3

      Usimpende mwana siasa kabla hajashika madaraka. Utashangaa akishika madaraka. Utakua kama wapinzani wote ambao wameshika madaraka Africa, hakuna chochote ambacho wamefaidi nchi za kwao

    • @ibrahshifta1595
      @ibrahshifta1595 25 днів тому

      Acha mawazo mgando ndugu ,ww ndio kundi linaloamini bila CCM hakuna watu wengine wanaoweza kuongoza kutoka vyama VINGINE, huo ni mgando wa mawazo ,tubadilike ndugu ndo maana tunazidi kuburuzwa na maisha yanazidi kua magumu ​@@barrynzeyimana6270

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 25 днів тому +1

      Bwana Kikeke unamuuliza Bwana Lisu swali, akijibu unamwambia "hizo ni hisia zake"! Sasa ukitaka anibu kwa "hisia" za nani? Au unamuuliza "leading questions" aingie mtegoni upate jibu ulililokusudia? Jitahidi kuwa "impartial"!

  • @djumakonki1964
    @djumakonki1964 25 днів тому +14

    Aksante sana Mheshimiwa Lisu . Hiyo ndiyo siasa unayoifanya.
    MwenyeziMungu akuzidishie kila la heri.
    uhasama hauna nafasi katika nchi yako ya Tanzania.

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 25 днів тому +26

    Ahsante sana mheshimiwa Lisu, japo unahojiwa kama kukemea pepo lakini uko vizuri. Mungu akubariki sana, mheshiwa Tundu Lisu..❤️❤️❤️✌️🙏

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 25 днів тому +28

    Walahi WATANZANIA mnaachilia madini ,tundu lisu ni dhahabu na ni msomi muelewa, na ni kiongozi.

  • @IvanRaphael-hh6zz
    @IvanRaphael-hh6zz 25 днів тому +28

    Kiuongozi ❤ uko vizuri baba

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 25 днів тому +55

    Lisu akili kubwa sana

    • @WillisonMkumbo
      @WillisonMkumbo 25 днів тому

      Lissu anaa ability nzito sana,hafai kuwa rais

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 25 днів тому +21

    Kikeke muachie mh Lissu nafasi ya kuongea usikatishe mazungumzo yake

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 25 днів тому

      Anaona anakwepa mitego yake

    • @stewartdyamvunye-wz6rn
      @stewartdyamvunye-wz6rn 25 днів тому +1

      Ni sawa kabisa usemalo Ramadhan. Kikeke hajatulia. Na kuhusu mchango wa CCM kwa Lissu. Mdogo wangu na cmde Lissu, usemalo kuchangiwa na yeyote ni sawa. Tatizo letu ni: Mosi. Mchango umetoka muda gani (nakupiga makofi Mbeya halafu sasa chukua hela). Huoni kama hili lina ukakasi? Pili. Mchango unatoka kwa mtu mwenye akili gani. Watu kada ya aina ya Peter Msigwa, Enos Makala nahisi wakikuchangia waweza baadae wakakusimangia mchango huo. Je ikiwa hivyo huoni kama itakuwa aibu? Kumbuka wale wengine wa CCM waliokusadia na kukufariji wakati wa shida ni watu waungwana wanaojitambua. Lakini hii kada nyingine ya akina Peter Msigwa uwe macho sana nayo! Bado msimamo wangu, nakushauri usipokee mchango huo toka kwa wasiojitambua!

  • @user-jf2gp7wb9i
    @user-jf2gp7wb9i 25 днів тому +22

    Tundu Lisu ndio Rais ajaye Mungu atupe wasomi ndio waiongoze Tanzania
    wanapatikana chadema haya makijani yashashiba vya kutosha

  • @Nunshumutwafa
    @Nunshumutwafa 25 днів тому +9

    Mimi ni mwana CCM ila tundu lisu nikiongozi kweli kweli na zidi wakina mboe 100 lisu uko vizur sana BROTHER.

  • @nautharimakuka
    @nautharimakuka 25 днів тому +10

    Crown mko vizuri sana

  • @SaitotiLukumar
    @SaitotiLukumar 25 днів тому +17

    Alisu.kachukue.fomu.unapita.kwakishindo

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 25 днів тому +9

    Crown tunakua kwa kazi hongera king kiba

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 25 днів тому +9

    Naam, namwomba Mungu apite kwa KISHINDO KWELI, KAULI YAKO IWE AMINA!!!

  • @user-mm6sm9rt9x
    @user-mm6sm9rt9x 25 днів тому +8

    Tundulisu mwaka ujao Hauna mpinzani maana safari hii WATANGANYIKA hawakosei.

  • @JamalyzoMilanzi-h2d
    @JamalyzoMilanzi-h2d 25 днів тому +4

    Uyu Mzee tundu Lissu mungu amlindetu maaan duh

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 25 днів тому +18

    Onaoji Kwa kumbanaa Sanaa Yani utaki ccm ukosolewee tufauty na ulivyo kuwa na BBC

    • @user-lm3lt7xx6l
      @user-lm3lt7xx6l 25 днів тому +1

      Hakuna muandishi hata mmoja tz ambae anaweza kumbana kiongozi wa upinzan mwenye kutaka haki

    • @gabrielolotu6857
      @gabrielolotu6857 25 днів тому +3

      Hapana kikeke hayupo upande wowote ukitaka kujua ukwel angalia interview alivyofanya na msigwa ...kosoa ukiwa na data kaml

    • @mohamedhamad2374
      @mohamedhamad2374 25 днів тому +3

      Kikeke ni khabar nyingine anafanya kazi yake vzuri hana upande angalia mahojiano yake na samia.

    • @user-qh2bx5em6j
      @user-qh2bx5em6j 25 днів тому

      @@gabrielolotu6857🙌🙌🙌

    • @DennisFandi
      @DennisFandi 25 днів тому

      Nenda kamohoji ww tukuone

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 25 днів тому +9

    Let's Pray for our Country.✌️

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 25 днів тому +4

    mungu akusimamie uwe rais

  • @officialyasum5390
    @officialyasum5390 25 днів тому +5

    beautiful interview, salim inabid ujiamin unapohoji usioneshe kam upo upande flani na unahofia kuwakwaza, fany kaz yako

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 24 дні тому

      Alivyokuwa BBC anzi za Magufuli alikuwa anahoji akiwa against Magufuli Leo Yuko bongo ..

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 24 дні тому

      Hujamsikia akiwa BBC enzi za Magufuli

  • @erickmkwera2784
    @erickmkwera2784 25 днів тому +3

    Huyu ndiyo angekuwa mwenyekiti wa chama cha maendeleo na demokrasia Taifa chadema

  • @GivenMabena-ls7dq
    @GivenMabena-ls7dq 25 днів тому +2

    Pumzika kikeke unauwogasana❤

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 25 днів тому +4

    lissu twakupenda sana kwakweli

  • @KhalfanJuma-ii4fk
    @KhalfanJuma-ii4fk 25 днів тому +6

    Ukiwa unaenda kumuhoji lissu jipange na Kama huna maswali ya mhimu na kueleweka usihangaike.

    • @Juma-e8l
      @Juma-e8l 25 днів тому

      Uhakika anahoj kwa fact lakin kikeke analazimisha kudominate mjadala

    • @user-wv9wc6yr1u
      @user-wv9wc6yr1u 23 дні тому +1

      Kabisaaa

  • @user-nd4tq6nd8s
    @user-nd4tq6nd8s 10 днів тому

    One army, one struggle and one state!!! Together

  • @user-kg8dn6qr8o
    @user-kg8dn6qr8o 25 днів тому +1

    Mungu akupe maisha Malefu kaka Na mzalendo Lisu

  • @rehemakarafuu-xi1py
    @rehemakarafuu-xi1py 25 днів тому +3

    big brain lisu

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 25 днів тому +7

    Maswali gani haya? Kwa mtu Mwenye exposure kama Kikeke???!!!!. How on earthy Katiba ya Chama KIMOJA itumike kwa vyama vingi?????? Inahitaji PhD hiyo??????

  • @meiruzibwe9145
    @meiruzibwe9145 25 днів тому +6

    Tundu Lissu ana sifa zote za Urais.
    Tundu Lissu siyo mnafiki na hana uchawa.
    Tundu Lissu ni mzalendo 100%.

  • @titojeremiah1441
    @titojeremiah1441 25 днів тому +6

    Kikeke nikama anakwepa hoja juu ya mamlaka
    Kam umeliona hilo nipe like😂

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven 25 днів тому +1

      Kikeke ana kera sana

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 25 днів тому

      Kikeke anajpendekeza kea serikal anataka apate uteuzi

  • @Manikacha
    @Manikacha 25 днів тому +1

    Mtu makini sana.

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 25 днів тому +1

    Crown media hapa ni nyumban

  • @ericklyatuu1098
    @ericklyatuu1098 12 днів тому

    Very Nice Interview Indeed

  • @MONEY_CHANNEL.
    @MONEY_CHANNEL. 24 дні тому +1

    Majibu ya Kisiasa hayo.
    Hela imeingia Hujapata Text Tena Mheshimiwa Msomi.
    Hapana mpaka uende Bank kuangalia

  • @yusuphkayuni8188
    @yusuphkayuni8188 25 днів тому +2

    Boss ana msimamo mkali sana akati tamaa

  • @EdesAron
    @EdesAron 25 днів тому +4

    Ninapo kusikiliza sijawahi kujutia mwamba Lissu

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 25 днів тому +5

    Vilevile kikeke uelewe lisu ni mtu msomi tofauli nawewe kikeke elimu yako ndogo huwezi Jilinganisha na lisu hivyo nterviwe na lisu inaangaliwa na watu wengi duniani hivyo watu wanakufuatilia natunaona umesha Anza kuyumba vitu ambavyo kikeke jiepushe navyo nikama vifuatavyo udini uchawa chuki hila, unafiki

  • @zakayomasingoti9238
    @zakayomasingoti9238 22 дні тому

    Jipange kumuhoji mtu mwenye akiri kubwa.Safi sana lisu.

  • @protusmushi7162
    @protusmushi7162 25 днів тому +12

    Nimekosea ku like.
    Mana ulichoandika ni tofauti na unachohoji.

  • @pdwanakaza2411
    @pdwanakaza2411 25 днів тому +8

    Crown kutuleteaa huyu mtu

  • @stephenaron1251
    @stephenaron1251 25 днів тому +3

    big mind mh tundu lissu

  • @kaguripenina63
    @kaguripenina63 25 днів тому +1

    Mheshimiwa kwahili mm ccm lakin kula yanguu umepata huna ubaya na yeyote

  • @SetephaJery
    @SetephaJery 25 днів тому +3

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿lissu his my blood president forever🫵💪💪🙏

  • @HamisiSamweli
    @HamisiSamweli 25 днів тому +7

    2027 kura yangu chukua

    • @farijala1
      @farijala1 25 днів тому

      Uchaguzi upi wa Kenya au Tanzania?

  • @joshuarose6756
    @joshuarose6756 25 днів тому +3

    Lissu president

  • @johnboscomasumbuko1073
    @johnboscomasumbuko1073 25 днів тому +1

    Khari ni mbaya sana kwasasa

  • @Chekibobu
    @Chekibobu 25 днів тому +1

    Tundu ni Genius

  • @amidulyuma1833
    @amidulyuma1833 25 днів тому +1

    Kamanda Lissu

  • @Nunshumutwafa
    @Nunshumutwafa 25 днів тому +9

    Kama una jua lisu moja ni akina mboe 100 nipe Like zangu hapa.

  • @ericsway3093
    @ericsway3093 25 днів тому +1

    King salim kwenye moja na mbili , legend na journalist wangu bora toka nimeaanza kumsikiliza na kumuona kwenye runinga🎉

  • @AmosNhandi
    @AmosNhandi 25 днів тому +3

    Kikeke mpe nafasi ya kuongea unamaliza Radha bana

  • @Mosmwampa
    @Mosmwampa 25 днів тому +1

    Kuhusu pesa zilizochangwa na ccm hazina shida hizo chukua tu rais wangu

  • @johngerrald4453
    @johngerrald4453 25 днів тому +3

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania -Tundu 🐜 pus Lissu

  • @abrahamuisrael6161
    @abrahamuisrael6161 25 днів тому +1

    uzuri na ubaya wake kura hazipigwi mtandaoni,,,subiri NOVEMBER 2025 Uone CHADEMA watakavokuwa wadogo km paka

  • @peternyambui7492
    @peternyambui7492 24 дні тому

    Mheshimiwa Rais wa Tanzania....Tundu Lisu..hata kama C.C.M wataiba kura kama ilivyo kawaida yao. Ana hadhi...ya kuiongoza si Tanzania tu peke yake..
    Asanteni sana!

  • @thomasmwaipaja5158
    @thomasmwaipaja5158 24 дні тому

    Kikeke umepooza sana kaa kwenye nafasi yako au unaogopa serika

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 24 дні тому

      Lazima aogope kwani hajui wasiojulikana wapo

  • @Hyun626
    @Hyun626 23 дні тому

    It's so sad, the "journalists" who interview Tundu Lissu don't even listen to his answers; all their attention is directed by the nature of their question to please the government in place. they cut off and jump to the next trick question. Everything is done to show that I am fighting the opposition, shame on you! too sad, bravo for your patience Mr. Lissu

  • @SeaBreeze-k5p
    @SeaBreeze-k5p 9 днів тому

    CCM hawatatoka kwa amani, ever!!!

  • @mankautv9993
    @mankautv9993 25 днів тому

    Chadema inaendeshwa kijanjajanja sana, namna hii inatia mashaka kuaminiwa kukabidhiwa Nchi, heri ya nusu shari kuliko Shari kamili

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 25 днів тому +1

    Alichosema Mrema siyo kupokea watia nia bali alizungumzia kama tayari chama kimepitisha mgombea naye akasema kuna kufuata katiba na chama kikipokea kitayapitia kwa mujibu wa katiba hiyo

  • @petromahona6809
    @petromahona6809 23 дні тому

    Haiwezekani mtu anaongea bila kuoneshwa, kwa walemavu wa masikio mnatunyima haki yetu😮

  • @saidi.m.korongo9855
    @saidi.m.korongo9855 25 днів тому

    Hivi Kuna crown TV kweli?

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 22 дні тому

    Lissu kiboko rais 2025

  • @AngelJoseph-charllo
    @AngelJoseph-charllo 20 днів тому

    I'm looking for extended interview

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 23 дні тому

    Mm sina chama ila ili jembe Nashukuru kuzaliwa Tanzania ningetaman viongozi waache uchama watengeneze nchi kwa pamoja japo kikeke unamuhoji kama Afande bhana unampa maswali magumu

  • @lordymawoiya5818
    @lordymawoiya5818 25 днів тому

    Tundu na Mzingwu kuna kitu wanapika

  • @AdilOmary
    @AdilOmary 25 днів тому

    🌍🌍🌍🌍🌍🌍

  • @emmanuelshimbi4494
    @emmanuelshimbi4494 25 днів тому

    ✌️✌️✌️✌️

  • @yudakavugushi
    @yudakavugushi 12 днів тому

    Kwani Lowasa alipatikana muda gani. Mbona hata mwezi haukupita?

  • @Charlesmajani
    @Charlesmajani 25 днів тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @thadeipeter2592
    @thadeipeter2592 23 дні тому

    😂😂 nimefurah milion 5 za CCM

  • @SalmaLigeni
    @SalmaLigeni 25 днів тому

    Mpovizuli sana

  • @Ba63828
    @Ba63828 25 днів тому

    Vibaraka hao

  • @JERRYMWAKABONA
    @JERRYMWAKABONA 24 дні тому

    CHAMA YUPI BRO😂

  • @nickchengula9983
    @nickchengula9983 25 днів тому

    • @humphreychristopher8577
      @humphreychristopher8577 25 днів тому

      Kwa mara ya kwanza nayasikia maswali ya ovyo ya Kikeke akilazimisha majibu

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 25 днів тому +1

    Tatizo usikute hapa hamna mpiga kuraa

  • @richardgeorge5377
    @richardgeorge5377 25 днів тому

    Hawa wanaiga sana mambo ya Kenya niwahuni tu

  • @Juma-e8l
    @Juma-e8l 25 днів тому

    Weŵe unforce kudominate mjadala subil upewe madini ya hoja kikeke huyo ni Lissu origin si copy

  • @juliuskitomari3057
    @juliuskitomari3057 25 днів тому

    List akili kubwa sana,Kikeke rudi shuleni,Amejibu vizuri sana kama msomi.

  • @abasiachimika541
    @abasiachimika541 25 днів тому +1

    Hakuna kma lisu

  • @VictorMgodomi-xj1ey
    @VictorMgodomi-xj1ey 25 днів тому

    Kikeke fala sana kama ulikuwa unagopa usingemuita lisu naona umekuwa kama muandishi wa vi chanel vidogo

  • @evaristmshanga
    @evaristmshanga 25 днів тому

    Mtangazaji elewa mambo,...Wakati unaongea na Mrema unatakiwa utambue kwanza je press hiyo ilikuwa ni ya kawaida au ni ya dharura,...Kwa hiyo kama ilikuwa dharura Msemaji wa Chama ilikuwa ni Haki yake kusema kuwa hajui,...Kwa sababu Ili kujua Hilo lazima mawasiliano yangetakiwa,..Acha kulazimisha mambo,..

  • @ibrahimunyaruhawa2416
    @ibrahimunyaruhawa2416 25 днів тому

    2025🔥🔥🔥🔥🙏

  • @IsraelLekumok
    @IsraelLekumok 24 дні тому

    Tuku. Tayari.. anawesa. Lisu

  • @kianda973
    @kianda973 25 днів тому +3

    Mwandishi uhodari umeishia wapi? Sioni kama ile ya majuu!!??

  • @bilalseleman5867
    @bilalseleman5867 25 днів тому +1

    Simuelewi kikeke kwa aina ya maswali yake

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 25 днів тому

      Ukumuekewa mwalimu wako,
      Utamwelewa kikeke😂

  • @Ibrahim-p7b2y
    @Ibrahim-p7b2y 25 днів тому

    Mwakahuu wa Tanzania tunahitaji mabadiliko lisu jiandae kiti nichako ccm hawana nafasi tena tanganyika

  • @UfundiSaidi-em2fb
    @UfundiSaidi-em2fb 25 днів тому

    😢😢

  • @alphaexaud5279
    @alphaexaud5279 25 днів тому +1

    Radio ya mtanga anafanya kazi mtanga! Uliza swali subiri jawabu

  • @deohank5995
    @deohank5995 25 днів тому

    usomi sometimes ni wendawazimu

  • @obedkiswaga2790
    @obedkiswaga2790 25 днів тому

    Hivi kweli makamu Mwenyekiti wa chama hajui signatories wa chama

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 24 дні тому

      Nami natia shaka katika hilo .......

  • @ahnafaykhan698
    @ahnafaykhan698 25 днів тому

    anavaa shanga mikononi then anahitaji urais

    • @ZeProDJay
      @ZeProDJay 25 днів тому

      Wapi wamesema ni kosa kuvaa bracelet mkononi? Au hizo ni shanga kwako? Duuh

  • @samwela.kasamalo2113
    @samwela.kasamalo2113 25 днів тому

    Nadhani saivi baadhi ya vyombo vya habari vimeanza kuwa na counterbalance.

  • @exseviangaeje1158
    @exseviangaeje1158 25 днів тому +2

    Kikeke mpe mtu nafasi YA kuongea mbona Kama upo kimkakati?

    • @jumakisailo8496
      @jumakisailo8496 25 днів тому

      Mi mwenyewe ninamashaka na bwana Kikeke, maswali yamekuwa hayajatulia.

    • @felicianmapunda856
      @felicianmapunda856 25 днів тому

      Kikeke akikuuliza swali jibu swali uliloulizwa ukianza mizunguko ya kukwepa swali anakukatisha

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 25 днів тому +2

    Heche yuko wapi?

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 25 днів тому +2

    kura yangu na familia yangu tutakupa wewe

  • @BarakaMugisha-g2m
    @BarakaMugisha-g2m 25 днів тому

    Kule huwa wana shinda kwa magoli ya mkono😁

  • @lgf7297
    @lgf7297 25 днів тому

    Kumbe hakuna kitu ni yale yale ya alinasha anaenda mahakamani kushinda serkali za mitaa

  • @Juma-e8l
    @Juma-e8l 25 днів тому

    Ukwel mwamba anaifahamu sheria bila unafiki si kuijua futilia hoja zake wakati wa ubunge wake akimpa hoja za facts with relevance vision

  • @JAMILAJAFAR-jk8iu
    @JAMILAJAFAR-jk8iu 25 днів тому

    Hakuna lolote mpe urais mutajitia.watanzania uliza libia huo ujingaa😂 from Moçambique