MWABUKUSI AMUWAKIA VIKALI MAKONDA, AIBUA UPYA SAKATA LA BANDARI"..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 153

  • @geofreysimpepo9945
    @geofreysimpepo9945 6 місяців тому +20

    ❤ mwabukusi ni hadhina yenye thamani kubwa Sana katika nchi hii,..👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

    • @hamisijuma8124
      @hamisijuma8124 6 місяців тому +2

      Huyu kichaa tu anatafuta ugali wake

    • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
      @SmilingFlowerBouquet-hs2hv Місяць тому

      Wewe ni hewa ukapimwe akili anacho kisema ni sahihi mbwa ww nenda shule​@@hamisijuma8124

    • @edwinamos9734
      @edwinamos9734 15 днів тому +1

      ​Kuma wewe hauna unacho jua elimu hata cheti cha form four hauna msenge slave mkubwa wewe.​@@hamisijuma8124

    • @fedianfredy2631
      @fedianfredy2631 13 днів тому

      ​@@hamisijuma8124 na ww nenda katafute ugali mjinga ww

    • @MlemaJacobo-v4b
      @MlemaJacobo-v4b 5 днів тому

      Weweunsemn nikichananialiogokamudaho

  • @migerajacob581
    @migerajacob581 6 місяців тому +11

    Tungepata watu 100, kama Mwapukusi nchi ingenyoka,, big up bro,, tupo nyuma yko,

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 5 місяців тому +1

      KUWA WA PILI BAADA YA MWABUKUSI, TATIZO LA WATANZANIA WEEENGI WANAFIKIRI HAWEZI KUWA YEYE ILA WENGINE 99 NA MH. MWABUKUSI WATAKUWA 100. NI KOSA KUFIKIRI HIVYO!!!

    • @JaneJennifer-zk7bk
      @JaneJennifer-zk7bk 5 місяців тому +1

      Bila katiba mpya tutakuwa tunapiga kelele tu ndugu yangu ,na ndiyo maana hawajali

  • @EbenezerMagari
    @EbenezerMagari 6 місяців тому +9

    Asante Mungu kwakutupa vichwa kama hawa

  • @jamesmassamakeri2418
    @jamesmassamakeri2418 6 місяців тому +13

    Mwanahabari soma kwanza ndo upate content za kuwahoji watu wenye uwezo Kama hao , hongera advocate

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 6 місяців тому +11

    Mwabukusi, ukigombea uraisi kupitia Chama chochote kura yangu nakupatia asubuhi na mapema

  • @chedijohn2270
    @chedijohn2270 6 місяців тому +4

    Mwabukusi safiii Mungu akuongezee hekima na,busara Amen.

  • @user-zk9fz2xi9z
    @user-zk9fz2xi9z 6 місяців тому +6

    Ubarikiwe Sana sana mungu akulinde kwa kukosoa nakuelimisha ccm yenye uelewa wa f darasan

  • @CollinceFrances
    @CollinceFrances 5 місяців тому +2

    Tunakuombea kaka Mwambukusi Mungu hakubari Ila Kua makini na hawa watu sio wazuri

  • @fabianmnyenyelwa8752
    @fabianmnyenyelwa8752 5 місяців тому +1

    Mwabukusi umesheheni madini, uko vizuri hakuna mwana-ccm anayeweza kupinga nondo zako. bigup bro nakukubali sana

  • @user-zr1jf1gb4m
    @user-zr1jf1gb4m 6 місяців тому +15

    Mh Mwambukusi kweli ni mwalimu mvumilivu. Anavumilia kuwafundisha mazuzu

    • @hamisijuma8124
      @hamisijuma8124 6 місяців тому +1

      Anatafuta Kiki

    • @DicksonIgnas-pq1rj
      @DicksonIgnas-pq1rj 5 місяців тому

      ​@@hamisijuma8124ndivyo Machawa ndivyo mnavyo sema

    • @samsonkatigiri2344
      @samsonkatigiri2344 Місяць тому +1

      Hamis Juma gani wewe mpuuzi,tafuta jina lingine la kipuuzi kama wewe ulivyo,achana na hilo jina zuri

    • @fedianfredy2631
      @fedianfredy2631 13 днів тому

      ​@@hamisijuma8124 Nenda katafute na ww afu Umetumwa et mavi ww

  • @hanscmakerdm9943
    @hanscmakerdm9943 6 місяців тому +15

    Muandishi hana anachokijua😅

  • @user-le7ek2zs4t
    @user-le7ek2zs4t Місяць тому

    Thank you Jesus for this guy (Mr Mwabukusi)

  • @sixberthcostantini9290
    @sixberthcostantini9290 6 місяців тому +5

    Kweli kiongoz ongea ukweli Mungu akulinde

  • @user-zk9ox3di4b
    @user-zk9ox3di4b 6 місяців тому +3

    Amkeni watanganyika msidanganywe na wajanja CCM iwe mwisho wake kutawala Tanganyika asante sana mdogo wa mwabukusi

  • @user-gu1fu2ud9j
    @user-gu1fu2ud9j 6 місяців тому +3

    Honger sana mwambukusi kutaja ngorongor

  • @ukululegeorge9309
    @ukululegeorge9309 5 місяців тому +1

    mwabukus yuko sahihi,na Mungu amzidishie uhai kwa faida ya watanzaia.

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 6 місяців тому +8

    Mwabukusi Hongera kuitetea Tanganyika,

  • @yohanaisayasimoni
    @yohanaisayasimoni 6 місяців тому +4

    Waziri ajae mwambukusi huyu ni azina ya nchi

  • @tegoswadakta8996
    @tegoswadakta8996 6 місяців тому +1

    Asante kwa shule Mwabukusi, asante baba

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 6 місяців тому +1

    HAKUNA kipande cha Ardhi na Rasilimali za Watanganyika zitakazouzwa kwa watu weupe, milele Amina

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz 6 місяців тому +6

    Bro uko poa sana chadema mnawatoa wapi hawa watu wasomi hivi sio vilaza akili zao hazijalala

  • @user-jj7qv7kh2s
    @user-jj7qv7kh2s 6 місяців тому +4

    Mimi nakukubali Sana mzalendo wa kweli

  • @airlights
    @airlights 9 днів тому

    Mwandishi hayupo comfortable kabisa..... Mwabukusi abadilishiwe mwandishi hapo.

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 2 місяці тому

    Mhesimiwa mungu akubariki yeyote atakayeinuka kinyume yako awe adui wa mungu na hao wanaonguka Raisi wetu na kumfanya chukizo kwa wanamchi mu ngu awaaibishe watahayarishwe. Wafedheheshwe

  • @evansdecaprio8196
    @evansdecaprio8196 6 місяців тому +6

    Tanganyika inawatu wa maana sana

  • @RutinikiGosbert
    @RutinikiGosbert 6 місяців тому +4

    Mr. Mwambukusi huyo naye achana naye hana jipya kama hajui ata tamko la maaskofu ni wapi uyo

  • @reginas1832
    @reginas1832 6 місяців тому +4

    Bandari haiuzwiiii
    Asante sana Mh. Mwabukusi

  • @siwaleshadrick41
    @siwaleshadrick41 13 днів тому

    We Mungu mwenye haki mlinde mtumishi wako huyu.

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 6 місяців тому +2

    JAMBO TV hapa mmeingia sehemu siyo 😂😂 huyu siyo Tundu Lissu ambaye mnajitahidi kumtoa kwenye point zake kwa makelele yenu. Huyu mwamba akishimika kashimika kweli😂

  • @ezronhussen5401
    @ezronhussen5401 6 місяців тому +7

    Ccm mbona wana jinufaisha wao tyu

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 15 днів тому

    Kwa hizi nondo zinazotolewa hapa aje na mh lisu,ccm wakisikia hizi nondo hawawezi kuiachia dora iende na upinzani hata kwa mawe.ila ipo siku ccm itakuja kuaibika vibaya sana

  • @AsasAllykwasalafivitavyamasaha
    @AsasAllykwasalafivitavyamasaha 27 днів тому

    Watu kama hawa wangetakiwa kuwa hazina ya nchi.Lakini hawaeleweki wakianza kueneza chuki za kisisa,kidini na kimajimbo.Anaangalia vipi anaweza kunyanyua hisia za wana nchi na kupandikiza chuki dhidi ya serikali yao.Watanzania tujue hawa wanajitengezea mazingira kuishi ulaya wakati wamesha chafua nchi.Sisi hatuna pakwenda.Tutaingia katika mkumbo wa kutafuta ukimbizi kwa nguvu ulaya.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 6 місяців тому +2

    Wakili msomi Mwabukusi umetisha,kina Lisu mnazaliwa kila siku,safari hii lazima waaibike kwa kukataa kuchutama badala yake wanaamua kukaa kimya nchi ccm ifie mikononi mwao!

  • @beatricefilbert1171
    @beatricefilbert1171 6 місяців тому

    Mungu akuweke

  • @JumaMbaga-sd5yi
    @JumaMbaga-sd5yi 2 місяці тому

    Huyu jamaa anaakili nyingi sanaaaasas na anakuja kwelikweli sio mxaha

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 6 місяців тому +2

    YAANI HATA SIS TUTAKUFA KAMA WIMBO USEMAO TAZAMA RAMANI UTAONA NCHI NZURI NA MWISHO UNASEMA TANZANIA UNILINDE HATA KUFA😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 6 місяців тому +5

    Mwabukusi nakuheshimu kwa kut upatia elimu

  • @JaneJennifer-zk7bk
    @JaneJennifer-zk7bk 5 місяців тому

    Wakati mnapambana bandar zetu zirudi, msisahau kupambana pia ili kupata katiba mpya ambayo italinda raslimali za taifa letu,tusikubaliane kabisa na huu usanii wa hawa wanasiasa wanasema watanzania wanataka katiba mpya mdomoni huku wakijua hawawezi kukubali kwa vitendo maana wanajua uhalifu wanaofanya kinachowalinda ni katiba

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 6 місяців тому +3

    NDIO MAANA TUNAJIUNGA KTK MAANDAMANO KUIKOMBOA TANGANYIKA

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 13 днів тому

    Hata mkutano mkuu havijawahi kufanya😅😅😅😅

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 6 місяців тому +1

    Mwabukusi❤❤❤

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 6 місяців тому +2

    Hawa waandishi wa habari wa siku hizi kaazi kweli kweli!!

  • @KINASAITALABASH-pc8ld
    @KINASAITALABASH-pc8ld Місяць тому

    Kuhusu makonda anacho fana mm sikipngi kwakua wote anao watetea wote tayar wameptia mahakaman lakn hawajafanikiwa kutatuliwa shida zao.

  • @JosephHaule-yg1cf
    @JosephHaule-yg1cf Місяць тому

    Mwenyekiti kavaayeboyebo

  • @jesaminzo
    @jesaminzo 6 місяців тому +3

    Kweli kabisa. Yeyote anayeamini kuwa statement ya Bashite ni ndogo, lazima tuwe na wasiwasi na IQ yake

  • @Ally-ts5gk
    @Ally-ts5gk 5 місяців тому

    Hamna lolote hapo hajapewa mkwanja tu huyo mpeni chase huyo anyamaze wabongo kwa pesa ni noma mikwara tu hiyo jamani tutaona mwisho wake tuombe uhai na uzima tu kwa muumba wetu

  • @Sehewa_Edward_Mohamed
    @Sehewa_Edward_Mohamed 5 місяців тому +1

    Kuelewa ni ngumu Sana. Watu wanataka kanga na chakula tu. Ila huyu mtu ni mwamba

  • @AmaniLukumay-wk6zm
    @AmaniLukumay-wk6zm 2 місяці тому

    Jitahidi baba juu ya bandari zetu na vawanja vya ndege

  • @AmosNabiiAmos
    @AmosNabiiAmos 5 місяців тому

    Asante

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 5 місяців тому

    Nchi hii ni inataka watu kama hawa Vivaaa Mwabukusi

  • @user-fz3bk6vw2b
    @user-fz3bk6vw2b 6 місяців тому +1

    Nakukunal asant

  • @bahatibatho2393
    @bahatibatho2393 28 днів тому

    Sema baba tusaidie tinanyongwa

  • @JeremiahMwalukosya-eh5nf
    @JeremiahMwalukosya-eh5nf 6 місяців тому +1

    Kaka mwambukusi ila makonda ndo umechemka sana tena pakubwa Kuna mahakama ya haki Tanzania hio nisiasa sasa mahakama ya Tanzania niyakihuni sana

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 5 місяців тому +1

    Mitandaoni Kuna raha Kweli

  • @user-vv4wo5fu9t
    @user-vv4wo5fu9t 28 днів тому

    NDIO BABA MABUKUSSI UNAYOSEMA NI UKWELI MTUPU SELEKALI YA CCM MAJIZI MNOO NA MAFISADI WANAJINUFAISHA WAO NA WATULETEA UTAWALA WA KIFALUME ....

  • @bishoppaulomacha
    @bishoppaulomacha 3 дні тому

    MAOMBOLEZO 5:-1-5 Ee Bwana kumbuka na Kuiona Aibu yetu,Urithi wetu

  • @user-ou8dt7yr7m
    @user-ou8dt7yr7m 2 дні тому

    Kim

  • @EzekielChalomhola
    @EzekielChalomhola Місяць тому

    Kwa kweli kama wanasheria white mungeungana kabisa kwa dhati kutoka pande zote za nchi yetu mukaongoza wananchi katika haya mapambano nchi yetu serikali ya CCM ingeshika adabu na isingekua madarakani

  • @Zanijasy-hy7vm
    @Zanijasy-hy7vm 5 місяців тому

    Mwabukusi Nyerere II WA Tanganyika

  • @rahabufilangali-cp6br
    @rahabufilangali-cp6br 6 місяців тому +3

    Shetani hawezi kufukuza pepo

  • @OmyGizo
    @OmyGizo 5 місяців тому

    Kweli mkubwa tupo sokoni iktambo bila nyororo

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn 6 місяців тому +2

    Shida ni kwamba nchi hii inamazuzu

  • @PatrickKalinga-yw6kl
    @PatrickKalinga-yw6kl 5 місяців тому

    🙏🙏🙏

  • @GABRIELGAVU-vf7cn
    @GABRIELGAVU-vf7cn Місяць тому

    AIBU KUBWA KWA SELIKARI Katika Hali ya kawaida nchi yetu inaongozwa na selikari iliyowekwa na chama cha mapinduzi. Selikari ina mifumo na taratibu za kuongoza nchi kuanzia tarifa Hadi ngazi ya kitongiji na idara zake. Katika mifumo hiyo, kero za wananchi huwasilishwa na kazi za kiutawala hufanyika. Ziara ya katibu mwenezi kuzunguka na kukusanya shida za raia wake ni kuianika selikari yake na kuiambia Dunia kuwa selikari iliyowekwa na chama chake imeshindwa kutimiza haki na kushindwa kutatua kero za raia. Pia katibu anajulisha kuwa chama chake kimeshindwa kwa sababu kimeiweka selikari legelege ambayo haiwezi kazi AIBU Hapo ni nani anaye Anika hadhari udhaifu wa selikari Kama siyo chama kilichoiweka hiyo selikari? Dunia inaisoma selikari yetu vipi?'BADO TUNA SAFARI NDEFU.!!

  • @mariamusaulo4429
    @mariamusaulo4429 6 місяців тому +2

    Mwandishi hatoshi kumhoji huyoo Baba

  • @user-yk2ey6xu9g
    @user-yk2ey6xu9g 5 місяців тому

    Mwambukusi anahekima saana anaongea hata nawatu wasio na akiri levo zake dr slaa lisu sami mbowe lema labda

  • @BaboTzani
    @BaboTzani 11 днів тому

    Sio kama anapinga serekali kitu kibaya kuuza...lasilimari...za Tanganyika...bona umekua unakichwa kingumu wewe mpuzi nn

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko Місяць тому

    Una hakili nyingi

  • @user-mu9uf5le6j
    @user-mu9uf5le6j Місяць тому

    Sheria aileti haki ona fukinafaso ibrahim traole atumii sheria kuleta haki

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 6 місяців тому +1

    Tanzania kumbe imejaa mapumba kweli ! Hamna nchi yeyote ulimwenguni eti mkuu wa mkoa ndie hakimu na wakili kwa masuala ya kisheria ! Upuzi mtupu.

  • @success-only
    @success-only 6 місяців тому +3

    😂😂😂
    IQ ya makonda ni ndogo
    Uko sawa wakili mwabukusi

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 6 місяців тому +1

    Duh safari bado kumbe mbichi hii

  • @GABRIELGAVU-vf7cn
    @GABRIELGAVU-vf7cn Місяць тому

    Huyu mwanahabari hajaiva kuhoji mazungumzo mgumu bado

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 5 місяців тому

    Ndugu mtangazaji huwe inajiaandaa kabla hujaenda kumuoji mtu kwanza fanya utafiti soma vitabu fukunua ndo saaa ujue kuuliza maswali, saaa wewe unaendatu kila swali ukiuliza huna utafiti,

  • @mbungemilanzi8149
    @mbungemilanzi8149 6 місяців тому +1

    Wambieni ukweli hao makafili waache wizi watende haki dunia niya munngu hii wala siyao

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 6 місяців тому +2

    Bungeni yupo msukuma na lusinde msiba mkubwa

  • @bmdele5816
    @bmdele5816 6 місяців тому

    Mwandishi huyo kiazi kabisa,
    Ajibu kwanza kwa sauti Dubai ni nchi!😊

  • @VailettyShigerla-fw2sg
    @VailettyShigerla-fw2sg 6 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jovitherkaijage614
    @jovitherkaijage614 6 місяців тому

    Mama Tibaijuka ni ccm, lakini amepinga IGA, wanasheria kama Dr. Nshala wamepinga Hiyo ni nyongeza Kwa wataka wa RC Nk

  • @user-mu9uf5le6j
    @user-mu9uf5le6j Місяць тому

    Makonda nizaidi ya mwabukusi

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 6 місяців тому

    Wenye Hekima na Busara kama hawa wanaishi mtaani, ILA wenye kichwa cha mwendawazimu ndo wamekalia VITI, very SAD

  • @shmohd11
    @shmohd11 6 місяців тому +1

    Meabukusi usipotoshe. Weee unajua nchi mbali mbali duniani zilizo ktk Famme kama Uingereza, Dubai, Kuwa a sovereign State siyo jambo pekee linalongatiwa ktk kuingia mikataba kati ya sehemu ya Dola na nchi ya nje. Does Ireland, as part of United Kingdom, forbidden to enter into agreements with other nations? Je katiba ya UAE haona vifungu, Exclusivity Clauses, zinazoruhusu Emirates kuingia mikataba na nchi za nje? ACHA KUDANGANYA WATU

    • @lazaromshamu3521
      @lazaromshamu3521 6 місяців тому +1

      ndugu ulifuatilia hukumu ta mahakamani lakini..? kasikilize majaji walitamka nn kuhusu hao dubai

  • @RwegoshoraPatt-os2ik
    @RwegoshoraPatt-os2ik 5 місяців тому

    Mwamba nakukubali kujitoa muhanga......lazima tu wakunyamazize...hatujui njia ipi itatumika ...😢

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Місяць тому

    Huyu Rais amesoma shule gan? Tuwapeleke wasomi wote bungeni wajue Sheria za kuwatetea wananchi wao ili waache kugonga meza. Ovyo ovyo bila sababu ya maana

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 6 місяців тому +2

    UKITAFUTA UMARUFU MTAJE KIONGOZI MKUBWA, NDIO ANALOLIFANYA (MWAMBUKUSI)

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 6 місяців тому

    Weweee, kwani hujui kwamba vyombo vya dola vyooote viko mikononi mwa mkulima wa mboga mboga?

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 5 місяців тому

    Ww rofa mjinga bwege unamsema makonda unakili kweli ww

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 6 місяців тому

    Mwandishi weeeeeee😂😂😂

  • @CaftyLema
    @CaftyLema 5 місяців тому

    Hàpo umesema kamanda

  • @mussamuna900
    @mussamuna900 5 місяців тому

    huyu mwandishi hajui amekutana na mtu wa namna gani

  • @AsteriaMasika-st5pk
    @AsteriaMasika-st5pk 5 місяців тому

    Jamaa naakili za ajabu, duuh

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 6 місяців тому +1

    Wacheni urongo wenu, huo ni mtazamo wako...alisema kutokana na hali ya mwananchi wa kawaida hawezi kupambana mahakamani ukiwa huna pesa kwhy ni bora tatizo litatuliwe live 😊

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 6 місяців тому +1

      Mjinga hujui na Wala husikilizi ukaelewa!

    • @bravofundikila965
      @bravofundikila965 6 місяців тому +1

      Rafiki yangu huna uelewa mbona mwambukusi yuko wazi sana.

    • @mbwanahasan2971
      @mbwanahasan2971 6 місяців тому +1

      Zwaxwa mmoja hujielewi Bora ukae kimya

    • @maryamabdallah3140
      @maryamabdallah3140 6 місяців тому

      @@salummohamed2689 wao kipi wanafanyia wananchi...wananchi wako ktk madhila makubwa ya matatizo... Unadhani huyo mwanasheria yuko tayari kasimamia kesi za walalahoi??? Use yr brain sio mnafanya ushabiki usio na maana.

    • @maryamabdallah3140
      @maryamabdallah3140 6 місяців тому

      @@bravofundikila965 bravo, hujafikwa na shida... Ngoja upatikane na shida utajua hakunaga mwabukus wa Bure kuja kukutetea Bora ya huyo mtatuzi wa shida za watu live, japo mnahisi ni maigizo

  • @ellyburton6862
    @ellyburton6862 6 місяців тому

    Mwandishi na wew kiwango chako ni kidogo mno hujui nn hapo

  • @Rich_lodrickLodrick_mollel
    @Rich_lodrickLodrick_mollel 6 місяців тому +1

    U

  • @josephandrea
    @josephandrea 5 місяців тому

    Mwambukusi usiache kugombea ngazi ya Rais mambo yanyooke unaitetea sana rasilimali za Tanzania

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 5 місяців тому

    UFISADI NI MATOKEO YA UTAWALA WA CCM

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 6 місяців тому +1

    TUAITETETEA NCHI YETU KWA GHARAMA YOYOTE HATA KUFA KATIBA INATUTAKA

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 6 місяців тому

    Jamani mwandishi ulijua unakuja kumhoji nani, au umepewa taarifa ya kushtukiza?

  • @user-lw3tg3yg5b
    @user-lw3tg3yg5b 6 місяців тому

    Huyo mwandishi wa Habari naye hajui kitu na siyo mzalendo

  • @sultansallah8772
    @sultansallah8772 4 місяці тому

    Tanganyika upi.