Deusdedith Soka: Haijalishi Watatutesa Kiasi Gani ni Lazima Tuipiganie Nchi Yetu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Mwanaharakati, Deusdedith Soka, siku kadhaa kabla ya kuripotiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana alifanya mahojiano na The Chanzo na kusema kuwa amekuwa akikumbana na vitisho mbalimbali vya kutaka kumdhuru ili kuirudisha nyuma nia yake ya kupambania demokrasia nchini lakini suala hilo halitamrudisha nyuma kamwe.
    Soka ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) wilaya ya Temeke, aliyasema hayo Agosti 16, 2024, wakati alipozungumza nasi kwenye mahojiano maalum.
    Mazungumzo hayo pia yaligusia mpango wake wa kuandaa maandamano yaliyopangwa kufanyika Agosti 26, 2024, kwa ajili ya kuishinikiza Serikali ichukue hatua kukomesha matukio ya utekaji pamoja na kurejesha mchakato wa kuipatia Tanzania Katiba Mpya.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

КОМЕНТАРІ • 169

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya 16 днів тому +10

    Wanaowafanyia wenzao mateso kama hayo, nao ni binadamu kama wengine. Lakini ipo siku yatawarudia.Tena yawezekana wao malipo yakawa makubwa zaidi.

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 7 днів тому +3

    FREE SOKA PLEASE. He is very patriotic and intelligent. He is smart and open minded

  • @user-qz2cs5wm5u
    @user-qz2cs5wm5u 12 днів тому +8

    Mungu atalipa

  • @BeathaChambo
    @BeathaChambo 14 днів тому +11

    Mungu akulinde brother

  • @frankevaristo6918
    @frankevaristo6918 12 днів тому +8

    Inaumiza sanaaa

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 8 днів тому +4

    Mungu yuko nawe bro pole sana Mungu atakusaidia

  • @mrossotv9054
    @mrossotv9054 10 днів тому +4

    DUUUH Uliongea Maneno Bora Sana Kijana Mwenzangu Hongera sana

    • @mrossotv9054
      @mrossotv9054 10 днів тому +1

      Urudi Unawajibu Wa Kulitendea taifa lako njoo Mungu akulinde uliki

  • @madukurumwanileles7909
    @madukurumwanileles7909 12 днів тому +6

    Kijana Yuko vizuri Sana anatililika vizuri naomba wasukatishe ndoto zake,vijana kama hawa nu wachache ubarikiwe

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 13 днів тому +8

    Mungu atakulinda na mabaya yote

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 День тому +1

    Mungu akutetee wewe na wenzio mrudi jaman,

  • @user-ou8sp5bb7n
    @user-ou8sp5bb7n 2 дні тому +2

    Inaumiza sana kuona mtu mwenye upeo wa kufikiri kama huyu kijana anatekwa na vyombo vya dola. Nchi hii tunaelekea wapi?

  • @user-jc9pv1kq2s
    @user-jc9pv1kq2s 11 днів тому +5

    Eee Mungu muokoe huyu kijana na hao wadhalimu...angalia vile ana nia njema na taifa,eee bwana hujawahi shindwa na uovu YESU shusha moto kwenye mikono ya hao watekaji ,watie upofu...shusha hasira yako juu ya familia zao na wao waangamize...wadhihirishe na wadhalilishe bayana...DAMU YA HUYU KIJANA SIO MAJI YESU...YESU SIKIA MUNGU WETU OKOA...HANA HATIA ,ANA NIA NJEMA NA TAIFA LAKE

    • @hermankihwili1095
      @hermankihwili1095 9 днів тому +2

      Amen damu ya Kristo Imtakase

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 7 днів тому +1

      Mungu wetu anatusikia. Kama kweli ameuawa basi Damu ya huyu soka haitapotea bure. Itaondoka na wengi. Taifa litatikisika kwa uovu.

  • @ErickMacha-sb2ot
    @ErickMacha-sb2ot 3 дні тому +1

    Kijana nismart sana ningekuwa rais ningempa kitengo anyooshe serikali

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 13 днів тому +4

    Mwisho utakua mbaya sana, watawala wamejisahau sana lkn wajifunze kwa Al Bashir, Mobbutu, Sadamu Hussain,Omary Bongo na wengine wengi.Mwisho utafika tuu haijalishi itachukua muda gani

  • @meiruzibwe9145
    @meiruzibwe9145 15 днів тому +9

    The Chanzo uko vzr;
    Soka yuko vzr zaidi.
    Kwa kifupi sana mahojiano yamenipa MATUMAINI MAPYA YA Tz tuitakayo.
    Kupigania uhuru awamu ya pili ni sasa,
    kupigania katiba mpya ni sasa.

    • @user-fz1ph3cn4s
      @user-fz1ph3cn4s 14 днів тому +2

      We should waje up. This is not acceptable.

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 6 днів тому +1

    Safi kijana una haki sawa ya kuongea maoni yako kama hao viongozi walio madarakani.. as long as huvunji sheria ya nchi

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 13 днів тому +3

    Kijana uko wapi uko wapi kwanini mungu hakukulinda tuna kuitaji we ni kati ya watu sahihi ambao nimuhimu katika inch hiii tunaumic uzalendo wako nadani yainchii

  • @wiza2309
    @wiza2309 9 хвилин тому +1

    Kijana mdogo lkn ana upeo mkubwa. Yaani vijana kama hawa ndiyo wa kuwatunza lkn sisi ni nani aliyeturoga jamani

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 15 днів тому +4

    Muogopeni mungu jamani watu wenyemaono watekwa wanauwawa jamani niwabie asiyejulikana c ni ccm ndiyo icyojulikana

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 21 день тому +14

    Damu ya yesu ikuzingire uliko bwana deus

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 7 днів тому +3

    Is THIS BIG BRAIN really GONE? No it’s a big shame to everyone. People should stand up and speak for this guys.

    • @wiza2309
      @wiza2309 7 хвилин тому

      Yaani kweli huko aliko wamhurumie pamoja nabhao wenzao.

  • @AyubuMwambola-j3k
    @AyubuMwambola-j3k 6 днів тому +1

    Jamani shetani Hawa, Kwa nini wanateka watu pasipo na makosa ,na walaaniwe watu hawa na nchi yake yote ilaaniwe

  • @MariamAnafi-bf9gy
    @MariamAnafi-bf9gy 10 днів тому +3

    Mungu akulinde ulipo

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 6 днів тому +1

    Nchi yetu imekuwa ni KARTEL system na hao MAKARTEL hawataki mabadililko ya aina yoyote ile yatakayo wazuia wao kuiba.. but ONLY TIME WILL TELL

  • @SylvesterMakenzie
    @SylvesterMakenzie 17 днів тому +6

    Nchi hii msema kweli ni mateka wa watawala ila Mimi naamini Mungu hapendezwi na uovu wenye dora acheni kutenda maovu ogopeni hasira ya Mungu juu ya uovu na waovu

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 12 днів тому +4

    Dah hakakadogo hadi huruma jamani kunawatu wanaroho mbaypesa, pesa,pesa

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 7 днів тому +1

      Pesa gani bila utu? Wapumbavu tu

  • @altonkanjolonga2380
    @altonkanjolonga2380 10 днів тому +2

    so pain

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 21 годину тому +1

    Chadema wanawatumia na kuwaponza vija n a wetu😢😢😮

  • @amaniamani6391
    @amaniamani6391 12 днів тому +4

    Free soka vinginevyo italigharinu jeshi la polisi

  • @AyubuMwambola-j3k
    @AyubuMwambola-j3k 6 днів тому +1

    Na viongozi wa nchi na walaaniwe

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 21 день тому +12

    Hivi kwanini mtu akipigania haki anateswa anatekwa anapotezwa anauwawa huwa kosa kubwa ni nini

    • @salamabakari8384
      @salamabakari8384 12 днів тому +2

      Niroho mbaya tu

    • @AmyeSanga
      @AmyeSanga 10 днів тому

      Ardhi ya Tanzania haimtaki kabisa mweye haki​@@salamabakari8384

    • @AmyeSanga
      @AmyeSanga 10 днів тому +2

      Kwa asili ardhi ya Tanzania haimtaki mtu mwenye Haki.

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 7 днів тому +2

      Roho ya ubinafsi na ushetani imetawala sana. Watu hawamwogopi hata mungu tena

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 21 день тому +6

    Kama wao ndio wanaohusika kwenye utekaji itawezekana vipi wazuie huo utekaji?
    Kitendawili hicho

    • @norahfrank
      @norahfrank 19 днів тому +1

      Wapigwe na Mungu Mwenyewe. Na waaibike kwa jina la Yesu

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 21 день тому +9

    Jamani mbona kijana huyu anaongea vizuri kizarendo naomba serikali msikirizeni huyu kijana maana anaongea ni mambo ya kujenga nchi

    • @JacksonFrances
      @JacksonFrances 19 днів тому +1

      Tatizo Kashatekwa Tupaze Sauti Aachiwe Huru "

    • @MirajiMbolile
      @MirajiMbolile 13 днів тому

      Tatizo hii nchi haiko salama hivyo inapaswa tutafakari kwa upana zaidi . ​@@JacksonFrances

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 21 день тому +8

    Ila one day yes

  • @JoshuaYohanaLaizer
    @JoshuaYohanaLaizer 4 дні тому +1

    Kube sabab niii akuna mtu anawesa piga ilo tutatoko kuadamana

  • @norahfrank
    @norahfrank 19 днів тому +11

    Arudishwe Soka.vinginevyo kuna malipizi makubwa mbeleni

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 16 днів тому

      Kutoka kwa nani?

    • @SarapiaMfoi
      @SarapiaMfoi 15 днів тому +2

      Mungu wa mbinguni,ndiyo.mtetezi wetu pekee

    • @kinkybanjukome217
      @kinkybanjukome217 13 днів тому +3

      Wakimuua revenge ni lazima iwepo haiwezekani kijana ndogo kama huyu adhulimiwe maisha yake halafu rais Samia analala usingizi wakati Askari wake wanauwa raia wasio na hatia halafu yuko kimnya

    • @ShamteMohmed-ed2kk
      @ShamteMohmed-ed2kk 13 днів тому +1

      Haya kavamieni polisi tuone panapovuja

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 7 днів тому

      @@mosesg.pendael8381 I hi binadamu

  • @rosekajuki1787
    @rosekajuki1787 16 днів тому +6

    Tatizo amewagusa watu ambao ni mafya hawana uchungu na nchi hii wanajali mali zao na familia zao tuu si Tanzania chunguzeni mtagundua jambo hapo inatisha sana mungu asimame pamoja na wanaopigania nchi hii

  • @Damian-tt8fv
    @Damian-tt8fv 19 днів тому +6

    Free Soka

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 7 днів тому +1

    Huyu kijana ana kosa gani hapo? Jamani wazazi wengine acheni roho za kishetani wapendeni vijana wa wenzenu muwarlewe mawazo Yao muwalinde na siyo kuwauwa

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 4 дні тому +1

    Huyu jamaa watakua washamzulu hawa sio watu

  • @saulomathayo
    @saulomathayo 11 днів тому +6

    Hakika waliomteka huyu Kijana walaaniwe pamoja na vizazi vyao. Mungu naomba tenda jambo!

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 2 дні тому +1

    Mrudisheni kijana wawatu

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d 19 днів тому +8

    Anahekima sana

  • @SelfaaManyasi
    @SelfaaManyasi 14 днів тому +3

    Hivi kwani tukifanya kama yaliyofanyika Kenya itakuwaje au mnaogopa na kama mnaogopa nisindindikizeni mimi tu maana tunakoelekea sisi watu tusio na cheo serikalini tutaacha familia nyingi zikiwa na majonzi na maumivu yasiyoisha jamani

  • @sauda4505
    @sauda4505 22 години тому

    Yaan nataman niihame nchi hiyooo bora ningezaliwa pengine popote

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 12 днів тому +2

    Pole dogo tafuta maisha yako siasa hiyo itakughalimu alaf haoviongoz wako sio wakwelii utakuwa pekee yako maskinn

    • @saulomathayo
      @saulomathayo 11 днів тому

      Alishapotea huyu! Hiyo ni last speech kabla ya tarehe 18 kupotea

    • @djunction4127
      @djunction4127 11 днів тому +2

      Nyie ndo mmetufikisha hpa kutokana na roho zenu za kibinafsi zisizo waza hata kesho ya vitukuu vyenu.

    • @erestizacharia4758
      @erestizacharia4758 9 днів тому +1

      Wewe acha kushauri kivuli Cha mtu au mrudisheni.

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 4 дні тому +1

    Tunaongozwa na shetani

  • @bahatimellita6619
    @bahatimellita6619 16 днів тому +3

    Hiiiii nchiii ngumu sana😢😢😢😢 mtuu anaataka kuikumbusha serikalii utekajiii wanamteka mteteziii hatuko salama kwa kwelii mungu tuteee

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 7 днів тому +1

    Nchi yetu imekuwa na watu wenye viburi ya pesa na roho mbaya sana. Sijui tunakimbilia wapi mungu akiamua kufanya yake. Taifa limebebwa na shetani hadi huruma

  • @user-eg6ec2mq3g
    @user-eg6ec2mq3g 8 днів тому

    Yaani namuomba mungu Mimi na kizazi changu hasije kutokea mtu akagombea hata ujumbe wa wa nyumba kumi ktk taifa la Tanzania

  • @jaredayiera3279
    @jaredayiera3279 13 днів тому +2

    Kijana wa ni sawa na Rais Ayati,John magufuli

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 6 днів тому +1

    Katiba mpya ni lazima sio ombi

  • @user-mm6sm9rt9x
    @user-mm6sm9rt9x 13 днів тому +4

    INAUMA SANA KWA HAYA YANAYOFANYIKA NA SERIKA
    HASRA TUNAZOZIPA NI KALI MNO. SIKU MOJA ITAKAPOFIKA...........

  • @AlfredMatemu
    @AlfredMatemu 16 днів тому +3

    Huyu mwandishi yawezekana ni sehem ya mpango kazi

    • @mussakingazi8875
      @mussakingazi8875 11 днів тому +1

      Kweli kabisa, viongozi wake wanafahamu, michezo Hiyo

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 13 днів тому +2

    Hivi tanzania hatutakiwi kubadilika au tumetosheka tulipo panatosha mbona wauza ughaibu wanaishi salama wanalala mnono bila kubughudhiwa na vijana wanaojalibu kupigania haki hushambuliwa na wasiojulikana na wanapotea kwani kunani hapa ?

  • @wiza2309
    @wiza2309 3 хвилини тому

    Huyu anayehoji sijui alikuwa anatqka jibu gani.. na wewe ni kijana hii ni Nchi yenu vijana simameni Imara

  • @philemon-mz2fv
    @philemon-mz2fv 7 годин тому

    Hawa ndio viongozi wa kesho

  • @WilleMbwilo
    @WilleMbwilo 11 днів тому +1

    Free soka 😢

  • @user-rd7vh8lz6r
    @user-rd7vh8lz6r 8 годин тому

    Akili nying san

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g 13 днів тому +2

    Hawa Wameanzisha Vikundi vya Uchochezi Chuki za Kidini Wameshindwa kufanya Kazi wandai Maisha ni Magumu Hawataki Kulima

    • @peterbajuta6859
      @peterbajuta6859 13 днів тому +2

      Kichwa chako kibovu sana jitahidi upate kichwa kingine hiyo ubongo ni mgando

    • @MariamKhalid-ub9jj
      @MariamKhalid-ub9jj 13 днів тому

      ​@@peterbajuta6859😂😂

    • @user-tn7ic2ky3i
      @user-tn7ic2ky3i 11 днів тому +3

      subiri mtoto wako atekwe ndo utajuwa vizuri kweli afazali mtu awe mlemavu wa viungo kuliko kuwa mlemavu wa ubongo

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 15 годин тому

      @@user-sp2pp9yl8ghizo ni falsafa za wafalme wabavu waliokosa hekima na ufahamu wa uongozi huuwa kila ndoto za wenye hekima humpiga gizani kila anaejalibu kuoyesha njia na kuwakosoa maana wanajua ufalme wao haukutokana na ridhaa ya wananchi huchagua kutawala kwa fimbo ya chuma na upanga kuliko maridhiano na hiyo ni dalili mbaya ya anguko la kila taifa maana mungu huwashusha wenye kibuli na wauwaji hawatadumu balazani pake na apandae kwa upanga atavuna kwa upanga

  • @EmmanuelNdahya-ud5nj
    @EmmanuelNdahya-ud5nj 16 днів тому +2

    Uyu jamaaa anaumiza sana anlmenipa kuamka kama namwelewa ivi

  • @kennycathles
    @kennycathles 11 днів тому

    Acha unafiki unapompa Mtu mkono jifunze kumuangalia usoni. ,....unaangalia pembeni ni Mnafiki !@ Mwanahabari.

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 17 днів тому +1

    EE MUNGU UMTETEE HUYU KIJANA ANAYESIMAMA KWA AJILI YA HAKI YAKE NA TAIFA ZIMA
    EE MUNGU IWAADHIBU VIBAYA WANAOWATESA WANANCHI WANAOTETEA HAKI ZA NCHI YAO!!!

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 16 днів тому +1

    Hatutaki maandamano

    • @JekobuNgwara
      @JekobuNgwara 15 днів тому +1

      Acha ujinga kwaniumeambiwa ukandamane

    • @peterbajuta6859
      @peterbajuta6859 13 днів тому +1

      Acha uchawa hata wewe sio mkulima upo upo 2

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 21 день тому +1

    Police hafati sheria why?

  • @KhamisMahmud
    @KhamisMahmud 8 днів тому

    unapigania nn ww wakati unatumika ww acha uchaw ww

  • @user-jc9pv1kq2s
    @user-jc9pv1kq2s 11 днів тому

    Kweli hawaumiii ,wapo wanakula na kunywa na kustarehe ...

  • @jacksonjudicate9388
    @jacksonjudicate9388 15 днів тому

    The chanzo tunaomba mtengengeze graphic ya BRING BACK SOKA tuisambaze koteeeeeee. La sivyo APA Kati italetwa story ya kutotoa Kwa reli

  • @mwitamwikwabe6611
    @mwitamwikwabe6611 3 дні тому

    Hamtaki maandamano na nani?

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 21 день тому

    Mtangazaji umekosea kumalizia clip hii kusema tofali la kujenga limeongezeka. Kwasababu kiila leo watanzania wanaomba kwa vilio kwamba nyumba-Tanzania imepasuka pasuka kila siku nyumba inazidi kupata nyufa zinazowapa hofu ya kuanguliwa na kuta zake lakini hakuna wa kuwajibu!

  • @user-fy8rp3mo2q
    @user-fy8rp3mo2q 13 днів тому +1

    Haki gani ambayo watanzania hawana na unaweza kuwasaidia vipi na ni mtanzania gani asiyeweza kutetea haki yake mpaka nyie mkaandamane

    • @mwakimwakimwakifwamba6829
      @mwakimwakimwakifwamba6829 13 днів тому

      Koo unaona alikua anaongea pumba we nyau nini au ndio mtekaji maaandamani niii lazima mpuuzi wewe

  • @user-jc9pv1kq2s
    @user-jc9pv1kq2s 11 днів тому

    Ukiangalia ameongea logic zote na hakuna kaulinza za uchochezi au kuvunja amani...na ana mawazo mapana ya kizalendo...sijui waliomteka wanalitumikia taifa au watu wa nchi gani

  • @Kassimngonyani
    @Kassimngonyani 13 днів тому

    Kwa hili la kutekwa watu tupaze sauti kama maswala mengine vinginevyo watu watazidi kupotea

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 15 днів тому

    Watanzania msihofu sisi ni wengi kuliko majambazi!!! Muda umefika hata wafanyaje haki tumeipata tayari dalili ya kupata ndo hizo mnazo ziona!!

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g 13 днів тому +1

    MNAMKUMBUKA ABDURU NONDO ALIVYOJITEKA MWENYEWE HUYO KAJIFICHA KISHA ASEME AMETEKWA

    • @mwakimwakimwakifwamba6829
      @mwakimwakimwakifwamba6829 13 днів тому

      Saaaa unaongea nini nawe

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 7 днів тому +1

      Ili iweje?
      Huyo kujana Ana akili kubwa sana kuliko vijana wengi sana kama wewe. He is intelligent smart patriotic brave and truthful. He should be supported with other young men.

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 7 днів тому +1

      Hujielewi kabisa unaongea nini. Unaleta mambo ya mitaani huku kwenye jambo serious. Toka kabisa huku

  • @mohammedjuma6736
    @mohammedjuma6736 14 днів тому

    Viongozi wetu vijana kama Hawa Wana moto sana ,yaani naona bora kushindana na mamlaka ,yaani unalazimisha Katiba mpya iletwe bila hii iliyopo kutuelimisha mapungufu yake,ukiwa huamini katika utaratibu

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc 4 дні тому

    Unapigania kutoka wapi? Maana hii ilishapiganiwa tayari

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g 13 днів тому +1

    MUMEMFICHA HUYO KIJANA

  • @user-jc9pv1kq2s
    @user-jc9pv1kq2s 11 днів тому

    Unaakili kuliko hao viongozi wa nchi na polisi....maana unawaza mtu mwenye akili timamu unamkamataje mtu kama huyu...
    Mnataka adi uhai wetuuu...hilo ndo limeniumaaa

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 19 днів тому

    Taifa Letu Tunaelekea Pabaya Sana. Vijana Kama hawa Wenye Maono Makubwa na Wenye uchungu Mwingi na Nchi yao na kuipigania Haki Dhidi Ya Nchi Yao Wanaishia Kutekwa Ovyo na Kupotezwa kirahisi Kabisa .

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard2135 12 днів тому +1

    Siasa ni mchezo mchafu kikubwa pambana na maisha yako mengine waachie wenyewe broo njia uliyonayo nivita badilisha njia focus kwenye maisha

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 21 день тому +1

    Hii ya lini?

  • @juliuszakayo6771
    @juliuszakayo6771 21 день тому +1

    Tunanyamazaje wakati soka hajulkani aliko ?? Watanzania tuamke jani binadamu sio g'ombe hata g'ombe haoteagi alafu wenye g'ombe waka yamaza haiwekani chadema tuamke

    • @Aminmwansile-we8vn
      @Aminmwansile-we8vn 21 день тому

      Sema watanzania siyo chadema akipotea wa chadema ni mtanzania akipotea wa CCM ni mtanzania pia wote ni watanzania.

  • @babunyonge6270
    @babunyonge6270 День тому

    Kijana wa hovyo kabisa hana adabu wala utii hajitambui na hao ndio Chadema , kama humsikii mungu wa dunia utamsikia nani wewe ( Baba ) , kama huoni mazuri ya Samia basi tena ama kweli shukrani ya punda ni mateke mbona kwa Magu hamkudai hio katiba kenge nyie fala kabisa

  • @LemaliMeyasi-r4c
    @LemaliMeyasi-r4c 12 днів тому

    Jamani yuko wap huyu kiongozi

  • @user-fz1ph3cn4s
    @user-fz1ph3cn4s 14 днів тому

    Hivi wa Tanzania , this is not acceotabke.

  • @mbwanaoch9886
    @mbwanaoch9886 12 днів тому

    Gaddafi kafanya kila kitu Libya mwisho wake ulikuwa mbaya tu

  • @johnjulius3092
    @johnjulius3092 10 днів тому +1

    Sasa kasema nini kibaya Hadi atekwe hapo hv wanadhani wao hapa dunia wamkuja kuishi milele

  • @JoelRichard-hj3bi
    @JoelRichard-hj3bi 12 днів тому

    SOKA YUKO VIZURI SANA, MAELEZO NA FIKILA NI MAPAMBANO YA DHATI KATIKA NCHI YETU ,SASA KWA HAYA MAELEZO MIMI NAMUOMBA MUNGU ALIYE JUU MBINGUNI ALINDWE SANA HUYU NI KIONGOZI MKUBWA BAADAE.

  • @GeneviewKimario
    @GeneviewKimario 13 днів тому +1

    Mungu amlinde soka kokote aliko ,,damu ya yesu imtakase

  • @SylvesterMakenzie
    @SylvesterMakenzie 17 днів тому

    Maskini kijana anapinga utekaji harafu mwisho wake na yeye anatekwa tena daa watawala mnajisikia raha kabisa kwa mtoto wa binadamu mwenzio kutekwa siyo hapana kumbukeni Kuna kifo pia kinawangoja na nyinyi acheni kushupaza shingo

    • @PauloAlfayo-qi1gn
      @PauloAlfayo-qi1gn 13 днів тому

      Huyu mtAngazaji i kwa maswali yake???????????????dah sinui

  • @LuphotoPesa-f3d
    @LuphotoPesa-f3d 11 днів тому

    vijana kama Hawa wasio rizika namazuri wanayoyafanya viongozi WAO Tena wamekalia kuwatukana viongozi mue mnawafunga katika magereza yakilimo ili wanyooke

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g 13 днів тому

    Huyu Anadai Anapgania Inchi yake Andai nini Amenyimwa

  • @deusthomas1150
    @deusthomas1150 15 днів тому

    Ni ajabu Sana kadri mda unavozidi kwenda ndo kisahalika kwa huyu kijana kunazidi kuwa ingatakiwa sasa hv kuwe kuna moto ambao hakuna wa kuzima hadi wahusika wa kuteka wawe wamemwaachia Tanzania matatizo makubwa sana

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 15 днів тому

    Kama hawa sijuu ndiyo mapolic niwajabu kupita kias wanakamata watu hovyo hovyo tu

  • @DottoPeter-h2w
    @DottoPeter-h2w 21 день тому

    Mnalitia najis taifa letu latanzania watoto wetu wataishi katika tanzania ipi maana sisi tuna pita jeh na bendera yetu ya tamzania mnataka kutia alama nyekundu?

  • @thobiasmarandu214
    @thobiasmarandu214 12 днів тому

    Am Sorry Kwa Kupotea Huyu... Kijana na Waliomteka Wamrudishe... Lakini Pia Hii Cult ya Kudhani Maandamano ya Amani yanaweza Kuleta Mabadiliko, Sometimes Naona Ni Misguided... Mliona Maandamano ya Amani ya Chadema Yaliyofanyika... At the end of the Day Kila M2 anaenda Nyumbani... Hii kutaka Kutrend kwa Maandamano ya Less than 100 Na Hayalet Matokeo... Sioni Faida Yake.

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 18 днів тому

    MAKAMU AENDELEEE NA MAPAMBANO,

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 19 днів тому

    hakuna hata maandamano kuonyesha shindikizo

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 13 днів тому

    Nani huyu anaezima ndoto za vijana wetu sisi wanawake tunaumizwa na upotevu wa watoto wetu wenye akili na tunaachiwa watoto mateja na walevi walevi mtaani hao wanaojitambua kama huyu kijana kila mtu anaguswa moyoni