"NILISUKUMIZWA KWENYE UVUNGU" LISSU ASIMULIA A TO Z WALIVYOKAMATWA, KUPIGWA NA KUSAFIRISHWA HADI DAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 375

  • @KuluthumuMsuwakollo
    @KuluthumuMsuwakollo 2 місяці тому +7

    Siasa ngumu mungu walinde viongozi wetu mungu lilinde taifa letu ameen

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm Місяць тому +1

    Inasikitisha sana. Mungu azidi kukulinda ndugu Tundu Lisu na wote Chadema mnaopitia haya. Amani ni kitu kimoja kikubwa sana. Haki jiletse amani. Mungu Yu nanyi nyote, wasiouona michango yenu , hekima zenu, uhodari na busara zenu hayuko Sawa. Nchi hii inawahitaji sana nyinyi. Wasiotaka kuliona hili ha wako kwa manufaa ya wananchi .

  • @isackmachiyanshoka6754
    @isackmachiyanshoka6754 2 місяці тому +4

    Dah polen sana CHADEMA, haki haipo kabsa!.. sjui itakuwaje TU.

  • @GeraldistyFredrick
    @GeraldistyFredrick Місяць тому +2

    Sisi wazalendo ndo tunajua maumivu ya ii nchi lakin sis Kam vijana hatutaacha kusema ukweli Kama mnatuua tuueni tuu

  • @BakariAthumani-vs8lk
    @BakariAthumani-vs8lk 2 місяці тому +8

    Polen sana mm naona siasa mzee lisu mngeacha tuu muwaachie ccm yao itawale milele

    • @Juma-e8l
      @Juma-e8l 2 місяці тому +5

      Katiba ndo inaongoza nchi pia nchi ni kubwa kuliko ccm na katiba inaruhusu mfumo wa vyema ving multiparty system not Monoparty system. Ufaham ni mkubwa kuliko kujua kukoment

    • @verdianabanabi2205
      @verdianabanabi2205 2 місяці тому

      Itawale milele kwa vipi?

    • @GeraldMyuku
      @GeraldMyuku 2 місяці тому +1

      Anaetawala milelele ni Mungu

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 2 місяці тому +1

      @@GeraldMyuku 🤝🙌🙌🙌🙌🙌💯💯🧚🏿🧚🏾‍♂️🧚🏿❤️

  • @Danielmzungu-b4m
    @Danielmzungu-b4m 2 місяці тому +4

    Pole Sana kiiongos lissu

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 2 місяці тому +2

    Ipo siku watu watachoka ila mungu baba tupe amani kwenye nchi yetu tz

  • @immamunisi1312
    @immamunisi1312 2 місяці тому +25

    Hawa mapolisi wanatumika vibaya one day yes

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 2 місяці тому +3

      @@immamunisi1312 Na ndio wamekuwa wabakaji Na waficha maovu mungu atawaona ma ccm 🫵🏾🗣️📢

    • @verdianabanabi2205
      @verdianabanabi2205 2 місяці тому

      Hiyo sahih

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 2 місяці тому

      🤝💯💯✊🏾✊🏾✊🏾✌️✌️✌️📢🗣️

    • @IssaMwakifwamba
      @IssaMwakifwamba 2 місяці тому

      Utafanyaje sasa

    • @bahiyalumelezy3016
      @bahiyalumelezy3016 2 місяці тому

      ​@@AfricaQueenvideo za kupatia pesa za wazungu tu hakuna lolote la maana wanafanya watz wajinga kila kukicha futuhi hkn jipya hapo.

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 2 місяці тому +16

    We ndo RAISI wangu lisu 👊

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 2 місяці тому

      @@ThomasMmary-r7w ✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✌️✌️✌️✌️🗣️📢

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 2 місяці тому +1

      Wa sisi wote

  • @pyelesyamwakatika540
    @pyelesyamwakatika540 2 місяці тому +3

    Ila wanavyofanyiwa Sio vizuri Mungu hapendi jamani kumbuka cheo ni dhamana mbona wanaonekana hawanataka amani wangesikilizwa tu sio kuwafanyia vurugu nao si ni watanzania

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 2 місяці тому +2

    Jamaaa unasauti ya kishetani kwelikweli kama yalivyomambo yako ya kishetani la kuharibu taifa letu

  • @zedyabdulrwabilingo9042
    @zedyabdulrwabilingo9042 2 місяці тому +4

    Polen sana ndugu zetu

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 2 місяці тому +1

    Acha sisi watanzania tunyanyaswe,maana sisi ni majinga na mabwege,angalieni majirani zetu wakenya wenye akili hadi Ruto kashika adabu

  • @MagsKitundu-wb2wm
    @MagsKitundu-wb2wm 2 місяці тому +3

    Lissu Acheni Kuivuruga nchi Mjue Hali ya Nchi kwa sasa ni kila mtu Afanye kazi sio maandamano ya kuisumbua nchi wananchi wanataka kufanya kazi msilaum police

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 2 місяці тому

      @@MagsKitundu-wb2wm unajifahamu. Lisu wavuruga nchi kiburi? Wavuruga nchi hawajui, àcha uchawa.

    • @vicentbunzal7342
      @vicentbunzal7342 Місяць тому

      Ccm ndo inaviruga nchi chadema ndo wanafaa waongoze hii nchi ili tuone nao uongozi wao unapotupeleka,maana ccm tumeahachoka nayo sana Kama ni nguo iliyovaliwa imevaliwa siku nyingi bila kufuliwa na imepauka inahitaji ipumuzishwe kwanza.

  • @Clex-f5s
    @Clex-f5s 2 місяці тому +22

    Dah vp wale wahuni waliofanya tukio binti yule mbona mnatutoa kwenye reli vijana wako wapi wale😢😢

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 2 місяці тому +2

      @@Clex-f5s umeona hii Nchi Na hao polisi wamegeuka wabakaji😭😭😭

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 2 місяці тому

      Waulizwe polisi ndiyo kazi yao.

  • @EvangelistJsolomonMkwata
    @EvangelistJsolomonMkwata 2 місяці тому +6

    Mungu awasaidie kwa mateso hayo au myaache mje tuhubiri injir

    • @kikoitv828
      @kikoitv828 2 місяці тому

      Hii ni zaidi ya Injili

  • @EmilianaInyasi-m6b
    @EmilianaInyasi-m6b 2 місяці тому

    CCM kufuatilia uovu AAA,ila kwenye unyanyasaji wako vizuri

  • @AbdallahYanga
    @AbdallahYanga 2 місяці тому +13

    Nakupenda sana lisu nakushauri kiongozi wangu msapot mama mbona mama anatuongoza vizuri nchi imetulia mnatupeleka wapi !!

    • @fumotv7914
      @fumotv7914 2 місяці тому +12

      Kama umekua shoga endelea kumpenda mama yko

    • @samsonsimon3138
      @samsonsimon3138 2 місяці тому +10

      Kma unaona ww unakuongoza vizuri muite akulelee watoto wako nyumban

    • @justinsamwel4946
      @justinsamwel4946 2 місяці тому +6

      Wewe ni kumaa nchi inaenda kimabavu wewe unasema tunaongonzwa vizur

    • @nwntz
      @nwntz 2 місяці тому +1

      Duh😢

    • @faustinebahenobi3412
      @faustinebahenobi3412 2 місяці тому +3

      Usi sahau katiba mpya

  • @RayOmar-vk2nn
    @RayOmar-vk2nn 2 місяці тому

    Living testimony ❤❤❤❤

  • @ambelemwakalobo3327
    @ambelemwakalobo3327 2 місяці тому

    Nyie mnapenda vurungu

  • @hashimmawazo5503
    @hashimmawazo5503 2 місяці тому +11

    Police nawasifu wanavyokula sahani moja na waalifuu

    • @godfreyaugustino3813
      @godfreyaugustino3813 2 місяці тому +1

      Ukiwa na kichwa kikubwa kisichokuwa na akili ni mzigo mzito kwa miguu.

    • @RechoMzava-gt7so
      @RechoMzava-gt7so 2 місяці тому

      ​@@godfreyaugustino3813kabisaaa mwambie huyo.mjinga hana akili huyo mpumbavu

    • @hashimmawazo5503
      @hashimmawazo5503 2 місяці тому +1

      Tatizo ni uchache wa elimu uliokuwa nao, kwanza Rudi shuleni ukaongeze elimu utanielewa tu.

  • @BoradaMbifile
    @BoradaMbifile 2 місяці тому

    Mungu atatenda twamwachia mungu

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 2 місяці тому

    Makamanda wetu kwer ukombozi wanchi hii kazi tunayo kwerkwer kwenye mikono yahawa mabepari

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 2 місяці тому +9

    Tatizo ww nikibaraka wa marekani kwahiyo mimi siwezi kukuerewa hata kidogo naukipita urais utaruhusu ushoga

    • @fumotv7914
      @fumotv7914 2 місяці тому

      Kwamba ushoga sasa hv sio ruhusa kwan?

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 2 місяці тому

      Kaka nabid nkucheke sio kosa lako lakini good boy

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 2 місяці тому

      @@ChoroTesla sio kosa langu litakua lako🙏💪

    • @mtakamatv
      @mtakamatv 2 місяці тому

      Ujinga tu,unaeleza kijana wewe ni kibaraka wa ccm? Na viongozi wako wa ccm ni vibaraka wa warabu! Wezi,mafisadi,si watenda haki,watoza Kodi kausha damu,wanajali zaidi matumbo Yao ndio maana wako tayari hata kuduru wengine kutetea madaraka ya udharimu,wewe una moyo Gani Hadi unaunga mkono uonevu Sasa ipo siku utakamatwa na polisi na utapewa kesi ya udhururaji na utakaa mahabisu siku tatu ndipo utapata akili

    • @erasmusaloyce4398
      @erasmusaloyce4398 2 місяці тому

      Watu wenye mawazo kama Yako ndio sababu ya umaskini wa Tanzania.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 місяці тому

    hampo juu ya sheria!!upinzani haimaanishi mtafanya mtakavyo!!
    Walinzi wa amani ni askari polisi!!tii sheria bila shuruti!!

  • @zahiruhamisi4162
    @zahiruhamisi4162 2 місяці тому +2

    Inasikitisha sana kuona polis wanajihusisha na siasa😭

  • @Boyfromtanzania
    @Boyfromtanzania 2 місяці тому

    😢😢😢😢
    Tanzania yangu 🇹🇿 inaelekea wapi jamani.. Tunatiana aibu Sana tutaogopa kurudi bongo kwaajili ya haya mambo dah

  • @RDobeye
    @RDobeye 2 місяці тому +8

    sasa ivi kila mwananch anaona uozo unaofanyika inch hii si poli si ccm wala police traffic kuchukua rushwa barabarani,elewen kuwa mwisho wetu utafika tu.

  • @salmahalfani8634
    @salmahalfani8634 2 місяці тому

    Wanawaonea sana

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 2 місяці тому

    Mungu arusaneheee Sana watanzania.Hivi vitu sio vyakushangilia Wala kuleta mzaa ,Bali nukuombea Tanzania yaraisi Samia suluhu mama ytu ioate uponyaji nahkma zakutukuka

  • @BarikiMlengu
    @BarikiMlengu 2 місяці тому +1

    Bado hujasemaaaa

  • @Prophetelian
    @Prophetelian 2 місяці тому

    Awadh Haji is typing....

  • @wilsonandlea8614
    @wilsonandlea8614 2 місяці тому +1

    Daaah😭😭😭

  • @JuliusWerema
    @JuliusWerema 2 місяці тому +2

    Mbona muda wa sisa tiyali kwanini muwai haraka ifike sehem twende ikulu Kwa hoja siyo Kwa mandamano yanarudisha maendeleo nyuma na kiongozi yoyote anapangwa na mungu msiwahadae watanzania na kuwatia hofu,

  • @dominickndomba4474
    @dominickndomba4474 2 місяці тому +5

    Haya tumesikia mbwembwe zenu poleni msirudie tena ila hatuna huruma na wazembe kama nyie tena mkome kabisa

  • @mpologomaChristopher
    @mpologomaChristopher 2 місяці тому

    Nilisha sema kuwa ni kazi kukiondoa madarakani hiki chama cha mafisadi, wauaji, wanyanyasaji, wapolaji, na wazandiki. Naomba msijate tamaa kukomboa nchi ni kazi kubwa sana.

  • @wilsonmsenga6447
    @wilsonmsenga6447 2 місяці тому +1

    Police mm sijawahi kuwaelewa, kama leo hii itokee mm ni raisi lazima jeshi la police nilivunje na kulijenga upya.

  • @MariamMangula
    @MariamMangula 2 місяці тому

    Wewe ulimsema vibaya sana magu, ila nilishaona shida ni kuwa siasa bado Tanzania hamko siliasi, mkipewa posho kidogo huwa hamuwajali maskini

  • @Fantsonmpango-uz3jw
    @Fantsonmpango-uz3jw 2 місяці тому

    Awadh anajikosha

  • @YasiniMkakile
    @YasiniMkakile 2 місяці тому +2

    God bless hero lissu.

  • @damasnjojoli
    @damasnjojoli 2 місяці тому

    Mungu ibariki Tz

  • @oswardmgaya7400
    @oswardmgaya7400 2 місяці тому

    Tumuombe mungu tuu😂😂

  • @ZainabuHassani-fe8ur
    @ZainabuHassani-fe8ur 2 місяці тому

    Kazi iendelee

  • @RamaMbwambo-ru8ym
    @RamaMbwambo-ru8ym 2 місяці тому +6

    BROTHER NAKUSHAURI FANYA SIASA ZA KISTAARABU..MBONA MAMA ANAONGOZA NCHI VIZURI..KWA HAKI YA MUNGU WEWE HUPASWI KUMPINGA MAMA KWANI ALIONESHA UTU KWAKO..MUOGOPE MUNGU..LIPA MEMA KWA MEMA..

  • @michaelhaule-fb2vs
    @michaelhaule-fb2vs 2 місяці тому

    MI NDIOMAANA CPENDI KUJIHUSISHA NA MAMBO YA VYAMA KABISA; ILA NAMPENDA "MAGU" R.I.P😭

  • @kilimoufugajipesatv5751
    @kilimoufugajipesatv5751 2 місяці тому

    Mumezidisha uvumilivu na nyie😢😢😢. Daaah

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 2 місяці тому +5

    Nchi hii haki hakuna waliobaka bint kimya wanateswa kina lisu duh

  • @piusjaphet2760
    @piusjaphet2760 2 місяці тому

    Yaani chadema wanapenda kuonewa huruma kama watoto

  • @jaffaralimakame1533
    @jaffaralimakame1533 2 місяці тому

    LISSU SITAKI HATA KUMSIKIA ANAMUONA MAMA SAMIA KAMA SIO MTU ANAMSEMA VIBAYA ANAVOJISIKIA, KWAMIMI NALIPIGWE KULIKO HIVYO NASHANGAA BADO LINAHEMA NA HALIHEMEI BUGANDO LIKIWA HOI.

  • @wisdomfolks
    @wisdomfolks 2 місяці тому

    Wafanya biashara migomo kila siku vijana ajira hamna wanasiasa wanapigwa af kuna lijitu limetumwa kucomment ushuzi ila kwa kila mtu anayefanyaga ubaya kuna karoho kwa mbali kapo kanamkumbusha jifunze

    • @JacquelineMahumbe
      @JacquelineMahumbe Місяць тому

      Kweli ila hua naumia matanzania mengi majinga yanashabikia hata kwny huzuni sijui yemelelewa wapi

  • @AlphaBlessing-qx7ep
    @AlphaBlessing-qx7ep 2 місяці тому

    Sipendi kuongelea mambo ya siasa ila kimpiga huyu baba nimeumia sana😢

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 2 місяці тому +6

    Polen sana wana chadema,kura yang inawangoja

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 2 місяці тому

      @@neemanziku5403 🤝🤝🤝🙌🙌🙌🙌✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✌️✌️✌️✌️🗣️🗣️🗣️📢

  • @DannyElias-t3v
    @DannyElias-t3v 2 місяці тому +3

    Wakuleta madadiliko ni vijana ila sasa vijana wenyewe kwenye comment humu naona chenga tuu

    • @lovenessvisent9408
      @lovenessvisent9408 2 місяці тому

      Hakuna tunachojua ndugu yangu pombe Kali zimemaliza akili zetu vijana wetu ee mungu tusaidie sanaaaa

    • @DannyElias-t3v
      @DannyElias-t3v 2 місяці тому

      @@lovenessvisent9408 nimasikitiko kwa kweli

  • @jaffaralimakame1533
    @jaffaralimakame1533 2 місяці тому

    HAYO ULIOFANYIWA NI MADOGO NIKITAKA USIKUWEPO HASA UNAMUONEA SANA MAMA SAMIA MIMI NI FAMILIA YANGU INANIUMA . LISU HUNA SIASA NI KEBEHI TUPU KWA MAMA SAMIA SITOKUONEA HURUMA .

  • @PNoni-m6o
    @PNoni-m6o 2 місяці тому

    poleni sana mh tundu lisu pamoja na sugu mungu ata walipia kwani malipo ni hapa hapa duniani nchi hii wali ridhia upinzani sasa wana nyanyasa upinzani kama vipi wao ndoe dunia ita mbue!

  • @emanuelmagai9727
    @emanuelmagai9727 2 місяці тому

    Hivi tuseme kweli mwili huo wote unaweza ukaingia chini ya uvungu wagari kama inavyo onekana hapo.
    Na pia usukumizwe kwenye uvungu wa gari usipate michubuko yoyote.
    Tuseme kweli

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 2 місяці тому

      Kwa hiyo anasema uongo. Jitafakari unacho comment

  • @RazakAbarola
    @RazakAbarola 2 місяці тому

    Sijui itakuwaje ikiwa utakuwa... Rais .......one day

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 2 місяці тому

    KWA HIYO TZ HAINA TOFAUTI NA GAZA.

  • @EliyaKanji
    @EliyaKanji 2 місяці тому

    Nihatari san poris kujingiz kwenye siyas hatuna poris.hapa

  • @sarastephano3409
    @sarastephano3409 2 місяці тому

    Mlisema mahufuli ndo alikuwa mkatili alikuwa anawanyanyasa wapinzanj haya semeni Sasa na Hawa amewatuma yeye

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 2 місяці тому

    Wewe hukusukumizwa kwenye gari ila ulisukumiziwa kwa nyuma

  • @JosephNgonyani-lh9js
    @JosephNgonyani-lh9js 2 місяці тому

    Daaaaa

  • @HamisiNguche
    @HamisiNguche 2 місяці тому

    Yaani anayejenga urafiki na polisi hajielewi

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 2 місяці тому

    Hili watumishi tuheshimu kazi zetu hii ishu ilitakiwa watu wakutane mahakamani akishindwa kesi Hana kazi maana hii imechafua serikali Hawa Chadema hawakfanya fujo Sasa yote haya yamesababishwa na police ifikie wkt mzungu aingilie kati kama demokrasia imetshinda.

  • @SaidKipe-zm8wt
    @SaidKipe-zm8wt 2 місяці тому +2

    Tutakutana kwenye uchaguzi mungu awalan awo mapolis

  • @calvin6445
    @calvin6445 2 місяці тому

    Etii lisu walikusukumizia wapi😂😂😂😂😂😂
    Sasa na huo mwili ulienea kweli??😂
    Na wakati mnajiandaa mkeshaa kuichafua serikalii ikawaje bhanaa😂😂

  • @MayleenDonaldharris
    @MayleenDonaldharris 2 місяці тому +7

    Wewe unaemwambia lisu mgonjwa, wewe apo unaweza pata ukilema na ukaanza omba msada watanzania so jitafakali sana maneno unayo ongea

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 2 місяці тому +3

      @@MayleenDonaldharris wengi wao Watanzania hawajasoma ndio tatizo hata Kingereza hawajui hata historia ya Nchi yao hawajui wamekufa wengi Na hawataki kuelemishwa🤣😂ona wanavyocomment ni watu hawa ma ccm🗣️🗣️📢😂🤣✊🏾✊🏾✊🏾Katiba mpya ni muhimu✊🏾✊🏾✌️✌️

    • @Mosmwampa
      @Mosmwampa 2 місяці тому +1

      ​@@AfricaQueenupo sahihi boss

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 2 місяці тому

      @@Mosmwampa 🤝✊🏾✊🏾✊🏾✌️✌️✌️Katiba mpya 🗣️📢✌️✌️✊🏾✊🏾🙏❤️

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 2 місяці тому

      @@Mosmwampa 🤝🤝🤝

    • @Mosmwampa
      @Mosmwampa 2 місяці тому

      @@AfricaQueen ofcoz ndo suluhisho linalosubiriwa

  • @ambelemwakalobo3327
    @ambelemwakalobo3327 2 місяці тому

    Kwanini msifanyie Arusha au singida mkaona mbeya ndio

  • @ShekhSimba
    @ShekhSimba 2 місяці тому

    Nyinyi Chadema hamna Nidhamu - Lazima mjue kuwa Kuna MKONO WA DOLA

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 2 місяці тому

    Mapolisi wanatumia vibaya madalaka yao yaan kama dio Tanzania

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 2 місяці тому +8

    Yan hili ndio liongoooo😂😂😂😂

    • @HulumaKisakali
      @HulumaKisakali 2 місяці тому

      Nyie vibaraka wa ccm mnyamaze mmeaibika

    • @evangelistfrank1911
      @evangelistfrank1911 2 місяці тому

      Ipo siku utajua hii nchi haina haki kabla hujafa nakwambia utalia

    • @Ibrahim-ne3in
      @Ibrahim-ne3in 2 місяці тому

      @@evangelistfrank1911 utatangulia kwanza kufa wewe

    • @evansdecaprio8196
      @evansdecaprio8196 2 місяці тому

      Akiri yako ipo kichwani au matakoni

    • @mahengepascal
      @mahengepascal 2 місяці тому

      Tuambie wew ukweli

  • @ZeynabAlly-k4j
    @ZeynabAlly-k4j 2 місяці тому +1

    Kipele kimepata mkunajiwslikua aeana maneno ya kuzinginza aeana kazi yakufanya

  • @kiberitistartv8887
    @kiberitistartv8887 2 місяці тому

    Utawala huuuuu 😢😢😢😢😢 kweli

  • @robertnyantile4291
    @robertnyantile4291 2 місяці тому +2

    Walipigwa na akina nani na walisafirishwa na akina nan iovyo kabisa mild ayo

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 2 місяці тому +1

    MUNGU Akubariki Tundu Lisu na viongozi

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 2 місяці тому +1

    Huyu wangemsukumiza kama anavyoongea si angelazwa mwezi mzima kiki hizi

  • @jessegodson8575
    @jessegodson8575 2 місяці тому

    Ungeenda kuwashtaki hao polisi mahakamani. Ila ningekuwa mimi ningemuua huo alikupokonya kofia

  • @MUSAMWAMBENE
    @MUSAMWAMBENE Місяць тому

    Ccm apana jamani

  • @mkurangacnajemasabatochane4626
    @mkurangacnajemasabatochane4626 2 місяці тому

    Tatizo ruzuku ham wapi wange wasaidia Sana

  • @MarianaMshanga-d4u
    @MarianaMshanga-d4u 2 місяці тому

    Ipo siku

  • @MwanakomboNassor-bw3by
    @MwanakomboNassor-bw3by 2 місяці тому

    Ccm oyeeeeeee mtasubiri sana mama tunampeda sana

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 2 місяці тому

    Kazi sana asee 🤔

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 2 місяці тому

    Mh pole

  • @immamunisi1312
    @immamunisi1312 2 місяці тому

    Huyu Awadhi hafai kuwa kiongozi ktk jamii

  • @emtonboyofficial1134
    @emtonboyofficial1134 Місяць тому

    Mbona mnakata sauti acha ukweli usemwe😅😅

  • @RashidyRoggo
    @RashidyRoggo 2 місяці тому

    TZ ukienda kupiga kura huna Kaz za kufany maan Nape kashatuelez ukwel

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 2 місяці тому +1

    😂ila police mjue kuna maisha baada ya kazi tunawaona huku mtaani mnavyotia huruma

  • @fridalyanguka1733
    @fridalyanguka1733 2 місяці тому

    Tafuteni kwanza Neno la Loba yeye atawalinda ktk harakati zenu za kuongoza nchi. Bwana asipojenga mji aujengao anateseka Bure.

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 2 місяці тому

    Kiukweli kuna polisi wengine wana matatizo kumbukeni ...mna familia...

  • @DennisFandi
    @DennisFandi 2 місяці тому

    Shida mnajifanya mna akili nyingi kutumia sheria kukimbiakimbia sasa watu washakuwa waelewa wanataka vitendo, watawagonga mpaka mseme

  • @ErickMacha-sb2ot
    @ErickMacha-sb2ot 2 місяці тому

    Laki Musiende wenyewe muombeni MUNGU awaongoze Hakika mkimuita MUNGU hakawii kuja maana mwenye nguvu ni mmoja naye ni MUNGU hajawahi kushindwa nahataka ashindwe kamwe

  • @MtazameKristoTv
    @MtazameKristoTv 2 місяці тому +3

    Nafikiri serikali ilikuwa inadhani mnaandaa Gen z wa bongo 😂😂😂😂😂

    • @simonMollel-rr3gb
      @simonMollel-rr3gb 2 місяці тому +1

      Yes but ngumu sana ilkuwa siasa tu gen z haina chama

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 2 місяці тому

    Msidanganye Watu Mara Ngapi Mumetaja Maandamano Ya Kenya Mnatoa Mfano Mnataka Iwe Kama Kenya Kule Kenya Walikufa Watu wangapi

  • @emanuelgavile3503
    @emanuelgavile3503 2 місяці тому +1

    Hamuwezi kuonewa tatizo lenu nyie nikuwajadili watu nakuwasimanga takataka

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 2 місяці тому

      Wew ni mtanzania, unaelewa nin maana ya siasa za vyama vingi..!?

  • @ndiditheodore8272
    @ndiditheodore8272 2 місяці тому +1

    Hayo ni matumizi mabaya ya pesa za umma, magari, silaha, mabomu, askari, kodi za wananchi.

  • @EliabuMfanga-m4p
    @EliabuMfanga-m4p 2 місяці тому

    Hivi siku huyu jamaa akipata iraisi nyie mnaojiita police hali mnadeal na siasa,je mtaishi je???

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 2 місяці тому +3

    POLE SANA RAIS CHAGUO LA MUNGU. MUNGU AKICHAGUA KITU MPAKA KAZI ALIYOKUITIA IKAMILIKE

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 2 місяці тому +1

      @@brunomirambi8792 🙌🙌🙌🙌🤝✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✌️✌️✌️Katiba mpyaaaaaa🗣️📢📢📢

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 2 місяці тому

      Kweli kabisa. Hakuna atakayezuia kusudi la Mungu Baba Aliloweka kwa Lisu.

  • @ndakichuwa7618
    @ndakichuwa7618 2 місяці тому

    Hivi kuna watu ambao wanajiona wataishi milele?Mungu yupo ataamua

  • @samsonsimon3138
    @samsonsimon3138 2 місяці тому

    Hii nchi ni yademocracy halafu hii nchi si ya mtu mmoja bali kila mtu anahaki yakufanya anachoona ni sahihi kwake ila asivuje tu sheria tulizozituga

  • @wazinzatv3152
    @wazinzatv3152 2 місяці тому +1

    Police sio wajinga inawezekana kuna mpango mchafu mlikuwa mnauratibu kupitia vijana wenu