Mbowe Afunguka Mazito Sakata la Utekaji na Watu Kupotea; Ataja Majina na Namba za Simu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe anatoa tamko la chama hiko juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea nchini Tanzania.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

КОМЕНТАРІ • 300

  • @MwanakhamisSharia
    @MwanakhamisSharia 21 день тому +37

    Serikali ya ccm ni yakikatili Sana da hatari. Mbowe umetufumbuwa macho Allah akupe Kila la kheri

    • @digital-d2t
      @digital-d2t 20 днів тому +2

      Amekufumbuwa ww

    • @AsiaChengula
      @AsiaChengula 20 днів тому

      ​@@digital-d2tHad mim kanifumbua

    • @malindimalindimerinyo1632
      @malindimalindimerinyo1632 20 днів тому +1

      ​@@digital-d2tnasikitika huna huruma muogope Mungu hayajakupata lakini Mungu siyo mchoyo nawe yatakufikia tu

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 19 днів тому

      ​@@digital-d2t
      Pole Sana! Yakikupata au yakimpata ndugu yako utaamka kwenye huo usingizi!

  • @user-sm6sg8ko5j
    @user-sm6sg8ko5j 20 днів тому +4

    Huyu ndiye kiongozi Sasa anatoka anasema kwa ajili ya wengine . Ni aibu watoto wanatekwa Hadi kuuwawa lakini unashangaa Kila pahala kimya.Mungu akulinde na akupe hekima zaidi Mzee Mbowe

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 21 день тому +23

    Inauma sana mungu akulinde mh Mbowe atakechewa kukuelewa wewe siku likimkuta ndugu yake au mtoto wake atakuja kukusimulia ni maumivu na uchungu kiasi gani Hakika mungu awipige wote wanaohusika na ukatili huu

    • @melkiadysebastian9274
      @melkiadysebastian9274 21 день тому +2

      😢😢😢😢😢🎉😢🎉🎉😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @makobamasawemangu4122
    @makobamasawemangu4122 21 день тому +14

    Jana tr 22-8-2024 kuna watu waliandamana mpaka kituo cha polisi cha Lamadi mana huku kwetu Simiyu siku za hivi karbuni kumetokea na utekwaji wa watoto wadogo na hao watekaji wanatokomea nao kusikojulikana tr 27 kuna mama mmoja alipotelewa na watoto wawili kwa mkupuo mmoja wa miaka 15 mwingine mwaka 1 asa asubuhi wakaenda kituoni ikatokea sintofaham kati yao na maaskar kwenye kujibiana wale akina mama wakatoka nje wakaanza kupiga yowe watu wakasogea yowe ikawa kubwa watu wakajaa wakaanza kupambana na polisi mpaka polisi wakaanza kuwapiga raia malisasi wakaua raia mmoja na kujeruhii kazaa ila cha kushangaza mkuu wa wilaya kwenye vyombo vya habal anasema hakuna mtu hata mmoja aliekufa na wakati mpaka mda huu tuko msibani du inauma sana na mpaka leo tr 23 bado wanakamata vijana kwa tarifa tu si chini ya vijana 250 wameshakamatwa

    • @user-fo5my5pe3b
      @user-fo5my5pe3b 21 день тому +1

      Subhanallah yaarab tuondolee hii mitihani

    • @saidtembele3070
      @saidtembele3070 21 день тому

      Kwahiyo kupotea kwa watoto ni Askari wanawapoteza? Lawama nyingine hizi mmmhhh. Na katika hao vijana kukamatwa humo humo watuhumiwa watapatikana au ulitaka Polisi wapige ramli.

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 21 день тому

      ​@@saidtembele3070wewe ndie mtekaji au muuwaji tumekuelewa

    • @daviddsouza735
      @daviddsouza735 18 днів тому

      Poleni

    • @RamadhanAlly-cf7du
      @RamadhanAlly-cf7du 17 днів тому

      Mh hatar sana aisee

  • @janeshija6638
    @janeshija6638 21 день тому +11

    Kwa nini wanateka vijana wa Chadema tu. Hii Serikali inahusika moja kwa moja bila kificho. KWA KIFUPI WANATUMWA NA SERIKALI.

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 21 день тому +8

    Mbona Zanzibar hawatekwi

  • @user-tn2kw5jr5m
    @user-tn2kw5jr5m 21 день тому +7

    Atimaye wamejulikana matekaji chadema ni hatari kwa upererezi

  • @krispinkomba4606
    @krispinkomba4606 20 днів тому +5

    Kesho tu utasikia mbowe ndani kwa kutoa taarifa za uwongo!!!!😂😂😂 Jamanii

  • @user-ju4mi1qx5b
    @user-ju4mi1qx5b 21 день тому +10

    Mungu mwenye nguvu tusaidie na hawa mashetani nyie mungu anawaona

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 21 день тому +16

    Nimeumia saaana. 😭 kwahili CCM apana

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 День тому

    Mwenyekiti baba yetu mbowe mungu akuweke mda mrefu akulinde wewe lisu na wengine wa chadema

  • @mwajemwafula5777
    @mwajemwafula5777 21 день тому +10

    ❤❤❤❤❤❤ God help Tanzania poleni sana chadema Kwa ujumla

    • @michaelmelita5273
      @michaelmelita5273 21 день тому +2

      Uko sahihi lakini hili nafikiri Sasa ni la wote hakuna aliye salama kiufupi

    • @joshuaswai8203
      @joshuaswai8203 21 день тому +1

      Naona Sasa Kuna sababu ya kujua

    • @ezralameck4150
      @ezralameck4150 21 день тому

      Apa chadema mmepga hatua kubwa mno sjaamin kwel hiki n chama imara sana inaskitisha😢

  • @DeusLucas-
    @DeusLucas- 21 день тому +5

    Leo wameanza kuteka watoto wadogo😭😭 inauma sana.

  • @stephenmwilolezi4954
    @stephenmwilolezi4954 21 день тому +7

    Yako mambo mazito nyuma ya pazia. Mungu atusaidie sana

  • @NemesiRabow-gt4zq
    @NemesiRabow-gt4zq 21 день тому +7

    Haya yote yanamwisho Mungu yupo

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 21 день тому +8

    Viogozi wa ccm wasifikiri Tanzania ni yao Tanzania niya watanzania God bless Mbowe

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 21 день тому +9

    Mungu tupigania kwa haya mh.

  • @HusseinSuleiman-g3b
    @HusseinSuleiman-g3b 21 день тому +5

    Braza mbowe tutetee wanyonge tumechoka mateso

  • @YonaLengai-cc6tq
    @YonaLengai-cc6tq 20 днів тому +3

    Serikali ya kinyama hii mungu tusaidie

  • @gervaskasala7321
    @gervaskasala7321 21 день тому +11

    Nimejikuta nalia tu nini hiki nchi yangu😭😭🇹🇿💔

    • @user-ju4mi1qx5b
      @user-ju4mi1qx5b 21 день тому +3

      Wee acha tu mwanangu. Mungu ikumbuke🇹🇿🇹🇿 I love you so much Tanzanian mbona unaangamia kipenzi changu Tanzanian🇹🇿❤❤❤❤❤❤

    • @JosephJohanson
      @JosephJohanson 21 день тому

      Mungu mwenyewe asimamie nchi yetu tusifikie hatua ya kuuana kama kuku na maandamano

    • @JosephJohanson
      @JosephJohanson 21 день тому

      Mungu mwenyewe asimamie nchi yetu tusifikie hatua ya kuuana kama kuku na maandamano

    • @MagrethMathayo-qg5cb
      @MagrethMathayo-qg5cb 10 днів тому

      I'mp​@@JosephJohanson

    • @liliantemba1181
      @liliantemba1181 2 дні тому

      Hadi natetemeka☺️

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 21 день тому +4

    My heart is breaking 💔💔

  • @tungarazalucas1478
    @tungarazalucas1478 19 днів тому +1

    Magifuli katuachia mapepo haya tuyakemee kwa jina la Yesu

  • @janeshija6638
    @janeshija6638 21 день тому +10

    Kwa sasa AMANI imekwisha toweka hapa nchini.

  • @user-uf7oh5eu4v
    @user-uf7oh5eu4v 21 день тому +11

    Ni MUNGU tu pekee wa kutuvusha hichi kipindi mambo yatajitokeza mengi sana😢🙏🇹🇿

  • @nicodemusmanyama9250
    @nicodemusmanyama9250 21 день тому +5

    Duh! Hali ni mbaya sana

  • @NeemaKomba-ks4so
    @NeemaKomba-ks4so 21 день тому +8

    Mbaka hapo Bado serikali hawaamini kama watu wanaotekwa kweli

  • @JacksonMahende-ho2wb
    @JacksonMahende-ho2wb 21 день тому +4

    Familia zao wanasemaje wanaishi na wauwaji wa wa Tanzania wetu na ni mtandao unaolipwa Kodi zetu wewesamia laana hii utaipeleka wapi pole mama

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 20 днів тому +1

    Jamani wasimuue kijana Soka. Nilimwona kwenye mahojiano ni kijana shupavu mwenye uwezo mkubwa kiakili na kiafya ambaye ni hazina kubwa ya taifa hili.

  • @AngelEmanuel-qn2en
    @AngelEmanuel-qn2en 6 днів тому

    Aibu sana kiongoz wa taifa halizungumzi swala la utekaj anakuja kulizungumzia mbowe

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 21 день тому +4

    Pole I sana inauma inauma

  • @MusaHassan-me2im
    @MusaHassan-me2im 20 днів тому +2

    Tanzania huku inakoelekea kutokana na yanayo fanyika 😂 😂 😂 mungu mwenyew alete wepes na kwa wale wanao taraji au wanao tekeleza maonvu kwa wenzio bas mungu awashushie kipigo hapohapo inshaalah.

  • @LewiNdoda
    @LewiNdoda 21 день тому +7

    Mwenyekiti toa tamko kama ni barabarani au mbwai

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 21 день тому +1

    Allah tunakuomba tusaidie kwa unyenyekevu mola wetu subuhana wataallah

  • @UpendoNgonile
    @UpendoNgonile 20 днів тому

    Mungu akulinde baba yetu mbowe yanauma tena tanzania hii inaogofya atuna hatalaha tunahish kama wakimbizi

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 21 день тому +1

    Mungu tupe mwisho mwema 🙏🏼🙏🏼

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 21 день тому +2

    Inabidi tuanze kujilinda wenyewe hatuna Imani Na jeshi la police tena

  • @user-ep2cm5xo3k
    @user-ep2cm5xo3k 20 днів тому

    Naumia sana.Mwanzo 9:6.atakaye mwaga damu ya mwanadamu,damu yake na naye itamwagwa na mwanadamu.

  • @ZaharaAlly-ic2yz
    @ZaharaAlly-ic2yz 13 днів тому

    Ukiongea au kusema jambo la haki kuna mambo mawili kutekwa ama kuuliwa subhannallwah

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 21 день тому +4

    Hv hii nchi ndo tunaambiws ina amani sanae subrin kuna kitu watawala wanakipika na hakiko mbali kuiva

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 20 днів тому +1

    Toa tamko tuingie rodi mzee,

  • @makalasamweli9570
    @makalasamweli9570 3 дні тому

    Haipo nimekuelewa mbowe nawaelewa sana bgp sitakiacha chama hiki kamwe

  • @mlyamalitv1789
    @mlyamalitv1789 20 днів тому +1

    Mbowe ni Mzalendo kuliko hata viongozi wa CCM, Hawa ndiyo viongozi wa hii nchi ila basi matapeli ndiyo yapo.

  • @taylorkasitu3819
    @taylorkasitu3819 21 день тому +5

    Simba wa Yuda waamshe mazombi yaliousingizini

    • @JaneYiapaso
      @JaneYiapaso 21 день тому

      Daaaaaaaaah hata kuongea niwezi

  • @user-ic1fs9bf1v
    @user-ic1fs9bf1v День тому

    Kama unweza kumshusha mtu kwenye Gari na abiria wapo hii ni dharau kubwa sana na kuvunja katiba ya nchi kwaajili ya kulinda mkate mnaharibu taswira ya Taifa letu

  • @user-cw2nj4io3v
    @user-cw2nj4io3v 21 день тому +4

    Machozi ya hawa ambao watoto wao wamewatekwa haitawaacha salama wote waliopanga na waliotekeleza huo uhalifu!

  • @stephenrwaich1078
    @stephenrwaich1078 20 днів тому

    well said by mbowe.that's shameful to see our beloved ones are arrested without any police statement and are perished.the commission of inquiry is needed

  • @stanslauschacha2833
    @stanslauschacha2833 21 день тому +3

    Hakika hii nchi imejaa udhalimu na uonevu uliokithiri

  • @user-jg6hm9cr9t
    @user-jg6hm9cr9t 21 день тому +2

    Mmmhhh kweli Mungu yupo

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 21 день тому +6

    Hii nchi nahisi kuna kitu kitakuja kutokea ambacho kitachafua sana hii nchi kutokana na haya mambo ya kutekana watu kuuliwa yani ni balaa

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 20 днів тому

    Mungu liokoe Taifa Lako la.Tanzania

  • @venancesambala512
    @venancesambala512 11 днів тому

    ELIMU TOSHA🙏🙏🙏

  • @janeshija6638
    @janeshija6638 21 день тому +7

    Hii sasa imekuwa ni mauaji yansyofanywa na CCM na Serikali yake dhidi ya upinzani. SASA WANANCHI TUFANYEJE WATOTO WETU WANAULIWA KAMA KUKU. WANANCHI TUUNGANE TUIANGUSHE HII CCM BILA HIVYO WANANCHI WATAISHA.

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 21 день тому +1

    Inafika mahali hata kama ni mwana CCM utu unakusuta na kujisikia vibaya kwa haya yanayotokea.

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 21 день тому +1

    Zanzibar hawezi kuwateka watawapeleka wapi nyuma bahari mbele bahari kushoto bahari kulia bahari labda kwenye Baraza la mazombi

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 20 днів тому +1

    Tunaelekea wapi? Mungu wetu tusaidie tusiingie kubaya

  • @26Number-y8i
    @26Number-y8i 20 днів тому

    Mungu Ibariki Tanzania.

  • @sisterlbloodofjesus4084
    @sisterlbloodofjesus4084 21 день тому +1

    Farao na majeshi yake yote hakuweza nguvu za Mungu hata sasa Mungu yupo ole wao hawa watesi Mungu atawashushia hukumu.

    • @user-ju4mi1qx5b
      @user-ju4mi1qx5b 21 день тому

      @@sisterlbloodofjesus4084 amen🙏🙏🙏 bwana tunakuomba tusaidie

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 21 день тому +2

    Yule mwenyekiti wa vijana wa mafisiem aulizwe hayo

  • @KINASAITALABASH-pc8ld
    @KINASAITALABASH-pc8ld 13 днів тому

    Hakuna masika yasio kua namwisho ,hakika mshahala wa zambi nimauti,tuwe wapole dam inayo mwagika itawaludia wote wa nao huska.

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 21 день тому +4

    Inauma sana.sipigi kura maisha yote.

    • @rockmusic6275
      @rockmusic6275 21 день тому

      🤝🤝

    • @Juma-e8l
      @Juma-e8l 21 день тому +1

      Ila si suluhisho tunahitaj ukombozi wa kifkra

    • @This-f1k
      @This-f1k 20 днів тому

      tukapige kura mkuu.

  • @benedictampery3275
    @benedictampery3275 15 днів тому

    Mbowe kaka yetu tunakushukuru kwa kutufungua. Lakini nakuomba utaje kwa haraka majina ya wale waliokwisha kutoweka.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 20 днів тому +1

    Hivi hizi hasira zinazotengenezwa kwa wananchi zitamalizwa na nini jamani? Tutapona kweli? Hii ni vita kubwa sana inatengenezwa. Wahusika tunaomba sana mlitilie maanani jamani please. Tuogope basi hukumu ya Mungu. Nchi yetu tunaipenda sana jamani, please. Tuishi kwa amani kuna leo na kesho jamani

  • @krispinkomba4606
    @krispinkomba4606 20 днів тому +1

    Kwan hamjamsikia akisema yeye ameziba masikio hasikii ng'oooo!!

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 21 день тому

    Hii siyo nzuri jamani mnaofanya haya na nini mna wake,watoto na ndg zenu vipi wakifanyiwa hivi mtajiskiaje Mungu anawaona atawalipa kwa haya.inaumiza sana jaman

  • @NgajaNgaja-s4v
    @NgajaNgaja-s4v 20 днів тому

    Munguakulinde mbowe

  • @mboneamalaki5674
    @mboneamalaki5674 20 днів тому

    Mungu tusamehe Tanzania

  • @VenanceKessy-ju7ue
    @VenanceKessy-ju7ue 21 день тому +2

    Nchii hii n noma sana ,kadri tawala zinavyozid kuwa inakuwa mbaya zaid ya iliyopita dah

  • @justinemsela3593
    @justinemsela3593 19 днів тому

    Hii kitu ilitutokea Tarime kwa mzee wetu Zakaria akajitetea kwa uweza wa Mungu akaokoka,

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 21 день тому +1

    Wapinzani wanatetea sana wananchi wa Tanzania ila ccm ipo ki masilahi kabisa.ukitaka kujua kuwa ipo ki masilahi huwa hawapo tayari kuachia madaraka chama kingine wapo lazi hata kwa machafuko ila siyo kuachia dora Kwa wapinzani Kama vile wenzetu wa marekani wanavyopokezana uongozi.hawa ndo walioirudisha nchi nyuma kimaendeleo.

  • @mtakamatv
    @mtakamatv 19 днів тому

    Dawa Yao ipo watajichanganya tu,si wanaendeleza kuteka Kuna siku watatekwa wao

  • @stephandaniely1179
    @stephandaniely1179 18 днів тому

    Iv kwA nn watz tusichukue mahamuzi lakin kila siku tunahambiwa

  • @mosesibmshangamshanga7885
    @mosesibmshangamshanga7885 21 день тому +1

    Haya mambo ya kutekana na kuteswa nawakati mungine mauaji.....yakomeshwe mala moja mana yatajenga visasi na chuki kwa wanaozaniwa kuhusika na ukatili huu

  • @barakamkekena488
    @barakamkekena488 9 днів тому

    Watajisikia aibu tu karibu hivi watawaachia tu coment yngu ipo apa

  • @salomejohn7963
    @salomejohn7963 20 днів тому

    Tunakushuru sana kwakutusaidia kupaza sauti tunauchungu sana Mimi nakaka yangu amepotea nizaidi yamwezi

  • @hhurbert
    @hhurbert 21 день тому +1

    Mapolisi ni Wauwaji wenye kibali cha kikazi ndo maana nawaogopa kushinda hata majambazi.

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 21 день тому +2

    Polisi walaniwe 😢😢

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 20 днів тому

    Mungu wetu atunusuru

  • @user-iz3tu9vw8e
    @user-iz3tu9vw8e 17 днів тому

    Elimu hii itolewe sana

  • @charles-r3u
    @charles-r3u 21 день тому +1

    Aise

  • @Papa2thaE
    @Papa2thaE 7 днів тому

    Tanzania inanukaaaa. Police wameoza sana

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 20 днів тому

    Na hawa watoa figo za watot bc ni wao ccm tu ,ndo man tukio likitokea hawawez fuatilia.

  • @cyprianpetetmbonde6374
    @cyprianpetetmbonde6374 21 день тому +1

    💪🏿💪🏿💪🏿🙏

  • @kiluwashawilson1918
    @kiluwashawilson1918 20 днів тому

    Hii sio sawa Jamani watanzania tupaze sauti juu ya haki zetu ,serikali iangalie hili

  • @noelmbise9157
    @noelmbise9157 21 день тому +3

    😢😢huko simiyu watoto wanapotea

  • @silasmakweta3002
    @silasmakweta3002 20 днів тому

    Hongera sana mh. M.kiti wetu mbowe kwa ujasili wako Mungu akulinde na kukupigania.

  • @JonasMathias-s6m
    @JonasMathias-s6m 20 днів тому

    TUKISEMA huyu mama ni mzanzibar Hana huruma na watanganyika,mtasema sisi niwabaguzi hatutaki muungano,kinacho uma haongei kitu yupo kimya tu huku watoto wanapotea nchi NZIMA,vijana wanatekwa na kuuwawa

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 21 день тому

    Mungu akutunze

  • @PeterNMzee
    @PeterNMzee 15 днів тому

    Bado waibe, bado wateke watu tena watoto kabisa. Hawana hata haya

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 21 день тому +1

    Mmh
    ,mama tusaidie wanao.

  • @Anza_tz
    @Anza_tz 21 день тому +1

    Hao waliotekwa wote ni vijana wa chadema? Maana tuweni makini hili jambo lisiwekwe zaidi kisiasa itakua ni balaa lakini liwe kitaifa zaidi ,,japokua kwa ufahamu wangu police hatakama Kuna kitu wanakijua ni ngumu kusema wazi kwanini hayo yametokea...Mimi bado Nina shaka sana isije ikawa Kuna kikundi zaidi ya hiko chakina Mafwele , hili jambo linanipa mashaka sana na biashara ya viungo vya binadamu kwa kutumia vijana wenye historia mbaya ya kiharifu au viashiria vya kihalifu.

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 21 день тому

      Inavyoonekana Ccm hawajawahi kutekwa ila chadema na mtu mwingine anayehoji mambo makubwa ambayo serikali inafanya.

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi 20 днів тому

    Jaman jaman tunaumia namna hii mungu atawaona atawahukimu tu.

  • @mashakalukinda2350
    @mashakalukinda2350 21 день тому

    mweshimiwa hii Nchi nishida sana tusaidieni tutaisha ote kupotea wanyenge watabaki wanaotupoteza 2

  • @nebertmalevu2930
    @nebertmalevu2930 20 днів тому

    Ee Mungu tusaidie

  • @laizerstudio5790
    @laizerstudio5790 18 днів тому

    Hii hatua ndo ile Mungu alisema jisaidie na mm nikusaidie, Mungu hawezi akaacha mambo yake ya msingi mengi ya watu Bilioni 9 duniani kote 😂 aje atusaidie sisi mambumbumbu ambayo tumekaa tu , mimi kwakweli wajipange tu mana natembea na panga chini ya siti ya gari ukija kunikamata sijui kuniteka jipange niuwe kwanza ndo unikamate la sivyo... heeeee

  • @SalomeHaule-z7d
    @SalomeHaule-z7d 20 днів тому

    Sauti ya wengi nisauti ya mungu hakika taifa linaenda pabaya,nanikweli wanaupiga mwingi

  • @CLEMENTNDOLE
    @CLEMENTNDOLE 19 днів тому

    Mbona muda wote huu mlikuwa mmekaa kimya watu wanaendelea kuumia?

  • @nassoromajaliwa1506
    @nassoromajaliwa1506 20 днів тому

    Tulikofikia mungutusaidie

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g 20 днів тому

    Sijui tunaingozwa na idiamini. Kwa kweli nchi imeisha,

  • @MateoleviSanga
    @MateoleviSanga 20 днів тому

    Daah mungu akilinde mbowe

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 3 дні тому

    Kwanini Tanzania bara?