KAMANDA MULIRO: USO KWA USO NA SALIM KIKEKE/ KUTEKWA/ DAR IPO SALAMA/ AJIBU KUHUSU UTEKWAJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 465

  • @officialsuccesschannel
    @officialsuccesschannel 4 місяці тому +25

    Kikeke umekuja kuleta competition kubwa sana kwa vyombo vingine vya habari congratulation kaka god bless you

  • @kelvinmwenda1013
    @kelvinmwenda1013 5 місяців тому +24

    Muliro anakwepa maswali anajibu ki Tz zaidi mjanja mjanja huyu.. Sema Kikeke kajitahidi sana 💪💪 😊😊

  • @awemaqway1201
    @awemaqway1201 6 місяців тому +32

    Tunahitaji kuiona crown tv katik dstv azam pamoja na startimes🎉🎉

  • @ShekySwai
    @ShekySwai 3 місяці тому +4

    Mnaikubali sanaaa crown na bosi wake kiba pamoja na watangazaji wake wote mungu awabariki sana

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 3 місяці тому +10

    Mh. Kikeke umeuliza maswali yenye uhakika na yaliyo shiba hoja, nimekukubali sana Kikeke wewe ni Mwana habari. Asante Kikeke, maswali mengi na majibu hayapo.

  • @MO12-b1q
    @MO12-b1q 5 місяців тому +33

    Salim kikeke Anaipeleka CROWN NAMBA MOJA 1

    • @jawanfood-o7j
      @jawanfood-o7j 3 місяці тому

      Napenda crown tv king kiba namba moja afirika❤

  • @ValentineFrisch
    @ValentineFrisch 3 місяці тому +2

    Nyumbani ni nyumbani hongera Sana kaka kikeke kwa ujasiri wa maswali mazuri

  • @MichaelMwamanda
    @MichaelMwamanda 3 місяці тому +17

    Sina uhakika kama Kuna police anaweza kufika mbinguni kwamajibu haya🙌🙌🙌

  • @johnlx1274
    @johnlx1274 4 місяці тому +7

    Kikeke is the best maswali yapo Very straightforward

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 5 місяців тому +2

    Mko juu kazi imeanza vyema kabisa,Allah awaongoze muendelee kupasuwa anga

  • @kassimshaka2722
    @kassimshaka2722 5 місяців тому +2

    Mtangazaji mahiri vs Mwanasiasa wa polisi...this is Tz

  • @DenisTarimo-bf4zq
    @DenisTarimo-bf4zq 5 місяців тому +11

    Kikeke upo vzr sana umebobea kwenye skta ya hbr mkuu

  • @erickjbs4305
    @erickjbs4305 3 місяці тому +2

    Asante kwa majibu mazuri Kamana Muliro

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 6 місяців тому +4

    hongereni crown media

  • @BeatriceBandio-qo6yp
    @BeatriceBandio-qo6yp 3 місяці тому +4

    Crown namba moja sana tunaomba majibu jamani

  • @obedmasaki3565
    @obedmasaki3565 3 місяці тому +5

    Kwa nafasi yake Mh. Muliro yupo vizuri kuliko maelezo.

  • @allymohamedclaud7626
    @allymohamedclaud7626 5 місяців тому +4

    Kamanda muliro yupo sawa kabisaaaa

    • @mudibanga7461
      @mudibanga7461 3 місяці тому

      uyu kamanda mjanja sana kwenye kujibu maswali leo salim kakutana na mjanja mwenzie

  • @GodloveMtewele
    @GodloveMtewele 3 місяці тому

    Mungu ibariki tz amina

  • @ShabaniDumana
    @ShabaniDumana 3 місяці тому +2

    Uko vzr kamanda wetu

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 6 місяців тому +4

    Kikeke ndo mwanahar bora tanzania na africa sio wengne machawa❤

  • @heronimomsefya3190
    @heronimomsefya3190 5 місяців тому +1

    Kamanda yuko sahihi, mara nyingi ni matatizo ya kifamilia kisha wanalitupia lawama Mamlaka husika hususan Jeshi La Polisi. Kudos kamanda Muliro🎉🎉

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 3 місяці тому

      Uko vzr kwa kuangalia upande mwingine wa shiling

    • @philimonndinadyo2120
      @philimonndinadyo2120 3 місяці тому

      Acha upumbavu kwani matatizo ya kijamii haiwahusu polisi

  • @Felister-d4r
    @Felister-d4r 6 місяців тому +4

    Asante kikeke hiki ni kipindi bors.
    Na kanda maluum amenibu kwa mujibu wa kazi yake

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman 3 місяці тому +4

    MM SIWALEW KABISA ND MAJIBU YAO HAYO HAYO KAMA RAIS SAMIA NA YEYE ALIULIZWA MASWAL NA KIKEKE ALIULIZWA WANANCH WANATAK KATIBA MPYA YEYE AKAWA ANAMJIB SALIM KIKEKE ET WALIKWAMBIA WW DAAH ALAF NDO RAIS HUYO

  • @SeverinMagwaya
    @SeverinMagwaya 3 місяці тому +1

    polisi ni polisi! news has many angels to be covered!! 5 and more of them.

  • @luqmanomary3558
    @luqmanomary3558 5 місяців тому +10

    Oyaa muriloo kapaaaniikiii sema anajikaza sana

  • @eliasmakoye3939
    @eliasmakoye3939 5 місяців тому +2

    Kamanda Murillo yuko vizuri isipokuwa watanzania tunateswa na siasa na wanasiasa

  • @VICTORMBWIGA
    @VICTORMBWIGA 3 місяці тому +3

    Nakukubali xana mwandishi bora kabixa salim kikeke

  • @SamwelSamwel-d8u
    @SamwelSamwel-d8u 3 місяці тому +4

    Mwizi asemi nimeiba

  • @ErastoMoses-r6i
    @ErastoMoses-r6i 6 місяців тому +2

    Nakubali sana

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤kamanda Mulillo point

  • @Mwamba-hc1jy
    @Mwamba-hc1jy 5 місяців тому +3

    Kamanda katulia hadi raha!!

  • @chotachammy6940
    @chotachammy6940 3 місяці тому

    keep it up bro salim
    Ila kaz ipo kwakwel

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 6 місяців тому +15

    BBC Kwisha habari yao tumerudi nyumbani

  • @JacksonTemba
    @JacksonTemba 5 місяців тому +2

    Kamanda yupo makini sanaa, hana papara kwenye kujibu,

  • @dicksonmwano9822
    @dicksonmwano9822 5 місяців тому +4

    Interview makini sana both team to score😊

  • @J约瑟夫·阿德森
    @J约瑟夫·阿德森 3 місяці тому +2

    Hapoo kamanda kama kuna Ukwelii Faln

  • @PeterAlphonc
    @PeterAlphonc 3 місяці тому +1

    Jamani Nauza Kondom za mtumba karibuni sana wateja

  • @MohdHamad-zr8ll
    @MohdHamad-zr8ll 3 місяці тому

    Ahaaa kumbeee

  • @stn4873
    @stn4873 6 місяців тому +5

    KAMANDA WA POLISI WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM...KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA JESHI LA POLISI MULIRO JUMANNE MULIRO 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga 6 місяців тому +5

    Hawezi kusema ukweli

  • @edgarjoseph5573
    @edgarjoseph5573 3 місяці тому +1

    Hawa jamaa ndio maana wakistaafu wanaishia pabaya, Hii kazi Sitaki mwanangu awe police Aisee

  • @hajimkilikiti
    @hajimkilikiti 6 місяців тому +13

    Kaka kazi nzuli mzee sn kiba ajafanya kosa kukusaini unabaya uyo umemkaba kwenye kooo

    • @justinjasson7070
      @justinjasson7070 3 місяці тому

      Kiba hawezi kumwajili huyu, hiyo media ni yake

  • @CosmicWorld2024
    @CosmicWorld2024 5 місяців тому +2

    Muliro yupo vizuri sana, nimependa namna anavyojibu. Very professional

  • @dannymtenzi
    @dannymtenzi 3 місяці тому

    hongela kaka kikeke uko sawa sana

  • @goodluckmbazi
    @goodluckmbazi 5 місяців тому +5

    Yan mwananchi hana haki kabisa katika nchi yake 😢😢

  • @ChidAlly
    @ChidAlly 6 місяців тому +13

    Safi san salim kikeke kujuwa kusimama ktk maswali na kutaka wana nchi tujiwe 😂

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 6 місяців тому +6

    WANASHERIA BWANA:
    RES GESTAE
    The common law doctrine only admits evidence which, if not absolutely contemporaneous with the action or event in issue, must at least be so closely associated with it in point of time, place and circumstance, as to be part of the thing being done. “Facts which, though not in issue, are so connected with a fact in issue as to form part of the same transaction are relevant, whether they occurred at the same time and place or at different times and places”.
    ***
    Wanasheria kwa herini.

  • @felicianmapunda856
    @felicianmapunda856 3 місяці тому +2

    Muliro balaaa anapangua maswali ya kikeke kisomi

  • @AlyPidas
    @AlyPidas 5 місяців тому

    Kamanda uko sawa

  • @AyoubPapiy
    @AyoubPapiy 3 місяці тому +2

    Muliro good answers 😂😂😂😂😂

  • @MaghobaGeorge-lq4yg
    @MaghobaGeorge-lq4yg 6 місяців тому +4

    Elewa neno tunalipokea na tunalifanyia uchunguzi mbona mbishi kikeke?

  • @Alute-son2003
    @Alute-son2003 5 місяців тому

    Habari ya kiuchuguzi 👏👏👏

  • @emilioadremaneadremane2706
    @emilioadremaneadremane2706 6 місяців тому +5

    Muito bom trabalho

  • @immaknight4414
    @immaknight4414 3 місяці тому +1

    IPO SIKU IMAN ITARUDI KWENU FANYEN KAZI AFANDEE❤

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 3 місяці тому

    Hongela sana kikeke
    Kama mwanaichi nimekupata🙏✔️

  • @AbirahIssa
    @AbirahIssa 3 місяці тому

    Kikeke mwamba💪💪

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 5 місяців тому +1

    If you're not curious it's true that you can not understand what is meant. Have a beautiful flower Mr. Kikeke.

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 6 місяців тому +3

    Shikamoo kamanda Muliro🤝

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 5 місяців тому +7

    Maswali ya msingi lakini majibu ya ujanja ujanja tuu.

  • @Bambagatz
    @Bambagatz 6 місяців тому +14

    ila Kamanda Murillo
    amejibu Kikamanda sana
    maswali ya Kikeke ni ya Mtego sana😂😂😂😂

  • @LameckZakaria-qg9vv
    @LameckZakaria-qg9vv 6 місяців тому +3

    Crown atari

  • @ArafatimussaSaidy
    @ArafatimussaSaidy 3 місяці тому

    Huyu mulilo si afisa wa Polisi bali ni mwanasiasa anayakwepa sana maswali ya msingi ya mulilo

  • @patrickkimathkimath6992
    @patrickkimathkimath6992 6 місяців тому +4

    uongozi ni mgumu jamaniiii😢😢😢

  • @abdulmsuya8542
    @abdulmsuya8542 3 місяці тому

    😮duuu, maswali !!!

  • @bazilmateru915
    @bazilmateru915 6 місяців тому +18

    Kwanini watu wanatekwa ? Mtu akivunja sheria inabid awe arrested siyo kutekwa . Hujajibu swali

  • @LamsonMalenga
    @LamsonMalenga 3 місяці тому

    Uyu kamanda kuma la mama ake

  • @mwanakitenge
    @mwanakitenge 6 місяців тому +10

    Polic hatumuelewi kabisa na majibu yake ila siwezi kuongea mengi kinga yangu ndodo

    • @shaurimtanda8285
      @shaurimtanda8285 5 місяців тому +1

      utamuelewaje na wakati umevaa Dela la Bonyokwa

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 5 місяців тому

      😂😂😂 Hana mwanasheria.​@@shaurimtanda8285

  • @AbdallahYanga
    @AbdallahYanga 3 місяці тому

    Kikeke upo vzr muro safi anajua alifanyalo

  • @natressvayinga518
    @natressvayinga518 3 місяці тому +2

    Kikeke, if you are good at reading facial and vocal book, Laazima umeelewa kitu Toka Kwa Kamanda Wetu.

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 3 місяці тому

    Kikeke nakupa hongera sana

  • @majidabas3843
    @majidabas3843 3 місяці тому

    JUMANNE MURIRO MWANZA TUMEKUMISI SANA ULITUMIKIA VYEMA SANA ULIPO KUWA MWANZA. BASI TUU KUHAMISHWA HAMISHWA NALO NITATIZO. ALLAH AKUJAALIE JAPO UPEWE RANK YA U IGP

  • @lucasgogo6569
    @lucasgogo6569 3 місяці тому +1

    Kamanda nimekukubali mkuu

  • @Traveller_-zl9zm
    @Traveller_-zl9zm 6 місяців тому +1

    One of the best interview

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 3 місяці тому +1

    Jeshi linataraptibu zake raiaaaaaa jamani

  • @davieswillson9782
    @davieswillson9782 3 місяці тому

    Kikeke anafaa sana tofauti na yule mwingine chawa mkubwa

  • @eliufoomgonja8507
    @eliufoomgonja8507 3 місяці тому +1

    Sio sawa mtu anatekwa toka nyumbani kwako usiseme kitu,inachekesha sanaaa

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 3 місяці тому +2

    Habari za uzushi na za ukweli ziundiwe tume.maana kuna za kutekwa na kujiteka

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 3 місяці тому +1

    Huyu kamanda bana 😂

  • @ZainbAbubakary
    @ZainbAbubakary 6 місяців тому +10

    Kwa mwenye akili timamu keshapata jibu kama kuna kitu gani kinaendelea kamanda anakwepa maswali sana Dar kila siku watu wanalia vijana wao wanatekwa nahawapati majibu yupo mtoto mdogo wa miaka Minne kasoro namdada wa kazi hadi leo hawajulikani alipo mtuhumiwa yupo polisi lakini polisi hawamuhoji mtuhumiwa watoto wako wapi halafu mnasema tupo salama

  • @frenkfarm1139
    @frenkfarm1139 6 місяців тому +5

    Tanzania ipo salama kabisa 😢mama acha apinge kazi nakazi iendeleee 😅

  • @HAIPPA_PLC
    @HAIPPA_PLC 3 місяці тому +2

    Hapa tunasema Game lipo Nusu Kwa Nusu. Gwiji wa Masuala ya Habari amekutana na Gwiji wa Masuala ya Upelelezi.

  • @YusuphuMakange
    @YusuphuMakange 5 місяців тому +2

    Safi sana

  • @erickmrema294
    @erickmrema294 День тому

    Bwana afande kawa mkali kidogo 😅😅

  • @AsiaMsenga
    @AsiaMsenga 3 місяці тому

    Mtume muhamnad,alitakwa kutekwa ila wakakimbila pangoni, mungu akawanusuru,

  • @seleshaban48
    @seleshaban48 6 місяців тому +2

    Ila kikeke.. We ni mchokozi

  • @JninjaH2R
    @JninjaH2R 6 місяців тому +1

    Ameulizwa vingine anajibu vingine 😂😂😂😂😂 0:44

    • @Hassan-ot1mc
      @Hassan-ot1mc 6 місяців тому

      Upo makini kama mimi kaulizwa swali anajibu uzembe huyu mzee

    • @soundstv4006
      @soundstv4006 6 місяців тому

      Ofisa kama amepanic hivi 😂😂😂

    • @salumntulo1589
      @salumntulo1589 3 місяці тому

      Yeye uchunguzi wote kauachia katavi

  • @Bongoonly1
    @Bongoonly1 6 місяців тому +2

    Ila Kamanda 😂😂😂🙌

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 6 місяців тому +6

    Safı sana Kikeke 🙏

  • @PaschalGerad-xq4lw
    @PaschalGerad-xq4lw 6 місяців тому +3

    Kasiri la kikeke tulikumis hom boy endelea kuzidisha ubunifu crown ninyumbani

  • @eplace3428
    @eplace3428 6 місяців тому +5

    Kikeke🙌

  • @DaudJilala-b6b
    @DaudJilala-b6b 2 місяці тому

    Ndio maana maisha ye nu yanakua mabaya mkisitafu

  • @georgekazaula3123
    @georgekazaula3123 3 місяці тому +2

    Eneo lipo salama ila element za uarifu zipo.kuwa salama haiondoi watu wabaya kuvunja sheria

  • @chotachammy6940
    @chotachammy6940 3 місяці тому

    Siasa tu kila kona siasa siasa tu

  • @michaelkessy5740
    @michaelkessy5740 6 місяців тому +8

    Mr Salim Kikeke hapa kama umepunguza speed ya maswali na kurudi nyuma kidogo.
    Notes: Umetuondolea utamu wa kikao Cha maojiano.
    Kwenye kikao tunataka, Maswali magumu, Kujua uwezo wa VIONGOZI kufikiria.
    Next time kwenye kikao, Speed 120.
    #HonMichaelDeusdedityKessy.

  • @HolloJuma
    @HolloJuma 3 місяці тому +1

    Kikeke hawezi kukupa jibu sahihi kwasa wananchi niwaelewa Sana

  • @FlodanBetore
    @FlodanBetore 3 місяці тому

    Jibu swali,kwann utekaji unatokea ktk Kanda yko?unatoa maelezo tofauti

  • @ChristinaWengae-ps5jr
    @ChristinaWengae-ps5jr 3 місяці тому

    Kikeke mung akulinde maswali mazuri sana

  • @CalvinBeatus-l2e
    @CalvinBeatus-l2e 5 місяців тому +2

    Muliro anakwepa msenge sana..

    • @carlosmizambwa8790
      @carlosmizambwa8790 4 місяці тому

      Kaka una hatari serikali io

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 3 місяці тому

      Shida ya watu wengine ni kutokuwa na uelewa wa kutosha kwa hiyo wanarukia kutukana matusi tu.

  • @bakariyusuph-uf7nc
    @bakariyusuph-uf7nc 6 місяців тому +6

    Kamanda mtulivu Sana

  • @chande2k250
    @chande2k250 6 місяців тому +4

    😂😂 kamanda muliro anakwepa swali issue Kuwa kijana katekwa dar es salaam na kuwekwa kitho cha police oysterbay jibu swali Hilo